Podcasts about baadhi

  • 35PODCASTS
  • 152EPISODES
  • 20mAVG DURATION
  • 1EPISODE EVERY OTHER WEEK
  • May 14, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about baadhi

Latest podcast episodes about baadhi

SBS Swahili - SBS Swahili
Jeremiah "wahafidhina wanastahili acha kutumia Biblia kutafuta kura zetu"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 14, 2025 7:10


Baadhi ya wanachama wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi Melbourne, Victoria wame kuwa waki kabiliana na wakati mgumu katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa jimbo na shirikisho.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Mbolea asilia: Suluhisho kwa uharibifu wa udongo na changamoto za kilimo Kenya

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 10:00


Baadhi ya wakulima nchini Kenya wameanza kugeukia matumizi ya mbolea asilia inayonyunyiziwa ardhini ili kunusuru mashamba yao.

Siha Njema
Changamoto zinazowakumba watalaam wanaojikita kwenye tiba asilia nchini DRC

Siha Njema

Play Episode Listen Later Apr 8, 2025 10:00


Baadhi ya changamoto zinazokumba sekta ya tiba asilia ni mwitiko na  ukosefu wa sheria za kuisimamia katika  nchi mbali mbali

Habari za UN
Hali ya usalama ikidorora DRC, hofu sasa ni mustakabali wa watetezi wa haki za binadamu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 5, 2025 1:57


Hali ya kibinadamu ikiendelea kuzorota mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mtaalamu Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na hali ya watetezi wa haki za binadamu, Mary Lawlor leo ametoa wito wa msaada wa dharura na wa vitendo kwa watetezi wa haki za binadamu katika eneo hilo. Anold Kayanda na taarifa zaidi. (Taarifa ya Anold Kayanda)Mary Lawlor akizungumza leo jijini Geneva-Uswisi amesema, "watetezi wa haki za binadamu mashariki mwa DRC wako hatarini sana kulengwa na kulipiziwa kisasi kwa kazi yao ya kutetea haki za binadamu. Wanahitaji msaada sasa, ikiwa ni pamoja na usaidizi wa kuhamishwa kwa muda pamoja na familia zao.”Kundi la waasi la M23, limeendelea kusonga mbele katika eneo hilo la mashariki mwa DRC tangu lilipoanza mashambulizi yake mapema mwaka huu, na wale waliorekodi na kufichua ukiukwaji wa haki zao wamekuwa wakilengwa moja kwa moja, amesisitiza Bi. Lawlor."Katika wiki za hivi karibuni nimepokea taarifa nyingi za tahadhari zinazohitaji msaada na nimezungumza moja kwa moja na watetezi walioko mashinani," amesema Lawlor na kuongeza kuwa watu hao wanaishi kwa hofu na hatari ni halisi na kwama hivi karibuni, mtetezi mmoja alimpa taarifa kuwa waasi wa M23 wameandaa orodha ya watetezi wa haki za binadamu watakaokamatwa katika maeneo waliyoyadhibiti.Mtaalamu huyo  amesema amepokea ripoti za kuaminika za watetezi wa haki za binadamu kushikiliwa bila mawasiliano, kutoweshwa kwa nguvu, na kuteswa huko Rutshuru na Masisi, Kivu Kaskazini, huku takribani watetezi sita wa haki za binadamu wakiripotiwa kutoweka baada ya kujaribu kutoroka Goma baada ya jiji hilo kuchukuliwa na M23."Baadhi ya watetezi wa haki za binadamu hawakuwa na chaguo jingine ila kukimbia makazi yao. Wale wanaofanikisha kufika katika miji mingine wanakosa rasilimali za kupata malazi au kukidhi mahitaji yao ya kila siku," amesema na kwamba, "wengine wamebaki katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi lakini wana hofu kubwa kuhusu usalama wao. Mtetezi mmoja alimuuliza jinsi wanavyoweza kuendelea kujificha huku M23 ikianza kufanya ukaguzi huko Goma.Tangu magereza yalipovunjwa  huko Goma, Kalehe, Bukavu, na Uvira, maelfu ya wafungwa, wakiwemo wahalifu wakatili na viongozi wa makundi yenye silaha waliohukumiwa kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofikia uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu, walitoroka na kuingia mitaani. Baadhi yao wanawatishia watetezi wa haki za binadamu waliotoa msaada wa matibabu, kisaikolojia na msaada wa kisheria kwa waathiriwa na mashahidi waliotoa ushahidi wakati wa kesi hizo. Na wakati huo huo watetezi wa haki za binadamu wakikabiliwa na vitisho na hofu ya kulipiziwa kisasi, waathiriwa hawana wa kuwategemea, ameeleza mtaalamu huyo.Katika mazingira ambayo tayari ni magumu kwa watetezi wa haki za binadamu, Mtaalamu huyo maalumu wa Umoja wa Mataifa anasisitiza hatari kubwa ya ukatili wa kingono inayowakabili watetezi wa haki wa kike."Tunajua kuwa ukatili wa kingono unaohusiana na migogoro mashariki mwa DRC ni wa kiwango cha juu, na kwamba wanawake wanaopinga ukiukwaji wa haki za binadamu katika muktadha huu, na wanaojitokeza kwa kazi yao, mara nyingi ndio wanaoathirika zaidi," Lawlor amesema akiongeza kuwa ni jambo la kusikitisha kufikiria kwamba miaka 25 tangu kupitishwa kwa azimio la kihistoria la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu wanawake, amani na usalama, matukio haya yanatokea mbele ya ulimwengu unaoonekana kutokuwa na msimamo thabiti.Mtaalamu huyo pia ameelekeza umakini kwa hatari wanazokabiliana nazo watetezi wa haki za binadamu katika maeneo ya vijijini na yaliyojitenga, ikiwa ni pamoja na mauaji, kutoweshwa kwa nguvu, na utekaji nyara, na akaangazia athari za kisaikolojia zinazowakumba wale walioko mashinani."Watetezi tayari walikuwa wakikabiliwa na vitisho katika eneo hilo – kutoka kwa serikali na makundi yenye silaha  lakini kama alivyonieleza mtetezi mmoja wa haki za binadamu wa…

