Andreas ana shughuli nyingi za kufanya. Inambidi kushughulikia wageni hotelini, kuwatafutia wazazi wake chumba na pia kumhoji Charlemagne. Ziada ya hayo, wazazi wake wanamchunguza ex ni nani na wapi alikutana na binti yao. Mambo muhimu ya sarufi: Vitenzi vya utaratibu, wakati timilifu, uhusika usiou…

Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘

Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa

Andreas anapokea simu kutoka mtu anayemjua... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) wa vitendo vinavyotenganishwa

Matatizo Hotel Europa: Bomba la mvua (shower) limeharibika... Muhtasari wa sarufi: Kiulizio cha wakati

Mtafaruku katika mapokezi ya hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kijineno denn

Siku ya kukosa bahati Herr Müller... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case III)

Mahojiano na Karl Mkuu ... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case II)

Mazungumzo kuhusu siri za Aachen... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case I)

Ripoti ya Andreas: maandalizi ya mwanzo ya kikazi... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya

Andreas anatoa siri yake... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) kwa kitendo haben

Andreas na Ex kabla ya kwenda kutazama mchezo wa kuigiza... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case) kwa majina ya kiume (masculine nouns)

Mvutano kuhusu mchezo upi wa kuingiza unafaa... Muhtasari wa sarufi: Kielezi cha pahali wo. Kitendo cha utaratibu sollen

Mama yake Andreas yuko katika duka kubwa... Muhtasari wa sarufi: Kuunganisha majina (nomino)

Baba yake Andreas ana matatizo.. Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dativ case) wa kidhihirishi kikamilifu (definite article) na viwakilishi vya binafsi.

Mijadala migumu katika familia ya Andreas... Muhtasari wa sarufi: Kuuliza kwa kutumia neno wohin

Mama yake Andreas anataka kujua mengi... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu wollen

Friji la Andreas ni tupu tena... Muhtasari wa sarufi: Majina bila ya vidhihirishi

Simu inalia: Wazazi wa Andreas wanakuja... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vya utaratibu sollen na müssen

Kwenye mapokezi ya hoteli: Mgeni mmoja ana haraka... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu dürfen

Mgeni wa ajabu katika chumba namba 15...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mtungo wa maneno

Andreas na Ex wanacheza mchezoMuhtasari wa sarufi: Marudio ya viwakilishi vya binafsi (personal pronouns)

Kero hata na meneja wa hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kiambishi awali (prefix) un- na kiambishi tamati (suffix)-in

Kero jengine na wageni wa hoteli...Muhtasari wa sarufi: Marudio ya mwendesho wa vitendo

Mabwana wageni na mabibi wa makamo – Andreas akiwa kazini kwenye mapokezi ya hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu können

Je, umeikosa Sehemu ya 1? Humo wahusika walikuwa...Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya