Podcasts about mwanamke

  • 39PODCASTS
  • 122EPISODES
  • 21mAVG DURATION
  • 1EPISODE EVERY OTHER WEEK
  • May 28, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about mwanamke

Latest podcast episodes about mwanamke

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari:Polisi wamfungulia mashtaka ya ugaidi, mwanamke aliyerudi Australia kutoka Syria

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 28, 2026 5:24


Jeshi la Polisi la Shirikisho la Australia limemkamata mwanamke mmoja, kama sehemu ya uchunguzi unaoendelea chini ya Operesheni Kurrajong.

SBS Swahili - SBS Swahili
Anne "karibuni tusherehekee utu wa mwanamke, uvumilivu na neema"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 9, 2026 10:51


Wanawake wanao ishi katika maeneo ya jiji la Melbourne wame andaliwa tukio maalum Jumapili 10 May, ambayo huadhimishwa kama siku ya kina mama.

melbourne neema wanawake mwanamke jumapili
Radio Maria Tanzania
Ifahamu nguvu ya Mwanamke katika kulinda uhai.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 7, 2026 52:26


Karibu usikilize Kipindi  cha Pro_life Utetezi wa Uhai Wawezeshaji kutoka Prolife Tanzania Bwana Godfrey Mkaikuta, Anthony Lihepa, Janet Akkaro na Bi Grace Shayo Mada ni Kwaresima na thamani wa uhai Tarehe 10 Machi 2026 L'articolo Ifahamu nguvu ya Mwanamke katika kulinda uhai. proviene da Radio Maria.

machi radio maria katika karibu nguvu mwanamke kipindi
Radio Maria Tanzania
Fahamu thamani ya mwanamke wa leo katika kuleta uhai.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 7, 2026 59:41


Karibu usikilize Kipindi  cha Pro_life Utetezi wa Uhai Wawezeshaji kutoka Prolife Tanzania Anthon Liepa,  Janet Akkaro na Bi Grace Shayo Mada ni Kwaresma Na Thamani ya Uhai wa Binadamu Tarehe 31 Machi 2026 L'articolo Fahamu thamani ya mwanamke wa leo katika kuleta uhai. proviene da Radio Maria.

machi radio maria katika karibu mwanamke kipindi fahamu
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari: Historia ya tengezwa baada ya mwanamke kuteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 14, 2026 14:32


Kwa mara ya kwanza katika historia ya Australia, mwanamke ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Australia. Waziri Mkuu alitangaza uteuzi wa Luteni Jenerali Susan Coyle mjini Canberra.

Habari za UN
Sadia Yahya, Mwanamke jasiri Sudan anayesongesha amani kwa kutegua mabomu ya ardhini

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 1, 2026 2:25


Tarehe 4 mwezi Aprili mwaka huu ni siku ya kimataifa ya kuelimisha umma kuhusu mabomu ya  kutegwa ardhini ambayo yamekuwa ‘mwiba' kwa wananchi walioko maeneo siyo tu ya vita hivi sasa bali pia yale ambamo mapigano yamemalizika lakini masalia ya mabomu yanaendelea kutesa wananchi. Nchini Sudan mwanamke mmoja anatekeleza kwa vitendo maudhui ya siku hii mwaka huu ambayo ni Wekeza kwenye amani, wekeza kwenye hatua dhidi ya mabomu ya kutegwa ardhini. Je anafanya nini? Ungana na Flora Nducha.

sudan yahya sadia mwanamke aprili jasiri ungana
SBS Swahili - SBS Swahili
Makala leo: Rhoda Roberts AO: Shujaa wa utamaduni aliyebadilisha taifa

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Mar 24, 2026 11:25


Salamu za rambirambi zinatolewa kwa Mwanamke aliyekuwa akitoa mwongozo na ushauri katika shirika la habari la SBS kutoka ukoo wa Widjabul Wia-bal, Shangazi Rhoda Roberts, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 66.

sbs makala taifa rhoda roberts mwanamke
Habari za UN
“Sauti ya Mama Mukongomani” inamuwezesha na kumlinda mwanamke wa DR Congo: Nelly Mbangu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 17, 2026 5:58


Hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa kwenye Kikao cha Kamisheni ya Hali ya wanawake duniani CSW70, Flora Nducha wa Idhaa hii anazungumza na mshiriki Nelly Mbangu Lumbulumbu, mwanasheria na mwanaharakati wa Haki za binadamu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasa ya Congo DRC, ambaye ni mwanzilishi na mkurugenzi wa shirika lisilo la kiserikali la “Sauti ya Mama Mukongomani” lililoanzishwa mwaka 2008, anaanza kwa kumueleza kwa nini alinzisha shirika hilo.

drc umoja congo drc haki hapa makala drcongo ya mama sauti wanawake jamhuri mataifa mwanamke
Habari za UN
09 MACHI 2026

