United Nations agency mandated to protect and support refugees
POPULARITY
Categories
Insamlingspodden live från Insamlingsforum! Hur kan ett telefonsamtal förvandla engångsgivare till lojala månadsgivare? Och hur kan vi skapa samtal som känns genuina, relevanta och inspirerande för givarna? I detta liveavsnitt av Insamlingspodden möter vi Jennifer Gustafsson, chef för direktdialog på UNHCR, för ett djupdyk i telemarketing som insamlingsmetoder. Vi pratar om hur teamet arbetar för att konvertera och behålla givare, hur man höjer månadsgåvor, och vilka utmaningar och möjligheter som finns i en tid av teknologisk förändring och ökade förväntningar på transparens och kvalitet. Vi diskuterar också rekrytering, kultur och valet mellan inhouse och byrå – och blickar framåt mot framtidens direktdialog. För alla som vill ta sin insamlingsstrategi till nästa nivå!
External flow of weapons into Sudan must end, insists UN's GuterresLebanon: UN human rights office condemns deadly Israeli strikes on civilians40 tonnes of relief supplies arrive for Myanmar's quake survivors: UNHCR
Karibu kusikiliza jarida la Umoja wa Mataifa ambapo hii leo tunamulika Kongamano la Kimataifa la Kiswahili linalofanyika mjini Kampala Uganda likiwaleta pamoja wadau kutoka kila kona ya Afrika na kwingineko kujadili mikakati ya kukuza lugha hiyo adhimu ya Kiswahili. Utasikiliza muhtasari wa habari ukiangazia miaka miwili tangu kuanza kwa vita vya sasa vya Sudan, UNHCR, yatoa wito kwamba mwitiko mkubwa wa kibinadamu ulioratibiwa vema ni muhimu ili kuzuia mateso zaidi na vifo kwa wananchi wa DRC, na Jukwaa la Vijana la Baraza la Umoja wa Mataifa la Masuala ya Kiuchumi na Kijamii (ECOSOC) limeanza leo tarehe 15 hadi tarehe 17 katika Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.
The Sudanese capital, Khartoum, April 15th 2023. Families who'd gathered to celebrate Eid together woke up to gunfire and explosions as a power struggle erupted between two factions of the military led government. There were clashes at the presidential palace, at the airport and at the TV station. Both sides hoped for a quick win, but it quickly became a war of attrition, and in the two years since, the Sudanese people have suffered sexual violence, hunger, displacement and the loss of everything they hold dear. The UNHCR says nearly 13 million people have been displaced by the conflict.In the first of a series of two podcasts to mark the anniversary, Mpho Lakaje talks to Sudan's former deputy intelligence chief, analyst Dr Majak D'Agoot, and asks if we are now in a stalemate, and what the aims of the two sides are.
Two years into Sudan war, UNHCR chief urges help for host country ChadGaza: fears and uncertainty persist amid ongoing warYet another wave of attacks in Ukraine, warn UN aid teams
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayomulika shughuli za shirika lisilo la kiserikali la KINNAPA Development Programme la huko nchini Tanzania katika kutekeleza Malengo ya Maendeleo Endelevu likijikita zaidi katika usawa wa kijinsia. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani:Uganda, ambayo tayari ni mwenyeji wa wakimbizi wengi zaidi barani Afrika, inakabiliwa na shinikizo kubwa baada ya wakimbizi zaidi ya 41,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC kuingia nchini humo tangu Januari mwaka huu, wakikimbia machafuko mapya mashariki mwa nchi yao limesema leo Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR. UNHCR imesema watu walioko katika mazingira hatarishi wanatambuliwa kwa msaada maalum, huku familia zilizotengana zikisaidiwa kuunganishwa tena.Siku kumi baada ya matetemeko ya ardhi ya kutisha yaliyoitikisa Myanmar tarehe 28 Machi, idadi ya vifo inaendelea kuongezeka. Titon Mitra, Mwakilishi wa Kikanda wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo UNDP nchini humo, akiripoti leo akiwa katika jiji liloharibiwa sana la Mandalay, kwa njia ya video ameripoti kwa waandishi wa habari jijini Geneva, Uswisi akisema, “idadi ya vifo ya hivi karibuni imepita watu 3,500 na “inaweza kuendelea kuongezeka.”Kenya, Uganda na Rwanda zitanufaika na mpango wa mlo shuleni baada ya leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kutangaza kuwa linaendeleza ushirikiano wake na Taasisi ya Novo Nordisk, kupitia ushirikiano wa kihistoria kati ya sekta binafsi na ya umma unaojumuisha Wizara ya Mambo ya Nje ya Denmark na Taasisi ya Grundfos, ili kupanua mpango wa mlo shuleni kutokana na chakula kinachozalishwa ndani ya nchi husika. Ushirikiano huu utajenga mfumo wa msaada unaohakikisha uendelevu wa muda mrefu wa mpango huu.Na mashinani mashinani jana tarehe 7 Aprili hapa Umoja wa Mataifa kumefanyika kumbukizi ya miaka 31 ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda ambapo mmoja wa wazungumzaji alikuwa Germaine Tuyisenge Müller, manusura wa mauaji hayo na wakati huo alikuwa na umri wa miaka 9 wakiishi mji mkuu Kigali.Mwenyeji wako ni Leah Mushi, karibu!
Dopo quasi 14 anni di conflitto e 13 milioni di persone costrette a fuggire dalle loro case, la situazione umanitaria in Siria resta disastrosa. Nella puntata di oggi di Notizie a colazione, la testimonianza di Hanna Khoury, un ragazzo siriano arrivato in Italia dopo esser fuggito dalla guerra, e di Filippo Ungaro, portavoce di UNHCR Italia che in questo momento ha attiva una campagna di raccolta fondi proprio per supportare le famiglie siriane in cerca di aiuto.
United Nations organisations are pleading for more aid and ground support in Myanmar following Friday's 7.7 earthquake, saying the situation is becoming increasingly desperate. UNHCR's Global Spokesperson for the Asia region Babar Baloch spoke to Corin Dann.
