POPULARITY
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema walimu nchini Honduras wanaathiriwa kwa kiasi kikubwa na ghasia za magenge ya wahalifu na sasa walimu wanatambuliwa kuwa moja ya makundi yenye uwezekano mkubwa wa kulazimika kuyakimbia makazi yao. Mwanzoni mwa kila mwaka mpya wa shule, wakati maeneo mengine duniani walimu na wanafunzi hufurahia shule funguliwa, walimu wa nchini Honduras taifa dogo lililoko Amerika ya Kati, hali huwa ni tofauti kwani huwa na hofu wakikaa kusubiri maagizo tena si kutoka serikalini bali katika magenge ya wahalifu ya namna ya kuendesha mafunzo kama anavyoeleza mwalimu Horacio Montes, “wavulana huja kila tunapoanza mwaka wa shule, na wanawasiliana nami ili kunijulisha miongozo ambayo watatupa kuhusu uendeshaji wa shule katika mwaka.” Maisha ya walimu nayo ni magumu kwani wengine hulazimika kutoa hongo ili waende kazini, huku wakitafuta pesa kila mara wanapovuka mipaka isiyoonekana inayotenganisha maeneo ya magenge kama inavyodhibitishwa na Mwalimu mkuu Miguel Lopez wa shule moja huko Honduras, “Kuna wakati tunaweka maisha yetu rehani, na miili yetu katika hatari ili kuwalinda wavulana na mabinti zetu. Tunaweza kusema kwamba ‘tunabeba mzigo', lakini hatuna ulinzi sisi wenyewe.” Walimu wa kike wako katika hatari zaidi, kwani wanaweza kulengwa kwa unyanyasaji wa kijinsia na kushambuliwa kama anavyoeleza Alba Flores Mwalimu Mkuu msaidia wa shule ya awali, “Tunatafuta njia za ulinzi sisi wenyewe, kwa ajili ya wenzetu, wanafunzi na, wakati mwingine, kwa wazazi. Daima tutakuwa marafiki zao watoto, tunawapenda, na tunafanya kazi kwa ajili yao” Uchunguzi uliofanyika mwaka 2016 wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia wakimbizi UNHCR, Shirika linalowakilisha walimu wa shule wa Honduras Comité Docent , pamoja na Shirika lisilo la kiserikali la Save the Children, ulibainisha walimu kuwa miongoni mwa makundi nchini Honduras ambayo huathirika zaidi na kulazimishwa kuyakimbia makazi yao. Walimu wa Honduras wanajikuta kwenye mstari wa mbele wa wakimbizi wa ndani ambapo zaidi ya watu 247,000 wameyakimbia makazi yao. Wadau wa elimu wamekuwa yakifanya kazi pamoja tangu mwaka 2016 kutafuta suluhu za matatizo yaliyokita mizizi ya walimu ili kuwaweka katika kazi zao na jamii zao nyumbani, lakini pale baadhi ya walimu wanapokuwa katika hatari zaidi hupelekwa UNHCR, ambayo inafanya kazi ya kuwahamishia kwenye usalama zaidi ikiwa ni ndani au nje ya Honduras.
Katika makala hii leo tunajiunga na mwandishi wetu wa Kenya Jason Nyakundi akizungumza na Rebecca Laibich, kijana mwenye umri wa miaka 25 mwanaharakati wa kuhifadhi mazingira nchini Kenya na mfanyakazi wa kujitolea wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO, ambaye amejitwika jukumu la kuwafunza vijana wenzie kuhusu umuhimu na njia za kutunza mazingira.
Wafuasi wake wakamwendea Yesu na kumuuliza, “Kwa nini unatumia simulizi hizi kuwafundisha watu?” 11 Yesu akawajibu, “Mungu amewapa ninyi ujuzi wa kuelewa siri za ufalme wa Mungu, lakini hajawapa watu hawa wengine ujuzi huu. 12 Kisha akawaambia, ‘Zingatieni kwa makini kile mnachokisikia. Kwani jinsi mnavyosikiliza kwa makini, ndivyo mtakavyoelewa na kuzidi kuelewa. Kwa kuwa kila aliye na uelewa kidogo ataongezewa zaidi. Lakini wale wasiosikiliza kwa makini watapoteza hata ule uelewa mdogo walio nao.' 13 Ndiyo sababu ninatumia simulizi hizi kuwafundisha watu: Wanaona, lakini hakika hawaoni. Wanasikia, lakini hakika hawasikii au kuelewa. 14 Hiyo inathibitisha alichosema nabii Isaya kuhusu wao kuwa kweli: ‘Ninyi watu mtasikia na kusikia, lakini hamtaelewa. Mtatazama na kutazama, lakini hakika hamtaona. 15 Ndiyo, akili za watu hawa sasa zimefungwa. Wana masikio, lakini hawasikii vizuri. Wana macho, lakini wameyafumba. Iwapo akili zao zisingekuwa zimefungwa, wangeona kwa macho yao; wangesikia kwa masikio yao; Iwapo wangeelewa kwa akili zao. Kisha wangenigeukia na kuponywa.' 16 Bahati gani mliyonayo ninyi. Mnaelewa mnachokiona kwa macho yenu. Na mnaelewa mnachosikia kwa masikio yenu. 17 Ninaweza kuwathibitishia, manabii na watakatifu wengi walitaka kuona mnayoyaona. Lakini hawakuyaona. Walitaka kusikia mnayosikia sasa. Lakini hawakuyasikia. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/siri-za-biblia/message
Kutana na mwalimu Taneka MacKoy Phipps kutoka Kingston Jamaica, ambaye anasema ualimu kwake ni zaidi ya kazi ya kulipwa ujira au wajibu bali ni wito. Kwa sababu ya janga la corona au COVID-19 shule zimefungwa Jamaica na maelfu ya wanafunzi hasa kutoka jamii masikini wanakosa masomo, hivyo akaamua kuja na mkakati wa kufungua darasa kwenye kuta mtaani kuhakikisha kila mtoto hata akiwa masikini anapata fursa ya kusoma wakati huu.
Swahili: Initiating Spiritual Growth in the Church: Audios, Videos and Articles
The Flow: A Training Manual translated from English into Swahili. Mtiririko Kitabu cha kufundisha. It shows how step by step to train a person to use The Flow to help any believer, young or old, to see where he or she is in his faith and help them be eager to grow and learn.
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Kiswahili Biblia (non-umetiwa chumvi) Habari Njema - Kiswahili Habari Njema Bible (non-dramatized)
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.
Datooga Biblia (Non-umetiwa chumvi) - Datooga Bible (Non-dramatized)
Kufundisha mafundisho ya kweli - Instructions for teaching various groups.