POPULARITY
Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock ametembelea wakimbizi wa kipalestina huko Doha nchini Qatar kuwajulia hali na kujionea maisha yao baada ya kuondolewa wakati wa vita kali huko Ukanda wa Gaza eneo la wapalestina linalokaliwa kimabavu na Israel na kuletwa nchini Qatar kwa ajili ya kupatiwa matibabu. Leah Mushi anatupa taswira ya ziara yake hiyo.Wakati wa michuano ya kombe la dunia mwaka 2022 nchini Qatar nchi hiyo ilitenga eneo maalum na kujenga nyumba nyingi kwa ajili ya makazi kwa wale walioenda kutazama mechi za kombe la Dunia, eneo hilo pia lilikuwa na kiwanja cha mpira, eneo hilo ni Al-Thumama maarufu kama Al-Thumama complex katika mji wa Doha.Mtoto na simulizi kupitia pichaEneo hilo sasa limegeuzwa makazi ya dharura kwa zaidi ya wakimbizi 1,700 wa Kipalestina ambao waliondolewa nchini mwao wakati wa vita Kali kati ya majeshi ya Israel na wanamgambo wa Hamas vita ambayo imesitishwa hivi sasa. Wakimbizi hao wa kipalestina wakiwa katika eneo la Al-Thumama wanapatiwa matibabu ya kawaida, ya viungo na usaidizi wa kijamii.Rais wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock amefika katika eneo hilo ili kuwajulia hali.Kwanza alikutana na watoto, video inamuonesha akizungumza na mtoto wa kiume ambaye ameandika kitabu kwa njia ya picha na ndoto yake ni kitafsiriwe kutoka kiarabu kwenda lugha mbalimbali. toto huyo akatia saini nakala ya kitabu chake na kumpa Rais wa Baraza Kuu.Watoto licha ya majeraha bado wana matumainiKisha, Rais Baerbock anaonekana akizungumza na familia nyingine, pembeni mtoto mmoja mwenye umri kama wa miaka mwili hivi mkono wake wa kulia unaonekana umekatwa chini kidogo ya bega. Mtoto huyo anarukaruka kwenye kochi huku wanafamilia yake wakizungumza na mgeni.Anatoka akitembea kwenda eneo jingine lakini ndani ya eneo hilo hilo la Al-Thumama kwenye chuo cha ufundi stadi na kujionea namna wanawake wanavyojishughulisha na kazi za mikono ikiwemo ufumaji kwa kutumia mashine za kisasa za mkono.Akitoka huko akiwa na wanawake kadhaa akawa anaelekea eneo lenye hospitali … njiani akakutana na mwanamke akiwa kwenye kiti mwendo, wakasimama na mwanamke huyo akawapa vitafunywa wakala na kufurahia huku Rais wa Baraza Kuu akisifu kwa utamu wa vitafunio hivyo.Baada ya hapo safari ya kwenda hospitali ikaendelea, na huko akakutana na madaktari na kujionea mashine mbalimbali za kisasa kwa ajili ya kuwahudumia wakimbizi wa kipalestina.Ziara hiyo aliyoianza tangu mchana kweupe alihitimisha giza likiwa limeshatanda nje na akatoa ujumbe kwa dunia kile alichojionea.Amesema, “nimeona yale hawa watoto walipitia, nyuso zao ziliungua kwa moto, wamepoteza mikono, wazazi, familia nzima, lakini bado wanaonesha ujasiri na wanamatumaini na maisha yao ya baadae, wakijaribu kurejea shuleni na hii inaweka mkazo wa jukumu letu ni lipi kama jumuiya ya kimataifa. Tunapaswa kukomesha kabisa mgogoro huu uliodumu kwa muongo mmoja, mzozo wa muda mrefu na kwamba amani ya kudumu haita hakikishwa kwa kupitia vita, ugaidi wala kukalia eneo kimabavu bali kwa makubaliano ya amani ya kuwa na mataifa mawili yanayojitegemea, kupelekea kwa taifa huru la Kipalestina ambapo kizazi kijacho kinaweza kuishi kwa heshima pia.”
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Amina J. Mohammed akiwa ziarani barani Afrika ambapo juzi tarehe 7 aliingia nchini Gambia, kwa njia ya mtandao wa X ameonesha namna ziara yake ilivyokuwa ya mafanikio kwa kukutana na viongozi na wadau mbalimbali nchini humo katika harakati za kufanikisha Malengo ya Umoja wa Mataifa ya Maendeleo Endelevu. Anold Kayanda na maelezo zaidi.
Miongoni mwa matukio makubwa ya juma hili ni pamoja na ziara ya rais wa Uganda Yoweri Museveni, iliyotangulizwa na ziara ya wajumbe wa Umoja wa Afrika, nchini Sudan Kusini baada ya makamu wa rais wa nchini hiyo kukamatwa na kuzuiwa nyumbani kwake, kule DRC waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda waripotiwa kujiondoa katika mji wa Walikale mokowani Kivu kaskazini mashariki mwa DRC, tunaangazia Kenya, Uganda, nchi za Afrika mashariki na magharibi pia kwengineko duniani
Makala hii imeangazia mapigano eneo la mashariki mwa DRC, mvutano wa kisiasa nchini Kenya pamoja na hali ya Sudan, kauli ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kwamba mataifa ya Afrika hayana shukrani katika kuyataka majeshi ya Ufaransa kuondoka kwenye ardhi zao na mazishi ya aliyekuwa rais wa 39 wa Marekani Jimmy Carter wiki hii
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya Dharura, OCHA, Tom Fletcher akihitimisha ziara yake ya kwanza katika eneo la Mashariki ya kati tangu hivi karibuni alipochukua wadhifa huo ameeleza kuwa alichokishuhudia katika ukanda huo ni hali tete. Selina Jerobon anaeleza zaidi.
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria Geir O. Pedersen bado yuko nchini Syria alikowasili jana Jumapili ikiwa ni wiki moja baada ya wapiganaji wa Hayʼat Tahrir al-Sham (HTS) walioko kwenye orodha ya vikundi vya kigaidi kutwaa mji mkuu Damascus na kusababisha Rais Bashar Al-Assad kukimbia nchi. Ikiwa ni sehemu ya juhudi za Umoja wa Mataifa kuhakikisha mabadiliko ya utawala nchini Syria yanafanyika kwa amani na kuisaidia Syria kutokuingia kwenye mgogoro zaidi, Bwana Pederson aliyewasili jana Damascus hadi sasa ameshakutana na Kamanda wa Utawala Mpya Ahmed al-Sharaa na Waziri Mkuu wa Serikali ya Muda Mohammed al-Bashir.Taarifa iliyotolewa leo na Ofisi yake inasema Pederson ameeleza muhtasari wa matokeo ya Mkutano wa Kimataifa wa Aqaba kuhusu Syria uliofanyika tarehe 14 ya mwezi huu wa Desemba akisisitiza haja ya kuwepo kwa mpito wa kisiasa unaoaminika na unaoongozwa na kumilikiwa na Wasyria wenyewe kama kanuni za azimio 2254 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (2015) zilivyopendekeza. Aidha Mjumbe huyo maalum amesisitiza azma ya Umoja wa Mataifa ya kutoa usaidizi wa kina kwa watu wa Syria.Taarifa imedokeza kuwa Bwana Pedersen ana shughuli nyingi zilizopangwa siku zijazo katika harakati za kusaka suluhu ya amani nchini Syria.
