POPULARITY
Washiriki wa Sherehe za kimataifa za mwaka huu wa 2024 za kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Chakula zilizofanyika leo katika makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) jijini Roma Italia wamesisitiza haja ya upatikanaji wa vyakula mbalimbali vya kutosha, vyenye lishe, bei nafuu na salama.Ni maadhimisho ambayo yamewaleta wadau wa kilimo na chakula kutoka kote duniani lakini yanakuja huku kukiwa na mvutano na mizozo ya kimataifa na majanga ya tabianchi ambayo ni miongoni mwa mambo yanayochangia changamoto ya mamia ya mamilioni ya watu duniani kote kukabiliwa na njaa na mabilioni ya watu kushindwa kumudu chakula bora, FAO inaeleza katika taarifa iliyochapishwa katika ukurasa wake wa wavuti.Katika hotuba yake ya ufunguzi Mkurugenzi Mkuu wa FAO, QU Dongyu, amesema mifumo ya kilimo cha chakula inabidi "kusaidia wakulima wadogo, wakulima wa ngazi ya familia na wafanyabiashara wadogo katika mnyororo wa thamani ambao katika nchi nyingi ni wa msingi katika kufanya vyakula vyenye lishe, vya aina mbalimbali vipatikane kwa wote, na kuhifadhi tamaduni za jadi za chakula.” Ujumbe huo wa mkuu wa FAO unafanana na ujumbe wa Papa Francis ambaye amesisitiza wafanya uamuzi wa kisiasa na kiuchumi katika ngazi ya kimataifa lazima wasikilize matakwa ya wale walio chini kabisa katika mnyororo wa chakula.Kwa upande wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kupitia video amesema, "kuna kitu hakiko sawa katika ulimwengu ambao njaa na utapiamlo ni ukweli wa maisha kwa mabilioni ya watoto, wanawake na wanaume." Akasema ulimwengu usio na njaa unawezekana, lakini "mifumo ya chakula inahitaji mabadiliko makubwa," ili kuwa na ufanisi zaidi, ujumuishi, mnepo na endelevu.Gérardine Mukeshimana, Makamu wa Rais wa Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) ametoa wito wa "uwekezaji wa haraka, wa pamoja na thabiti kwa wakulima maskini wa vijijini kutambua kwa ngazi ya chini kabisa haki yao ya msingi ya chakula chenye lishe." Akabainisha kuwa wakulima wadogo wanazalisha karibu nusu ya chakula cha dunia, ingawa pia wanakabiliwa na njaa na umaskini.Mfalme Letsie III wa Lesotho, ambaye ni Balozi Mwema Maalum wa FAO katika upande wa lishe anaeleza anavyoiunga mkono FAO kwa “kujaribu kuwa mtetezi mwaminifu na mwenye kujitolea katika masuala ya lishe, katika masuala ya uhakika wa chakula.” Anasema, “na mara kwa mara, mimi hutembelea sehemu nyingine za bara la Afrika nikivaa kofia yangu ya FAO, hasa kuhimiza serikali na viongozi kama bara kuwekeza zaidi katika masuala ya lishe na masuala ya uhakika wa chakula.”.
