Podcasts about Ramadhani

  • 54PODCASTS
  • 83EPISODES
  • 33mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Mar 5, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about Ramadhani

Latest podcast episodes about Ramadhani

Habari za UN
05 MACHI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 5, 2025 9:58


Hii leo jarida linamulika wasiwasi kuhusu hali ya watetezi wa haki za binadamu nchini DRC, wakati huu hali ya usalama si shwari mashariki mwa nchi; kuelekea siku ya wanawake duniani, Mkuu wa UN Women arejelea Azimio la Beijing; vilabu vya Dimitra  nchini DRC vinavyosaidia wanawake na wanaume kuketi pamoja na kutatua changamoto zinazowakabilia; mashinani ni Ramadhani huko Gaza.Hali ya kibinadamu ikiendelea kuzorota mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mtaalamu Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na hali ya watetezi wa haki za binadamu, Mary Lawlor leo ametoa wito wa msaada wa dharura na wa vitendo kwa watetezi wa haki za binadamu katika eneo hilo. Anold Kayanda na taarifa zaidi.Kuelekea siku ya wanawake duniani itakayoadhimishwa mwishoni mwa wiki hii ambayo ni tarehe 8 mwezi Machi, Mkurugenzi Mtendaji wa  shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya wanawake UN Women, Sima Bahous, amesisitiza kwamba ahadi zilizowekwa kwenye Azimio la Beijing miaka 30 iliyopita kuhusu haki za wanawake hazipaswi tu kukumbukwa bali zinahitaji kutekelezwa kikamilifu. Flora Nducha anafafanua zaidiMakala inakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambako mradi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) ulioanzishwa kati ya mwaka 2008 hadi 2023 umeleta mabadiliko chanya ukiimarisha usawa wa kijinsia. Mwenyeji wako ni Sharon Jebichii.Ibrahim Al-Ghandour, mpalestina huyu akiwa eneo la Gaza mbele ya nyumba yake iliyogeuzwa kifusi kutokana na mashambulizi ya Israeli akielezea maoni yake ya mfungo unaoendelea wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Habari za UN
28 FEBRUARI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 28, 2025 11:19


Hii leo jaridani tunaangazia migogoro ambayo yameendelee kwa muda mrefu Sudan Kusini, na ujumbe wa Katibu Mkuu ikielekea kuanza kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Makala inatupeleka nchini Kenya, na mashinani nchini Tanzania.Viongozi wa kisiasa wa Sudan Kusini lazima wakabiliane na ukwepaji wa sheria na ufisadi unaochochea ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu, la sivyo watahatarisha mpito wa kisiasa wa nchi hiyo, imesema Tume ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu Sudan Kusini katika ripoti yake iliyotolewa leo.Kuelekea kuanza kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwishoni mwa wiki hii, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametuma ujumbe wake wa kutaka kipindi hicho cha takribani siku 30 kitumike kuleta amani na kuongoza kuelekea dunia yenye yenye haki na huruma zaidi..Katika makala Anold Kayanda wa Idhaa hii kutokana na video iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kazi duniani, anakupeleka nchini Kenya kukutanisha na mkimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambaye amenufaika na Mpango wa Utambuzi wa Ujuzi wa Awali kwa hisani ya ILO, serikali ya Kenya na wadau.Na mashinani fursa ni yake Ashura Hamis Sayid kutoka Tanzania ambaye ni Mratibu wa Mpango wa U-report unaoungwa mkono na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF ili kuwapa vijana uhuru wa kujieleza      na kutoa maoni yao juu ya maswala mbalimbali .Ameweza kutufafanulia zaidi madhumuni ya mpango huu na jinsi gani inatumika katika jamii.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!  

Habari za UN
Guterres: Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utumike kuleta amani

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 28, 2025 2:35


Kuelekea kuanza kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwishoni mwa wiki hii, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametuma ujumbe wake wa kutaka kipindi hicho cha takribani siku 30 kitumike kuleta amani na kuongoza kuelekea dunia yenye yenye haki na huruma zaidi. Selina Jerobon na taarifa zaidi.

VOA Express - Voice of America
Msanii wa Tanzania Ali Ramadhani-AT azungumzia kibao chake kipya - Agosti 23, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 23, 2024 30:00


Msanii wa Tanzania Ali Ramadhani-AT azungumzia kibao chake kipya

Dr Boaz Mkumbo
Chakula baada ya Ramadhani

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Apr 17, 2024 1:04


Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 . Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikwa kwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 . Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

Uncensored with Andini Effendi
Belajar Memaknai Luka ft. Wulan Ayu Ramadhani - Uncensored with Andini Effendi ep.54

Uncensored with Andini Effendi

Play Episode Listen Later Apr 4, 2024 59:51


Dinamika hubungan sangat dipengaruhi bagaimana kita dibesarkan dan trauma masa lalu. Wulan Ayu, Psikolog Klinis Dewasa, mengulas dampak trauma terhadap hubungan dewasa hingga cara memaknai luka.#psikolog #hubungan #trauma #luka #masalalu #relationship #suamiistri #pasangan #podcast #podcastindonesia #cauldrontalks #andinieffendi—Uncensored bersama Andini Effendi ingin memulai percakapan mengenai isu yang kerap dianggap tabu. The Elephant in the Room adalah topik yang diketahui semua orang, namun tidak banyak yang berani membicarakannya. Dengan berdiskusi secara terbuka, kami harap masyarakat bisa lebih terbuka pikiran dan hatinya.୨♡୧ New episode drops every Thursday! ୨♡୧☆ Jangan lupa follow & Subscribe kami ☆ https://www.instagram.com/cauldrontalks/ https://www.youtube.com/channel/UCIs1JAa6LciLsjwkQ-caGaw https://fb.watch/dv-wICk08O/☆ Dengarkan juga podcast kami ☆ https://open.spotify.com/show/6pHdBM4Jr0JMwBvbVCMiQI?si=cc66a009ea964c3a https://podcasts.apple.com/id/podcast/uncensored-with-andini-effendi/id1627192280 ☆ Host Andini Effendi ☆ https://www.instagram.com/andinieffendi/☆ Wulan Ayu Ramadhani ☆ https://www.instagram.com/wulanayur/— Timestamps 00:00 Intro01:21 Latar belakang Wulan Ayu Ramadhani 11:49 Membangun kemandirian finansial bagi perempuan 17:03 Turning point 24:09 Pemahaman yang tidak mampu menyembuhkan 32:10 Creating "safe space" 37:01 Pola trauma dalam dinamika hubungan 40:25 Antara pilihan dan kewajiban50:21 Silent treatment 1:01:56 Tidak menikah tanpa menyalahkan trauma

