POPULARITY
Mwezi mtukufu wa Ramadan ume anza, Waislamu kote duniani wakisherehekea Iftar katika siku ya pili ya kipindi cha mfungo.
Kwa vijana wengi wa kitanzania ambao tunatufuta pesa leo ili tule leo na kesho wazo la kuwekeza huonekana kama ni la mamilionea. Kuna namna ukifikiria hili unaweza kuona kama ni sawa, lakini haipo hivyo. Ukweli ni kwamba ukiwa na mfumo wenye mkakati unaoeleweka ni rahisi zaka kutengeneza mashine yako ya dividend ambayo itakulisha vizuri baada ya miaka 10 ijayo.Kuna kanuni za msingi za uwekezaji ambazo ukizifuata na kuwekeza kiasi cha Tsh. 50,000 kila mwezi utaweza kuufikia uhuru wa kifedha.
Kila mwezi wa Oktoba, ulimwengu huadhimisha Mwezi wa Uhamasishaji wa Saratani ya Matiti, lengo kuu likiwa kuhamasisha vipimo vya mapema ili kupunguza hatari ya ugonjwa huu na kutafuta msaada wa kifedha kwa ajili ya utafiti kuhusu saratani ya matiti. Inakadiriwa kuwa, wagonjwa wapya zaidi ya milioni 2.3 wa saratani ya matiti hugunduliwa kila mwaka, kulingana na takwimu za Shirika la Afya Duniani. Wengi wa wanawake waliopatwa na saratani hii walilalzimika kukatawa titi moja au yote mawili ili kuokoa maisha yao, na hivyo kupoteza kiungo muhimu cha mwili.
Mwezi mmoja uliopita nilipata bahati ya kuzungumza na Octavian Lasway, mhandisi wa maji na umwagiliaji, lakini pia yeye kijana ambaye anatumia teknolojia kuwasaidia wakulima wa nchi za Afrika Mashariki, kufanya kilimo biashara, kupata masoko na kuongeza thamani ya mazao yao. Huu hapa muendelezo wa mahojiano yetu.
Mwezi mmoja uliopita nilipata bahati ya kuzungumza na Octavian Lasway, mhandisi wa maji na umwagiliaji, lakini pia yeye kijana ambaye anatumia teknolojia kuwasaidia wakulima wa nchi za Afrika Mashariki, kufanya kilimo biashara, kupata masoko na kuongeza thamani ya mazao yao. Huu hapa muendelezo wa mahojiano yetu.
Makala haya yanaangazia afya ya akili, ikizingatiwa kuwa Juni ni Mwezi wa Uhamasishaji wa Afya ya Akili ya Wanaume. Unafikiri ni kwanini wanaume wanashindwa kutafuta ushauri wa afya ya akili? Unadhani afya ya akili ya mwanaume inasahaulika? Skiliza makala ya leo usikie maoni kutoka kwa waskilizaji wetu.
Makala haya yanaangazia afya ya akili, ikizingatiwa kuwa Juni ni Mwezi wa Uhamasishaji wa Afya ya Akili ya Wanaume. Unafikiri ni kwanini wanaume wanashindwa kutafuta ushauri wa afya ya akili? Unadhani afya ya akili ya mwanaume inasahaulika? Skiliza makala ya leo usikie maoni kutoka kwa waskilizaji wetu.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Kuelekea kuanza kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwishoni mwa wiki hii, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametuma ujumbe wake wa kutaka kipindi hicho cha takribani siku 30 kitumike kuleta amani na kuongoza kuelekea dunia yenye yenye haki na huruma zaidi. Selina Jerobon na taarifa zaidi.
Watu milioni 4.4 nchini Somalia wako hatarini kukumbwa na njaa ifikapo mwezi Aprili mwaka huu wa 2025, kutokana na ukame mkali, mizozo na ongezeko kubwa la bei za vyakula. Selina Jerobon na taarifa zaidi..
Wasanii wa Muziki Afrika na Duniani kote wanakutana visiwani Zanzibar kufurahia uzuri na Upekee wa Muziki, wageni mbalimbali hukusanyika kushuhudia Tamasha la Sauti za Busara kila ifikao mwezi Februari.
Hii leo tumeangazia yaliyozungumziwa kwenye mkutano mkuu wa jinsia wa Afrika Mashariki jijini Nairobi, shirikisho la kimataifa la mchezo wa baiskeli yapinga madai kuwa Rwanda itapokonywa haki za kuandaa mashindano ya chipukizi ya dunia mwezi Septemba kufuatia mzozo unaoendelea DRC, uchambuzi wa droo ya AFCON 2025, maandalizi ya CHAN 2024 tarehe mpya zatajwa na uchaguzi wa CAF mwaka huu. Pia tumechabua hatua ya mchujo mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya na tetesi za uhamisho ulaya.