Habari kuu wiki hii ni pamoja na mkutano kati ya rais wa Marekani anayejiandaa kuondoka madarakani Joe Biden na viongozi wa Afrika huko Lobito Angola, mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini kuanza tena baada ya miezi minne, maafisa 20 wa Kenya waliopelekwa Haiti wajiuzulu, rais wa DRC Felix Tshisekedi kukutana na rais wa Rwanda Paul Kagame desemba 15, yaliyojiri Sudan uchaguzi nchini Ghana, na wabunge wa Ufaransa walivyoiangusha serikali ya Michel Barnier lakini pia kanisa kubwa la Notre Dame lafunguliwa jijini Paris Ufaransa, Israel yaendeleza mashambulizi Gaza
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Donald Trump achaguliwa kuwa rais wa 47 wa Marekani, Ziara ya rais wa Kenya William Ruto huko Addis Ababa Ethiopia, na Sudan Kusini, na Raila Odinga kuzindua azma yake ya kuwania uenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika, kuelekea uchaguzi huo utakaofanyika Februari mwaka 2025. Mapigano makali kati ya waasi wa M23 na wazalendo mashariki mwa DRC, Umoja wa Mataifa wasema uamuzi wa kuahirishwa uchaguzi nchini Sudani Kusini haukubaliki, Duma Boko atawazwa rasmi kama rais mpya wa Botswana, Uhusiano wa Urusi na Marekani baada ya Trump kushinda uchaguzi
Kuapishwa kwa makamu mpya wa rais wa Kenya Profesa Kithure Kindiki, ziara ya rais wa DRC Félix Tshisekedi Kampala Uganda huku mapigano kati ya waasi wa M23 na wazalendo yakiripotiwa mashariki mwa nchi yake, mkutano wa Comesa watamatika Jijini Bujumbura Burundi, Umoja wa mataifa wasema hali ya kibinadamu nchini Sudan yatia wasiwasi, upinzani washinda uchaguzi mkuu Botswana, kampeni za lala salama Marekani, lakini pia kauli ya Korea Kaskazini kuwa itasimama na Urusi hadi ushindi wake huko Ukraine.
Kauli ya rais wa DRC kuhusu marekebisho ya katiba yazua hisia mseto, kesi ya naibu wa Rais wa Kenya aliyeenguliwa madarakani Rigathi Gachagua yaendelea, umoja wa Ulaya kuendeleza shinikizo ilizoiwekea Burundi mwaka 2015 hadi mwaka 2025. Ziara ya mkuu wa UNHCR Fillipo Grandi nchini Uganda, mgombea wa chama tawala kule Msumbiji awa mshindi wa uchaguzi mkuu, uchaguzi mkuu wa Marekani na mengineyo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Karibu katika makala ya leo changu chako chako changu ambapo leo nakuletea historia ya siku ya madaraka ambayo huadhimishwa kila Juni Mosi nchini Kenya. Na kwenye le parler francophone kama kawaida nakuletea ratiba ya shughuli za kitamaduni Alliance francaise za ukanda. Na Kwenye Muziki nitakuwa naye Mr Champagne msanii kutoka nchini Burundi ambaye yupo nchini Kenya kwa ajili ya kutangaza wimbo wake mpya Niko tu. Mimi ni Ali Bilali bienvenue ama karibu. Kumbuka pia kumfollow mtangazaji wako kwenye mitandao ya kijamii @billy_bilali
Ziara ya Balozi wa Uingereza Nchini Kenya kwa familia ya Mkenya Agnes Wanjiru aliyetuhumiwa kuuliwa na mwanajeshi wa Uingereza kwenye kambi ya Jeshi ya Uingereza iliyoko Nanyuki uwe mwanzo wa kupatikana kwa haki kwa Wanjiru na waathiriwa wengine wa hujuma mikononi mwa wanajeshi wa Uingereza waliomo nchini.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Makala hii inaangazia yaliyojiri nchini Kenya na kifo cha mkuu wa majeshi ya nchi hiyo KDF aliyepoteza maisha na maafdisa wengine tisa wa jeshi katika ajali ya helikopta Alhamisi Aprili 18, rais William Ruto alitangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa, mgomo wa wafanyabiashara huko Kampala Uganda, ziara ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa na EU huko Goma kutathmini hali ya kibinadamu kwa waliokimbia mapigano ya M23, Senegal, pia Togo kuhusu ziara ya ujumbe wa ECOWAS, lakini pia mashambulio kati ya Iran na Israel.
