Podcast appearances and mentions of ali bilali

  • 9PODCASTS
  • 186EPISODES
  • 20mAVG DURATION
  • 1WEEKLY EPISODE
  • Jun 21, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026

Best podcasts about ali bilali

Latest podcast episodes about ali bilali

Changu Chako, Chako Changu
Changu chako: Tamaduni mbalimbali zilizopitwa na wakati juni 21 2026

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jun 21, 2026 20:01

Karibu katika Makala changu Chako Chako Changu, Makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea Makala kuhusu tamaduni mbalimbali ambazo zimepitwa na wakati katika makabila mbalimbali, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Dully Sikes kutoka nchini Tanzania. Mimi ni Ali Bilali, Binevenue ama Karibu.

Vous m'en direz des nouvelles
Gaya Jiji filme l'empreinte de l'exil sur l'intime dans «L'étrangère»

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Jun 17, 2026 48:29

Selma a fui la Syrie en laissant derrière elle un fils de 6 ans et un mari emprisonné dans les geôles du régime dont elle ne sait pas s'il est mort ou vivant. Elle arrive en France, à Bordeaux, clandestinement, sans papier, sans travail. Le film L'étrangère nous plonge dans l'intime d'une femme prise par les tourments du quotidien, du parcours des demandes de droit d'asile, et les incertitudes autour du destin de ses proches laissés en Syrie.   Gaya Jiji, réalisatrice, était l'invitée de Nathalie Amar sur RFI. Le film « L'étrangère » sortira en salle le 24 juin 2026.   ► Chronique : Le hit de la semaine  Ali Bilali de la rédaction kiswahili de RFI à Nairobi nous fait découvrir son coup de cœur musical avec l'artiste burundais Kidum.   ► Playlist du jour : - Bedouin Burger - Nomad - Sarab - Zourouni.

Vous m'en direz des nouvelles !

Changu Chako: Tamaduni mbalimbali za kiafrika na mlimbwende kutoka Kenya

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jun 14, 2026 20:05

Karibu katika Makala yetu ya leo changu chako chako changu, Makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Mimi ni Ali Bilali nakukaribisha karibu, ama Bienvenue. Kumbuka pia kunifuatilia  @billy bilali

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa kupenda kusafiri juni 7 2026

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jun 7, 2026 20:05

Makala haya yanazungumzia kuhusu utamaduni wa kupenda kusafiri kutoka katika eneo moja hadi lingine. Utamaduni huu unashuhudiwa tu kwa wenzetu wazungu. Ali Bilali amempokea influancer maharufu kutoka Afrika mashariki Casspyool ambae ametembelea nchi kadhaa duniani, na hapa anatueleza alichojifunza katika safari zake za Tanzania, Uganda na Rwanda. Kumbuka pia kumfollow mtangazaji wako  @billy bilalihttps://www.facebook.com/billy.bilali.9

Muziki Ijumaa
Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later May 22, 2026 10:02

Makala haya Muziki Ijumaa mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki Ijumaa leo Mei 22 2026. Kumbuka pia kumfollow  @billy bilali

pata makala kiswahili muziki ali bilali

Changu Chako Chako Chako Changu: fursa za kikao cha Ufaransa na Mataifa ya Afrika

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later May 10, 2026 20:06

Katika makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anaangazia utamaduni wa kujifunza lugha na furza za mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na Ufaransa, mkutano ambao hapo awali ulifahamika kama France Afrique. Kumbuka kunifollow @billybilali

kenya afrika sanaa katika france afrique mataifa ufaransa ali bilali
Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later May 8, 2026 10:00

Ijumaa Hii mtangazaji wako asiependa makuu anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa. ambatana naye mwanzo hadi tamati na usikose kumuandikia @billy bilali 

tanzania burundi wako muziki ali bilali

« Africa Fashion » : la mode africaine enfin à l'honneur à Paris

Vous m'en direz des nouvelles !