Hali ya kibinadamu ya wakimbizi zaidi ya 100,000 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, waliokimbilia nchini Burundi kusaka usalama kutokana na mapigano mashariki mwa nchi yao katika katika kipindi cha chini ya miezi mitatu, iliyopita ni ya mashaka, wakati huu ambapo ufadhili unazidi kukumbwa na mkwamo, wakikabiliwa na uhaba wa huduma kama chakula, huku kukiwa na pengo la ufadhili. Je ni madhila yapi? Sharon Jebichii anafafanua zaidi kupitia video iliyoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR.
"La tua lotta è la nostra lotta": le donne vincitrici del premio Nobel solidali con Narges Mohammadi. Myanmar, Onu: necessari 934,5 milioni di dollari per fornire aiuti umanitari a 1,5 milioni di rifugiati e rifugiate Rohingya e alle loro comunità ospitanti in Bangladesh.https://www.radiobullets.com/notiziari/notizie-donne-mondo-podcast/
Hii leo jaridani katika mada kwa kina tunajikita katika mkutano CSW69 ambao umebakiza siku moja tu, kesho Machi 21 unakunja jamvi, na tunamsikia Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Tanzania, Waziri Riziki Pembe kutoka Zanzibar na Profesa Smile Dzisi, Mkugenzi wa Shirika la “I believe Global” kutoka Ghana.Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR Filippo Grandi amesema kukata ufadhili kwa mashirika yanayotoa huduma za kibinadamu kunasababisha janga la uwajibikaji. Kupitia taarifa iliyotolewa leo Geneva, Uswisi na UNHCR, Bwana Grandi amesema kukata ufadhili kunaweka hatarini maisha ya mamilioni ya watu na madhara yake kwa watu wanaokimbia majanga, yatakuwa makubwa zaidi na yataonekana wazi ikiwemo wanawake na watoto wa kike kukosa huduma zitokanazo na kubakwa.Leo ni siku ya furaha duniani maudhui yakimulika umuhimu wa watu kusaidiana na kujaliana katika masuala mbalimbali ikiwemo chakula. Ripoti mpya ya wadau wa UN iliyozinduliwa leo imeonesha kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani ni Finland na ya mwisho kabisa ni Afghanistani. Katika 10 bora zenye furaha hakuna hata moja ya Afrika, ilihali kwenye 10 za mwisho nchi za Afrika ni 7 ambazo ni Lesotho, Comoro, Botswana, Zimbabwe, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Malawi na Sierra Leone.Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW69 ukikaribia ukingoni hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa tumemuuliza mshiriki Wakili Rosemary Mwaipopo kutoka Tanzania mkutano umekidhi kiu yake ya kusongesha usawa wa kijinsia?Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo mchambuzi wetu mlumbi wa Kiswahili Joramu Nkumbi kutoka nchini Tanzania, anafafanua maana ya maneno “Ashiraf, Janabi, gayagaya, kiti cha marimba na kiti cha msaji”Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
Frederik Gregaard is CEO of the Cardano Foundation, the Swiss-based non-profit organization which exists to ensure the advancement of the Cardano protocol, while also contributing to the positive advancement of blockchain as a world-changing technology. A leader in fintech and blockchain, Gregaard previously served as Director and Head of Digital in PwC's Financial Services Advisory practice and as Director and Head of Institutional Business at Saxo Bank Switzerland. Whilst at the Cardano Foundation, Gregaard has overseen the advanced integration of state-of-the-art blockchain technology in a variety of fields that address real-world problems through collaborations with Switzerland for UNHCR, veritree, and University of Zurich among others. In this conversation, we discuss:- Cardano's Inclusion in the U.S. Crypto Strategic Reserve- Current market insights- Vision for Cardano's Institutional Adoption- Views on regulatory landscape- Foundation's role in Cardano ecosystem growth- Cardano future roadmap and priorities- Cardano is the world's largest DAO- Respecting borders and nationalism- Adding 2 billion people to the market- Bank's superpower is the direction of capital- Midnight - spinning up blockchains and give up ownership of the chain- Creating something that's decentralized from Day 1- Cardano's roadmap: Expanding bitcoin, RWAs, data provenance- AI AgentsCardano FoundationWebsite: cardanofoundation.orgX: @Cardano_CFTelegram: t.me/CardanoAnnouncementsFrederik GregaardX: @F_GregaardLinkedIn: Frederik Gregaard --------------------------------------------------------------------------------- This episode is brought to you by PrimeXBT. PrimeXBT offers a robust trading system for both beginners and professional traders that demand highly reliable market data and performance. Traders of all experience levels can easily design and customize layouts and widgets to best fit their trading style. PrimeXBT is always offering innovative products and professional trading conditions to all customers. PrimeXBT is running an exclusive promotion for listeners of the podcast. After making your first deposit, 50% of that first deposit will be credited to your account as a bonus that can be used as additional collateral to open positions. Code: CRYPTONEWS50 This promotion is available for a month after activation. Click the link below: PrimeXBT x CRYPTONEWS50
Zaidi ya watu 63,000 sasa wamewasili Burundi wakikimbia machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na wengi wao wanaishi katika hali ngumu ndani ya uwanja wa michezo wa Rugombo jimboni Cibitoke (CHIBITOKE) huku wakisubiri kuhamishiwa kwenye kambi rasmi za wakimbizi. Flora Nducha amefuatilia safari ya mmoja wa wakimbizi hao, kwako Flora.