Mgomo wa madaktari unapoendelea, Rais William Ruto amewarai madaktari kurejea kazini, akisema serikali haina pesa na kuwa hali ni ngumu. Sepetuko inashangaa ni vipi serikali haina pesa za kuwaajiri madaktari wanagenzi lakini ina hela za kuwaajiri maCAS na kufadhili ziara za hapa na pale za Rais na Mawaziri serikalini.
Abel Mutua amejitengenezea nafasi yakipekee katika sekta ya sanaa Afrika Mashariki.
Rais mteule wa senegal akutana na rais anayemaliza muhula wake Macky Sall, chama kipya cha aliyekuwa rais wa Afrika kusini Jacob Zuma chazuwiwa kushiriki uchaguzi wa mwezi mei,kamati ya haki za kibinadamu ya umoja wa mataifa, yaitaka Uingereza kuachana na mpango wake wa kuwahamisha wahamiaji kwenda nchini Rwanda, na rais wa DRC Félix Tshisekedi ahitimisha ziara yake huko Mauretania, tutaangazia siasa za Kenya, Tanzania, yaliyojiri huko Israeli na kwengineko duniani.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Djay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.
Waziri wa ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amekutana na rais Ismail Omar Guelleh, wa Djibouti, Jumapili akianza ziara ya nchi tatu za Afrika, yenye lengo la kuimarisha ushirikiano.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
As we sit with the revelations of the FBoy Island Finale, now is a good a time as ever to look back on our chats with Abbie and the FBoy Island cast. From our first chat with Molly, Sophie and Ziara on the eve of the premier, to our chats with certified Fboy Eric and the nugget-throwing Darcey. All that and more! You can catch up on the entire season of FBoy Island Australia on Binge. Subscribe on LiSTNR: https://play.listnr.com/podcasts/hot-nights-with-abbie-chatfieldSee omnystudio.com/listener for privacy information.
Tiketi milioni moja za kombe la dunia, la soka ya wanawake itakayo andaliwa nchini Australia na New Zealand zime uzwa tayari.
A sad story in the news today, as Hills Hoist enters administration. To celebrate the Aussie icon Jimmy, Nath and Abbie get our live listeners to spin their hoists on air. And what a surprise there's more feet out in the studio, it follow the revel that most people have not been cleaning their feet properly. So Jimmy and Abbie do an in studio demonstration. Plus, Ziara and Molly from FBoy Island join the show to see if they can pick out who the Fboy is, of Jimmy and Nath. Subscribe on LiSTNR: https://play.listnr.com/podcasts/hot-nights-with-abbie-chatfieldSee omnystudio.com/listener for privacy information.
Get to know the girls leading one of the HOTTEST reality TV shows at the moment; FBoy Island Australia. Molly, Ziara and Sophie chat FBoy BTS, how they felt about Caleb's 'pussy' comment, and why microaggressions against Ziara were kept in the final edit. BUT FIRST, please take 4 minutes to fill out an It's A Lot survey for a chance to win $100 https://bit.ly/3BFXJSY LINKS Watch FBoy Island Australia now on BINGE https://bit.ly/43bGGEm Listen to Abbie's chat with Jimmy and Nath https://bit.ly/3ORvOqZ Ziara's Refinery Interview https://bit.ly/3qrxMnP Email your own voice memos for Nightmare Fuel to hello@itsalotpodcast.com Review the podcast on Apple Podcasts https://bit.ly/ial-review . CREDITS Host: Abbie Chatfield @abbiechatfield Guests: Molly O'Halloran, Sophie Blackley and Ziara RaeExecutive Producer: Lem Zakharia @lemzakhariaDigital Producer: Oscar Gordon @oscargordon Social and Video Producer: Amy Code @amycode . Managing Producer: Sam Cavanagh Find more great podcasts like this at www.listnr.com/See omnystudio.com/listener for privacy information.