Dr Boaz Mkumbo
Punguza kitambi na uzito mkubwa Msimu huu wa Ramadhani

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Mar 16, 2024 0:51


Karibu kutumia Virutubisho mbalimbali vya GET FINE  ambavyo Vimetengenezwa katika fomula nzuri ya kukupa matokeo chanya kiafya mara baada ya kuvitumia. Get Fine Vitamin ADK , Get Fine Super Premium Collagen, Get Fine Omega 3 Fish Oil , Get Fine High Absorption Magnesium Complex Formula na  Get Fine Super Green Blend . Bonyeza link hii kununua virutubisho vya  Get Fine: https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/ au tupigie simu namba: 0695 030 160 . Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikw akwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

Dr Boaz Mkumbo
Msimu wa wezi wa mfungo wa Ramadhani karibu Nsambo Healthcare

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Mar 16, 2024 0:44


Karibu kutumia Virutubisho mbalimbali vya GET FINE  ambavyo Vimetengenezwa katika fomula nzuri ya kukupa matokeo chanya kiafya mara baada ya kuvitumia. Get Fine Vitamin ADK , Get Fine Super Premium Collagen, Get Fine Omega 3 Fish Oil , Get Fine High Absorption Magnesium Complex Formula na  Get Fine Super Green Blend . Bonyeza link hii kununua virutubisho vya  Get Fine: https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/ au tupigie simu namba: 0695 030 160 . Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikw akwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

Alfajiri - Voice of America
Marekani ina matumaini kuwa sitisho la mapigano katika vita vya Gaza linaweza kupatikana kabla ya Ramadhani - Machi 05, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 5, 2024 29:59


Herbert Smith Freehills Podcasts
COP28 Insights EP6: Tanzania's climate agenda with Daudi Ramadhani

Herbert Smith Freehills Podcasts

Play Episode Listen Later Dec 13, 2023 7:35


In this episode of our COP28 Insights series, Ernst Müller, Senior Associate, is joined by Daudi Ramadhani, Rex Attorneys. Together, they delve into the diverse approaches taken by African countries to meet the requirements and commitments of the Paris Agreement. Discover the role of the Tanzanian government in the challenge of tackling climate change, the crucial involvement of the private sector and the significance of global collaboration for successful climate initiatives, not only in Tanzania, but also across Africa.

The Indah G Show
Is Mental Illness Now A Trend? S**cide & Medical Assistance in D*ing (MAiD) ft. Joshua Kenji, Astrid Ramadhani M.Psi Psikolog & Yolanda Pasaribu M.Psi Psikolog

The Indah G Show

Play Episode Listen Later Dec 1, 2023 136:40


Indah G & Joshua Kenji sit down with psychologists Astrid Ramadhani and Yolanda Pasaribu (M.Psi) to ask them all of the uncomfortable, awkward and certainly taboo questions that behind closed doors, everyone secretly wonders regarding mental health. Has mental illness become somewhat trendy amongst Gen-Z's and Gen-Alphas these days? Are certain clients claiming to have some form of mental illness when they actually don't? What constitutes s*icidality? Does it also include wishing you were never born, in which case then, isn't everyone s*icidal to some extent? Astrid, Indah, Joshua & Yolanda also get very deep and personal into their faiths (or lack thereof for some), and philosophies of hope, gratitude, perseverance, and life purpose. Timestamps: 00:00 — Intro 00:28 — Self-proclaimed experts, self-diagnosing, ill for attention, dealing with loved ones that are depressed/s*icidal 09:46 — Is mental illness now trendy? Seeking for attention or reaching out? 19:25 — How to handle s*icidal family/peers? 22:39 — Sharing personal issues on social media vs personal message 27:22 — S*icide rate in Indonesia and data statistics regarding mental health issues, differences between male and female in therapy 33:55 — Toxic friend groups and trauma-bonding, to leave or not to leave? Lack of support system and fear of being left out 44:26 — Family's perspective and religious views on mental health issues 49:28 — Aspects in having a religion that contributes in preventing or developing mental health issues 55:24 — Mental illness diagnosis between the east and west, self-diagnosing due to limited resources, therapy options to deal with each problems 1:03:48 — Trauma coping mechanism/outlets 1:07:41 — Triangle of Needs; do you really need to seek therapy? How mental health professionals do assessments before diagnosis 1:16:35 — Fomo of having mental illness 1:20:24 — Are you abusing your mental health professionals? 1:22:41 — Differences between therapy and counselling, different attitudes while going into therapy, seeking validation from therapists? 1:33:36 — Is everyone depressed? Indah's s*icidal tendencies and existential issues 1:50:29 — Active vs passive s*icidality 1:53:11 — When is medically assisted s*icide okay? 2:02:07 — Fan message on s*icide, having purpose in life For those interested in seeking counseling/therapy services from mental health services in Jakarta: IndoPsyCare is an evidence-based, scientifically-backed, international-standard psychology clinic based in Jakarta, Indonesia. Their clinician-scientists adhere to international standards outlined within the Cochrane Library and the Clinical Guidelines set forth by the UK-based National Institute for Health and Care Excellence (NICE) coupled with the Indonesian IPK Clinical Guidelines (Panduan Nasional Praktik Psikologi Klinis, PNPPK). They welcome both English-speaking clients, as well as local Bahasa Indonesia speaking clients. Visit indopsycare.com to learn more, as well as book your first consultation.

Couleurs tropicales
Adi Oasis, Mawndoe, Lyricson et Shabani Ramadhani dans la Marmite

Couleurs tropicales

Play Episode Listen Later Jun 5, 2023 48:30


- Adi Oasis, chanteuse et productrice franco-caribéenne installée à New-York City, aux États-Unis. Elle présente l'album Lotus Glow, sorti le 3 mars 2023.- L'artiste musicien tchadien Mawndoe présente Au nom de l'art, un projet de création autour de la sculpture et de la musique destiné aux enfants de 7 à 15 ans.- Lyricson, chanteur de reggae dancehall d'origine guinéenne. Il présente sa nouvelle chanson Gwaan so. Il sera à l'affiche du concert Couleurs Reggae, le 8 juin 2023, au New Morning, à Paris.- Shabani Ramadhani, directeur du Marahaba Music Expo, dont la 5ème édition aura lieu à Bujumbura, au Burundi, du 21 au 24 juin 2023.À l'affiche, Sat-B, Vichou Love, Lolilo, Fredy Massamba, Sarah Bernhardt entre autres. Pour visionner les clips, cliquez sur les titres des chansons :LiveMawndoé - Au nom de l'artAdi Oasis -MultiplyLyricson - Gwaan sooPBS - Bayil mu seddSat B feat Meddy - BeautifulEsther Nish - MurekarenganeExcluMawndoe - Le cri du silenceRetrouvez notre playlist sur Deezer :

Bingkai Suara
[Music] RAISSA RAMADHANI Talks About Music Journey,Dreams, and Sorry Goodbye

Bingkai Suara

Play Episode Listen Later Apr 18, 2023 26:42


Halo Listener Di episode kali ini Wulan ngobrol-ngobrol dengan penyanyi perempuan yang kembali lagi dengan karya atau single keduanya di bawah naungan label Sony Music Entertainment Indonesia mengangkat tema mengenai perpisahan. Episode kali ini kita di temani oleh Raissa Ramadhani. Raissa mengawali karirnya di dunia musik dengan bergabung bersama dengan grup band bernama For Cool Kids Only. Selain sebagai penyanyi, Raissa aktif sebagai seorang selebgram. Lewat sosial media, Raissa kerap memposting endorse atau kerjasamanya dengan berbagai brand populer kususnya di akun instagram pribadinya. Mendapat sambutan positif saat merilis single “Berpisah Lebih Indah” di bawah naungan label Sony Music Entertainment Indonesia, Raissa Ramadhani kembali lagi dengan karya kedua berjudul “Perlahan Lepaskanmu”. Senada dengan sebelumnya, single ini pun kembali mengangkat tema mengenai perpisahan. “Perlahan Lepaskanmu” menurut Raissa adalah semacam lagu curhat atau minta maaf seorang cewek karena sudah menemukan orang baru yang lebih menghargai dirinya. Meski Raissa sudah meluncurkan single pertama, namun proses rekaman single kedua ini tetap menghadirkan tantangan. Untuk Cerita lebih lengkapnya yuk dengarkan obrolan Langsung di Channel Podcast Bingkai Suara di Spotify, Apple Podcast, atau kunjungi website kita di www.bingkaikarya.com Supported by Ihub Malang

Habari za UN
Antonio Guterres ziarani Somalia awatia moyo wananchi kuendelea na mnepo

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 12, 2023 0:02


Katika siku ya pili na ya mwisho ya ziara yake nchini Somalia Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amewapongeza watu wa Somalia akisema licha ya changamoto lukuki zinazowaandama wameendelea kuwa imara na kuonyesha mnepo wa hali ya juu, akiwataka kuendelea kufanya hivyo kwa ajili ya kizazi hiki na kijacho. Flora Nducha na tarifa zaidiAntonio Guterres ametoa pongezi hizo katika mkutano na waandishi wa habari wa kuhitimisha zira yake  ya mshikamano mjini Moghadishu akisema tangu alipofika mara ya mwisho nchini humo miaka sita iliyopita kuna mabadiliko kwani sasa Somalia hatua kubwa zimepigwa katika mchakato wa amani , usalama na maendeleo endelevu.Amempongeza pia Rais wa taifa hilo la Pembe ya Afrika Hassan Sheikh Mohamud kwa juhudi zake za kusongesha mchakato wa amani na usalama na kuainisha umuhimu wa kuwa na ushirikiano imara sio tun a Umoja wa Mataifa bali nan chi wanachama wa serikali ya shirikisho ili kushughulikia tishio la magaidi wa Al-Shabaab.Katibu Mkuu amewahakikishia Wasomali dhamira ya Umoja wa Mataifa kulisaidia juhudi za taifa hilo na za kikanda katika kulinda haki za binadamu na kupambana na ugaidi na uhalifu wa itikadi kali ikiwemo kupitia mpango wa muungano wa Afrika nchini humo.Guterres ameongeza kuwa “Ziara yangu ya mwisho mwaka 2017 ilikuwa wakati wa operesheni kubwa ya kuepusha baa la njaa. Leo hii hali kwa mara nyingie ni ya kutia hofu, kwani mabadiliko ya tabianchi yameleta zahma kubwa, misimu 5 isiyo na mvua ambayo si kawaida na ukame tayari umeshakatili Maisha ya watu 43,000 2022 pekee na kutawanya watu wengine milioni 1.4 huku asilimia 80 wakiwa ni wanawake na Watoto.”Amesem changamoto hizo na ukiongeza na mfumuko wa bei ya chakulaumezifanya jamii za masikini kusukumwa kwenye ukingo wa njaa akikadiria kwamba kati ya sasa na Juni Wasomali milioni 6.5 watakabiliwa na viwango vya juu vya kutokuwa na uhakika wa chakula hali inayodhihirisha kwamba baa la njaa bado linanyemelea.Amesisitiza kuwa hatua lazima zichukuliwe sasa kuepusha janga kubwa Zaidi hasa akiwasihi wahisani kunyoosha mkono Zaidi kwani ombi la kibinadamu kwa ajili ya Somalia 2023 ambalo n idola bilioni 2.6 zimefadhiliwa kwa asilimia 15 pekee hadi sasa. Hata hivyo Katibu Mkuu katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani amewapa matumaini Wasomali kwa ahadi ya Umoja wa Mataifa kushikamana nao katika kusongesha amani na usalama, maendeleo endelevu, haki za binadamu na ujenzi wa mustakbali bora kwa Wasomali wote.

