POPULARITY
Andreas et Ilsa (Clara, proh dolor, absente) cum amicis nobis carissimis ac desideratissimis Timotheo et Catharina adsumus ut de Rusticatione quam una celebravimus mense Iulio colloquamur! Nobis summo gaudio fuit cum iis loqui et si alteram huius episodii partem audire velitis, adite seriem eorum: https://open.spotify.com/show/2addpGrUxT40QRdflMK7PS?si=48fee75b716145ba Est series dignissima quae auscultetur praecipue si coquendo atque rebus culinariis delectemini! Audite ac gaudete! Veniam petimus quod tam diu nullum vobis edidimus episodion. Fuimus apud varia conventicula et aestas est nobis tempus negotiosissimum! Vobis pollicemur nos esse plura edituros! Si plura nostra experiri velitis, hoc est nostrum linktree per quod omnia nostra inveniri possunt: https://linktr.ee/latinitasanimicausa --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/latinitas-animi-causa/message Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/latinitas-animi-causa/support
Mateus 5.6: Felizes os que tem fome e sede de justiça, pois serão saciados; 1 Coríntios 11.24. [...]Agradeceu a Deus, partiu-o e disse: "Este é meu corpo, que é entregue porvoces. Façam isso em memória de mim...". PB Maré Mansa está sendo pastoreada pelo pastor Timotheo e Andressa.
Timotheo absente, Catherina lectionem brevissimam, e libello nitido, legit. Nomen lectionis est "In Cafeo"; lectio inveniri potest in libro "Cottidie Latine Loquamur", a Sigrid Albert scripto.
Pastor Timotheo Batista, João 13.1-17
Morbius chega planando aos cinemas e os fãs da Marvel e de Crepúsculo se perguntam: teria Jared Leto estragado mais um filme de Super-Herói e de vampiros? Neste podcast Matando Robôs Gigantes, Affonso Solano, Beto Estrada e Didi Braguinha debatem, com leves spoilers, se o longa-metragem do sugador de sangue dos quadrinhos funciona e em qual universo da Marvel ele se encontra, afinal! Participe da conversa conosco nas redes sociais, incluindo o Twitter do MRG! A paródia musical na entrada deste MRG foi feita pelo Timotheo! Envie-nos a sua: matandorobosgigantes@matandorobosgigantes.com Contato comercial: comercial@matandorobosgigantes.com
JINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA ZAKE 01.KWA KUTII 02.KULIFATA NENO Mhubiri 12:1 '' Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako, Kabla hazijaja siku zilizo mbaya, Wala haijakaribia miaka utakaposema, Mimi sina furaha katika hiyo. '' Ni muhimu sana kwa kijana kumcha BWANA tangu mapema kabisa katika umri wake maana Kijana Asiyezoea Kujizuia Kimwili Kabla Ya Ndoa, Hataweza Kujizuia Katika Ndoa. Wasaliti Wengi Wa Ndoa Zao Ni Wale Ambao Hata Kabla Ya Ndoa Walishindwa Kujizuia Miili Yao Na Kuwapelekea Kufanya Uasherati. 2 Timotheo 2:22 '' Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao BWANA kwa moyo safi. '' Baada ya kijana kumkumbuka MUNGU kwa kumpokea YESU na kuanza kuishi maisha ya Wokovu, Biblia inashauri kijana kuanza kuliishi neno la MUNGU, Kulifanya taa ya miguu Neno ili limuongoze kijana katika matendo mema na kumtii MUNGU siku zote. Zaburi 119:105 '' Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu. '' . Neno la MUNGU likiwa muongozo kwa maisha ya kijana kutakua na ushindi mkubwa sana kwa kijana huyo. Njia ya maisha ya kijana lazima iwe safi ndipo atampendeza MUNGU, Njia itakuwa salama kwa kijana kulitii tu neno la MUNGU(Jinsi gani kijana aisafishe njia yake? Kwa kutii, akilifuata neno lako.-Zaburi 119-9) Tena Wana Amani Nyingi Wasiokwazwa Na Maonyo Ya Neno La MUNGU (Zaburi 119:165, Wana amani nyingi waipendao sheria yako, Wala hawana la kuwakwaza. ). --- Send in a voice message: https://anchor.fm/siri-za-biblia/message
Fundisho kuhusu mstari hii. 1 Timotheo 2:12 12 Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu.
Hoc in colloquio, Catherina et Timotheus cum Iasone illo Slanga colloquuntur. Iason capsica Novo Mexico indigena iactat et de capsicis (optimis!) quae in Colorato coluntur cum Timotheo rixatur.
