Podcasts about wasikilizaji

  • 11PODCASTS
  • 38EPISODES
  • 20mAVG DURATION
  • 1EPISODE EVERY OTHER WEEK
  • Dec 29, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Best podcasts about wasikilizaji

Latest podcast episodes about wasikilizaji

Changu Chako, Chako Changu
Makala ya mwisho katika mwaka 2024, salamu wa wasikilizaji na msanii Isifiwe Kibangula

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Dec 29, 2024 20:03

Heri ya mwaka mpya msikilizaji wa RFI Kiswahili popte pale ulipo. Ali Bilali mtangazaji wako asiependa makuu ninakukaribisha katika makala haya ya mwishgo kabisa changu chako chako changu katika mwaka 2024. Leo nakukumbusha mada kadhaa zilizo zungumziwa mwaka 2024, lakini pia ninapokea salam zako za mwaka mpya wa 2024, na kwenye Muziki nitakuletea mwanamuziki isifiwe Kibangula kutoka hko Sweeden ambae ametangawa kubadili muziki wake.Karibu na kwa mara nyingine tena kheri ya mwaka mpya.

Jioni - Voice of America
Wasikilizaji wazungumzia mambo yaliyowaridhisha nchini mwao mwaka wa 2024 na yapi ya kushughulikiwa mwaka ujao - Desemba 27, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 27, 2024 59:59

mambo mwaka yapi desemba wasikilizaji
Habari RFI-Ki
Mahakama nchini Kenya yaamuru msichana wa miaka 16  anayekiri kushiriki ngono si unyanyasaji

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 18, 2024 9:59

Wasikilizaji watoa maoni kuhusu hatua ya Mahakama moja nchini Kenya, kuamuru kwamba msichana  wa umri wa miaka 16  anayekiri kushiriki ngono na mwanaume si thibitisho la  unyanyasaji wa kigono, uamuzi ambao umeibua hisia kali nchini Kenya.

kenya miaka wasikilizaji

Maoni ya wasikilizaji kuhusu habari zilizogonga vichwa vya habari wiki hii

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 13, 2024 10:00

Hapa wasikilizaji wamezungumzia mkutano kati ya viongozi wa Rwanda na DRC kule Angola wikendi hii, pia vijana kujituma ili kufanya kazi kujikimu kimaisha

Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio na habari juma lote ikiwemo COP29

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 15, 2024 10:09

Madu huru zilizoangaziwa na wasikilizaji wetu wiki hii

Habari RFI-Ki
Maoni ya wasikilizaji kuhusu matukio na habari juma lote ikiwemo COP29

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 15, 2024 10:09

Madu huru zilizoangaziwa na wasikilizaji wetu wiki hii

Radio Maria Tanzania
Je, ni kweli wakati wa Kwaresima & Majilio hatutumii Ubani?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 22, 2024 58:54

Karibu ungane nami Patrick Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa tukiwa na  Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba akijibu maswali mbalimbali ya Wasikilizaji kutokana na mada alizofundisha katika vipindi vya nyuma, moja ya swali linalojibiwa ni Je, ni kweli wakati wa Kwaresima & Majilio hatutumii Ubani? L'articolo Je, ni kweli wakati wa Kwaresima & Majilio hatutumii Ubani? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, Abate na Askofu nani mkubwa katika Kanisa Katoliki?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 22, 2024 56:23

Karibu ungane nami Patrick Tibanga katika kipindi cha Historia ya Kanisa tukiwa na  Mhashamu Method Kilaini, Askofu Msaidizi Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba akijibu maswali mbalimbali ya Wasikilizaji kutokana na mada alizofundisha katika vipindi vya nyuma, moja ya swali linalojibiwa ni Je, Abate na Askofu nani mkubwa katika Kanisa Katoliki? L'articolo Je, Abate na Askofu nani mkubwa katika Kanisa Katoliki? proviene da Radio Maria.

VOA Express - Voice of America
Wasikilizaji waeleza namna wanavyoendelea kusherehekea Eid, kutoka sehemu mbali mbali. - Aprili 10, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 10, 2024 29:58

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

VOA Express - Voice of America
Wasikilizaji wazungmzia namna mwezi mtukufu wa Ramadan ilivyokuwa mwaka huu, na matarajio yao baada ya kufungua. - Aprili 09, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 9, 2024 29:59

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

VOA Express - Voice of America
Siju ya Kimataifa ya Lugha Asili yaadhimishwa Jumanne kote duniani, wakati baadhi ya wasikilizaji wakitoa maoni yao. - Februari 21, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 21, 2024 29:59

VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.

Jioni - Voice of America
Wachambuzi na wasikilizaji watoa maoni kuhusu ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Marekani barani Afrika - Januari 26, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 26, 2024 59:57

Habari RFI-Ki
Marekani yatangaza usitishwaji vita wa saa 72 kati ya waasi wa M23 na jeshi la FARDC nchini DRC

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Dec 13, 2023 9:49

Marekani imetangaza usitishwaji vita wa saa 72, uliokubaliwa na pande zinazopigana mashariki mwa DRC.Ukumbuke kuwa Novemba mwaka jana makubaliano mengine ya kusitisha mapigano yalipitishwa kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa FARDC.Wasikilizaji wetu wanawaza nini kuhusu usitishaji wa vita hivi punde,je  utadumu? Hebu sikiliza 

Wasikilizaji wa RFI Kiswahili watoa mada huru

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 20, 2023 10:13

Ni mada huru ambapo wasikilizaji wetu kutoka kila kona ya dunia wamezungumzia kuhusu habari mbali mbali walizosikia katika matangazo yetu ya juma hili.

Wachambuzi na wasikilizaji watao maoni kuhusu mapinduzi yanayoibuka katika nchi za Afrika magharibi na kati - Septemba 01, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 1, 2023 59:59

afrika katika nchi magharibi septemba wasikilizaji
Jioni - Voice of America
Maoni ya wachambuzi na wasikilizaji kuhusu uchaguzi mkuu wa Zimbabwe unaofanyika Agosti 23 - Agosti 18, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 18, 2023 59:59

zimbabwe agosti mkuu uchaguzi mkuu wasikilizaji
Alfajiri - Voice of America
Kituo kimoja cha redio nchini Kenya cha Ghetto radio kimewavutia wasikilizaji wake wanaowafuatilia kwa kutangaza lugha ya mtaani ya “Sheng” - Julai 05, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 5, 2023 29:59

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Habari za UN
Redio Ngoma ya Amani inachangia utunzaji wa amani hapa mashariki mwa DRC - Wasikilizaji

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 13, 2023 0:04

Katika Siku ya Redio Duniani mwaka huu wa 2023, UNESCO inaangazia redio huru kama nguzo ya kujenga amani na kuzuia migogoro. Redio inatazamwa kama chombo muhimu na sehemu muhimu ya kutunza amani. Redio hushughulikia visababishi na vichochezi vya migogoro, kabla hazijaweza kulipuka na kuwa vurugu. Inatoa mbinu mbadala ya kuzuia migogoro, au migongano ya maslahi, kuondoa kutoelewana, na kutambua masuala ya kutoaminiana. Hii inaweza kusaidia kukabiliana na chuki, hamu ya kulipiza kisasi, au nia ya kutumia silaha. Na sasa hii leo dunia ikiadhimisha siku hii ya Redio Duniani, mwandishi wetu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Byobe Malenga anaangazia Redio Ngoma ya Amani, kituo cha redio cha mjini Fizi jimboni Kivu Kusini kinachohamasisha amani hususani katika maeneo ya mashariki mwa DRC. 

unesco drc hii hapa ngoma jamhuri mashariki redio kidemokrasia wasikilizaji
Habari RFI-Ki
Maoni ya wasikilizaji kuhusu mapinduzi katika ukanda wa Afrika Magharibi

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 6, 2022 9:45

Burkinafaso imeshuhudia mapinduzi ya kijeshi mara mbili mfululizo kwa kipindi kisichozidi mwaka mmoja, na kushuhudia kiongozi wa kijeshi Paul Henri Damiba akipinduliwa.Unafkiri mapinduzi haya ya kijeshi yanauwa demokrasia katika nchi za Afrika Magharibi ?Nini mchango wa jumuiya ya kimataifa katika kukomesha matukio kama haya ya mapinduzi ?

Muziki Ijumaa
Muziki kuwafurahisha wasikilizaji wetu

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Apr 16, 2022 10:04

Karibu kujiunga na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka katika makala hii inayosisimua na kukuletea uhondo wa muziki wa kizazi kipya; nafasi kwako msikilizaji kuuomba wimbo unaoupenda. Karibu pata vionjo.

karibu muziki wasikilizaji

Burudani ya muziki kutoka kwa wasikilizaji

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Mar 18, 2022 10:13

Msikilizaji unapata nafasi ya kusikiliza kibao cha muziki ulichokiomba kwenye makala haya kila Ijumaa.Karibu sana.

Muziki ijumaa kutoka kwa wasikilizaji kila kona ya dunia

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Sep 10, 2021 10:10

Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni

Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Muziki ijumaa kutoka kwa wasikilizaji kila kona ya dunia

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Sep 10, 2021 10:10

Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni

Muziki Ijumaa
Burudani ya Muziki kutoka chaguo la wasikilizaji na Ali Blali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jun 29, 2021 9:59

Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali amekukusanyia chaguo la muziki kutoka kwa waskilizaji wa RFI Kiswahili. Burudika nasi usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali https://www.instagram.com/billy_bilali/@billy_bilali

makala muziki wasikilizaji ali bilali
Muziki Ijumaa
Muziki Ijumaa - Burudani ya Muziki kutoka chaguo la wasikilizaji na Ali Blali

