POPULARITY
Nchini Gabon, kiongozi wa kijeshi jenerali Brice Oligui Nguema ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi wa mwezi ujao, baada ya kutwaa madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi ya 2023.Hili linajiri wakati huu viongozi wengine wa kijeshi kwenye nchi za Burkina Faso, Mali na Niger wakielekea kuchukua mkondo huo.
Nchini Gabon, kiongozi wa kijeshi jenerali Brice Oligui Nguema ametangaza kuwa atagombea urais katika uchaguzi wa mwezi ujao, baada ya kutwaa madaraka kupitia mapinduzi ya kijeshi ya 2023.Hili linajiri wakati huu viongozi wengine wa kijeshi kwenye nchi za Burkina Faso, Mali na Niger wakielekea kuchukua mkondo huo.
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Tanzania kumulika siku ya redio duniani, maudhui yakiwa Radio na Tabianchi, na ni kwa vipi chombo kinachodaiwa kutwamishwa na maendeleo ya teknolojia kinaendelea kusaidia kuelimisha umma kuhusu madhara ya mabadiliko ya tabianchi, Teonas Aswile wa TBC Taifa nchini Tanzania anaeleza.Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambapo hali inazidi kuwa tete na leo Mkurugenzi Mtendaji wa shirkika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, Catherine Russell, ameelezea wasiwasi mkubwa kuhusu kuongezeka kwa ghasia mashariki mwa mwa nchi hiyo katika majimbo ya Kivu Kaskazini na Kivu Kusini, ambapo watoto na familia wanakabiliwa na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu.Naibu mkuu wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masiala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA nchini Sudan Edmore Tondhlana akizungumza na UN News amesema hali nchini Sudan inaendelea kuwa janga la kibinadamu wakati vita ikishika kasi na watu wakiendelea kufurushwa makwao. Amesema "Tunashuhudia hali ambapo Sudan ina mahitaji ya kibinadamu yaliyo miongoni mwa makubwa zaidi duniani. Takriban watu milioni 30 wanahitaji msaada wa kibinadamu. Hili ni ongezeko la takriban watu milioni tano zaidi ikilinganishwa na mwaka uliopita, pia, Sudan ina idadi kubwa zaidi ya watu waliopoteza makazi yao.Na leo ni siku ya Redio Duniani mwaka huu ikibeba maudhui Redio na mabadiliko ya tabianchi. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO lengo la maudhui haya ni kudhihirisha jukumu la redio katika kusambaza ujumbe na kuelimisha kuhusu changamoto za mabadiliko ya tabianchi, kutanabaisha kuhusu hatua endelevu na kuwapa sauti wanaharakati wa mabadiliko ya tabianchi.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo fursa ni yake mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana za neno “MSUMBI”.Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
Sekta ya mitumba inauwezo wa kuchangia mabilioni ya fedha katika mapato ya taifa, pamoja na kutoa maelfu ya ajira katika mataifa ya bara Afrika na ulaya. Kulinga na utafiti wa Oxford Econimics mwaka uliopita; 2024, sekta ya mitumba pekee ina dhamani ya dola bilioni 8 na imetoa ajiri ya idadi ya zaidi laki moja na elfu 60 kwa vijana nchini Msumbiji, Ghana na Kenya.Lakini hata hivyo wanaharakati wa mazingira wanasema baadhi ya nguo hizo za mitumba zinazoletwa Afrika zinachangia katika uchafuzi wa mazingira.Hili kufahamu Zaidi mwandishi wetu George Ajowi alizuru soko la Gikomba na kutuandalia makala yafuatayo .
RFI Kiswahili kila siku ya Ijumaa inakupa nafasi ewe msikilizaji wetu kuchangia mada yeyote uliyoiskia kwenye habari zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Haya ndio maoni ya waskilizaji wetu juma hili.
RFI Kiswahili kila siku ya Ijumaa inakupa nafasi ewe msikilizaji wetu kuchangia mada yeyote uliyoiskia kwenye habari zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Haya ndio maoni ya waskilizaji wetu juma hili.
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Haya ni maoni ya waskilizaji wetu juma hili.
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Haya ni maoni ya waskilizaji wetu juma hili.
Hii leo jaridani tunaangazia mashambulizi ya kutisha ya kingono nchini Sudan, na mafunzo ya kidijitali. Makala na mashinani tunakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kulikoni?Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa kutafuta ukweli nchini Sudan, leo Septemba 6 jijini Geneva, Uswisi, wametoa wito wa kuwekwa vikwazo vya silaha kote nchini Sudan kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili kama vile mashambulizi ya kutisha ya kingono.Uhusiano kati ya teknolojia, elimu, na mabadiliko ya tabianchi ni upi? Hili ndilo limekuwa swala kuu katika mkutano wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) uliopewa jina la Wiki ya Kujifunza kwa Kidijitali au Digital Learning Week uliokamilika jana Alhamisi huko Paris Ufaransa. Mkutano huu uliangazia maswala nyeti ya mchango wa teknolojia katika elimu inayolenga maendeleo.Makala tunaelekea DRC ambako George Musubao, Mwandishi wetu wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC akizungumza na Mkuu wa kikosi cha kujibu mashambulizi, FIB cha ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini DRC-MONUSCO anayemaliza muda wake mwezi huu baada ya kuhudumu kwa mwaka mmoja Brigedia Jenerali Alfred Matambo. Brigedia Jenerali Matambo anaanza kwa kuzungumzia matokeo ya moja ya operesheni kubwa za kijeshi 15 walizotekeleza dhidi ya makundi yenye silaha likiwemo la CODECO.Na katika mashinani, Daktari Erick Mashimango aliyeko nchini DRC anatueleza kuwa kuenea kwa ugonjwa wa mpox kwa kasi nchini humo ambako kumegharimu maisha ya ziadi ya watu 600 kumewafanya wananchi kuwa tayari kupokea chanjo.Mwenyeji wako ni Assumpta, karibu!