Hii leo jaridani tunaangazia mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW69 na wakimbizi wanaokimbia machafuko nchini DRC kwenda Burundi. Makala tunakwenda nchini Tanzania na mashinani tunakupeleka nchini Lebanon, kulikoni?Hii leo katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani unaanza mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake duniani, CSW69, kusanyiko kubwa zaidi la kila mwaka la Umoja wa Mataifa linalomulika usawa wa jinsia na uwezeshaji wanawake mwaka huu washiriki wakiwa zaidi ya 25,000.Zaidi ya watu 63,000 sasa wamewasili Burundi wakikimbia machafuko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na wengi wao wanaishi katika hali ngumu ndani ya uwanja wa michezo wa Rugombo jimboni Cibitoke (CHIBITOKE) huku wakisubiri kuhamishiwa kwenye kambi rasmi za wakimbizi.Makala leo tunamwangazia Fatuma Mfumia, dereva pekee wa kike katika shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhuduia Watoto, UNICEF Tanzania.Na mashinani mashinani fursa ni yake Ghada Dawiche's ambaye licha ya machungu yaliyomkumba baada ya kupoteza bintiye aliyekuwa mfanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR nchini Lebanon, pamoja na mjukuu wake wa kiume wakati kombora la Israeli lilipopiga nyumba yao nchini Lebanon, anasema Umoja, nguvu na tumaini ndio ujumbe mkuu anaowapa wanawake wote waliopoteza wapendwa wao vitani na katika kupigania haki za wanawake.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
As thousands continue to flee violence in the Democratic Republic of the Congo, the aid effort in Burundi is ‘buckling', warns UNHCRSyria crisis: with hundreds of thousands returning, UNHCR issues urgent appealSudan: UN Human rights office issues alert on plight of thousands of detained civilians
By the time a ceasefire began last November ending the devastating war in Lebanon between Hezbollah fighters and the Israeli military, more than 4,000 people had been killed and at least 16,600 injured.The violence also uprooted hundreds of thousands and caused widespread damage to key infrastructure, exacerbating Lebanon's long-running, multi-pronged crisis.Ghada Darwiche is one of those grieving: she lost her daughter, Dina, a UNHCR staffer who worked at the refugee agency's office in Bekaa. She was killed along with her youngest son, Jad, when their home was hit by an Israeli missile on 23 September last year.To mark International Women's Day, UN News's Nancy Sarkis spoke to Ghada, who has a message to all those who have lost someone in war.
Machafuko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) yanaendelea kufurusha watu na wengine wanaamua kukimbilia nchi jirani ikiwemo Burundi. Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR nchini Burundi limesema wazi kuwa katika wiki mbili za mwezi Februari kuanzia tarehe 14 walipokea wakimbizi zaidi ya 60,000, wengi wakiwa tayari walishafurushwa awali. Kwa waliowasili katika eneo la Kaburantwa nchini Burundi, bado wanahofia usalama. Serikali ya Burundi imetenga eneo lingine salama zaidi na sasa wanahamishiwa huko. Je ni wapi? Assumpta Massoi kwa msaada wa video ya UNHCR Burundi anasimulia zaidi.
Jessica Kahawaty is a Food Entrepreneur, Human Rights Advocate, and International Model. The Australian with Middle Eastern roots bridges cultures in fashion and humanitarianism.With a background in Human Rights Law, the former Miss Australia and Miss World runner-up champions social responsibility, notably fronting Louis Vuitton and UNICEF's ‘Make a Promise' campaign.She co-founded Mama Rita, a UAE-based food and lifestyle brand, offering Arabic and international cuisine across 300+ locations.Jessica's humanitarian efforts include an undercover mission in Kolkata's Red Light district with Free a Girl and fundraising for crises affecting Lebanese, Palestinian, and Syrian refugees with UNICEF and UNHCR.
The United Nations says around 50,000 people have fled the conflict raging in eastern Democratic Republic of Congo and crossed into Burundi in the past two weeks. Reporter Eddy Esango of VOA's French and Lingala Services spoke to UNHCR representative, Brigitte Eno, in Bujumbura, Burundi.
Peace Matters - A Podcast on Contemporary Geopolitics and International Relations
In this episode, we delve into the powerful movements that are reshaping Serbia's political landscape. "Voices of Dissent" explores the domestic protests that are challenging the status quo, giving a voice to those who are fighting for democratic reforms, environmental justice, and civil rights in the face of a difficult political climate. We also examine the broader regional and European context, looking at how Serbia's protests intersect with global trends in civic engagement and the evolving role of civil society. With expert insights and firsthand accounts, this podcast seeks to understand the complexities of activism, dissent, and the future of Serbia in a rapidly changing world.Guests:Ivan Vejvoda is a Permanent fellow at the Institute for Human Sciences (IWM) and a former advisor to Prime Minister Zoran Djindjic.Before joining the IWM as a Permanent Fellow in 2017, Ivan Vejvoda was Senior Vice President for Programs at the German Marshall Fund (GMF) of the United States. From 2003 until 2010, he served as Executive Director of GMF's Balkan Trust for Democracy. Vejvoda came to GMF in 2003 after distinguished service in the Serbian government as a senior advisor on foreign policy and European integration to Prime Ministers Zoran Djindjic and Zoran Zivkovic. Prior to that, he served as Executive Director of the Belgrade-based Fund for an Open Society from 1998 to 2002. During the mid-1990s, Vejvoda held various academic posts in the United States and the U.K. Vejvoda was a key figure in the democratic opposition movement in Yugoslavia during the 1990s, and has published widely on the subjects of democratic transition, totalitarianism, and post-war reconstruction in the Balkans.Lura Pollozhani is a Researcher at the University of Graz. Her research focuses on social movements and the EU enlargement. Her other research interests include radicalization, citizenship practices in divided societies, and democratization. She completed her PhD in Law and Politics at the University of Graz, while she was awarded an MSc in European Studies: Ideas and Identities at the LSE.Lura has previously worked as an Advisor to the Prime Minister of North Macedonia on cooperation with international organizations. She went on to work for the UNHCR as an external engagement officer. She has also worked as a Researcher at the University of Prishtina, as a University Assistant at the CSEES in Graz, as well as a Project Manager for ECMI Kosovo. Lura is one of the co-founders of the Stella Network - a mentoring network for women and girls.Moderation: Stephanie Fenkart, Director of the IIP.The episode was recorded on 26 February 2025.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetoa ombi la dola milioni 40.4 ili kujiandaa na kutoa huduma za kuokoa maisha na usaidizi kwa wakimbizi wa ndani na waliokimbilia nchi jirani baada ya wakati huu ambapo mashambulizi ya waasi wa M23 yanazidi kufurusha raia kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraia ya Congo, DRC. Anold Kayanda na maelezo zaidi.