RSJ (Ruang Siar Juara)
PILLOW TALKS - WULAN AYU RAMADHANI: DO YOU HAVE INSECURE RELATIONSHIP?

RSJ (Ruang Siar Juara)

Play Episode Listen Later Apr 12, 2023 38:45


Relationship insecurity adalah saat kamu gak yakin dan gak percaya diri tentang hubungan yang lagi kamu jalanin. Merasa gak cukup baik buat pasangan dan gak pantas mendapatkan rasa sayang jadi salah satu contohnya Yuk simak obrolan Ranisu bareng Wulan Ayu Ramadhani di episode 'Do You Have Insecure Relationship?' only on Pillow Talks!

Habari za UN
11 APRILI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 11, 2023 0:11


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo tutaangazia jitihada za serikali na wadau nchini Kenya kupambana na saratani. Pia tunakuletea habari kwa ufupi kutoka Somalia, Ethiopia, Hatay na Kahramanmaraş. Na mashinani tunakwenda nchini Syria, kulikoni?Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres aliyeko Somalia kwa ziara ya mshikamano na taifa hilo wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ametoa wito kwa wahiasani na jamii ya kimataifa nao kuonesha mshikamano wao kwa kufanikisha ombi la usaidizi wa kiutu Somalia kwa mwaka huu wa 2023 ambalo limefadhiliwa kwa asilimia 15 pekee.Tukisalia na Pembe ya Afrika, msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR huko Geneva Uswisi Olga Sarrado amesema uhamishaji wa wakimbizi wapya waliowasili kwenye mkoa wa Somali nchini Ethiopia baada ya kukimbia mapigano mji wa Lascanood nchini Somalia tayari  ambapo wakimbizi 1,036 walio hatarini zaidi wamehamishwa kutoka maeneo ya mipakani kwenye maeneo ya ndani zaidi katika siku tatu zilizopita.Na katika jitihada za kulinda urithi wa kitamaduni nchini Uturuki ambao hauwezi kupatiakna tena kufuatia matetemeko ya ardhi nchini humo, shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo duniani, UNDP limefikisha shehena ya kwanza ya kontena 20 kwenye makumbusho ya malikale huko Hatay na Kahramanmaraş.Na katika mashini tutakupeleka Aleppo Hatay na Kahramanmaraş katika hospitali kuu ambayo inatoa huduma mbalimbali zikiwemo za watoto na wamama wajawazito ambao pia ni waathirika wa tetemeko la ardhi.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, Karibu!

Close The Door
Eps 801- Demi Nia Gue Serahkan diri, Romeo Dunia Nyata (Ft. Ardi Bakrie & Nia Ramadhani)

Close The Door

Play Episode Listen Later Nov 22, 2022 54:57


Sejak Narkoba, hubungan keluarga gue makin harmonis. Banyak perlajaran hidup yang gue jalani selama 8 bulan rehab.

Merry Riana
FRIENDS OF MERRY RIANA - PERTAMA KALI ❗❗ NIA RAMADHANI CURHAT DARI KASUS NARKOBA SAMPAI ISU CERAI DENGAN ARDI BAKRIE

Merry Riana

Play Episode Listen Later Nov 9, 2022 65:53


Usai menjalani rehabilitasi dan bebas pada bulan Maret lalu, untuk pertama kalinya Nia Ramadhani hadir di podcast Friends of Merry Riana dan menceritakan banyak hal termasuk kasus yang pernah menjeratnya. Simak langsung di video berikut ini!

Tribunnews Podcast
Pesan Megawati untuk Ganjar, Pengunjung Ditarik Orang Utan Minta Maaf, Nia Ramadhani Buka Suara

Tribunnews Podcast

Play Episode Listen Later Jun 10, 2022 4:29


Video yang memperlihatkan seorang pria ditarik oleh orang utan di sebuah kebun binatang, viral di media sosial.

Ada Apa Dengan Buku
Baca Senandika "Runtuh" Karya Fitria Ramadhani

Ada Apa Dengan Buku

Play Episode Listen Later Jun 4, 2022 2:36


Senandika berjudul "Runtuh" berisi tentang ungkapan hati seseorang yang tengah dirundung cobaan, tetapi mencoba untuk tetap kuat. Semoga ini juga menguatkan pendengar sekalian ya.

Habari RFI-Ki
Kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu msimu wa Ramadhani unapoanza

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Apr 6, 2022 9:59


Msimu wa Ramadhani ndio umeanza huku kukiwa na hali ya kupanda kwa bei ya bidhaa muhimu na uhaba. Hali hii haionekani tu barani Afrika bali ulimwenguni, na kulazimisha familia kupunguza baadhi ya matumizi katika msimu huu. Je, unaipangaje bajeti yako ya mwezi wa Ramadhani ? Hali ya Ramadhani ipoje katika nchi yako?

Tribunnews Podcast
Prediksi Gelombang Ketiga, Pelaku Perusak Sesajen, Vonis Hukum Nia Ramadhani

Tribunnews Podcast

Play Episode Listen Later Jan 12, 2022 4:26


Satuan Reserse Kriminal Polres Lumajang tengah mencari sosok perusak makanan sesajen di lokasi terdampak erupsi Gunung Semeru.

Story Podcast
#SOTP Dari pegawai Starbucks sampai jadi Pramugari Garuda. with Etty Ramadhani #123

Story Podcast

Play Episode Listen Later Jan 8, 2022 56:28


episode ini direkam di tahun 2021. di episode ini gue ngobrol sama temen kuliah gue tentang perjalanan dia yang berawal dari pegawai starbucks sampai jadi pramugari Garuda, bagaimana story nya ? dengankan episode ini dan mohon maaf jika terdengar suara tangisan bayi hehe --- Send in a voice message: https://anchor.fm/story-podcast/message Support this podcast: https://anchor.fm/story-podcast/support

Gus Aria
Gus Aria On Podcast eps.98"Terungkap sudah Nia Ramadhani"

Gus Aria

Play Episode Listen Later Dec 30, 2021 8:15


Happy listening and enjoy

Music Extra
Eps 63: Ternyata Dai Ramadhani Nge-Band buat Dapet Cewe! (Part 2)

Music Extra

Play Episode Listen Later Dec 14, 2021 17:48


Aura cowo yang bisa nyanyi dan main musik tuh emang beda ya. Dan ternyata, seorang Dai Ramadhani mengakui kalau awal dia nge-band tuh buat dapet cewe! Dengerin langsung obrolannya bareng Reno Aditya di Music Extra kali ini.

Music Extra
Eps 63: Dai Ramadhani Keluar dari 'Suara Ganteng'-nya (Part 1)

Music Extra

Play Episode Listen Later Dec 13, 2021 20:10


Ada yang suka men-challenge diri sendiri untuk ngelakuin sesuatu yang beda dan ngga biasa kita lakuin? Dai Ramadhani salah satunya nih. Single solo perdananya bikin dia keluar dari 'suara ganteng'-nya lho! Seperti apa? Yuk, dengerin obrolan Dai bareng Reno Aditya di Music Extra episode kali ini ya.

Tribunnews Podcast
Pejabat Dilarang ke Luar Negeri, Remaja Curi Kotak Amal, Penampilan Baru Nia Ramadhani

Tribunnews Podcast

Play Episode Listen Later Dec 3, 2021 4:27


Pemerintah Indonesia mengambil sejumlah langkah guna mencegah varian Omicron masuk ke tanah air. Demi memenuhi gaya hidup, dua remaja di bawah umur asal Kota Bandung, Jawa Barat menjadi pencuri kotak amal. Penampilan Nia Ramadhani saat sidang pertamanya kembali menjadi pusat perhatian.

BBCeria
EP 37 SE 02 How To Prepare Your English Test ft Dwiansari Ramadhani

BBCeria

Play Episode Listen Later Sep 3, 2021 41:16


Ternyata sertifikasi bahasa inggris itu nggak cuma itu-itu saja lho? Apa saja sih tipenya? Yuk simak episode ini

Tribunnews Podcast
Tribunnews Today - Pemakaman Pasien Covid-19 Gratis, Nia Ramadhani Minta Maaf, Karantina Atlet Bulutangkis di Jepang

Tribunnews Podcast

Play Episode Listen Later Jul 12, 2021 6:36


Gubernur Jabar Ridwan Kamil menyatakan bahwa pemakaman pasien Covid-19 tidak dipungut biaya sepeser pun. Artis Nia Ramadhani dan suaminya, Ardi Bakrie akhirnya muncul di hadapan publik untuk pertama kali. Tim olimpiade Indonesia khususnya cabang olahraga bulutangkis sedang menjalani karantina selama 4 hari sejak kedatangan di Jepang 9 Juli lalu dan kini dalam keadaan sehat.

Tribunnews Podcast
Tribunnews Today - Vaksin di Kimia Farma, Nia Ramadhani Diputuskan untuk Rehab? hingga Pelukan Messi untuk Neymar

Tribunnews Podcast

Play Episode Listen Later Jul 11, 2021 4:00


PT Kimia Farma (Persero) mulai melayani vaksinasi Covid-19 individu atau berbayar pada esok hari, Senin (12/7/2021). Dari hasil yang ditandatangani Deputi Rehabilitasi BNN Riza Sarasvita itu merekomendasikan Nia Ramadhani dan Ardi Bakrie jalani rehabilitasi. Momen menarik Messi dan Neymar setelah laga final Copa America Argentina vs Brasil.

Long Diss Talk
Nia Ramadhani Kok Bisa Gitu? #sesuWASTU

Long Diss Talk

Play Episode Listen Later Jul 11, 2021 10:13


Fakta-Fakta Menarik Nia Ramadhani yang bikin O-A-O-E! versi #sesuWASTU

Tribunnews Podcast
Tribunnews Today - Usulan RS Covid-19 Khusus Pejabat, Janda Sragen Dinikahi Penipu hingga Kasus Narkoba Nia Ramadhani

Tribunnews Podcast

Play Episode Listen Later Jul 10, 2021 5:58


Nama Rosaline Irene Rumaseuw menjadi sorotan setelah mengusulkan agar pemerintah membuat rumah sakit khusus Covid-19 bagi para pejabat. Ika (30), janda kaya asal Sragen, Jawa Tengah, merasa diperdaya. Pria yang mengajaknya menikah ternyata tak lebih dari seorang penipu. Memakai baju tahanan berwarna oranye, pasangan selebritis sekaligus artis Nia Ramadhani dan Ardi Bakrie akhirnya muncul di hadapan publik.

