Podcasts about kitabu

  • 32PODCASTS
  • 321EPISODES
  • 30mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • May 22, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Best podcasts about kitabu

Latest podcast episodes about kitabu

Habari za UN
22 MEI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 22, 2025 9:59

Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini kumsikia mgeni wetu Prof. Wallah Bin Wallah, mwandishi mashuhuri wa vitabu vya Kiswahili kutoka Kenya ambaye anamulika umuhimu wa vitabu katika kukuza lugha ya Kiswahili. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na uchambuzi wa neno.Kwa mara ya kwanza tangu mwezi Februari, msaada wa kuokoa maisha umefika Gaza. Baada ya wiki 11 za kizuizi kutoka kwa mamlaka za Israeli, malori 198 yaliyobeba chakula, dawa na unga wa ngano yameingia leo kupitia mpaka wa Kerem Shalom kwa mujibu wa mashirika ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa.Mratibu mkuu wa misaada wa Umoja wa Mataifa, Tom Fletcher, ameiitaja hatua hiyo kuwa ya muhimu sana, huku malori 90 yakipakuliwa usiku kwa ajili ya kusambazwa haraka.Mwaka 2024, vita havikuishia kwenye uwanja wa mapambano pekee      vilivunja nyumba, masoko na shule. Kuanzia Gaza hadi Ukraine, Sudan hadi Myanmar na zaidi ya raia 36,000 walipoteza maisha yao katika mizozo 14 ya kivita kulimgana na ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kwa Baraza la Usalama hii leo linalojadili ulinzi wa raia katika mizozo ya silaha.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "DAHARI”Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!

Habari za UN
Ujumbe wa Ernest Makulilo kuhusu siku ya Kimataifa ya Kitabu na Haki Miliki

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 23, 2025 3:31

Ikiwa leo ni Siku ya Kimataifa ya Kitabu na Haki Miliki ambapo kila mwaka tarehe kama ya leo siku hii huadhimishwa ili kutambua nguvu ya vitabu kama daraja kati ya vizazi na vizazi na tamaduni mbalimbali. Katika makala hii Anold Kayanda wa Idhaa hii amezungumza na mwandishi maarufu wa vitabu vya elimu, Uchumi na uhamiaji, Ernest Makulilo mkazi wa Marekani katika jimbo la Missouri, kuhusu siku ya leo iliyoanzishwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO mnamo mwaka 1995.

Habari za UN
23 APRILI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 23, 2025 11:15

Hii leo jaridani tunaangazia hali ya kibinadamu katika ukanda wa Gaza, na harakati za utekelezaji wa Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watu wa asili. Makala tunasalia hapa hapa makao makuu na mashinani tunakwenda nchini Burundi, kulikoni?Hali si hali huko Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa na Israeli ambako wakimbizi wa ndani wanakabiliwa na hatari za kiafya ambako panya na wadudu kama vile viroboto na  nzi wamesambaa kutokana na mlundikano wa taka na  ukosefu wa huduma muhimu kama vile maji safi na salama.Hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, mkutano wa 24 wa Jukwaa la Kudumu la Watu wa jamii za asili (UNPFII) linaendelea kujadili utekelezaji wa Azimio la Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watu wa asili  na kubaini mbinu bora za kushughulikia changamoto zinazowakabili. Miongoni mwa shiriki wa jukwaa hilo nimwakilishii wa Shirika la Ereto Solidarity Funds ambaye  amepata fursa ya kuzungumza na Sharon Jebichii wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa.Makala ikiwa leo ni Siku ya Kimataifa ya Kitabu na Haki Miliki ambapo kila mwaka tarehe kama ya leo siku hii huadhimishwa ili kutambua nguvu ya vitabu kama daraja kati ya vizazi na vizazi na tamaduni mbalimbali. Anold Kayanda wa Idhaa hii amezungumza na mwandishi maarufu wa vitabu vya elimu, Uchumi na uhamiaji, Ernest Makulilo mkazi wa Marekani katika jimbo la Missouri.Na mashinani kupitia video iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO fursa ni yake Meena Poudel kutoka nchini Nepal, Kusini mwa Asia ambaye ni Katibu wa kikundi cha wanawake watumiaji wa msitu ambacho kinabadilisha takataka za misitu kuwa mbolea rafiki kwa mazingira huku pia wakijipatia kipato."Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!  

Bible Bard
swahili_BB-55 Machoni pa Mungu

Bible Bard

Play Episode Listen Later Jan 31, 2025 10:20

Ubinadamu unapaswa kuishi vipi? Kitabu cha Wagalatia kinajibu swali hili kwa mistari miwili kando ambayo inaelezea kile ambacho Mungu anataka kwa wanadamu na kile ambacho hataki.

