Podcasts about kujua

  • 18PODCASTS
  • 29EPISODES
  • 19mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Sep 6, 2023LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kujua

Latest podcast episodes about kujua

Dr Boaz Mkumbo
elimu ya kutathmini na kujua athari za vyakula mwilini inapatikana katika katika kitabu cha Sayansi YaMapishi

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Sep 6, 2023 0:21


Ili kupata elimu ya kutathmini na kujifunza athari za vyakula pata nakala yako ya kitabu cha sayansi ya mapishi, kitabu chenye mwongozo wa lishe bora utakaokusaidia kujiepusha na magonjwa ya lishe kupata kitabu cha sayansi ya mapishi piga simu namba:+255787 999 994     Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +255787 999 994   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

moja ili katika elimu kitabu vyakula kujua
Habari za UN
Mradi wa ILO wawezesha wanawake wa kimasai Kenya kujua kusoma, kuandika na kuanzisha biashara

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 27, 2023 0:02


Nchini Kenya, mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO wa ubia wa maendeleo kati ya sekta ya umma na binafsi, PPDP umewezesha wanawake wa jamii ya kimasai katika eneo la Rift Valley kujiinua kiuchumi na kijamii. Thelma Mwadzaya na ripoti kamili kama ilivyoandaliwa na ILO.Mmoja wa wanufaika hao ni Mary Nkisonkoi kutoka kijiji cha Oloshaiki kilichoko eneo la Rift Valley au Bonde la Ufa nchini Kenya.Mary kupitia video ya ILO anasema alikuwa na bahati sana kuchaguliwa kuwa mwezeshaji wa jamii katika mradi wa PPDP.“Kabla ya mradi huu kuanza, wanawake katika eneo letu hawakuwa wanakutana na kuzungumza kwa uwazi na kina matatizo na changamoto zinazowakabili. Hatukuruhusiwa kufanya hivyo labda pale tu ambapo waume zetu walifahamu kile ambacho kinajadiliwa,” anasema Mary.Walikuwa wamezoea kusalia kijijini na kukutana kanisani na baada ya ibadi kila mtu anarejea nyumbani na kuendelea na wajibu wake wa kifamilia. Hatukufahamu kuwa sisi wanawake na akina mama tunaweza kufanya kitu na kusaidia kama jamii au kama wanawake.PPDP ikabisha hodi OloshaikiMradi wa PPDP ukaingia na ukaanza kufundisha wanawake kuhusu jinsia, haki za wanawake na tofauti kati ya mke na mume.“Hii ilituhamasisha kuzungumza na wanaume wetu,” anasema Mary huku akiongeza kwamba alifundishwa kuwa mwezeshaji ili kuwaleta pamoja wanawake na wanaume katika majukwaa ya umma. “Niliwaita wazee wa kijiji, wanawake, viongozi wa vikundi vya kijamii ili kujadili ni jambo gani lifanyike ili kuinua eneo letu.”Mabadiliko chanya ya kujivuniaMary anasema mabadiliko ya kwanza kutokea na ambayo anajivunia ni pale wanawake walipoweza kupata elimu ya watu wazima. “Tulifundishwa na mwalimu kutoka mradi wa PPDP. Tulifundishwa pia jinsi ya kuendesha biashara.”Wanawake wengi walijiunga na darasa kwa sababu “hatukuwa na njia nyingine ya kujipatia kipato. Kwa asili, wanawake hawawezi kuuza ng'ombe au mahindi kwa sababu shamba ni mali ya mume.”Walijipanga vema ili wasikose darasaMary anasema mwanzoni ilikuwa changamoto, lakini walijifunza kujipanga mapema kuhakikisha majukumu ya nyumbani na uchungaji wa mbuzi na ng'ombe unafanyika asubuhi. Ikifika saa 8 adhuhuri watoto wanaporejea nyumbani kutoka shuleni, wanawake walienda darasani.“Wanawake walijifunza alfabeti pamoja nan amba na matokeo yake waliweza kutumia simu za rununu au za kiganjani,” anasema Mary.Baada ya kujua kusoma na kuandika, nini kilifuatia?Mwezashaji huyu wa jamii anasema baada ya darasa la elimu ya watu wazima, walifikiria ni nini tena wanaweza kufanya na kuleta mabadiliko zaidi.“Tulianzisha kikundi cha upatu. Siku yetu ya soko ni jumatano ambako  wanawake wanauza maharage, viazi au mboga za majani. Tuliamua kukutana kila Alhamisi baada ya siku ya soko na kila mwanamke alete dola senti 40 au dola senti 81. Na iwapo mwanamke anataka kukopa fedha kukuza biashara yake, tunamkopesha na atarejesha na riba. Kisha tutampatia tena mwanamke mwingine akuze biashara yake.” Mafanikio mengine sasa wanaume wamepata uelewa wa kuwapatia wake zao nafasi na fursa kwa sababu Mary anasema, “nilipoketi nao kama mwezeshaji, niliwaeleza kuwa akina mama nao wanaweza kuleta kipato nyumbani, wakalipa karo na hata kununua chakula.”Sasa anasema wako huru kuanzisha na kumiliki biashara. Kila mwanamke anaweza kupeleka kitu nyumbani na kuweka mezani, hata kiwe kidogo kiasi gani.Hata shilingi 500 za Kenya saw ana dola 4.10. Tunawaambia waume zetu hiki ndicho nilichopata,” anasema Mary akiongeza kuwa hayo ni mabadiliko makubwa na hatuishi kama tulivyokuwa tunaishi zamani. Mary anasema “ninajiambia katika biashara yangu siku moja nitakuwa miongoni mwa nyota zinazong'ara kwenye eneo hili.” Kupitia ujasiriamali wa kukuza ng'ombe bora, Mary ameweza kujenga nyumba yake na anatamatisha akisema, “wanawake si watu wa kukandamizwa. Pale mwanamke anapoelimishwa, jamii itanufaika zaidi. Kwa hiyo…

kenya pale ufa ilo bonde kisha hata sasa umoja hii kila kwa siku rift valley baada wanawake biashara mataifa kabla kujua
She's Bold Podcast
Unachohitaji Kujua Kuhusu Plastic Surgery .

She's Bold Podcast

Play Episode Listen Later Jan 21, 2023 13:05


In this Episode Najma explores cosmetic surgery practices in Tanzania, the episode features deep analysis of what exactly is cosmetic surgery and its procedures, what are the possible side effects and how women can value and appreciate their bodies with the existence of factors like abuse, social media that can influence one to dislike their body and last do cosmetic surgery. The episode also talks about the Chinese creams and oils women use to increase their body parts. Sylvia Sostenes a psychologist offers a piece of advice in this episode.

Jioni - Voice of America
Russia inaonekana kushindwa kujua mkakati wa vita wa Ukraine, madai ya kuuwa wanajeshi 600 wa Ukraine ni ya 'uongo' - Januari 08, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 8, 2023 30:00


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

russia ukraine afrika mashariki kujua
Kwa Undani - Voice of America
Matokeo zaidi yanaendelea kutoka katika uchaguzi wa katikati ya muhula nchini Marekani unaofuatiliwa kujua nani atafanikiwa kudhibiti bunge - Novemba 09, 2022

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 9, 2022 30:00


Udhibiti wa baraza la Seneti na baraza la wawakilishi nchini Marekani bado haujakamilika wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kutoka uchaguzi wa katikati ya muhula uliofanyika Novemba 8

zaidi bunge katika marekani uchaguzi novemba kujua
SBS Swahili - SBS Swahili
Raila na Ruto kujua hatma ya ndoto zao zakuwa Rais

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 5, 2022 6:08


Vinara wa mirengo yakisiasa nchini Kenya wanasubiri kwa hamu, kujua maamuzi ya mahakama ya upeo kwa maombi iliyo pokea kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu.

Alfajiri - Voice of America
Uingereza kujua waziri mkuu mpya wiki ijayo. - Septemba 01, 2022

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 1, 2022 29:59


Wajumbe wa konsavative wanatarajiwa kuchagua aliyekuwa chancellor Rishi Sunak, au waziri wa kigeni wa sasa Liz Truss ambaye kura ya maoni inaonyesha akiwa mbele.

wiki liz truss rishi sunak uingereza kujua waziri mkuu
Habari za UN
Harakati za Uganda kukuza kiswahili, utafiti wafanyika kujua ni nini kikwazo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 1, 2022 4:21


Mnamo tarehe 23 mwezi Novemba mwaka jana 2021, Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO liliridhia tarehe 7 mwezi Julai kila mwaka kuwa siku ya kimataifa ya Kiswahili.    Hatua hii imezingatia misingi mbalimbali ikiwemo nafasi ya lugha hiyo katika kuleta utangamano katika jamii, kuwa chanzo cha kipato na hata kusongesha amani na usalama.    Uamuzi huo ulipitishwa huku nchi mbalimbali za Afrika zikichukua hatua kuimarisha matumizi ya lugha hiyo ikiwemo nchini Uganda ambako serikali ya Uganda imeimarisha utafiti kote nchini ili kubaini kwa nini lugha ya Kiswahili haikui kama inavyotarajiwa katika nchi hiyo mwanachama mkongwe wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.     Utafiti huo uliotekelezwa kupitia Idara ya lugha ya Chuo Kikuu cha Makerere ulilenga pia kuhamasisha wananchi kuhusu manufaa ya lugha ya Kiswahili na kubaini mikakati ya kukuza lugha hiyo adhimu huku walengwa zaidi wakiwa ni vijana.     Kwa kina kuhusu kinachofanyika ungana na mwandishi John Kibego akizungumza na Dokta Caroline Asiimwe Mhadhiri kwenye Chuo Kikuu cha Makerere, alipokutana naye akifanya utafiti kuhusu lugha hiyo katika jiji la Hoima magharibi mwa Uganda. 

uganda afrika nini umoja kiswahili julai mataifa afrika mashariki novemba kujua chuo kikuu
SBS Swahili - SBS Swahili
Rajabu"Nia yangu nikuwasaidia watu ambao Kiingereza siyo lugha ya mama"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 1, 2022 13:37


Kujua namna yakutoa huduma ya kwanza, kunaweza kuwa tofauti ya mtu kufa au kupona. 

Radio Uhai Broadcast
Yessu Atakupa Kujua Sauti Ya Mungu Na Isiyo Ya Mungu (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later May 30, 2022 60:00


Swadakta Podcast
Kati ya boy na dem wako in a relationship nani anafaa kujua vitu mob??? Kujua tu!!!

Swadakta Podcast

Play Episode Listen Later Nov 13, 2021 53:09


In this episode Swaleh and Major Maina focus on discussing alot abt relationships and also we improved on our levels of production

Habari za UN
Wanawake wa vijijini wanastahili kuwezeshwa kumili mali na kujua haki zao:FAO

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 14, 2021 4:08


Kuelekea siku ya kimataifa ya wanawake wa kijijini ambayo huadhimishwa tarehe 15 ya mwezi Oktoba kila mwaka, Devotha Songorwa wa redio washirika ya Kiss FM nchini Tanzania amezungumza na wanawake kutoka mikoa ya Manyara na Mbeya wanaoshiriki maonesho mahsusi kwa ajili ya siku hiyo mkoani Kilimanjaro nchini Tanzania  ambao wamemueleza changamoto za kiuchumi wanazokabilana nazo hasa wakati huu wa janga la ugonjwa wa Corona au COVID-10 , sambamba na umiliki wa ardhi vijijini. Adeladia Joachim Malya kutoka kijiji cha Sigino mkoani Manyara ameeleza namna wanawake wanavyoshiriki kikamilifu katika kilimo lakini sio wanufaika wa matapo ya jasho lao “ Maisha kijijini ni magumu, wanawake wanalima wanashirikiana na waume zao na watoto lakini kifika wakati wa mavuno baba ndio anamiliki mazao, mama anakosa uhuru na mazao waliyolima pamoja pesa ni mali ya baba”.  Ameongeza kuwa ugonjwa wa Corona au COVID-19 umewaathiri sana kwakukaa nyumbani. “ Wanawake wa vijijini wengi ni wajasiriamali, wanafanya shughuli kwa ajili ya maisha kwa ajili ya watoto kuwanunulia mahitaji yao, sasa Corona imefanya wakina mama wengi kushindwa kutoka kwenda kufanya biashara mijini na hii imefanya wenye mikopo kushindwa kurejesha mikopo yao” Mawazo yake yameungwa mkono na mwanakijiji kutoka mkoani Mbeya Sophia Mrwati mjasiriamali aliyegusia elimu ya Corona na fursa ya wanawake kumiliki ardhi. “ Tunashukuru tunapokuwa kwenye vikundi vya kinamama tunapatiwa elimu ya corona na sasa tunajua kuwa japo ni hiyari lakini ni muhimu sana hasa watu wazima kupata chanjo, watu wote wanahamasishwa kupata chanjo kwa usalama wao. Pia tunaelimishwa juu ya ulaji wa vyakula vyenye lishe sio kulima tuu na kuuza, tunapaswa kula viazi lishe mbogamboga na vyakula vya protini” amesema Sophia na kuongeza kuwa “ changamoto kubwa tunayokumbana nayo ni kuwa wanawake wengi wa vijijini hawafahamu juu ya haki yao ya kumiliki ardhi kwahiyo unakuta wanaume tuu ndio wanao miliki ardhi”. Kwa upande wake,   Stella Kimambo ambaye ni Afisa Lishe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO nchini Tanzania,  anaeleza namna shirika hilo linavyogusa wananwake wa vijijini. “Asilimia kubwa ya wazalishaji wa chakula ni wanawake kwahiyo tunafanya kazi kwa karibu sana na wanawake tukiwasihi wasizalishe na kuuza bali wakilete kile chakula kutoka kwenye mashamba yao mpaka kifike mezani mwao watoto wao wale na wawe na lishe bora.” Stella ameongeza kuwa katika kusherehekea siku ya wanawake wa vijijini wanaangazia pia suala la umiliki wa ardhi. “ Kumekuwa na mila na destuli hasa katika maeneo mengi ya Afrika kumuweka mwanamke nyuma, yeye analima tuu kwenye ardhi lakini hawezi kuimiliki, kwahiyo tunataka aimilikie ile ardhi, alime vizuri na chakula kiweze kufika mezani. Tunatoa hamasa pia katika kumsaidia aweze kupata pembejeo za kilimo ili aweze kulima sana kwasababu yeye ni mkulima ambaye anatufanya sisi wote tunafurahi mezani tunapofika mezani, ni mkulima wa pekee.” Kauli mbiu mwaka huu ya siku ya wanawake wa vijijini ni “Ardhi ni nyenzo kwa Maendeleo ya Mwanamke wa Kijijini”

covid-19 corona tanzania afrika mali kilimanjaro kiss fm umoja maisha haki kwa wanawake kauli mataifa mwanamke maendeleo oktoba mbeya shirika kujua
Habari za UN
Wanaojua kusoma na kuandika wazidi kuongezeka : UNESCO

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 8, 2021 3:08


Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kujua kusoma na kuandika leo Septemba 8 Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO linasema kumekuwa na hatua kubwa katika miongo kadhaa iliyopita takwimu za mwaka 2019 zikionesha kwamba asilimia 86 ya watu kote ulimwenguni wana uwezo wa kusoma na kuandika ikilinganishwa na asilimia 68 mwaka 1979.  (TAARIFA YA FLORA NDUCHA) Katika ujumbe wake kwa siku ya leo, Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi. Audrey Azoulay ameanza na kumnukuu kiongozi na mwandishi mashuhuri kutoka Marekani, Frederick Douglass aliyesema, “pindi tu unapojua kusoma, daima utakuwa huru." Hatahivyo Bi. Azoulay amesema hatua zilizopigwa zinatishiwa kwa mfano nchini Afghanistan, nchi ambayo imepiga hatua kubwa katika kipindi cha miaka 20 iliyopita.  Ameongeza kuwa kampeni kubwa zaidi ya kusoma na kuandika katika historia ya UNESCO iliendeshwa huko Kabul na majimbo ya Afghanistan, na tangu ilipoanza mnamo mwaka 2006 imewahusisha zaidi ya Waafghanistan milioni 1.2, wakiwemo wanawake 800,000.  Elimu ya Waafghanistan wote lazima iendelee ameongeza . Mustakabali wa nchi unategemea hii  sio tu kwamba elimu ni haki ya kimsingi, pia ni kiungo muhimu katika kufanikisha maendeleo.   Wakati huo huo, hatua katika kusoma na kuandika ulimwenguni kote zinaendelea kuzuiliwa na janga la COVID-19. Kwa maana hiyo, amesema kumekuwa na tofauti za kielimu zikichochewa zaidi na utofauti wa ufikiaji wa teknolojia za kidijitali.  Kulingana na takwimu za UNESCO, ukosefu wa fursa ya kusoma kwa njia za kidijitali umesababisa wanafunzi milioni 500 kuachwa nyuma, kwani wameshindwa kuendelea kujifunza kusoma na kuandika, na wakati mwingine wameshindwa kuanza masomo yao.  Mkurugenzi mkuu huyo amesema Janga la Corona limeathiri vibaya watu waliotengwa zaidi, hususan vijana na watu wazima milioni 773 kwani hawana ujuzi wa kimsingi wa kusoma na kuandika, theluthi mbili kati yao ni wanawake, na watoto milioni 617 na barubaru ambao walikuwa hawajafikia viwango vya chini vya kusoma kabla ya janga.  Kwa hivyo amesisitiza kuwa ugonjwa wa virusi vya corona au COVID-19 umefichua umuhimu mkubwa wa elimu na hitaji la kuongeza juhudi.   UNESCO imeonyesha kujitolea kwake katika elimu tangu mwanzo wa janga hilo kwa kuzindua Umoja wa Kimataifa wa Elimu, kwa kushirikiana na washirika 180 wanaofanya kazi katika nchi 100 tofauti.   UNESCO pia imezindua mipango kadhaa ya kuhakikisha mwendelezo wa elimu na kuhakikisha kuwa shule zinaweza kufunguliwa salama.  Hasa, Umoja wa Kimataifa wa Elimu, pamoja na Umoja wa Kimataifa wa Kujua kusoma na kuandika katika mfumo wa mafunzo ya maisha yote, imetekeleza mpango mkubwa wa kufundisha walimu 100,000 katika zaidi ya nchi 10 tofauti, ili waweze kutumia vizuri ujuzi wao wa kidijitali kusaidia kila mtu aweze kusoma na kuandika.  

Sheria Poa Podcast
Jinsi ya kumiliki eneo ndani ya jengo Tanzania (Unit Titles / Condominium)

Sheria Poa Podcast

Play Episode Listen Later Aug 11, 2021 21:43


Kipindi cha leo ni muendelezo wa mada ya kujua jinsi ya kumiliki ardhi Tanzania. Leo tupo na Wakili Msomi Victor Mwakimi, na mazungumzo ya leo ni kujua hasa jinsi mtu anaweza akamiliki eneo ndani ya jengo. Pia kuzungumzia kuhusu haki azipatazo mtu anayenunua eneo ndani ya jengo au eneo na zile anazopata mtu aliyenunua kiwanja au nyumba na kama kuna utaofauti wowote kati ya wamiliki hawa. Kujua zaidi kuhusu wawasilishaji; Victor Mwakimi; https://tz.linkedin.com/in/victor-mwakimi-5a5188125 https://www.lysonlaw.co.tz/member/vmwakimi@lysonlaw.co.tz Privaty Rugambwa; https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123 Kupakua sheria; The unit titles Act; http://lands.go.tz/uploads/documents/en/1456495481-The%20Unit%20Titles%20Act%20No.%2016%20of%202008.pdf --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sheriapoa/message

act titles tanzania condominiums jinsi kipindi jengo kujua
Vijana na Mapenzi
VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Mchumba wako afaa kujua kiwango cha mshahara wako?

Vijana na Mapenzi

Play Episode Listen Later Jun 11, 2021 15:00


Suala la fedha katika mahusiano ya kimapenzi, bila shaka limechangia kuvunjika kwa mahusiano mengi kutokana na ukosefu wa uwazi. Mada hii inalenga kuangazia namna ya kulijadili mnapochumbiana. Washauri wa masuala ya kijamii, Alex Munyere na Rachel Mahungu wanalichanganua katika podcast hii.

afaa wako vijana kujua
Sheria Poa Podcast
Haki za wanyama wafugwao majumbani Tanzania

Sheria Poa Podcast

Play Episode Listen Later Jun 9, 2021 31:09


Sikuhizi imekuwa ni kitu cha kawaida kuona nyumba au watu wakifuga wanyama mbalimbali kama mbwa au paka kama wanyama rafiki, kwa ajili ya majumbani kwa ilinzi au tu kama marafiki. Pia imekuwa ni kama desturi kuona vijana wakiwa wanauza wanyama hawa barabarani au sehemu mbalimbali kwenye miji mbalimbali Tanzania. Kumekuwa na maswali mengi sana kutoka kwa wadau na kwenye mitandao juu ya haki za wanyama wafugwao majumbani na wajibu ya watunza wanyama hawa. Katika kipindi cha leo, watoa mada wetu leo ni Mawakili Wasomi Ndugu Privaty Rugambwa, na Emmanuel Bakilana wamefanya tafiti juu ya haki za wanyama hawa wafugwao majumbani na katika kipindi cha leo tutapata kujua haki za wanyama hawa na wapi kama jamii tunafanya makosa. Kujua zaidi kuhusu wawasilishaji; Deodatus Tesha; https://tz.linkedin.com/in/deo-tesha-32545776 Privaty Rugambwa; https://www.linkedin.com/in/privaty-patiensi-rugambwa-5078554a/ https://www.irglobal.com/advisor/privaty-patiensi-rugambwa/ Emmanuel Bakilana; https://tz.linkedin.com/in/emmanuel-g-bakilana-846405123 Kupakua sheria na nyaraka; https://www.mifugouvuvi.go.tz/uploads/publications/sw1595835544-Animal%20Welfare%20Act%202008.pdf https://www.mifugouvuvi.go.tz/uploads/publications/sw1595837886-SERA%20YA%20MIFUGO.pdf --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sheriapoa/message

Radio Uhai Broadcast
Ukitaka Kujua Rafiki Wa Kweli Pata Tatizo (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later May 6, 2021 39:00


Dr Boaz Mkumbo
Mambo 05 yanayoweza kukugharimu juu ya afya yako. Yafahamu Uyatatue

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Mar 21, 2021 61:42


MAMBO O5 YANAYO GHARIMU AFYA NA UHAI WAKO 1.Kutokuhoji Kile Unachokula na Kunywa -Mazoea -Malezi -Makundi ya marafiki -Uraibu wa vyakula (Food addictions) 2.Kuruhusu uzito mkubwa na Kupalilia Kitambi Wengi wanatembea na Kisukari Kilicho Jificha kiitwacho Pre diabetes 3. Mwili kuwa katika msongo wa sumu zinazojeruhi mwili ziitwazo Free radicals bila 4.Kujua yaani Oxidative stress. 5. Kupuuza au kuyapotezea maradhi ya Lishe mpaka yanakuletea athari kubwa zisizotibika.  "Kufa siogopi lakini Kuishi kwa mateso ya upofu au kupoteza kiungo hapa duniani sio chaguo langu"

Habari za UN
Masomo kwa njia ya redio yanasaidia lakini ni vigumu kujua kama watoto wanafuatilia-Mwalimu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 6, 2020 3:45


Kutokana na kufungwa kwa shule kama mojawapo ya njia za kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona, covid-19 nchi mbalimbali zimetafuta njia mbadala ya kusambaza elimu kwa watoto badala ya kuwakutanisha katika madarasa ya kawaida ya shule. Njia hizo ni pamoja na kuelimisha kupitita vyombo vya habari kama radio na televisheni na mitandao ya kijamii.

kama watoto lakini njia mwalimu kujua redio
Pattrigga's Time
MiMi Part 2

Pattrigga's Time

Play Episode Listen Later Jun 14, 2020 13:13


Kujua kwamba unatosha ndio kunakupa nguvu ya kuwa wewe na kujikubali.

kujua
SBS Swahili - SBS Swahili
Delphin:"Tuna watu watakao gawa hela, nakufautilia kujua hela zinawafikia watu"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 21, 2020 10:20


Zoezi la kutafuta miili ya watu waliopoteza maisha linaendelea katika mji wa Uvira, mkoani Kivu Kusini, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, baada ya kukumbwa na mafuriko katikati mwa wiki iliyopita.

congo floods tuna hela flash floods watu delphin gawa jamhuri mashariki uvira kidemokrasia kujua
Kilimo ajira
Kilimo Ajira 2: Mambo 5 mkulima apaswa kujua

Kilimo ajira

Play Episode Listen Later Nov 13, 2019


Kilimo Ajira 2: 5 things a farmer should know Starting out with agriculture doesn’t have to be hard. But there are some basic steps every farmer can take to ensure better results. Farmers need a plan how to access land, capital and means of production. Studio guests: Florence Omutimba, trainer at the Anglican Development Service and Francis Muhenge, Ministry of Agriculture, Kakamega County. Kilimo Ajira 2: Mambo 5 mkulima apaswa kujua Kuanza kilimo haifai kuwa jambo gumu. Lakini kuna mpangilio fulani kila mkulima apaswa kuzingatia ili aweze kupata mazao bora. Wakulima wanahitaji mpango wa kupata shamba au ardhi, hela na uzalishaji. Wageni katika studio; Florence Omutimba ambaya ni mkufunzi katika shirika la Anglican Development Services na Francis Muhenge kutoka Wizara ya Kilimo, Kaunti ya Kakamega.

ministry farmers studio agriculture mambo lakini ajira kakamega kujua
Ni Salama
Kumwamini Mungu kwa kumfuata Yesu Kristo (Sehemu ya Tatu)

Ni Salama

Play Episode Listen Later Jul 18, 2019 10:13


Kwa hiyo tangu wakati ule kuna vitu ambavyo alivyokuwa anafanya moja kwa moja vinazaa tena mfano wa kile kitu alichobeba. Sasa unaweza ukaelewa kwa nini katika kipindi hiki cha Agano jipya ni lazima tuzaliwe kwa mara ya pili. Maandiko yanatuambia ndani yake tunaishi, tunakwenda na kuwa na uhai wetu na Biblia inatuambia tutaishi kwa imani Ni imani ya namna gani? Waebrania anasema Waebrania 11:6 “Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza; kwa maana mtu amwendeaye Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko, na kwamba huwapa thawabu wale wamtafutao.” IMANI YA KWANZA NI HII:- PASIPO IMANI HAIWEZEKANI KUMPENDEZA; KWA MAANA MTU AMWENDEAYE MUNGU LAZIMA AAMINI KWAMBA YEYE YUKO Yaani usiishi kama vile Mungu hayupo. Kwenye Kiswahili cha kawaida tunahiita Uchaji Kwenye tafsiri nyingine ya kiingereza inaitwa hofu ya Mungu The fear of God. Kujua ya kwamba Mungu yupo. Kwa sababu ile tu kujua ya kwamba Mungu yupo inatosha kubadilisha na kuweka msimamo wako na malengo yako kwa namna ambavyo unajua Mungu yupo. IMANI YA PILI NI HII:- KILA AMWENDEAYE MUNGU LAZIMA AAMINI KWAMBA YEYE YUKO, NA KWAMBA HUWAPA THAWABU WALE WAMTAFUTAO Kwa nini tunamtafuta? kwa sababu dhambi ilitutenga naye. AINA NYINGINE YA IMANI NI KWENYE KITABU CHA Waebrania 11:1 “Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.” Kwa sababu dhambi ilipoingia ilituvurugia mawasiliano yetu ya kawaida na vitu visivyoonekana na ulimwengu wa roho. Maana ilikuwa ukienda kwenye ulimwengu wa roho ni au Mungu ajifunue kwako la sivyo utakutana na ulimwengu wa roho wa ulimwengu wa giza na ndiyo maana wanadamu ni wepesi sana kushabikia vitu vya ulimwengu wa giza kuliko vile vya ulimwengu wa nuru, kwa sababu hivyo vya giza ndiyo mazingira tuliyonayo. Shetani anajiita mungu wa dunia hii na katengeneza mazingira ambayo ni kitu cha kawaida huoni watu wakishtuka watu wakienda kwenye nguvu za giza, lakini watashtuka wakisikia kwenye familia mtu akiokoka. Imani inapokuja katika Kristo Yesu au katika Neno la Mungu kazi yake mojawapo ni kukutengenezea kitu mbele yako lengo ni kitu kilichopo mbele yako ambacho unataka kukifika, na Mungu asingetaka uende na malengo yoyote unayotaka Kwa sababu Yeremia anasema Yeremia 29:11 “Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.” Tafsiri nyingine anasema “ninajua mpango niliowapangia mimi asema Bwana ni mpango wa kuwafanikisha na kuwapa tumaini katika siku zenu za usoni” Kwa hiyo Mungu analo alilokuletea duniani, huji duniani halafu unatafuta ambalo Mungu alitaka ufanye, unakuja duniani kwa sababu lipo tayari na unatakiwa ulifanye wakati huu. Na Mungu ndiye anajua. Kwa hiyo kama unataka kulijua hilo kusudi, mjue Mungu kwanza. Watu wanataka kujua Mungu alichowapa wafanye lakini hawataki kumjua Mungu. Biblia inasema mjue sana Mungu ili uwe na amani ndivyo mema yatakavyokujia Kwa hiyo kuna ile imani ya kuwa na kitu unachokitarajia, kunakuwa na malengo kwenye maisha ya kwako na hayo malengo saa hii unakuwa huyaoni kwa jinsi ya nje lakini imani inakusaidia uyaone na unakuwa na uhakika ya kwamba Mungu yupo pamoja na wewe kwa sababu siyo imani uliyoiokota mahali, bali ni imani inayotokana na Neno la Mungu kiasi ambacho kile unachokikusudia, kile unachojiwekea malengo hakiko nje ya Neno la Mungu bali kiko kwenye maisha aliyokutengenezea. Na Mungu aliweka ya kwamba Imani na Akili na Mwili vifanye kazi pamoja. Kwa lugha rahisi zaidi ni kwamba aliumba roho, nafsi na mwili vifanye kazi pamoja. Kwa hiyo katika roho Neno la Mungu likija unapokea Imani, na katika nafsi Neno la Mungu likija unapewa kuelewa ndiyo maana BIblia inasema akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko Roho haihitaji kuelewa ili kumfuata Mungu, yenyewe inahitaji kuamini na ikiisha kuamini inasonga mbele lakini akili inahitaji kuelewa, kwanini? Ili iwe na nafasi ya kuuelewesha mwili kwa sababu kufuatana na Biblia mwili hauna mpango wa kwenda mbinguni. Usifikiri ni kitu chepesi sana kwa sababu unapokuwa mtendaji wa Neno inamaanisha mpaka mwili uweze kuhusika, vinapoanza kushindana kati ya imani yako na unachofikiri na unachotaka kufanya uwe na uhakika malengo yako huwezi kuyafikia, yatabaki tu kwenye makaratasi na moyo wako maana upinzani mkubwa unaanza ndani yako na shetani anajua mahali pa kukamata ni kwenye akili. Na ndiyo maana kama unataka kumjua Mungu na kumfuata Yesu na neno lake jifunze kuombea akili zako. UHUSIANO WA KUMTUMIKIA MUNGU NA KURUDI KWA YESU (Sehemu ya Kwanza) Mathayo 24:45-51,44 “Ni nani basi yule mtumwa mwaminifu mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape watu chakula kwa wakati wake? Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo. Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote. Lakini mtumwa yule mbaya akisema moyoni mwake, Bwana wangu anakawia; akaanza kuwapiga wajoli wake, na kula na kunywa pamoja na walevi; bwana wake mtumwa huyo atakuja siku asiyodhani, na saa asiyojua, atamkata vipande viwili, na kumwekea fungu lake pamoja na wanafiki; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno. Kwa sababu hiyo ninyi nanyi jiwekeni tayari; kwa kuwa katika saa msiyodhani Mwana wa Adamu yuaja.” Tunapozungumza juu ya kumtumikia Mungu watu wengi sana hufikiria watu wachache tu yaani wahubiri, wachungaji, wainjilisti au wanaofanya kazi kanisani. Lakini kwenye Biblia inasema kila kiungo katika mwili wa Kristo kina nafasi yake na kazi yake kwa hiyo ni mtumishi wa Mungu. Inawezekana usihubiri, lakini pale ulipo ni mtumishi wa Mungu maana yake usimame katika kusudi lake ni kueneza Ufalme wake katika kazi ufanyayo. Hakikisha watu wanamjua Mungu maana Biblia inasema kila aliye mwana anao ushuhuda haisemi kila aliye mtumishi. Lakini pia kuna watu wengine ambao wanamtumikia Mungu bila wao kujua hata Israeli aliambiwa nimekufunga mshipi ingawa hukunijua ili wapate kunijua mimi ya kwamba hakuna Mungu kama mimi Kwa hiyo wakati Mungu anamchukua Israeli ili amtumie Israeli kujifunua kwa ulimwengu, Mungu anasema Israeli hakumjua. Kwa hiyo Mungu anaweza kukutumia wakati wewe humjui kwa sababu zake yeye, anaweza kujifunua wakati anaendelea kukutumia au anaweza kunyamaza.

SBS Swahili - SBS Swahili
How vocational training help Immigrants - Jinsi mafunzo stadi yanavyosaidia Wahamiaji

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 7, 2019 6:49


Settling in a foreign country require special attention when it comes on using your skills to sustain life.In Australia, there is vocational training that help many immigrants.[[{"fid":"1781077","view_mode":"body_content","uuid":"04044d7e-65ee-4f5d-a498-e0db4745ef67","type":"media","attributes":{"height":"400","width":"300","alt":"Karenzo Leonard","title":"Student at Ultimo TAFE","class":"media-element file-body-content"}}]]To know more, join Amadee Nizigama when he spoke to Karenzo Leonard, who is a current student at TAFE. - Kuweka makazi kwenye nchi ya kigeni kunahitaji umakini hasa linapokuja swala la kutumia taaluma ili kujikimu kimaisha.Hapa Australia kuna mfumo wa mafunzo stadi ambao huwasaidia wahamiaji wengi.[[{"fid":"1781077","view_mode":"body_content","uuid":"04044d7e-65ee-4f5d-a498-e0db4745ef67","type":"media","attributes":{"height":"400","width":"300","alt":"Karenzo Leonard","title":"Student at Ultimo TAFE","class":"media-element file-body-content"}}]]Kujua zaidi, ungana na Amadee Nizigama alipoongea na Karenzo leonard mwanachuo wa TAFE.

Naweza Show
NAWEZA Show - Sehemu ya 10 (Riziki): Umuhimu wa mama kujua hali yake ya afya baada ya kujifungua

Naweza Show

Play Episode Listen Later May 20, 2019 27:24


Stori za Kweli, Watu wa Ukweli, Maamuzi Sahihi! Maisha bora huanza kwa kusema #Naweza. Sikiliza sehemu ya kumi ya kipindi cha Naweza, leo sikiliza stori ya Riziki.

mama maisha stori kweli afya watu yake baada sehemu umuhimu sikiliza kujua
Du Vanguard au Savoy
Émission du 22 août 2018 - 15e émission de la 39e session...

Du Vanguard au Savoy

Play Episode Listen Later Aug 23, 2018


15e émission de la 39e session... Cette semaine, du funk-jazz, jazz-rock et finale noise! En musique: Ronnie Foster sur l'album Two Headed Freap  (Blue Note, 1972); Kamaal Williams sur l'album The Return  (Black Focus, 2018); MABUTA sur l'album Welcome To This World  (Kujua, 2018); Akira Sakata / Bill Laswell / Hamid Drake / Pete Cosey sur l'albm Fisherman's.com  (Trost, 2018); Anteloper sur l'album Kudu  (International Anthem, 2018); Sly & The Family Drone & Dead Neanderthals sur l'album Molar Wrench  (Hominid Sounds, 2017)

Du Vanguard au Savoy
Émission du 22 août 2018 - 15e émission de la 39e session...

Du Vanguard au Savoy

Play Episode Listen Later Aug 22, 2018


15e émission de la 39e session... Cette semaine, du funk-jazz, jazz-rock et finale noise! En musique: Ronnie Foster sur l'album Two Headed Freap  (Blue Note, 1972); Kamaal Williams sur l'album The Return  (Black Focus, 2018); MABUTA sur l'album Welcome To This World  (Kujua, 2018); Akira Sakata / Bill Laswell / Hamid Drake / Pete Cosey sur l'albm Fisherman's.com  (Trost, 2018); Anteloper sur l'album Kudu  (International Anthem, 2018); Sly & The Family Drone & Dead Neanderthals sur l'album Molar Wrench  (Hominid Sounds, 2017)

Afrika Ya Mashariki
Afrika Ya Mashariki - Hati za kusafiria kwa raia wa Afrika ya mashariki

Afrika Ya Mashariki

Play Episode Listen Later Sep 5, 2014 9:22


Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangaziajuu ya hati za kusafiria kwa raia wa afrika ya mashariki. Nchi za Kenya, Rwanda na Uganda zimekubaliana kutumia vitambulisho vya uraia kutoka nchi moja hadi nyingine baina ya nchi hizo. Je, kuna changamoto gani katika utekelezwaji wa hatua hiyo? Kujua mengi zaidi, sikiliza makala haya.

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Somo 10 – Siku zote unataka kujua kila kitu

Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Mar 17, 2009 13:42


Mama yake Andreas anataka kujua mengi... Muhtasari wa sarufi: Kitendo cha utaratibu wollen

mama andreas somo kila siku kitu zote kujua deutsch – warum nicht? kujifunza kijerumani muhtasari kitendo kozi ya kierumani