Hii leo jaridani tunaangazi siku ya chakula duniani ikitupeleka jijini Roma Italia kufuatilia maadhimisho yake. Pia tunakupeleka nchini Kenya kusikia ni kwa jinsi gani mashirika wanhaha kusaidia uoni kwa watu wenye changamoto. Makala tunakwengda nchini DRC na mashinani Sierra Leone, kulikoni?Washiriki wa Sherehe za kimataifa za mwaka huu wa 2024 za kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Chakula zilizofanyika leo katika makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) jijini Roma Italia wamesisitiza haja ya upatikanaji wa vyakula mbalimbali vya kutosha, vyenye lishe, bei nafuu na salama.Nchini Kenya, Idara ya Taifa ya Ulinzi wa Jamii kwa kushirikiana na Baraza la Kitaifa la Watu wenye ulemavu na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, wameendesha kambi ya kusaidia uoni kwa watu wenye changamoto ikiwemo Candy mwenye umri wa miaka 7 ambaye ana ualbino. Baba yake alifika kwenye kambi hiyo na anatusimulia kupitia video ya UNICEF Kenya.Makala inatupeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kusikia harakati za shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP la kusaidia wanawake wakimbizi kuondokana na ujinga wa kutokujua kusoma na kuandika.Mashinani tunamsikia Mpishi Mkuu Fatmata Binta kutoka kabila la wafugaji wanaohamahama la fulani nchini Sierra Leone anaeleza jinsi ushirikiano wake na shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, kuhusu ni kwa jinsi gani FAO umemwezesha kusambaza manufaa ya fonio, nafaka asili ya Afrika , inayoweza kuwa suluhisho la changamoto za ukosefu wa chakula na tabianchi.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Ungana na Mtangazji Agatha Kasimba katika kipindi cha Chakula na Lishe, Mwezeshaji Afisa Lishe Mtafiti Mwandamizi kutoka Tasisi ya Chakula na Lishe Tanzanzania TFS, Bi Adelini Mnuo, mada inayozungumziwa, Ulaji unao shauliwa nyakati za Sherehe . L'articolo Je, unafahamu vitu gani unatakiwa ule nyakati za Sherehe mbalimbali katika Jamii proviene da Radio Maria.
"Lunar New Year", also known as the "Spring Festival", has become a significant part of Australian culture. The celebration is so popular that Sydney's version is considered the largest outside Asia. - "Mwaka Mpya wa Lunar", unajulikana pia kama "Sherehe ya Mchipuko wa mimea", imekuwa sehemu muhimu ya tamaduni ya Australia. Sherehe hiyo imekuwa maarufu sana na sherehe za Sydney zina zingatiwa kama kubwa zaidi nje ya Asia.
Takriban halmashauri za jiji 80 kote nchini Australia, zime amua kubadili tarehe ya sherehe za kila mwaka za viapo vya uraia kutoka Januari 26.
Sherehe za Krismasi zafutwa Betlehemu huku Papa Francis akitoa wito wa amani kati ya Isaeli na Hamas
Kuwasilisha chakula cha asili jikoni mwako kunaweza kuwa sawia moja kwa moja kama kubadilisha, viungo vyako vya kawaida kwa mbadala wa asili.
Ungana na Mtangazaji Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi mada inayozungumzwa ni juu ya Sherehe ya Yesu Kristo Mfalme, Mwezeshaji Padre Dominic Mavula C.PP.S. Mkurugenzi wa Mtangazo ya Radio Maria Tanzania. L'articolo Ifahamu Sherehe Yesu Kristo Mfalme?. proviene da Radio Maria.
Ungana na Mtangazaji Martin Joseph katika Kipindi cha Maswali ya Imani mada inayo zungumziwa ni juu ya Maana ya Watakatifu katika Kanisa, Mwezeshaji Frateri Emilian S. Mahinya Kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino- Peramiho, Jimbo kuu la Songea. L'articolo Ifahamu sherehe ya kanisa ya Watakatifu wote. proviene da Radio Maria.
Hakuna uhaba wa matukio yaku sherehekewa nchini Australia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023.
Wakenya kote duniani wana jumuika katika hafla za siku yaku waenzi Mashujaa wao.
Mr. Sherehe and Baba Dede @mcteargas linked up again for #RubADub Reggae Mixtape live recording at Paris Lounge. Enjoy this Mix by downloading it from @mcteargas ‘ page!
Mr. Sherehe and Baba Dede @mcteargas linked up again for #RubADub Reggae Mixtape live recording at Paris Lounge. Enjoy this Mix by downloading it from @mcteargas ‘ page!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa la Anglikana Tanzania mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo katika Sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa la Anglikana Tanzania mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo katika Sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za Nanenane jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za Nanenane jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2023.
