
Jinsi ya Kuwa Mtu Bora S01E05: Jinsi ya Kutatua Tatizo Lolote Lile Maishani

Jinsi ya Kujiandaa Dhidi ya Majanga Maishani

Episode ya tatu katika mfululizo wa makala kuhusu mbinu mbalimbali za kukufanya kuwa mtu bora. Episode hii inahusu tabia 14 zinazokwamisha maendeleo ya mtu

Episode ya pili katika Season kwa Kwanza ya mfululizo wa makala hizi za #JinsiYaKuwaMtuBora, neno ambalo ni tafsiri niliyobuni ya "Personal Development".

"Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" ni tafsiri isiyo rasmi ya "Personal Development." Mada za kuhusu "Jinsi ya Kuwa Mtu Bora" zinapatikana katika kijarida (newsletter) cha "AdelPhil Online Academy" (chuo cha bure cha mtandaoni kinachofundisha bure kozi mbalimbali) . Ikikupendeza, fanya kujisajili leo

Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari

Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua?

Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania

Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Kabla ya tangazo langu hilo, tayari kulikuwa na tetesi kadhaa kwamba afya ya kiongozi huyo ilikuwa tete. Hata hivyo, kwa kupitia vyanzo vyangu vya kuaminika, nilikuwa mtu wa kwanza kutangaza kifo hicho. Lakini madhila yaliyonikumba baada ya kuweka taarifa hiyo hadharani, sintoyasahau. Nilitukanwa, nililaaniwa, nilitishwa, na kwa hakika laiti hao waliokerwa wangeweza kunifikia, bila shaka muda huu ningekuwa marehemu. Hatimaye, siku tano baadaye, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan alitangaza kuwa kweli Magufuli amefariki. Nami ikawa ahueni kwangu. Baadhi ya walionitukana, walikuja kuniomba msamaha japo haikusaidia kitu. Hata hivyo nafarijika kwa kuwatumikia Watanzania ipasavyo na kuwa chanzo cha kuaminika cha habari mbalimbali.

Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions)

#JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022

Miaka 60 ya Uhuru wa "Tanganyika" - Changamoto Mbalimbali Zinazolikabili Taifa Letu na Ufumbuzi Wake

Maadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia

Mahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Wa Kufanya Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama, Mhamasishaji wa Lishe Bora. Unaweza kumfolo Phenty kwa akaunti yake ya Twitter na Instagram

Uchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya Mauaji

Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.

Uchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi

Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako

Mahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya mazingira ya soka la Tanzania na soka la Misri, nini kifanyike kukwamua soka la Tanzania, na ushauri wake hasa kwa vijana akiwa kama role model wao - kwa vijana wanaotaka "kutoka" kupitia soka, na ushauri kwa vijana wengine wote katika sekta mbalimbali. Himid ni mmoja wa mabalozi wetu wanaosaidia sana kuitangaza Tanzania yetu kimataifa.

Mahojiano na Rahma Bajun, ambaye pamoja na shughuli nyingine, ni mwandishi, anaeleza kuhusu maradhi ya kipandauso, aliyopata akiwa na miaka 12, na yamedumu kwa miaka 21. Na sasa amechapisha kitabu maalum kuhusu safari yake kimaisha akiwa anasumbuliwa na maradhi hayo. Kitabu kinaitwa "The Wave."

Katika mahojiano haya, Dokta Zakayo Mmbaga anaeleza kuhusu

Katika mahojiano haya, mwanasiasa mkongwe wa Chadema na upinzani kwa ujumla, Ally Bananga, anaeleza kwa kifupiÂ

Mwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, Anakaribishwa

Uchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila

Tuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa

Uchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia

Jasusi anafanya mahojiano na mbunifu mavazi wa kimataifa SHERIA NGOWI.

Jasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk

Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995

January Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli

Tathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda

Ripoti Ya Kijasusi: Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutenguliwa Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING

Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021

Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti kwa mfano Benki Kuu, Bandari, nk

Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia

Wanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli

Mnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala

Mijadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais

Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa.

Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021

Sintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa Hewa.

Taarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba

Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani

Rais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba.

Exclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona

Mara kadhaa nimekuwa nikitumia msemo "paka mwenye roho tisa" (a cat with nine lives). Je msemo huo una maana gani?

Kuna wanaosema maisha hayana kanuni. Lakini pia kuna wanaosema kanuni za maisha zipo zaidi ya mia, ilhali wengine wakidai zipo elfu na kitu. Yote katika yote, suala la muhimu sio kanuni hizo zipo ngapi bali ufanisi wake katika kukufanya uwe mtu bora. Hizi 10 katika episode hii zaweza kuwa na msaada mkubwa kwako.