Podcasts about Rais

  • 465PODCASTS
  • 1,434EPISODES
  • 32mAVG DURATION
  • 5WEEKLY NEW EPISODES
  • Sep 26, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Categories



Best podcasts about Rais

Show all podcasts related to rais

Latest podcast episodes about Rais

Habari za UN
VVU: Sindano ya kuzuia kupatikana kwa bei nafuu kuanzia mwaka 2027

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 26, 2025 2:17


Makubaliano yaliyosimamiwa na mashirika ya kimataifa, likiwemo UNITAID ambalo ni shirika tanzu la shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO, halikadhalika Mpango wa afya wa Clinton (CHAI), Wits RHI na Maabara ya Dkt. Reddy, yanalenga kuhakikisha upatikanaji wa Lenacapavir kwa gharama nafuu.Dawa hii, inayodungwa mara mbili pekee kwa mwaka, imeonesha ufanisi mkubwa katika kuzuia maambukizi mapya ya VVU, jambo muhimu hasa kwa wale wanaopata changamoto kutumia dawa za kila siku.Video ya UNITAID inaonesha maabara yenye teknolojia ya hali ya juu, ambamo wanasayansi wanaandaa dawa hiyo inayotarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwa mamilioni ya watu walio katika hatari ya kuambukizwa virusi hivyo.Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa UNITAID, Tenu Avafia, anasema hatua hii ni ushindi mkubwa kwa jamii zinazohitaji kinga ya muda mrefu dhidi ya VVU."Tumeitikia wito kutoka kwa jamii na nchi tunazohudumia kwa kuhakikisha dawa hii inapatikana kwa gharama nafuu. Tunatarajia usambazaji wa toleo la bei nafuu la dawa hii kuanza kufikia mwaka 2027, chini ya miaka miwili tu tangu idhini kutolewa katika nchi za kipato cha juu — kasi ambayo haijawahi kushuhudiwa."Akizungumza kuhusu hatua hii muhimu, Carmen Pérez Casas, Mkuu wa Mikakati Mwandamizi wa UNITAID, anasema:"Kwa kushirikiana na watengenezaji wa dawa mbadala, tumefanikisha bei nafuu mapema zaidi. Lakini bado tunahitaji kusaidia nchi na jamii kwa kuongeza upatikanaji."UNITAID inasema kwa msaada wa mashirika kama PEPFAR ambao ni mfuko wa Rais wa MArekani wa usaidizi wa dharura dhidi ya UKIMWI, pamoja na mfuko wa kimataifa na wakfu wa Gates, hatua hii inaleta matumaini ya kupunguza maambukizi mapya ya VVU duniani.

Habari za UN
UNGA80:Hotuba ya Netanyahu yakumbana na upinzani, yeye augeuza ukumbi kuwa darasa

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 26, 2025 3:54


Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ukiwa umeingia katika siku yake ya nne hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani leo Ijumaa, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amekuwa wa kwanza kuzungumza akitumia muda wake mwingi kushambulia wanamgambowa kipalestina, Hamas na kutetea kila uamuzi wa Israel. Anold Kayanda ameifuatilia hotuba hiyo kwa kina. Ilikuwa majira ya saa tatu na dakika chache hivi asubuhi ya leo saa za New York nchini Marekani ambapo Waziri Mkuu wa Isreal Benjamin Netanyahu amepewa fursa ya kuhutubia na ndipo ukumbi wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ukakosa utulivu. Wajumbe kwa makundi walinyanyuka katika viti vyao na kuondoka huku wakiwaacha maafisa wa Israel wakimpigia makofi kiongozi wao na pia nchi zinazoiunga mkono Israel zikasalia katika viti vyao ikiwemo Marekani.Baadhi ya wajumbe watoka njeKatika eneo la walipotakiwa kukaa wawakilishi wa Palestina kulikuwa wazi, huku katika eneo la Iran ikibakia picha iliyokusanya sura za baadhi ya watu wao waliouawa na mashambulizi ya Israel. Bwana Netanyahu kwa mara nyingine tena ameingia na ubao wenye picha ya ramani ya eneo la Mashariki ya Kati akiutumia kuishambulia Iran na kwa kutumia kalamu akiweka alama ya vema kuonesha namna ambavyo Israel imefanikiwa kupambana na ngome za Irani katika ukanda huo. Katika suti yake, kifuani upande wa kulia, Bwana Netanyahu pia ameweka kibandiko chenye QR Code na akawaambia watu kuwa Israel bado inakumbuka tukio walilofanyiwa na Hamas mwezi Oktoba mwaka juzi na kwamba ikiwa watu wamesahau hilo basi waelekeze simu zao kwenye QR Code hiyo kwenye nguo yake ili iwaoneshe madhara yaliyofanywa na Hamas.Majina ya mateka yakasomwaWaziri Mkuu huyo wa Israel ameyasoma majina ya mateka ambao bado wako mikononi mwa Hamas katika eneo la Ukanda wa Gaza na pia akaueleza mkutano kuwa amesambaza vipaza sauti au spika katika eneo lote la Gaza ili anapoongea leo, azungumze moja kwa moja na mateka huko walikofichwa. Na hapo akabadilisha lugha na kuongea kwa kihebrania akiwaahidi kuwa atawakomboa. Vilevile amedokeza kuwa kwa namna ya kiintelijensia Israel imefanya simu leo ziweze kusambaza hotuba katika ukanda wa Gaza na hivyo akautumia muda huo kupeleka ujumbe mkali kwa Hamas kuwa ataendelea kuwadhibiti. Bwana Netanyahu pia  ameingia ukumbini na vibao viwili vyenye maswali na majibu ya kuchagua japokuwa jibu sahihi kwa mujibu wake na waliojibu kuwa ni All the Above, yaani majibu yote ni sahihi. Maswali yote yalikuwa yakiwatuhumu Iran, Hamas, Al Caeda, Hezbollah na Houthi kuwa pia wanaitakia kifo Marekani na wameua watu wengi Ulaya. Huenda hotuba hii ya Netanyahu ikaingia katika orodha ya hotuba tano ndefu zaidi baada ya ile ya Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani, Ya Mahmoud Abbass wa Palestina na Félix-Antoine Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambao wote hao walitumia zaidi ya dakika arobaini licha ya muda wa hotuba uliopangwa kuwa angalau dakika 15.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 26 Septemba 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 26, 2025 14:08


Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia ina simama kidete juu ya tamaduni nyingi, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kukosoa uhamiaji katika hotuba yake kwa kikao cha mkutano wa Umoja wa Mataifa.