Habari za UN
Napenda sana maabara na imenihamasisha kusoma sayansi - Zamzam

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 3, 2025 2:34


Nchini Kenya, shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) na wadau wengine wanafanikisha mpango wa kuhamasisha wasichana kuingia katika masomo ya STEM yaani Sayansi, Teknolojia, Uhandisi na Hisabati. Baadhi ya wasichana wakimbizi katika kambi ya Dadaab nchini Kenya ni wanufaika wa mpango huu. Sharon Jebiichi na maelezo zaidi.Zamzam Hussein,aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Hagadera. Ni mkimbizi mwenye asili ya Somalia na sasa anaishi katika kambi ya wakimbizi ya Daadab nchini Kenya akiwa na ndoto ya kuwa daktari. Kupitia mpango huu ambao ni sehemu ya programu ya PROSPECTS ambao ni ushirikiano wa kimataifa unaojumuisha mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa ukilenga kuboresha upatikanaji wa elimu, ulinzi wa jamii, na ajira yenye hadhi kwa jamii zinazowakaribisha wakimbizi na watu waliolazimika kuhama makazi yao Zamzam Hussein ameweza kukumbatia sayansi.“Nilikuwa mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Hagadera na nikamaliza elimu yangu mwaka wa 2024. Nilijiunga na shule hiyo Agosti 2021. Nilichopenda zaidi nikiwa shuleni ni maktaba, maabara ya sayansi na maabara ya kompyuta. Napenda kuwashauri wasichana wadogo wanaosoma shuleni  na walio wakimbizi wafanye kazi kwa bidii bila kujali changamoto wanazokabiliana nazo. Watatimiza ndoto zao na waweze kufanikiwa katika siku za usoni. Nataka kuwa daktari kwa sababu nilipokuwa shule ya upili nilijifunza mambo mengi kuhusiana na matibabu. Ningependa kuwashukuru wafadhili wetu kwa sababu bila wao nisingekuwa hapa.”Mpango huu wa STEM umetoa msaada wa rasilimali kama vile kuajiri walimu zaidi wa sayansi, kutoa mafunzo kwa walimu, kutoa vifaa vya sayansi kwa ajili ya maabara ya shule na kuanzisha programu ya maabara ya mtandaoni (virtual lab) ambapo wanafunzi wanaweza kufanya majaribio ya sayansi  kwenye mtandao wa intaneti. Kupitia video iliyorekodiwa na UNICEF, Patrick Njogu, Mwalimu Mkuu wa shule  ya Sekondari ya Hagadera anasema,“Nimemfundisha Zamzam na wasichana wengine ili waweze kutimiza ndoto na malengo yao. Wasichana wamekuwa wakikabiliana na changamoto kama vile ndoa za mapema. UNICEF imekuwa ya manufaa zaidi kwao. Kwa sasa walimu wawili zaidi wa sayansi  wameajiriwa. Mbali na hayo imekuwa ikiendesha mafunzo ya walimu, imetoa vifaa vya sayansi kwa ajili ya maabara ya shule na kuanzisha  programu ya maabara ya mtandaoni (virtual lab). Programu hii ya mtandao (virtual lab) imetengeneza  uhusiano nzuri wa wanafunzi katika masomo ya sayansi.” 

Habari za UN
Jifunze Kiswahili: Upatanisho wa kisarufi wa baadhi ya maneno

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 20, 2025 0:52


Katika kujifunza lugha ya Kiswahili Mlumbi wa Lugha Joramu Nkumbi kutoka Tanzania anafafanua upatanisho wa kisarufi wa baadhi ya maneno kama vile "Ng'ombe kumi na minane ", vikombe viwili na mengineyo ambayo watu hutamka vibaya katika sentensi, mfano "Ng'ombe kumi na nane"

SBS Swahili - SBS Swahili
Ongezeko ya gharama ya shule yalazimisha baadhi ya familia kufanya maamuzi magumu

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 4, 2025 9:09


Mwaka wa shule wa 2025 uli anza Jummanne 28 Januari katika majimbo ya Queensland na Kusini Australia, wanafunzi wa shule za msingi na upili walirejea shuleni Jumatano 29 Januari katika jimbo la Victoria na Wilaya ya Kaskazini.

