POPULARITY
Karibu uungane nami Agatha Kisimba katika kipindi cha Katekisimu Katoliki shirikishi, leo tutakuwa naDeodatus Katunzi, Mkurugenzi wa Radio Mbiu Sauti ya Faraja Kagera akitufundisha juu ya Matumaini na Mama yetu Maria. L'articolo Fahamu sifa ya matumaini ya Bikira Maria. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Tumsifu Mama Maria, Mwezeshaji ni Padre Fabian Ngeleja, Paroko wa Parokia za Nyamanoro na Tarazo Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, anaendelea kufundisha juu ya uzuri wa Mama Maria, akiangazia uzuri namba tatu unaosema Bikira Mama shauri zuri la wanadamu. Mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu L'articolo Fahamu jinsi Mama Maria alivyo shauri zuri la wanadamu proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Padre Dominic Mavula C.PP.S na Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria, anaendelea kutoa mafundisho kuhusu kuufariji Moyo Mtakatifu. Mimi ni Esther Magai Hangu, ninakualika kwa niaba ya Padre Dominic. L'articolo Fahamu vipaumbele vinavyokusudiwa katika kuufariji Moyo Mtakatifu wa Yesu proviene da Radio Maria.
Karibu tuungane na jirani zetu Radio Tumaini katika kipindi Ijue Liturujia ya Kanisa Katoliki, Mwezeshaji ni Padre Dr. Clement Kihiyo Katibu mtendaji Idara ya Liturujia kutoka Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzaia (T.E.C) anafundisha kuhusu baraka ya wazazi kabla ya kuzaliwa watoto. Mtangazaji wako ni Valeria Mwalongo – studio za Radio Tumaini Msimamizi wa matangazo ni […] L'articolo Fahamu Baraka ya wazazi kabla ya kuzaliwa mtoto proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza akizungumzia juu ya masuala ya ndoa. L'articolo Fahamu umuhimu wa Sakramenti ya ndoa katika Kanisa Katoliki. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Tafakari ya Bikira Maria, leo tupo na Padre Gideon Kitamboya kutoka Parokia ya Mtakatifu Luka Mwinjili Hemba Hemba, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma akitufundisha juu ya Ibada ya Moyo Safi wa Bikira Maria. L'articolo Fahamu Ibada ya Moyo Safi wa Bikira Maria. proviene da Radio Maria.
Karibu kusikiliza kipindi cha Ijue Liturujia Takatifu ya Kanisa Katoliki, ambapo leo tupo na padre Clement Kihiyo, Katibu Mkuu Mtendaji wa Idara ya Liturujia Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), akizungumzia juu ya umuhimu wa baraka ya wachumba katika Kanisa Katoliki. L'articolo Fahamu umuhimu wa baraka ya wachumba katika Kanisa Katoliki proviene da Radio Maria.
Karibu katika Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa matangazo Radio Maria Tanzania anaendelea kufundisha juu ya mataji kumi ya Bikira Maria, anaangazia taji la saba fadhila ya ufukara. Ninayekualika kwa niaba ya Padre Dominic, mtangazaji wako ni Esther Magai Hangu. L'articolo Fahamu taji la fadhila ya ufukara la Mama Bikira Maria proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Esther Magai Hangu, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya Bikira Maria Mama wa Muhujaji wa Matumaini. L'articolo Fahamu namna gani Bikira Maria ni muhujaji wa matumaini. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Imani yetu, Mwezeshaji ni Padre Wojciech Adam Koscielniak, Paroko wa Parokia ya Kiabakari na Mhifadhi wa kituo cha kitaifa cha hija cha Huruma ya Mungu kiabakari, Jimbo Katoliki Musoma, akieleza ushuhuda wa Imani na nafasi ya Visakramenti katika maisha. L'articolo Fahamu nafasi ya Visakramenti katika maisha. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Mbiu ya heri, Mwezeshaji ni Frateri Yohane Makaya kutoka Seminari Kuu ya Kitaifa ya Familia Takatifu Mwendakulima, Jimbo Katoliki Kahama, akitufundisha juu ya maana na asili ya Biblia. L'articolo Fahamu maana na asili ya neno Biblia. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Esther Magai Hangu, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya Bikira Maria Mama wa Matumaini. L'articolo Fahamu namna matumaini yanapatikana kwa Bikira Maria. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Uraibu, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha Kutoka Jimbo Katoliki Moshi, akiendelea kutufundisha juu ya aina za watu na tabia zao. L'articolo Fahamu aina za watu na tabia zao. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), akizungumzia mchakato wa kumpata Papa mpya. L'articolo Fahamu mchakato wa kumpata Papa mpya. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu la Mwanza, akiendelea kutufundisha juu sifa 15 za akina mama na leo akifafanua kwa undani sifa ya 15. L'articolo Fahamu sifa 15 za akina mama katika Familia. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Fahamu wito wako, Mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Jimbo Kuu la Arusha, akizungumzia juu ya Ijimaa Kuu. L'articolo Ifahamu Liturujia ya Ijumaa Kuu. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro-Life utetezi wa Uhai, Wawezeshaji ni Antony Lihepa, Grace Shayo na Janeth Akkaro kutoka Pro-life Tanzania, wakiendelea kutufundisha juu ya Kwaresima na utetezi wa uhai. L'articolo Fahamu umuhimu wa Kwaresima katika utetezi wa uhai. proviene da Radio Maria.