Habari za UN
25 SEPTEMBA 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 25, 2025 11:20


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina maalum inayomulika mkutano wa ngazi ya juu kuhusu magonjwa yasiyo ya kuambukiza NDCs unaoendelea kandoni mwa UNGA80, na tumezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa WHO Kanda ya Afrika Dkt. Mohamed Yakub Janabi.Wakati viongozi wa nchi na serikali wanahutubia wakiwa ndani  ya jengo la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York, Kiongozi wa Palestina, Mahmoud Abbas ujumbe wake kwa UNGA80 ameutoa kwa njia ya video iliyorekodiwa kutokana na kutopata kibali cha kuingia Marekani. Katika hotuba hiyo amesisitiza kuwa, Ukanda wa Gaza utaendelea kuwa sehemu ya Taifa la Palestina na tuko tayari kuwajibika kikamilifu kwenye uongozi na usalama wa eneo hilo. Hamas hawatokuwa na jukumu lolote kwennye utawala.”.Mapema kabla ya Palestina, Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud, alihutubia wajumbe akitaka nchi wanachama kujitolea upya kwa misingi ya usawa, mshikamano na ushirikiano wa kimataifa. Amesema hilo ni muhimu kwa kuwa “wakati ambapo hapo awali tulijitahidi kujiuliza ‘Nini ni sahihi' chini ya sheria ya kimataifa, leo tunashuhudia kwa wazi kuibuka kwa matumizi ya NGUVU ya kitaifa katika kusuluhisha migogoro. Hii ni njia ya giza na ya hatari sana inayotishia utawala wa sheria wa kimataifa tuliokubaliana kwa pamoja kama nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa.”Kando ya hotuba za viongozi, kunafanyika maadhimisho ya miaka 30 tangu kupitishwa kwa Programu ya Dunia kwa ajili ya vijana. Je vijana kutoka Malawi wana ujumbe gani? Mwakilishi wao kwenye mkutano huu Rachel Mganga Wanangwa anasema, “Ujumbe kutoka vijana wa Malawi ni wekezeni kwetu, tusaidieni, shirikianeni nasi, na wanashiriki kwenye meza za mazungumzo ili kuhakikisha kuwa sauti zao zinawakilishiwa.”.Mwenyeji wako ni Leah Mushi, karibu!

Habari za UN
24 SEPTEMBA 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 24, 2025 9:59


Hii leo jaridani tunaangazia hotuba ya Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy katika siku ya pili ya mjadala mkuu wa UNG80, na ujumbe wa washiriki wa mkutano huu kutoka Nigeria na Tanzania.Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema taasisi za kimataifa zimekuwa dhaifu wanachoweza kufanya ni kutoa matamko makali pekee na kwamba kwa sasa duniani sheria pekee za Kimataifa haziwezi kusaidia nchi kujilinda bila ya kuwa na silaha pamoja na marafiki wenye nguvu wa kukusaidia.Katika siku ya pili ya Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA, kando ya hotuba, viongozi wa nchi 9 wanachama wa Jumuiya ya Afya ya Mashariki, Kati na Kusini mwa Afrika, ECSA watakuwa na mkutano wa kusongesha diplomasia ya kisayansi ili kuhakikisha bara la Afrika haliachwi nyuma kwenye kukabiliana na changamoto za kiafya, baada ya kujifunza kutokana na COVID-19 au UVIKO19.Tukisalia hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa Mjadala Mkuu wa UNGA80 mbali ya kusikiza hotuba za viongozi unaambatana na mamia ya matukio na mikutano ya kando. Leo, sauti kutoka pande zote za dunia zinaitaka haki ya kijamii katika moja ya mikutano ya kando na miongoni mwa sauti hizo ni ya  mwanaharakati na mhamasishaji wa masuaa ya wasichana kutoka Nigeria ambaye anasema wasichana vigori hawapaswi kusahaulika.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!

Habari za UN
Taasisi za kimataifa zimekuwa dhaifu - Volodymyr Zelenskyy

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 24, 2025 3:04


Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema taasisi za kimataifa zimekuwa dhaifu wanachoweza kufanya ni kutoa matamko makali pekee na kwamba kwa sasa duniani sheria pekee za Kimataifa haziwezi kusaidia nchi kujilinda bila ya kuwa na silaha pamoja na marafiki wenye nguvu wa kukusaidia. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Leah Mushi.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Kesi ya rais mstaafu wa DRC kurejelewa, mbio za baiskeli kung'oa nanga huko Rwanda

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Sep 20, 2025 20:09


Baadhi ya habari ambazo tumezipa uzito ni pamoja na vurugu katika bunge la DRC na mchakato wa kumuondoa spika wa bunge hilo na maafisa wengine, mashindano ya dunia ya baiskeli kung'oa nanga siku ya Jumapili mjini Kigali, mji mkuu wa Rwanda, siasa za Uganda kuelekea uchaguzi mkuu wa mwakani, tumeangazia hali nchini Tanzania, Sudan kusini, uchaguzi wa Malawi, kura ya maoni kule Guinea kuhusu marekebisho ya katiba na ziara wa Marekani huko Uingereza.

Habari za UN
18 SEPTEMBA 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 18, 2025 10:51


Jaridani leo jaridani tunakuletea mada kwa kina kuhusu masuala ya wanawake, tathmini ya miaka 30 ya harakati za kusongesha haki za wanawake na utamsikia maoni ya Balozi Gertrude Mongella kutoka Tanzania. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na uchambuzi wa methali.Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ukianza Jumatatu ijayo, Rais wa Mkutano huo Annalena Baerbock  amewaambia waandishi wa habari jijini New York, Marekani kuwa “jukumu letu ni Umoja wa Mataifa uwe thabiti kwa miaka 80 ijayo. Michakato ya kuhakikisha hilo ndio itakuwa jukumu letu mwaka huu, ikiwemo kusongesha ajenda ya marekebisho ya Umoja wa Mataifa. Kwa hiyo tukitaka Umoja wa Mataifa thabiti, basi tunahitaji ahadi kutoka serikali zote duniani.Ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inayotolewa kila mwaka kabla ya kuanza kwa Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu inasema Umoja wa Mataifa umeendelea kusimama imara, ukifanya kazi ya kuendeleza amani, kuchochea maendeleo endelevu, na kupunguza mateso ya kibinadamu licha ya majaribu makubwa. Katika ripoti hiyo Antonio Guterres amesisitiza uimara wa watumishi wa Umoja wa Mataifa, ambao wamejitolea kuleta matumaini na msaada kwa wale wanaohitaji licha ya kufanya kazi katika mazingira magumu.ripoti ya Hali ya Rasilimali za Maji Duniani iliyotolewa leo inasema ni takriban theluthi moja tu ya mabonde ya mito duniani yaliyokuwa na hali ya “kawaida” mwaka 2024 ilhali mengine yote yalikuwa na kiwango cha juu zaidi cha maji au chini ya kiwango cha kawaida — ikiwa ni mwaka wa sita mfululizo wa kutokuwepo kwa uwiano wa wazi. Ikitolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa, WMO, ripoti inasema mwaka 2024 uliokuwa mwaka wa joto zaidi kuwahi kurekodiwa ulianza na tukio la El Niño ambalo liliathiri vibaya mabonde makubwa ya mito na kusababisha ukame katika maeneo kadhaa ikiwemo kusini mwa Afrika.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili, leo mchambuzi wetu ni Dkt. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali "MZOEA PUNDA HAPENDI FARASI"Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!