VOA Express - Voice of America
Mmoja wa wazazi huko Tanzania anatoa maoni yake kufuatia tabia ya baadhi ya wazazi kuwaacha watoto peke yao majumbani au maeneo ya michezo. - Desemba 26, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 26, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

VOA Express - Voice of America
Baadhi ya vijana nchini Kenya wanatoa maoni na matarajio yao yanayohusu uongozi kwa Naibu Rais mpya Kithure Kindiki. - Novemba 01, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 1, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Siha Njema
Juhudi za kikanda kukabiliana na tatizo la kiafya la kungatwa na nyoka

Siha Njema

Play Episode Listen Later Oct 29, 2024 8:25


Kumekuwa na mikakati maksudi katika nchi za Afrika kuwekeza katika utafiti kuhusu nyoka  na matibabu ya simu yake  Baadhi ya mikakati hiyo ni utafiti wa kuwa na aina moja ya dawa ambayo inaweza kutumika katika nchi za Afrika Mashariki vile vile kuelimisha jamii kuhusu huduma za kwanza sahihi kuwasaidia wagonjwa na namna ya kuzuia madhara zaidi kutokana na sumu ya nyoka.

Habari za UN
UNICEF yatoa mafunzo ya kutengeneza sodo kwa kijana mkimbizi wa dani nchini Sudan

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 14, 2024 2:20


Sodo au taulo za kike, vile vile pedi,  ni muhimu kwa wanawake na  wasichana, lakini wengi hawawezi kuzipata wakati wa vita na ukimbizi. Leo tunakutana na Samer, mvulana huyu ambaye akiwa na umri wa miaka 16 tu, kwa msaada wa klabu ya  usafi ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF, anatengeneza na kusambaza sodo kwa wanawake na wasichana katika maeneo ya wakimbizi wa ndani jimboni Atbara, nchini Sudan. Msaada wa kifedha kutoka  Mfuko wa dharura wa Umoja wa Mataifa CERF, vilabu vya usafi vya UNICEF, na Shirika la Marekani la misaada ya maendeleo USAID,  vijana wakimbizi wa ndani wanawezeshwa kupata suluhisho kwa changamoto za usafi wanazokutana nazo, wakati wa vita na ukimbizi. Mmoja wa vijana hawa wakimbizi ni Samer mvulana mwenye umri wa miaka 16, ambaye amefundishwa kutengeneza sodo na sasa, anazisambaza bure kwa wanawake na wasichana wakimbizi wa ndani katika jimbo la Atbara, nchini Sudan.Nikataka kujua jinsi Samer anatengeneza sodo hizo…"Nashona kati ya vipande kumi na tano hadi ishirini kwa siku. Kwanza, nakata sponji au sifongo, kisha naweka ndani ya kitambaa. Naishona na kuongeza kifungo ili kuifunga vizuri."Kwa nini Samer, katika umri wa miaka 16, anatengeneza sodo"Hiki ndicho wasichana na akina mama wanachohitaji zaidi wakati wa ukimbizi, lakini hakipatikani. Ikiwa hawatumii sodo, huenda wasiweze kusafiri au kutembea kwa uhuru. Kwa hiyo, nazitengeneza na kuwapatia bure kwa ajili yao kutumia. Kwa sababu ya vita, watu hawana pesa za kununua pedi, kwa hiyo nazitengeneza na kuzisambaza. Sodo hizi zinaweza kufuliwa na kutumika tena. Pedi nyingi ni   hutumiwa mara moja tu, na watu wanalazimika kununua mpya kila wakati."Je nini kilimpa Samer hamasa ya kutengeneza sodo, na anajisikia vipi anapoifanya kazi hii?"Nilipojiunga na warsha ya UNICEF, nilianza kusaidia familia yangu kwa kuwatengenezea sodo. Napokea vifaa kutoka  kiwanda cha UNICEF. Nilipoanza kutengeneza sodo, nilihisi furaha kujua kuwa kuna watu wanaozihitaji. Baadhi yao, hawana pesa na wanakabiliwa na changamoto. Sijihisi aibu kwa kile ninachofanya, kwa sababu kutimiza mahitaji ya watu ni muhimu zaidi kuliko kitu kingine chochote."

Alfajiri - Voice of America
Baadhi ya wakazi wa Rwanda walalamikia gharama kubwa kwenye mchakato mzima wa mazishi. - Oktoba 08, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 8, 2024 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Kwa Undani - Voice of America
Wanahabari wazungumzia baadhi ya masuala muhimu yaliyojiri wiki hii - Oktoba 04, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 4, 2024 29:59


Wanahabari wazungumzia baadhi ya masuala muhimu yaliyojiri wiki hii

Kwa Undani - Voice of America
Wanahabari wazungumzia baadhi ya masuala muhimu yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York wiki hii. - Septemba 27, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 27, 2024 30:00


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

VOA Express - Voice of America
Ulaghai wa kidijitali unazidi kuongezeka katika baadhi ya mataifa ya Afrika, ukitoka ndani ya nchi husika na kuwa wa kimataifa. - Septemba 19, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 19, 2024 29:58


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Alfajiri - Voice of America
Wachambuzi wa siasa Tanzania waitaka serikali kuanzisha uchunguzi huru juu ya mauaji ya baadhi ya wanasiasa wa upinzani - Septemba 18, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 18, 2024 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Habari za UN
JIFUNZE KISWAHILI: TAFSIRI YA NENO LINK

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 30, 2024 0:58


Maendeleo ya teknolojia hasa kwenye mitandao ya kijamii yamesababisha kushamiri kwa matumizi ya neno la kiingereza link. Baadhi  ya watu wanalitohoa lakini Idhaa ya  Umoja wa Mataifa imemuuliza Mhadhiri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa Tanzania, BAKITA ni nini tafsiri sahihi ya neno link kwa lugha ya kiswahili.

