POPULARITY
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Erasto Mwanasindele kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea. Mada ni Kwanini Kanisa Katoliki linaitwa Kanisa la Mitume? Tarehe 24 Februari 2026 L'articolo Kwanini Kanisa Katoliki linaitwa Kanisa la Mitume? proviene da Radio Maria.
Karibu usikilize Kipindi cha Maswali ya Husuyo Imani. Mwezeshaji ni Frateri Franco abel Ubamba kutoka katika hospitali ya Mtakatifu Yohane wa msalaba, Ipamba iliyopo katika parokia ya Moyo mtakatifu wa Yesu Tosamaganga Jimbo la Iringa Swali ni Naomba kueleweshwa kuhusu kipindi Cha mwaka katika liturujia ya Kanisa katoliki hususani mpaka kufikia kipindi Cha kwaresima” Tarehe […] L'articolo Fahamu kuhusu kipindi Cha mwaka katika liturujia ya Kanisa katoliki hususani mpaka kufikia kipindi Cha kwaresima” proviene da Radio Maria.
Karibu usikilize Kipindi cha Utume wa Walei Mwezeshaji Bwana Gordon Rwenyagira, Mjumbe kamati ya Uinjilishaji Jimbo kuu Katoliki Dar es Salaam Mada ni Kanzi ya Uongozi Tarehe 20 Februari 2026 L'articolo Fahamu thamani ya unyenyekevu katika uongozi wa Kanisa Katoliki. proviene da Radio Maria.
Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Deodatus Katunzi Kagashe, Mkurugenzi wa Radio Mbiu -Kagera, ambaye amefafanua kuhusu “Juma la Miito Mitakatifu na wito wa Baba Mtakatifu Leo XIV katika kuombea miito. Mtangazaji ni Agatha Kisimba. L'articolo LIFAHAMU JUMA LA MIITO MITAKATIFU KATIKA KANISA proviene da Radio Maria.
karibu usikilize kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa ambapo Mhashamu Josaphat Lui Lebulu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha anafundisha juu ya nyenzo anazotumia Jukumu la Roho Mtakatifu katika malezi na makuzi ya maisha ya kikristo. kukualika kwa niaba yake mimi ni Pendo Stephano. L'articolo Jukumu la Roho Mtakatifu katika kueleza na kukuza mahusiano sahihi katika maisha ya kikristo. proviene da Radio Maria.
karibu usikilize kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa ambapo Mhashamu Josaphat Lui Lebulu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha anafundisha juu ya nyenzo anazotumia Jukumu la Roho Mtakatifu katika malezi na makuzi ya maisha ya kikristo. kukualika kwa niaba yake mimi ni Pendo Stephano. L'articolo Jukumu la Roho Mtakatifu katika kueleza na kukuza mahusiano sahihi na stahiki katika maisha ya kikristo. proviene da Radio Maria.