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 9, 2026 11:51


Hii leo jarida la Umoja wa Mataifa linakuletea taarifa ya ufunguzi wa Kikao cha 70 cha Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani CSW70 jijini New York Marekani, mwaka huu kikibeba maudhui “Haki, haki ya kisheria na Hatua kwa wanawake na wasichana wote”.Zaidi ya washiriki 9000 wakiwemo wawakilishi wa serikali, asasi za kiraia, Umoja wa Mataifa na mashirika yake na wadau wengine wanatarajiwa kushiriki jukwaa hili litakalokunja jamvi 19 Machi likijumuisha mikutano ya kando 750.Pia tunakupeleka Gaza, eneo la palestina linalokaliwa kimabavu na Israel kumwangazia Alya Abu Shawish, Mwanamke anayefanya kazi katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kutoa huduma ya kutegua mabomu, UNMASakisaidia kuwaweka salama wenzake katika mojawapo ya mazingira hatari zaidi duniani. Jarida linaelekea pia Tanzania kupata simulizi ya mtoto aliyekuwa amekosa fursa ya kupata masomo. 

Habari za UN
Kunusuru wanawake wenzangu na jamii Gaza inanipa faraja: Alya Abu Shawish

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 9, 2026 2:57


Alya Abu Shawish, mwanamke aliyeko mstari wa mbele kuondoa hatari ya mabomu Gaza  (OVERNIGHT)Hii leo pia hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani, imefanyika hafla ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo duniani kote iliadhimishwa jana Jumapili. Katika muktadha huo huo ninamualika Anold Kayanda atupeleke Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel kumwangazia Alya Abu Shawish, Mwanamke anayefanya kazi katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kutoa huduma ya kutegua mabomu, UNMASakisaidia kuwaweka salama wenzake katika mojawapo ya mazingira hatari zaidi duniani. Karibu Anold.(Taarifa ya Anold)Asante Flora,Hakika Gaza ni moja ya mazingira hatari duniani kwa sasa. Alya Abu Shawish anaposhuka kwenye gari kabla ya kuingia ofis iza UNMAS zilizoko Deir al-Balah katikatimwa Gaza, anavaa jaketi la kujikinga na risasi.Ndani ya ofisi amesimama mbele ya ramani ya kidijitali, akifuatilia mienendo ya timu za wafanyakazi walioko mitaani zilizosambazwa kote katika ukanda huo wa Gaza ili kufanya kazi za kuondoa mabaki ya vilipuzi vya vita katika eneo hilo.Baada ya mipango yote kukamilika ofisini, sasa Alya Abu anaendesha gari akiwa na wenzake kuelekea kazini nje ya ofisi. Anaeleza akisema,(Sauti ya Alya Abu Shawish) – Sharon“Kazi yangu kama mwanamke katika eneo hili inaonyesha kwamba wanawake wanaweza kuwa na nafasi muhimu katika kuhakikisha usalama na kuleta mabadiliko yanayoonekana, hata katika mazingira hatari na yenye changamoto kubwa zaidi katika Ukanda wa Gaza.”Alya Abu Shawish anaonekana na wenzake mitaani wakifanya kazi. Watoto wanafuata, kwa vyovyote wakitambua kazi muhimu inayofanywa na UNMAS kufanya mazingira yawe salama dhidi ya vilipuzi.Hata hivyo, nyuma ya dhamira hii ya kitaaluma kuna hadithi binafsi inaloakisi hali halisi ya maelfu ya wanawake huko Gaza.(Sauti ya Alya Abu Shawish) – Sharon“Kama mwanamke na mama, nimepitia changamoto nyingi ambazo wanawake wa Kipalestina huko Gaza hukabiliana nazo wakati wa vita hofu, kuhama makazi, uhaba wa mahitaji muhimu, na hali ya kutokuwa na uhakika kila wakati. Kama wanawake wengi hapa, nimelazimika kuilinda familia yangu huku nikikabiliana na hali hizi ngumu.”Licha ya changamoto hizi, Alya Abu Shawish anasema uzoefu wake umeimarisha azma yake ya kuwasaidia wengine na kumhamasisha kufanya kazi katika uwanja ambao mara nyingi huonekana kutawaliwa na wanaume.(Sauti ya Alya Abu Shawish) – Sharon“Uzoefu huu haukunidhoofisha; uliimarisha azma yangu ya kuwasaidia wengine. Ulinitia moyo kufanya kazi katika masuala ya kuondoa mabomu na usalama na UNMAS uwanja ambao mara nyingi huonekana kuwa wa wanaume. Katika jukumu hili, ninachangia kupunguza hatari zinazosababishwa na mabaki ya vilipuzi vya vita na kusaidia jamii kuishi kwa usalama zaidi.”Wanawake wengine katika timu za UNMAS pia hushiriki katika shughuli za kuhamasisha jamii kuhusu hatari za mabaki ya vilipuzi, ambayo sasa yamekuwa moja ya changamoto kubwa zaidi za kibinadamu huko Gaza kadri uharibifu unavyoendelea kuenea. Kwa Abu Shawish, juhudi hizi hubeba ujumbe unaokwenda mbali zaidi ya kazi kwani inaonesha uimara na mnepo.