Mike E goes on three seperate dates with F-Boy Island girls Molly, Ziara, & Sophie. Did they fall for his famous 'single guy tips' ? Mike E & Emma are live on RnB Fridays Radio, on DAB and the LiSTNR app, weekdays 7-10amSubscribe on LiSTNR: https://play.listnr.com/podcast/mike-e-and-emmaSee omnystudio.com/listener for privacy information.
On today's pod I am excited to be chatting to ‘Molly,' ‘Ziara' and ‘Sophie' the three ladies fronting 'Abbie Chatfield's' new controversial reality series ‘F Boy Island' which launches Monday on ‘Binge Australia.' This is latest dating format set to rock and shock Australia. The aim of the game is to work out who are the “nice guys” looking for love, and who are the self-proclaimed “F-Boys.” So what does f-boy mean? Well, commonly this is a man who doesn't respect women but relies on them heavily. He's distant, doesn't care about the girls feeling and he avoids commit at all cost. He's self-absorbed, does stupid things, and fucks your emotions. Fair to say he is only there for one thing. Coming up, we will find out how the girls explained to their parents what an F-Boy is and if parents should feel responsible for their sons if there sons have f-boy tendencies? We will find out how hands on Abbie Chatfield was behind the scenes and what advice she gave the girls when it comes to dealing with F bOYS. I will talk about the feminist backlash when the series was announced and the girls will explain why the show doesn't glorify bad behaviour amongst men. Plus we will get plenty of exclusives from behind the scenes of ‘F Boy Island.' Which starts this week on the steaming service Binge. Which you can subscribe to on your smart phone OR smart TV'.See omnystudio.com/listener for privacy information.
Katika siku ya pili na ya mwisho ya ziara yake nchini Somalia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewapongeza watu wa Somalia akisema licha ya changamoto lukuki zinazowaandama wameendelea kuwa imara na kuonyesha mnepo wa hali ya juu, akiwataka kuendelea kufanya hivyo kwa ajili ya kizazi hiki na kijacho. Flora Nducha na tarifa zaidiAntonio Guterres ametoa pongezi hizo katika mkutano na waandishi wa habari wa kuhitimisha zira yake ya mshikamano mjini Moghadishu akisema tangu alipofika mara ya mwisho nchini humo miaka sita iliyopita kuna mabadiliko kwani sasa Somalia hatua kubwa zimepigwa katika mchakato wa amani , usalama na maendeleo endelevu.Amempongeza pia Rais wa taifa hilo la Pembe ya Afrika Hassan Sheikh Mohamud kwa juhudi zake za kusongesha mchakato wa amani na usalama na kuainisha umuhimu wa kuwa na ushirikiano imara sio tun a Umoja wa Mataifa bali nan chi wanachama wa serikali ya shirikisho ili kushughulikia tishio la magaidi wa Al-Shabaab.Katibu Mkuu amewahakikishia Wasomali dhamira ya Umoja wa Mataifa kulisaidia juhudi za taifa hilo na za kikanda katika kulinda haki za binadamu na kupambana na ugaidi na uhalifu wa itikadi kali ikiwemo kupitia mpango wa muungano wa Afrika nchini humo.Guterres ameongeza kuwa “Ziara yangu ya mwisho mwaka 2017 ilikuwa wakati wa operesheni kubwa ya kuepusha baa la njaa. Leo hii hali kwa mara nyingie ni ya kutia hofu, kwani mabadiliko ya tabianchi yameleta zahma kubwa, misimu 5 isiyo na mvua ambayo si kawaida na ukame tayari umeshakatili Maisha ya watu 43,000 2022 pekee na kutawanya watu wengine milioni 1.4 huku asilimia 80 wakiwa ni wanawake na Watoto.”Amesem changamoto hizo na ukiongeza na mfumuko wa bei ya chakulaumezifanya jamii za masikini kusukumwa kwenye ukingo wa njaa akikadiria kwamba kati ya sasa na Juni Wasomali milioni 6.5 watakabiliwa na viwango vya juu vya kutokuwa na uhakika wa chakula hali inayodhihirisha kwamba baa la njaa bado linanyemelea.Amesisitiza kuwa hatua lazima zichukuliwe sasa kuepusha janga kubwa Zaidi hasa akiwasihi wahisani kunyoosha mkono Zaidi kwani ombi la kibinadamu kwa ajili ya Somalia 2023 ambalo n idola bilioni 2.6 zimefadhiliwa kwa asilimia 15 pekee hadi sasa. Hata hivyo Katibu Mkuu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani amewapa matumaini Wasomali kwa ahadi ya Umoja wa Mataifa kushikamana nao katika kusongesha amani na usalama, maendeleo endelevu, haki za binadamu na ujenzi wa mustakbali bora kwa Wasomali wote.
Wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wametamatisha ziara yao ya siku tatu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC iliyolenga kujadili kwa kina majukumu ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO halikadhalika kujionea hali halisi ya amani na usalama.Kupitia mtandao wa Twitter, Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC, Bintou Keita amesema wajumbe wa Baraza pamoja na kuwa na mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali na MONUSCO, walipata pia fursa ya kutembelea maeneo ya Mashariki wa taifa hilo ambako kumegubikwa na mashambulizi kutoka makundi ya waasi. Mathalani walipata fursa ya kusikiliza shuhuda kutoka kwa wawakilishi wa vikundi vya wanawake jimboni Kivu Kaskazini, vikundi ambavyo vinapambania kuheshimiwa kwa haki za wanawake na wasichana waliokumbwa na ukatili wa kingono. Halikadhalika walitembelea kambi ya wakimbizi ya ndani ya Bushagara – Nyiragongo ambako iko karibu na Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini.Bi. Bintou ambaye pia ni Mkuu wa MONUSCO amesema katika kambi hiyo maelfu ya wakimbizi wa ndani wako hatarini na mazingira yao yanakabiliwa na changamoto lukuki. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ina takribani wakimbiz iwa ndani milioni 5 na mashambulizi kutoka makundi ya waasi yanazidi kukwamisha maisha yao.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amefanya ziara nchini Iraq lengo likiwa ni kusisitiza mshikamano na kuunga mkono juhudu za nchi za kuleta amani ,haki za binadamu na maendeleo endelevu.Ziara ya mwisho ya Katibu Mkuu Guterres nchini Iraq ilikuwa miaka sita iliyopita, na alipofika Baghdad alipokelewa na Naibu Waziri Mkuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya nje Fued Hussein ambapo walifanya mkutano wa pamoja na waandishi wa habari.Katika hotuba yake Katibu Mkuu Guterres aliipongeza serikali ya Iraq kwa kuwaruhusu wananchi wa Iraq walio nje ya nchi hiyo kurejea na kusema Umoja wa Mataifa unaunga mkono kikamilifu juhudi zote za kuhakikisha nchi hiyo inakuwa na mustakabali wa amani na ustawi na taasisi zake zinaunganishwa na demokrasia.Katika mkutano huo pia alizungumzumzia changamoto zinazowakabili wananchi wa nchi hiyo ikiwemo uhaba wa maji na athari za mabadiliko ya tabianchi na kusema “Moyo wangu unavunjika nikiona wakulima wanaacha ardhi zao na mazao ambayo wamekuwa wakilima kwa milenia. Uhaba wa maji nchini Iraq umechangiwa na kupungua kwa uingiaji kutoka nje, usimamizi usio endelevu wa maji, na sasa athari za mabadiliko ya tabianchi. Ni tishio linalohitaji umakini wa kimataifa.”Katika kupata suluhu kwenye changamoto hiyo amesema mkutano Umoja wa Mataifa wa Maji utakaofanyika baadae mwezi huu jijini New York, Marekani utajadili mengi kuhusu changamoto ya maji huku akidhibitisha kuelewa ni kwa namna gani suala ya uhakika wa maji ni muhimu kwa nchi hiyo.Katika ziara yake hiyo, Katibu Mkuu atakutana na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Waziri Mkuu Mohammed Shia' Al Sudani.Akiwa katika mji mkuu, Katibu Mkuu pia atakutana na kuwasikiliza wawakilishi wa vikundi vya haki za vijana na wanawake na kufanya mkutano na wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa.Hapo kesho Katibu Mkuu Guterres atatembelea kambi ya Wakimbizi wa Ndani na Kituo cha Urekebishaji kilichoko kaskazini mwa nchi hiyo na kufanya mazungumzo na wakazi wa kituoni hapo.Kisha ataenda Erbil na kukutana na maafisa wa Serikali ya Mkoa wa Kurdistan.
Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix amekamilisha ziara yake nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR ambapo alikutana na walinda amani na kufanya mikutano na viongozi wa kijeshi. Taarifa iliyoandaliwa na ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani CAR, MINUSCA..UpsoundNisalamu za kijeshi…… pamoja na gwaride maalum…… ikiwa ni kumkaribisha Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati CAR.Katika ziara hiyo Bwana Lacroix ameambatana na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini CAR, Valentine Rugwabiza, ambaye pia ni Mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani CAR, MINUSCA.Bwana Lacroix amesema kilichompeleka nchini humo ni kukutana na walinda amani Anasema …. “Nimekuja kuona wenzetu wapo mashinani wanavyofanya kazi, kuona maendeleo yaliyofikiwa katika kuboresha kambi, kujenga kambi mpya, kuhakikisha wafanyakazi wetu wanaume na wanawake wanakuwa na hali bora ya maisha, na pia kukutana na kikosi cha Ureno na Bhutan na kuwashukuru kwa kazi yao, kuwapongeza kwa yote wanayofanya, na kuwatakia mafanikio mema na, mwisho wa mwaka, wenye kheri na kuwaombe mema katika mwaka ujao, kwao na familia zao.”Maafisa wengine walioambatana na Lacroix ni Jenerali Birame Diop, Jenerali Daniel Sidiki Traore na naibu wake Jenerali Pedro Miguel Alves Gonçalves Soares, pamoja na Kamanda wa Kikosi Jumuishi cha Bangui, Brigedia Jenerali Alognime Takougnadi.
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Kibinadamu Volker Türk ameanza ziara ya siku nne nchini Ukraine hapo jana Jumapili Desemba 4 kwa mwaliko wa Serikali ya nchi hiyo akiwa ameongozana na wafanyakazi wa ofisi yake wanaohusika na kufuatilia masuala ya haki za binadamu.“Niko Ukraine kwa wakati huu kuonesha mshikamano na waathirika wa vita hii ya kutisha” … Ni maneno ya kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu Volker Türk akiwa nchini Ukraine ambapo ametembelea taifa hilo lililoanza kushambuliwa na nchi ya Urusi mwezi February mwaka huu.Katika siku ya kwanza ya ziara yake alitembelea katika mji wa Kyiv na maeneo ya jirani, Bucha na Irpin.Video ya Ofisi ya Kamishna huyo inamuonesha akizungumza katika eneo ambalo nyuma yake theluji imetanda kuonesha dhahiri ni msimu wa baridi Kali.…. Anasema, “Unaweza kuona mazingira ya msimu wa baridi, lakini ni mazingira ya msimu wa baridi ambayo inamaanisha watu wengi wako katika mazingira magumu, shida nyingi kwa sababu wanaganda kutokana na umeme kukatika wakati mwingine, miundombinu ya umeme haifanyi kazi na wananchi hata hawajui jinsi ya kupita katika kipindi hiki cha baridi.”Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za binadamu imekuwa ikitelekeza shughuli zake nchini Ukraine tangu mwaka 2014 ambapo imekuwa ikifuatilia ukiukwaji wa haki za binadamu, na Kamishna Turk anasema ujumbe wake katika ziara hii ni kuwa“Vita haina maana. Mauaji ya aina hii hayakubaliki kabisa na hayana maana. Ninaweza tu kutoa wito kwa wale ambao wamefanya hivi kwamba waache kufanya hivyo, na waheshimu sheria za kimataifa za kibinadamu, haki za binadamu na haki”.Ziara yake hiyo ya siku nne nchini Ukriane itamkutanisha na maafisa wakuu wa serikali ya kitaifa na serikali za mitaa, mashirika ya kiraia, pamoja na wawakilishi wa vikundi vya waathirika, pamoja na jamaa za raia waliopotea au waliotekwa na wafungwa wa vita.Ziara ya Türk itakamilika tarehe 7 Desemba ambapo anatarajiwa kufanya mkutano wa wanahabari mjini Kyiv nchini humo Ukraine.