Karibu kuwa nami jumapili hii katika Makala haya ya Changu chako Chako Changu ambapo Jumapili hii nakuletea sehemy atatu na ya mwisho ya makala kuhusu siku ya Kiswahili Duniani Julay 7 iliokwenda sanjari na maadhimisho ya miaka 13 ya rfi kiswahili ambapo Kundi la Less Wanyika liliburudisha. Mimi naitwa Ali Bilali Karibu ama bienvenue.
Na Padre Paul Chiwangu wa Idara ya Liturujia TEC
Ungana na Mtangazaji Godfre Balozi katika Kipindi cha Maswali ya Imani, mada inayozungumzwa ni kuhusiana na Sherehe ya Pendekoste, Mwezeshaji ni Frateri Daudi Fungameza kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo kuu la Songea.
Sherehe yakutawazwa kwa Mfalme Charles lll ilishuhudiwa na mamilioni yawatu kote duniani.
ungana na Watangazaji, Cellina Joseph, Radio Tumaini, Erick Paschal Radio Maria, Patrick Tibanga Radio Mbiu, katika Kipindi cha Ijue Litrurjia na mada inayozungumziwa leo ni Siku nane za kuadhimisha sherehe ya Pasaka. Mwezeshaji ni Padre Paul Chiwangu Mkurugenzi wa Idara ya Litrurjia kutoka Baralaza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC.
Ulimwengu uliukaribisha mwaka mpya kwa sherehe iliyojaa watu huko Times Square New York na fataki zilizotanda anga katika miji mikuu ya Ulaya, huku kukiwa na matarajio ya kumalizika kwa vita nchini Ukraine na kurejea kwa hali ya kawaida ya baada ya COVID-19 huko Asia.
Shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani na masuala ya afya ya uzazi UNFPA nchini Tanzania limekabidhi jeshi la polisi mkoani Manyara msaada wa jengo la dawati la jinsia na watoto ikiwa njia moja wapo ya jitihada za kupinga na kutokomeza ukatili wa kijinsia na mila kandamizi dhidi ya wanawake, wasichana na watoto.Sherehe ya kukabidhi jengo hilo la jinsia ilipambwa na nyimbo kutoka kwaya ya Simajiro wakiimbia nyimbo za pongezi na shukrani kwa UNFPA Tanzania huku pia wakielezea changamoto ya ukatili wa kijinsia hususan kwa watoto wa wilaya ya Simanjiro iliyoko mkoa wa Manyara Kaskazini mwa Tanzania.Jengo hili ni moja kati ya majengo 10 yanayojengwana UNFPA nchini Tanzania na Msaidizi wa Mwakilishi Mkaazi wa UNFPA Tanzania Dkt. Majaliwa Marwa anaeleza kwanini wanajenga majengo haya.“Tunaamini kwamba kupitia majengo haya tunatoa fursa kwa wananchi kuripoti Matukio ya ukatili na Matukio haya kufanyiwa uchunguzi na hatimaye wahusika kuchukuliwa hatua. Tunaamini pia kuwepo kwa madawati haya kunatoa hamasa ya jamii na wananchi kuripoti Matukio, kuzungumza kuhusu ukatili, lakini pia tunawawezesha jeshi la polisi kufanya kazi katika mazingira ambayo ni rafiki wakiwa na vitendea kazi na mazingira bora zaidi ya kufanyia kazi.”Katika Mkoa wa Manyara UNFPA wanajenga madawati matatu ambapo Kamishna Msaidizi wa Polisi George Katabazi ambaye pia ni kamanda wa polisi mkoa wa Manyara anasema itasaidia sana kukabiliana na changamoto wanazo kabiliana nazo .