karibu usikilize kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa ambapo Mhashamu Josaphat Lui Lebulu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha anafundisha juu ya nyenzo anazotumia Jukumu la Roho Mtakatifu katika malezi na makuzi ya maisha ya kikristo. kukualika kwa niaba yake mimi ni Pendo Stephano. L'articolo Fahamu Jukumu la Roho Mtakatifu katika malezi na makuzi ya maisha ya Kikristo. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Utume wa Walei, Padre Vitalis Kasembo, Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Kuu la Dar es Salaam, akitufundisha juu ya Kanzi ya Uongozi. L'articolo Fahamu maana ya Kanzi ya Uongozi katika Kanisa. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Catherine Kaberege katika kipindi cha Utume wa Walei, Ndugu Gordon Rwenyagira, Mratibu Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu Katoliki Dar Es Salaam, akitufundisha juu ya Kanzi ya uongozi katika Kanisa. L'articolo Utayari kama kanzi ya uongozi katika Kanisa. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Utume wa Walei, pamoja nasi tunao wageni kutoka shirika la Wazee na Wastaafu Jimbo Kuu Katoliki Dar Es Salaam, akitufundisha juu ya Kanzi ya uongozi katika Kanisa. L'articolo Hija ya Wazee na Wastaafu na Kanzi ya uongozi katika Kanisa. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Utume wa Walei, pamoja nasi tunao wageni kutoka shirika la Wazee na Wastaafu Jimbo Kuu Katoliki Dar Es Salaam, akitufundisha juu ya Kanzi ya uongozi katika Kanisa. L'articolo Shirika la Wazee na Wastaafu Wakatoliki Tanzania kuelekea Misa ya Shukrani na Hija ya kitaifa. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaam wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia akiendelea kujibu Maswali ya Msikilizaji na moja ya Maswali hayo ni Je Mapdre wa Kanisa Katoliki wanaruhusiwa kutoa pepo? L'articolo Je Mapdre wa Kanisa Katoliki wanaruhusiwa kutoa pepo? proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya Dominika ya Neno la Mungu L'articolo Tambua nafasi ya neno la Mungu katika utume wa Kanisa na maisha ya kila mmoja proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Peter Alphaxad katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya mwaka wa Kanisa. L'articolo Fahamu Kanisa linavyomwanzimisha Kristo katika maadhimisho yake proviene da Radio Maria.
Ungana nami Mtangazaji wako Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji Padri Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Karol Lwanga – Ismani akitufundisha juu ya mwaka wa Kanisa. L'articolo Mwaka wa kanisa na uwepo wa Mungu proviene da Radio Maria.
Karibu uungane na Padre Titus Amigu, Mtalaam wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia akiendelea kujibu Maswali ya Msikilizaji na moja ya Maswali hayo ni kwanini Mkatoliki akihamia katika ulokole anakuwa makaidi na mbishi? L'articolo Je, ni kweli mtu akitoka katika Kanisa Katoliki na kwenda katika Madhehebu mengine anakuwa mbishi na mkaidi? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Nena nami Bwana, ikiwa ni mafundisho kutoka kwa Mababa wa Kiroho kwa namna ya kipekee wanaonene nasi siku hii ya leo ni Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa, Askofu Mkuu Jimbo Kuu Katoliki Tabora, Mhashamu Tarcisius Ngalalekumtwa, Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Iringa, Askofu Christopher Ndizeye wa Jimbo Katoliki […] L'articolo Nena nami Bwana Dominika ya 29 ya mwaka C wa Kanisa. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Frater Daud Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali la msikilizaji linalosema Kanisa au kiongozi wa Kanisa kujihusisha na harakati za kisiasa au chama cha kisiasa inaruhusiwa? L'articolo Je, ni halali kiongozi wa Kanisa kujihusisha na Siasa? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Paschal Patrick, katika kipindi cha Historia ya Kanisa, mwezeshaji ni Mhashamu Askofu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Msitaafu Jimbo la Bukoba, akitufundisha Historia juu ya Mapinduzi ya Ufaransa na Kanisa. L'articolo Mkatoliki je, unaifahamu historia ya Kanisa? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Patrick Paschal Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu Jimbo Katoliki Bukoba, akitufundisha juu ya Mwangaza wa Kanisa Kitaifa. L'articolo Je,unafahamu mapinduzi ya fikra katika kanisa? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Historia ya Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Method Kilaini , Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba, ambapo ameendelea kujibu maswali mbalimbali yaliyoilizwa na msikilizaji. Mtangazaji ni Patrick Pascal Tibanga – Radio Mbiu L'articolo Amri 10 za Mungu zimeandikwa wapi katika Biblia Takatifu? proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, Swali linahoji hivi; Kanisa linahimiza kuwasaidia watu masikini, sasa mimi nitawezaje kuwasaidia wakati mimi mwenyewe ni masikini? Na je Matajiri hawahitaji kusaidiwa? Swali limejibiwa na Frateri Peter Peter kutoka Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu L'articolo Ninawezaje kuwasaidia masikini wakati mimi pia ni msikini? proviene da Radio Maria.
Class-Act Coaching: A Podcast for Teachers and Instructional Coaches
Send us a textIn this episode, Jason and Dan sit down with Kanisa Williams, an instructional coach from a large Georgia district, who coaches other instructional coaches. They talk about how coaching cycles are implemented not just with teachers, but with coaches, and the importance of modeling, trust-building and communication. Kanisa shares how she supports new coaches in clarifying their role, planning productive coaching cycles and using teacher data to identify priorities. Key Takeaways:How coaching cycles for instructional coaches mirror those for teachersWhy modeling and co-planning are essential, even for coaching coachesStrategies for building trust in new coaching relationshipsTips for setting clear goals and boundaries when you're new to a campusUsing teacher data to guide the focus of coaching cyclesMentioned in the Episode:Importance of early wins to build confidence with new coachesCreating clarity around a coach's role to avoid being seen as “just an extra helper”The power of transparency and reflection in professional growth The Southern Regional Education Board is a nonprofit, nonpartisan organization that works with states and schools to improve education at every level, from early childhood through doctoral education and the workforce. Follow Us on Social: Facebook Instagram X
Wanasiasa wame ashiria kufunguliwa kwa Bunge la taifa kwa kuhudhuria ibada katika Kanisa laki Katoliki la Mtakatifu Christopher, mjini Canberra leo asubuhi Jummanne 4 Feb 2025.
Kumsifu Bwana kwa njia ya nyimbo, Roho mtakatifu
Mungu ni Pendo
Ahadi za Mungu ni za kweli, Kustahimili katika dhoruba
Wanamasalio wa Mungu
Kukua katika Kristo
Kumtukuza Mungu, Sayansi ya Maombi
Tabia njema kwa mkristo
Adam na Hawa wapo wapi
Namiesto 20 rokov desať. Parlament v rámci novely trestného zákona znížil premlčacie lehoty za znásilnenie. Predstavitelia koalície tvrdia, že tým motivujú ženy nahlasovať sexuálne zločiny skôr. Preživšie ale aj organizácie venujúce sa obetiam hovoria o nesmierne škodlivom kroku, ktorý nás vracia o niekoľko rokov späť. A to všetko sa deje v čase, keď Európsky parlament nastolil debatu o celoúnijnej definícii znásilnenia a keď susedná Česká republika zvyšuje tresty za tieto činy. Prečo na Slovensku znásilnenia a jej obete neberieme vážne? Jana Maťková sa v podcaste Dobré ráno pýtala právnika Matúša Kanisa. Zdroj zvukov: NRSR, Instagram/Progresívne Slovensko, Denník N, Facebook/SMER SD Odporúčanie: Ak ste zažili sexuálne násilie a hľadáte pomoc, prípadne poznáte niekoho, kto ju potrebuje, využite niektoré z liniek pomoci: Národná linka pre ženy zažívajúce násilie - 0800 212 212 Detské krízové centrum - 0948 578 053 Detské advokačné centrum Náruč - 0903 535 445 Poradenské centrum Čadca - 0907 840 552 Poradenské Centrum Nádej - 0905 463 425 Aliancia žien Slovenska - 0903 519 550 Krízové stredisko Dúha - 0918 824 247 Maják Nádeje - 0911 526 267 SKC Dotyk - 0905 595 187 Náruč záchrany - 0905 888 234 stalosato.sk, ipcko.sk – Všetky podcasty denníka SME nájdete na sme.sk/podcasty – Odoberajte aj audio verziu denného newslettra SME.sk s najdôležitejšími správami na sme.sk/brifing – Odoberajte mesačný podcastový newsletter nielen o novinkách SME na sme.sk/podcastovenovinky – Ďakujeme, že počúvate podcast Dobré ráno.
Wapenzi wa Bwana twenenda Sayuni, Toa muda wako kwa Mungu
Maisha mauti na ufufuo
Neno la Mungu ndiyo taa Maishani