Hii leo jaridani tunaangazia mahitaji ya wakimbizi wanaokimbia machafuko DRC wakielekea nchini Burundi, na hali ya wakimbizi wa ndani Gaza wakati huu wa msimu wa baridi. Makala tunakurejesha nchini DRC na mashinani tunakwenda nchini Tanzania.Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR limetoa ombi la dola milioni 40.4 ili kujiandaa na kutoa huduma za kuokoa maisha na usaidizi kwa wakimbizi wa ndani na waliokimbilia nchi jirani baada ya wakati huu ambapo mashambulizi ya waasi wa M23 yanazidi kufurusha raia kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokraia ya Congo, DRC.Huko Gaza Kaskazini, kwenye eneo la wapalestina linalokaliwa na Israeli, familia zilizofurushwa makwao kutokana na vita kati ya Israeli na wanamgambo wa Hamas wanavumilia msimu wa baridi kali katika makazi ya muda ya mahema yanayopigwa na upepo na mvua usiku na mchana, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF. Nyumba zao zimeharibika na kuacha watoto kuishi katika mazingira mabaya.Katika makala Evarist Mapesa anakupeleka eneo la mpakani mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, na Burundi kufuatilia mmiminiko wa wakimbizi kutoka DR Congo.Na mashinani fursa ni yake Regnihadah Mpete kutoka Tanzania ambaye anatumia kiswahili, lugha ya taifa nchini Tanzania kufundisha vikundi vya wanawake wilayani Biharamulo, mkoani Kagera jinsi ya kujikinga na magonjwa. Mafunzo serikali kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani (UNICEF) kupitia TIP ambao ni Mtandao wa Madhehebu ya Dini mbalimbaliMwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Maelfu ya watu wanawasili nchini Burundi, wakikimbia mapigano yanayozidi kushamiri huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, hususan katika majimbo ya Kivu Kusini na Kivu Kaskazini. Waasi wa M23 wanaendelea kupanua wigo wa maeneo wanayomiliki, hali inayotumbukiza raia kwenye changamoto za usalama, na kulazimu wale wanaoweza kukimbia. Wengine wameuawa, kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa, na majeruhi wako hospitalini ambako huduma nazo zimedorora kwani M23 wamefunga barabara katika maeneo yote wanayodhibiti. Lakini wale wanaokimbilia Burundi hali yao iko vipi? Evarist Mapesa anakusimulia zaidi kupitia video iliyoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR.
Hii leo jaridani tunaangazia msaada wa kibinadamu nchini DRC, na simulizi y amkimbizi wa DRC aliyekimbilia nchini Uganda. Makala inatupeleka nchini Tanzania, namashinani nchini Kenya, kulikoni?Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likifanya kikao cha dharura jijini New York, Marekani kujadili hali ya usalama inayozidi kuzorota kila uchao huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, Mratibu wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya kibinadamu nchini humo, Bruno Lermaquis amesema kupanuka kwa mzozo huo kumezidi kugharimu maisha na mustakabali wa raia.Sina mpango tena wa kurejea nyumbani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ni kauli yake Twagirayesu Gato, mwanafunzi huyu raia wa DRC aliyekimbia nchini mwake mwaka jana na kuingia Uganda ambako sasa anapata hifadhi. Amesema hayo kwenye video ya shirika la Umoja wa MAtaifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR iliyochapishwa katika ukurasa wa YouTube wa shirika hilo.Makala inatupeleka nchini Tanzania ambako tunamsikiliza Brigedia Jenerali George Mwita Itang'are, Mkuu wa Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Tanzania (TPTC) akitoa wito kwa Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa kuendelea kuunga mkono ulinzi wa amani duniani kwa kuzikabili changamoto wanazokutana nazo walinda amani. Anold Kayanda anasimulia.Na mashinani ikiwa hivi majuzi Dunia iliadhimisha siku ya redio duniani fursa ni yake Irene munyua kutoka Kenya akieleza washirika wetu Radio Domus kuhusu umuhimu wa radio kwa jamii katika maisha ya kila siku.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Sina mpango tena wa kurejea nyumbani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, ni kauli yake Twagirayesu Gato, mwanafunzi huyu raia wa DRC aliyekimbia nchini mwake mwaka jana na kuingia Uganda ambako sasa anapata hifadhi. Amesema hayo kwenye video ya shirika la Umoja wa MAtaifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR iliyochapishwa katika ukurasa wa YouTube wa shirika hilo. Kufahamu msingi wa kauli hiyo ya Twagirayesu, ungana na Sharon Jebiichi.
The United Nations says the humanitarian situation in eastern Democratic Republic of Congo has deteriorated dramatically. The spokespersons for the Office of the United Nations High Commissioner for Human Rights (OHCHR) and the High Commissioner for Refugees were both briefed on the situation Monday from Geneva. First, OHCHR spokesperson Ravina Shamdasdani, followed by UNHCR spokesperson Matthew Saltmars.