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia chochote kile ambacho umeskia kwenye matangazo yetu au yale yanayoendelea hapo uliopo. Juma hili waskilizaji wetu walikuwa na maoni mseto kuhusu matukio yanayoendelea kushuhudiwa duniani. Kufahamu mengi skiza makala haya.
Kila Ijumaa rfi kiswahili inakupa nafasi kuchangia chochote kile ambacho umeskia kwenye matangazo yetu au yale yanayoendelea hapo uliopo. Juma hili waskilizaji wetu walikuwa na maoni mseto kuhusu matukio yanayoendelea kushuhudiwa duniani. Kufahamu mengi skiza makala haya.
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote ile kuhusiana na taarifa zetu au kile kinachoendelea pale ulipo. Juma hili waskilizaji walikuwa na kauli hii.
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote ile kuhusiana na taarifa zetu au kile kinachoendelea pale ulipo. Juma hili waskilizaji walikuwa na kauli hii.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Explicit content! Only recommended for listeners 18 and older. Buckle up for another crazy ride this week as we continue our way down a 3 part mini series. We're diving back into goblins also known as tokoloshe, tikoloshe, and hili. We will also be going over documented accounts of reported sightings in Zimbabwe. Click here for merch sites, patreon site, website, to donate, and join me on social media!Sources:https://www.newworldencyclopedia.org/entry/Goblin https://www.paranormalpopculture.com/2014/01/police-in-zimbabwe-recently-terrified.html https://metro.co.uk/2014/01/23/goblin-in-suitcase-is-this-the-most-bizarre-story-ever-4274301/ https://www.coasttocoastam.com/article/goblins-terrify-cops-in-zimbabwe/ https://iharare.com/meet-the-zim-sangoma-who-married-12-wives-fathered-100-children-from-selling-goblins/ https://www.theapricity.com/forum/archive/index.php/t-208277.html https://www.upi.com/Odd_News/2014/09/10/26-Zimbabwe-women-wake-to-find-panties-stolen/7711410361310/ https://www.strangehistory.net/2012/08/16/panty-stealing-zimbabwean-goblin/Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/cryptids-creeps-and-conspiracy--6041412/support.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Kila siku ya Ijumaa una uhuru wa kuchangia mada mbalimbali kwenye makala ya Habari Rafiki, ndani ya rfi kiswahili. Haya hapa maoni ya baadhi yenu.
Kila siku ya Ijumaa una uhuru wa kuchangia mada mbalimbali kwenye makala ya Habari Rafiki, ndani ya rfi kiswahili. Haya hapa maoni ya baadhi yenu.
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote inayokuhusu au ile umeskia katika taarifa zetu.
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote inayokuhusu au ile umeskia katika taarifa zetu.
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote inayokuhusu au ile umeskia katika taarifa zetu. Haya hapa maoni yako kuhusu matangazo yetu juma hili.
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote inayokuhusu au ile umeskia katika taarifa zetu. Haya hapa maoni yako kuhusu matangazo yetu juma hili.
Kila siku ya Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote unayopenda kuhusu taarifa zetu au kile kinaendelea pale ulipo. Juma hili tumekuwa na maoni chanya hasi kuhusu maswala mbali ya yale yanayoendelea duniani.Skiza makala haya.
Kila siku ya Ijumaa rfi Kiswahili inakupa nafasi kuchangia mada yoyote unayopenda kuhusu taarifa zetu au kile kinaendelea pale ulipo. Juma hili tumekuwa na maoni chanya hasi kuhusu maswala mbali ya yale yanayoendelea duniani.Skiza makala haya.