KUMWAMINI MUNGU KWA KUMFUATA/KUPITIA KWA YESU KRISTO. Ukisoma Luka 8:12 “Wale wa karibu na njia ndio wasikiao, kisha huja Ibilisi akaliondoa hilo neno mioyoni mwao, wasije wakaamini na kuokoka.” Pia Warumi 1:28 “Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.” Ufahamu ulioko ndani ya akili zisizofaa zilifanya wamkatae Mungu. Kwa hiyo akili itafanya mtu amkubali au amkatae Mungu. 2 Wakorintho 11:3 “Lakini nachelea; kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu, mkauacha unyofu na usafi kwa Kristo.” Shetani akitaka uache usafi na unyoofu wa Kristo, hashambulii roho yako kwanza; anashambulia fikira zako kwanza au kinachokusaidia kufikiri, yaani akili. Shetani alipotaka kufikia roho ya Adamu na Hawa alishambulia fikra zao, kwa hiyo akitaka kuzuia watu wasimwamini Yesu kama jinsi Mungu alivyomtuma, atashikilia fikira. Ukisoma 2 Wakorintho 4:3-4 “Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea; ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.” Mathayo 22:36-37 “Mwalimu, katika torati ni amri ipi iliyo kuu? Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.” Akimaanisha kuwa akili zako ziwe na namna fulani ziweze kushiriana na roho na imani la sivyo kumpenda Mungu wako kutapwaya mahali. 2 Timotheo 3:8-9 “Na kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Musa, vivyo hivyo na hawa wanapingana na ile kweli; ni watu walioharibika akili zao, wamekataliwa kwa mambo ya imani. Lakini hawataendelea sana; maana upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama vile na upumbavu wa hao ulivyokuwa dhahiri.” Kinachofanya wapingane na kweli ya Mungu ni akili zao kwa sababu zimeharibika tofauti na kiwango Mungu anachotaka, na kwa sababu hiyo zile akili zinapingana na ile kweli na kusababisha kuwa mbali na imani na kukosa kufanya kazi na kushiriana kama zilivyokusudiwa kushiriana. Unaweza ukawa na msimamo mkali kabisa ukifikiri ni msimamo wa kiroho, kumbe ni akili zako zimekuwekea ugumu usielewe na usisogee. Tuangalie 1 Yohana 5:20 “Nasi twajua kwamba Mwana wa Mungu amekwisha kuja, naye ametupa akili kwamba tumjue yeye aliye wa kweli, nasi tumo ndani yake yeye aliye wa kweli, yaani, ndani ya Mwana wake Yesu Kristo. Huyu ndiye Mungu wa kweli, na uzima wa milele.” Kazi mojawapo ya akili ni kumjua Yeye Aliye wa Kweli. Kwa nini nimeanza na huo mfano? Ni kwa sababu watu wengi sana hawajajua ya kwamba Mungu aliweka hivi vitu viweze kufanya kazi pamoja. Nilishangaa sana nilipokuwa nikisoma Biblia na kufutalia uumbaji wa mwanadamu na zaidi pale Mungu aliposema na tumuumbe mtu kwa mfano wetu na akampa mwili, kwa sababu Mungu hana mwili kama tulio nao ni roho peke yake ambayo inaruhusiwa kuishi kwenye maeneo mawili kwa wakati mmoja bila shida. Mwanadamu aliruhusiwa na aliumbwa aweza kuishi katika ulimwengu wa kimwili na wa kiroho kwa wakati mmoja. Aweze kuishi katika ulimwengu wa kimwili, lakini aweze kuwasiliana na kuishi katika ulimwengu wa kiroho bila shida. Mungu alipokuwa anataka kushirikiana na sisi kutusaidia ilibidi atafute dada mmoja aitwaye Mariam apite kule ndani achukue mwili, na ndiyo maana Biblia inasema mwili nilikuwekea tayari la sivyo ingekuwa ngumu sana kutembea kama sisi na kufa pale msalabani, ilibidi lazima awe na mwili kama wetu. Maana maandiko yanasema kuna miili ya duniani na miili ya mbinguni. Asingeweza kutumia mwili wa mbinguni kuja kutusaidia, ilibidi lazima awe na mwili wa duniani na ndiyo maana Biblia inasema alivua utukufu wake ili aweze kuja duniani. Na Mungu alimuumba mtu kwa namna ambavyo hawezi kuishi katika kiwango ambacho Mungu alikikusudia bila Mungu na ndiyo maana tuliumbwa kwa mfano wake na kila kitu kingine kiliumbwa kwa mfano wa hicho kitu. Lakini mwanadamu peke yake ndiye ambaye alizuiwa asizae kwa mfano wake. Maana hatukuumbwa kwa mfano wa mwanadamu bali kwa mfano wa Mungu, lakini tukaitwa wanadamu ili tusizae mfano wa wanadamu bali tuzae mfano wa Mungu. Mwanadamu alipomkataa Mungu ule uzima wa Mungu na sura ya Mungu ndani viliondoka, maana alimkataa na akakubali roho ya upande mwingine ile roho ya giza kuja kutawala maisha yake.
Swahili: Initiating Spiritual Growth in the Church: Audios, Videos and Articles
2 Timothy 2:2 The Plan of Discipleship - Mpango ya uwanafunzi 2 Timotheo 2:2 - provides practical advice on how one should disciple another and especially on how a leader of the church can implement discipleship training in the church.
Datooga Biblia (Non-umetiwa chumvi) - Datooga Bible (Non-dramatized)
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Kiswahili Biblia (non-umetiwa chumvi) Habari Njema - Kiswahili Habari Njema Bible (non-dramatized)
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.
Timotheo wa moyo ripoti - The Thessalonians sent Timothy with a good report concerning their progress.