Podcasts about yanayo

  • 10PODCASTS
  • 13EPISODES
  • 29mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • May 7, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about yanayo

Latest podcast episodes about yanayo

Habari RFI-Ki
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later May 7, 2024 10:03


Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?

Habari RFI-Ki
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later May 7, 2024 10:03


Mafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?

Radio Maria Tanzania
Pata tafakari mambo kumi yanayo kumbukwa juu ya tokeo la Bikira Maria Fatima

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 17, 2023 28:48


Ungana na Martin Joseph pamojana   Padre Gidioni Kitamboya, Kutoka Jimbo kuu la Dodoma  katika kipinidi cha Tafakari za Mama Bikira Maria, anaendelea kuelezea matokeo ya  Fatima muendelezo wake.

mambo pata kumi ungana tokeo yanayo
SBS Swahili - SBS Swahili
Maeneo ya Queensland na New South Wales, yakabiliana na mafuriko yanayo tishia maisha

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 28, 2022 11:34


Mwanaume mmoja kutoka Gold Coast pamoja na mbwa wake, wame zolewa hadi kufa na maji ya mafuriko, wakati janga la mafuriko jimboni Queensland, yana elekea katika maeneo ya kusini ya jimbo hilo na katika maeneo ya Kaskazini ya jimbo jirani la New South Wales, ambako hali hiyo inatarajiwa kuwa mbaya zaidi katika siku zijazo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Theophile:"Siamini matatizo yanayo endelea Congo yatafika hapa Australia"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 22, 2021 10:25


Migogoro yakikabila inayo endelea katika jimbo la Kusini Kivu, Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, ina endelea kuzua wasiwasi katika jamii kadhaa nchini Australia.

Dreamvisions 7 Radio Network
Gaea Star Crystal Radio Hour with Mariam Massaro

Dreamvisions 7 Radio Network

Play Episode Listen Later Aug 28, 2020 56:24


Gaea Star Crystal Radio Hour #407 was recorded on a hot August afternoon at Singing Brook Studio in Worthington, Massachusetts, and features the Gaea Star Band performing original, visionary acoustic improv music with Mariam Massaro on lead vocals, native flute, dulcimer, twelve string guitar and ukulele, Robin Rooney on djimbe, percussion and vocals, Bob Sherwood on piano and Craig Harris on congas and native drums.  Today we begin with the languid, prayerlike mantra “Turn The Golden Knob”, a psychedelic, evocative piece with a compelling vocal from Mariam.  Next up is the gorgeous “In The River”, a bittersweet summer song with a perfect folk melody from Mariam and a metronomic and lovely piano motif from Bob.  Mariam strums her open-tuned 12 string guitar for the mysterious, modal “Mist Is Rising In The Meadow”, accompanying an eldritch, ancient melody, and “Yanayo” is a drifting minor ballad led by Mariam’s ukulele featuring a wandering melody of deep mystery.  Bob picks up the bass guitar for the groovy “We Are Going To Change Our World”, a driving rock groove with an assertive, inspiring vocal from Mariam, and “Ruby” is a fearie country song with a Nashville undertone and a whimsical lyric from Mariam.  Today’s final song is “All Life Unfolds” from the “For The Children” album, here featuring excellent flute work from Mariam and a steady, pulsing drum groove from Robin and Craig.Learn more about Mariam here: http://www.mariammassaro.com

SBS Swahili - SBS Swahili
Data mpya yamulika magumu yanayo wakabili wahamiaji wa muda nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 17, 2020 8:20


Wakati athari za janga la coronavirus zinakaba sehemu za uchumi, taarifa mpya imemulika kiwango cha magumu yanayo wakabili wahamiaji wa muda nchini Australia.

Dr Boaz Mkumbo
Mambo yanayo sababisha mwanamke kupungukiwa hamu ya tendo la Ndoa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jul 16, 2020 38:03


Kupunguwa hamu ya tendo la ndoa sio Tatizo linalo wakabili wanaume pekee. Wanawake pia wanakumbwa sana na tatizo hili na ni tatizo kubwa sana huleta migogoro mikubwa sana ya kindoa. 1. Kuvurugika kwa homoni za kike. Kupanda kwa Prolactin na kushuka kwa Estrogen. 2. Magonjwa ya lishe Kitambi Kisukari Shinikizo la damu nk 3. Umri wa kikomo cha hedhi 4. Uzazi wa mpango nk Sikiliza Elimu Kutoka kwa Dr Boaz Mkumbo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Unrest in ebola-affected DRC after presidential voting suspended - Maandamano yaibuka katika maeneo yanayo athiriwa kwa ebola nchini DRC, baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi mkuu

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 28, 2018 6:35


Protestors in the Democratic Republic of Congo have attacked a facility used to assess potential ebola cases, angry at what they perceive to be attempts to exclude them from voting in the country's presidential election - Waandamanaji nchini jamuhuri yakidemokrasia ya Congo, wame shambulia kituo kinacho tumiwa kuchunguza kesi za ebola, baada yaku kasirishwa kwa majaribo yaku watenga katika mchakato wakupiga kura katika uchaguzi wa urais nchini humo.

Mambo Yanayo Haribu Swaumu
Mambo Yanayo Haribu Swaumu

Mambo Yanayo Haribu Swaumu

Play Episode Listen Later Jul 23, 2014 51:08


Mambo Yanayo Haribu Swaumu

mambo yanayo swaumu
Makosa Yanayo Pingana Na Itikadi Sahihi
Makosa Yanayo Pingana Na Itikadi Sahihi

Makosa Yanayo Pingana Na Itikadi Sahihi

Play Episode Listen Later Apr 27, 2014 51:08


Makosa Yanayo Pingana Na Itikadi Sahihi

yanayo
Mambo Yanayo Ruhusiwa Kwa Alie Funga Kuyafanya
Mambo Yanayo Ruhusiwa Kwa Alie Funga Kuyafanya

Mambo Yanayo Ruhusiwa Kwa Alie Funga Kuyafanya

Play Episode Listen Later Oct 27, 2013 51:08


Mambo Yanayo Ruhusiwa Kwa Alie Funga Kuyafanya

Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani
Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani

Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 27, 2013 51:08


Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani