Podcasts about Sheria

village in Haryana, India

  • 84PODCASTS
  • 271EPISODES
  • 35mAVG DURATION
  • 1WEEKLY EPISODE
  • Apr 2, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about Sheria

Latest podcast episodes about Sheria

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu sheria za vizuizi batilishi vya ndoa?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 2, 2025 53:29


Ungana nami Raymond Karega Katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladslaus Mgaya, Mwanasheria wa sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, akitufundisha juu ya sheria za vizuizi batilishi vya ndoa. L'articolo Je, wafahamu sheria za vizuizi batilishi vya ndoa? proviene da Radio Maria.

KNON Radio
sheria-smith2

KNON Radio

Play Episode Listen Later Mar 25, 2025 22:22


sheria-smith2 by

Mwalimu Huruma Gadi
S1005. Sheria ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Mar 17, 2025 120:13


Sheria ya Imani

Radio Maria Tanzania
Fahamu kizuizi batilishi cha Ndoa Takatifu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 17, 2025 56:36


Karibu uungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za  Kanisa Kutoka Studio za Radio Maria Tanzia leo tupo Padre  Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa Katoliki Kutoka Jimbo Katoliki Njombe, ambapo leo anatuongoza kujifunza Kizuizi Batilishi ya Ndoa Sheria namba 1073 – 1082 L'articolo Fahamu kizuizi batilishi cha Ndoa Takatifu. proviene da Radio Maria.

Mwalimu Huruma Gadi
S1004. Sheria ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Mar 10, 2025 110:37


Sheria ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi
S1003. Sheria ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Mar 3, 2025 109:43


S1003. Sheria ya Imani

Radio Maria Tanzania
Fahamu namna bora ya kujitayarisha na Sakaramenti ya Ndoa.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 3, 2025 56:23


Karibu uungane nami Raymond Karega katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, akiendelea kutuelimisha juu ya sheria za matayarisho ya ndoa. L'articolo Fahamu namna bora ya kujitayarisha na Sakaramenti ya Ndoa. proviene da Radio Maria.

Mwalimu Huruma Gadi
S1002. Sheria ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Feb 24, 2025 86:37


Sheria ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi
S1001. Sheria ya Imani

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Feb 16, 2025 114:47


Sheria ya Imani

Radio Maria Tanzania
Ifahamu Sheria Namba 1055-1058.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 10, 2025 48:28


Karibu ungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za  Kanisa Kutoka Studio za Radio Maria Tanzia leo tupo Padre  Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa Katoliki Kutoka Jimbo Katoliki Njombe, ambapo leo anatuongoza kujifunza Sheria ya Ndoa Takatifu   L'articolo Ifahamu Sheria Namba 1055-1058. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu matayarisho ya Ndoa Takatifu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 10, 2025 48:18


Karibu ungana nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, akituongoza kujifunza Matayarisho ya Ndoa Takatifu. L'articolo Je, wafahamu matayarisho ya Ndoa Takatifu? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Nini maana ya Dhana ya Ndoa?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 27, 2025 57:41


Karibu ungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa sheria za kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, akituongoza kujifunza Muendelezo wa Dhana ya Ndoa. L'articolo Nini maana ya Dhana ya Ndoa? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ifahamu Sheria Namba 1055-1058.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 13, 2025 48:28


Karibu ungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za  Kanisa Kutoka Studio za Radio Maria Tanzia leo tupo Padre  Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa Katoliki Kutoka Jimbo Katoliki Njombe, ambapo leo anatuongoza kujifunza Sheria ya Ndoa Takatifu   L'articolo Ifahamu Sheria Namba 1055-1058. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu sababu za kufunguiwa kupata Daraja Takatifu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 30, 2024 49:38


Karibu uungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za  Kanisa Kutoka Studio za Radio Maria Tanzia leo tupo Padre  Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa Katoliki Kutoka Jimbo Katoliki Njombe, ambapo leo anatuongoza kujifunza sababu za kufungiwa kupata Daraja Takatifu   L'articolo Je, wafahamu sababu za kufunguiwa kupata Daraja Takatifu? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu Sheria Namba 1030 ya Daraja Takatifu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 16, 2024 42:39


Ungana nami Raymond Karega, Katika Kipindi cha Sheria za Kanisa ambapo kwa namna ya pekee Padre Ladslaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe akiwa anaangazia Sheria ya Upadrisho 1030. L'articolo Fahamu Sheria Namba 1030 ya Daraja Takatifu? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Profesa Ngũgĩ wa Thiong'o: Ajabu hata katiba za Afrika ziko kwa lugha za Ulaya

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 4, 2024 2:06


Haki si haki iwapo inatolewa kwa lugha ambayo haileweki kwa wahusika, wamejulishwa washiriki wa mkutano wa pili wa wanazuoni unaofanyika hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekani na pia mtandaoni ukimulika Madaraka, Haki na Binadamu: Utawala wa Sheria na mabadiliko Afrika. Anold Kayanda na maelezo zaidi.