Krustpunktā
Krustpunktā: Rosinājums samazināt koku ciršanas vecumu raisījis plašus iebildumus

Krustpunktā

Play Episode Listen Later Sep 17, 2025


Zemkopības ministrijas sagatavotie grozījumi Mežu likumā, kas paredz samazināt ciršanas vecumu vairākām koku sugām, ir raisījusi plašus iebildumus gan pēc grozījumu būtības, gan arī veida, kā ministrija tos virza. Par to ar ministriju pārstāvjiem un ekspertiem diskutējam raidījumā Krustpunktā. Raidījuma viesi: bioloģijas doktors Latvijas Ornitoloģijas biedrības valdes priekšsēdētājs Viesturs Ķerus, AS "Latvijas finieris" padomes priekšsēdētājs Uldis Biķis, Viedās administrācijas un reģionālās attīstības ministrijas Dabas aizsardzības departamenta direktore Daiga Vilkaste un Zemkopības ministrijas Meža departamenta direktors Āris Jansons. Mežu apsaimniekošana ir viens no tematiem, par ko Krustpunktā runā regulāri. Arī primāri bieži vien par to gādā vai nu Zemkopības, vai Vides ministrija, jo tiek rosinātas izmaiņas likumos, kas izraisa plašāku interesi, vai arī pretestību. Savulaik pat Satversmes tiesa bija iesaistīta notikumos, tāpēc var sacīt droši, ka šī nozare nav atstāta bez uzmanības. Šobrīd ir runa pat par vairākiem jautājumiem, par ko uztraukumu ir pauduši vides aizstāvji. Proti, Zemkopības ministrija virza caur valdību grozījumus Meža likumā, un ir vairāki punkti, par kuru jēgu un vajadzību ir jātiek skaidrībā.

Krustpunktā
Krustpunktā: Rosinājums samazināt koku ciršanas vecumu raisījis plašus iebildumus

Krustpunktā

Play Episode Listen Later Sep 17, 2025 53:42


Zemkopības ministrijas sagatavotie grozījumi Mežu likumā, kas paredz samazināt ciršanas vecumu vairākām koku sugām, ir raisījusi plašus iebildumus gan pēc grozījumu būtības, gan arī veida, kā ministrija tos virza. Par to ar ministriju pārstāvjiem un ekspertiem diskutējam raidījumā Krustpunktā. Raidījuma viesi: bioloģijas doktors Latvijas Ornitoloģijas biedrības valdes priekšsēdētājs Viesturs Ķerus, AS "Latvijas finieris" padomes priekšsēdētājs Uldis Biķis, Viedās administrācijas un reģionālās attīstības ministrijas Dabas aizsardzības departamenta direktore Daiga Vilkaste un Zemkopības ministrijas Meža departamenta direktors Āris Jansons. Mežu apsaimniekošana ir viens no tematiem, par ko Krustpunktā runā regulāri. Arī primāri bieži vien par to gādā vai nu Zemkopības, vai Vides ministrija, jo tiek rosinātas izmaiņas likumos, kas izraisa plašāku interesi, vai arī pretestību. Savulaik pat Satversmes tiesa bija iesaistīta notikumos, tāpēc var sacīt droši, ka šī nozare nav atstāta bez uzmanības. Šobrīd ir runa pat par vairākiem jautājumiem, par ko uztraukumu ir pauduši vides aizstāvji. Proti, Zemkopības ministrija virza caur valdību grozījumus Meža likumā, un ir vairāki punkti, par kuru jēgu un vajadzību ir jātiek skaidrībā.

Habari za UN
09 SEPTEMBA 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 9, 2025 9:58


-Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Flora Nducha anakuletea UNGA79yafikia tamati hii leo na kupisha UNGA80  chini ya uongozi wa Rais mpya Annalena Baerbock-Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyozinduliwa leo imesema matumizi ya kijeshi duniani yalifikia dola trilioni 2.7 mwaka 2024, yakiwa yameongezeka kwa zaidi ya asilimia 9 kutoka mwaka 2023-Mratibu wa Misaada ya Dharura wa Umoja wa Mataifa Tom Fletcher ametangaza leo  dola milioni 1 za kimarekani kutoka  Mfuko wa Dharura wa Umoja wa Mataifa CERF ili kudhibiti mlipuko wa kipindupindu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. -Mada kwa kina inatupeka Pemba Kaskazini kisiwani Zanzibar nchini Tanzania kuangazia mradi wa FAo wa ZJP unavobadili maisha ya wakulima wa ndiziNa katika jifunze Kiswahili utamsikia mlumbi Jorum Nkumbi kutoka Tanzania akifafanua maana ya neno LISANI

Nostalgie - L'intégrale de Philippe et Sandy
Aidez-nous à compléter cette phrase "ce que je préférais à l'école…"

Nostalgie - L'intégrale de Philippe et Sandy

Play Episode Listen Later Sep 5, 2025 2:46


Aidez-nous à compléter cette phrase "ce que je préférais à l'école…"

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mkutano wa Trump na rais wa Ukraine na wakuu wa Ulaya, hali ya mashariki mwa DRC

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Aug 30, 2025 20:06


Ni juma ambalo limeshuhudia mkutano kati ya rais wa Marekani Donald Trmp na rais wa Ukraine Volodmir Zelensky akisindikizwa na viongozi wa Ulaya, michuano ya CHAN kwenye nchi tatu za Afrika Mashariki yaendelea, mashirika ya kimataifa ya haki za binadamu juma hili yalishutumu jeshi la Rwanda likishirikiana na waasi wa M23 kuwaua raia wa kawaida Binza wilayani Rutshuru mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, mkutano wa kimataifa wa Tokyo kuhusu maendeleo ya Afrika au TICAD ulifunguliwa jijini Yokohama, Japani.

Habari RFI-Ki
Mzozo wa Ukraine: Rais Trump kujaribu kuwakutanisha rais Zelensky na rais Putin

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 22, 2025 9:52


Baada ya mkutano kati ya rais Donald Trump na rais Volodymyr zelensky na viongozi wa nchi za ulaya jijini Washington siku ya Jumatatu tarehe18 08 2025, Marekani sasa inajaribu kuwakutanisha rais Vladimir Putin na Zelensky ili kupata mwafaka wa mzozo wa Ukraine.

Habari RFI-Ki
Mzozo wa Ukraine: Rais Trump kujaribu kuwakutanisha rais Zelensky na rais Putin

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 22, 2025 9:52


Baada ya mkutano kati ya rais Donald Trump na rais Volodymyr zelensky na viongozi wa nchi za ulaya jijini Washington siku ya Jumatatu tarehe18 08 2025, Marekani sasa inajaribu kuwakutanisha rais Vladimir Putin na Zelensky ili kupata mwafaka wa mzozo wa Ukraine.

Habari RFI-Ki
Asasi za kiraia zamtaka rais William Ruto kuwataja hadharani wanaopokea rushwa

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 22, 2025 9:55


Rais  wa Kenya William Ruto, yupo kwenye shinikizo  kubwa za kuwataja  hadharani wabunge na Maseneta, aliodai wanapokea rushwa kutoka kwa Mawaziri na Magavana, asasi za kiraia zinasema hiyo ndio njia pekee ya kuwaaminisha wananchi kuwa, kiongozi huyo ana nia ya kupambana na ufisadi nchini humo.

kenya rais ruto kenya william ruto
Habari RFI-Ki
Asasi za kiraia zamtaka rais William Ruto kuwataja hadharani wanaopokea rushwa

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 22, 2025 9:55


Rais  wa Kenya William Ruto, yupo kwenye shinikizo  kubwa za kuwataja  hadharani wabunge na Maseneta, aliodai wanapokea rushwa kutoka kwa Mawaziri na Magavana, asasi za kiraia zinasema hiyo ndio njia pekee ya kuwaaminisha wananchi kuwa, kiongozi huyo ana nia ya kupambana na ufisadi nchini humo.

kenya rais ruto kenya william ruto
Wimbi la Siasa
Trump atafanikiwa kumaliza vita vya Urusi nchini Ukraine ?