“Haya madawati ya jinsia kwa mkoa wa Manyara ni njia mojawapo ya kupambana na ukatili wa kijinsia na watoto katika mkoa wa wetu. Haya Matukio ni changamoto katika mkoa wetu kwa maana kwamba watoto wanafanyiwa ukatili wa kijinsia ikiwemo ubakaji, kulawitiwa lakini sio watoto pekeyao vilevile na wanawake, lakini watoto sana ndio wanakuwa katika madhara makubwa sababu sasa hivi kuna watoto wana keketwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Manyara. Na niseme kwakuwa na dawati hili katika mkoa wetu watu watakuwa na nafasi ya kuja kuripoti Matukio yao katika haya madawati.”Naye Kamishna wa polisi Faustine Shilogile, ambaye pia ni kamishna wa kamisheni ya polisi jamii ambayo madawati yote ya kijinsia yapo chini yake anasema madawati haya yapo katika mikoa 35 ya kipolisi nchini Tanzania na yamekuwa msaada mkubwa katika utendaji kazi wao.“Kupitia madawati haya na kuwa na ofisi zenye mazingira mazuri kama haya ambayo yanawezesha waathirika kuweza kuhojiwa na kutoa taarifa zilizo kamilika kwakweli tunashukuru sana. Tunawashukuru sana UNFPA na tunawaomba waendelee kutoa misaada ya namna hii kutoa ujenzi wa madawati Naye Warren Bright ambaye ni Meneja Mawasiliano wa UNFPA nchini Tanzania anasema wanafanya kila jitihada kuhakikisha wanatimiza malengo 17 ya Maendeleo Endelevu SDGs na jamii kuwa na ustawi bora.
Mwisho wa mwaka unapo karibia sherehe zakila aina huandaliwa kote duniani kwa sababu tofauti.
Katika Makala haya ya leo Changu Chako Chako Changu, muandaaji wa makala haya Ali Bilali amekutana na waalimu wa lugha ya Kifaransa huko Mombasa wakati wakiadhimisha siku kuu ya kimataifa ya waalimu wa lugha ya Kifaransa. Mabatana naye.
Serikali ya Rwanda kwa ushirikiano na Umoja wa Mataifa nchini humo wameamua kuitumia siku ya Umoja wa Mataifa hii leo kusherekea pia miaka 60 ya Rwanda tangu kujiunga rasmi na Umoja wa Mataifa mwaka 1962. Flora Nducha wa idhaa ya kiswahili ya Umoja wa Mataifa ameshuhudia maadhimisho hayo yaliyofanyika katika hoteli ya Serena mjini Kigali ambako maadhimisho ya 60 ya Rwanda kujiunga na Umoja wa Mataifa yanafanyika.Flora ameeleza kushuhudia ukumbi ukiwa umesheheni kwa mapambo na watu mbalimbali walioalikwa kuhudhuria maadhimisho haya yaliyoandaliwa kwa pamoja na Umoja wa Mataifa na serikali ya Rwanda yakibeba maudhui “Ushirikiano kwa ajili ya mustakbali bora wa pamoja kwa wote” Miongoni mwa wageni waalikwa ni wawakilishi wa asasi za kiraia, mawaziri kutoka serikali ya Rwanda, wawakilishi wa mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa , mabalozi wa nchi mbalimbali walioko Rwanda, waku wa makampuni ya sekta binafsi na wanazuoni. Akifungua maadhimisho hayo kwa niaba ya Umoja wa Mataifa kaimu mratibu mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini hapa ambaye pia ni mwakilishi wa shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP Maxwell Gomera amesema “Miaka 60 iliyopita serikali ya Rwanda ilikaribishwa kwenye Umoja wa Mataifa moja ya mashirika ya kipekee duniani, likijizatiti kutatua changamoto za pamoja kupitia ushirikiano na hatua za pamoja . Kwa kufanya hivyo serikali ilikuwa inasisitiza lengo lake la kutatua masuala ya ukosefu wa haki , kudumisha amani , usalama na afya ya wananchi miongoni mwa mengine. Miaka 28 iliyopita lengo hilo lilikabiliwa na changamoto kubwa na dunia ilishuhudia muaji mabaya zaidi ya kimbari dhidi ya Watutsi. Hivi karibuni Katibu Mkuu Antonio Guterres alitafakari wakati huo na kushindwa kwetu kama jumuiya ya kimataifa kuingilia kati kuzuia na kukomesha mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi. Ingawa