Podcasts about ndoa

  • 43PODCASTS
  • 612EPISODES
  • 30mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Jul 27, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about ndoa

Latest podcast episodes about ndoa

Radio Maria Tanzania
“Kwa nini Katika Thamani ya Ndoa akitoka Mungu hufuata mwenza wa Ndoa wakiachwa wengine pamoja na Wazazi kufuata baadaye???”

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 27, 2026 55:38


Kipindi: FAMILIA BORA NYUMBA AMINIFU Mada: “Kwa nini Katika Thamani ya Ndoa akitoka Mungu hufuata mwenza wa Ndoa wakiachwa wengine pamoja na Wazazi kufuata baadaye???” Mtangazaji: Festo Chahali   L'articolo “Kwa nini Katika Thamani ya Ndoa akitoka Mungu hufuata mwenza wa Ndoa wakiachwa wengine pamoja na Wazazi kufuata baadaye???” proviene da Radio Maria.

Siha Njema
Changamoto ya wanaume na wanawake kukosa hamu ya tendo la ndoa

Siha Njema

Play Episode Listen Later Jul 21, 2026 10:09


Raia mmoja wa Kenya amefika kwenye bunge la kitaifa nchini Kenya akitaka swala la wanaume na wanawake kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa kuorodheshwa kuwa ulemavu Kwa mujibu wa daktari Dominic Osiemo ,tatizo hilo linachangiwa na maswala kadhaa yakiwemo matumizi ya dawa za kisukari ,shinikizo la damu na msongo wa mawazo.

Café das 3
Bolinhos de Amêndoa e Figo Seco

Café das 3

Play Episode Listen Later Mar 19, 2026 3:26


Andreia Moutinho traz-nos a receita de Bolinhos de Amêndoa e Figo Seco, também refere as grandes tendências da pastelaria para 2026.See omnystudio.com/listener for privacy information.

Radio Maria Tanzania
Fahamu sheria ya ndoa na ulinzi wa mtoto.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 16, 2026 59:57


Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Walinde Watoto, Mwezeshaji ni Wakili Msomi Gabriel Lukas kutoka Chuo Kikuu Kikatoliki Mwenge Jimbo Katoliki Moshi akitufundisha juu ya Sheria zinazo mlinda mtoto Tanzania. L'articolo Fahamu sheria ya ndoa na ulinzi wa mtoto. proviene da Radio Maria.

tanzania radio maria sheria ndoa fahamu ungana
SBS Swahili - SBS Swahili
Makala leo:Wito kwa shule kusaidia kubaini ishara za ndoa za kulazimishwa

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jan 29, 2026 4:40


Wanafunzi wanaporudi shuleni kwa mwaka mpya, Polisi wa Shirikisho la Australia(Federal Police) wanatoa wito kwa shule kuwa waangalifu kwa ishara za wanafunzi kulazimishwa kuingia kwenye ndoa za kulazimishwa.

polisi makala shule ndoa
Habari za UN
Mapambano dhidi ya ndoa za kulazimishwa - Fatou Cissé

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 21, 2025 3:41


Wakati ulimwengu ukiendelea kupaza sauti dhidi ya vitendo vya ukatili wa kijinsia, tunaelekea nchini Mali, ambako Fatou Cissé, mkurugenzi wa filamu na mwanzilishi wa filamu iitwayo FURU, anatumia sanaa kuangazia suala zito la ndoa za kulazimishwa. Kupitia video maalum iliyoandaliwa na Umoja wa Mataifa, tunapata simulizi hiyo inayohusu wasichana wawili waliokumbwa na changamoto hizi. Fatou anawapa wasichana wa Kiafrika sauti na jukwaa la kuzungumza hadharani kuhusu dhuluma wanazokumbana nazo. Sharon Jebichii anasimulia.

Favas Contadas
Sabia que o primeiro arroz doce levava leite de amêndoa?

Favas Contadas

Play Episode Listen Later Nov 5, 2024 17:22


Pode abrir essa boca de espanto porque a primeira receita conhecida de arroz doce podia levar leite de amêndoa e arroz basmati. Conheça a curiosa história do doce mais típico de Portugal.