Tribunnews Podcast
Tribunnews Today - Nia Ramadhani-Ardi Bakrie Tersandung Kasus Narkoba, Pencurian Mobil Ambulans di Bogor, Jokowi Lepas Atlet Olimpiade

Tribunnews Podcast

Play Episode Listen Later Jul 9, 2021 4:36


Kasus pencurian mobil ambulans terjadi di sebuah klinik di Jalan Raya Tonjong, Kedung Waringin, Kecamatan Bojonggede, Kabupaten Bogor, Jawa Barat pada Rabu (7/7/2021) dini hari. Artis Nia Ramadhani ditetapkan menjadi tersangka bersama sang suami, Ardi Bakrie (42), dan sopir mereka berinisial ZN (43) atas penyalahgunaan narkoba jenis sabu-sabu.

K65NEWS
EPS #40 : NIA RAMADHANI DAN ARDI BAKRIE DITANGKAP POLISI

K65NEWS

Play Episode Listen Later Jul 8, 2021 14:06


Keterangan Pers Kadiv Humas Polda Metro Jaya Yusri Yunus terkait penangkapan Nia Ramadhani dan suaminya Ardi Bakrie. Gambar : Dok.Ist.

Sahabat Ilmu Dharmais
"Jadilah Rabbani, Bukan Ramadhani" - Ustadz DR. Musyafa Ad-Darini, Lc. MA Hafizhahullah Ta'ala

Sahabat Ilmu Dharmais

Play Episode Listen Later May 30, 2021 75:18


"Jadilah Rabbani, Bukan Ramadhani" Hari/Tanggal : Ahad, 30 Mei 2021 Waktu : 19.30 WIB - selesai Pemateri: Ustadz DR. Musyafa Ad-Dariny, Lc. MA Hafidzahullah Ta'ala Moderator: dr. M. Raya Kurniawan, SpPK

Podcast Resensi Buku
32. Resensi Buku Second Sister (Putri Kedua) - Chan Ho-Kei (Sucia Ramadhani)

Podcast Resensi Buku

Play Episode Listen Later May 3, 2021 10:39


Resensi Buku Second Sister (Putri Kedua) karya Chan Ho-Kei. Diulas oleh Sucia Ramadhani (@suciaramadhani). Kompetisi Podcast Resensi Buku GPU x PODLUCK merupakan kolaborasi antara Podcast Main Mata, Gramedia Pustaka Utama, Gramedia Digital, dan Goshen Swara Indonesia, dengan didukung oleh Jaringan Podluck. Jika kamu tertarik untuk berpartisipasi di kompetisi ini, daftarkan dirimu dan audio resensimu melalui tautan: https://bit.ly/resensibkgpu. Instagram: @podluckpodcast, @bukugpu, @goshen_swara_indonesia Twitter: @podcastpodluck Cek tagar #kompetisiresensibukugpuxpodluck di Instagram untuk informasi lebih lanjut

Habari za UN
Mkimbizi Anna: Kwa sababu  ya COVID-19 Ramadan mwaka huu itakuwa ngumu sana kwangu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 14, 2021 1:44


Wakati Waislam kote duniani wakiwa wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, kutana na mkimbizi Anna anayeishi kwenye kambi ya wakimbizi ya Mbera nchini Mauritania, anasema anashukuru mwezi mtukufu umeanza salama, lakini utakuwa mgumu sana kwake na familia yake kutokana na janga la corona au COVID-19. Taarifa ya Floara Nducha inaeleza zaidi.

Juwita JA BIPA
Sri Ayu Ramadhani (Rini) ~~ Duta Bahasa Negara untuk di Davao, Filipina dan Hanoi, 2019 dan 2020

Juwita JA BIPA

Play Episode Listen Later Mar 15, 2021 59:02


Psikolog yang berkecimpung dalam BIPA Memasak, menyanyi, tertawa dan kreatif lainnya ! Can't take my eyes off of you and your wonderful smile :) --- Send in a voice message: https://anchor.fm/francis-underwood/message

Podcast Suam-Suam Kuku
#2 Nia Ramadhani emang kenapa sih?

Podcast Suam-Suam Kuku

Play Episode Listen Later Feb 11, 2021 21:16


buat yang mau liat visualnya, bisa cek youtube manuel marsen yak

Media Indie Oren
3 Bukti Kalian Lebih Beruntung Daripada Nia Ramadhani

Media Indie Oren

Play Episode Listen Later Nov 27, 2020 8:55


Jujur saya mengagumi kecantikan Nia Ramadhani sejak ia masih remaja saat menjadi pemeran antagonis di sinetron Bidadari. Di sinetron itu, Nia memang sudah tampak cute habis.  Kecantikannya semakin terpancar sejak ia menikah dengan konglomerat Ardiansyah Bakrie. --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app Support this podcast: https://anchor.fm/rismanbnanggo/support

12.24am
06. Toxic Relationshit (with Febry Ayu Ramadhani)

12.24am

Play Episode Listen Later Jul 25, 2020 21:56


Dalam episode kali ini, aku dan Febry pengen banget ngebawa kalian towards our journey dalam menghadapi Toxic Relationship kita yang dulu-dulu. Semoga ini bisa ngasih perspektif baru perihal hubungan seperti apa yang kalian harus hindari ~

IKN Islamic TV Podcast
Buletin Dakwah Kaffah Edisi No 143 | Jadilah Umat Rabbani, Bukan Umat "Ramadhani"

IKN Islamic TV Podcast

Play Episode Listen Later May 30, 2020 14:45


Buletin Dakwah Kaffah Edisi No 143 | Jadilah Umat Rabbani, Bukan Umat "Ramadhani"

#CELOTEH by Chelsy Arta
ADA APA DENGAN CHINA? with Hamdan Ramadhani

#CELOTEH by Chelsy Arta

Play Episode Listen Later May 3, 2020 31:52


Podcast Kursi Goyang
KEEPING IT PURE AND JOYFUL with Athaya Ramadhani

Podcast Kursi Goyang

Play Episode Listen Later May 2, 2020 23:31


Come closer as Podcast Kuyang celebrate the International Dance Day! On today's episode, Athaya will tell us about the magic & the purity of the traditional art, and bringing Indonesian culture to the face of the world! Athaya Ramadhani is well known for her amazing performance as a traditional dancer. With over 7 years of experience, many form of traditional dance, and countless stages both national and international. So stick in,as Bijak&Thufail unveil the deepest side. Only on Podcast Kursi Goyang!

