POPULARITY
Categories
Mamlaka jijini Nairobi zimefanya operesheni kudhibiti ongezeko la mbwa mtaa katika mkakati wa kupambana na ugonjwa wa mbwa kichaa Mbwa japo anasemekana kuwa rafiki wa karibu na mwaminifu unapomfuga ,matunzo yasiyofaa au kuwatelekeza unaweza kukuweka karibu na ugonjwa wa mbwa kichaa Ukiwa utamfuga mbwa ,sharti kuzingatia usafi na chanjo ya kila mwaka dhidi ya ugonjwa wa mbwa kichaa
Utafiti uliofanywa wa shirika la utafiti wa afya Lancet Public Health umebaini hatua elfu 7 kila siku unapunguza hatari ya kupatwa na magonjwa ya Saratani,Kisukari,magonjwa ya moyo, shinikizo la damu,sonona na kupoteza kumbu kumbu Kwa mujibu wa shirika la afya duniani ,WHO,mazoezi ya kudumu dakika 150 kila wiki au mazoezi makali ya dakika 75 ni mkakati wa kuimarisha afya. Katika makala haya nimejiunga na kundi la Nairobi Walk Movement,tawi la Buru Buru ambalo limejitoa kufanya matembezi ya kuanzia kilomita 10 hadi 20 na wakati mwingine hadi 40 kila Jumamosi asubuhi au Jumapili alasiri kuanzia saa tisa na nusu. Kundi hili pia limejisajili kwenye kundi la kuhesabu hatua ambazo kila mtu hutembea kila siku ,hatua hizo zikihesabiwa kutumia application maalum ya kuhesabu hatua,lengo likiwa hatua hadi elfu 10 kila siku. Kushindana kwa kuhesabu hatua kila siku umekuwa mchezo ambao huwatia moyo Wanachama hao wameelezea faida nyingi kutokana na kujiunga kwenye kundi hilo na kushiriki matembezi. Wapo waliokuwa na wanatumia dawa za kudhibiti shinikizo la damu na sasa wameachana nazo. Aidha wengine wameeleza matembezi kuwaondolea maumivu ya viungo na pia kupata marafiki wazuri.
Wanafunzi wengi wakimataifa wame wasili nchini Australia, kupitia msaada wa mawakala wa uhamiaji.
Maelfu ya wa Australia wenye asili ya Afrika, kwa mwaka mwingine wali jumuika katika viwanja vya Sydney Olympic Park kuhudhuria tamasha ya Africultures.
Nchini Benin, mradi unaofadhiliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Mfuko wa Maendeleo ya Mitaji, UNCDF umewezesha vijana waliokuwa wanazurura wakati wa msimu wa mwambo nchini humo kuweza kuendelea na shughuli za kilimo kutokana na mradi huo kuwapatia pampu za kusukuma maji ya umwagiliaji kwa kutumia nishati ya sola. Ni Issotina Nala huyo kijana mkulima wa mboga mboga mwenye umri wa miaka 32 akizungumza kwa furaha juu ya manufaa ya pampu inayotumia nishati ya jua au sola na mfumo wa umwagiliaji maji uliofanikihswa na UNCDF hapa Kijiji cha Wekete jimbo la Ouake, kaskazini magharibi mwa Benin, huko Afrika Magharibi. “Ndio, inaleta tofauti kubwa sasa na kwa siku za usoni, kwa kuwa hatutakosa kipato. Kwa sababu mimi nina wake wawili na Watoto. Kwa pampu hii Watoto wangu wataweza Kwenda shuleni, na familia yangu itakuwa na ahueni.” Cossova Nanako, Mkuu wa Programu za UNCDF Benin anasema suala kwamba kuna uhaba wa maji kutokana na mabadiliko ya tabianchi tunabaini kuwa vijana wengi wanakuwa hawana cha kufanya msimu wa ukame kuanzia mwezi Oktoba hadi Aprili. Bwana Nala akiwa kwenye bustani yake ya mboga anakiri.. “Hakuna maji kuanzia Oktoba hadi Machi kwa hiyo tunabakia nyumbani. Na unaweza kufanya nini bila maji? Ukiwa na bustani ya mboga unapaswa kuwepo bustani kila wakati.” UNCDF inasema hali hiyo inalazimu vijana kuondoka vijijini na kuelekea mijini kutafuta vibarua lakini kupitia mradi huu uitwalo LoCAL wa kuwezesha wakazi kuhimili mabadiliko ya tabiachi nchi sasa kuna nuru na Bwana Nala anasema, “Sasa na mfumo huu wa umwagiliaji, hakuna tena kupumzika na tutakuwa na muda wa kufanya kazi wakati wowote.” UNCDF inasema sasa wakulima wanaweza kulima misimu yote hata wakati wa ukame na hivyo kuwa na uhakika sio tu wa chakula bali pia kipato kwa ajili ya familia zao.
Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mkondo wetu. Hii ndiyo njia bora kabisa ya kutusikiliza kila siku kwa sababu utapata taarifa moja kwa moja na mapema zaidi kwenye simu yako. Tafadhali wapashe na wengine khabari hii. Ukiwa na masuala au fikra maalumu kukhusu matangazo haya ya khabari na utapenda kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie kwa kutumia anuani hii: karibu@sauti.om

Karibu kwenye taarifa yetu ya khabari kutoka Dawati la Khabari lilioko Maskati, Oman. Unaweza kupokea taarifa zetu za khabari kupitia Apple Podcasts, Google Podcasts, CastBox, OverCast na vituo vyengine vya Podcasts. Unachotakiwa kufanya ni kupakia Podcasts yoyote kati ya hizo kwenye simu na ikisha, kutafuta Khabari za Oman na kujisajili kwenye mkondo wetu. Hii ndiyo njia bora kabisa ya kutusikiliza kila siku kwa sababu utapata taarifa moja kwa moja na mapema zaidi kwenye simu yako. Tafadhali wapashe na wengine khabari hii. Ukiwa na masuala au fikra maalumu kukhusu matangazo haya ya khabari na utapenda kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie kwa kutumia anuani hii: karibu@sauti.om Ahsanteni sana na kila la khair.