Radio International - The Ultimate Eurovision Experience is broadcast from Malta's Radio 105FM on Tuesday evenings from 2100 - 0059 hours CET. The show is also broadcast on SWITCH Radio Essex in the United Kingdom live on Wednesday evenings from 1900 - 2300 hours CET as well as on the Facebook Page of Eurovision Radio International with an interactive chatroom. AT A GLANCE - ON THE SHOW THIS WEEK Interview with Sudden Lights (Latvia 2023, Liverpool) Interview with Theodor Andrei (Romania 2023, Liverpool) Interview with Ryan Hili (Malta Eurovision Song Contest 2023) An Hour of Eurovision Summer Dance Hits compiled by Rafael Vivas from Venezuela Eurovision Spotlight: The Eurovision Summer - Double 3s with Eurovision Lordship Marcus Keppel-Palmer Eurovision News with Nick van Lith from www.escXtra.com Eurovision Birthday File with David Mann Eurovision Cover Spot with David Mann Eurovision Calendar with Javier Leal Your music requests New Music Releases by Eurovision Artists Through the Summer 2023 with Radio International - The Ultimate Eurovision Experience: The Eurovision Song Contest 2023 was staged in Liverpool last May with Sweden's Loreen winning the contest for a second time after her victory in 2012 with the song "Euphoria". Her winning song for 2023 is "Tattoo". Radio International has still a number of interviews from the contest and the pre-events which will be shared during the next few summer weeks of 2023. Let's Dance: Since it is the Summer of 2023 there is a special hour filled with as many Eurovision dance hits as possible as compiled by Rafael Vivas who is a keen listener to the show from Venezuela. Sudden Lights (Latvia 2023) with JP This week we have interview clips with Sudden Lights (Latvia 2023) and Theodor Andrei (Romania 2023) and from the Malta Eurovision Song Contest 2023 there is short interview with Ryan Hili who was the Runner Up to the Busker. Also JP will be joined by David Mann for the Eurovision Birthday File and Eurovision Coverspot. The Eurovision News courtesy of escXtra.com with Nick van Lith. The Eurovision Spotlight is presented by Ross Bennett as the series continues through the summer of 2023 - the Double 3s. Then there will be some of the great new releases of Eurovision artists are on the show as well as great Eurovision Classics. Javier will be updating us on the upcoming Eurovision events in his Eurovision Calendar. The Radio International Interview Hall of Fame: During the Interview Sessions Radio International takes photos and videos which you can find on the Radio International Interview Hall of Fame 2020 and 2021. To view the photos done during the interviews - click here - for the Radio International Hall of Fame Photo Album. This is the Hall of Fame: Dana, Charlotte Perrelli, Linda Martin, Niamh Kavanagh, Katrina of Katrina and the Waves, Charlie McGettigan, Emmelie de Forest, Anabel Conde, Scott Fitzgerald, Eldar of Ell and Nikki, Sanna Nielsen, Hera Björk, Bojana Stamenov, Deen, Lina Hedlund and Andreas Lundstedt from Alcazar, Poli Genova, Ira Losco, Jan Johansen Nicki French, Debbie Scerri, Rasmussen, Senhit, Rainer from Wind, Jalisse, Maja Keuc (Amaya),Thomas Forstner, Lisa Andreas, Esther Hart, Vanilla Ninja, Maja Keuc (Amaya), Sibel Tüzün, Sidsel Ben Semmane, Monika Linkyte, Boggie, Emilija Kokic of Riva (Yugoslavia 1989), Intelligent Music Project (Bulgaria 2022), Mia Dimsic (Croatia 2022), Andrea (North Macedonia 2022), Brooke Scullion (Ireland 2022), Citi Zeni (Latvia 2022), Ochman (Poland 2022), Anna Bergendahl, The Roop, Tim Schou of A Friend in London, Bilal of NorthKid, Cyan Kicks, Justs, James Newman, Serhat, Vanessa Amarosi, Lesley Roy, Brooke, Franklin, Martina Majerle of Quartissimo, Miriam Christine, Claudia Faniello, Fabrizio Faniello, Chanel, Jordan Ravi, Viorela Moraru, Mia Negovetic, Parvani Violet Vasil, Janice Mangion, Mariette, KEiiNO, Anett Kublin (Anett and Fredi), Tess Merkel, Glen Vella, Anton Ewald, Katrina Dimanta formerly of Aarzemnieki, ManuElla, Tusse, Blind Channel, Danny Saucedo, Jendrik, Tornike Kipiani, GO_A, Kurt Calleja, Rafał Brzozowski, Barbara Pravi, Fyr og Flamme, almost all artists from the Eurovision 2021 and 2022 class. Find out more details of how to tune in live - click here For full details of this week's Show Content and Play List - click here
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
2023 seçimlerinin kesin bir şekilde neticelendiği vakte kadar “Batılı” siyâsal iktidâr odaklarının kesin olarak Tayyip Erdoğan ve AK Parti karşıtı bir konumda olduğunu düşündüren çok sayıda emâre mevcuttu. Bilhassa Avrupa matbuatı, bâzıları düpedüz hakâret dâvâlarının mevzuu olacak kapak ve başlıklarla neşredildi. Muhtemelen Türkiye'de faaliyet gösteren Batılı sefirlikler, merkezlerine gönderdikleri bilgi notlarından başlayarak her nev'i raporlamada Erdoğan devrinin sonuna gelindiğini bildiriyorlardı. Bu değerlendirmeleri alan merkez kadroların zihinlerinde, bayağı bayağı bir post- Erdoğan devrinin senaryoları şekillenmeye başlamıştı. Neticeler ortaya çıkınca büyük bir şaşkınlık geçirmiş oldukları düşünülebilir. Ama onların şaşırmasına bizim de şaşırmamız gerekmiyor. Bu değerlendirmeleri muhtemelen kendilerine müzâhir gazetecilerden veyâ araştırma şirketlerinin verilerinden derliyorlardı. Bu mahreçlerde esen rûzigâr ise bir nev'i afyon yutmuşluğun rûzigârıydı. TV ve diğer medyâtik mahreçleri de hemen her gün bir araya geliyor, mütemâdiyen birbirlerinin sanrılarını büyütüyorlardı. Bu işin son derecede sârî olduğunu dikkâtten kaçırmamak gerekir. Nitekim onları tâkip eden ecnebî sefâret görevlileri de bu konuşmaları hakîkatin kendisi gibi alıyordu. Hâsılı anti-Erdoğan rahatsızlığı denilen kronik-endemik bir sorun pandemik bir mâhiyet kazanıyordu. Araştırma şirketlerinin “bilimsel” bulguları da bu manzarayı tamamlıyordu. Ne de olsa, Popper ustanın zikrettiği üzere bilimin yanlışlanabilirliği
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini (UNMISS) umefanya warsha za majadiliano katika mji wa Torit na Magwi mashariki mwa mji mkuu Juba jimboni Equatorial Mashariki ili kujadili kuhusu utungaji katiba na michakato ya uchaguzi.Sudan Kusini kwa sasa inatayarisha katiba yake ya kudumu ambayo si tu ni muhimu bali pia ni sharti la kufanya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo uliopangwa kufanyika mwakani, 2024. Makundi mbalimbali ya kijamii yaliyoshiriki katika majadiliano haya yaliyoratibiwa na UNMISS ni pamoja na wanawake, vijana, waliorejea kutoka ukimbizini, wakimbizi wa ndani, na viongozi wa kimila. Jessica Kalmas, mkimbizi aliyerejea ambaye sasa ni Msemaji wa Umoja wa Vijana, Equatoria Mashariki anasema, “Kunapaswa kuwa na uzingatiaji wanaorejea. Pia, suala la ukatili wa majumbani na kijinsia likomeshwe. Hili pia lijumuishwe kwenye katiba ya kudumu.”Masuala ambayo washiriki wameyapa uzito katika majadiliano yao ni nafasi sawa kwa wanawake katika maisha ya umma, kuhakikisha wasichana wote wana haki ya kupata elimu, na kukomesha desturi ya ndoa za kulazimishwa au za utotoni. Angel Omex, Mwanafunzi ni Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Sudan Kusini anaeleza, “Nimehudhuria huu mchakato wa kutengeneza katiba, na nina furaha kuwa sehemu yake. Na, kulingana na maoni yangu binafsi nadhani kinachopaswa kujumuishwa katika mchakato wa kutengeneza katiba ya kudumu ni suala la asilimia 35 ya jinsia. Wanawake wanatakiwa kupewa asilimia 35. Haifai kuwa kusema tu bali inapaswa kutekelezwa. Na sio tu kwamba wanaorejea kutoka ukimbizini ni muhimu sana, lakini pia wanapaswa kurejeshwa katika jamii na kusajiliwa.”Kwa pamoja, waliohudhuria walifikia mapendekezo kuhusiana na katiba ya kudumu na uchaguzi unaofuata, ikiwa ni pamoja na ushiriki wenye nguvu Zaidi wa vijana. UNMISS inashirikiana na mamlaka za serikali na Mashirika ya Umoja wa Mataifa, Fedha na Mipango ili kuandaa warsha kama hizo kote Sudan Kusini.
In this episode of Rule Breaker, Style Maker, Lauren welcomes guest fashion designer Godwin Hili of Godwin Charli. Godwin's upbringing and success story is remarkable: he explores themes of bullying, resilience, society and sexuality, passion and the importance of self care. Follow us on Instagram: @australianstyleinstitute & @laurendibartolo Follow Godwin Hili: @godwinhili & @godwincharli
Athari wa Uviko19 na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, zimesababisha mataifa mengi ya Afrika kushindwa kulipa madeni yake kwa wakati, ambapo hadi kufikia sasa nchi zenye kipato cha chini karibu 22 tayari zinashindwa kulipa madeni yake au zinaelekea kushindwa. Kwa mujibu wa IMF na benki ya dunia, Afrika inadaiwa karibu dola za Marekani bilioni 726 na wakopeshaji wa nje, huku sekta binafsi kutoka China ikiwa sehemu ya wakopeshaji wakubwa kwasasa barani Afrika.Hali hii imezifanya nchi nyingi, kuomba kusamehewa baadhi ya madeni au kufanyika upya kwa utaratibu wa ulipaji.Lakin je Madeni haya ni kwakiasi gani yataendelea kuzikwamisha nchi masikini kupiga hatua?Hili ndilo tunalokwenda kulitazama hivi leo kwenye Makala ya Gurudumu la uchumi na Emmanuel Makundi.Kujadili hili kwenye line ya simu tutakuwa na Johnson Denge, mchambuzi na mtaalamu wa uchumi akiwa Kenya, lakini kabla ya kumsikia, tusikie kile katibu mkuu wa umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, alikisema wakati wa viongozi wa umoja wa Afrika juma lililopita.