ONIX Podcast
LDR : EPISODE NIHAYA RAMADHANI

ONIX Podcast

Play Episode Listen Later Apr 28, 2020 31:14


Obrolan bareng cewek kece @nihayaramadhani via Live IG Story ONIX Radio yang menjadi Duta Wisata Manuntung Kota Balikpapan 2020. Dengerin ceritanya disini ya, Guys!

PODCAST OOTD
S01/E06 : FILM PARASITE MENANG OSCAR, NIA RAMADHANI BELANJA ONLINE.

PODCAST OOTD

Play Episode Listen Later Feb 14, 2020 30:45


Media jaman sekarang emang suka gitu, dari headline nya aja udah gak nyambung, apalagi sama konten artikelnya. Tapi apakah isi podcast OOTD episode 6 ini juga gak nyambung sama judulnya? Ya udah dengerin aja, lapak kita no tipu-tipu and no kaleng-kaleng kok!

Duabersua
Eps 15 #Obas : kami rindu APG ! Pengalaman menarik menjadi volunteer Asian Para Games bersama Aul

Duabersua

Play Episode Listen Later Feb 14, 2020 60:07


Di episode 15 ini menghadirkan salah satu teman duet yang baru merasakan transisi kepemimpinan organisasi tingkat Fakultas, yaitu auliya Ramadhani. Aul mengakui bahwa dengan adanya transisi ini dan kekurangannya dalam manajemen waktu menjadi tantangan besar buatnya. Selain itu, kami sebagai mantan volunteer Asian Para Games menceritakan kisah-kisah menarik yang terangkum dalam sesi #discure #obas

Duabersua
Eps 15 # Discure : transisi kepemimpinan membuat Aul tak pede?

Duabersua

Play Episode Listen Later Feb 14, 2020 58:17


Di episode 15 ini menghadirkan salah satu teman duet yang baru merasakan transisi kepemimpinan organisasi tingkat Fakultas, yaitu auliya Ramadhani. Aul mengakui bahwa dengan adanya transisi ini dan kekurangannya dalam manajemen waktu menjadi tantangan besar buatnya. Selain itu, kami sebagai mantan volunteer Asian Para Games menceritakan kisah-kisah menarik yang terangkum dalam sesi #discure #obas

KONGKOW
Kongkow #24 : Nia Ramadhani gak bisa ngupas salak, kenapa kita yang repot?

KONGKOW

Play Episode Listen Later Feb 8, 2020 38:47


Berita Nia Ramadhani gak bisa ngupas salak dan mangga bikin kalian resah gak sih? Kita keluarin aja unek-unek kita tentang berita gak penting kaya gini di Kongkow episode 24 (editor mengetik deskripsi ini dengan perasaan kesal, marah, dan ambyar heheh). Instagram : temankongkow_ Email : podcastteman@gmail.com --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/temankongkow/message Support this podcast: https://anchor.fm/temankongkow/support

ROPodcast.
MEMBURU PART TIME, HIDUP BERKESYUKURAN DAN MENEMUKAN JALAN KELUAR w/ Fyolita Ramadhani

ROPodcast.

Play Episode Listen Later Jan 31, 2020 45:06


Saya menemukan sesuatu yang lain, dimana seorang mahasiswa seperti dia harus berusaha menemukan cara agar dia dapat bertahan hidup. Temukan Fyolita di https://instagram.com/litharamadhani23 --- Support this podcast: https://anchor.fm/ziyanro/support

Galery Bercerita
Efektivitas Penerapan Perda Ft. Ramadhani

Galery Bercerita

Play Episode Listen Later Nov 11, 2019 27:56


Membicarakan Peraturan perundang-undangan baik pemerintah daerah maupun pusat. Maka secara lahir yang merupakan karya manusia yang tidak ada satupun sempurna. Dengan begitu tentunya terdapat beberapa faktor yang membuat peraturan itu kurang efisien dalam masyraakat. Kali saya bersama Ramdani akan membahas efektivitas Perda Pedagang Kaki Lima di salah satu Kota di jawa timur yang berupa tugas akhirnya di Fakultas Syariah UIN Malang. untuk pembahasan skripsi mas dani bisa berkabar disini 082316390808 Ikuti Ini Syahruluntuk mengetahui seputar Pengetahuan dan Review dari berbagai buku. kritik dan saran atau ingin berkolaborasi silahkan berkabar di galleryduadua@gmail.com Salam Berbagi dan berkreasi..

Solusi Beres, Oktastika, Kak Nitnit
Bisa kupas salak tapi HIDUP ANDA NGGAK LEBIH dari Nia Ramadhani ??

Solusi Beres, Oktastika, Kak Nitnit

Play Episode Listen Later Nov 4, 2019 4:29


Setiap orang punya kekurangan. Tinggal bagaimana anda bisa mengimbangi kekurangan anda itu dengan kelebihan anda.

Mahasiswa Lokal
Permusikan dan Passion pada Mahasiswa ft Wahyu Ramadhani

Mahasiswa Lokal

Play Episode Listen Later Oct 31, 2019 46:36


Episode 02 ini membahas tentang permusikan dan passion kemahasiswaan. Lika liku passion yang belum terbuat dan musik yang h . . . . .. Astaga, silakan di dengarkan saja. ok see ya! *Note (Kualitas audio masih tahap pembelajaran) Kritik dan saran yang membangun sangat dibutuhkan. Makasih. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/mahasiswalokal/message

Podcast Jumat Barokah
Teruntuk Nia Ramadhani, Kami Berdiskusi Soal Salak

Podcast Jumat Barokah

Play Episode Listen Later Oct 24, 2019 17:57


Ngobrolin Nia Ramadhani yang gak bisa ngupas salak, cakep mah bebas

SBS Swahili - SBS Swahili
Eid El-Fitr debate continues for 1.6 billion Muslims - Mjadala wa Eid El-Fitr unaendelea kwa Waislam 1.6 bilioni

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 11, 2019 6:17


A debate of tradition versus technology is simmering in Australia's Muslim community on the eve of Eid El-Fitr.The religious holiday celebrated by 1.6 billion Muslims marks the end of Ramadan, but some scholars are split on exactly when that day should be. - Mjadala wa jadi dhidi ya teknolojia ni sawa na jumuiya ya Waislamu Australia wakati wa siku ya Eid El-Fitr.Sikukuu ya kidini iliyoadhimishwa na Waislamu 1.6 bilioni, ilihitimisha mfungo wa Ramadhani, lakini wasomi wengine wanagawanyika hasa kuhusu siku gani inapaswa kusherehekewa sikukuu.

SBS Swahili - SBS Swahili
How do you break your fast during Ramadan? - Huwa unafuturu vipi wakati wa Ramadhani?

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 13, 2019 14:10


Muslims in Australia and around the world are observing the holy month of Ramadan. - Waislamu nchini Tanzania na duniani kote, wanashiriki katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Obrolan Aman Podcast
Episode 5 - Nia Ramadhani

Obrolan Aman Podcast

Play Episode Listen Later Apr 30, 2019 29:44


Nia Ramadhani dibaca Ni ya Ramadhan ni. Angga ama Nanda mengutarakan kerinduannya sama Nia Ramadhani, dimana banyak sekali hal hal yang langka tiba-tiba muncul hanya ketika bulan Ramadhan. Mungkin juga hal yang bikin kangen ini melanda kalian. Semoga bulan Ramadhan ini jauh lebih baik dari tahun sebelumnya! Salam Aman!

DW Podcast
#1 Pilot - Dimas Ramadhani, Cozora(dot)com

DW Podcast

Play Episode Listen Later Mar 12, 2018 102:34


Dalam Episode Pertama DWP, kami akan berbincang dengan Dimas Ramadhani. Co-Founder dan CEO dari Cozora.

DWPodcast
#1 Pilot - Dimas Ramadhani, Cozora(dot)com

DWPodcast

Play Episode Listen Later Feb 11, 2018 102:34


Dalam Episode Pertama DWP, kami akan berbincang dengan Dimas Ramadhani. Co-Founder dan CEO dari Cozora.

First Take SA
Justice Augustino Ramadhani on the A African Court of Human and Peoples' Rights

First Take SA

Play Episode Listen Later Oct 7, 2015 9:49


African Court on Human and People's Rights has been commended for dispensing justice across the continent. In just a decade of its existence the court is to have recorded tremendous achievements. This year alone the court based in Arusha, Tanzania has received 17 contentious applications. And joining me in the studio is the President of the Court, Justice Augustino Ramadhani.

Hali Ya Waislam Baada Ya Ramadhani
Hali Ya Waislam Baada Ya Ramadhani

Hali Ya Waislam Baada Ya Ramadhani

Play Episode Listen Later Jul 26, 2014 51:08


Hali Ya Waislam Baada Ya Ramadhani

Thamani ya swala ya Alfajiri katika mwezi wa Ramadhani
Thamani ya swala ya Alfajiri katika mwezi wa Ramadhani

Thamani ya swala ya Alfajiri katika mwezi wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Jul 21, 2014 51:08


Thamani ya swala ya Alfajiri katika mwezi wa Ramadhani

Matendo Mazuri Katika Mwezi Wa Ramadhani
Matendo Mazuri Katika Mwezi Wa Ramadhani

Matendo Mazuri Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Jul 21, 2014 51:08


Matendo Mazuri Katika Mwezi Wa Ramadhani

Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani
Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani 1

Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Jul 16, 2014 51:08


Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani 1

Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani
Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani 2

Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Jul 16, 2014 51:08


Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani 2

Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani
Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani 3

Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Jul 16, 2014 51:08


Zawadi Za Mwezi Wa Ramadhani 3

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 01

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 01

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 03

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 03

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 02

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 02

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 04

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 04

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 05

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 05

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 06

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 06

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 07

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 07

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 08

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 08

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani
Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 09

Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Ushindi Katika Mwezi Wa Ramadhani 09

Kisimamo Katika Ramadhani
Kisimamo Katika Ramadhani 03

Kisimamo Katika Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 28, 2013 51:08


Kisimamo Katika Ramadhani 03

Kisimamo Katika Ramadhani
Kisimamo Katika Ramadhani 01

Kisimamo Katika Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 28, 2013 51:08


Kisimamo Katika Ramadhani 01

Kisimamo Katika Ramadhani
Kisimamo Katika Ramadhani 02

Kisimamo Katika Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 28, 2013 51:08


Kisimamo Katika Ramadhani 02

Kisimamo Katika Ramadhani
Kisimamo Katika Ramadhani 04

Kisimamo Katika Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 28, 2013 51:08


Kisimamo Katika Ramadhani 04

Uwajibu Wa Swaumu Ya Ramadhani
Uwajibu Wa Swaumu Ya Ramadhani

Uwajibu Wa Swaumu Ya Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 27, 2013 51:08


Uwajibu Wa Swaumu Ya Ramadhani

ramadhani swaumu
Namna Ya Kuupokea Mwezi Wa Ramadhani ?
Namna Ya Kuupokea Mwezi Wa Ramadhani ?

Namna Ya Kuupokea Mwezi Wa Ramadhani ?

Play Episode Listen Later Oct 27, 2013 51:08


Namna Ya Kuupokea Mwezi Wa Ramadhani ?

Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani
Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani

Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani

Play Episode Listen Later Oct 27, 2013 51:08


Mambo Yanayo Patikana Katika Mwezi Wa Ramadhani