Alarm as Sudan violence intensifies and abuses surgeDR Congo crisis: Outrage at reported summary executions of childrenUkraine: Three years after full-scale Russian invasion, Ukrainians need peace and aid, insists UNHCR
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina leo inayotupeleka DRC katika mji wa Goma uliokuwa mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini ambao sasa uko mikoni mwa waasi wa kundi la M23. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na ujumbe kutoka mashinani.Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu, OHCHR imesema hali huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC inazorota kwa kasi kubwa, na kusababisha ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ukatili kama vile watu kuuawa kiholela, wakiwemo watoto, wakati huu ambapo waasi wa M23 yaripotiwa wametwaa mji wa Bukavu, jimboni Kivu Kusini.Wakati hayo ya kiendelea ndani ya DRC, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limeripoti kuwa katika siku chache zilizopita, wakongo kati ya 10,000 na 15,000 wamevuka mpaka wa DRC na kuingia Burundi wakikimbia mapigano.Na shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula duniani, WFP limekaribisha mchango wa dola milioni 5 kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini. kwa ajili ya kujengea mnepo na kuimarisha upatikanaji wa chakula kwa familia za maeneo kame nchini Kenya.Na mashinani kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, fursa ni yake Faraja Kashindi Malumalu kutoka Tanzania ambaye ni mkimbizi katika kambi la Nyarugusi na mfanyakazi wa kituo hicho cha matibabu ambaye anaonesha furaha kutokana na ujenzi wa kituo kipya cha wagonjwa wa ukimwi ambao umesaidia kuhifadhi faragha(privacy) ya wagonjwa.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
Hii leo jaridani tunaangazia machafuko na hali ya wakimbizi wa ndani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Makala inaturejesha hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa na mashinani inatupeleka nchini Jamhuri ya Africa ya Kati (CAR), kulikoni?Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, lina wasiwasi mkubwa kuhusu janga la kibinadamu linalozidi kuwa baya tena kwa kasi kubwa huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kwani kushindwa kufikia wahitaji kumekwamisha ufikishaji misaada ya haraka inahoyitajika..Katika kitongoji cha Komanda jimboni Ituri nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, doria za pamoja zinazoendeshwa na walinda amani wanaohudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO na jeshi la serikali FARDC zimeimarisha usalama kwenye maeneo ya raia.Makala leo inaturejesha hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa kwenye mkutano wa 63 wa Baraza la Kiuchumi na Kijamii ECOSOC kuhusu maendeleo ya jamii. Flora Nducha amepata fursa ya kuzungumza na mmoja wa washiriki wa mkutano huo kutoka Kenya.Na mashinani fursa ni yake Albertine Yantijba ,manusurawa ukatili wa kijinsia kutoka Sango CAR , ambaye anatueleza jinsi Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya watu na Afya ya Uzazi (UNFPA) limeletamabadiliko baada ya kuanzishwa kwa maeneo salama ya wasichana kujieleza na kuhudumiwa”Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, lina wasiwasi mkubwa kuhusu janga la kibinadamu linalozidi kuwa baya tena kwa kasi kubwa huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kwani kushindwa kufikia wahitaji kumekwamisha ufikishaji misaada ya harakati inahoyitajika. Anold Kayanda na ripoti kamili.
1) L'Ucraina, Trump, e l'Unione Europea. Il piano di pace del presidente statunitense demolisce le vecchie relazioni transatlantiche. Tra gli Ucraini, però, il sentimento più diffuso è la stanchezza. (Roberto Festa, Mario Meda - WeWorld) 2) Gaza con il fiato sospeso. Hamas promette di liberare sabato tre ostaggi israeliani come previsto. Per il momento la crisi sembra rientrata, ma la popolazione teme che la tregua crolli da un momento all'altro. (Giulio Cocchini - Cesvi) 3) La chiusura di Usaid fa collassare il sistema della cooperazione internazionale. I paesi africani sono tra quelli che soffriranno di più. (Nicoletta Dentico) 4) Narendra Modi alla corte di Trump. Il premier indiano spera di riallacciare i rapporti con il presidente Usa nel tentativo di evitare una guerra commerciale. (Simona Vittorini - SOAS Londra) 5) “Coloriamo il futuro dei bambini rifugiati”. La campagna di Unhcr per garantire l'accesso a scuola a 250mila bambini. (Laura Iucci - Unhcr) 6) World Music. Alla Cité de la Musique di Parigi, la mostra “Disco I'm Coming Out”, che riabilita un genere musicale snobbato dalla sinistra. (Marcello Lorrai)
Send us a textHow do we foster healing in communities impacted by trauma? And how can leaders and educators adopt a healing-centered approach to their work? In this episode, we're joined by Deepa Gulrukh Patel, a creative facilitator blending arts, sciences, and social justice. Her work spans refugee camps, cultural diversity, bereavement support, and contemplative education, collaborating with organizations like the UNHCR, the London College of Fashion, and the Fetzer Institute to build healing-centered, sustainable initiatives. We're also joined by Dr. Angel Acosta, a leader in mindfulness, social justice, and healing-centered education. With a doctorate in curriculum and teaching from Teachers College, Columbia University, Angel creates transformative frameworks like the Contemplating 400 Years of Inequality Experience to address structural inequities and foster restorative practices. Together, Deepa and Angel share profound insights on healing trauma, supporting frontline workers, and building resilience through mindful education and community-centered approaches.In this second part of our conversation, we talk about:Becoming wounded healersThe importance of listening and presenceResilience for frontline workersBurnout in caregiving jobsAgency over labelsTo learn more about Dr. Angel Acosta and Deepa Gulrukh Patel follow these links:Deepa:Jordan Refugee Camps - https://www.dress4ourtime.org/Center for Sustainable Fashion- https://www.sustainable-fashion.com/vital-signsInayitiyya Org - https://inayatiyya.org/Tamasha Theatre Company - https://tamasha.org.uk/The Loss Foundation - https://thelossfoundation.org/Charis Interspirituality Org - https://charisinterspirituality.org/ Dr. Angel:Website - https://www.drangelacosta.comPodcast - https://www.drangelacosta.com/podcastLinkedIn - https://www.linkedin.com/in/dr-angel-acosta-1886653b This episode is sponsored by:John Templeton Foundation (https://www.templeton.org/ )Templeton Religion Trust (https://templetonreligiontrust.org/)Support the show
Hii leo jaridani tunaangazia hali ya usalama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na tutakuletea simulizi ya wakimbizi wa ndani nchini humo. Makala inatupeleka nchini Senegal na mashinani nchini Afghanistan, kulikoni?Mashirika ya Umoja wa Mataifa yameendelea kutoa wito wa kurejeshwa kwa amani mashariki mwa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo (DRC) kwani hali inazidi kuwa tete na kuuzidi uwezo wa mashirika hayo kusaidia..Kutana na mkimbizi Masimango Mango kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ambaye kwa sasa anaishi kwenye makazi ya wakimbizi wa ndani ya Lushagara Goma jimboni Kivu Kaskazini Mashariki mwa DRC, anasema kwa hakika vita imemchosha na anacholilia ni amani ili arejee nyumbani na familiia yake.Makala tunakwenda Senegal, magharibi mwa AFrika ambako nishati ya umeme imeleta mabadiliko makubwa kwenye kijiji ambacho awali kiligubikwa na kiza nyakati za usiku.Na katika Zulaikha kutoka Afghanistan ambaye ana matumaini katika msimu huu wa baridi kutokana na msaada wa fedha kutoka Shirika la Marekani la Misaada ya kimaendeleo USAID na lile la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda karibu!