Ungana nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, Mwezeshaji ni Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akiendelea kutufundisha juu ya sifa 15 za akina mama akielezea sifa namba 13, 14 na 15. L'articolo Fahamu sifa 15 za akina mama. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Tafakari Nasi, Studio nipo na Padre Innocent Nzaro wa Jimbo Katoliki Kigoma akitutafakarisha juu ya Misa Takatifu na nguvu ya msamaha. L'articolo Fahamu nguvu ya msamaha katika Misa Takatifu. proviene da Radio Maria.
Karibu katika Kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiwa nami Frateri Erasmo Kadi Kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Naomba kujua historia ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga. L'articolo Fahamu historia ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu, leo studio nipo na Bi. Esther Kinyonga, Benedict Kessy, Monica Kessy, George Mapunda, Katekista Revocatus Kinyonga, Katekista Gabriel Jimu na Federika Bayaga wakizungumzia juu ya plotio ya nyumba aminifu wakijikita zaidi katika miito mbalimbali. L'articolo Fahamu mchango wa Familia katika miito mitakatifu. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Usalama barabarani, kutoka Kituo cha Polisi Mabawa Tanga kitengo cha Usalama Barabarani, Mada ni Mfumo wa utoaji wa Leseni za Udereva pamoja na ukaguzi wa Magari kwa njia ya Mtandao.Wawezeshaji Sajenti Cleopa Msuya na Sajenti Hamisi Mbikikila. L'articolo Fahamu Utaratibu wa Utoaji wa Leseni za Udereva. proviene da Radio Maria.
Ungana nami Elizabeth Masanja, Katika Kipindi cha Katekisimu Shirikishi Katoliki Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania, leo tupo na Padre Dominic Mavula C.P.P.S Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria, akituongoza kujifunza Uhai wa Masakramenti ndani ya Familia. L'articolo Fahamu mbinu ya kupokea Masakramenti katika Familia. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Utume wa walei, Mwezeshaji ni Padre Vitalis Kasembo, Mkurugenzi wa Utume wa walei, Jimbo Kuu la Dar es salaam akizungumzia juu ya Kwaresima na Msalaba. L'articolo Fahamu umuhimu wa Kwaresima na Msalaba. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Judith Mpalanzi, katika kipindi cha Chakula na Lishe Mwezeshaji ni Bi. Nusura Salumu, Maafisa Lishe Watafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNS) mada Mbinu za upatikanaji wa Chakula mchanganyiko katika Familia. L'articolo Fahamu namna ya upatikanaji wa Chakula mchanganyiko katika Familia? proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro Life utetezi wa uhai, Wakufunzi wetu leo Wanazungumzia Nafasi ya Mwanamke katika Utetezi wa Uhai . L'articolo Fahamu nafasi ya Mwanamke katika Utetezi wa Uhai. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo nipo na Padre Titus Amigu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akitufundisha juu ya utofauti ya Mwananke na Wasichana. L'articolo Fahamu utofauti kati ya Mwanamke na Wasichana proviene da Radio Maria.