Athari wa Uviko19 na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, zimesababisha mataifa mengi ya Afrika kushindwa kulipa madeni yake kwa wakati, ambapo hadi kufikia sasa nchi zenye kipato cha chini karibu 22 tayari zinashindwa kulipa madeni yake au zinaelekea kushindwa. Kwa mujibu wa IMF na benki ya dunia, Afrika inadaiwa karibu dola za Marekani bilioni 726 na wakopeshaji wa nje, huku sekta binafsi kutoka China ikiwa sehemu ya wakopeshaji wakubwa kwasasa barani Afrika.Hali hii imezifanya nchi nyingi, kuomba kusamehewa baadhi ya madeni au kufanyika upya kwa utaratibu wa ulipaji.Lakin je Madeni haya ni kwakiasi gani yataendelea kuzikwamisha nchi masikini kupiga hatua?Hili ndilo tunalokwenda kulitazama hivi leo kwenye Makala ya Gurudumu la uchumi na Emmanuel Makundi.Kujadili hili kwenye line ya simu tutakuwa na Johnson Denge, mchambuzi na mtaalamu wa uchumi akiwa Kenya, lakini kabla ya kumsikia, tusikie kile katibu mkuu wa umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, alikisema wakati wa viongozi wa umoja wa Afrika juma lililopita.
Mwishoni mwa mwezi huu wa Februari tarehe 24, utatimia mwaka mmoja tangu uvamizi wa sasa wa Urusi kwa Ukraine. Nchini Ukraine, moja ya sekta zilizoathiriwa sana na vita hii ni kilimo Anold Kayanda anamwangazia mkulima mmoja katika mkoa wa Odesa kusini magharibi mwa nchi.“Mkasa huu mbaya ulioikumba nchi yetu umeathiri nyanja zote za kilimo”, ni mkulima Volodymry Varbanet akishika mbegu za alizeti alizozalisha na anaongeza akisema, “shughuli zote za kilimo zilichelewa kwa sababu hatukuweza kwa wakati kuuza mazao yetu ya kutoka mwaka jana.” Mkulima huyu akionekena mwenye masikitiko anatembea katika shamba lake kwa masikitiko anasema kwamba walipanda alizeti, shayiri na ngano lakini vyote imekuwa hasara kutokana na vita baada ya Urusi kuamuru majeshiyake kuishambulia Ukraine tarehe 24 Februari mwaka jana 2022.“Hili ni shamba la hekta 10 ambapo tulipanda mbegu za alizeti. Watu wanaogopa kuja kazini. Kombora limeanguka kilomita 15 kutoka eneo hili hivi karibuni. Kombora jingine ambalo liliharibiwa angani lilianguka kwenye kiwanja upande mwingine kama kilomita 10 au 12 kutoka hapa.”Ingawa chini ya makubaliano yaliyosimamiwa na Umoja wa Mataifa, wakulima wa Ukraine wanaweza sasa kusafirisha mazao yao kupitia katika bahari nyeusi kwenda katika eneo jingine la ulimwengu ikiwemo Afrika, kwa Volodymry ndoto yake ni moja tu,“Nina ndoto moja tu hivi sasa kama walivyo raia wengine wa Ukraine na wakulima wa Ukraine. Ninatamani vita hii ifike mwisho mapema iwezekanavyo. Ninafikiri kila kitu kitakuwa sawa.”
Will Gowing speaks to scientist and founder of Nourish London Skincare, Dr Pauline Hili. Dr Pauline talks about how she came to work in the world of skincare following an initial chapter in the brewing industry and the powerful ingredients that are used to formulate Nourish London Skincare.