Play Episode Listen Later Apr 8, 2026 48:29

Après Londres, New York, Chicago, Melbourne et Montréal, l'exposition Africa Fashion vient d'ouvrir ses portes à Paris. Son inauguration au prestigieux Victoria and Albert Museum avait marqué les esprits car, pour la première fois, un grand musée ouvrait ses portes à la mode africaine, à son histoire, son savoir-faire et ses grands créateurs. À Paris, le musée du quai Branly est allé puiser dans ses riches collections pour offrir un parcours éblouissant de couleurs, de matière et de créativité. Hélène Joubert et Christine Barthe, commissaires de l'exposition « Africa Fashion », ainsi qu'Emmanuelle Courrèges, journaliste et autrice de Swinging Africa étaient les invitées de Nathalie Amar sur RFI.   ► Chronique : le hit de la semaine Ali Bilali, de la rédaction kiswahili de RFI, nous parlera de son coup de cœur musical de la semaine : « Miss the water » signé Otile Brown.   ► Playlist du jour – E. T. Mensah – Ghana Freedom. – Femi Kuti – Truth Don Die.

Changu Chako Chako Changu: Zanzibar yavunja rekodi ya utamaduni wa kufturisha

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Mar 12, 2026 20:01

Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali utamaduni, le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakupeleka huko Visiwani Zanzibar kuzungumzia utamaduni wa kufturisha ambapo JMarch 7 umati wa watu ulijitokeza kuhudhuria Iftar ilioandaliwa kwa mara ya kwanza kwenye ngazi ya Kitaifa. Tutahitimisha na Muziki kutoka visiwani Zanzibar. Ali Bilali ninakukaribisha karibu, ama bienvenue. Utamaduni wa kufturisha ni zoezi la kijamii na kidini katika Uislamu ambapo waumini wenye uwezo hutoa chakula na vinywaji kwa waliofunga (wengine) wakati wa kuvunja saumu (futari) katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Inalenga kuimarisha umoja, kusaidia wenye uhitaji, kueneza upendo, na kupata thawabu kwa kushirikiana na wengine.  Utamaduni huu hufanyika kila mwaka visiwani Zanzibar, kwenye ngazi mbalimbali, kijamii, kitaasisi, lakini mwaka huu imeandaliwa Iftar ya Kitaifa, kwa mujibu wa ofisi ya mtakwimu mkuu wa serikali Zanzibar watu 27345 kati yao wanaume ni elfu 18 771 sawa na asilimia 68.6 wanawake 8.574 sawa na asilimia 31.4 walijitokeza kwa ajili ya kufaanikisha, chini ya mgeni rasmi mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ambae pia ni rais wa Zanzibar.                                                                

historia zanzibar iftar makala karibu ramadhani muziki ali bilali
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu historia ya ngome ya Yesu Mombasa March 8

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Mar 8, 2026 19:31

Katika makala yetu ya leo Jumapili mtangazaji wako  Ali Bilali anatupeleka Mombasa Pwani ya Kenya kuskiliza historia ya Ngome Kongwe pamoja na ile ya ngome ya Yesu ama fort Jesus. Kumbuka pia kumfuatilia kwa kubonyeza @billy bilalihttps://www.facebook.com/billy.bilali.9

Changu Chako, Chako Changu
Changu chako chako changu siku ya mashujaa nchini DRC

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Mar 2, 2026 20:00

Makala haya mtangazaji wako Ali Bilali anakukumbusha historia ya mashujaa nchini DRC 

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu fursa ya kujifunza lugha za kigeni Feb 22 2026

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Feb 22, 2026 19:45

Karibu katika Makala haya Changu chako Chako Changu jumapili ya leo ambapo tumejikita zaidi katika swala la kujifunza lugha za kigeni kama Fursa. Nitakuletea pia mwanamuziki kutoka Mombasa Chikuzee, Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, nikukatibishe Karibu. Ama Bienvenue. 

Vous m'en direz des nouvelles
Les Européens : l'après-guerre dans l'œil d'Henri Cartier-Bresson

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Feb 11, 2026 48:29

De l'Irlande aux campagnes de l'ex-Union Soviétique, Henri Cartier-Bresson, surnommé « l'œil du siècle », a photographié l'Europe des années 1930. Vingt ans plus tard, il retrouve des pays meurtris mais en reconstruction. Son travail témoigne de l'histoire : sur les chantiers navals de Hambourg avec les paysans de Géorgie ou aux funérailles du roi George VI Henri Cartier-Bresson saisit l'époque à hauteur d'hommes en 114 clichés comme des tableaux de ce temps-là. Avec Clément Chéroux, directeur de la Fondation Henri Cartier-Bresson et commissaire de l'exposition « Les Européens » du 28 janvier au 3 mai 2026.    ► Chronique Le hit de la semaine :   Ali Bilali, de la rédaction kiswahili à Nairobi, nous parle de son coup de cœur musical du moment : José Chameleone.   ► Reportage : Solène Gardré est allée au théâtre voir « À condition d'avoir une table dans son jardin », de Gérard Watkins à la Comédie de Saint-Étienne.   ► Playlist du jour : - Yves Montand - Le gamin de Paris. - Nassi & Fally Ipupa – Matta.

