POPULARITY
Tukio la kufyatuliwa risasi mwanahabari wa Kituo cha Kameme Nakuru Wanjeri wa Kariuki katika maandamano dhidi ya serikali ni mfano hai wa majaribio ya serikali kuwalenga wanahabari, kwa lengo la kuwanyamazisha wasitekeleze wajibu wao ambao unalindwa na Katiba ya Kenya. Kamwe hatuko tayari kurudisha nyuma hatua kubwa zilizopigwa katika kukuza demokrasia na kudumisha uhuru wa vyombo vya habari.
Tukio la kupatikana miili zaidi ya tisa eneo la Kware, Embakasi ni dhihirisho tosha la nchi ambayo taasisi zake za kiusalama hazifanyi kazi, zimefeli pakubwa. Iweje watu wauliwe na miili yao kutupwa bila NIS, DCI au Idara ya Polisi kuwa na ufahamu ya tukio hilo la kihalifu? Tunataka uwajibishwaji wa ofisi husika.
Tukio la vijana waliokuwa wakiandamana kuingia katika majengo ya Bunge kamwe sio la kushabikiwa. Hata hivyo, tukio hilo na mengine ya waandamanaji kuharibu mali ya umma na kibinafsi hayatoi sababu tosha kwa maafisa wa usalama kuwafyatulia risasi na kuwaua waandamanaji. Hayatoi sababu kwa Rais kuwaita Wakenya kuwa wahalifu na wahaini.
Wimbi la siasa inaangazia kilichotokea Mei 19 jijini Kinshasa ambako vikosi vya jeshi la serikali (FARDC) viilidai kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya rais wa nchi hiyo.Tukio hilo lililotokea usiku wa kuamkia jumapili ya Mei 19, lakini sasa tukio hilo limeibua maswali mengi bila majibu. Kudadavua hili, utawasikia Georges Msamali, mtaalamu wa masuala ya kiusalama akiwa Nairobi nchini Kenya, Francois Alwende ni raia wa DRC na mtaalamu wa siasa za DRC.
Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine Matthew Hollingworth amelaani vikali shambulio lililofanywa na Urusi kwenye eneo la Kherson lililoathirika vibaya na mafuriko ya bwawa la Kakhovka, na kukatili maisha ya mfanyakazi wa ukoaji na kujeruhi wengine. Katika tarifa yake iliyotolewa leo mjini Kyiv Ukraine mratibu huyo Hollingworth amesema “Inasikitisha sana kwamba waokoaji wameuawa na kujeruhiwa jana huko Kherson walipokuwa wakisaidia jamii zilizoathiriwa na uharibifu mkubwa wa bwawa la Kakhovka.”Kwa mujibu wa duru za habari mfanyakzi mmoja wa uokoaji wa ofisi ya huduma za dharura za Ukraine ameuawa katika shambulio hilo wakati waokoaji wengine wanane wamejeruhiwa huku sita wakielezwa kuwa katika hali mbayá.Imeleezwa kuwa shambulio hilo lililtokea wakati vikosi vya jeshi la Urusi vilipowafyatulia risasi wafanyakazi hao wa uokoaji wakiwa wakiwa katika operesheni za kusafisha matope yaliyotokana na uharibifu katika bwawa la Kakhovka.Kwa niaba ya jumuiya ya masuala ya kibinadamu bwana Hollingworth ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu na kuwatakia majeruhi wote ahuweni ya haraka akiongeza kuwa “Fikra zetu pia ziko na ofisi ya huduma za dharura za Ukraine, inayofanya kazi katika mazingira magumu sana kusaidia watu wake.”Mratibu huyo wa masuala ya kibinadamu amekumbusha kuwa “Tukio hili ni mfano mwingine wa athari mbayá za kibinadamu za uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.” Na amesisitiza kwamba raia wote wakiwemo wafanyakazi wa ukoaji wanalindwa chini ya sheria za kimataifa za kibinadamu na kuwashambulia na kuwaua ni jambo lisilokubalika.
Karibu katika makala wimbi la siasa. Tunaangazia swala la mhubiria Paul Mackenzie Nthenge ambaye aliwashawishi wafuasi wa kanisa lake wafunge bila kula ili wakutane na Mungu katika kijiji cha Shakahola karibu na mji wa Malindi, Pwani ya Kenya. Nchini Kenya, idadi ya watu wanaohusishwa na imani potofu ya kutokula chakula hadi kufa ili kumwona Mungu, imeongezeka na kufikia 98 baada ya miili mingine kufukuliwa katika kijiji cha Shakahola karibu na mji wa Pwani, Malindi.Tukio hilo limezua hasira miongoni mwa viongozi, wananchi na wenyeji huku mchungaji anayedaiwa kuwashawishi wauamini wake kufunga mpaka kufa Paul Mackenzie Nthenge akiendelea kuzuiwa.Kuzungumzia swala hili naungana studioni na Askofu mkuu wa kanisa la anglikana nchini Kenya Jackson Ole Sapit pamoja na afisa wa sheria katika shirika la kutetea haki za binadamu nchini Kenya Haki Afrika Walid Seketi.