Bible Bard
swahili_BB-56 Kwanini Wakristo Wanateswa

Bible Bard

Play Episode Listen Later Jan 31, 2025 10:57

Ubinadamu unapaswa kuishi vipi? Kitabu cha Wagalatia kinajibu swali hili kwa mistari miwili kando ambayo inaelezea kile ambacho Mungu anataka kwa wanadamu na kile ambacho hataki.

Mwalimu Huruma Gadi
B7. Warumi Sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Oct 6, 2024 28:24

Uchambuzi wa Kitabu cha Warumi Sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi
B6. Warumi Sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Oct 5, 2024 28:08

Uchambuzi wa Kitabu cha Warumi Sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi
B5. Warumi Sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Oct 4, 2024 28:08

Uchambuzi wa Kitabu

Mwalimu Huruma Gadi
B4. Warumi Sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Oct 3, 2024 28:09

Uchambuzi wa Kitabu cha Warumi

Mwalimu Huruma Gadi
E7. Wagalatia Sura ya 5

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 14, 2024 27:53

Katika wiki hii Mwalimu anaendelea kutufundisha sura ya 5 ya Kitabu cha Wagalatia. Katika sura hii, Mtume Paulo anazungumzia uhuru wetu katika Kristo na umuhimu wa kuishi kwa kuenenda katika roho. Anaelezea namna sheria inavyopaswa kutumika katika maisha yetu, na jinsi matunda ya Roho yanavyoleta mabadiliko katika mienendo yetu ya maisha. Pamoja na namna ya kushinda changamoto mbalimbali kwa kutumia imani.

Mwalimu Huruma Gadi
E6. Wagalatia Sura ya 5

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 14, 2024 27:50

Katika wiki hii Mwalimu anaendelea kutufundisha sura ya 5 ya Kitabu cha Wagalatia. Katika sura hii, Mtume Paulo anazungumzia uhuru wetu katika Kristo na umuhimu wa kuishi kwa kuenenda katika roho. Anaelezea namna sheria inavyopaswa kutumika katika maisha yetu, na jinsi matunda ya Roho yanavyoleta mabadiliko katika mienendo yetu ya maisha. Pamoja na namna ya kushinda changamoto mbalimbali kwa kutumia imani.

Mwalimu Huruma Gadi
E4. Wagalatia Sura ya 5

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 12, 2024 27:18

Katika wiki hii Mwalimu anaendelea kutufundisha sura ya 5 ya Kitabu cha Wagalatia. Katika sura hii, Mtume Paulo anazungumzia uhuru wetu katika Kristo na umuhimu wa kuishi kwa kuenenda katika roho. Anaelezea namna sheria inavyopaswa kutumika katika maisha yetu, na jinsi matunda ya Roho yanavyoleta mabadiliko katika mienendo yetu ya maisha. Pamoja na namna ya kushinda changamoto mbalimbali kwa kutumia imani.

Mwalimu Huruma Gadi
E3. Wagalatia Sura ya 5

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 11, 2024 27:31

Katika wiki hii Mwalimu anaendelea kutufundisha sura ya 5 ya Kitabu cha Wagalatia. Katika sura hii, Mtume Paulo anazungumzia uhuru wetu katika Kristo na umuhimu wa kuishi kwa kuenenda katika roho. Anaelezea namna sheria inavyopaswa kutumika katika maisha yetu, na jinsi matunda ya Roho yanavyoleta mabadiliko katika mienendo yetu ya maisha. Pamoja na namna ya kushinda changamoto mbalimbali kwa kutumia imani.

Mwalimu Huruma Gadi
E2. Wagalatia Sura ya 5

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 10, 2024 27:17

Katika wiki hii Mwalimu anaendelea kutufundisha sura ya 5 ya Kitabu cha Wagalatia. Katika sura hii, Mtume Paulo anazungumzia uhuru wetu katika Kristo na umuhimu wa kuishi kwa kuenenda katika roho. Anaelezea namna sheria inavyopaswa kutumika katika maisha yetu, na jinsi matunda ya Roho yanavyoleta mabadiliko katika mienendo yetu ya maisha. Pamoja na namna ya kushinda changamoto mbalimbali kwa kutumia imani.