Jioni - Voice of America
Mgomo wa waalimu Kenya bado unaendelea huku baadhi ya wazazi wakiomba serikali kutafuta ufumbuzi wa tatizo hilo. - Agosti 30, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 30, 2024 59:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

VOA Express - Voice of America
Baadhi ya wanafunzi nchini kenya wanaelezea namna mgomo wa waalimu nchini humo ulivyowaathiri kitaaluma. - Agosti 29, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 29, 2024 30:00


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako Chako Changu: Utamaduni wa mahari kwa baadhi ya makabila brani Afrika

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Aug 26, 2024 19:47


Makala haya yanaangazia kuhusu gharama ya sherehe za harusi katika karne hii, hususan ukusanyaji wa michango kwa ajili ya kufanaikisha sherehe.

VOA Express - Voice of America
Baadhi ya vijana nchini Kenya wanaandamana tena mtaani wakipinga utawala wa Rais William Ruto. - Agosti 08, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 8, 2024 30:00


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Habari RFI-Ki
Serikali ya DRC, imetangaza kuanza kuwaachia baadhi ya wafungwa kutoka katika jela zake

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 29, 2024 10:00


Habari RFI-Ki
Serikali ya DRC, imetangaza kuanza kuwaachia baadhi ya wafungwa kutoka katika jela zake

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 29, 2024 10:00


VOA Express - Voice of America
Baadhi ya michezo ya Olimpiki yaanza Ufaransa hata kabla ya tarehe rasmi ya ufunguzi mwishoni mwa wiki. - Julai 24, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 24, 2024 30:00


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

Jioni - Voice of America
Wakazi na baadhi ya viongozi wa kisiasa wa DRC waomba serikali kuongeza juhudi za kurejesha amani mashariki mwa nchi. - Julai 22, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 22, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 25 Juni 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 25, 2024 19:58


Baadhi ya wabunge huru wanataka makaazi yawekwe kuwa haki ya msingi ya binadamu nchini Australia.

VOA Express - Voice of America
Athari za utumizi mbaya wa mitandao ya kijamii miongoni mwa baadhi ya vijana kwenye maisha yao, na vizazi vya baadaye. - Juni 25, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 25, 2024 29:57


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

VOA Express - Voice of America
Siku ya Kimataifa ya kukuza Uelewa kuhusu Albino yaadhimishwa, baadhi ya washika dau wakisema kuna hatua nyingi zilizobaki kuchukuliwa. - Juni 13, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 13, 2024 29:59


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

VOA Express - Voice of America
Mchakato wa kuwaajiri wanajeshi waanza Uganda huku kukiwa na malalamiko ya dosari katika baadhi ya maeneo - Mei 21, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later May 21, 2024 29:59


Mchakato wa kuwaajiri wanajeshi waanza Uganda huku kukiwa na malalamiko ya dosari katika baadhi ya maeneo

Alfajiri - Voice of America
Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi - Mei 03, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later May 3, 2024 30:00


Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi

Alfajiri - Voice of America
Maswali yaendelea kuulizwa miaka 30 baada ya mauaji ya kimbari kufanyika Rwanda - Aprili 08, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 8, 2024 29:59


Baadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.

Alfajiri - Voice of America
Baadhi ya wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waanza kuondoka Haiti huku hali ya sintofahamu ikitanda - Machi 15, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 15, 2024 29:59


Umoja wa Mataifa umeanza kuwaondowa wafanyakazi wake wasio na majukumu muhimu nchini Haiti kutokana na kuongezeka kwa ghasia na ukosefu wa usalama katika taifa hilo la Caribean.

Jioni - Voice of America
Mafuriko yanayoendelea katika baadhi ya maeneo ya Afrika mashariki yamesababisha vifo na uharibifu wa mali huku uchumi ukidhoofika - Februari 02, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 2, 2024 59:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Jioni - Voice of America
Kura za baadhi ya wagombea ubunge na madiwani zafutwa na tume ya Uchaguzi ya DRC, kutokana na madai ya udanganyifu. - Januari 06, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 6, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Jioni - Voice of America
Mjadala wa Live Talk kuhusiana na mikopo ya kimataifa ambayo imeelemea baadhi ya mataifa ya kiafrika. - Januari 05, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 5, 2024 59:57


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 18, 2023 7:04


Baadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki tropiki Jasper inasababisha mafuriko katika kanda hiyo.

Jioni - Voice of America
Uganda imelaani uwamuzi wa Marekani kuongeza marufuku ya usafiri dhidi ya baadhi ya maafisa wa wanaochukuliwa wanahujumu demokrasia - Desemba 06, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 6, 2023 30:00


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Ongezeko za kodi zawafungia baadhi yawapangaji nje ya soko la nyumba za upangaji

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 31, 2023 8:02


Wapangaji kote nchini wana onywa kuhusu hali ngumu inayo kuja, wakati utoaji mdogo wa nyumba unaongeza hela za kodi.

Alfajiri - Voice of America
Baadhi ya viongozi wa Afrika waendelea kutoa wito wa kusitishwa uhasama kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas, ili kuokoa maisha ya raia. - Oktoba 10, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 10, 2023 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Baadhi ya wahamiaji wafunguka kuhusu kura ya The Voice

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 5, 2023 5:06


SBS ina tambua kuwa maoni yanayo wasilishwa katika makala haya, haya wakilishi maoni ya jumuiya pana na si uwakilishi wa takwimu ya umma wa Australia. Kura ya maoni ya The Voice itafanywa Jumamosi 14 Oktoba 2023. Siku hiyo, wapiga kura wata ombwa kupiga kura ya ‘ndio' au ‘la' kwa swali moja pekee.

Habari za UN
Tunataka kuwafikia waathirika wote wa tetemeko la ardhi licha ukosefu wa usalama katika baadhi ya maeneo: WFP Syria

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 10, 2023 0:02


Mashirika ya Umoja wa Mataifa yanaendelea kupeleka na kusambaza misaada nchini Uturuki au Türkiye na Syria ili kusaidia walioathiriwa na matetemeko makubwa ya ardhi yaliyotokea Jumatatu wiki hii na kujeruhi, kuua maelfu na kuharibu miundombinu. Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) lina lengo la kuwafikia watu nusu milioni katika nchi zote mbili ijapokuwa kuna changamoto za kiusalama katika baadhi ya maeneo.Si Jindires, si Allepo, kote ni milio ya magari ya wagonjwa, majengo yameporoka, ni magofu, vilio, buludoza, harakati za uokozi na juhudi za kusambaza misaada zikiendelea.  WFP inasema kufikia mwishoni mwa wiki hii itakuwa imewapa wadau wake chakula cha kutosha wiki nzima kwa watu 125,000. Hali hii ya matetemeko imeikuta WFP tayari ikiwa na mzigo wa kuwahudumia  watu milioni 1.4 kila mwezi Kaskazini Magharibi mwa Syria pekee. Kenny Crossley, ni Mkurugenzi wa WFP nchini Syria, akiwa katika mji mkuu wa Syria, Damascus anasema,  "Siku chache zilizopita, tetemeko la ardhi la kutisha lilitokea hapa nchini Syria na Uturuki. Mamia pengine maelfu ya waliokufa, maelfu kujeruhiwa, makumi, pengine maelfu ya watu waliokimbia makazi yao, kupoteza makazi yao, watu hawawezi kurejea katika maeneo ambayo huwa wanalala, sasa wanalala mitaani wakijibana kwenye vibanda. Kwa WFP bila shaka, kwetu ni muhimu, kwamba watu lazima wale. Saa chache tu baada ya tetemeko la ardhi, tulikuwa tukifanya kazi na wadau wetu wa eneo hilo watu walikuwa wakila chakula cha moto katika makazi ya muda waliyokuwa wakiishi.” Pamoja na juhudi za WFP, shirika hilo la Umoja wa Mataifa linasema matetemeko ya ardhi yamezidisha ugumu uliopo wa kufika Kaskazini Magharibi mwa Syria kutokana na migogoro na hivyo kusababisha uhitaji zaidi kama anavyofafanua Kenny Crosseley, "Moja ya changamoto zetu kubwa kwa sasa sio usafiri, sio chakula, ni ufikiaji wa maeneo. Baadhi ya watu ambao ni vigumu kuwafikia wako katika maeneo ambayo kuna migogoro inayoendelea. Tunahitaji kuwa na uwezo wa kufikia watu ambao wako katika maeneo haya ambayo kuna migogoro inayoendelea." Mjini Aleppo, WFP kwa haraka kupitia majiko ya wadau wake imetoa chakula cha moto kwa watu 4,000 walioathirika katika makazi ya muda. Usaidizi utaendelea hadi kesho tarehe 11 mwezi huu Februari, kulingana na tathmini zinazoendelea za mahitaji. WFP pia kupitia wadau inasambaza milo iliyo tayari kuliwa inayotosha watu 5,000 walioathirika. 

Habari za UN
Guterres atoa onyo kuwa hatuwezi kutatua zahma zinazotukabili katika dunia iliyogawanyika bila mshikamano