Nchini Tanzania Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kushirikisha kampuni kuzingatia será na misingi endelevu na inayojali jamii, au kwa kiingereza UN Global Compact Tanzania umeanza kuona mabadiliko katika kushirikisha kampuni kuzingatia misingi 7 ya kumwezesha mwanamke kwenye sekta ya biashara.Jijini Dar es salaam, mji mkuu wa kibiashara wa Tanzania nashiriki kwenye tukio la Gonga Kengele kwa usawa wa jinsia, mwezi huu wa Machi ambao unamulika masuala ya wanawake. Tukio limeandaliwa na UN Global Compact Tanzania na Mkurugenzi wake Masha Makatta akaeleza sababu. Akimaanisha gonga kengele kwa usawa wa kijinsia katika taifa hili ambalo takwimu za mwaka 2019 kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu, NBS zinaonesha ni asilimia 18 tu ya wataalamu walioajiriwa katika Sayansi na Uhandisi ni wanawake. Bi. Makatta akaelezea walichojumuisha kwenye tukio la mwaka huu kwa lengo la kumjumuisha mwanamke. Na je kulikuwa na mafanikio yoyote? Kwa Women Empowerment Principles anamaanisha Kanuni za Uwezeshaji mwanamka ambazo kwa mujibu wa UN Global Compact ziko 7 na miongoni mwao ni kuendeleza elimu, mafunzo na ueledi kwa wanawake. Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Zlatan Milišić, akanieleza hatua ya muda mrefu itakayomuinua zaidi mtoto wa kike, “Umoja wa Mataifa nchini Tanzania una miradi mbalimbali inayoelekea kwenye vipaumbele tofauti vya kazi zetu zinazogusa wanawake. Kuna ambayo ni mahsusi kwa wanawake kwa minajili kwamba hatutaki waachwe nyuma katika maeneo fulani. Lakini mingine ni ya jumla lakini bila shaka inapatia kipaumbele wanawake pale ambako idadi yao ni ndogo.”
Viongozi wa Umoja wa mataifa pamoja na serikali ya Jamhuri ya Kidemoktrais ya Congo, DRC wametoa heshima zao za mwisho kwa walinda amani watano wa kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo MONUSCO waliokufa wakati wa maandamano na uvamizi wa vituo vya ujumbe huo huko Goma na Butembo jimboni Kivu Kaskazini. Walinda amani hao wanatoka Morocco na India ambapo Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini humo Bintou Keita amesema MONUSCO iko tayari kwa mazungumzo ya amani ili kuendeleza na kudumisha amani nchini humo. Taarifa iliyoandaliwa na Mwandishi wetu wa DRC, Byobe Malenga inaeleza zaidi. Tukio la kuaga walinda amani hao wa Umoja wa Mataifa limefanyika mbele ya Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC Bintou Keita. Bwana Lacroix amesema walinda amani hao mashujaa waliokufa wakilinda sio tu Umoja wa Mataifa bali pia raia na kwamba sheria ichukue mkondo wake kuepusha chuki baina ya walinda amani wa UN na raia nchini humo. “Kwa hivyo, ingawa tunasikitishwa na kuwapoteza mashujaa wetu hawa watano waliofariki dunia katika huduma ya kulinda amani, kumbukumbu inatuwajibisha sote kuwa na shukrani. Walitenda kazi kwa ushujaa kutulinda na kulinda watu licha ya maandamano kupita kiasi na hila zilizosababisha tukio hili baya. Haki lazima itolewe kwa wenzetu wote wa Umoja wa Mataifa ambao wamepoteza maisha, lakini bila shaka haki lazima itolewe kwa ndugu na dada zetu wote wa DRC ambao wanaendelea kuteseka na vitisho vya vita." Amesema Jean-Pierre Lacroix Naye Bintou Keita ambaye pia ni Mkuu wa MONUSCO ameelezea mshikamano wake na rambirambi kwa familia zinazoomboleza na kuthibitisha utayari wa ujumbe huo kupokea ukosoaji na uwazi wake wa mazungumzo na pande zote DRC zinazotaka kuwasilisha malalamiko yao kwa amani akisema, “MONUSCO inakabiliwa na wimbi la maandamano na uhasama. Ningependa kuthibitisha uwazi wa Monusco na timu nzima ya Monusco kwa ukosoaji wowote na upatikanaji wake wa kufanya mazungumzo na wale wote wanaotaka kueleza malalamiko yao kwa njia ya amani ili kuchangia MONUSCO kuondoka kwa utaratibu na kuwajibika kwa ujumbe wetu.”