ungana nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Utume wa walei, Wawezeshaji ni Padre Vitalis Kasembo, Mkurugenzi wa Utume wa Walei Jimbo Kuu la Dar es salaam na Bi. Rose Gerald, Katibu Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu la Dar es salaam, wakiendelea kuzungumzia juu ya karakana ya Uongozi wakijikita zaidi katika kujitambua. L'articolo Fahamu maana ya kujitambua. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya Kwaresima akijikita zaidi katika kuelezea juu ya Kwaresima ndani ya Jubilei kuu 2025. L'articolo Fahamu Kwaresima ndani ya Jubilei kuu 2025. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Raymond Karega, katika kipindi cha Sheria za Kanisa Kutoka Studio za Radio Maria Tanzia leo tupo Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa Katoliki Kutoka Jimbo Katoliki Njombe, ambapo leo anatuongoza kujifunza Kizuizi Batilishi ya Ndoa Sheria namba 1073 – 1082 L'articolo Fahamu kizuizi batilishi cha Ndoa Takatifu. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya Kwaresima akijikita zaidi katika kuelezea juu ya Kwaresima ndani ya Jubilei kuu 2025. L'articolo Fahamu utofauti kati ya Kwaresima na Jubilei Kuu 2025. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Mtangazajia wako Martin Joseph Katika kipindi cha Fahamu Wito Wako, Mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Jimbo Kuu Katoliki Arusha, anazungumzia juu ya Jubilei Kuu 2025 na Wito Wako. L'articolo Fahamu uthibitisho wa Wito ndani ya Jubilei kuu 2025. proviene da Radio Maria.
Karibu katika Kipindi Cha Chakula na Lishe ambapo leo Bi Maria Ngilisho Afisa Lishe Mtafiti mwandamizi kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC) anazungumzia juu ya Ulaji sahihi wakati wa Mfungo. L'articolo Fahamu ulaji sahihi wakati wa mfungo. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya Kwaresima akijikita zaidi katika kuelezea juu ya Kwaresima ndani ya Jubilei kuu 2025. L'articolo Fahamu uhusiano uliyopo kati ya Kwaresima na Jubilei kuu 2025. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Ijue Liturujia ya Kanisa Katoliki, Mwezeshaji ni Padre Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), akizungumzia juu ya kipindi cha Kwaresima. L'articolo Fahamu namna nzuri ya kufunga kwa Mkristo Mkatoliki. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Kutoka TEC, Mwezeshaji ni Padre Clement Kihiyo, Katibu Mtendaji kutoka Baraza la Maaskofu Tanzania, akizungumzia ujumbe wa kwaresima kwa mwaka 2025. L'articolo Fahamu ujumbe wa Kwaresima kwa mwaka 2025. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Tafakari Nasi, Studio nipo na Padre David Kagombe kutoka Jimbo Katoliki Iringa, leo anatutakafarisha juu ya Jumatano ya majivu na kipindi cha Kwaresima. L'articolo Fahamu kwa undani maana ya Jumatano ya Majivu. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Utume wa walei, Mwezeshaji ni Bi. Rose Gerald, Katibu Kamati ya Uinjilishaji, Jimbo Kuu la Dar es salaam, akizungumzia juu ya madhara ya matumizi ya dawa za kulevya. L'articolo Fahamu madhara ya matumizi ya dawa za kulevya. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Agatha Kisimba katika kipindi maalaumu cha Jinsia na Maendeleo, ikiwa ni kuelekea siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa kila mwaka March 08, Mwaka huu 2025 ikiwa na kauli mbiu ya Wanawake na Wasichana tuimarishe haki, usawa na uwezeshaji. L'articolo Fahamu ujumbe wa siku ya Wanawake duniani 2025. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami John Samky katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu, leo studio nipo na Bi. Esther Kinyonga, Benedict Kessy, Monica Kessy, George Mapunda, Katekista Revocatus Kinyonga, Katekista Gabriel Jimu na Federika Bayaga wakizungumzia juu ya plotio ya nyumba aminifu wakijikita zaidi katika miito mbalimbali. L'articolo Fahamu namna bora ya kujiandaa kuingia katika wito wako. proviene da Radio Maria.