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 18, 2023 0:02


Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema dunia haiwezi kutatua changamoto kubwa inazokabiliwa nazo hivi sasa kuanzia mabadiliko ya tabianchi, vita ya Ukraine, mdororo wa uchumi na athari zinazoendelea za janga la COVID-19 katikia hali ya sasa ya mgawanyiko na kutokuwa na mshikamano hivyo wakati wa kufumbia macho changamoto hizi umepita na wanaochangia wawajibishwe.Katibu Mkuu Guterres ameyasema hayo mjini Davos Uswis katika hotuba yake kuhusu hali ya dunia kwenye siku ya pili ya jukwaa la uchumi duniani akibainisha kwamba wakati dunia inahitaji ushirikiano zaidi katika masuala ya mabadiliko ya tabianchi , upunguzaji wa mzigo wa madeni na afya uya kimataifa kuna mgawanyiko na changamoto inaongezeka linapokuja suala ya vita ya Ukraine  akisema "Hasa uvamizi wa Urusi kwa Ukraine sio tu kwa sababu ya mateso yasiyoelezeka kwa watu wa Ukraine, lakini kwa sababu ya athari zake kubwa za kimataifa kwa bei ya chakula na nishati, kwenye minyororo ya biashara na usambazaji na maswala ya usalama wa nyuklia, kwa misingi hiyo hiyo ya sheria za kimataifa”. Akisisitioza kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi amelaani makampuni makubwa ya mafuta kwa kupuuza sayansi kuhusu mabadiliko ya tabianchi, na kushutumu sekta ya mafuta na gesi kwa kutafuta kupanua zaidi wigo wa uzalishaji licha ya kujua kwamba kwamba mtindo wao wa biashara hauendani na maisha ya binadamu.  Amesema"Baadhi ya makampuni makubwa ya mafuta wanadanganya kwa kiasi kikubwa na kama vile ilivyo kwa sekta ya tumbaku, wale wanaohusika kuchochea mabadiliko ya tabianchi lazima wawajibishwe." Pia amezungumzia migawanyiko ikiwemo baina ya Mashariki na Magharibi hasa Marekani na Uchina hususan katika suala la haki za binadamu na usalama wa kikanda na Kaskazini na Kusini ambao amesema hashawishiki kwamba Kaskazini inatambua kiwango cha madhila yanayowakabili watu wa Kusini hasa linapokuja suala la afya kuhusu usawa wa usambazaji wa chanjo. Amehitimisha hotuba yake kwa kutoa wito kwa serikali zote, sekta binafsi na wadau wote kuunda njia za ushirikiano zaidi, ikisisitiza haja ya kuziba pengo la migawanyiko yote kwa kurekebisha na kujenga usawa katika mfumo wa fedha wa kimataifa, Kuchukua hatua za maana dhidi ya mabadiliko ya tabianchi, Kurekebisha muundo wa biashara na mazoea ili kuendeleza malengo ya maendeleo endelevu, kuongoza njia ya kufikia fursa za kiuchumi kwa wanawake, na kufikia lengo la uhakika wa chakula duniani . Hivyo amesisitiza  kwamba “Sasakuliko wakati mwingine wowote, ni wakati wa kutengeneza njia za ushirikiano katika dunia yetu lililogawanyika kwani dunia haiwezi kusubiri." 

Habari za UN
Jamii katika maeneo ya kusini na kaskazini mashariki mwa Ethiopia bado wanateseka na ukame mbaya zaidi: UNICEF Ethiopia

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 9, 2022 0:02


Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, James Cleverly akiambatana na Mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF Ethiopia, Gianfranco Rotigliano wametembelea eneo la Afar, nchini Ethiopia kujionea athari za ukame kwa watoto na familia na kutathimini hatua za dharura zizazochukuliwa na UNICEF ambapo Uingereza ni mdau muhimu kama mwanachama wa Umoja wa Mataifa na muhisani. Jamii katika maeneo ya kusini na kaskazini mashariki mwa Ethiopia bado wanateseka na ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka arobaini na kuwasukuma watoto zaidi na familia zao ukingoni mwa maisha yao. Kwa ujumla, zaidi ya watu milioni 24.1 wakiwemo watoto milioni 12.6 wanakadiriwa kuathiriwa na ukame huu. Kutokana na changamoto za ukame, mafuriko, na migogoro, kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya kibinadamu na kuzorota kwa mafanikio ya maendeleo. Mathalani, katika eneo moja tu la Afar, inakadiriwa kuwa watu milioni 1.7 wanahitaji msaada wa kibinadamu.  Baadhi ya wanaotoa usaidizi mbalimbali ni ili kuunga mkono misaada ya kibinadamu ni Shirika la misaada la Uingereza, UK Aid, linalofadhiliwa na Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO) ya serikali ya Uingereza. Waziri wa Mambo ya nje wa Uingereza James Cleverly anasema, "jambo muhimu zaidi ambalo tunaweza kufanya ni kuunga mkono mchakato wa amani ambao unafanyika kwa sasa. Amani ni jiwe la msingi ambalo kila kitu tunachofanya kinajengwa juu yake. Lakini pia tunachohitaji kufanya ni kuhakikisha kuwa tunaendelea kuunga mkono kazi ambayo inafanywa na wadau wetu mashinani ikiwa ni pamoja na UNICEF.” Akishukuru hatua kama hizo zinazochukuliwa wahisani kama Uingereza kupitia UKAid, Mwakilishi wa UNICEF nchini Ethiopia, Gianfranco Rotigliano, anasema, "Ushirikiano na UK Aid/FCDO ni jambo la msingi. Imekuwa miaka mingi ambapo tunashirikiana na UK Aid/FCDO katika dharura na katika maendeleo. Kwa Ethiopia, tumepata mchango mkubwa kwa ajili ya dharura na maendeleo, kwa lishe, kwa elimu, na katika maeneo yaliyoathiriwa na migogoro na ukame kama hapa Afar tulipo sasa. 