hatukupitia machungu yenu, ndugu waziri tunatumai mtaturuhusu kufanya kazi nanyi katika safari yenu kuhakikisha asilani hayatatokea tena” Naye Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Rwanda Vincent Biruta akizungumza kwa niaba ya serikali kwenye hafla hii amesema “Miaka 60 ya historia ya pamoja imeghubikwa na machungu lakini pia hadithi za mafanikio na mambo ya kujifunza ambayo yanatuhamasisha kuendeleza ushirikiano wetu kwa ajili ya mustakbali bora na wa pamoja kwa wote. Licha ya mazingira magumu tumejifunza kutokana na yaliyopita na tumechagua kuganga yajayo na mazuri tutakayoweza kutimiza kwa kushirikiana kikamilifu kama wanachama wa jumuiya ya kimataifa. Rwanda sasa ni taifa lililoungana na lenye maono mengi asante kwa watu wa Rwanda lakini pia asante kwa ushirikiano na jumuiya ya kimataifa na Umoja wa Mataifa ambao umechukua mtazamo wa maendeleo tangu miaka 28 iliyopita.” Sherehe hizi zimeambatana pia na mijadala kuhusu mada mbalimbali ikiwemo masuala ya ulinzi wa amani na mchango wa Rwanda kwenye operesheni za Umoja wa Mataifa, utatuzi wa migogoro na utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDG's. Rwanda ilijiunga rasmi kwenye Umoja wa Mataifa tarehe 18 Septemba mwaka 1962 mara tu baada ya kujinyakulia uhuru wake kutoka kwa Wabelgiji.
Karibu katika Makala changu chako chako changu ambapo leo nakuletea Makala maalum kuhusu tamasha la mwanamuziki Habi Keita lililofanyika ukumbi wa Alliance Francaise ya Nairobi. Wakati RFI Kiswahili ikifanya sherehe ya miaka 12 tangu kuanza kupeperusha matangazo yake Afrika mashariki Julay 5 mwaka 2010 jijini Dar Es Salaam Tanzania.
Hi Brunchies!
Sherehe za kuapishwa kwa Gavana mteule wa Mombasa Abdulswamad Nassir na naibu wake Francis Thoya zimefanyika katika bustani ya Mama Ngina Waterfront Mombasa Kenya. Watu kadhaa mashuhuri walihudhuria hafla hiyo huku vijana wa Mombasa kaunty wakionyesha matumaini yao kwa gavana mteule.
Katika kutekeleza lengo namba 8 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs kuhusu ajira za staha na ukuaji kiuchumi sambamba na namba 5 la usawa wa kijinsia, shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo duniani FAO nchini Tanzania, limezindua tawi la tatu la Mtandao wa Wanawake Wanaojihusisha na Shughuli za Uvuvi TAWFA kupitia mradi wake wa kukuza mnyororo wa thamani wa mazao ya uvuvi katika ziwa Tanganyika. Devotha Songorwa wa Radio Washirika KIDS Time FM ya Morogoro nchini Tanzania ameshuhudia uzinduzi na kuandaa taarifa hii. Sherehe za uzinduzi huo zimefanyika mkoani Kigoma nchini humo ambapo wanawake wavuvi, viongozi wa serikali na wafanyakazi wa FAO walifungua rasmi tawi hili ikiwa ni la tatu nchini humo baada ya mwengine mawili yaliyozinduliwa huko kanda ya Ziwa Victoria na Ukanda wa Bahari ya Hindi. Uzinduzi huo unafanyika kupitia mradi wa FISH4ACP unaotekelezwa katika mikoa ya Kigoma, Rukwa na Katavi ambapo Mratibu wa Sekta ya Uvuvi Kitaifa kutoka FAO, Oliva Mkumbo akizungumza na Devotha Songorwa wa Redio washirika wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa alimueleza lengo ni kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia uvuvi ili kuinua kipato cha familia na kuondokana na umasikini. “Lengo la