Ungana nami John Samky katika kipindi cha Roho Mtakatifu na Kanisa, Mwezeshaji ni Mhashamu Josephati Lui Lebulu, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, akiendelea kujibu maswali mbalimbali ya Msikilizaji na moja ya Swali hilo ni Roho Mtakatifu anatupatia nini? L'articolo Fahamu neema za Roho Mtakatifu kwa Wanadamu. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Leonard Maliva, Paroko wa Parokia ya Isimani na Mkurugenzi wa Utume wa Walei, Jimbo Katoliki Iringa, akizungumzia juu ya kipindi cha Kwaresima L'articolo Fahamu maana ya kipindi cha Kwaresima. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Fahamu Wito Wako, Mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi OFMCap kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Jimbo Kuu Katoliki Arusha, akizungumzia juu ya Jubilei Kuu 2025 na wito wa kufikia Utakatifu. L'articolo Fahamu uhusiano wa Jubilei Kuu 2025 na Wito wa kufikia Utakatifu. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Raymond Karega katika kipindi cha Sheria za Kanisa, Mwezeshaji ni Padre Ladislaus Mgaya, Mwanasheria wa Sheria za Kanisa kutoka Jimbo Katoliki Njombe, akiendelea kutuelimisha juu ya sheria za matayarisho ya ndoa. L'articolo Fahamu namna bora ya kujitayarisha na Sakaramenti ya Ndoa. proviene da Radio Maria.
Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo nipo na Padre Titus Amigu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino SAUT Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, akitufundisha Maadui wa mtu. L'articolo Fahamu maadui wa mtu ndani ya Kanisa Katoliki? proviene da Radio Maria.
Ungana nami Judith Mpalanzi Katika Kipindi cha Elimu Jamii, Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania Wawezeshaji ni Lupakisyo Peter Mwakyolile ambaye ni Mkuu wa Takukuru Kalambo Pamoja na Bwana Hemedy Mruma Mwanasheria wa Takukuru Kutoka Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa Takukuru Mkoa wa Rukwa wakituongoza kujifunza juu ya Madhara ya Rushwa kwenye Uchaguzi. L'articolo Fahamu madhara ya rushwa kwenywe uchaguzi. proviene da Radio Maria.
In this latest episode of Real Chicks Rock!® Presents Real Discussions host Michelle Dawes Birt engages in a captivating conversation with the renowned artist and cultural visionary, Dr. Fahamu Pécou. This episode delves into the transformative power of art and how it shapes cultural reawakening in our society. Dr. Fahamu Pécou, originally from Brooklyn and raised in South Carolina, shares his inspiring journey from a young artist drawing cartoons to becoming a celebrated figure in the art world. With a deep connection to African culture and a passion for challenging stereotypes, Fahamu's work is a bold statement on the visibility and representation of Black people in art and media. Special Thanks to my guest, Dr. Fahamu Pécou Are you subscribed to the podcast? If not, subscribe so you never miss an episode. Please remember to rate, comment, share, and download your favorite episodes. Connect with Real Chicks Rock! Instagram - https://www.instagram.com/realchicksrock Facebook - https://www.facebook.com/RealChicksRock1 Twitter - https://twitter.com/RealChicksRock1 Website: www.RealChicksRock.com Connect with Fahamu Pecou and explore his art: Instagram: https://www.instagram.com/fahamupecou Website: https://www.fahamupecouart.com/home/about Merchandise: https://www.studiokawo.com Radio Station: www.StatusNetwork.net Kevin Hyman performed music for Kemit Muzik, LLC. The song is titled Still I Rise (The Lounge Lizards Bootleg Mix" '(Copyright permission granted)
Kuelekea ya Siku ya Kimataifa ya UKIMWI itakayoadhimishwa Jumapili hii, ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kukabiliana na UKIMWI (UNAIDS) iliyotolewa juzi Jumatano imeeleza kuwa dunia inaweza kufikia lengo lililokubaliwa la kukomesha UKIMWI kama tishio la afya ya umma ifikapo mwaka 2030 lakini kwa sharti kwamba viongozi ni lazima walinde haki za binadamu za kila mtu anayeishi na Virusi Vya UKIMWI, VVU au aliyeko hatarini kuambukizwa. Anold Kayanda ameangazia mfano mzuri wa Afrika Kusini unaofahamika kama “Takuwani Riime”.
Huko Havana Cuba mambo yanaendelea kuiva kwenye Kongamano la kimataifa la Kiswahili huku wageni wakitoka katika kila pembe ya dunia kushiriki. Miongoni mwao ni Waziri Tabia Maulid Mwita kutoka Zanzibar ambaye amezungumza na shuhuda wetu katika kongamano hilo Flora Nducha kuhusu faida za kiplomasia na kiuchumi zilizoletwa na lugha ya Kiswahii Kisiwani Zanzibar.