Habari za UN
04 DESEMBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 4, 2024 9:58


Hii leo jaridani tunaangazia uzinduzi wa ombi la ufadhili wa mahitaji ya Kibinadamu (GHO), na umuhimu wa lugha mama katika kukuza haki za binadamu. Makala tunasalia hapa makao makuu ya umoja wa mataifa na mashinani tunakupeleka nchini Senegal, kulikoni?Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) ikizindua Ripoti ya Kimataifa ya mahitaji ya Kibinadamu (GHO) kwa mwaka ujao wa 2025 imetangaza ombi la ufadhili kwani takriban watu milioni 305 duniani kote watahitaji msaada wa kibinadamu katika mwaka ujao.Haki si haki iwapo inatolewa kwa lugha ambayo haileweki kwa wahusika, wamejulishwa washiriki wa mkutano wa pili wa wanazuoni unaofanyika hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa New York, Marekani na pia mtandaoni ukimulika Madaraka, Haki na Binadamu: Utawala wa Sheria na mabadiliko Afrika.Makala tunasalia hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa ambapo mkutano wa mwaka 2024 wa Taaluma kuhusu Afrika leo katika leo umeingia siku ya pili hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Mkutano huo ulioandaliwa na Ofisi ya mshauri maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Afrika UNOSAA ni wa siku tatu na umebeba maudhui "Nguvu, Haki, na watu” kwa ajili ya mabadiliko ya Afrika.Na mashinani fursa ni yake Antar sarr, Kijana mkulima wa mbogamboga kutoka Senegal ambaye ni mmoja wa wanufaika wa mradi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya kilimo, IFAD unaowawezesha vijana nchini humo kwa kilimo na biashara ndogondogo ili kuondokana na fikra za kwenda Ulaya kusaka Maisha bora na ajira, akisema mradi huo imempatia matumaini.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!  

Habari za UN
03 DESEMBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 3, 2024 9:58


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo inamulika harakati za Umoja wa Mataifa nchini Tanzania kuhakikisha wafugaji kuku wasiotumia dawa kiholela wananufaika kiuchumi baada ya kupatiwa mafunzo. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani ya Timor-Leste.Leo ni Siku ya Kimataifa ya Watu wenye Ulemavu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia ujumbe mahususi kwa siku hii, ameueleza ulimwengu kuwa maadhimisho ya mwaka huu yanawakumbusha kwamba ulimwengu unahitaji uongozi wa watu wenye ulemavu zaidi kuliko hapo awali. Guterres ameeleza kuwa Watu wenye ulemavu tayari wanabeba mzigo mkubwa wa majanga yanayoumiza ulimwengu lakini mara nyingi wananyimwa haki yao ya kuchangia katika suluhu za majanga haya.Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Uchunguzi kuhusu Syria hii leo imezitaka pande zinazopigana nchini Syria zifuate kikamilifu sheria za kimataifa na kuwalinda raia. Hii inatokana na ongezeko kubwa la mapigano tangu tarehe 27 mwezi uliopita ambayo yanatishia kuenea katika maeneo mengine ya nchi.Mkutano wa mwaka 2024 wa Taaluma kuhusu Afrika umeanza leo katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani. Mada ya mkutano huo wa siku tatu ni "Nguvu, Haki, na Watu: Haki za Binadamu na Utawala wa Sheria kwa Mabadiliko ya Afrika." Mkutano huo wa kila mwaka unalenga kuongeza uwakilishi wa Waafrika katika ufadhili wa kimaendeleo wa kimataifa, ili kuchagiza mustakabali bora wa Afrika.Na mashinani leo ikiwa ni siku ya watu wenye ulemavu duniani tunakupeleka Timor-Leste, kusini-mashariki mwa Asia kuona jinsi mradi uliofadhiliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Mazingira, UNEP umemwezesha Antonio Ornai mwenye ulemavu wa kutoona kushiriki zoezi la kuitikia maonyo ya taarifa za majanga kwenye taifa hilo ambalo hugubikwa na majanga ya asili mara kwa mara kama vimbunga na mafuriko.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!  