Hii leo jaridani tunakuletea Mada kwa Kina inayotupeleka Kenya ambapo Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limefanikiwa kumnyanyua msichana Nosizi Dube na kutimiza ndoto yake ya kuepuka ndoa ya utotoni na kupata shahada ya kwanza ya chuo kikuu. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na uchaambizi wa neno KWEGO.Mwezi mmoja tangu kuanguka kwa utawala wa Bashar Al-Assad, zaidi ya wakimbizi 125,000 wamerejea Syria "wakiwa na matumaini baada ya miaka mingi ya kuishi uhamishoni", lakini wamejikuta wakikabiliwa na hali mbaya nchini mwao, wameeleza leo wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Likiwa linaongoza wito kwa jumuiya ya kimataifa "kutoka kwenye maneno hadi vitendo" ili kuwasaidia watu walio waliorejea ambao sasa wako katika mazingira magumu, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limesema familia nyingi zina uhaba wa makazi na njia kidogo za kiuchumi.Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limeongeza ombi lake la fedha kufikia dola milioni 73.2 kwa ajili ya kusaidia zaidi ya watu milioni 1.1 kote nchini Syria katika kipindi cha miezi sita ijayo, wakati nchi hiyo ikiingia katika kipindi cha mpito kufuatia kuanguka kwa serikali ya Bashar Al-Assad. Ombi hili ni nyongeza katika ombi la awali la dola milioni 30 lililotolewa mwezi Desemba mwaka jana 2024 likilenga mahitaji yanayoongezeka ya majira ya baridi Kaskazini Magharibi mwa Syria.Miezi 15 baada ya vita huko Gaza, mamia kwa maelfu wanaendelea kuishi katika shule za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina (UNRWA) zenye msongamano ambazo zimegeuzwa kuwa makazi. UNRWA imeeleza kuwa hata viwanja vya michezo kwa watoto sasa ni nyumba kwa waliofurushwa. Shirika hilo limesisitiza kuwa misaada zaidi ya kibinadamu lazima iingie Gaza na kusitishwa kwa mapigano ni muhimu zaidi kuliko hapo awali.Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno “KWEGO”.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Ungana nami Emeliana Masondole katika kipindi cha Tafakari Nasi, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, anatafakari juu ya mwezi wa kumi na moja yaani mwezi Marehemu. L'articolo Je, wafahamu kwanini Kanisa liliweka mwezi 11 wa kuwaombea Marehemu? proviene da Radio Maria.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Die ministerie van omgewing het die uitreiking van 'n jagpermit vir 'n jagluiperd in die Anabeb-bewarea weerlê. Die ministerie beklemtoon dat geen jagpermitte vir jagluiperds uitgereik is nie en dat Namibië nêrens in die land 'n jagkwota vir jagluiperds het nie. Hy skryf die gerugte toe aan smeerveldtogte. Izak Smit van die Desert Lion Human Relations Aid het egter kommer uitgespreek oor deursigtigheid binne die ministerie en bevraagteken hoe feite vasgestel kan word as die ministerie inligting weerhou, soos wat na bewering gebeur met die trofeejag van die woestyn-aangepaste leeu Mwezi op 11 Oktober 2023. Kosmos 94.1 Nuus het gesels met Romeo Muyunda, die omgewingministerie se woordvoerder.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, leo Frateri Peter Mjwauzi Peter kutoka Parokia Mwenyeheri Vincenza Maria Poloni -Ntyuka Jimbo kuu la Dodoma, nikijibu swali la Msikilizaji linalosema ni kwanini Kanisa katoliki limeweka mwezi wa kumi kuwa mwezi wa Bikira Maria kwa kusali Rozari na sio mwezi mwingine? L'articolo Ni, kwanini tunasali Rozari mwezi wa kumi na sio mwezi mwingine? proviene da Radio Maria.
Die omstrede trofeejag van die woestyn-aangepaste leeu Mwezi op 11 Oktober 2023, wat in die Skedelkus Nasionale Park geskiet is, is steeds in die nuus. Izak Smit van die Desert Lion Human Relations Aid, sê daar is 'n gebrek aan deursigtigheid en aanspreeklikheid by die omgewingsake-ministerie, wat weier om op hul navrae te reageer. Smit voer ook onder andere aan dat die leeu onwettig as probleemdier verklaar is om ‘n winsgewende trofee te skep. Kosmos 94.1 Nuus het reaksie hierop gekry van Axel Cramer, president van die Namibië professionele jagvereniging, Napha.