Habari za UN
Fundi wa magari mwanamke wa UNMISS atunukiwa nishani ya Umoja wa Taifa

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 27, 2026 2:53


Fundi wa magari mwanamke kutoka nchini Ethiopia anayehudumu na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, UNMISS, Meja Tigist Ferede ametunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, kwa kusimamia jukumu muhimu la wanawake katika operesheni za kulinda amani nje ya kushika bunduki. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Rashid Malekela. 

ethiopia magari umoja fundi taifa wanawake mataifa mwanamke unmiss ujumbe sudan kusini
Radio Maria Tanzania
Fahamu kutungwa mimba kwa mwanadamu mpaka kuzaliwa kwake

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 29, 2026 53:32


Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro – Life, Utetezi wa Uhai ambapo studio nipo na Bwana Godfrey Mkaikuta, Antony Lihepa, Witness Joachim na Janeth Akaro, Wakufunzi kutoka Pro – Life Tanzania wakitufundisha mada juu ya Mwanamke na tumbo la uzazi. L'articolo Fahamu kutungwa mimba kwa mwanadamu mpaka kuzaliwa kwake proviene da Radio Maria.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari:Keir Starmer amlaumu Vladimir Putin kwa kifo cha mwanamke mwaka 2018

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 5, 2025 10:56


Kwa taarifa zaidi tunakuelekeza katika tovuti ya sbs.com.au/swahili.

Radio Maria Tanzania
Ewe mwanamke je, unaufahamu uthubutu wako katika Uchumi?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 10, 2025 29:13


Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Jinsia na Maendeleo, leo tutakuwa na mwezeshaji Bi. Eneless Mwinami Afsa Program kutoka Mwanza, akitufundisha juu ya Uthubutu wa mwanamke Kiuchumi. L'articolo Ewe mwanamke je, unaufahamu uthubutu wako katika Uchumi? proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Pamoja na mafanikio makubwa bado kuna changamoto kumjumuisha kikamili mwanamke mwenye ulemavu Zanzibar: Ms. Abeida Abdallah

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 7, 2025 3:33


Kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania Mashariki mwa Afrika kimepiga hatua kubwa katika suala la ujumuishaji wa watu wenye ulemavu katika sekta mbalimbali kwa kuzingatia mikataba ya Umoja wa Mataifa ya watu wenye ulemavu na pia usawa wa kijinsia kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma. Lakini licha ya mafanikio waliyoyapata katika masuala kama elimu na haki za watu wenye ulemavu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Bi. Abeida Rashid Abdallah akizungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii kandoni mwa kikao cha mwaka huu cha 69 cha kamisheni ya hali ya wanawake duniani CSW69 amesema bado kuna kibarua kikubwa cha kufanya kuhakikisha kila mtu  hususan mwanamke mwenye ulemavu anajumuishwa. Kwa undani zaidi ungana nao katika makala hii.

bi afrika zanzibar abdallah kuna umoja kwa makala watoto pamoja jamii lakini wanawake mataifa mwanamke maendeleo wizara
Habari za UN
23 JUNI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 23, 2025 10:27


Hii leo jaridani tunaangazia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, na juhudi za kurejesha matumaini miongoni mwa jamii zilizotengana kwa migogoro Sudan Kusini.  Makala tunakwenda nchini Tanzania na mashinani nchini Kenya.Hali ya taharuki yaendelea kushuhudiwa Mashariki ya Kati kufuatia mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran mwishoni mwa wiki. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki IAEA, Rafael Grossi, leo ametoa wito wa dharura wa shirika hilo kuruhusiwa kufika kwenye maeneo hayo yaliyoharibiwa, ili kutathmini kiwango halisi cha uharibifu.Katika juhudi za kuimarisha mshikamano na kurejesha matumaini miongoni mwa jamii zilizotengana kwa migogoro, ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, UNMISS, kwa kushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, hivi karibuni waliandaa tamasha maalum la muziki katika mji wa Malakal, jimbo la Upper Nile – eneo ambalo kwa miezi ya hivi karibuni limekuwa kitovu cha machafuko.Katika makala Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Mashirika yanayotoa huduma ya msaada wa kisheria nchini Tanzania, TANLAP, Christina Kamili Ruhinda anaeleza wanavyotekeleza mpango wao wa kuhakikisha wanawake  wanapata nafasi zaidi kwenye meza za uamuzi nchini Tanzania.Na mashianani fursa ni yake Priscillah Lesurkukwa, Mwanamke mkulima kutoka kaunti kame ya Samburu nchini Kenya ambaye ni mnufaika wa mradi wa Shrika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula WFP, ambao umewapatia wakulima mafunzo ya kutengeneza makinga maji na kuchimba mashimo yenye umbo la nusu mwezi ili kuvuna na kuhifadhi maji kwenye mashamba yao, na sasa mbinu hizo zimebadilisha mazingira kuwa na malisho ya kijani kibichi na miti inayostawi.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!

israel iran kenya tanzania unesco umoja hii makala rafael grossi katika samburu elimu mataifa mwanamke unmiss marekani mkuu shirika kimataifa mashariki mazingira malakal mashirika sudan kusini
Radio Maria Tanzania
Ifahamu sifa ya Mwanamke.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 3, 2025 57:21


Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika  kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo nipo na Padre Titus Amigu  kutoka  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya Sifa ya  Mwananke. L'articolo Ifahamu sifa ya Mwanamke. proviene da Radio Maria.

biblia radio maria karibu sifa mwanamke ujumbe chuo kikuu
Radio Maria Tanzania
Hizo ndizo sifa za Mwanamke katika Jamii.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 3, 2025 57:22


Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika  kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo nipo na Padre Titus Amigu  kutoka  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya Sifa ya kumi na tano zaWanawake. L'articolo Hizo ndizo sifa za Mwanamke katika Jamii. proviene da Radio Maria.

Habari za UN
Ukiwekeza kiuchumi kwa mwanamke basi umewekeza katika jamii: Janet Mbene mshiriki CSW69

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 21, 2025 5:42


Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya wanawake duniani CSW69 unakunja jamvi leo hapa makao makuu ya Umoja wa  Mataifa New York Marekani baada ya mjadala wa wiki mbili kutathimini hatua zilizopigwa na changamoto zilizosalia miaka 30 baada ya azimio la Beijing la usawa wa kijinsia nah atua za utekelezaji. Flora Nducha amebahatika kuzungumza na mmoja wa wakishiri wa mkutano huo kutoka asasi za kiraia nchini Tanzania

Radio Maria Tanzania
Fahamu nafasi ya Mwanamke katika Utetezi wa Uhai.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 21, 2025 53:44


Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro Life utetezi wa uhai, Wakufunzi wetu leo Wanazungumzia Nafasi ya Mwanamke katika Utetezi wa Uhai .   L'articolo Fahamu nafasi ya Mwanamke katika Utetezi wa Uhai. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Mwanamke na msichana wanatofautianaje?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 20, 2025 49:36


Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika  kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo nipo na Padre Titus Amigu  kutoka  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya utofauti ya Mwananke na Wasichana. L'articolo Mwanamke na msichana wanatofautianaje? proviene da Radio Maria.

biblia radio maria karibu mwanamke ujumbe chuo kikuu
Radio Maria Tanzania
Ni vigezo gani vinavyotumika kutofautisha kati ya mwanamke na msichana?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 20, 2025 56:43


Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika  kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo nipo na Padre Titus Amigu  kutoka  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya utofauti ya Mwananke na Wasichana. L'articolo Ni vigezo gani vinavyotumika kutofautisha kati ya mwanamke na msichana? proviene da Radio Maria.

biblia gani radio maria karibu mwanamke ujumbe chuo kikuu
Radio Maria Tanzania
Fahamu utofauti kati ya Mwanamke na Wasichana

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Mar 18, 2025 55:46


Karibu uungane nami Martin Joseph katika  kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo nipo na Padre Titus Amigu  kutoka  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya utofauti ya Mwananke na Wasichana. L'articolo Fahamu utofauti kati ya Mwanamke na Wasichana proviene da Radio Maria.

biblia radio maria karibu mwanamke fahamu ujumbe chuo kikuu
VOA Express - Voice of America
Wanawake nchini DRC wanaelezea magumu wanayoyapitia wakati dunia inajiandaa kusheherekea siku ya mwanamke kimataifa. - Machi 07, 2025

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 7, 2025 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

dunia machi siku wakati wanawake mwanamke kimataifa
VOA Express - Voice of America
Mwanamuziki Enock Mlelwa au Bexy azungumzia kibao chake Mwanamke Pesa - Februari 18, 2025

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 18, 2025 29:59


Mwanamuziki Enock Mlelwa au Bexy azungumzia kibao chake Mwanamke Pesa

pesa enock mwanamke bexy
Dr Boaz Mkumbo
Tiba ya Ugumba kwa Mwanaume na Mwanamke

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Dec 6, 2024 0:49


Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. . Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi,  bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994.   Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

Habari za UN
UN: Mwanamke au msichana mmoja aliuawa kila baada ya dakika 10 na mwenzi au ndugu 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 25, 2024 3:13


Leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake, Je wajua kwamba wanawake na wasichana 140 walifariki dunia kila siku duniani kote mwaka 2023 wakiwa mikononi mwa wapenzi wao au ndugu wa karibu, ikimaanisha kuwa mwanmake mmoja anauawa katika kila dakika 10. Na zaidi ya yote bara la Afrika linaongoza? Maudhui ya siku hii yanasema “Hakuna kisingizio” cha ukatili dhidi ya wanawake lama alioushuhudia Ester manusura kutoka Uganda, ambaye kwa miaka mingi amekuwa akifanyiwa ukatili na mpenzi wake anaema “Nilikuwa na umri wa miaka 15 aliponioa naye alikuwa na miaka 28wakati mwingine alikuwa akinivua nguo zote na kunilazimisha kukaa kwenye varandana nilikuwa nikichelewa kurudi ananitandika nje nyumba kila mtu kushuhudia Nilikuwa katika hali mbaya ya uchungu Mkubwa na kuvuja damu.”maadhimisho ya mwaka huu yanaambatana na ripoti iliyotolewa leo jijini New York, Marekani na mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwemo lile la masuala ya wanawake, UN Women na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kudhibiti Dawa za kulevya na Uhalifu, (UNODC), inaangazia mwanga wa janga la mauaji ya wanawake na kutoa wito kwa hatua za dharura ili kukabili janga hilo.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres katika ujumbe wake wa siku hii inayoadhimishwa tarehe 25 mwezi Novemba kila mwaka, ikiashiria pia kuanza kwa siku 16 za kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake, zikiwa na kilele chake tarehe 10 mwezi Desemba, siku ya Haki za Binadamu duniani amesema “Janga la ukatili dhidi ya wanawake na wasichana linaaibisha ubindamu, dunia lazima iitikie wito huu. Tunahitaji hatua za dharura kwa ajili ya haki na uwajibikaji, na kusaidia uchechemuzi.”Mkurugenzi mtendaji wa UN Women Sima Bahous amesisitiza kuwa “Ukatili dhidi ya wanawake na wasichana si kwamba hauepukiki, unaweza kuzuilika. Tunahitaji sheria thabiti, ukusanyaji bora wa takwimu, uwajibikaji zaidi wa serikali, utamaduni wa kutovumilia, na kuongezeka kwa ufadhili kwa mashirika ya kupigania haki za wanawake na taasisi. Tunapokaribia kuadhimisha miaka 30 ya Azimio la Beijing na Jukwaa la Utekelezaji mwaka 2025, ni wakati wa viongozi wa dunia kuungana na kuchukua hatua kwa haraka, kujitolea na kuelekeza rasilimali zinazohitajika kumaliza mgogoro huu mara moja na kwa wote”Mauaji ya wanawake yanavuka mipaka, hali ya kiuchumi na kijamii, utamaduni. Hata hivyo kiwango au ukubwa wake unatofautiana.Kwa mujibu wa ripoti hiyo, bara la Afrika lilivunja rekodi ya kuwa na viwango vya juu vya wanawake kuuawa na wapenzi wao au mwanafamilia. Wanawake 21,700 waliuawa Afrika mwaka huo wa 2023, ikifuatiwa na bara la Amerika na kisha Oshenia.Mashirika ya UN Women na…

new york beijing uganda ant amerika afrika guterres un women hata umoja hakuna kila kwa haki unodc dakika baada janga wanawake mataifa mwanamke ndugu marekani novemba desemba azimio jukwaa mashirika mkurugenzi uhalifu
VOA Express - Voice of America
Katika kuadhimisha siku ya mwanamke wa kijijini changamoto zake zamulikwa - Oktoba 15, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 15, 2024 29:59


Katika kuadhimisha siku ya mwanamke wa kijijini changamoto zake zamulikwa

katika siku zake mwanamke oktoba
Radio Maria Tanzania
Fahamu wajibu wa Wanawake katika Utetezi wa Uhai.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Sep 18, 2024 51:32


  Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro Life utetezi wa uhai, Wakufunzi wetu leo Wanazungumzia Nafasi ya Mwanamke katika Utetezi wa Uhai .   L'articolo Fahamu wajibu wa Wanawake katika Utetezi wa Uhai. proviene da Radio Maria.

pro life radio maria katika karibu wanawake mwanamke fahamu
Dr Boaz Mkumbo
Jinsi ya kupunguza uzito kwa mwanamke

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jun 21, 2024 6:21


Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. . Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi,  bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994.   Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

moja karibu jinsi mwanamke
Radio Maria Tanzania
Ni, kwanini Yesu alichagua Mitume wa Mwanaume sio wa Mwanamke?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jun 14, 2024 18:14


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea,  leo uko nami Frateri  Benedict Lazaro Luvanga,  nikijibu swali linalosema  Kwanini Yesu alichagua mitume wa Mwanaume na sio wa Mwanamke?           L'articolo Ni, kwanini Yesu alichagua Mitume wa Mwanaume sio wa Mwanamke? proviene da Radio Maria.

radio maria karibu yesu mwanamke maswali
Dr Boaz Mkumbo
Sababu za mwanaume kufa mapema kuliko mwanamke

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Apr 16, 2024 9:19


Ktika epsod hii Dr. Boaz ameeleza sababu zinazowafanya wanaume kupoteza maisha mapema kabla ya wakati wao tofauti na wanawake na mambo ya kufanya ili wanaume wasipate vifo vya mapema Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 . Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikwa kwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 . Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

boaz moja karibu kufa mwanamke
Kwa Undani - Voice of America
Meza ya waandishi ikijadilia masuala muhimu ya wiki likiwemo lile la kuteuliwa kwa Waziri Mkuu wa kwanza mwanamke nchini DRC. - Aprili 05, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 5, 2024 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

wiki meza kwanza l'ile mwanamke aprili waziri mkuu
VOA Express - Voice of America
Wanawake mashariki mwa DRC wanasema Waziri Mkuu mpya wa kwanza mwanamke nchini humo anatazamiwa kutetea haki za wanawake na kuleta amani. - Aprili 02, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 2, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

humo kwanza haki wanawake mwanamke aprili mashariki waziri mkuu
Dr Boaz Mkumbo
Sababu za mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Mar 19, 2024 19:42


Katika epsod hii DR. BOAZ  MKUMBO amefundisha mambo yanayosababisha mwanamke kukosa hamu ya tendo la ndoa na suluhisho lake.   Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 . Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikwa kwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 . Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/

Sepetuko
Rita Tinina: Mwanamke Jasiri Aliyevunja Vizuizi Katika Sekta ya Habari: Sepetuko

Sepetuko

Play Episode Listen Later Mar 19, 2024 4:36


Sepetuko inaomboleza kifo cha mwanahabari wa NTV Rita Tinina. Yapo mengi ya kujifundisha kutokana na maisha ya Tinina, kuanzia kwa uchapakazi wake, unyenyekevu wake na ukarimu wake.

sekta katika habari mwanamke jasiri
VOA Express - Voice of America
Faith Mukiri, mwanamke Mkenya muathirika wa uzito wa mwili awashauri wanawake wanene kufanya upasuaji wa homoni za tumbo na mazoezi - Novemba 13, 2023

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 13, 2023 29:59


wanawake mwanamke novemba
Dr Boaz Mkumbo
kwanini mwanamke habebi ujauzito? sikiliza hapa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Aug 28, 2023 3:44


katika epsodi hii utajifunza juu ya sababu ya mwanamke kushindwa kubeba ujauzito japokuwa anapata hedhi kila mwezi  Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

moja hapa mwanamke sikiliza
Dr Boaz Mkumbo
Kwanini mwanamke anapata uvimbe kwenye kizazi? sababu na madhara yake.

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jul 17, 2023 2:46


Katika Episode hii utajifunza kuhusu mambo yanayosababisha mwanamke kupata uvimbe kwenye kizazi Kwa matibabu na ushauri  WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/          

yake kwenye mwanamke
Dr Boaz Mkumbo
Aina ya mazoezi kwa mwanamke aliyejifungua kwa Operation

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jul 3, 2023 4:42


Katika Episode hii utajifunza jinsi ya kufanya mazoezi mara tuu baada ya kujifungua kwa njia ya upasuaji ili jeraha lipone kwa haraka. Kwa matibabu na ushauri  WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/        

Dr Boaz Mkumbo
Mambo yanayoashiria kuwa mwanamke anamvurugiko wa homoni

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jun 10, 2023 3:08


Katika Episode hii utajifunza mambo ambayo ni viashiria kwa mwanamke ambaye ana tatizo la mvurugiko wa homoni. WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/    

mambo kuwa mwanamke
Dr Boaz Mkumbo
KUSHIRIKI TENDOLA NDOA KIPINDI MWANAMKE YUPO HEDHI NI UCHAFU

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jun 6, 2023 0:45


Katika Episode hii tunakujuza kwamba  kushiriki tendo la ndoa kipindi mwanamke anapokuwa hedhi kunaweza kukusababishia kupata maambukizi ya magonjwa.    WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBSCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI, KITAMBI NA UZITO MKUBWA, SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA), MVURUGIKO WA HOMONI, UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, TEZI DUME NA MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/        

ndoa mwanamke kipindi
Dr Boaz Mkumbo
tatizo la mwanamke kukosa hisia za tendo la ndoa

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jun 6, 2023 2:30


Katika Episode hii tutajifunza juu ya mambo yanayoweza kusababisha mwanamke kukosa hamu au hisia za  kushiriki tendo la ndoa kwa mumewake.   WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBSCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI, KITAMBI NA UZITO MKUBWA, SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA), MVURUGIKO WA HOMONI, UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, TEZI DUME NA MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/          

tendo ndoa mwanamke
Dr Boaz Mkumbo
Sababu tano kwanini mwanamke hapati hedhi

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jun 6, 2023 3:33


Katika Episode hii utajifunza kwanini mwanamke hapati hedhi ikiwa bado umri wake unaruhusu kuendelea kupata hedhi.   WASILIANA NASI SIMU +255767 074 124 +225787 999 994 +255767 030 160   Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/            

tano mwanamke
AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Je kusuka nywele kwa mwanamke ni Dhambi?

biblia mwanamke
Divathebawse
Mwanamke ameathirika Mwanaume mzima

Divathebawse

Play Episode Listen Later Aug 4, 2022 6:01


anauliza afanyaje ?!

mwanamke
Alfajiri - Voice of America
Jaji Ketanji mwanamke wa kwanza mweusi atakayehudumu mahakama ya juu Marekani - Aprili 08, 2022

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 8, 2022 29:59


Baraza la seneti la Marekani limemuidhinisha Jaji Ketanji Brown Jackson kuwa jaji wa mahakama ya juu ya Marekani kwa kura 53 dhidi ya 47. Baraza la Seneti lilipiga kura Alhamis na kumfanya Jackson mwenye umri wa miaka 51 kuwa mwanamke wa kwanza mweusi kuhudumu katika mahakama ya juu Marekani

kwanza ketanji baraza mwanamke aprili marekani alhamis
Divathebawse
MWANAMKE USAFI MUHUMI SIO KIHARUFU NYUMBA CHAFU INAHUSU?

Divathebawse

Play Episode Listen Later Mar 13, 2021 25:09


Bango kama bango

bango mwanamke nyumba
Vinto Talks🎙️
BOBRISKY MWANAUME ALIEBADILI MUONEKANO NA JINSIA YAKE NA KUA MWANAMKE KABISA

Vinto Talks🎙️

Play Episode Listen Later Jul 20, 2020 3:08


Inamhusu kijana aliebadili jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke kabisa (trans gender)

yake bobrisky mwanamke
Sounds of the Caribbean with Selecta Jerry
Sounds of the Caribbean with Selecta Jerry EP617

Sounds of the Caribbean with Selecta Jerry

Play Episode Listen Later Aug 10, 2019 269:00


This weeks show starts off with classic selections from Peter Tosh, Burning Spear, Pablo Moses, Sylvan White, Dennis Brown, Misty In Roots, Jacob Miller, Culture, Ras Michael, Ijahman, Sugar Minott, and Horace Ferguson. New music this week comes from Vin Gordon, Akae Beka, Morgan Heritage, Glen Washington, Blvk H3ro, Mungo's Hifi with Eva Lazarus, Courtney John, and Dami Knight. Also this week we ride the Inna We Heart Riddim, The Uprising Riddim and The Resistance Riddim featuring artists like Mosiah, Teacha Dee, Black Loyalty, King David, Ziggy Ranking, Chezz, and Jigsy King with Mwanamke. Tracks from Ghetto Priest, Cornel Campbell, Gregory Isaacs, Beres Hammond, The Mighty Diamonds, and John Holt round out the playlist In The Dub Zone this week you will hear dubs from Vin Gordon, Dub Proof, The Senior All Stars, Max Romeo, and Burning Babylon. Extended dub mixes feature The Easy Star All Stars with Corey Harris and Ranking Joe, OBF and Nazamba, Martin Campbell and High Tone, Ark Aingelle with Habesha, Autarchi and Fari Di Future, and Micah Shemaiah with Infinite. Enjoy! Peter Tosh - Equal Rights - Equal Rights Legacy Edition - Columbia Legacy Burning Spear - The Fittest Of The Fittest - The Fittest Of The Fittest - Heartbeat Records Pablo Moses - Be Not A Dread - Revolutionary Dream - Shanachie Sylvan White - Faith/Faith Version - Africans Unite - Roots Foundation Vin Gordon - Styler Man/Dubbing Style - African Shores - Tradition Disc Dennis Brown - The Half - The Promised Land - Blood & Fire Misty In Roots - True Rasta - Roots Controller - Real World Jacob Miller & Inner Circle - Healing Of The Nation - Forward Jah Jah Children - Trojan Records Culture - The International Herb - International Herb - Shanachie Ras Michael & The Sons Of Negus - None A Jah Jah Children No Cry - Jah Shaka Presents The Postive Message - Greenlseeves Ghetto Priest - I Murder Hate - Every Man For Every Man - Ramrock Records Ijahman - Moulding - Are We A Warrior - Island Records Sugar Minott - The People Got To Know/The People Got To Dub - Ghetto-ology and Dub - Easy Star Records Horace Ferguson - Great Stone - Sensi Addict - Ujama Akae Beka - Under The Sun - Mek A Menshun - Zion High Productions Morgan Heritage - Bedrock - Loyalty - CTBC Music  Glen Washington - God Of Our Fathers - Conqueror Riddim - Trainline Records Blvk H3ro - Street Life - Loud City Music Protoje feat. Lila Ike' & Agent Sasco - Not Another Word - Indiggnation Collective Mosiah - Love Inna Me Heart - Inna We Heart Riddim - Ragatac Music Teacha Dee - First Man - Inna We Heart Riddim - Ragatac Music Ras Teo Meets Lone Ark - Inna Me Medi/Inna Me Medi Dub - Ten Thousand Lions - Lone Ark Productions Mungo's HiFi feat. Eva Lazarus - Dub Be Good To Me - More Fyah - Scotch Bonnet Records Gregory Isaacs - Mr. Brown - Mr. Isaacs - VP Records Glen Washington - One Of These Days - Most Wanted - Greensleeves The Wailers - Thank You Lord - Songs Of Freedom - Tuff Gong Mighty Diamonds - Natural Natty - I Need A Roof - Hitbound U- Roy - Back Stabbing - The Lost Album: Right Time Rockers - Nocturne Cornel Campbell - Mash You Down - Soul Jazz Presents: Dancehall The Rise Of Jamaican Dancehall Culture - Soul Jazz Records Dub Zone featuring Strictly Dubwize & Extended Dub Mixes Vin Gordon - Shucumooku - African Shores - Tradition Disc Dub Proof - Bee Sting Dub - Dub Proof - Dub Proof Music The Senior All Stars feat. Ammoye - Baltimore (vocal dub edit) - Soul From Dubdown: Darker Than Blue - Echo Beach Max Romeo - Valley Of Jehosaphat (Segs Jennings Steve  Dub Hot Remix) - Select Cuts From Blood & Fire Chapter 2 - Select Cuts Burning Babylon - Into Twilight - Garden of Dub - Mars Recordings Easy Star All Stars feat. Corey Harris & Ranking Joe - Time/Time Version - Dub Side Of The Moon - Easy Star Records O.B.F. feat. Nazamba - The Groove/The Groove Dub - The Hills/The Groove EP - Dub Quake Recordings Martin Campbell Meets High Tone - Urban Style/Urban Style Dub - Jarring Effects Ark Aingelle & Habesha - In Awe/Awe Dub - Habeshites 12” Autarchi & Fari Difuture - Shashamane Living (discomix) - Roots & Reality - Bent Backs Records Micah Shemaiah feat. Infinite - Reggae Rockit/Reggae Rockit Dubwise - We Generation Music ==================================== Jesse Royal feat. Protoje - Lion Order - Easy Star Records Steel Pulse - Cry Cry Blood - Mass Manipulation - Wiseman Doctrine Alborosie - One Chord - Unbreakable: Alborosie Meets The Wailers United - Greensleeves Black Loyalty - Set Me Free - Uprising Riddim - Blue Room Studios King David - Order - Uprising Riddim - Blue Room Studios Ziggy Ranking - Turn Around - Uprising Riddim - Blue Room Studios Lila Ike' - Where I'm Coming From - Indiggnation Collective Naomi Cowan - Paradise Plum - Reggae Gold 2019 - VP Records Courtney John - Far Away - 7 Long Lane Entertainment King Jammy & Dennis Brown feat. Aza Lineage - Real Love - Tracks Of Life - VP Records Queen Ifrica - Girl Like Me - Prime Time News Riddim - DJ Frass Records Dami Knight - Blue Skies - Island House Records Beres Hammond feat. U-Roy - Putting Up A Resistance - Can't Stop A Man: The Ultimate Collection - VP Records Chezz - High Grade - Resistance Riddim - Napem Records Jigsy King & Mwanamke - Ganja Pickney - Resistance Riddim - Napem Records John Holt - Ali Baba - Treasure Isle Presents: Original Reggae Tighten Up Hits - Treasure Isle Tony Curtis - Weed Dream - King Tubby's Dub Plate Style Riddim - Maximum Sound Speng Bond w/ Naram & Art - Dread Outta Road - Outta Road/Dem A Fraud EP - Red Robin  Earl 16 - Reggae Music - Lick It Back - Reggae Roast

culture caribbean infinite king david extended hi fi selecta peter tosh mungo martin campbell dennis brown john holt mosiah burning spear beres hammond jacob miller gregory isaacs morgan heritage max romeo corey harris eva lazarus sugar minott obf easy star all stars habesha ranking joe mighty diamonds mwanamke high tone glen washington akae beka courtney john micah shemaiah ras michael chezz burning babylon