kuanzisha jukwaa la wanawake ni kuwawezesha kina mama ili mchango wao utambulike na kuleta athari chanya katika jamii. Tunataka kila mwanamke anayejihusisha na mnyororo wa thamani katika uvuvi anakuwa na sehemu ya kutoa mawazo yake na kubadilishana uzoefu ili kwa pamoja wachangie uboreshaji wa uvuvi,” Anasema Oliva. UN News Oliva Mkumbo Mratibu wa Sekta ya Uvuvi Kitaifa kutoka FAO Mratibu huyo wa FAO amesema hili halitakuwa tawi la mwisho nchini humo. “Jukwaa rasmi kitaifa lilifunguliwa 2017 ili kuwafikia wanawake wengi wakaanzisha Zone Chapters, Chapter ya Kanda ya Ziwa Victoria 2019, baadaye ikaja ya Uvuvi baharini, Kanda ya Ziwa Tanganyika na baadaye huko tutakuwa na linguine linalohusika na wavuvi kutoka katika maziwa madogo madogo,” Ameeleza Mratibu huyo. Beatrice Mmbaga ni Mwenyekiti wa Taifa wa Mtandao wa Wanawake Wanaojihusisha na Shughuli za Uvuvi Tanzania (TAWFA) anasema jukwaa hili ni sehemu ya kutatua changamoto zinazowakabili kina mama walio katika sekta ya uvuvi. “Nia ya kuanzisha chombo hiki ni kumfikia mama popote alipo anayejishusisha na samaki na mazao yake Tanzania nzima ndipo sasa tunashuka ngazi za chini katika Mikoa yetu, Kanda na Wilaya ili tuwe na sauti moja kwa sababu kina mama ndiyo asilimia kubwa wanajihusisha na samaki baada ya mavuvi hasa kwenye kuchakata na masoko lakini wana changamoto nyingi sana,” amebainisha Mwenyekiti huyo. UN News Wanawake wajasiriamali katika sekta ya Uvuvi Tanzania Kwa upande Mkurugenzi Msaidizi anayesimamia masuala ya Udhibiti Ubora na Mazao ya Uvuvi kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi Steven Lukanga amebainisha kwamba wanawake bado wanahitajika kupatiwa elimu ya uvuvi salama na kukidhi mahitaji ya walaji. “Kikubwa ni kuwajengea uwezo wanawake kutambua viwango vinavyopaswa kuzalisha yale mazao yanayowaendea walaji kwa kuzingatia viwango vilivyopo chini ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwahiyo sisi kama wizara tunashirikiana nao kuhakikisha wachakataji wanawake wanakidhi viwango vinavyotakiwa,”Amesema Lukinga.
Je! unafahamu juu ya Sherehe ya Pentekoste? Ungana na Padre Paul Chiwangu Katibu Mtendaji Baraza la Liturujia kutoka Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kujifunga hayo ni mengineyo mengi katika safari ya maisha ya kiroho.
VOA Maelfu ya waingereza waliwasili kati kati ya mji mkuu wa London kuhudhuria sherehe za kihistoria za miaka 70.
Maadhimisho hayo yaliongozwa na rais Uhuru Kenyatta na kuhudhuriwa na takriban watu 30,000 kwenye bustani ya Uhuru wakiwemo viongozi wa ngazi za juu, bila kuwepo kwa naibu rais William Ruto ambaye ofisi yake ilisema hakualikwa.
May 25 2022 -Na Padre Paul Chiwangu Katibu Mtendaji wa Idara ya Litrurjia Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) -Mada ni Sherehe ya Kupaa Bwana
Waislamu kote duniani wame sherehekea mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadan, kwa chakula, sala na kujumuika na familia baada ya mwezi mzima wakufunga.
Kenya, Uganda, Burundi na DRC ni kati ya nchi za ukanda wa maziwa makuu ambazo tayari zimeanza sherehe za siku tatu za sikukuu ya Kiislamu ya Eid ul-Fitr baada ta mfungo wa Ramadhan huku waumini wengi wakilalamika kuhusu hali ngumu ya maisha.
Katika Makala haya tunazungumzia kuhusu sherehe za harusi, le parler francophone na kwenye muziki nakuletea mwanamuziki kutoka Burundi anaitwa Vichou Love. Usikosi kuambatana nasi na unanafasi ya kutoa maoni au mapendekezo.
Kula, kusali na kuchangia upendo ndivyo jamii zawa Islamu wa Australia, wanasherehekea mwezi mtukufu wa Ramadan mwaka huu.
Wassup gang
Sherehe za krismasi na mwaka mpya nikama ziliwasili mapema mjini Melbourne, ambao ulikuwa umejipa rekodi yakipekee yakuwa na viuzizi vya Uviko-19 vilivyo dumu kwa muda mrefu zaidi duniani.
On this episode, we talk partying. Many people have lost their lives or got seriously injured in the pursuit of fun. We want to find out the best practices to ensure fun doesn't turn into tragedy.
Mji mkuu wa Ghana, Accra umetangazwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO kuwa mji mkuu wa dunia wa vitabu kwa mwaka 2023. Taarifa ya UNESCO iliyotolewa Paris, Ufaransa hii leo imemnukuu Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Audrey Azoulay akisema kuwa hatua hiyo inazingatia tathmini ya kamati ya ushauri ya miji ya vitabu ya dunia baada ya kupitia andiko la Accra la kupanua wigo wa usomaji vitabu. Mpango wa Ghana unatambua jinsi vitabu vinavyoweza kuleta mabadiliko ya kitamaduni na utajiri wa Ghana kupitia watoto na vijana na hivyo kujenga kizazi kijacho chenye stadi thabiti. Watakaojumuishwa kwenye mpango huo ni makundi yaliyo pembezoni yenye kiwango cha juu cha kutokujua kusoma na kuandika wakiwemo wanawake, vijana, wahamiaji, watoto wanaozurura mitaani na watu wenye ulemavu. Sherehe zitaanza tarehe 23 mwezi Aprili mwaka 2023 ambayo ni siku ya vitabu na hakimiliki duniani. Mkakati wa utekelezaji unajumuisha kusambaza vitabu vya kusoma ili kujenga tabia ya kusoma vitabu ambapo pia sekta ya uchapishaji vitabu nayo inapatiwa hamasa na Accra inatumia mbinu mbalimbali za kuhamasisha kusoma kwa kuanzisha pia maktaba tembezi sambamba na kufanyika kwa warsha za kuhamasisha uandishi wa vitabu kwa lugha mbalimbali za Ghana. Andiko la Ghana kuweza kupata hadhi pia liligusia pia uhuru wa mtu kupata taarifa ikiwa ni kuelekea siku ya uhuru wa vyombo vya Habari mwaka 2023. Accra inakuwa jiji la 23 kupata hadhi hiyo tangu kuanzishwa kwa tukio hilo mwaka 2001. Miji mingine ya Afrika iliyowahi kupata hadhi hiyo ni Port Harcourt Nigeria mwaka 2014 na Conakry Guinea mwaka 2017.
We end our Wednesday with a serious question.....Are we overdoing sherehe? Are we going overboard? Are we growing to be professional drunkards? Who knows.... Tune in and check out todays episode.. Host socials are @jmureti on Instagram and @kenyanteenlife_podcast is the podcast social on Instagram
Waislamu kote duniania, wanaadhimisha sikukuu ya Eid Al Adha, katikati ya janga la Covid 19.Sherehe zinaendeleaje hapo ulipo ?
Makala changu Chako Chako Changu juma hili tunakukumbusha Historia ya mapinduzi ya Ufaransa pamoja na shughuli mbalimbali zililizofanyika na kuandaliwa na kituo cha Utamaduni wa Ufaransa cha Mombasa katika tamasha la Bleu Economy.