Kry die nuus soos dit breek.
Die omgewingsministerie het teruggekap teen aantygings wat deur Izak Smit van Desert Lion Human Relations Aid, of DeHLRA gemaak is oor die jag van die woestyn-aangepaste leeu Mwezi. Smit voer aan dat die leeu onwettig as probleemdier verklaar is om ‘n winsgewende trofee te skep. Romeo Muyunda, woordvoerder van die ministerie het sy reaksie so verwoord.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Kuelekea siku ya Uchangiaji Damu Duniani tarehe 14 mwezi wa sita kila mwaka, karibu ungane na Bi Mariam Juma, Afisa Mhamasishaji Jamii kutoka Mpango wa Taifa Damu Salama katika kipindi cha Elimu Jamii,anatuelezea kuhusu Umuhimu wa uchangiaji Damu. L'articolo Ni, kwanini Dunia inadhimisha siku ya Uchangiaji Damu Tarehe 14 mwezi sita wa kila Mwaka. proviene da Radio Maria.
Karibu Ungane nami Happiness Mlewa, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera na Paroko wa Parokia ya Kaazi Jimbo Katoliki Bukoba ni muendelezo wa mada Faraja ya Imani. L'articolo Fahamu utofauti kati ya Mwezi Mei na miezi mingine. proviene da Radio Maria.
Mdahalo wa Biden na Trump mwezi Juni utakuwa wa mapema zaidi katika historia ya Marekani
Karibu Ungane nami Erick Paschal, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera na Paroko wa Parokia ya Kaazi Jimbo Katoliki Bukoba ni muendelezo wa mada Faraja ya Imani. L'articolo Ni, kwa namna gani mwezi Mei ni Faraja ya Imani? proviene da Radio Maria.
In this episode, we travel to Botswana to discover how innovative methods, and the role of organisations, are aiding the coexistence of people and wildlife. We visit the Chobe enclave, where despite a thriving tourism economy, the wildlife from the nearby National Park can cause life-changing and sometimes devastating challenges to local residents. Mr Mwezi is a community leader, a chief and a cattle rancher. He describes the challenges he faces from raising his herd in an area prone to drought and at risk by predators – but also the tragic loss of two close relatives. The Chobe Enclave Community Trust (CECT) is run by Moses Sinchembe and he acknowledges that humans and wildlife need to coexist – and that wild animals in the area can be what he describes as “a blessing and a curse”. He believes that by understanding the ‘language' of the wildlife that surrounds the people, animals and humans can live alongside each other much more effectively. Letlhogonlo Kamuti comes from Ncongo (the Ngamiland Council of NGOs), a community based capacity-building organisation and umbrella body for NGOs (non-governmental organisations). He discusses the cultural importance for wildlife in the community, and the opportunities that come from hunting quotas and tourist safaris. Mubuso Kakambi was born and raised in Kavimba village and in her younger years, feared the wildlife around her. Now working for WildCRU (the Wildlife Conservation Research Unit), she helps her fellow residents see the benefits of coexistence and believes that education is key for the community. Andrew Mukwati is a community guardian for WildCRU and has built over 70 ‘kraals', adapting traditional practices to create modern enclosures, designed to protect cattle and other livestock from predators. Jess Isden is WildCRU's head of project and has been in Botswana for many years, building trust within communities and helping tip coexistence solutions in local people's favour. The Trans-Kalahari predator programme is one of many programmes under WildCRU looking at the movement of large predators across the landscape. We speak to them all, beneath the baobab. Visit the website https://jammainternational.com to explore more international projects. The video of this episode can be seen here: https://youtu.be/itb33f8pX7A https://www.trickleout.net/index.php/directory-pilot/botswana/chobe-enclave-conservation-trust https://ncongo.org/https://www.wildcru.org/ Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Waumini wa dini ya Kiisilamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kipindi hiki mataifa mengi ya Afrika mashariki yakishuhudia mfumko wa bei za bidhaa. Serikali zetu zifanye nini kupunguza mfumko wa bei za bidhaa? skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni yako
Waumini wa dini ya Kiisilamu wameanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kipindi hiki mataifa mengi ya Afrika mashariki yakishuhudia mfumko wa bei za bidhaa. Serikali zetu zifanye nini kupunguza mfumko wa bei za bidhaa? skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni yako
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Hy het ook gevra dat Napha op die etiek van die jag moet kommentaar lewer.
Desert Lion Human Relations Aid, of DeLHRA, het kommentaar gelewer oor die benutting van sogenaamde probleem diere vir trofeejag doeleindes. Die organisasie vra steeds vrae oor die jag van die agt-jarige leeumannetjie Mwezi in die noordweste van Namibië, in 'n beskermde gebied, terwyl dit bekend was hy was besig om te paar met ‘n alleenlopende wyfie. Izak Smit van DeLHRA, het met Kosmos 94.1 Nuus gepraat.
Mwezi wa kumi huwa ni mwezi maalumu kwa ajili ya kufanya kampeni inayokuza na kueneza uelewa kuhusu afya ya akili (Mental Health Awareness month). Na dhima kubwa ya mwaka huu inasema “Afya ya akili ni haki ya binadamu kwa wote” Kwa kujua umuhimu wa siku hii na namna gani swala zima la afya ya akili linavyohitaji mjadala mpana nchini Tanzania, Michael na Nadia wameketi chini na kuichambua safari nzima ya afya ya akili hapa nchini Tanzania. Tunakubaliana na ukweli kwamba kuna hatua zimepigwa kwenye kuhakikisha misaada na ufahamu wa afya ya akili unaongezeka katika jamii, ila lazima tuwe wakweli kwamba bado pengo pia linaonekana. Mazungumzo ya leo yanatulezea namna ya kugundua changamoto za afya ya akili, umuhimu wa kutafuta msaada, msaada unapopatikana lakini pia, kama hauwezi kumudu gharama za wataalamu, ni nini ambacho unaweza kiufanya mwenyewe ili uweze kujiokoa? Mazungumzo yote ya leo yamefanyika yakiwa na lengo moja tu, kukufanya uanze kujali afya yako ya akili. Na ndiyo maana kipindi cha leo kinaitwa “Jali afya yako ya akili”
Mwezi uliopita, viongozi wa dunia walikutana jijini New York, Marekani katika mkutano wa 78 wa baraza la umoja wa Mataifa, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ikiwemo usalama wa dunia na ukuaji wa uchumi pamoja na mikakati ya kufikia ajenda ya mwaka 2030 na haja ya kuongeza kasi kutekeleza malengo 17 endelevu. Kuzungumzia yaliyojiri, mtayarishaji wa makala haya alimualika Ebenezer Suleiman Mathew Ikomba, balozi wa vijana wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa. Katika mijadala mingi, vijana walitajwa kuwa sehemu kubwa ya nguvu kazi ya dunia na kwamba kupitia ubunifu, uwajibikaji na harakati za kuhamasisha nchi kufikia malengo endelevu, basi dunia itakuwa sehemu salama. Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inaangazia yaliyotokana kwenye mkutano huo na namna gani vijana wanaweza kushiriki katika ujenzi wa dunia salama na yenye amani ambayo itachochea maendeleo na ukuaji wa uchumi.
Mwezi uliopita, viongozi wa dunia walikutana jijini New York, Marekani katika mkutano wa 78 wa baraza la umoja wa Mataifa, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ikiwemo usalama wa dunia na ukuaji wa uchumi pamoja na mikakati ya kufikia ajenda ya mwaka 2030 na haja ya kuongeza kasi kutekeleza malengo 17 endelevu. Kuzungumzia yaliyojiri, mtayarishaji wa makala haya alimualika Ebenezer Suleiman Mathew Ikomba, balozi wa vijana wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa. Katika mijadala mingi, vijana walitajwa kuwa sehemu kubwa ya nguvu kazi ya dunia na kwamba kupitia ubunifu, uwajibikaji na harakati za kuhamasisha nchi kufikia malengo endelevu, basi dunia itakuwa sehemu salama. Makala ya Gurudumu la uchumi juma hili inaangazia yaliyotokana kwenye mkutano huo na namna gani vijana wanaweza kushiriki katika ujenzi wa dunia salama na yenye amani ambayo itachochea maendeleo na ukuaji wa uchumi.
Ungana na Mtangazaji Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katolilki Mada iliyopo ni juu muendelezo waa mada ya watakatifu mwezi wa nane , Mwezeshaji Padre Dominic Mavula Mkurungezi wa Matangazo ya Radio Maria Tanzania. L'articolo Wafahamu watakatifu wa Mwezi wa nane? proviene da Radio Maria.
Ungana na Mtangazaji Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katolilki Mada iliyopo ni juu ya Watakatifu wa Mwezi Agost , Mwezeshaji Padre Dominic Mavula Mkurungezi wa Matangazo ya Radio Maria Tanzania. L'articolo Fahamu Muendelezo wa Mafundisho ya watakatifu wa Mwezi nane? proviene da Radio Maria.
Nchi ya Mali kupitia kiongozi wake wa kijeshi Kanali Assimi Goita imetangaza katiba mpya ya nchi hiyo na ambayo upinzani imepinga na hivyo kutishia maandamano.Uchaguzi wa nchi hiyo ulitarajiwa kufanywa mnamo Februari 2022, lakini ukaahirishwa hadi Februari 2024.
Nchini Tanzania Shirika la lisilo la kiserikali la Girls Livelihood and Mentorship Initiative (GLAMI) kupitia Mradi wake wa Binti Shupavu, unaowajengea Stadi za Maisha ikiwemo uwezo wa kujitambua, mabinti walioko Shule, unaendelea na juhudi za kufanikisha Lengo la Nne la maendeleo endelevu SDG's linalohusu Elimu, ambapo Jumla ya wasichana 824 wananufaika kutoka katika Shule Tisa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro Vijijini, ambapo Mwezi huu wa Tano limekamilisha Programu ya kufanya vikao na wazazi katika Shule hizo ili kuwajengea uwezo wa malezi ya watoto wao. Hamad Rashid wa Redio washirika MVIWATA FM kutoka Morogoro, mashariki mwa Tanzania amehudhuria baadhi ya vikao vya wazazi na GLAMI kisha kutuandalia makala ifuatayo.
In this Podcast double, I'm excited to be speaking with Dr. Tempe Adams, the coexistence & education manager for Elephants Without Borders, an NGO based in Botswana and Izzy, the program assistant for the Human Elephant Coexistence program. We talk through their roles at EWB, what drives their passion for conservation, biggest threats facing elephants and their habitats in Botswana and the tools they use to promote coexistence and end human elephant conflicts. Enjoy
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Na leo katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu ni Dkt Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar, BAKIZA, anatufafanulia maana ya methali "Usigombane na mkwezi, nazi imeliwa na mwezi", karibu!
Wakati Kenya ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu tarehe 9 mwezi ujao wa Agosti, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini humo linatoa wito kwa serikali itakayoingia madarakani ipatie kipaumbele hifadhi ya jamii ikiwemo kupatia fedha familia zilizo hatarini kama njia mojawapo ya kupunguza umaskini. UNICEF inatoa wito huo wakati huu ambapo mradi wake wa majaribio kupatia fedha famiilia maskini zenye watoto umeanza kuzaa matunda kama anavyoelezea Anold Kayanda katika taarifa hii. Huyo ni Monika Muema, mkazi wa Kaunti ya Kajiado nchini Kenya. Yeye ni bibi na mlezi wa wajukuu watano na binti yake ambaye ni kiziwi. Monika ni mnufaika wa mradi wa UNICEF wa kupatia fedha kaya maskini ambapo kila mwezi hupatiwa takribani dola 17 ili kuweza kulea wajukuu zake akiwemo Alice mwanafunzi wa darasa la 7. Monika anatumia fedha anazopata kusuka vikapu. Ukosefu wa fursa za ajira na changamoto itokanayo na COVID-19 ilifanya hali kuwa mbaya zaidi na watoto wakashindwa hata kwenda shule. Susan Momanyi, afisa wa UNICEF Kenya anasema, “hapa Kenya kaya milioni 1.4 zimeandikishwa kwenye mradi wa hifadhi ya jamii, na hivoy kuacha takribani watoto milioni 12 wanoahitaji huduma hiyo. Ndio maana UNICEF inatoa wito kwa serikali ijayo ya Kenya kuongeza bajeti kwenye hifadhi ya jamii kwa asilimia 1.7 ya pato lake la ndani, kiwango ambacho ni sawa na nchi zingine za kipato cha kati ili kila mtoto anufaike.” Sasa hata walimu wa Alice shuleni wanasema wameona tofauti tangu bibi yake aanze kunufaika na mradi wa kupatiwa fedha kwani mahudhurio ni bora halikadhalika sare za shule.
Wageni wetu wanajadili masuala nyeti yaliyoibuka katika siasa za Kenya wakati taifa hilo la Afrika Mashariki likijitayarisha kwa uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti.
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC, imesema kwamba haitawazuia watuhumiwa wa kashfa za ufisadi kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. IEBC inaeleza kuwa ni lazima mahakama iwakute washukiwa na hatia.
Waislamu kote duniani wame sherehekea mwisho wa mwezi Mtukufu wa Ramadan, kwa chakula, sala na kujumuika na familia baada ya mwezi mzima wakufunga.