Walt Disney et le pari de Blanche-Neige porté au théâtre avec «Walt, la folie Disney»

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Jan 14, 2026 47:25

Walt Disney a été le premier à réaliser un long-métrage d'animation en 1937: «Blanche-Neige et les 7 Nains». À l'époque, c'est un succès phénoménal et il a traversé les générations pour être encore regardé aujourd'hui par les enfants et les plus grands. Pourtant, à part Walt Disney, personne n'y croyait. Il a tenu bon face aux difficultés et face aux banques pour mener son projet à terme et son obstination a été amplement récompensée. «Walt, la folie Disney» raconte cette histoire au théâtre. (Rediffusion) Clément Vieu, comédien, Victoire Berger-Perrin, metteuse en scène, et Fanny Dupin, autrice, étaient les invités de Nathalie Amar. «Walt, la folie Disney» est disponible à découvrir au Théâtre du Lucernaire.    ► Chronique : Le hit de la semaine Ali Bilali nous parle de l'artiste tanzanien Mbosso avec le titre Nadekezwa.     ► Playlist du jour - Oxmo Puccino et Tuerie - Magique - Laufey - Snow White.

Le centenaire de l'Art déco célébré en expositions dans la capitale française

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Jan 7, 2026 48:30

De Madrid à New York, on apprécie l'élégance de bâtiments Art déco dans le paysage urbain, ce style architectural né à Paris dans les Années folles. Le mobilier, la joaillerie, l'art de la table ou la mode l'ont décliné à leur façon avec des lignes épurées et des formes dépouillées. Cent ans plus tard, le style Art déco fascine toujours autant et renvoie à l'imaginaire des traversées transatlantiques ou de l'Orient express. Anne Monnier Vanryb, commissaire de l'exposition « 1925-2025. Cent ans d'Art déco » et Bénédicte Mayer, commissaire de l'exposition étaient les invitées de Nathalie Amar sur RFI. L'exposition « 1925-2025. Cent ans d'Art déco » est à retrouver au Musée des Arts déco à Paris jusqu'au 26 avril. L'exposition « Paris 1925 : l'Art déco et ses architectes » est à retrouver à la Cité de l'architecture jusqu'au 29 mars.   ► Chronique - Le hit de la semaine Ali Bilali de la rédaction Kiswahili de RFI nous fait découvrir le titre « Pom Pom » de l'artiste rwandais Bruce Mélodie.   ► Reportage Marjorie Bertin est allée voir le spectacle « Bollywood Masala », dont elle nous donne un petit aperçu.   ► Playlist du jour - Lana Del Rey - Art Deco. - Yemi Alade - Shawa Shawa.

Baadhi ya watangazaji wa RFI Kiswahili watuma salamu za mwaka mpya 2026

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jan 4, 2026 19:53

Karibu katika Makala haya ya kwanza kabisa mwaka mwaka 2026, changu chako chako changu, nikutakie heri ya mwaka mpya. Kumbuka makala haya hukuletea historia ya mambo mbalimbali, utamaduni le parler francophone na Muziki, ambapo leo nakuletea pongezi za mwaka mpya kutoka kwa watangazaji wenzangu hapa RFI Kiswahili. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue, ama Karibu. 

makala kiswahili karibu mwaka muziki baadhi ali bilali
Changu Chako, Chako Changu
Kumbukumbu ya Makala za mwaka 2025 sehemu ya kwanza Desemba 14 2025

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Dec 14, 2025 20:06

Katika Makala haya mtagazaji wako Ali Bilali anakukumbusha baadhi ya makala zilizoruka hewani katika mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kwanza.

kwanza makala mwaka muziki sehemu desemba katika makala ali bilali
Changu Chako, Chako Changu
Utamaduni wa kulinda urithi na Uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika Nov 16 2025

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Dec 13, 2025 20:08

Jumapili nyingine kabisa tunakutana katika Makala haya Changu Chako Chako Changu, makala ambayo hukuletea Historia ya mambo mbalimbali, utamaduni la parler francophone na Muziki   Leo nakuletea utamaduni wa kulinda urithi na uhifadhi wa utamaduni wa kiafrika.  Kwenye Muziki tutahitimisha na burudani kutoka mwa msanii Aslay katika kibao chake alichoshirikiana na Nandy Mimi ni Ali Bilali bienvenue, ama Karibu. . 

historia sanaa makala karibu muziki aslay jumapili ali bilali
Vous m'en direz des nouvelles
Walt Disney et le pari de Blanche-Neige porté au théâtre avec «Walt, la folie Disney»

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Nov 26, 2025 48:29

Walt Disney a été le premier à réaliser un long-métrage d'animation en 1937: «Blanche-Neige et les 7 Nains». À l'époque, c'est un succès phénoménal et il a traversé les générations pour être encore regardé aujourd'hui par les enfants et les plus grands. Pourtant, à part Walt Disney, personne n'y croyait. Il a tenu bon face aux difficultés et face aux banques pour mener son projet à terme et son obstination a été amplement récompensée. «Walt, la folie Disney» raconte cette histoire au théâtre. Clément Vieu, comédien, Victoire Berger-Perrin, metteuse en scène, et Fanny Dupin, autrice, étaient les invités de Nathalie Amar. «Walt, la folie Disney» est disponible à découvrir au Théâtre du Lucernaire.    ► Chronique : Le hit de la semaine Ali Bilali nous parle de l'artiste tanzanien Mbosso avec le titre Nadekezwa.     ► Playlist du jour - Oxmo Pucciono et Tuerie - Magique. - Laufey - Snow White.

«Amazônia» explore les frontières entre art traditionnel et art contemporain

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Oct 29, 2025 48:29

L'Amazonie est un territoire immense que se partagent neuf pays d'Amérique du Sud. L'Europe y a attaché de nombreux clichés tenaces : un espace naturel comme hors du monde et du temps. Avec l'exposition «Amazônia» au musée du Quai Branly Jacques Chirac à Paris, on inverse le point de vue, on trouve des représentations actuelles de l'Amazonie par celles et ceux qui l'habitent : des photos, des peintures, des objets... On accède à un imaginaire riche et connecté à la modernité. Leandro Varison, co-commissaire de l'exposition «Amazônia», était l'invité de Nathalie Amar.   ► Chronique Le hit de la semaine : Ali Bilali, de la rédaction kiswahili de RFI, à Nairobi nous fait découvrir son coup de coeur du moment, le rwandais Element Eleée.   ► Reportage Justine Babin est allée au Caire pour nous faire voyager dans l'Égypte antique grâce au musée GEM, Great Egypt Museum, qui sera inauguré ce week-end.   ► Playlist du jour - Lucas Santtana et Gilberto Gil - A historia da nossa lingua. - Suraras do Tapajos - Segredos da Floresta. - Charlelie Couture - Aime moi encore.

Changu chako chako changu kuhusu siku kuu ya kimataifa ya ukalimani sehemu pili

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Oct 12, 2025 19:57

Karibu katika makala ya leo Jumapili Changu Chako Chako Changu ambapo leo nakuletea sehemu ya pili ya siku ya kimataifa ya ukalimani na tafsiri, na kwenye le parler francophone nitakujuwa kinachoendelea kwenye vituo vya Alliance Francaise za Ukanda na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Mace Ice. Mimi ni Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu, bienvenue ama Karibu.

historia pili sanaa karibu siku alliance francaise muziki sehemu kimataifa ali bilali
Vous m'en direz des nouvelles !
«Ce pays qui n'aimait pas l'amour» : un roman historique qui résonne avec l'actualité ukrainienne

Vous m'en direz des nouvelles !

Play Episode Listen Later Oct 1, 2025 48:29

«Ce pays qui n'aimait pas l'amour», signé Yaroslav Trofimov, est un premier roman porté par la plume d'un conteur né. Le récit débute dans l'Ukraine de 1930, quand Kharkiv est la capitale de la République Soviétique. Déborah y débarque avec les rêves et l'énergie de sa jeunesse. L'auteur nous fait découvrir une histoire mal connue de l'Ukraine : collectivisation des terres, famine, invasion nazie, mobilisation antisémitisme... Le récit fait écho à ce que l'Ukraine vit depuis l'invasion russe. Le journaliste et écrivain Yaroslav Trofimov était l'invité de Nathalie Amar.    ► Chronique Les librairies du monde Ali Bilali nous fait découvrir un artiste ougandais, Coco Finger, de son vrai nom Moses Okori.   ► Playlist du jour - Oxxxymiron - 23 fevralia - Dakha Brakha - Baby.

Vous m'en direz des nouvelles
«Ce pays qui n'aimait pas l'amour» : un roman historique qui raisonne avec l'actualité ukrainienne

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Oct 1, 2025 48:29

«Ce pays qui n'aimait pas l'amour», signé Yaroslav Trofimov, est un premier roman porté par la plume d'un conteur né. Le récit débute dans l'Ukraine de 1930, quand Kharkiv est la capitale de la République Soviétique. Déborah y débarque avec les rêves et l'énergie de sa jeunesse. L'auteur nous fait découvrir une histoire mal connue de l'Ukraine : collectivisation des terres, famine, invasion nazie, mobilisation antisémitisme... Le récit fait écho à ce que l'Ukraine vit depuis l'invasion russe. Le journaliste et écrivain Yaroslav Trofimov était l'invité de Nathalie Amar.    ► Chronique Les librairies du monde Ali Bilali nous fait découvrir un artiste ougandais, Coco Finger, de son vrai nom Moses Okori.   ► Playlist du jour - Oxxxymiron - 23 fevralia - Dakha Brakha - Baby.

Changu Chako, Chako Changu
Utamaduni wa miiko kutoka makabila mbalimbali barani Afrika

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Sep 21, 2025 19:50

Karibu katika makala yetu ya leo Jumapili Changu chako chako changu, makala ambayo hukuletea historia ya mambo mbalimbali utamaduni le parler francophone na Muziki. Leo nakuletea tamaduni na miiko kutoka makabila mbalimbali barani Afrika. Na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Otile Brown Kutoka chini Kenya. Mimi ni Ali Bilali, bienvenue ama Karibu.

kenya afrika karibu muziki ali bilali
Vous m'en direz des nouvelles !
Un système éducatif en crise sous la plume de Fatima Daas dans «Jouer le jeu»

Vous m'en direz des nouvelles !

Play Episode Listen Later Sep 10, 2025 48:29

Son premier roman La petite dernière l'avait propulsée dans la lumière à 25 ans à peine et, dans quelques semaines, on en verra une adaptation au cinéma réalisée par Hafsia Herzi. Fatima Daas y racontait l'histoire d'une jeune Française, née de parents algériens qui, à l'adolescence, se découvre lesbienne et doit à la fois composer avec elle-même, avec sa foi musulmane et le regard des autres. Dans Jouer le jeu, on retrouve son style direct, parlé, parfois très cru. Il y est aussi question d'identité, et d'identité sexuelle : de trouver sa vraie place dans la société et pas celle que les autres vous assignent. L'écrivaine Fatima Daas est l'invité de Sur le pont des arts. Jouer le jeu est paru aux éditions de L'Olivier le 22 août 2025.   ► Chronique Le Hit de la semaine Ali Bilali nous propose d'écouter un Bruce Melodie, une star au Rwanda qui a notamment enregistré avec Inoss B.   ► Playlist du jour Tupac – Unconditionnal love Tshegue – Moto Alois Savage –  Si on s'aime.

Vous m'en direz des nouvelles
Un système éducatif en crise sous la plume de Fatima Daas dans "Jouer le jeu"

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Sep 10, 2025 48:29

Son premier roman La petite dernière l'avait propulsée dans la lumière à 25 ans à peine et dans quelques semaines on en verra une adaptation au cinéma réalisé par Hafsia Herzi. Fatima Daas y racontait l'histoire d'une jeune française, née de parents algériens qui à l'adolescence se découvre lesbienne et doit à la fois composer avec elle-même, avec sa foi musulmane et le regard des autres. Dans Jouer le jeu on retrouve son style direct, parlé, parfois très cru. Il y est aussi question d'identité, et d'identité sexuelle : de trouver sa vraie place dans la société et pas celle que les autres vous assignent. L'écrivaine Fatima Daas est l'invité de Sur le pont des arts. Jouer le jeu est paru aux éditions de L'Olivier le 22 août.    ► Chronique Le Hit de la semaine  Ali Bilali nous propose d'écouter un Bruce Melodie, une star au Rwanda qui a notamment enregistré avec Inoss B.   ► Playlist du jour Tupac – Unconditionnal love Tshegue – Moto Alois Savage –  Si on s'aime