Habari za UN
Mbinu bora za malezi zimebadilisha maisha katika Wilaya ya Kyegegwa - UNICEF Uganda

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 23, 2024 3:48


Ndoa za utotoni,ubakaji na kutelekeza watoto, haya ndio matatizo yaliyokuwa yanaripotiwa mara nyingi zaidi kwa kuathiri watoto katika makazi ya wakimbizi katika wilaya Kyegegwa magharibi mwa Uganda. Hata hivyo, kwa msaada wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto  UNICEF na ufadhili kutoka wahisani wa Uingereza UKaid, maelfu ya wazazi katika makazi ya wakimbizi na jamii zinazohifadhi waakimbizi katika wilaya ya Kyegegwa wamepewa mafunzo juu ya malezi bora ili kuondoa ukatili dhidi ya watoto, wanawake, na wasichana. Leo tuko katika wilaya ya Kyegegwa nchini Uganda ambapo, kwa msaada wa UNICEF,  wafanyakazi wa kijamii, kamati za ulinzi na ustawi  wa watoto, na kikosi cha polisi; wote wamepewa mafunzo mwafaka ili kuhakikisha ulinzi wa watoto unaofaa na wa kudumu, na tunakutana na Agnes Karungi mama mwenye umri wa miaka ishirini na  mmoja wa wanufaika wa mradi wa malezi bora. Mbali na kukumbana na changamoto za kuwa mama kijana, mwanaye Agnes, ni mwenye ulemavu na zaidi ya hayo akatengwa na familia yake kwa kuzaa akiwa angali mwanafunzi.Cecily Kariuki anaeleza zaidi katika makala hii..

Habari za UN
23 OKTOBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 23, 2024 10:51


Hii leo jaridani tunaangazia mashambulizi ya Israeli kaskazini mwa Gaza unaoleta changamoto za kuendelea na chanjo ya polio, na virusi vya Marburg nchini Rwanda. Makala tunakupeleka nchini Uganda na mashinani nchini Lebanon, kulikoni?Mashambulizi makali ya anga kutoka kwa jeshi la Israel, idadi kubwa ya watu kutawanywa na ukosefu wa fursa ya kufika Gaza Kaskakzini vimelazimisha kuahirishwa kwa kameni ya chanjo kwa mujibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa lile la Afya Duniani WHO, la kuhudumia watoto UNICEF na la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina UNRWAMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani amewapongeza wahudumu wa afya wa nchini Rwanda kwa kazi kubwa wanaoyoifanya kukabiliana na ugonjwa wa Marburg. Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus ameeleza hisia zake hizo mwishoni mwa wiki alipofanya ziara katika vituo mbalimbali vya afya katika mji Mkuu wa nchi hiyo, Kigali.Ndoa za utotoni,ubakaji na kutelekeza watoto, haya ndio matatizo yaliyokuwa yanaripotiwa mara nyingi zaidi kwa kuathiri watoto katika makazi ya wakimbizi katika wilaya Kyegegwa magharibi mwa Uganda. Hata hivyo, kwa msaada wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia watoto UNICEF na ufadhili kutoka wahisani wa Uingereza UKaid, maelfu ya wazazi katika makazi ya wakimbizi na jamii zinazohifadhi waakimbizi katika wilaya ya Kyegegwa wamepewa mafunzo juu ya malezi bora ili kuondoa ukatili dhidi ya watoto, wanawake, na wasichana.Mashinani tunabisha hodi Lebanon, kumsikia Farah, Mkimbizi wa ndani anayepokea msaada kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF, baada ya kujifungua kwenye hema, akieleza alichokabiliana nacho.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Nini hasa maana ya Ndoa

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maana ya ndoa na lengo lake katika familia

maisha maana ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Maswali ya Biblia

biblia ndoa maswali
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Ndoa ni nini pia Lengo la ndoa ni kitu gani

maisha ndoa lengo
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Ndoa na Maisha pamoja na kusudi la ndoa kwa Mwanadamu

maisha ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Lengo kuu la ndoa 3

maisha ndoa lengo
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Lengo kuu la ndoa

maisha ndoa lengo
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Lengo la ndoa

maisha ndoa lengo
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Muungano wa Familia

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kuwa makini unacho kizungumza kwa watu

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Uinjilisti katika familia

maisha ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Ushindi katika ndoa

maisha ndoa ushindi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Madhara ya kisaikolojia katika malezi ya mtoto

maisha ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Mzazi na malezi ya mtoto

maisha ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Mzazi na malezi ya mtoto

ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Matatizo yanayoweza kutikisa upendo

maisha ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kiongozi wa familia

maisha ndoa kiongozi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kiongozi wa Familia

familia maisha ndoa kiongozi
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Si vema mtu awe peke yake

ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Muongozo wa malezi kwa watoto

maisha ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Mzazi mmoja katika makuzi ya mtoto

maisha ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Vitu muhimu katika ndoa

maisha ndoa
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Jinsi upendo unavyoweza kupungua

maisha jinsi ndoa