Radio Maria Tanzania
Je, Kanisa Katoliki linaongozwa kwa Sheria na Miongozo au kwa Imani na Mafundisho?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 28, 2024 27:54


Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Daudi Fungameza, Kutoka Seminari Kuu Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Je, Kanisa Katoliki linaongozwa kwa Sheria na Miongozo au kwa Imani na Mafundisho? L'articolo Je, Kanisa Katoliki linaongozwa kwa Sheria na Miongozo au kwa Imani na Mafundisho? proviene da Radio Maria.

SBS Swahili - SBS Swahili
Elewa sheria za chanjo za watoto nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Nov 19, 2024 14:11


Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.

Radio Maria Tanzania
Ifahamu Sheria Ya Kanisa Na. 1030 -1029 Wenye Daraja Takatifu

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 18, 2024 57:02


Ungana nami Raymond Karega, Katika Kipindi cha Sheria za Kanisa ambapo kwa namna ya pekee Padre Ladslaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe akiwa anaangazia Sheria ya Upadrisho 1030. L'articolo Ifahamu Sheria Ya Kanisa Na. 1030 -1029 Wenye Daraja Takatifu proviene da Radio Maria.

Habari RFI-Ki
Australia yapitisha sheria ya kuwazuia watoto kutumia mitandao ya kijamii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 14, 2024 10:23


Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto

Habari RFI-Ki
Australia yapitisha sheria ya kuwazuia watoto kutumia mitandao ya kijamii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 14, 2024 10:23


Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto

Habari RFI-Ki
Australia imeridhia sheria kuwazuia watoto kutotumia mitandao ya kijamii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 14, 2024 10:23


Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto

Habari RFI-Ki
Australia imeridhia sheria kuwazuia watoto kutotumia mitandao ya kijamii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 14, 2024 10:23


Bunge la Australia limesema mitandao ya kijamii ina madhara makubwa kwa watoto

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu Sheria ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 4, 2024 51:43


Karibu uungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za  Kanisa Kutoka Studio za Radio Maria Tanzia leo tupo Padre  Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa Katoliki Kutoka Jimbo Katoliki Njombe, ambapo leo anatuongoza kujifunza sheria ya  Sakramenti ya Daraja Takatifu ya Upadre.   L'articolo Je, wafahamu Sheria ya Sakramenti ya Daraja Takatifu ? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ifahamu Sheria ya Kanisa namba 1016-1023 ya Sakramenti ya Daraja Takatifu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 21, 2024 55:07


Karibu uungne nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za Kanisa Studio tupo na Padre Ladslaus Mgaya, Mwanasheria wa sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe akielezea Sheria Namba 1016-1023  ya Sakramenti ya Daraja Takatifu. L'articolo Ifahamu Sheria ya Kanisa namba 1016-1023 ya Sakramenti ya Daraja Takatifu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Zifahamu Sheria za Sakramenti la Daraja Takatifu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 7, 2024 45:01


Karibu uungane nami John Samky katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji Padre Ladsladius Mgaya Mwanasheria wa Sheria za Kanisa,  Jimbo Katoliki la Njombe, Sheria za Sakramenti Takatifu la Daraja Takatifu. L'articolo Zifahamu Sheria za Sakramenti la Daraja Takatifu. proviene da Radio Maria.

CHICKS N2 SPORTS QUARANTINE EDITION
EP 149 Guest Dr Sheria Rowe

CHICKS N2 SPORTS QUARANTINE EDITION

Play Episode Listen Later Sep 29, 2024 41:37


Jioni - Voice of America
Mahakama ya juu Kenya yasimamisha uamuzi wa mahakama ya chini kuhusu sheria ya fedha ya mwaka 2023 - Agosti 19, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 19, 2024 29:59


Mahakama ya juu Kenya yasimamisha uamuzi wa mahakama ya chini kuhusu sheria ya fedha ya mwaka 2023

Y'all Gay Podcast
Gonna Be a Good Round with Sheria Mattis

Y'all Gay Podcast

Play Episode Listen Later Aug 13, 2024 70:03


This week Ali & Ever are joined by Sheria Mattis (@sheriamattiscomedy) to talk about the golden age of Hollywod including Cary Grant tea, Black Dahlia murders, and depression movies. Find out what strain of depression you have on Episode 125 of Y'all Gay Podcast! Ever Mainard (@evermainard) Ali Clayton (@acountryclayton) Poster by: @rudyschultz Theme Song By: @awkvanmills & @johnnylove34 Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoices

SBS Swahili - SBS Swahili
Sababu nzuri zaku tii sheria za watembeaji wa miguu

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 13, 2024 13:49


Kila siku, watu wanao tembea kwa miguu kote nchini Australia huvunja sheria bila kujua. Hali hii inaweza sababisha adhabu, na wakati mwingine inaweza sababisha ajali.

SBS Swahili - SBS Swahili
Kuelewa mfumo wa sheria wa Australia: sheria, mahakama na msaada wakisheria

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 6, 2024 13:14


Mfumo wa sheria wa Australia ni mfumo changamano ulio undwa kudumisha utaratibu, kuhakikisha nakulinda haki za raia wake.

Jioni - Voice of America
Shinkizo la kutaka mabadiliko ya sheria za uchaguzi Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu 2025 - Mei 10, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later May 10, 2024 59:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Alfajiri - Voice of America
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria - Mei 07, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later May 7, 2024 30:00


White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria

The Friendly Troll
Faragha ya Kidijitali Nchini Kenya: Haki za Picha na Ulinzi wa Kisheria

The Friendly Troll

Play Episode Listen Later May 2, 2024 13:42


Katika kipindi hiki cha "The Friendly Troll," msimulizi Calvin Mulindwa anachunguza kwa kina haki za picha nchini Kenya, akiangazia msingi wao wa kisheria na athari zake katika dunia halisi. Kipindi hiki kinachambua maana ya haki za picha, pamoja na haki ya kudhibiti matumizi ya sura ya mtu katika maeneo ya umma na biashara. Calvin anajadili sheria muhimu kama vile Sheria ya Ulinzi wa Data ya Kenya ya 2019 na Ibara ya 31 ya Katiba, akielezea jukumu lao katika kulinda faragha binafsi. Kupitia kesi muhimu kama vile Wangechi Waweru Mwende dhidi ya Tecno Mobile Limited na Jessica Clarise Wanjiru dhidi ya Davinci Aesthetics, kipindi hiki kinaonyesha jinsi mahakama zilivyoshughulikia ukiukwaji wa haki hizi, ikisisitiza umuhimu wa ridhaa wazi na matumizi halali ya picha binafsi. Majadiliano pia yanatoa ushauri wa vitendo kwa watu binafsi na wadhibiti na wasindikaji wa data juu ya kuheshimu na kulinda haki za picha katika mazingira ya kidijitali na biashara.Malalamiko Yaliyoorodheshwa:Phyllis Nyaboke dhidi ya Grola Tech Limited T/A Lion Cash - Ukiukaji wa kutopata ridhaa ya moja kwa moja.Brian Wainaina na Gathoni Mattai dhidi ya Deltech Capital Kenya Limited T/A Mykes - Kushindwa kutoa taarifa inayofaa kuhusu matumizi ya data, ikisababisha uvunjaji wa faragha.Edith Andeso dhidi ya Shule za Olerai Limited - Masuala kuhusu usimamizi wa ridhaa endelevu kwa madhumuni ya masoko.Christine Wairimu Muturi dhidi ya Shule ya Roma Uthiru - Mahitaji ya ridhaa wazi ya wazazi kwa usindikaji wa data za watoto wadogo.Sheria Zilizonukuliwa: Ibara ya 31. Katiba ya Kenya Sheria ya Ulinzi wa Data ya 2019. Uamuzi wa Mahakama ya Kenya: Wangechi Waweru Mwende dhidi ya Tecno Mobile Limited [2020]Image Rights - Release Form Information Pack Music:Intro/Outro  – https://pixabay.com/music/id-102694/

Jioni - Voice of America
Serekali ya DRC yamuagiza gavana wa Ituri kuwafurusha na kuwarudisha kwao raia wote wa China wanaochimba migodi kinyume cha sheria - Mei 02, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later May 2, 2024 29:59


CHICKS N2 SPORTS QUARANTINE EDITION
Ep 135 Guest Sheria Rowe

CHICKS N2 SPORTS QUARANTINE EDITION

Play Episode Listen Later Apr 27, 2024 40:02


SBS Swahili - SBS Swahili
Kuelewa sheria za vizuizi vya watoto pamoja na mazoezi bora

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 16, 2024 12:22


Hata kama Australia ina fahari yakuwa na moja ya viwango vya juu zaidi vya matumizi ya vizuizi vya watoto ndani ya gari, watoto wengi bado wana safiri ndani ya magari katika hali isiyo salama kutosha.

Teaching My Cat To Read
The Wheel of Time Series 2 - Part 2 - Lanfear Loves Lace, Leather, and Lews Therin

Teaching My Cat To Read

Play Episode Play 55 sec Highlight Listen Later Mar 24, 2024 60:33


In this bonus episode, we discuss episodes 3 and 4 of Amazon Primes “The Wheel of Time” series 2. In this episode we focus on episodes 3 and 4 of Series 2 (“What might be” and “Daughter of the Night”). In relation to the books, this series is an adaptation of books 2+3 “The Great Hunt” and “The Dragon Reborn”, so we try to not spoil anything plot wise after those books.“What Might Be”: To become an Accepted, Nynaeve must overcome her trials; Rand finds it difficult to control his power; While searching the tower for Nynaeve, Egwene and Elayne discover Sheria; Mat wakes up to find Liandrin, who is in mourning.“The Daughter of the Night”: Moiraine looks for Rand; Nynaeve grieves over all her losses. Lanfear Walks Again.Content WarningsNASupport the showRecommend us a Book!If there's a book you want to recommend to us to read, just send us a message/email and we'll pop it on our long list (but please read our review policy on our website first for the books we accept).Social MediaWebsite: https://teachingmycattoread.wordpress.com/Email: teachingmycattoread@gmail.comInstagram: https://www.instagram.com/teachmycat2read/Twitter: https://twitter.com/teachmycat2read?s=09Tumblr: https://teachingmycattoread.tumblr.comYoutube: https://www.youtube.com/channel/UCFXi9LNQv8SBQt8ilgTZXtQListener Surveyhttps://forms.gle/TBZUBH4SK8dez8RP9

APGCITV Anchor.fm from Lancaster Pennsylvania state in America

Radio Public APGCITV-USA FM Danieli(Daniel) 9 Maombi Ya Danieli 1 ⓩ Katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake Dario mwana wa Ahusuero (mzaliwa wa Umedi) ambaye alifanywa mtawala juu ya ufalme wa Babeli, 1 In the first year of Darius the son of Ahasuerus, of the seed of the Medes, which was made king over the realm of the Chaldeans; 2 ⓐ katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, mimi Danieli, nilielewa kutokana na Maandiko, kulingana na neno la BWANA alilopewa nabii Yeremia, kwamba ukiwa wa Yerusalemu ungetimizwa kwa miaka sabini. 2 In the first year of his reign I Daniel understood by books the number of the years, whereof the word of the LORD came to Jeremiah the prophet, that he would accomplish seventy years in the desolations of Jerusalem. 3 ⓑ Kwa hiyo nikamgeukia BWANA Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, kuvaa nguo ya gunia na kujipaka majivu. 3 And I set my face unto the Lord God, to seek by prayer and supplications, with fasting, and sackcloth, and ashes: 4 ⓒ Nikamwomba BWANA Mungu wangu na kutubu: “Ee Bwana, Mungu mkuu na unayetisha, anayeshika Agano lake la upendo kwao wanaompenda na kutii maagizo yake, 4 And I prayed unto the LORD my God, and made my confession, and said, O Lord, the great and dreadful God, keeping the covenant and mercy to them that love him, and to them that keep his commandments; 5 ⓓ tumetenda dhambi na kufanya mabaya. Tumekuwa waovu na tumeasi, tumegeuka mbali na maagizo yako na sheria zako. 5 We have sinned, and have committed iniquity, and have done wickedly, and have rebelled, even by departing from thy precepts and from thy judgments: 6 ⓔ Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, wakuu wetu, baba zetu na watu wote wa nchi. 6 Neither have we hearkened unto thy servants the prophets, which spake in thy name to our kings, our princes, and our fathers, and to all the people of the land. 7 ⓕ “Bwana, wewe ni mwenye haki, lakini siku hii ya leo tumefunikwa na aibu, wanaume wa Yuda na watu wa Yerusalemu nayo Israeli yote, wote walio karibu na walio mbali, katika nchi zote ulikotutawanya kwa sababu ya sisi kukosa uaminifu kwako. 7 O Lord, righteousness belongeth unto thee, but unto us confusion of faces, as at this day; to the men of Judah, and to the inhabitants of Jerusalem, and unto all Israel, that are near, and that are far off, through all the countries whither thou hast driven them, because of their trespass that they have trespassed against thee. 8 ⓖ Ee BWANA, sisi na wafalme wetu, wakuu wetu na baba zetu tumefunikwa na aibu kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako. 8 O Lord, to us belongeth confusion of face, to our kings, to our princes, and to our fathers, because we have sinned against thee. 9 ⓗ BWANA Mungu wetu ni mwenye rehema na anayesamehe, hata ingawa tumefanya uasi dhidi yake, 9 To the Lord our God belong mercies and forgivenesses, though we have rebelled against him; 10 ⓘ hatukumtii BWANA Mungu wetu wala kuzishika sheria alizotupa kupitia kwa watumishi wake manabii. 10 Neither have we obeyed the voice of the LORD our God, to walk in his laws, which he set before us by his servants the prophets. 11 ⓙ Israeli yote imekosea sheria yako na kugeuka mbali, nao wamekataa kukutii. “Kwa hiyo laana na viapo vya hukumu vilivyoandikwa katika Sheria ya Mose, mtumishi wa Mungu, vimemiminwa juu yetu, kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako. 11 Yea, all Israel have transgressed thy law, even by departing, that they might not obey thy voice; therefore the curse is poured upon us, and the oath that is written in the law of Moses the servant of God, because we have sinned against him. 12 ⓚ Umetimiza maneno uliyosema dhidi yetu na dhidi ya watawala wetu kwa kuleta maafa makubwa juu yetu. Chini ya mbingu yote kamwe hapajatendeka kitu kama kile kilichotendeka katika Yerusalemu. 12 And he hath confirmed his words, which he spake against us, and against our judges that judged us, by bringing upon us a great evil: for under --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/apostolicpowerofgod/support

Alfajiri - Voice of America
Wauzaji na wakulima wa miraa nchini Uganda walalamikia sheria mpya ya dawa za kulevya - Februari 21, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 21, 2024 29:59


Black Girl Couch Reviews
The Wheel of Time ”What Might Be”

Black Girl Couch Reviews

Play Episode Listen Later Oct 5, 2023 52:29


The Wheel of Time: Season 2, Episode 3 "What Might Be" To become an Accepted, Nynaeve must overcome her trials; Rand finds it difficult to control his power; While searching the tower for Nynaeve, Egwene and Elayne discover Sheria; Mat wakes up to find Liandrin, who is in mourning.   Scorecard: 9.4/10   Feedback : blackgirlcouch@gmail.com  (audio/written) Twitter: BlackGirl_Couch   Tumblr: slowlandrogynousmiracle

Lost Spaces
"I Never Really Came Out To My Mother... She Read My Diary..." - with Sheria Mattis

Lost Spaces

Play Episode Listen Later Sep 20, 2023 43:59


Sometimes I feel a bit dumb (or maybe just a bit sheepish) about some of the revelations I have through doing this show, especially since we're so close to 200 episodes (eek!) and I feel like I should know it all by now... But, then, on the other hand, the fact that I'm still learning so much is part of the reason that I'm so excited to share these stories with you. And this week the thing that resonated the most is the idea that when things are at their absolute worst also happens to be the time when being in a sweaty nightclub is actually the most fulfilling.... This week I was lucky enough to sit down with comedian and podcaster Sheria Mattis, and it helped me refocus on the importance of clubbing and nightlife and release. In those times of my life when things have felt so difficult and knotty and hard, being out and shocking my senses was the best way for me to recalibrate,. Oh, and before you listen to this episode - if you don't know who she is already you should probably google Rachel Maddow, because... well, we talk about her quite a lot and it's useful if you know what she looks like! Do you have any memories of Rock N Rollerskate, or clubbing from your own scene that you want to share? Well, if you have please get in touch - I want to create the biggest online record of people's memories and stories - go to www.lostspacespodcast.com and find the section 'Share a Lost Space' and tell me what you got up to! Bonus points for embarrassing photos! You can also find me on Facebook (www.facebook.com/lostspacespod), Instagram (www.instagram.com/lostspacespod) and Twitter (www.twitter.com/lostspacespod) Find out more about Sheria by listening to her podcast, Semi-Woke - a show where Sheria brainwashes her co-host Pranav with one woke concept a week with the ultimate end goal of turning him gay. I mean, what's not to love? Or, why not follow her on Instagram (https://www.instagram.com/sheriamattiscomedy) or on Twitter/X (https://twitter.com/sheriadidthat) --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/k-anderson/message

Alone at Lunch
S3 Ep29: Alone Being Black at Boarding School with Sheria Mattis

Alone at Lunch

Play Episode Listen Later Sep 11, 2023 59:56


This week we are joined by Sheria Mattis! Sheria Mattis is a comedian, writer, and actress. She has written for Reductress, Netflix is a Joke, Leslie Jones, Fran Drescher, and Abby Terkuhle. She is the co-host of the Gay Shame Comedy Show as well as the Semi-Woke Podcast! Make sure to check her out!In this episode, we discuss growing up in Brooklyn, going to boarding school, being the target of racism, pursuing theater and creative writing, school safety, being a queer black woman, and so much more. You won't believe the discussion we had about Sheri's experiences feeling targeted. Give this episode a listen! Recommendations from this episode: School TiesSurvival of the ThickestFollow Sheria Mattis: @sheriamattiscomedyFollow Carly: @carlyjmontagFollow Emily: @thefunnywalshFollow the podcast: @aloneatlunchpodPlease rate and review the podcast! Spread the word! Tell your friends! Email us: aloneatlunch@gmail.comSee Privacy Policy at https://art19.com/privacy and California Privacy Notice at https://art19.com/privacy#do-not-sell-my-info.

