Tanzania Embassy Beijing Podcast

Follow Tanzania Embassy Beijing Podcast
Share on
Copy link to clipboard

Welcome to the Tanzania Embassy Beijing Podcast! Headed by His Excellency Mbelwa Kairuki, Ambassador of United Republic of Tanzania in People’s Republic of China which is also accredited to Socialist Republic of Vietnam, the Democratic People’s Republic

Tanzania Embassy Beijing Podcast


    • Apr 3, 2023 LATEST EPISODE
    • infrequent NEW EPISODES
    • 10m AVG DURATION
    • 21 EPISODES


    Search for episodes from Tanzania Embassy Beijing Podcast with a specific topic:

    Latest episodes from Tanzania Embassy Beijing Podcast

    Taarifa Muhimu kwa Makampuni yanayouza Soybean katika soko la China

    Play Episode Listen Later Apr 3, 2023 3:53


    Taarifa Muhimu kwa Makampuni yanayouza Soybean katika soko la China

    Taarifa kwa Watanzania wanaoishi China kuhusu tahadhari dhidi ya maambukizi ya UVIKO19

    Play Episode Listen Later Dec 11, 2022 5:27


    Taarifa kwa Watanzania wanaoishi China kuhusu tahadhari wanazopaswa kuchukua dhidi ya maambukizi ya UVIKO19

    Taarifa kuhusu Bidhaa za Uvuvi kutoka Tanzania zinazohitajika kwa wingi katika soko la China

    Play Episode Listen Later Dec 5, 2022 10:08


    Taarifa kuhusu bidhaa za uvuvi (wild aquatic products) zinazohitajika kwa wingi katika soko la China na utaratibu wa kujisajili ili kuuza China kufuatia mkataba uliosainiwa wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan nchini China

    Taarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya Rais

    Play Episode Listen Later Oct 29, 2022 18:39


    Taarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan

    rais habari jamhuri ziara
    Ujumbe Maalum kwa Wanafunzi wanaojiandaa kwenda Masomoni nchini China

    Play Episode Listen Later Sep 16, 2022 9:21


    Ujumbe Maalum kwa wanafunzi watanzania wanaojiandaa kwenda Masomoni nchini China

    Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na China

    Play Episode Listen Later Sep 3, 2022 5:59


    Taarifa kwa Umma Kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Ushirikiano wa Uchumi kati ya Tanzania na Jimbo la Zhejiang la nchini China. o la Zhejiang (CCPIT- Zhejiang Sub Council) Ndugu Chen Zongyao jijini Hangzhou. Zhejiang ni mojawapo ya Majimbo ya China yenye nguvu kubwa ya kiuchumi ikiwa na GDP ya Dola za Kimarekani Bilioni 849 na GDP per capital ya Dola za Kimarekani 14,907. Kutokana na utajiri wa Jimbo hilo, zipo fursa nyingi za biashara na uwekezaji.

    Taarifa Maalum kwa Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma Vyuo vikuu vya China

    Play Episode Listen Later Aug 22, 2022 8:22


    Taarifa kwa Wanafunzi wa Tanzania wanaosoma katika Vyuo Vikuu nchini China

    Taarifa ya ufafanuzi kuhusu Usafiri wa kwenda China

    Play Episode Listen Later Jul 10, 2022 9:34


    Hivi karibuni Shirika letu la Ndege la Air Tanzania limetangaza kurejesha safari ya kwenda Guangzhou nchini China kuanzia tarehe 17 Julai 2022. Kufuatia tangazo hilo Ubalozi umepokea ujumbe kutoka kwa wananchi mbalimbali hususan wafanyabiashara wakitaka kujua kama hivi sasa China imefungua mipaka yake na kwamba watanzania wataweza sasa kuja China na Air Tanzania kwa ajili ya shughuli zao.

    Ujumbe kwa wafanyabiasha na Waagizaji wa bidhaa kutoka China

    Play Episode Listen Later Jun 26, 2022 12:35


    Ujumbe kwa wafanyabiashara na waagizaji wa bidhaa kutoka China

    Hotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Jukwaa la Imperial Springs International Forum

    Play Episode Listen Later Dec 7, 2021 7:14


    Balozi Kairuki aiomba Jumuiya ya kimataifa kushirikiana katika kulikabili janga la UVIKO19 badala ya kuyabagua mataifa ya Afrika yaliyoiwezesha dunia kufahamu aina mpya ya kirusi cha UVIKO19 (OMICRON). Rai ameitoa katika Mkutano wa Kimataifa wa Mwaka 2021 wa Imperial Springs uliofanyika jijini Guangzhou

    Taarifa muhimu kuhusu Ufadhili wa Masomo (Scholarships) China

    Play Episode Listen Later Oct 15, 2021 10:08


    Taarifa muhimu kuhusu Ufadhili wa Masomo (Scholarships) China na changamoto kwa wanafunzi

    Mwongozo wa utaratibu wa kuuza muhogo mkavu katika soko la China

    Play Episode Listen Later Oct 15, 2021 5:27


    Mwongozo wa utaratibu wa kuuza muhogo mkavu katika soko la China kwa Makampuni ya Tanzania yenye nia ya kuchangamkia fursa ya soko

    Mkutano wa Balozi na Watanzania wanaoishi na kufanya biashara nchini China

    Play Episode Listen Later Aug 8, 2021 34:51


    Hotuba ya Balozi Mbelwa Kairuki katika Mkutano na Watanzania wanaofanya Biashara na Kuishi nchini China uliofanyika tarehe 8 Agosti 2021

    china agosti biashara kuishi mkutano
    Ujumbe kuhusu fursa ya kuuza maharage ya soya

    Play Episode Listen Later Aug 2, 2021 6:23


    Ujumbe wa kuhamasisha kilimo cha Soybeans nchini Tanzania kwa ajili ya soko la China

    Ujumbe kwa Wafanyabiashara wa Madini

    Play Episode Listen Later Jul 26, 2021 6:19


    Taarifa kwa wadau wa Madini nchini kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Madini utakaofanyika jijini Tianjin tarehe 24 Oktoba 2021

    tianjin mkutano kimataifa oktoba
    Ubalozi wa Tanzania nchini China kuanzisha dawati la viwanda

    Play Episode Listen Later Jul 6, 2021 14:29


    Kwa kutambua uhitaji wa Msaada wa kununua Mashine na mitambo ya uzalishaji kwa ajili ya kuanzisha viwanda vidogo, vya kati na vikubwa- kuanzia tarehe 1 Septemba Ubalozi wa Tanzania Nchini China utaanzisha DAWATI LA VIWANDA. Dawati hilo litatoa huduma kwa watanzania watakaokuwa na nia ya kununua kutoka China mitambo ya kuzalisha bidhaa mbalimbali nchini.

    Ujumbe muhimu kwa wanafunzi wanaofadhiliwa na China Scholarship Council

    Play Episode Listen Later Jun 8, 2021 8:53


    Taarifa muhimu kwa Watanzania wanaosoma nchini China kwa ufadhili wa China Scholarship Council. Taarifa hiyo inatoa mrejesho kuhusu baadhi ya masuala ambayo wanafunzi waliyawasilisha katika Mkutano Mkuu wa Wanafunzi wanaosoma China uliofanyika tarehe 22 Mei 2021

    Ujumbe kwa wafanyabiashara wanaotaka kuuza bidhaa nje ya nchi

    Play Episode Listen Later May 27, 2021 7:06


    Mara nyingi Ubalozi unapotangaza fursa mpya ya soko- swali linaloulizwa na watu wengi ambao wanafikiria kuchangamkia fursa hiyo ni  "wananunua kwa bei gani au offer yao ni kiasi gani". Ni vizuri kuwa na ufahamu wa jumla kuhusu mwenendo wa bei ya soko la dunia la bidhaa hiyo. Hata hivyo ni muhimu zaidi kwa anayetaka kuuza bidhaa - awe ndio mtoa bei kwani mwenye mali ndio anajua gharama aliyoingia kuipata mali yake na ili asipate hasara anatakiwa kuuza kwa bei gani.Hivyo, unapojipanga kuuza bidhaa nje- ni muhumu ukajua bei itakayokupa faida ni ipi.

    hata nchi
    Fursa kwa wauzaji wa kahawa kutangaza bidhaa zao katika soko la China

    Play Episode Listen Later May 6, 2021 5:14


    Taarifa ya kwa Umma kuhusu hafla ya kuonja kahawa ya Tanzania "Coffee Cupping" itakayofanyika jijini Changsha tarehe 14-18 Juni 2021. Hafla hiyo itakayohudhuriwa na Makampuni yanayonunua kahawa katika soko la China itawezesha wauzaji wa kahawa ya Tanzania kutangaza bidhaa yao katika soko la China

    Taarifa Muhimu kwa Watanzania Wanaosoma Vyuo Vikuu vya China

    Play Episode Listen Later May 1, 2021 16:38


    Taarifa kwa umma inayohusu watanzania wanaosoma vyuo vikuu vya China ambao hivi sasa wapo Nje ya China kutokana na kufungwa mipaka ya China

    china nje
    Mambo ya kuzingatia katika kufanya biashara China

    Play Episode Listen Later Apr 25, 2021 11:51


    Watanzania wengi hununua bidhaa mbalimbali nchini China kwa madhumuni ya bishara na matumizi binafsi. Baadhi yao wamekumbwa na kadhia ya kuibiwa au kutapeliwa na wafanyabiashara wa kichina. Ujumbe huu unatoa ushauri wa mambo ya kuzingatia ili kuepuka kadhia inayoweza kutokea

    china mambo katika biashara baadhi

    Claim Tanzania Embassy Beijing Podcast

    In order to claim this podcast we'll send an email to with a verification link. Simply click the link and you will be able to edit tags, request a refresh, and other features to take control of your podcast page!

    Claim Cancel