Send us a textHow do we foster healing in communities impacted by trauma? And how can leaders and educators adopt a healing-centered approach to their work? In this episode, we're joined by Deepa Gulrukh Patel, a creative facilitator blending arts, sciences, and social justice. Her work spans refugee camps, cultural diversity, bereavement support, and contemplative education, collaborating with organizations like the UNHCR, the London College of Fashion, and the Fetzer Institute to build healing-centered, sustainable initiatives. We're also joined by Dr. Angel Acosta, a leader in mindfulness, social justice, and healing-centered education. With a doctorate in curriculum and teaching from Teachers College, Columbia University, Angel creates transformative frameworks like the Contemplating 400 Years of Inequality Experience to address structural inequities and foster restorative practices. Together, Deepa and Angel share profound insights on healing trauma, supporting frontline workers, and building resilience through mindful education and community-centered approaches.In this first part of our conversation, we talk about:Healing through stillnessBeauty as a path to healingHealing ourselves to help the worldHealing-centered educationCreativity healsTo learn more about Dr. Angel Acosta and Deepa Gulrukh Patel follow these links:Deepa:Jordan Refugee Camps - https://www.dress4ourtime.org/ Center for Sustainable Fashion- https://www.sustainable-fashion.com/vital-signs Inayitiyya Org - https://inayatiyya.org/ Tamasha Theatre Company - https://tamasha.org.uk/ The Loss Foundation - https://thelossfoundation.org/ Charis Interspirituality Org - https://charisinterspirituality.org/ Dr. Angel:Website - https://www.drangelacosta.com Podcast - https://www.drangelacosta.com/podcast LinkedIn - https://www.linkedin.com/in/dr-angel-acosta-1886653b This episode is sponsored by:John Templeton Foundation (https://www.templeton.org/ )Templeton Religion Trust (https://templetonreligiontrust.org/)Support the show
This week Mike sits down with Severance's very own Ben Stiller and Adam Scott. The three of them dig into the behind the scenes of Severance Season 2 and discuss what it is that makes them work so well together as actor and director. Ben and Adam share audition advice for actors, as well as how their grieving processes influenced their work together. Plus, Mike and Adam nerd out about The Ben Stiller Show and Reality Bites, and Mike reveals which Severance character he almost played.Please Consider Donating To: The Center for Reproductive Rights and the UNHCR
Katika siku ya Elimu duniani kutana na Suhaila msichana mkimbizi kutoka Afghanistan ambaye kupitia mpango wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR wa kuwahamishia wakimbizi katika nchi ya tatu aliwasili Jamhuri ya Kyrgyzstan ambako sio tu alipata maskani ya kudumu na wazazi wake bali pia matumaini na elimu iliyompa ari ya kurejesha matunda yake nyumbani alikotoka. Flora Nducha na taarifa zaidi.
Hii leo jaridani tunaangazia machafuko nchini DRC, na katika elimu tunamsikia msichana wa Afghanistan ambaye ni mnufaika wa ufadhili wa Umoja wa Mataifa. Makala inatupeleka nchini Oaris kumulika matumizi ya AI katika elimu na mashinani tunakwenda nchini Sudan.Mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo yameonya kwamba kuongezeka kwa uhasama kwenye viunga vya mji wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kunakohusisha kundi lisilo la kiserikali linalojihami kwa silaha, M23 kumesababisha watu wengi zaidi kuhama katika eneo hilo lenye utajiri wa madini, huku kukiwa na hofu kwamba mji mkuu wa eneo hilo Goma unaweza kuangukia mikononi mwa wapiganaji hao.Tukiwa bado katika siku ya Elimu duniani kutana na Suhaila msichana mkimbizi kutoka Afghanistan ambaye kupitia mpango wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR wa kuwahamishia wakimbizi katika nchi ya tatu aliwasili Jamhuri ya Kyrgyzstan ambako sio tu alipata maskani ya kudumu na wazazi wake bali pia matumaini na elimu iliyompa ari ya kurejesha matunda yake nyumbani alikotoka.Makala leo ikiwa ni siku ya elimu duniani Assumpta Massoi anakukutanisha na walimu wawili huko Paris nchini Ufaransa wakijadili mustakabali wa Akili Mnemba au AI kwenye ufundishaji darasani. Mahojiano hayo yameandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na UTamaduni, UNESCO.Na katika mashinani Nour Abdallah, Mkimbizi wa ndani katika eneo la Zamzam nchini Sudan kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula Duniani WFP, anasema janga la njaa limelazimisha jamii kula chakula cha mifugo huku wakiwa na matumaini kwani chakula cha msaada kinaendelea kuwasilishwa kwenye maeneo yaliyoathiriwa na vita.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
The situation in eastern Democratic Republic of the Congo is becoming increasingly unsafe for both civilians and aid teams, the UN refugee agency, UNHCR, warned on Friday, amid threats by the M23 rebel group that its fighters are about to attack Goma, the regional capital of North Kivu.According to the agency, some 400,000 people have been uprooted by violence in North and South Kivu since the beginning of the year alone because of intensifying violence and clashes between the M23 rebels, the Congolese Armed Forces and other armed groups.In an exclusive interview with UN News's Alpha Diallo, UNHCR's chief of office in Goma, Abdoulaye Barry, told us what conditions were like in the key city that's home to two million people.