My Perfect Failure
Turning Tragedy into Triumph with Sheria Stallings

My Perfect Failure

Play Episode Listen Later Aug 31, 2023 48:22


MPF DISCUSSION with Sheria StallingsTurning Tragedy into Triumph with Sheria Stallings  About SheriaSheria Johnson Stallings is an energetic and enthusiastic cancer survivor, teacher, and coach who loves to encourage others with hope and truth. She is passionate about inspiring others to fulfil their destinies and build a lasting legacy. She is a dynamic teacher and motivating leader. Sheria is an Evangelist, Cheerleader for Christ, the Founder & Managing Director of She Soars (one of the fastest-growing women professional entrepreneurial connections) and Cast Your Pearls Philanthropic Benefit (which honors cancer survivors and extraordinary caregivers) and She Soars Above Youth (empowering youth to become intentional about the choices they make and the relationships they build). On this episode of My Perfect Failure (Turning Tragedy into Triumph) Sheria relives at the age of just 29 her life forever changed. Sheria was diagnosed with an aggressive form of cancer and as she was about to start her chemotherapy, sheria discovered she was pregnant.  Sheria shares her traumatic journey and how she was able to turn near tragedy into triumph.  Some of The Areas We Cover·       Why we should practice giving ourselves compassion and grace in our difficult moments.·       Our challenges can tell us what we are made of.·       Develop a network that's an outlier.·       Why we should not sweat the small stuff.·       Turning tragedy into triumph.  Connect with SheriaHere are also our other social media links:Website: http://shesoars.com/Facebook: https://www.facebook.com/SheSoarsInstagram: https://www.instagram.com/shesoarsllc/ Please Leave A Review Like this show? Please leave us a review here, even one sentence helps! Consider including your Twitter handle so we can thank you personally!   Paul: Contact Details  ·         Work with me: paul@myperfectfailure.com ·         MPF Website: http://www.myperfectfailure.com/  ·         Insta: follow: https://www.instagram.com/myperfectfailure/   ·         Twitter: https://twitter.com/failure_perfect  ·         Facebook MPF Private Group:  https://www.facebook.com/groups/377418129517757 

The Toni Awards
Chucky (w/ Sheria Mattis)

The Toni Awards

Play Episode Listen Later Aug 28, 2023 86:37


For the final recap of the pod, we're covering Chucky: season 2, episode 4. Sheria Mattis joins us to discuss Jake's beef with Sutton Stracke, TERF jealousy, and the time Kelsey Grammer took a tumblr. Befriend us: Pod: @thetoniawards on Instagram, @toniawardspod on Twitter Jake: @jakeheverhart on Instagram, @therealjakobeem on Twitter Sam: @samanthprosser on Instagram, @samanthprosser on Twitter Sheria: @sheriamattiscomedy on Instagram, @sheriadidthat on Twitter