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Aug 20, 2025 10:00


Rais wa Marekani Donald Trump, amechukua hatua ya kuongoza harakati za kumaliza vita vya miaka mitatu vya Urusi nchini Ukraine. Trump amekutana na rais Vladimir Putin na Volodymyr Zelenskyy wa Ukraine pamoja na viongozi wengine wa nchi za Ulaya  Agosti 18, baada ya awali kukutana na rais Putin Agosti 15 jimboni Alaska. Je, Trump atafanikiwa  kumaliza vita hivyo ?

Habari RFI-Ki
Matarajio ya mkutano wa rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky jijini Washington DC nchini Marekani,

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 20, 2025 9:58


Zelensky kuandamana na viongozi wa nchi za Ulaya kukutana na rais Donald Trump kujadili namna ya kumaliza uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.

Habari RFI-Ki
Matarajio ya mkutano wa rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky jijini Washington DC nchini Marekani,

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 20, 2025 9:58


Zelensky kuandamana na viongozi wa nchi za Ulaya kukutana na rais Donald Trump kujadili namna ya kumaliza uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.

Box Sophisme
Épisode 671 - Le dernier Des si et des rais

Box Sophisme

Play Episode Listen Later Aug 14, 2025 90:00


Voilà, c'était inévitable, ça a déjà duré bien plus longtemps qu'il ne le fallait, voici après 15 ans le dernier épisode de Des si et des rais. Avec nous Guy A St-Cyr, Maxime Gervais, Jean-François Provençal , Murphy Cooper, et Julien, Dom au téléphone, et plein d'appels de marde. Pour une dernière fois, c'était ça, Des si et des rais. Merci les amis! Tchao baby!

Coconut Podcast
Rais Kibonge, Candidat à la Mairie de Sherbrooke (Canada) (HD)

Coconut Podcast

Play Episode Listen Later Aug 13, 2025 33:15


Entrevue avec Rais Kibonge pour notre tournée estivale, une grande entrevue! Aujourd'hui nous recevons Rais Kibonge, Candidat à la Mairie de Sherbrooke (Canada) (HD) -------------------------------------- Suivez-nous sur nos différentes plateformes: https://linktr.ee/coconutpodcast​​​​​​ -------------------------------------- Réalisation & montage: Alain Joseph--------Caméra: Ishmael - -----Son: Alain Joseph -------------------------------------- Musique:KVNB Beats (Pour Coconut Podcast) Animation: Alain Jo

Au cœur de l'histoire
[2/2] Gilles de Rais, un tueur en série dans l'entourage de Jeanne d'Arc

Au cœur de l'histoire

Play Episode Listen Later Aug 12, 2025 15:04


Cet été, retrouvez le meilleur d'Au cœur de l'Histoire, avec Virginie Girod ! Alors que la France et l'Angleterre s'affrontent lors d'un conflit qui prendra le nom de guerre de Cent Ans, le jeune baron Gilles de Rais s'illustre sur le champ de bataille et devient l'un des compagnons d'armes de Jeanne d'Arc. Fortuné et courageux au combat, il est élevé au rang de Maréchal de France à l'âge de 26 ans. Mais dans l'ombre de son château, Gilles de Rais s'adonne aux sacrifices humains, faisant de nombreuses victimes. Bientôt, il est arrêté et condamné à la peine capitale.Hébergé par Audiomeans. Visitez audiomeans.fr/politique-de-confidentialite pour plus d'informations.

Au cœur de l'histoire
[1/2] Gilles de Rais, un tueur en série dans l'entourage de Jeanne d'Arc

Au cœur de l'histoire

Play Episode Listen Later Aug 11, 2025 12:47


Cet été, retrouvez le meilleur d'Au cœur de l'Histoire, avec Virginie Girod. Au XVe siècle, derrière les remparts du château de Machecoul, le seigneur Gilles de Rais (1404-1440) se livre à des actes de tortures, assassinant de jeunes enfants afin de s'attirer les bons offices du démon. Mais cet ogre sans scrupules est doté d'un visage double. Compagnon d'armes de Jeanne d'Arc durant la guerre de Cent Ans, il mène une grande carrière militaire et reçoit le titre de Maréchal de France après le siège d'Orléans. Bientôt, le héros de guerre doit répondre de ses actes.Hébergé par Audiomeans. Visitez audiomeans.fr/politique-de-confidentialite pour plus d'informations.

Les Nuits de France Culture
Annales de la violence - Gilles de Rais (1ère diffusion : 17/12/1955 Chaîne Nationale)

Les Nuits de France Culture

Play Episode Listen Later Aug 9, 2025 108:21


durée : 01:48:21 - Les Nuits de France Culture - par : Marc Floriot - Par Lily Siou - Avec Régine Pernoud, Georges Huisman, Philippe Derrez, Blaise Cendrars et Sam Max (Le prisonnier) - Réalisation Albert Riera - réalisation : Virginie Mourthé

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Sintofahamu yaendelea kuhusu kuanza kwa mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Kinshasa na M23

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Aug 9, 2025 20:02


Miongoni mwa taarifa utakazoziskia ni pamoja na; sintofahamu yaendelea kuhusu kuanza kwa mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Kinshasa na Muungano wa Vikosi vya Kidemokrasia vya Ukombozi wa Kongo AFC/M23, Rais wa DRC, Felix Tshisekedi amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri na kujumuisha upinzani. Tutakueleza punde zaidi katika uchaguzi wa Tanzania. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Afrika Magharibi na eneo la Sahel, yasema hali ya usalama katika eneo hilo inasalia kuwa ya wasiwasi mkubwa na kimataifa Rais wa Marekani, Donald Trump, asema huenda hivi karibuni akakutana ana kwa ana na rais wa Urusi, Vladmir Putin, kuzungumzia mzozo wa Ukraine.