Mwalimu Huruma Gadi
E1. Wagalatia Sura ya 5

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 9, 2024 28:11

Uchambuzi wa Kitabu cha Wagalatia

Mwalimu Huruma Gadi
D4. Wagalatia Sura ya 4

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 5, 2024 27:52

Uchambuzi wa Kitabu cha Wagalatia Sura ya 4

Mwalimu Huruma Gadi
D3. Wagalatia Sura ya 4

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 4, 2024 27:58

Uchambuzi wa Kitabu cha Wagalatia Sura ya 4

Mwalimu Huruma Gadi
D2. Wagalatia Sura ya 4

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 3, 2024 28:04

Uchambuzi wa Kitabu cha Wagalatia Sura ya 4

Mwalimu Huruma Gadi
D1. Wagalatia Sura ya 4

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Sep 2, 2024 27:52

Uchambuzi wa Kitabu cha Wagalatia Sura ya 4

Habari za UN
Kila mmoja achukue hatua kuondokana na vikwazo vya ujumuishaji watu wenye ulemavu - Guterres

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 28, 2024 1:33

Kila mmoja achukue hatua kuondokana na vikwazo vya ujumuishaji watu wenye ulemavu - GuterresUmoja wa Mataifa uko tayari kufanya kazi na Kamati ya Kimataifa ya Michezo ya Olimpiki ya Watu wenye Ulemavu (Paralympic) ili kufikia maono ya jamii shirikishi, jumuishi na endelevu, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametoa wito michuano ya Paralympic iking'oa leo jijini Paris, Ufaransa. Anold Kayanda na maelezo zaidi.(Taarifa ya Anold Kayanda)Bwana Guterres aliyeko ziarani nchini Timor Leste, barani Asia, ametuma ujumbe kwa Mkutano wa Kimataifa wa Ujumuishaji watu wenye Ulemavu unaofanyika katika makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) jijini Paris Ufaransa ambako michezo ya Olimpiki ya watu wenye ulemavu, Paralimpiki 2024 imeanza kutimua vumbi leo.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anaamini Michezo ya Olimpiki ya Watu wenye Ulemavu inahimiza kila mtu, kuanzia kwa serikali, mamlaka za mitaa na watoa uamuzi kila mahali, kuchukua hatua ili kuondokana na vikwazo vya ushirikishwaji kamili na wa maana wa watu wenye ulemavu na Umoja wa Mataifa unaahidi kushiriki kikamilifu kutimiza lengo hilo.Aidha katika mkutano huu wa ngazi za juu, UNESCO imeitumia nafasi hiyo kuzindua Kijitabu na mfululizo wa video za mafunzo  kuhusu Usawa wa Ulemavu katika Vyombo vya Habari. Kitabu hicho cha mwongozo kina masomo yanayolenga kuwapa wataalamu wa vyombo vya habari maarifa na zana wanazohitaji ili kuhakikisha mashirika yao yanakuwa jumuishi kwa kuwazingatia watu wenye ulemavu.Moja ya vivutio vikubwa katika paralimpiki za mwaka huu zitakazofanyika hadi tarehe 8 ya mwezi ujao Septemba ni timu ya wakimbizi wanane waliopelekwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR.

Mwalimu Huruma Gadi
A6. Wagalatia Sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Aug 17, 2024 27:44

Uchambuzi wa Kitabu cha Wagalatia sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi
A5. Wagalatia Sura ya 1

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Aug 16, 2024 27:35

Uchambuzi wa Kitabu cha Wagalatia Sura ya 1

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kitabu ninachoweza kukiamini

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Dr Boaz Mkumbo
Dondoo za kitabu cha Sayansi ya Mapishi

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Apr 26, 2024 45:56

karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe  ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 . Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikwa kwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 . Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

Dr Boaz Mkumbo
Kitabu cha Sayansi ya Mapishi msaada wa kudhibiti magonjwa Lishe

Dr Boaz Mkumbo

Play Episode Listen Later Jan 2, 2024 0:42

Kitabu cha Sayansi Ya Mapishi kinatoa mwongozo wa kukusaidia kuepukana na magonjwa lishe, elimu ya magonjwa ya lishe na jinsi ya kuunda sahani ya lishe bora. Huduma zetu Nsambo Healthcare ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikw akwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza vchakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994     Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZON LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA   Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/  

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kitabu pekee kinachotupatia Tumaini moyoni na kutujulisha tunayopaswa kutenda

Abu Huraira Center
12 | Somali Kitabu Salah

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Apr 12, 2021 44:49

Sh. Bashiir Shiil ____________________________________________________ Subscribe to our channel: https://goo.gl/tiAf91 Web: http://goo.gl/47Uq6M Instgram: http://goo.gl/ryGh3a Twitter: http://goo.gl/myBEYY FaceBook: http://goo.gl/WIYG8E ___________________________________ Servants of the Most Merciful playlist: https://goo.gl/MHrBMx The Beneficial Means to a Happy Life Playlist: https://goo.gl/j6ejeX The Evolution of Fiqh playlist: https://goo.gl/VGeDaH In their stories, there are lessons playlist: https://goo.gl/qdBU9M ____________________________________