We're Having Gay Sex
Sheria Mattis is Done Playing Chess With You | WHGS Ep. 182

We're Having Gay Sex

Play Episode Listen Later Aug 21, 2023 68:24


Sheria Mattis is a hilarious stand-up comedian, writer, and as of today our number one returning guest, but today she's done setting records and ready to take a load off with the gang! We discuss starting queer sex as a baby gay, the lack of communication in dating apps, and the importance of the metronome in sex. Also, the competition is set: Ashley has two months to not bang, and Maddie two months to make it happen. Who will go crazy first?! You can follow Sheria on IG: sheriamattiscomedy, Twitter: @sheriadidthat, and Tik Tok: @sheriadoesthat, and you can listen to her podcast “Semi-Woke” now: ▶ https://podcasts.apple.com/us/podcast/semi-woke/id1678590102  Support WHGS for bonus content, uncut podcasts, live streams, and more: ▶ https://www.patreon.com/WHGS Ashley is doing a theater tour! Get on her text list to get first dibs on tickets: ▶ https://www.ashleygavin.com/#dates  Check out our merch: ▶ https://shop.merchcentral.com/collections/ashley-gavin  ______________________________________________ – CONNECT WITH US! – Ashley Gavin's Tour Dates: https://www.ashleygavin.com/#dates Newsletter: https://mailchi.mp/6de0153eb9c8/whgs Instagram: https://www.instagram.com/ashgavs/ TikTok: https://www.tiktok.com/@ashgavscomedy Twitter: https://twitter.com/ashgavs ——— Maddie Wiener's Newsletter and Tour Dates:  https://www.maddiewiener.com  Instagram: https://www.instagram.com/maddietwiener/?hl=en  TikTok: https://www.tiktok.com/@maddietwiener  Twitter: https://twitter.com/maddietwiener YouTube: https://www.youtube.com/@maddietwiener   ——— Produced & Edited by Alex “swetshop” Vrahas: https://www.instagram.com/swetshopz/?hl=en  ——— Watch this on YouTube: https://youtu.be/2eB7aVEFhds  ______________________________________________ – SUPPORT OUR SPONSORS! – Helix:  ▶ Helix is offering 20% off all mattress orders AND two free pillows for our listeners! https://helixsleep.com/gaysex. This is their best offer yet and it won't last long! Learn more about your ad choices. Visit podcastchoices.com/adchoices

Dyking Out - a Lesbian and LGBTQ Podcast for Everyone!
Love's A Pitch Ep 2 preview w/ Sheria Mattis

Dyking Out - a Lesbian and LGBTQ Podcast for Everyone!

Play Episode Listen Later Feb 21, 2023 26:47


Listen to Love's A Pitch on Spotify or Apple Podcasts. As a reminder, you can listen to past Dyking Off Topic episodes with Carolyn and Melody on our Patreon for $5/month. Sponsored by BetterHelp Online Therapy: As a listener, you'll get 10% off your first month by visiting our sponsor at betterhelp.com/do  Sponsored by Nutrafol: Get free shipping on every order and $15 off at Nutrafol.com with promo code "DO" Learn more about your ad choices. Visit megaphone.fm/adchoices

We're Having Gay Sex
Don't Crush Sheria Mattis's Crush | We're Having Gay Sex #150

We're Having Gay Sex

Play Episode Listen Later Jan 9, 2023 69:17


ASHLEY IS DROPPING A SPECIAL SOON! Join her text list to be the first to know: ▶ https://www.ashleygavin.com/#dates,     or text “tour” to +1 (877) 497-0441 Sheria Mattis is a Brooklyn-born & bred comedian, writer, and actress that will crack you up, but today she's in the apartment to ATTEMPT to crack into some poon! We discuss having trouble getting laid, deconstructing unhealthy relationship pursuits, and how crazies exist in just about every race, not just whitey. Ashley is in luuuvveee. Maddie gets their head straight.   You can find Sheria on IG: @sheriamattiscomedy, Tiktok: @sheriadoesthat, Twitter: @sheriadidthat, And you can see her amazing comedy LIVE on Jan 21st at Young Ethel's in Brooklyn, NY: ▶ https://www.eventbrite.com/e/little-sister-comedy-tickets-495281429087  Support WHGS for bonus content, uncut podcasts, live streams, and more: ▶ https://www.patreon.com/WHGS Check out our merch: ▶ https://shop.merchcentral.com/collections/ashley-gavin  Listen to my new podcast, “Chosen Family,” on all platforms: ▶ https://www.chosenfamilypodcast.com/  ▶ https://www.youtube.com/@chosenfamilypod  ▶ https://www.patreon.com/chosenfamilypodcast  ______________________________________________ – CONNECT WITH US! – Ashley's Newsletter: ▶ https://mailchi.mp/6de0153eb9c8/whgs Ashley Tour Dates: ▶ https://www.ashleygavin.com/#dates Instagram: ▶ https://www.instagram.com/ashgavs/ TikTok: ▶ https://www.tiktok.com/@ashgavscomedy Twitter: ▶ https://twitter.com/ashgavs ——— Maddie Wiener's Newsletter and Tour Dates: ▶ https://www.maddiewiener.com  Instagram: ▶ https://www.instagram.com/maddietwiener/?hl=en  TikTok: ▶ https://www.tiktok.com/@maddietwiener  Twitter: ▶ https://twitter.com/maddietwiener  ——— Watch this on YouTube! ▶ https://youtu.be/IzHwdQ9Wmyw  ______________________________________________ – SUPPORT OUR SPONSORS! – Helix Sleep: ▶ Get up to $200 off all mattress orders and 2 free pillows at https://www.helixsleep.com/gaysex Rocket Money: ▶ Cancel unwanted subscriptions at https://www.rocketmoney.com/ashley Learn more about your ad choices. Visit podcastchoices.com/adchoices