Taarifa kuhusu bidhaa za uvuvi (wild aquatic products) zinazohitajika kwa wingi katika soko la China na utaratibu wa kujisajili ili kuuza China kufuatia mkataba uliosainiwa wakati wa Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Samia Suluhu Hassan nchini China
Sunak alimkaribisha Ramaphosa ambapo viongozi hao wawili walibadilishana salamu za heri kabla ya kujiunga na baraza la pamoja la biashara kati ya Uingereza na Afrika Kusini kujadili biashara na uwekezaji. Afrika Kusini ni mshirika mkubwa wa biashara wa Uingereza barani Afrika.
Rais Ruto atafanya mazungumzo na Rais Felix Tshisekedi juu ya masuala tofauti ikiwemo hali ya usalama mashariki mwa DRC kabla ya kuelekea Korea Kusini baadaye Jumatatu. Ziara ya Ruto inakuja baada ya ziara ya mtangulizi wake Uhuru Kenyatta ambaye ni mpatanishi katika mzozo wa DRC kwa niaba ya EAC
Taarifa ya Balozi Mbelwa Kairuki kwa Waandishi wa Habari kuhusu maandalizi ya ziara ya Kitaifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
Muy buenas amiguitos. Hoy toca uno de esos cuentos con moraleja, con enseñanza y que a muchos nos dará que pensar. A mí, manu lo hizo en su día y cuanto más medito en él más da que pensar. Espero que os guste y que os sirva para dar una bonita lección que seguro que muchos de vuestros pitufos valorarán mucho.. En este cuendo mandamos saluditos a los siguientes amiguitos: Daniela 5 añitos, su hermano Oliver de Algodonales (Cádiz) Safe,Sofi y Sammy Hector y Daniel cuento del pequeño vampiro Soy Mateo 4 años, para cinco. Papás Gema y Juanan Adrián de 5 y Ziara de 3 años de Alicante de parte de su tia estefania Natalia mama Carolina desde colombia Isabel, de 6 años Podeis mandarnos saludos o peticiones en los comentarios de ivoox o en nuestro correo electrónico cuentos@agenciarom.es donde podéis mandar también dibujitos de vuestros cuentos favoritos para subirlos a yuoutube o compartirlos en nuestras redes sociales. Manu, miembro de Agencia ROM quiere entretener a los mas enanos de la casa compartiendo esos cuentos que junto con Lara, la verdadera estrella de estos cuentos, darán un aire fresco a esto de contar cuentos. Escucha el episodio completo en la app de iVoox, o descubre todo el catálogo de iVoox Originals
Ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken katika nchi tatu za Afrika yaangazia changamoto za Rwanda na DRC. Na ziara hiyo inachangiwa na nia ya Washington ya kuzihakikishia nchi na viongozi wa Kiafrika kuwa wao ni washirika muhimu wa Marekani.
Ziara ya spika wa bunge ya Marekani, yazua tumbojoto kwa mahusiano kati ya Australia na China.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken aliwasili Afrika Kusini Jumapili, kituo cha kwanza cha ziara yake ya mataifa matatu ya Afrika. Mbali na Afrika Kusini, Blinken pia ataitembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda.
Ziara maalum iliyofanywa na Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa misaada ya Kibinadamu nchini Sudan Kusini, Sara Beysolow Nyanti, katika eneo la Malakal, nchini humo imebadili mtazamo wa aina ya misaada inayohitajika na wananchi walioathiriwa na ghasia na majanga ya asili.