Baada ya miaka minne ya shughuli nchini Burundi, Ofisi ya Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi, OSESG-B imefungwa rasmi jana Mei, 30, 2021. Harumukiza Edmond wa televisheni washirika, Mashariki TV ana maelezo zaidi. Sherehe hiyo rasmi imeongozwa na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Kanda ya Maziwa Makuu, Bwana Huang Xia. Maafisa wakuu wa Serikali, wawakilishi wa vyama vya kisiasa na asasi za kiraia, wanachama wa Jumuiya ya kidiplomasia, na wakuu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na wengine, wamehudhuria tukio hilo.
Sherehe nyingi muhimu huadhimishwa katika siku kuu ya Australia tarehe 26 Januari kila mwaka.
Baada ya kuandamwa na janga la Corona kwa mwaka huu 2020, Umoja wa Wanajumuiya ya Wakenya (KISWA), wameandaa sherehe kabambe kushukuru kuufunga mwaka na kuepukana na janga hili la Covid-19.
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na waandaji na washiriki wa Sherehe ya Developers hapa Tanzania yaani Devfest. Devfest ni sherehe za kila mwaka kwa developers, tumekuwa tukienda pale Buni pamoja na yote kuhusu TEHAMA tumekuwa tukila na kujumuika kwa pamoja. Sasa sherehe hizi zimenasimamiwa na community ya Google Developers Group (GDG), kupata update kutoka kwao wafuate pale Twitter @GDGDarEsSalaam.Kwenye mazungumzo haya nilimwalika Georgia, yeye ni mmoja wa waandaji wa sherehe hizi, yupo pia Veronica ambaye mwaka jana alikuwa sehemu ya walioshiriki kuendesha sherehe hizo. Ninao pia wazungumzaji (speakers) kwenye event ya mwaka jana (David Tan pamoja na Fred German). Event hii kwa mwaka jana ilipata wageni kutoka nje ya nchi, nilimwalika Frank Tamre kutoka Kenya azungumze nasi. Hebu angalia link Pale Twitter na kwenye maelezo ya Podcast hii,ujiandikishe kushiriki event ya mwaka huu.Link: https://www.meetup.com/GDG-Dar-es-Salaam/events/273674254/
Waislamu kote nchini Australia wameadhimisha Eid, ila wakati bado kuna vizuizi vya Covid-19, maadhimisho ya Eid yatakuwa tofauti kuliko ya miaka ya nyuma.
Waislamu kote nchini Australia wameshiriki katika sherehe zaki historia za Eid.
More than 600 migrants have been formally granted citizenship at ceremonies in Melbourne's West, on a day many have called Super Saturday. - Zaidi ya idadi ya wahamiaji miasita wame pewa rasmi uraia katika sherehe maalum, katika eneo la magharibi ya Melbourne, katika siku ambayo watu wengi wame batiza jina la "Super Saturday".
The man who set up the Scanlon Foundation to promote social cohesion is among those honoured at the annual migration and resettlement awards. - Mwanaume aliye anzisha shirika la Scanlon Foundation kwa ajili yakukuza mshikamano wakijamii, ni mmoja kati ya walio tuzwa katika sherehe ya tuzo ya kila mwaka, ya uhamiaji na makazi.
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya sherehe za nane-nane zilizoadhimishwa juma lililopita nchini Tanzania. Shere hizo zimemlenga zaidi mwananchi mkulima wa Tanzania. Karibu uungane na baadhi ya raia wa magharibi mwa Tanzania kujua hali ya kilimo ilivyo maeneo yao.
Sherehe Ya Aqidatul Wasitwiyyah 07
Sherehe Ya Aqidatul Wasitwiyyah 06
Sherehe Ya Aqidatul Wasitwiyyah 05
Sherehe Ya Aqidatul Wasitwiyyah 04
Sherehe Ya Aqidatul Wasitwiyyah 03
Sherehe Ya Aqidatul Wasitwiyyah 02
Sherehe Ya Aqidatul Wasitwiyyah 01
Sherehe ya kijijini au vipi alipata maumivu ya kichwa