In the first story, the Rajah gets mad that his son is hanging out with another boy, so he gets a woman to come between them. Then the Vizier's son is killed because the Rajah's son got all jealous. But then he needed the Vizier's son to figure out a riddle, so he came back. Then in the second part of the story, the Rajah's son gets jealous all over again, and then there is a jail, some hot oil, and some crossdressing to get out of jail. It's quite a ride. Source: SIMLA VILLAGE TALES OR, FOLK TALES FROM THE HIMALAYAS BY ALICE ELIZABETH DRACOTT Narrator: Dustin Steichmann @StoriesSandman (twitter) Galas Music: Pyari Bhotliye II Chamba Dance II Republic Day Chamba II Studio84 Creative Commons Sounds: 20200125_07h16_HILI_plaine calme_Sennheiser Ambeo.wav by DelphineWil at freesound.org Podcast Shoutout: Smoke & Mirrors Rob, Triz and Dave (The Oues) run through weekly movie, TV and entertainment news. The Brothers review films, give their takes on the news as they work their way through the line up of cinema and TV in a fun and lighthearted chat format - all while vaping up a storm! Listener Shoutout: US Virgin Islands Photo Credit: "Dal Lake at Manimahesh (Lord Shiva's Abode), Chamba, Himachal Pradesh" by Munish Chandel is licensed under CC BY-NC-ND 2.0. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/sandman-stories/message
Mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi, COP27 ukiingia siku ya pili hii leo huko Sharm el-Sheikh nchini Misri Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewakumbusha viongozi wa dunia na wote wanaohudhuria mkutano huo kwamba suluhu ya changamoto ya mabadikio ya tabianchi iko mikononi mwao na wakati wa kuchukua hatua ni sasa kwani hakuna tena muda wa kusubiri. Flora Nducha na taarifa zaidi Akizungumza katika ufunguzi wa kikao cha viongozi wa ngazi ya juu cha utekelezaji kwenye mkutano huo Antonio Guterres amesema katika siku chache zijao idadi ya watu duniani itafikia bilioni 8 idadi ambayo inainaupa maana zaidi mkutano huu wa COP27 hasa katika kuchukua hatua zinazohitajika kuepuka zahma ya mabadiliko ya tabianchi “Mkutano huu wa mabadiliko ya tabianchi ni kumbusho kwamba jawabu liko mikononi mwetu na saa zinayoyoma tuko katika vita vya kufa na kupona na tunashindwa vita hiyo, gesi ya viwanda inazidi kuongezeka, kiwango cha joto duniani kimefurutu ada na kinaendelea kuongezeka , dunia inaelekea mwisho ambao utafanya mgogoro wa tabianchi usiweze kurekebishwa. Tuko kwenye barabara kuu ya kuelekea kuzimu kwa mabadiliko ya tabianchi huku mguu wetu ukiwa bado kwenye kiongeza kasi.” Ameonya kwamba mabadiliko ya tabianchi yako kwenye ratiba tofauti, na kiwango tofauti na wa kulaumiwa ni sisi wenyewe kwani shughuli za binadamu ndio chanzo kikuu cha janga la mabadiliko ya tabianchi, hivyo hatua za binadamu lazima ziwe suluhu, hatua za kujenga upya matamanio na hatua za kujenga imani hususani kati ya Kaskazini na Kusini. Amesisitiza kwamba sayansi iko bayana ili kuhakikisha nyuzi joto duniani inasalia nyuzi 1.5 ni lazima kufikia lengo la kukomesha kabisa uzalishaji hewa ukaa ifikapo 2050. Hata hivyo hivi sasa amesema lengo hilo liko kwenye njiapanda “Na ili kuepuka hali hiyo mbaya, nchi zote za G20 lazima ziharakishe mabadiliko yao sasa katika muongo huu. Nchi zilizoendelea lazima zishike usukani na nchi mbili zenye uchumi mkubwa zaidi Marekani na Uchina zina wajibu mahususi wa kuunganisha juhudi ili kufanikisha lengo hili. Hili ndilo tumaini letu pekee la kufikia malengo yetu ya mabadiliko ya tabianchi. Ubinadamu una chaguo kushirikiana au kuangamia. Ni mshikamano kuhusu mabadiliko ya tabianchi au sote tuangamie.” Katibu Mkuu amesema athari za mabadiliko ya tabianchi tunazo sasa na hasara na uharibu zinazousababisha hauwezi tena kupuuzwa, kwa mantiki hiyo amesisitiza kwamba “Katika kushughulikia hasara na uharibifu, mkutano huu wa COP27 lazima ukubaliane juu ya ramani ya mwelekeo ilio bayana, iliyo na wakati unaoakisi ukubwa na uharaka wa changamoto hii. Ramani hiyo lazima itoe mipango madhubuti ya kitaasisi ya ufadhili. Habari njema ni kwamba tunajua la kufanya na tuna nyenzo za kifedha na kiteknolojia ili kukamilisha kazi hiyo. Ni wakati wa mataifa kushikamana kwa ajili ya utekelezaji. Ni wakati wa mshikamano wa kimataifa kila kona.” Pia ametoa wito wa kuhakikisha duniani kote kunakuwa na mifumo ya tahadhari ya mapema ya majanga katika miaka mitano ijayo na serikali kuongerza kodi katika uzalishaji wa mafuta kisukuku kwani amesema jambo moja lililo wazi ni kwamba wale watakaokata tamaa watapoteza katika vita hivi na kupoteza vita hivi sio chaguo ni lazima kuvishinda.
Join me in the LIMITLESS MINDSET MICROMOND If you've ever wondered about how to get featured in the press or how to gain press coverage, I have a very special guest for you today - the incredible Cassandra Hili. Cass is a publicist and personal branding coach and is the founder of boutique PR Agency Millenium Communications, as well as the recently launched DIY-style agency On Brand. Having built her own PR agency to multi-six figures through her personal branding strategies and being an ex-social media influencer, Cass understands the power that comes with a strong personal branding presence. In this episode, Cass shares with us what public relations (PR) is and the main differences between PR and digital advertising. She helps us understand how PR can be a tool to build your business for the longer term and the ways it can amplify what you're already doing in terms of online marketing and social media. Cass explains that one of the most important things about PR is that it keeps you relevant. She shares how PR builds instant credibility and trust and keeps you front of mind for your audience. My own experience with PR has been varied - I've done it myself and hired publicists to help, including, most recently, Cass! Within one week of working with Cass, I was featured in Forbes, which has been powerful in reinforcing my brand's influence. Make sure you listen all the way through, as Cass shares her top tips for getting featured in the press, including the research you need to do before approaching media outlets. You'll also learn how to talk to journalists, craft talking points, nail your pitch, and know when to follow up. I know you're going to love this conversion, it feels like an entire Masterclass in PR! LINKS: CONNECT WITH CASSANDRA HILI: Instagram: https://www.instagram.com/cassandra.hili Website: https://cassandrahili.com/ CONNECT WITH ME: Check out my Courses & Masterclasses Apply for 1:1 Business Coaching Check out my FREE Resources Send me a DM on Instagram
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuchangia mada yoyote ndani ya RFI kiswahili.
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuchangia mada yoyote ndani ya RFI kiswahili.
After a nice summer break we're back with our latest release. Greg Ochman keeps on producing astonishing records and 'Hili' is again taking our breaths away. With lush subtle sounds that breath warmth and love the English craftsman create a timeless organic house track. Add to the the catchy piano melody and special arp sounds and we have a record that will stand the test of time and will be played on many festivals to come. On remix duties we have three guys that each give their own interpretation to the original. Argentina based Valdovinos never sees to amaze and adds his recognizable organic sound, Tekniq from South Africa adds wonderful rhythms and gives extra attention to the piano and last but not least we have Germany based Skydrips who slows it down a bit and adds a tropical vibe to close off this release in the best way possible
Kila Ijumaa ndani ya makala Habari Rafiki sauti yako inaskika muskizaji kupitia mada huru.
Ni karne ya 21, na mapinduzi mengi sana ya kimaendeleo yametokea duniani na yanaendelea kutokea. Na tunajua kwamba ili tuweze kuendelea kuwa bora kama jamii na kamą wanadamu basi hatuna budi kuyakumbatia mapinduzi yenye tija na yenye kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu. Moja ya mapinduzi ambayo kama binadamu tumechelewa sana kuanza kuyapambania kwa nguvu zote ni mapinduzi juu ya usawa wa kijinsia. Hili ni jambo jema na lenye msingi wenye kuleta heri kwa jamii nzima. Lakini, ili mapinduzi haya yafanikiwe na yaweze kufikiwa malengo yanayopaswa kufikiwa basi ni lazima jinsia zote mbili ziweze kushiriki kikamilifu katika mchakato huu. Swali ambalo tunajiuliza leo kwa undani, ni je wanaume wanashiriki kikamilifu katika mapambano na mchakato wa kuleta haki sawa kwa jamii yetu? Kama wanashiriki, nini imekua mchango wao? Na kama hawashiriki, ni kitu gani kinazuia ushiriki wao kikamilifu? Hofu ya wanaume ni nini kwenye hili? Chimbuko la hofu hiyo ni nini? Na ni vipi tunaweza kumshirikisha mwanaume huyu kikamilifu kwenye hii safari? Sababu kiukweli kabisa, wanaume na wanawake wote wanahitajiana kwa ustawi bora wa jamii Rolland Malaba A.K.A Madenge amejadili swala hili kwa undani na kujaribu kuchanganua baadhi ya mambo akishirikiana na Michael Baruti pamoja na Nadia Ahmed. Karibu usikilize Sehemu ya kwanza ya maongezi haya
Hatimaye makubaliano ya kuruhusu meli zilizojaa shehena za nafaka kutoka nchini Ukraine zipite kwenye baharí nyeusi yamefikiwa hii leo huko Instanbul Uturuki baina ya Ukraine na Urusi yakishuhudiwa na katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ambaye amesema makubaliano hayo yameleta nuru kwa ulimwengu kupata ahueni kwenye be iza mazao ya chakula katika soko la kimataifa. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Leah Mushi Makubaliano haya ni nuru,nuru ya matumaini, nuru ya unafuu ambao ulimwengu unahitaji kuliko zaidi hivi sasa kuliko hapo awali. Napenda kuwatambua na kuwashukuru wote waliohusika mpaka kufanikisha hatua hii. Ndivyo alivyoanza hotuba yake Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres huko Instanbul Uturuki baada ya kushuhudia utiaji saini baina ya Ukraine na Urusi kuruhusu meli zenye shehena ya mazao na nafaka zilizokuwa zimekwama katika mandari za Odessa, Chernomorsk na Yuzhny huko bahari nyeusi upande wa Ukraine. Guterres amesema bila shaka haya ni makubaliano ya ulimwengu “Yataleta ahueni kwa nchi zinazoendelea ambazo zipo kwenye makali ya kufilisika na watu walio hatarini zaidi wanaokabiliwa na njaa Kali. Na yatasaidia kuleta utulivu wa bei za vyakula duiani ambazo tayari zilikuwa katika viwango vya rekodi mbaya hata kabla ya vita. Hili lilikuwa jinamizi la kweli kwa nchi zinazoendelea.” Mbali na kuzishukuru nchi hizo mbili, Guterres amemshukuru Rais wa Uturuki Recep Erdogan kwa kuwa mwenyeji wa makubaliano hayo ambaye pia nchi yake itakuwa na jukumu muhimu la kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika kufanya ukaguzi wa meli hizo za Ukraine ili zisibebe silaha za magendo wakati wa usafirishaji wa nafaka kwenda na zinaporejea kutoka katika soko la kimataifa. Mashirika mengine ya UN yaliyohusika na mchakato huo ni lile la Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya kibinadamu OCHA na Kamati ya Umoja wa Mataifa ya kibiashara na maendeleo UNCTAD. “Nipo hapa kuweka ahadi kamili kuwa Umoja wa Mataifa tutabakia kuwa wahusika wa karibu katika kufanyia kazi na kuhakikisha kuna mafanikio ya makubaliano haya. Tutaendelea kuongeza juhudi ili kuhakikisha UN iko katika nafasi nzuri ya kutekeleza ahadi zake. Ninavishukuru vikosi kazi vyote viwili vya Umoja wa Mataifa ambavyo vimetengeneza mkataba huu sawia, kwa uratibu thabiti.” Wakati huo huo Katibu Mkuu huyo wa Umoja wa Mataifa ametangaza kikosi kazi cha kuwezesha utekelezaji wa mpango wa baharí nyeusi kikiongozwa ma Katibu Mkuu wa UNCTAD Rebecca Grynspan kikijikita katika kuwezesha upatikanaji usiozuiliwa wa chakula na mbolea zinazotoka nchini Urusi kwenda kwenye soko la kimataifa ikiwa pia ni utekelezaji wa moja ya vifungu vya makubaliano wa mkataba huo uliosainiwa hii leo. “Nawaomba pande zote zisiache kipengele chochote na juhudi zozote za utelekezaji wa ahadi zao. Hatupaswi pia kuacha juhudi zozote kwa ajili ya amani, haya ni makubaliano ambayo hayajawahi kutokea kati ya pande mbili zinazohusika katika mzozo wa umwagaji damu” Katibu Mkuu Guterres alihitimisha hotuba yake kwakusema nuru ya matumaini imeng'aa katika baharí nyeusi ni matokeo chanya ya kuhudi za pamoja za washirika wengi na kuhimiza katika nyakati za misukosuko ya dunia, nuru hii itaangaza njia ya kuelekea katika kupunguza mateso yanayowasibu wanadamu na kupatikana kwa amani.
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
Afrika ni nyumba ya matumaini. Katika Siku ya Afrika, tunasherehekea ahadi kubwa na uwezo wa bara hili lenye utofauti na nguvu. Amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres katika ujumbe wake wa siku ya Afrika ambayo huadhimishwa kila tarehe 25 Mei.
Mugallymçylyk käriniň aňyrsynda uly bir iş we dürli pedagokiki usullar ýatyr. Mugallym diňe bir şahsyýetiň ýaşlykdan öz ugruna gadam basmagyna kömek etýän adam bolman, eýsem mugallym öz okuwçysynyň saýlan ýolunyň bir sebäbi hem bolup biler. Şu sözler bilen, podkastymyzyň bu sanynda, 24 ýyllap mugallymçylyga özüni beren Sylap Ataýew bilen gürrüňdeş bolarys. Bu sanymyzda Sylap Ataýew siz bilen mugallymçylyk, dumuş, ýaşlar we ylym-bilim barada öz pikirlerini paýlaşar.
In this episode, I will be telling you about the origin of the Tokolosh (Tokoloshe, Tikolosh, Hili, Gilikango). This creature terrifies South Africans till this day and from this story it is quite obvious why, I would be terrified too.If you have had any encounters or experiences with these stories, or if there are any other scary African stories you would like to hear, please send an email to africanhorrorpodcast@gmail.comKindle Unimited Free Trial (affiliate link): https://amzn.to/3vbcokmMusic: https://www.purple-planet.com
The Mountains, the Catskills, the Borscht Belt, upstate, the country. Monticello, Liberty, Woodridge, Swan Lake, Woodbourne, Fallsburg. A place of many names with one thing in common: a place rich in Jewish history and lore. As a summer destination, the Catskills would be home to countless bungalow colonies as city Jews organized their communities for a mountain air getaway. Generations of children attended the many summer camps that dotted Sullivan County. Camps included Mesivta, Agudah, Munk, HILI, Kol Rinah, Torah Vodaath, Ohr Shraga, Sternberg and many more including the Betar Jewish self defense camp where Vladimir Jabotinsky died in 1940. It was also famously known as the Borscht Belt, and the legendary hotels/resorts/country clubs like Grossinger's, Kutscher's and the Concord made their mark as vacation sites. Most Jewish comedians of the time commenced their careers there. In addition to the summer crowd, the Catskills were home to many year round Jewish communities over the years. These towns built shuls, mikvas, hired Rabbis and even Jewish owned farms burgeoned for a time. This included Yeshivas as well such as the Mountaindale Yeshiva of Rav Yehuda Davis and the famous Yeshiva of South Fallsburg. Subscribe To Our Podcast on: PodBean: https://jsoundbites.podbean.com/ Follow us on Twitter or Instagram at @Jsoundbites You can email Yehuda at yehuda@yehudageberer.com