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu kuhusu kutoweka kwa sherehe za kitamaduni

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jul 26, 2025 20:01

Karibu katika Makala yetu ya leo Changu Chako Chako Changu, mtangazaji wako Ali Bilali anazungumzia  kuhusu kutoweka kwa sherehe za harusi za kitamaduni na ambazo zinazidi kuwa nadra katika mataifa mbalimbali hususan Afrika Mashariki, ambapo sasa baadhi wanaonya kuhusu upotevu wa taratibu za kitamaduni.

sanaa makala karibu afrika mashariki sherehe ali bilali
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya uundwaji wa kikosi cha uundwaji wa kulinda amani nchini DRC Monusco

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jul 21, 2025 19:31

Ali Bilali nashikilia usukani hapa kukuletea Makala Changu Chako Chako Changu, ambapo leo tunasafiri pamoja Jumapili ya leo hadi kule DRC kuzungumzia Historia ya uundwaji ya tume ya Umoja wa Mataifa nchini DRC na Kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Aslay kutoka nchini Tanzania, Karibu ama Bienvenue.

Changu Chako, Chako Changu
Maadhimisho ya miaka 15 ya RFI Kiswahili na siku ya Kimataifa ya Kiswahili

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jul 6, 2025 19:54

Ni jumapili nyingine tunakutana mimi na wewe mskilizaji katika makaka haya Changu Chako Chako Changu, ambayo leo ni maalum kabisa, kuhusu maadhimisho ya miaka 15 tangu kuanza kwa matangazo ya idhaa ya kiswahili ya radio France Internationale RFI. Julai 5 mwaka 2010 huko jijini Dar es salaam nchini Tanzania, tarehe ambayo inakwenda sambamba na maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya lugha ya Kiswahili duniani.  Mimi ni Ali Bilali. Bienvenue, ama Karibu

dar tanzania bienvenue sanaa kiswahili karibu siku julai muziki miaka kimataifa maadhimisho ali bilali
Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako maalum kuhusu historia ya siku ya muziki duniani Juni 22 2025

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jun 22, 2025 20:03

Karibu katika Makala yetu ya Leo Jumapili ambayo ni maalum kabisa kuhusu historia ya siku ya Muziki dunia ambayo huadhumishwa kila ifikapo Juni 21. Uko nami Ali Bilali mtangazaji wqko asiependa makuu Bienvenue ama Karibu.

Vous m'en direz des nouvelles
Exposition «Le mystère Cléopâtre»: qui était la dernière reine de la dynastie des Ptolémée?

Vous m'en direz des nouvelles

Play Episode Listen Later Jun 18, 2025 48:29

2 000 ans après sa disparition, on s'interroge encore et on se passionne surtout pour celle qui a pendant plus de 20 ans dirigé une Égypte déjà sous influence romaine. Entre le mythe forgé par la littérature, puis le cinéma, les légendes véhiculées par les sculptures, les peintures et le manque de sources fiables sur la période de son règne, pas facile d'appréhender la vraie Cléopâtre. Sa beauté était-elle vraiment si exceptionnelle ? S'est-elle vraiment donné la mort en se livrant à la morsure d'un cobra ? Elle a, en tout cas, incarné le pouvoir au féminin et bousculé l'ordre établi par les hommes.  Christian-Georges Schwentzel et Christiane Ziegler sont les invités de Sur le pont des arts. Le mystère Cléopâtre est à voir à l'Institut du monde arabe jusqu'au 11 janvier 2026. Au programme de l'émission : ►Rendez-vous Direction Kinshasa au Congo Music Expo, le rendez-vous festif, en prélude évidemment à la fête de la musique. Samedi soir, aura lieu un rendez-vous professionnel avec des rencontres entre artistes et producteurs. Son directeur Christ Kisendo nous présente cet évènement.   ►Hit de la semaine Ali Bilali, de la rédaction kiswahili de RFI à Nairobi, nous fait découvrir une artiste tanzanienne ultra-célèbre, Zuchu et son titre c'est Wana. ► Playlist du jour Nour – Wana Sana – Mtasubiri.