Habari za UN
Teknolojia ya nyuklia yaleta matumaini kwa wakulima nchini Kenya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 7, 2022 0:04


Je ni kwa vipi teknolojia ya nyuklia inaweza kuleta tofauti katika uzalishaji wa chakula wakati huu ambapo janga la tabianchi linazidi kugonga vichwa vya watu na kubisha hodi kila uchao? Baadhi ya watu wakisikia nyuklia kinachowajia kichwani ni mabomu ya nyuklia, lakini nchini Kenya, wanasayansi na wakulima wanaelezea kwa maneno yao wenyewe vile ambavyo sayansi ya nyuklia inasaidia kupambana na uhaba wa chakula na maji. Kuanzia uzalishaji wa mbegu mpya zinazohimili ukame hadi teknolojia za kutambua ni muda gani muafaka kumwagilia mazao. Utaalamu huu unafanyika kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la nishati ya nyuklia, IAEA. Ungana basi na Leah Mushi kwenye Makala hii iliyoandaliwa na IAEA. 

SBS Swahili - SBS Swahili
Papi "Tuliambiwa usiku saa tano tuondoke nyumbani"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 18, 2022 9:02


Baadhi ya wakaaji wa jiji la Shepperton wanaendelea kupokea huduma katika vituo vya msaada, baada yamafuriko kuwalazimisha kukimbia nyumba zao.

Habari za UN
Afya ya akili inapaswa kuwa kipaumbele cha kimataifa:Guterres

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 10, 2022 0:02


Wakati umefika wa kuhakikisha afya ya akili kwa wote inakuwa ni kipeumbele cha kimataifa amesema hii leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akikisitiza kwamba hicho ni kipaumbele chake katika Umoja wa Mataifa na anafahamu kuwa ni changamoto kubwa kote duniani kushughulikia suala la afya ya akili. Flora Nducha na taarifa kamili  Bwana Guterres kupitia ujumbe maalum wa siku hii iliyobeba mauadhui “Kuifanya afya ya akili kuwa kipeumbele cha kimataifa” amebainisha kwamba karibu watu bilioni moja wanaishi na matatizo ya afya ya akili kote duniani lakini   “Afya ya akili inasalia kuwa moja ya maeneo yaliyopuuzwa kwa kiasi kikubwa katika huduma za afya. Baadhi ya nchi zina wahudumu wawili tu wa afya ya akili katika kila watu 100,000 na athari za kijamii na kiuchumi za janga hili ni kubwa mno.”  Katibu Mkuu ameendelea kusema kuwa matatizo ya hofu na wasiwasi pekee yanaugharimu uchumi wa kimataida dola zinazokadiriwa kuwa trilioni 2 kila mwaka.  Hivyo amechagiza kwamba lazima kuimarisha uwezo wa huduma za afya ili kuweza kutoa huduma zenye ubora kwa wale wanaoihitaji hususan vijana. Na amezitaja huduma hizo kuwa ni pamoja na  “Huduma za kijamii na ujumuishaji wa msaada kwa masuala ya afya ya akili katika huduma za jumla za afya na za kijamii. Kuwekeza katika afya ya akili inamaanisha kuwekeza katika afya na ustawi wa jamii. Ni lazima tushughulikie pia unyanyapaa na ubaguzi na kumaliza vikwazo ambavyo vinawazuia watu kupata huduma na msaada, na lazima pia tuzuie mizizi ya matatizo ya afya ya akili ikiwemo machafuko na unyanyasaji”  Bwana Guterres amehitimisha ujumbe wake kwa ahadi kwamba Umoja wa Mataifa umejizatiti kufanyakazi na wadau kuchagiza masuala ya afya ya akili.  Ametoa wito kwa dunia kwamba wati wa kuadhimisha siku hii hebu waifanye afya ya akili kuwa kipaumbele cha kimataifa na kudchukua hatua haraka ili kila mtu , kila mahali aweze kupata fursa ya huduma bora za afya ya akili.  Siku ya afya ya akili duniani huadhimishwa kila mwaka Oktoba 10. 

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 21 Agosti 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 21, 2022 16:10


Baadhi ya mashirika yanayo toa huduma za ajira nchini Australia kwa walemavu kufungwa.

Habari za UN
31 Mei 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 31, 2022 13:16


Jaridani Jumanne Mei 31, 2022 na Leah Mushi- HABARI KWA UFUPI Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO leo limetoa taarifa mpya kuhusu kiwango ambacho tumbaku inaharibu mazingira na afya ya binadamu, ikitaka hatua zichukuliwe ili kuifanya sekta hiyo kuwajibikia zaidi juu ya uharibifu inayosababisha. Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kupinga matumizi ya tumbaku, WHO imesema,kila mwaka sekta ya tumbaku hugharimu dunia zaidi ya maisha ya watu  milioni 8, miti milioni 600, ekari 200,000 za ardhi, tani bilioni 22 za maji na tani milioni 84 za hewa ukaa. Nyingi ya tumbaku hulimwa katika nchi zenye kipato cha chini na cha kati, ambapo maji na mashamba mara nyingi yanahitajika zaidi kuzalisha chakula kwa ajili ya kanda. Badala yake, yanatumiwa kukuza mimea hatari ya tumbaku, huku misitu mingi ikikatwa miti kwa ajili ya upanzi.   Zaidi ya watu milioni 30 walikimbia makazi yao kutokana na majanga mwaka 2020 pekee, na idadi hii huenda ikaongezeka kutokana na kuongezeka kwa hatari na idadi ya matukio makubwa yanayohusiana na hali ya hewa. Jopo katika Kikao cha 7 cha Jukwaa la Kimataifa la Kupunguza Hatari za majanga (GPDR2022), lililosimamiwa na Sarah Charles, Msimamizi Msaidizi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani, limeangazia mbinu za kuimarisha utawala ili kupunguza hatari za majanga ya kuhamishwa. Baadhi ya wanajopo walijadili kuwa kujihusisha na jamii zilizoathiriwa ni muhimu, haswa katika kesi za mataifa ya visiwa vidogo na jamii ya watu wa asili. Hindou Oumarou Ibrahim, Rais wa Chama cha Wanawake wa jamii ya asili na Watu wa Chad, alisema kuwa kuenea kwa jangwa kunaleta tishio lililopo kwa jamii asilia na vijijini. "Katika kipindi cha miaka 50 tu tutakuwa na jangwa katikati ya mji wangu, N'Djamena," alisema, ambayo inamaanisha kupoteza upatikanaji wa chakula, na malisho na maji kwa ajili ya ng'ombe. "Tunapoteza nyumba yetu kwa uharibifu wa mfumo wa ikolojia, ni sehemu yetu, ni sehemu ya utambulisho wetu, utamaduni wetu."Amesema Bi Ibrahim. =========================================== Na Juhudi zinazofanywa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO za kusaka misaada kwa ajili ya wananchi wa Sudan wanaokabiliwa na njaa, ukame, na hali ngumu ya maisha ambayo kwa ujumla imechochewa na vita ya Ukraine zimezaa matunda baada ya mradi wao mpya kupata ufadhili wa dola milioni 12 kutoka Mfuko wa kukabiliana na dharura wa Umoja wa Mataifa CERF. FAO imetangaza leo kupokea msaada huo wa fedha ambao utasaidia kaya laki moja na themanini elfu au wananchi laki 9 ambao ni wakulima, wafugaji kutoka kaunti 14 za nchi hiyo zilizoathirika zaidi, wakimbizi wa ndani, wakimbizi waliorejea, wakimbizi na wananchi wanaoishi katika maeneo ya vijijini. Mwakilishi wa FAO nchini Sudan Babagana Ahmadu amesema  “Mchango huu wa ukarimu kutoka kwa CERF unamaanisha kuwa FAO inaweza kutoa kwa haraka pembejeo muhimu za kilimo kwa kaya za wakulima zilizo hatarini kabla ya msimu mkuu wa kilimo kuanza mwezi Juni. Itahakikisha kwamba wanaweza kuzalisha chakula cha kutosha kukidhi mahitaji yao kwa miezi ijayo.” Takwimu za FAO zimebainisha kuwa takriban watu milioni 11 au asilimia 3 ya wananchi wa Sudan wanategemea msaada wa kibinadamu ili kuendesha maisha yao hii ikiwa ni idadi kubwa zaidi katika kipindi cha muongo mmoja. Katika mada kwa kina tunaelekea Geneva Uswis ambako mkutano wa baraza la afya duniani umefunga pazia mwishoni mwa wiki, tutamsikia Waziri wa afya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeongoza ujumbe wa taifa hilo kwenye mkutano huo wa kimataifa. Na mashinani ni ujumbe wa Kapteni Abdallah Kikondo Mohamed, ambaye ni Ofisa wa Intelijensia wa Kikosi cha 9 cha Tanzania, TANZBATT 9, kinacholinda amani chini ya Ujumbe wa Umoja wa mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, MONUSCO.

SBS Swahili - SBS Swahili
Lazaro "watu wanaogopa kuenda jipimisha magonjwa"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 30, 2022 5:47


Baadhi ya watu wanao wasili Australia kama wakimbizi, huja wakiwa na magonjwa sugu na wakati mwingine hawajui wana magonjwa hayo.

Habari za UN
Tanzania imepata funzo katika janga la Covid-19, inaboresha miundombinu ya elimu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 19, 2022 4:26


Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari nchini Tanzania wameeleza kunufaika na mkopo wa riba nafuu Trilioni 1.3 ambao Tanzania iliupata mwaka jana 2021 kutoka Shirika la Fedha Dunia IMF kwa kuelekeza sehemu ya fedha katika uboreshaji wa mpango wa maendeleo kwa ustawi wa taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19, ikijenga vyumba vya madarasa 12,000 vilivyogharimu shilingi Bilioni 240 kwa lengo la kupunguza msongamano shuleni sambamba na miundombinu ya madarasa na samani za ndani kuzingatia afua za kujikinga na ugonjwa wa Covid 19 au kama wanavyoita katika nchi hiyo, Uviko 19. Katika kuonesha taswira halisi, Hamad Rashid ni mwandishi wa Habari wa Redio washirika Tanzania kids time Fm ya mkoani wa Morogoro, amefanya ziara ya kutembelea mradi uliokamilika wa vyumba vya madarasa ya Uviko 19 katika Shule za Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, Manispaa ambayo imejenga jumla ya vyumba vya madarasa 86.