Monocle’s Carlota Rebelo hosts a special broadcast from our pop-up studio in Davos for The World Economic Forum’s annual meeting. Ukraine’s president, Volodymyr Zelensky, issued a strong warning for Europe and we’ll hear from American diplomat Kurt Volker on whether leaders can step up. Also ahead: we sit down with Kelly T Clements, the UNHCR’s deputy high commissioner for refugees. Plus: Politico’s Suzanne Lynch on what’s driving the agenda today, Monocle’s Tom Webb on Asia’s presence and Juliet Linley and Rob Cox tell us whether the WEF can last another 55 years. See omnystudio.com/listener for privacy information.
600 trucks per day need to reach Gaza after the ceasefire begins, says the World Health OrganizationIn Sudan, deadly ethnic violence is on the rise as the country's long-running war goes on, says the UN human rights officeDignity for migrants should be our guiding objective, insists ‘Cabrini' actress: UNHCR
Have you ever caught yourself making an assumption about someone's capacity for success based on where they come from or the challenges they've faced? At this time of year, when many admissions offices are deep in application review, it seems fitting to pause and reflect on how assumptions can shape decisions.In this Peak Perspective, we hear a vignette from Laura Kaub, director of the Duolingo Partnership with the United Nations High Commissioner for Refugees, who reminds us that there is way more to a student's story than where they came from—and that often the story about where they came from is inaccurate. (Original audio clip from Season 8, Episode 6 of the ALP)It's from Chapter 2, "Empathy and Understanding," one of 20 chapters in my new book, Climbing the Admissions Leadership Peak: Lessons from the ALP, available on Amazon paperback and Kindle.The ALP is supported by RHB. Music arranged by Ryan Anselment
Dr. Sylvia Rohde Liebenau is an EMCC-accredited senior executive coach with 30 years of experience, known for helping C-Suite leaders, entrepreneurs, and change-makers excel in today's fast-paced and complex world. She founded the SMART Power Method, a revolutionary approach that empowers leaders to achieve greater impact with ease.Sylvia's clientele includes global heavyweights like UNHCR, the European Central Bank, Allianz Global Investors, the Red Cross, and Amazon. She's also set to release her new book, "Who's in Charge," a practical guide for leaders looking to build resilience, harness their power, and blend success with fulfillment.Sylvia's coaching is uniquely enriched by her background as an artist, dancer, and singer, giving her a deep, embodied understanding of key leadership qualities like presence, authenticity, connection, and communication.More about Sylvia:●Holds a PhD in international relations.●Worked with the European Commission in the ‘90s, driving impactful change through her leadership skills, and preventing a Russian hack on the IT systems. ●Joined the European Investment Bank (EIB) in 2003, introducing innovative HR and leadership development practices. ●In 2021, began working as an executive coach and leadership expert.More: SMART Power MethodBook: Who's In ChargeSponsors: Master Your Podcast Course: MasterYourSwagFree Coaching Session: Master Leadership 360 CoachingSupport Our Show: Click HereLily's Story: My Trust ManifestoSupport this show http://supporter.acast.com/masterleadership. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linaendelea kusambaza msaada wa kibinadamu ili kurejesha matumaini ya waathirika wa kimbunga Chido kilichotokea tarehe 15 Desemba mwaka jana nchini Msumbiji na kuziacha taabani jamii za majimbo ya Cabo Delgado, Nampula na Niassa. Flora Nducha na taarifa zaidi.
Hii leo jaridani tunaangazia moto wa nyika mjini California Marekani, na waathirika wa kimbunga Chido nchini Msumbiji. Makala tunasikia kijana Paul Siniga kutoka Tanzania na mashinani tunakupeleka nchini Kenya, kulikoni?Shirika la Umoja wa Mataifa la hali ya hewa duniani (WMO) leo hii likiwa limeutangaza mwaka jana 2024 kuwa mwaka uliokuwa na joto zaidi kuwahi kurekodiwa, leo pia WMO imeendelea kusisitiza umuhimu wa tahadhari za mapema kuhusu majanga ya tabianchi ili kuokoa maisha ya watu. WMO imeeleza kwamba tahadhari za mapema zilizotolewa na Idara ya Hali ya Hewa ya Taifa la Marekani zimesaidia kwa kiasi fulani kuokoa maisha ya watu katika moto wa nyika uliosambaa na kuteketeza maeneo makubwa mji wa Los Angels katika jimbo la California.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linaendelea kusambaza msaada wa kibinadamu ili kurejesha matumaini ya waathirika wa kimbunga Chido kilichotokea tarehe 15 Desemba mwaka jana nchini Msumbiji na kuziacha taabani jamii za majimbo ya Cabo Delgado, Nampula na Niassa.Katika makala Assumpta Massoi wa Idhaa hii ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa anazungumza na kijana Paul Siniga kutoka Tanzania ili kufahamu safari yake hadi kuweza kufika makao makuu ya Umoja wa MAtaifa, New York, Marekani.Na mashinani Nur Bashir kutoka jamii ya wfugaji katika kaunti ya Turkana nchini Kenya ambaye kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji anaeleza jinsi jamii zake zinavyoathiriwa na mabadiliko ya tabianchi.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
UN chief's shock and sorrow over LA wildfire emergencySyria: More than 125,000 refugees have gone home since fall of Assad regime, says UNHCR, OCHAGaza: only three weeks remain until Israel's ban on UNRWA comes into force, warns WHO's Tedros
Hii leo jaridani tunakuletea Mada kwa Kina inayotupeleka Kenya ambapo Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limefanikiwa kumnyanyua msichana Nosizi Dube na kutimiza ndoto yake ya kuepuka ndoa ya utotoni na kupata shahada ya kwanza ya chuo kikuu. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na uchaambizi wa neno KWEGO.Mwezi mmoja tangu kuanguka kwa utawala wa Bashar Al-Assad, zaidi ya wakimbizi 125,000 wamerejea Syria "wakiwa na matumaini baada ya miaka mingi ya kuishi uhamishoni", lakini wamejikuta wakikabiliwa na hali mbaya nchini mwao, wameeleza leo wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa. Likiwa linaongoza wito kwa jumuiya ya kimataifa "kutoka kwenye maneno hadi vitendo" ili kuwasaidia watu walio waliorejea ambao sasa wako katika mazingira magumu, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, limesema familia nyingi zina uhaba wa makazi na njia kidogo za kiuchumi.Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) limeongeza ombi lake la fedha kufikia dola milioni 73.2 kwa ajili ya kusaidia zaidi ya watu milioni 1.1 kote nchini Syria katika kipindi cha miezi sita ijayo, wakati nchi hiyo ikiingia katika kipindi cha mpito kufuatia kuanguka kwa serikali ya Bashar Al-Assad. Ombi hili ni nyongeza katika ombi la awali la dola milioni 30 lililotolewa mwezi Desemba mwaka jana 2024 likilenga mahitaji yanayoongezeka ya majira ya baridi Kaskazini Magharibi mwa Syria.Miezi 15 baada ya vita huko Gaza, mamia kwa maelfu wanaendelea kuishi katika shule za shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa kipalestina (UNRWA) zenye msongamano ambazo zimegeuzwa kuwa makazi. UNRWA imeeleza kuwa hata viwanja vya michezo kwa watoto sasa ni nyumba kwa waliofurushwa. Shirika hilo limesisitiza kuwa misaada zaidi ya kibinadamu lazima iingie Gaza na kusitishwa kwa mapigano ni muhimu zaidi kuliko hapo awali.Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno “KWEGO”.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!
Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limefanikiwa kumnyanyua msichana Nosizi Dube na kutimiza ndoto yake ya kuepuka ndoa ya utotoni na kupata shahada ya kwanza ya chuo kikuu. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 24 ni wa kwanza katika jamii ya Washona wanaoishi mjini Nairobi Kenya kupata elimu katika ngazi hiyo. Mpango wa UNHCR wa kupambana na kutokuwa na utaifa kwa ushirikiano na serikali ya Kenya umekuwa chachu ya mafanikio ya msichana huyo. Mwandishi wetu wa Nairobi Thelma Mwadzaya alimtembelea Nosizi nyumbani kwake ili kupata undani wa safari yake..
Hii leo jaridani tunaangazia magonjwa ya mfumo wa kupumua vikiwemo virusi vya metapneumovirus, na watoto waathirika wa vita Gaza. Makala inatupeleka nchini Mali na mashinani nchini Tanzania, kulikoni?Huku kukiwa na ripoti za kuongezeka kwa maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa kupumua vikiwemo virusi vya metapneumovirus (HMPV) wakati huu wa msimu wa baridi nchini China na kuleta hofu ulimwenguni kuhusu uwezekano wa kutokea kwa janga jingine la ugonjwa kama ilivyokuwa Covid-19, mamlaka ya afya nchini humo inasema kiwango na nguvu za ugonjwa huo viko chini ikilinganishwa na wakati kama huu mwaka jana, ameeleza Hans Kluge, Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni kanda ya Ulaya akisisitiza ulimwengu kupata taarifa sahihi.Baada ya miezi 14 ya vita Gaza maelfu ya watu wakiwemo watoto wamesalia na ulemavu wa maisha kwa kulazimika kukatwa viungo kutokana na kujeruhiwa katika vita inayoendelea kwa miezi 15 akiwemo mtoto wa umri wa miaka 7 Mahmmoud ambaye sasa amepooza baada ya kupigwa risasi mgongoni na anahitaji huduma za haraka za afya ili akatibiwe limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA.Katika makala Assumpta Massoi anakupeleka Magharibi mwa Afrika kusikia jinsi raia wa taifa la Mali walioko ughaibuni wanavyoleta nuru kwa wakulima wa mpunga nchini mwao.Mashinani fursa ni yake Hilda, Mama mwenye umri wa miaka 31 ambaye ni mkimbizi kutoka Burundi anayeishi katika makazi ya wakimbizi nchini Tanzania, anashukuru mfuko wa msaada wa marekani wa kitengo cha Idadi ya watu, wakimbizi na uhamiaji, PRM (Population, Refugees, and Migration Bureau, PRM) kwa huduma za afya ya watoto na kinamama wajawazitito kupitia Shirika la Umoja wa Mataifa ya kughudumia wakimbizi UNHCR.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!
Bogdan Gogulan has 20 years of experience in finance, product and business development. Before initiating NewSpace Capital, he had accumulated a unique combination of cross-border experience in communication, security and defense industries. He served as VP of international operations and business development for AT Communication (Switzerland), Defendec (Baltics) and Katmerciler (Turkey), managing breakthrough projects for security and defense agencies in the Middle East and Central Asia. For years, he managed alignment and cooperation with UN agencies (BOMCA/UNDP, BOMNAF, UNODC, UNHCR, IOM) and security organizations (NATO, OSCE, ISAF). Prior to that, Bogdan worked for American Express (USA, UK) and Deutsche Bank (UK). As global sales development Program Manager and Head of Industry Analytics at American Express he was responsible for global partnerships development with top tier clients. Since 2010, Bogdan has been actively involved with UN Alliance of Civilization's (UNAOC) participating as an OYW Ambassador in the UN Sustainable Development Goals' initiative. Bogdan holds a BSc in Financial Economics from University of Essex and graduated from Abingdon & Whitney College. He is a co-founder and CEO of NewSpace Capital GP S.A.
Gaza: Civilian suffering has become “sickeningly normalised”, UNRWA warnsSyria's de facto authorities offer constructive support to UNHCR's work thereRights experts condemn growing “pattern of repression” against protests in Georgia