Habari za UN
06 AGOSTI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 6, 2025 9:59


Jaridani hii leo tunaangazia suala la afya katika ukand wa Gaza, na wito wito wa Umoja wa Mataifa wa kutaka kuachiliwa huru kwa mateka wa Israeli huko Gaza. Makala tunakwenda nchini Kenya na mashinani nchini Tanzania, kulikoni?Ikiwa ni siku 668 tangu Hamas ambao ni wanamgambo wa kipalestina wateke waisraeli 250 baada ya kushambulia taifa hilo la Mashariki ya Kati, vuta nikuvute ilikuwa bayana kwenye Baraza la Usalama baada ya kikao cha dharura kuitishwa na Israeli kufuatia kuchapishwa kwa picha za mateka wawili walio hoi bin taaban.Leo tuna habari njema kutoka Gaza, eneo la palestina linalokaliwa kwa mabavu na Israel huko Mashariki ya Kati, Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO kwa kushirikiana na Umoja wa falme za Kiarabu UAE wamefanikiwa kuingiza dawa, vifaa tiba na damu salama kwa ajili ya matibabu ya wanagaza ambao wanaendelea kuteseka na madhila ya vita. Makala inakupeleka nchini Kenya, hususan kaunti ya Kajiado. Bado dunia ikiendelea kuadhimisha Wiki ya Unyonyeshaji mtoto maziwa ya mama, Kelvin Keitany wa Radio Washirika, Domus Radio iliyoko huko Kajiado, eneo linalokabiliwa na madhara  ya mabadiliko ya tabianchi, kama vile ukame, anamulika ni kwa jinsi gani madhara hayo yanakwamisha unyonyeshaji wa mtoto maziwa ya mama. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO limetoa mwongozo mtoto anyonyeshwe maziwa ya mama miezi sita ya mwanzo ya uhai bila kitu chochote, Je hali iko vipi Kajiado.Na mashinani fursa ni yake Dkt. Beatrice mwilike, Mkunga Bingwa na Rais wa Chama cha wakunga Tanzania (TAMA) ambaye kupitia mradi unaolenga uzazi salama kwa watoto milioni 10 ifikapo 2030 lililozinduliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ya Uzazi na Idadi ya Watu, UNFPA kwa kusaidiana na serikali ya Denmark, anasema wakunga wanatumia appu na njia za kisasa zinazowapa taarifa sahihi.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!

Le Show - Loan Bouchet
Coach sportif: "Je générais 1 000 000+ de vues sur Instagram mais je ne signais pas de clients”

Le Show - Loan Bouchet

Play Episode Listen Later Aug 3, 2025 46:03


Habari za UN
Maspika wa Mabunge wapitisha azimio la kihistoria Geneva, Uswisi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 1, 2025 2:22


Mkutano wa Sita wa Maspika wa Mabunge Duniani uliofanyika jijini Geneva, Uswisi, jana Julai 31 umefika tamati baada ya siku tatu za mijadala ambazo zimezaa Azimio la kihistoria linalotoa wito wa "ushirikiano wa kimataifa ulio thabiti na wenye ufanisi zaidi" ili kuendeleza amani, haki, na ustawi. Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, (IPU), Tulia Ackson kupitia hotuba ya kufunga mkutano huo uliondaliwa kwa ushirikiano wa IPU na Umoja wa Mataifa akadokeza kilichomo katika azimio hilo.

Habari za UN
01 AGOSTI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 1, 2025 10:49


Hii leo jaridani tunaangazia hali ya wakimbizi wa ndani katika ukanda wa Gaza, na mkutano wa Sita wa Maspika wa Mabunge Duniani uliofanyika jijini Geneva, Uswisi. Makala tunamulika mtazamo mpya wa uchumi wa Dunia kwa mwaka 2025 na 2026, na mashinani tunakwenda nchini Somalia, kulikoni.Harakati za kila uchao kwa raia wa Gaza huko eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli za kukimbilia chakula huku mashambulizi yakiendelea zimeendelea kusababisha vifo na majeruhi ambapo majeruhi wa hivi karibuni aliyetajwa ni Sahar, mtoto mwenye umri wa miaka 14 aliyepata ulemavu akikimbilia kupokea msaada wa chakula.Mkutano wa Sita wa Maspika wa Mabunge Duniani uliofanyika jijini Geneva, Uswisi, jana Julai 31 umefika tamati baada ya siku tatu za mijadala ambazo zimezaa Azimio la kihistoria linalotoa wito wa "ushirikiano wa kimataifa ulio thabiti na wenye ufanisi zaidi" ili kuendeleza amani, haki, na ustawi. Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, (IPU), Tulia Ackson kupitia hotuba ya kufunga mkutano huo uliondaliwa kwa ushirikiano wa IPU na Umoja wa Mataifa akadokeza kilichomo katika azimio hilo. Katika makala Leah Mushi anatuletea habari njema kutoka shirika la fedha la kimataifa IMF kuhusu mtazamo mpya wa uchumi wa Dunia kwa mwaka 2025 na 2026.Na mashinani tutakupeleka nchini Ethiopia, kumulika harakati za kujikwamua kiuchumi katikati ya janga la ukame.Mwenyeji wako ni Assumpta, karibu!

Habari za UN
30 JULAI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 30, 2025 9:58


Hii leo jaridani tunaangazia hatua za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi nchini Tanzania, na biashara ndogondogo kwa wananchi wa Rwanda. Makala tunakupeleka nchini Kenya ma Mashinani tunakwenda Geneva Uswisi, kulikoni?Tanzania, kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO), iko mbioni kuzindua mpango wa “Beat the Heat” yaani “Lishinde Joto”, mpango wenye lengo la kukabiliana na joto kali na hatari za kimazingira katika sehemu za kazi na kwenye matukio makubwa ya kijamii. Anold Kayanda anafafanua zaidi taarifa iliyochapishwa leo na WHO jijini Dar es Salaam, Tanzania.Katika kijiji kimoja nchini Rwanda, ndoto ya muda mrefu ya Chantal Uwizeyimana imegeuka kuwa njia ya kujikwamua kiuchumi. Kupitia mradi wa STARLIT unaotekelezwa na Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo – IFAD, wakulima wadogo kama Chantal wamepata mafunzo, pembejeo na maarifa ya kubadili kilimo kuwa chanzo cha mapato ya uhakika. Sasa si tu kwamba mavuno yameongezeka, bali pia maisha yamebadilika kwa namna isiyotarajiwa. Makala inakupeleka Kenya kwake Kevin Keitany wa Radio washirika Radio Domus akimulika siku ya kimataifa ya urafiki inayoadhimishwa leo Julai 30, ikimulika urafiki katika ngazi ya mtu mmoja mmoja, baina ya watu zaidi ya mmoja, jamii, tamaduni na hata mataifa na mchango wake katika amani na utulivu duniani. Kelvin anamulika urafiki kati ya watu wawili.Na katika mashinani tuelekee jijini Geneva, Uswisi ambako unafanyika Mkutano wa Sita wa Spika wa Mabunge Duniani kumsikia Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani akitoa wito kwa viongozi wenzake kuutetea Umoja wa Mataifa.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!

FOTROVINY
FOTRŮV VÝCUC z Je rodičovství ve Skandinávii skutečně o tolik lepší? | Jaro Rais & Petr Jungwirt

FOTROVINY

Play Episode Listen Later Jul 30, 2025 6:41


V podcastu hosté Petr a Jaro sdílejí své osobní zkušenosti s rodičovstvím ve Švédsku a Norsku. Diskutují o rozdílech v péči o děti, školství a sociálním systému mezi severskými zeměmi a Československem. Hlavními tématy jsou dostupnost jeslí od útlého věku, flexibilita rodičovských dovolených (včetně otcovských), přístup k dětské psychologii a inkluzi a vliv počasí a venkovních aktivit na výchovu. Cílem je porovnat a zdůraznit pozitiva severského modelu, který aktivně zapojuje oba rodiče a klade důraz na preventivní péči a rozvoj dětí.  

Habari za UN
Wavuta matoroli, wavaa glovu kutekeleza dakika 67 za kujitolea kwa heshima ya Mandela

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 21, 2025 3:42


Kujitolea kwa jamii ni jambo ambalo Umoja wa Mataifa na wadau wanalipatia kipaumbele kama njia ya kusaidia kufanikisha Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs. Ijumaa iliyopita, ofisi ya Masuala ya Kimataifa ya Meya wa jiji la New York, nchini Marekani kwa kushirikiana na Idara ya Mawasiliano ya Kimataifa ya Umoja wa Mataifa pamoja na Ubalozi wa kudumu wa Afrika Kusini kwenye Umoja wa Mataifa, Wakfu wa Kisiwa cha Gavana, Wakfu wa Nelson Mandela na Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa walitekeleza mradi wa kujitolea kwenye kisiwa hicho kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya Mandela duniani tarehe 18 Julai mwaka huu wa 2025. Mradi ulilenga kulinda mazingira, je ni kwa vipi? Assumpta Massoi alikuwa shuhuda wetu.

SLEERICKETS
Ep 204: Darkness Audible

SLEERICKETS

Play Episode Listen Later Jul 19, 2025 83:21


SLEERICKETS is a podcast about poetry and other intractable problems. NB: Did I forget about Hitler? you ask. Did I forget about Stalin? On the one hand, yes, I temporarily did. On the other, there's something about the notion that Gilles de Rais did all this personally in his own home for the explicit purpose of impressing the Devil with his evilness that really sickens the soul. But yes, good point, there's always Hitler, who was, in his own way, the worst person who ever lived.My book Midlife now exists. Buy it here, or leave it a rating here or hereFor more SLEERICKETS, subscribe to SECRET SHOW, join the group chat, and send me a poem for Listener Crit!Leave the show a rating here (actually, just do it on your phone, it's easier). Thanks!Wear SLEERICKETS t-shirts and hoodies. They look good!SLEERICKETS is now on YouTube!For a frank, anonymous critique on SLEERICKETS, subscribe to the SECRET SHOW and send a poem of no more 25 lines to sleerickets [at] gmail [dot] com Some of the topics mentioned in this episode:– Paradise Lost by John Milton– Conspiracy by ContraPoints– Cameron's travel notes– This Pleasing Anxious Being by Richard Wilbur– Elegy Written in a Country Churchyard by Thomas Gray– The Versecraft interview w/ James Matthew Wilson– The Death of Cicero by James Matthew Wilson (compare the first line to the first line of Leda and the Swan by W. B. Yeats)– The Master and Margarita by Mikhail Bulgakov– How to Blow Up a Pipeline by Andreas Malm– How to Blow Up a Pipeline (2022)– Bronze Age Mindset by Bronze Age Pervert– ContraPoints' comment on Gaza– Ready or Not (2019) & The Babysitter (2017) (same concept, same cosmology, same leading lady, both pretty entertaining)– The Chilling Adventures of Sabrina– Evil– Rod Dreher– La-bas by J.-K. Huysmans– Toni Morrison's 1993 Nobel Prize lecure– The Tower of Babel– Canceling by ContraPoints– We Lived Happily During the War by Ilya Kaminsky– Mitchell & Webb's Lucentio sketchFrequently mentioned names:– Joshua Mehigan– Shane McCrae– A. E. Stallings– Ryan Wilson– Morri Creech– Austin Allen– Jonathan Farmer– Zara Raab– Amit Majmudar– Ethan McGuire– Coleman Glenn– Chris Childers– Alexis Sears– JP Gritton– Alex Pepple– Ernie Hilbert– Joanna PearsonOther Ratbag Poetry Pods:Poetry Says by Alice AllanI Hate Matt Wall by Matt WallVersecraft by Elijah BlumovRatbag Poetics By David Jalal MotamedAlice: In Future PostsBrian: @BPlatzerCameron: Minor TiresiasMatthew: sleerickets [at] gmail [dot] comMusic by ETRNLArt by Daniel Alexander Smith

Willy Willy Harry Stee...
Gilles de Rais

Willy Willy Harry Stee...

Play Episode Listen Later Jun 26, 2025 69:50


In this episode, Charlie Higson digs into the dark world of a man sometimes called the first serial killer.Gilles de Rais was accused of, and eventually confessed to some awful, depraved crimes, and this was a man who was a companion in arms of Joan of Arc!At his trial, he was hanged for the murder of 140 children, both young men and women, killed for sexual pleasure and to help him in satanic rituals. So did he do it? There were confessions, many of which you can read even today, full of disturbing detail, but nevertheless, from nearly 600 years ago, still there for us to try and decipher. A far easier route however is to press 'play' on this podcast as Charlie and Matthew Lewis try and separate fact from hearsay. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Divas puslodes
Militārais konflikts Tuvajos Austrumos. Nerimst Izraēlas un Irānas savstarpējie triecieni

Divas puslodes

Play Episode Listen Later Jun 18, 2025 54:08


Militāro konfliktu Tuvajos Austrumos pārrunājam kopā ar ārpolitikas pētnieci Sintiju Broku un laikraksta "Diena" komentētāju Andi Sedlenieku, kā arī sazināmies ar Tuvo Austrumu politikas un kultūras pētnieku, zinātnes doktoru Imantu Frederiku Ozolu, kurš šobrīd papildina zināšanas Haifas universitātē. * Līdz nesenam laikam attiecību stāvoklis starp Izraēlu un Irānu tika raksturots kā konflikts, bieži lietojot arī angļu valodas terminu proxy war, kas dažādās valodās tiek tulkots kā „netiešais karš”, „starpnieku karš”, „pilnvarojuma karš, „ēnu karš” u. tml. – tātad, bruņots konflikts, kurā kāda valsts iesaistās netieši, sniedzot atbalstu kādai citai valstij vai bruņotai struktūrai. Irānai, kura pēc tapšanas par islāma teokrātiju pagājušā gadsimta astoņdesmitajos gados pasludināja Izraēlas iznīcināšanu par savas oficiālās ārpolitiskās doktrīnas sastāvdaļu, līdz šim izkaroja šādu „ēnu karu” pret ebreju valsti ar teroristisko organizāciju Hamas un Hezbollah rokām. Kopš 13. jūnija militārā konfrontācija starp Izraēlu un Irānu arvien biežāk tiek apzīmēta kā Irānas–Izraēlas karš. Zinot abu valstu ģeogrāfisko izvietojumu, ir pašsaprotami, ka šis karš tiek izcīnīts pamatā ar gaisa spēku līdzekļiem no vienas, un raķešu spēku līdzekļiem no otras puses. Ar līdzīgiem triecieniem abas valstis apmainījās arī pagājušā gada aprīlī un oktobrī, taču toreiz runa bija par vienreizējām akcijām. Tagad viss ir citādi. Izraēla nekad nav slēpusi, ka darīs visu nepieciešamo, lai nepieļautu, ka Irāna apgādājas ar kodolieročiem. Teherāna allaž uzstājusi, ka urāna bagātināšana tās teritorijā notiekot tikai un vienīgi enerģētikas attīstības nolūkos. Līdz šim šiem apgalvojumiem nav iebildis arī oficiālais starptautiskais uzraugs – Starptautiskā Atomenerģijas aģentūra. Taču tieši dienu pirms Izraēlas gaisa spēku triecieniem Irānas kadolprogrammas objektiem aģentūra paziņoja par noteikto ierobežojumu pārkāpšanu. Tajā pašā dienā beidzās termiņš, kuru Teherānai bija izziņojis Baltā nama saimnieks Donalds Tramps. 13. jūnija agrā rītā vairāk nekā divi simti Izraēlas Gaisa spēku iznīcinātāju deva triecienus apmēram simts mērķiem Irānā. Izraēlas slepenais dienests Mossad, darbojoties valsts iekšienē, izsita no ierindas lielāko daļu Irānas pretgaisa aizsardzības iekārtu. Pirmais trieciens bija vērsts pret mērķiem galvaspilsētā Teherānā un tās tuvumā, kā arī pret urāna bagātināšanas iekārtām Natanzas pilsētā. Ar precīza tēmējuma ieročiem tika mērķēts arī pa vairāku augsta ranga militārpersonu, militarizētās organizācijas Islāma revolūcijas sargu korpuss vadītāju un kodolprogrammas darbinieku dzīvesvietām. Vēlāk tai pašā dienā notika otrais uzlidojumu vilnis, izvēršot uzbrukuma ģeogrāfiju, kas ietvēra arī Fordo kodoldegvielas bagātināšanas rūpnīcu un kodoltehnoloģiju izpētes centru Isfahānā. Jau tās pašas dienas vakarā sekoja Irānas atbildes trieciens, izmantojot spārnotās un ballistiskās raķetes, kā arī lidrobotus. Turpmākajās dienās abas puses apmainījušās triecieniem. Kaut arī Izraēlas pretgaisa aizsardzība apliecinājusi savu efektivitāti, atsevišķas Irānas raķetes tomēr nonākušas līdz mērķim, t.sk. Telavivas un Haifas dzīvojamajiem rajoniem. Pēc Izraēlas varas iestāžu informācijas kopš 13. jūnija dzīvību zaudējuši 24 cilvēki, gandrīz seši simti guvuši ievainojumus. Savukārt Irānas puse ziņo par vairāk nekā divsimt bojāgājušajiem, tai skaitā atzīst, ka nogalināti vairāki austākā ranga militāristi. Starp viņiem ir Islāma revolūcijas sargu korpusa komandieris Hoseins Salami, bruņoto spēku štāba priekšnieks Mohammads Bageri, bruņoto spēku galvenā komandcentra priekšnieks Golams Ali Rašids un citi. Sagatavoja Eduards Liniņš.     

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 13 Juni 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 13, 2025 15:47


Balozi wa zamani wa Australia nchini Marekani, Arthur Sinodinos, amesema mkataba wa AUKUS unastahili kuwa kipaumbele kikuu katika mkutano kati ya Waziri Mkuu Anthony Albanese na Rais wa Marekani Donald Trump.

Habari za UN
10 JUNI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 10, 2025 10:50


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka katika ukanda wa Gaza, huko mashariki ya Kati kwenye eneo la Palestina lialokaliwa kimabavu na Israeli ambapo vinazidi kuibua changamoto mpya kila uchao.Changamoto ya uzazi duniani si kuhusu watu kukataa kuwa wazazi ni kuhusu kunyimwa fursa ya kuchagua kuwa mzazi imesema ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA iliyotolewa leo na kuonesha kuwa kuwa matatizo ya kiuchumi, ukosefu wa usawa wa kijinsia, na hofu kuhusu maisha ya baadaye vinawazuia mamilioni ya watu kupata familia wanazotamani.Tishio la baa la njaa linaendelea kuiandama Sudan iliyoharibiwa vibaya na vita, limeonya leo Shirika laUmoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP, likitoa wito wa dharura kwa jamii ya kimataifa kusaidia kukidhi mahitaji yanayoongezeka na kuzuia maafa zaidi ya kibinadamu.Kwa mara ya kwanza dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya Mazungumzo baina ya Ustaarabu tofauti yenye lengo la kuchagiza amani, maelewano na mshikamano katika ulimwengu wa sasa uliogubikwa na chuki na mizozo.Na katika mashinani fursa ni yake Maria “Mãezinha” Sábado de Horta Fidalgo, Rais wa Ushirika wa wavuvi wadogo wa samaki katika kijiji cha Rincão kilichoko kisiwa cha Santiano nchini Cabo Verde barani Afrika anaelezea jinsi wanakabiliana na uhaba wa samaki kwenye eneo lao, na hii ni kutokana na mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Malengo ya Maendeleo Endelevu, SDGs unaotekelezwa na mashirka ya Umoja wa Mataifa.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!

SBS Swahili - SBS Swahili
Zambia ya mpoteza Rais mstaafu Edgar Lungu

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 6, 2025 7:01


Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu amefariki akiwa na umri wa miaka 68.

Habari za UN
Raia kuhukumiwa katika mahakama za kijeshi, Türk amsihi Rais kukataa muswada - Uganda

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 23, 2025 1:52


Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa , Volker Türk, leo Ijumaa mjini Geneva, Uswisi kupitia msemaji wake ameelezea wasiwasi wake kuhusu kupitishwa kwa muswada uliopendekezwa na Bunge la Uganda unaoruhusu raia kuhukumiwa katika mahakama za kijeshi. Anold Kayanda ameifuatilia taarifa hiyo.

Habari za UN
19 MEI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 19, 2025 11:08


Hii leo jaridani tunaangazia masuala ya afya, na wakimbizi wa Syria wanaorejea nchini mwao. Makala tukwenda nchini Kenya kumulika ufukaji wa nyuki, na mashinani tunakuletea ujumbe wa Katibu Mkuu wa IMO kuhusu Siku ya Kimataifa ya wanawake mabaharia.Wajumbe kutoka kote duniani wamekusanyika mjini Geneva, Uswisi, kwa ajili ya Mkutano wa 78 wa Baraza la Afya Duniani (WHA78) unaofanyika kuanzia leo Mei 19 hadi 27 Mei mwaka huu.Tangu kuangushwa kwa utawala wa aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad aliyekuwa madarakani kwa zaidi ya muongo mmoja, wananchi wa Syria wamekuwa wakimiminika kurejea nchini mwao ambapo takwimu za sasa zinaonesha zaidi ya Wasyria 500,000 wamerejea kutoka nchi jirani. Mmoja wa waliorejea ni Babu Jassim na Leah Mushi anatuletea simulizi yake.Katika makala tunaelekea Kajiado nchini Kenya, ambako juhudi za utunzaji mazingira kupitia mradi wa ufugaji wa nyuki unaofadhiliwa na shirika la misaada la Marekani USAID kwa kushirikiana na idara ya misitu ya Kenya KFS hazichangii tu katika kukuza uchumi wa jamii, bali pia kulinda mazingira. Kupitia Makala hii iliyoandaliwa na Sharon Jebichii, Bwana Mureithi mmoja wa wanufaika wa mradi huo anaanza kwa kueleza mafanikio yao.Nakatika mashinani, fursa ni yake Arsenio Dominguez, Katibu Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Usafirishaji Majini, IMO akitoa ujumbe wa ujumuishaji na usawa wa kijinsia wakati wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya wanawake mabaharia ambayo huadhimishwa tarehe 18 mwezi Mei kila mwaka.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!

Habari za UN
Simulizi ya Babu Jassim anayerejea nchini Syria kutoka Lebanon

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 19, 2025 2:18


Tangu kuangushwa kwa utawala wa aliyekuwa Rais wa Syria Bashar al Assad aliyekuwa madarakani kwa zaidi ya muongo mmoja, wananchi wa Syria wamekuwa wakimiminika kurejea nchini mwao ambapo takwimu za sasa zinaonesha zaidi ya Wasyria 500,000 wamerejea kutoka nchi jirani. Mmoja wa waliorejea ni Babu Jassim na Leah Mushi anatuletea simulizi yake.

Habari za UN
08 MEI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 8, 2025 11:12


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa ambayo Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili alipata fursa ya kuzungumza na kiongozi wa kijamii kutoka Jamii ya wafugaji ya Wamaasai mkoani Morogoro nchini Mashariki mwa Tanzania Adam Kulet Ole Mwarabu.Wiki kumi baada ya kuanza kwa mzingiro kamili wa Israel dhidi ya wakazi wa Gaza, zaidi ya robo tatu ya kaya katika eneo la Palestina kuna uhaba mkubwa wa huduma ya maji, huku hali ya usafi ikizidi kuwa mbaya, yameonya leo mashirika ya misaada ya Umoja wa Mataifa huku wasiwasi ukiongezeka kuhusu athari za "uhaba huo wa maji kwa kuzingatia kuwa msimu wa joto unakaribia.”Ripoti kutoka Sudan zikidai kwamba juzi jumatano kulikuwa na jaribio la mashambulizi mapya ya ndege zisizo na rubani dhidi ya kitovu muhimu cha misaada nchini humo juzi, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kupitia tamko alilolitoa jana jioni kwa saa za New York, Marekani, ameongeza nguvu yake katika kutoa wito unaozidi kuwa wa muhimu kuhamasisha kuanzishwa kwa mazungumzo ya amani ya kweli.Kufuatia kuendelea kwa mvutano wa majirani, India na Pakistani, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Philemon Yang, ametoa wito wa kuzitaka nchi hizo mbili kuchukua tahadhari na kuepuka hatua zinazoweza kuongeza mzozo. Balozi Yang anasisitiza mazungumzo ya amani na kufuata sheria za kimataifa ndiyo njia pekee ya kusuluhisha migogoro.”Na katika jifunze Kiswahili leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "DALALI”Mwenyeji wako ni Leah Mushi, karibu!

História pros brother
Serial ki**** medieval

História pros brother

Play Episode Listen Later May 7, 2025 46:51


Gilles de Rais, foi um filho de pai rico que andava com a Joana d'Arc e curtia musical. TA ACABANDO GALERA!

SBS Swahili - SBS Swahili
Msamaha wa Rais Tshisekedi kwa wafungwa wafanya raia wa Rubero kuishi kwa wasiwasi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 7:23


Raia wanao ishi Butembo na miji ya karibu, wamesema wanaishi kwa hofu baada ya zaidi ya wafungwa 100 kuachiwa huru.

Eager To Know
John Rais - Metalsmith

Eager To Know

Play Episode Listen Later Apr 8, 2025 17:53


Metalsmithing and applied design with John Rais. Thank you, John, for speaking with us.  Be sure to explore his wonderful work at:   https://www.johnraisstudios.com

Bow and Blade
Q&A #12: How strong were gunpowder weapons in the Middle Ages?

Bow and Blade

Play Episode Listen Later Mar 31, 2025 62:29


In this episode, Michael Livingston and Kelly DeVries answer your questions, including: Which medieval sites should one visit in southern England and Wales? Was Gilles de Rais guilty of being a mass-murderer? How strong were gunpowder weapons in the Middle Ages?   You can support this podcast, and listen to it ad-free, by joining our Patreon - go to https://www.patreon.com/medievalists    

Oh...The Horror
Episode 207 - Gilles de Rais

Oh...The Horror

Play Episode Listen Later Mar 17, 2025 89:28


Jenn and Frank talk about the chilling true story of Gilles de Rais, the knight who fought alongside Joan of Arc—only to become one of history's most infamous killers.Hello Horror Fanatics! Welcome to Oh...The Horror! A weekly podcast for all things horror, supernatural, scary and downright creepy.We hope you give us a listen and add us to your regular rotation of podcasts.You can learn more about our podcast, connect to your favorite podcast platform, social media presence, and donations using the link below:https://linktr.ee/ohthehorrorpodcastPlease email any show ideas, comments and suggestions to oth@seriouslydecent.comProud to be listed in the Top 100 Horror Podcasts on Feedspot.

Khandaan- A Bollywood Podcast
Ep 264- Tridev - 80s Dhamaka Series

Khandaan- A Bollywood Podcast

Play Episode Listen Later Mar 13, 2025 75:58


Welcome to Khandaan: A Bollywood Podcast and the next movie in our 80s Dhamaka series is TRIDEV (1989). Directed and cowritten by Rajiv Rai, TRIDEV was a ginormous hit when it came out - enough for the Rais to repurpose it with Vishwatma a couple of years later. Starring Sunny Deol, Madhuri Dixit, Jackie Shroff, Sangeeta Bijlani, Naseeruddin Shah, Sonam, Amrish Puri and Anupam Kher among others, Tridev is still famous for its songs, composed by Kalyanji-Anandji although a case could be made that this was just an early Viju Shah soundtrack. This movie embodies the 80s vibe in a way that few others can pull off. The fashion, the songs, the villains, the homoerotic tension, there's a lot to get through this week. A big Shoutout to our friend Dj Shai Guy for the 80's Dhamaka Theme song. You can check out more of Shai's work here  

Entrepreneurs on Fire
Creating a Luxury Leadership Brand with Shaan Rais

Entrepreneurs on Fire

Play Episode Listen Later Dec 4, 2024 23:13


Shaan Rais is a Luxury Branding Consultant, helping CEO's, Business Owners and Entrepreneurs position themselves lucratively apart from their competition. His skillset is helping you differentiate and dominate in business. Top 3 Value Bombs 1. Price is a reflection of value and not market trends. 2. Those who pay the least want the most and those who pay the most want the least. The higher the price the more value the client and the less work is required from you so start at the top. 3. No one can be more than you, than you. The stronger your personal brand, the more you attract higher paying clients, higher paying opportunities and higher volume value partnerships. Take the Free Assessment to Reveal Your TRUE Brand Identity - Leadership Brand Assessment Sponsors HubSpot Breeze is HubSpot's collection of AI tools that helps you turn one piece of content into a whole suite of assets. Visit HubSpot.com/marketers to learn more Thrivetime Show Attend the world's highest rated business growth workshop taught personally by Clay Clark & featuring Robert Kiyosaki and Eric Trump at ThrivetimeShow.com/eofire Author100 A 100-day program where I will personally guide you 1-on-1 to create, write, publish and market your book! If you want daily guidance and mentorship from me, JLD, then head over to Author100.com to sign up for a free call to chat about the details