Muziki Ijumaa

Play Episode Listen Later Jun 29, 2021 9:59

Makala haya ya Muziki Ijumaa Juma hili, Ali Bilali amekukusanyia chaguo la muziki kutoka kwa waskilizaji wa RFI Kiswahili. Burudika nasi usikosi pia kutufollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali https://www.instagram.com/billy_bilali/@billy_bilali

makala muziki wasikilizaji ali bilali
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Mashirika ya kibinadamu yajibu maswali ya wasikilizaji

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jun 7, 2021 10:02

Wakati waziri mkuu wa DRC Jean Michel Sama Lukonde akitangaza kuwa serikali yake imeruhusu kwamba sasa wakaazi waliokimbia makazi yao wanaweza kurejelea nyumba zao katika mji wa Goma baada ya kukimbia mji huo kufuatia mlipuko wa mlima wa moto wa Volkano Nyiragongo; mashirika ya kibinadamu likiwemo shirika la ulinzi wa raia pamoja na madaktari wa dunia, MDM huko Goma wamejibu baadhi ya maswali ya wasikilizaji wetu  Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi

goma mdm wakati habari maswali mashirika wasikilizaji
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Wasikilizaji wa RFI Kiswahili wazungumzia mada huru

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jun 5, 2021 10:05

Kila ijumaa tunakupa nafasi ya kujieleza katika makala ya Habari rafiki na wengi baadhi yenu mmezungumzia kuhusu kwa nini mauaji yanaendelea mashariki mwa jamhuri a kidemokrasia ya Congo huku Mkiitaka serikali kuchukua hatua ili kumaliza na kuyatokomeza makundi ya waasi mashariki mwa nchi hiyo.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Jean-Pierre Bemba areje DRC kwa Kishindo

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jun 27, 2019 10:01

Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Wasikilizaji wa Rfi Kiswahili kuhusu kurejea DRC Kwa Makamu wa zamani wa Rais wa nchi hiyo Jean-Pierre Bemba.

rais makala habari ungana jean pierre bemba wasikilizaji steven mumbi
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Mvutano wa Wagombea Urais nchini Nigeria pamoja na Senegal waendelea kujitokeza

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Feb 26, 2019 10:01

Ungana na Steven Mumbi akizungumza na Wasikilizaji kupata mitizamo yao baada ya Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria kutangaza matokeo ya awali huku Mgombea wa Upinzani PDP akipinga nako Nchini Senegal Mgombea wa chama Tawala ajitangaza Mshindi.

nigeria senegal tume pamoja habari urais uchaguzi ungana tawala wasikilizaji steven mumbi
Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 12 – Barua za Wasikilizaji

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Aug 25, 2009 14:57

Endapo kuna jambo usilolijua, ni bora kuuliza. Mwalimu anajibu maswali yaliyoletwa na wasikilizaji wa Radio D kuhusu matukio yaliyopita. Wasikilizaji wanauliza na mwalimu anajibu kila swali kwa kina. Hii ni fursa nzuri kwa wasikilizaji kutafakari taarifa, kupanua ufahamu wao au kuuliza lolote ambalo tangu hapo walinuia kuuliza. Sikiliza maswali haya ya wasikilizaji na majibu ya mwalimu kwa kila swali. Je kiwakilishi gani kinafaa kutumika na kitumike katika hali gani? Wakati gani nitatumia "du" au "Sie"? Wakati gani ninapaswa kutumia jina la kuzaliwa au jina la ukoo? Nini maana ya vishirikishi kama vile "denn", "doch", na "eigentlich"? Nini tofauti kati ya "nicht" na "nichts"?

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Tukio 20 – Uchunguzi wa Wasikilizaji

Radio D 1 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle

Play Episode Listen Later Aug 25, 2009 14:53

Paula na Philipp wanawataka wasikilizaji kutoa maoni yao. Mada ya kipindi ni, "Je kusema uongo ni dhambi?" Wasikilizaji wanaweza kutoa maoni yao kuhusu maduara bandia ya mimea na tabia ya wakulima. "Je kusema uongo ni dhambi?" Paula na Philipp wanawauliza wasikilizaji. Swali hilo limetokana na matukio kwenye shamba la mahindi ambayo waandishi habari hao waliyatangaza. Je wakulima walaumiwe kwa vitendo vyao au watalii wanapaswa kujilaumu wenyewe kwa ujinga wao? Wasikilizaji wanaeleza mambo kinagaubaga. Tofauti na waandishi habari ambao wanauliza wasikilizaji maswali ya kujibu "ndiyo" au "la", mwalimu anatoa jukumu lenye uwezekano wa kushughulikiwa kwa jinsi tatu. Nomino za kijerumani zimo katika jinsia tatu: jinsia ya kiume, jinsia ya kike au bila jinsia. Haya yameelezwa katika tukio hilo pamoja na matumizi ya vidhihirisho "der," "die" na "das."

philipp haya radio d tukio wasikilizaji