Historia ya muungano wa Tanganiyika na Zanzibar na msanii wa Burundi Tomson the Voice

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Apr 27, 2025 20:09

Karibu kuungana nami katika makala changu chako chako changu leo jumapili ambapo nakuletea Historia ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Kwenye le parler francophone nitakujuza ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise ya Nairobi, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki Thomson the voice kutoka nchini Burundi, mimi ni Ali Bilali, bienvenue ama Karibu.

Changu Chako, Chako Changu
Historia ya siku ya wanawake duniani machi 8 kila mwaka

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Mar 25, 2025 19:59

Katika Makala haya mtangazji wa ko Ali Bilali anakuletea Historia ya siku ya wanawake duniani ambayo husherehekewa kila ifikapo machi 8 ya kila mwaka

historia sanaa machi kila siku mwaka muziki wanawake katika makala ali bilali
Changu Chako, Chako Changu
Historia ya maisha ya Cassypool hadi kuwa Chawa wa marais

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Feb 11, 2025 19:59

Katika Makala haya, mtangazaji wako Ali Bilali anazungumza na Cassypool mwanamitandao na muhamasishaji kutoka nchini Kenya, ambae amejizolea umaharufu kupitia kile alichokiita tasnia ya uchawa, ambapo anaeleza kuwa chawa wa rais wa Kenya William Ruto na sasa ni chawa wa rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. Kumbuka pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali

kenya historia hadi marais sanaa maisha kuwa muziki kenya william ruto katika makala tanzania samia suluhu hassan ali bilali
Vous m'en direz des nouvelles !
Wax au musée de l'Homme, une exposition haute en couleurs !

Vous m'en direz des nouvelles !

Play Episode Listen Later Feb 5, 2025 48:30

C'est une aventure culturelle commerciale artistique et à certains égards aussi politique. L'aventure du wax, ce tissu aux imprimés multicolores, indéfectiblement lié à l'Afrique de l'Ouest et à l'Afrique centrale, devenu le vecteur de messages personnels, le marqueur d'événements historiques. Comment est-il né ? Comment s'est-il répandu sur le continent africain ?Comment aussi, imité mais jamais égalé, est-il entré dans l'univers de la mode en Europe ? Comment enfin les artistes photographes plasticiens se sont emparés du Wax ? Bref, vous l'avez compris, on parle du wax sous toutes ses coutures à l'occasion de l'exposition qui ouvre ses portes aujourd'hui au musée de l'Homme à Paris dans le cadre du parcours Migrations.   Avec- Marie Merlin, commissaire d'exposition, cheffe de projet et muséographe- Cindy Olohou, conseillère scientifique de l'exposition, historienne de l'art et critique d'art contemporain- Justine Sow, journaliste belge, autrice et dessinateur de Wax, paradoxe, aux éditions Bayard graphic'. Elles sont les invitées de Sur le pont des arts. L'exposition Wax se tient jusqu'au 7 septembre 2025 au musée de l'Homme à Paris.  Au programme de l'émission :Le hit de la semaine : Ali Bilali nous fait le tour de l'actualité musicale des pays de l'Afrique de l'Est en passant par la Tanzanie, le Burundi et le Rwanda.Playlist du jour- Nana Benz du Togo - Tite- Franco & le T.P OK - JazzMassu- Natu Camara - Cinko Mina.

Waskilizaji wa RFI kiswahili watakiana heri ya mwaka mpya kupitia Makala Changu Chako

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Jan 16, 2025 20:02

Katika Makala haya ya kwanza kabisa ya mwaka 2025, mtangazaji wako asiependa makuu Ali Bilali anakupa fursa ya kuwatakia heri ya mwaka mpya ndugu jamaa na marafiki.

sanaa makala heri kiswahili mwaka muziki katika makala ali bilali
Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili iliondaliwa na Ali Bilali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Dec 27, 2024 10:12

Ambatana na mshika usukani Ali Bilali katika Burudani ya Muziki Ijumaa RFI Kiswahili

kiswahili muziki ali bilali ambatana
Muziki Ijumaa
Sikiliza Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jul 22, 2023 9:59

Juma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.

tanzania juma muziki sikiliza ufaransa ali bilali
Muziki Ijumaa
Burundani ya Muziki juma hili na Ali Bilali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jun 9, 2023 10:00

Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali