POPULARITY
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayomulika Mkataba wa Kimataifa wa kulinda viumbe hai wa baharini kwenye Bahari Kuu na ujumbe wa Mzee Ali Haji, Naibu Katibu Mkuu anayehusika na Katiba na Sheria katika Ofisi ya Rais, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar nchini Tanzania kuhus umuhimu wa mkataba huu.Kesi inaendelea katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ mjini The Hague, kuhusu madai kwamba Myanmar ilitekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Rohingya. Mawakili wa Gambia wameiambia mahakama hiyo kuwa jeshi la Myanmar lilichochea ghasia kupitia kauli za chuki, likiwaita Warohingya “mbwa Waislamu”kabla ya mashambulizi ya mwaka 2017.Baada ya zaidi ya siku 1,000 za mzozo, Sudan inakabiliwa na mgogoro mkubwa zaidi wa njaa na uhamaji wa watu duniani. Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani WFP, leo linaonya kuwa operesheni zake za kuokoa maisha ziko hatarini kutokana na uhaba mkubwa wa ufadhili.Mamilioni ya raia wa Uganda leo walipiga kura katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na serikali za mitaa huku Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR likisisitiza umuhimu wa wakimbizi zaidi ya milioni moja nchini humo kubaki bila kuegemea upande wowote wa kisiasa. Shirika hilo limeonya kuwa kushiriki katika siasa kunaweza kuwakosesha wakimbizi usalama, kupelekea mateso kutoka nchi zao za asili, au kuathiri ulinzi na hali yao ya hifadhi nchini Uganda.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili na leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana na ya neno "MLOWIMA"Mwenyeji wako ni Rashid Malekela, karibu!
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tunaungana na Frateri Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali hili, sisi Wakatoliki tunasali siku ya Jumapili, Wasabato wanasali siku ya Jumamosi na Waislamu wanasali siku ya Ijumaa, Je, siku ya kusali ni ipi? L'articolo Je, unafahamu kwanini Wakatoliki wanasali Jumapili? proviene da Radio Maria.
Trump aahidi akichaguliwa atarejesha marufuku ya kusafiri kwa baadhi ya nchi zenye waislamu wengi
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Na Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi & Msimamizi wa Kitume Jimbo Katoliki Bukoba.
Waislamu kote duniani wame sherehekea mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadan, kwa chakula, sala na kujumuika na familia baada ya mwezi mzima wakufunga.
Waislamu kote duniania, wanaadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha, katikati ya janga la Covid 19.Sherehe zinaendeleaje hapo ulipo ?
Nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini humo, MINUSCA umetekeleza mradi wa maji na kusaidia kuleta utangamano baina ya jamii kwenye manispaa moja ya mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui.
Waislamu kote nchini Australia wameshiriki katika sherehe zaki historia za Eid.
Waislamu kote nchini Australia wameadhimisha Eid, ila wakati bado kuna vizuizi vya Covid-19, maadhimisho ya Eid yatakuwa tofauti kuliko ya miaka ya nyuma.
A debate of tradition versus technology is simmering in Australia's Muslim community on the eve of Eid El-Fitr.The religious holiday celebrated by 1.6 billion Muslims marks the end of Ramadan, but some scholars are split on exactly when that day should be. - Mjadala wa jadi dhidi ya teknolojia ni sawa na jumuiya ya Waislamu Australia wakati wa siku ya Eid El-Fitr.Sikukuu ya kidini iliyoadhimishwa na Waislamu 1.6 bilioni, ilihitimisha mfungo wa Ramadhani, lakini wasomi wengine wanagawanyika hasa kuhusu siku gani inapaswa kusherehekewa sikukuu.
Muslims in Australia and around the world are observing the holy month of Ramadan. - Waislamu nchini Tanzania na duniani kote, wanashiriki katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Muslims around the world are currently observing Ramadan, a holy month in the Muslim calendar. - Waislamu duniani kote wame anza mafungo, katika mwezi mtukufu wa Ramadan ambao ni mwezi muhimu katika kalenda ya waislamu.
Wajibu Wa Kumtii Mtume S.A.W, Na Kulazimika Kuwa Katika Jamaa Ya Waislamu
Wajibu Wa Kumtii Mtume S.A.W, Na Kulazimika Kuwa Katika Jamaa Ya Waislamu