Abu Huraira Center
11 | Somali Kitabu Salah

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Apr 3, 2021 58:30

Sh. Bashiir Shiil ____________________________________________________ Subscribe to our channel: https://goo.gl/tiAf91 Web: http://goo.gl/47Uq6M Instgram: http://goo.gl/ryGh3a Twitter: http://goo.gl/myBEYY FaceBook: http://goo.gl/WIYG8E ___________________________________ Servants of the Most Merciful playlist: https://goo.gl/MHrBMx The Beneficial Means to a Happy Life Playlist: https://goo.gl/j6ejeX The Evolution of Fiqh playlist: https://goo.gl/VGeDaH In their stories, there are lessons playlist: https://goo.gl/qdBU9M

Abu Huraira Center
10 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Mar 27, 2021 40:05

Sh. Bashir Shiil ____________________________________________________ Subscribe to our channel: https://goo.gl/tiAf91 Web: http://goo.gl/47Uq6M Instgram: http://goo.gl/ryGh3a Twitter: http://goo.gl/myBEYY FaceBook: http://goo.gl/WIYG8E ___________________________________ Servants of the Most Merciful playlist: https://goo.gl/MHrBMx The Beneficial Means to a Happy Life Playlist: https://goo.gl/j6ejeX The Evolution of Fiqh playlist: https://goo.gl/VGeDaH In their stories, there are lessons playlist: https://goo.gl/qdBU9M ____________________________________

Abu Huraira Center
11 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Mar 27, 2021 51:55

9 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Mar 14, 2021 45:15

Sh. Bashiir Shiil ____________________________________________________ Subscribe to our channel: https://goo.gl/tiAf91 Web: http://goo.gl/47Uq6M Instgram: http://goo.gl/ryGh3a Twitter: http://goo.gl/myBEYY FaceBook: http://goo.gl/WIYG8E ___________________________________ Servants of the Most Merciful playlist: https://goo.gl/MHrBMx The Beneficial Means to a Happy Life Playlist: https://goo.gl/j6ejeX The Evolution of Fiqh playlist: https://goo.gl/VGeDaH In their stories, there are lessons playlist: https://goo.gl/qdBU9M

Abu Huraira Center
8 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Mar 7, 2021 58:23

Sh. Bashiir Shiil ____________________________________________________ Subscribe to our channel: https://goo.gl/tiAf91 Web: http://goo.gl/47Uq6M Instgram: http://goo.gl/ryGh3a Twitter: http://goo.gl/myBEYY FaceBook: http://goo.gl/WIYG8E ___________________________________ Servants of the Most Merciful playlist: https://goo.gl/MHrBMx The Beneficial Means to a Happy Life Playlist: https://goo.gl/j6ejeX The Evolution of Fiqh playlist: https://goo.gl/VGeDaH In their stories, there are lessons playlist: https://goo.gl/qdBU9M

Abu Huraira Center
7 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Feb 28, 2021 44:23

Play Episode Listen Later Feb 27, 2021 44:23

6 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Feb 21, 2021 40:51

Play Episode Listen Later Feb 20, 2021 40:51

5 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Feb 7, 2021 49:13

Play Episode Listen Later Feb 6, 2021 49:13

4 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Jan 31, 2021 40:21

Sh. Bashir Shiil ____________________________________________________ Subscribe to our channel: https://goo.gl/tiAf91 Web: http://goo.gl/47Uq6M Instgram: http://goo.gl/ryGh3a Twitter: http://goo.gl/myBEYY FaceBook: http://goo.gl/WIYG8E ___________________________________ Servants of the Most Merciful playlist: https://goo.gl/MHrBMx The Beneficial Means to a Happy Life Playlist: https://goo.gl/j6ejeX The Evolution of Fiqh playlist: https://goo.gl/VGeDaH In their stories, there are lessons playlist: https://goo.gl/qdBU9M

Abu Huraira Center
4 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Jan 30, 2021 40:21

Sh. Bashir Shiil ____________________________________________________ Subscribe to our channel: https://goo.gl/tiAf91 Web: http://goo.gl/47Uq6M Instgram: http://goo.gl/ryGh3a Twitter: http://goo.gl/myBEYY FaceBook: http://goo.gl/WIYG8E ___________________________________ Servants of the Most Merciful playlist: https://goo.gl/MHrBMx The Beneficial Means to a Happy Life Playlist: https://goo.gl/j6ejeX The Evolution of Fiqh playlist: https://goo.gl/VGeDaH In their stories, there are lessons playlist: https://goo.gl/qdBU9M

Abu Huraira Center
3 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Jan 24, 2021 41:19

Play Episode Listen Later Jan 23, 2021 0:35

2 | Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Jan 10, 2021 61:43

Play Episode Listen Later Jan 9, 2021 61:43

Somali Kitabu Tahara

Abu Huraira Center

Play Episode Listen Later Jan 3, 2021 47:39