Patrick Lyoya mwenye umri wa miaka 26 mzaliwa wa Congo alipigwa risasi ya kichwa April 4 katika eneo la Grand Rapids huko Michigan nchini Marekani na afisa polisi mzungu baada ya majibizano mafupi
Nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC kumefanyika tukio la kuaga miili ya walinda amani wanane wa Umoja wa Mataifa waliokuwa wakihudumu kwenye ujumbe wa Umoja huo wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO. Walipoteza maisha baada ya helikopta waliyokuwa wakisafiria kuanguka tarehe 29 mwezi uliopita wa Machi.
Mashirika ya Umoja wa Mataifa likiwemo la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, la Uhamiaji, IOM, la kuhudumia watoto, UNICEF na Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, OHCHR, wamesikitishwa sana na taarifa za kifo cha mtoto mchanga kilichotokea Jumapili wakati wa walinzi wa mpaka wa pwani wa Trinidad walipokuwa wanakizuia chombo kilichowabeba wavenezuela waliojaribu kuvuka mpaka wa kusini mashariki mwa visiwa hivyo vilivyoko katika bahari ya Karibea. Taarifa ya Assumpta Massoi inaelezea kinagaubaga. Taarifa ya pamoja ya mashirika hayo iliyotolewa nchini Panama imeeleza kuwa walinzi wa mpaka wa Pwani walianza kukizuia chombo hicho kilichowabeba wavenezuela kilipoingia katika himaya ya Trinidad na Tobago baharini. Kwa mujibu wa walinzi wa Pwani, mwanamke mmoja na mtoto mchanga walijeruhiwa katika tukio hilo. Mwanamke huyo alipelekwa katika kituo cha afya lakini kwa masikitiko makubwa mtoto alifariki dunia. Mwakilishi Maalum wa UNHCR pamoja na IOM kwa ajili ya wakimbizi na wahamiaji wa Venezuela, Dkt. Eduardo Stein amesema, “tumesikitishwa sana na tukio hili la kusikitisha na tunatuma salamu zetu za rambirambi kwa familia na wapendwa wanaoomboleza msiba huu na ahueni ya haraka kwa majeruhi. Hakuna mtu anayepaswa kupoteza maisha katika kutafuta usalama, ulinzi na fursa mpya. Tukio hili linaangazia masaibu wanayokumbana nayo watu wanaosafiri wakati wa safari za kutisha na hatari kuelekea kwenye usalama.” Naye Mkurugenzi wa UNICEF kanda ya Amerika Kusini na Karibea, Jean Gough, ameongezea akisema, "hakuna mtoto mhamiaji anayepaswa kufa, iwe anasafiri na wazazi wake au peke yake. Hakuna mama anayetaka kuweka maisha ya watoto wake hatarini kwenye meli ndogo katika bahari kuu, isipokuwa hana chaguo lingine.Wavenezuela wawili kati ya watatu wanaohama ni wanawake na watoto.Tukio hili la kusikitisha ni ukumbusho tosha kwamba wao ndio walio hatarini zaidi miongoni mwa watu walio katika mazingira hatarishi.Wanastahili kuangaliwa, ulinzi na usalama wa pekee popote pale na wakati wowote.” UNHCR, IOM, OHCHR na UNICEF wametoa wito kwa mataifa kuanzisha utaratibu utakaosaidia kulinda haki za watu wanaohama hasa wanawake, wasichana, wavulana na wengine wenye mahitaji maalum ya ulinzi ikiwa ni pamoja na haki ya kuhalalishwa kwa usahihi na taratibu za kupata hifadhi.
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Dunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe
Dunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni.
Kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kimebebwa na WAKATI. KUSUDI la wewe kuwa duniani limebebwa na WAKATI. Ni TIMELINE ya maisha yako mpaka siku ya mwisho. Timeline maana yake ni MUDA => TUKIO. 1965 => KUZALIWA 2007 => KUFA KUZALIWA na KUFA, hayo ni MATUKIO mawili makubwa yaliyopo kwenye timeline ya kila mwenye PUMZI. KATIKATI hapo kuna matukio mengine, yaliyoambatana na muda kulingana na KUSUDI na mapenzi ya MUNGU kwenye maisha yako. Kama vile ambavyo matukio mbalimbali yametokea na kubadilika kwenye maisha yako, yani ulizaliwa, ukakua na sasa uko hivyo jinsi ulivyo; hiyo ni timeline yako inazidi kusogea, sasa hatujui kama timeline yako na ya MUNGU juu yako zinafanana au uliamua kutengeneza ya kwako, sasa hilo ni somo la siku nyingine. BASI uwe na UHAKIKA kabisa kuna MWISHO wa WEWE kuwa hapa duniani. Baada ya MWISHO au KIFO hakuna kingine kinachofuata bali ni HUKUMU (Waebrania 9:27) HUKUMU ni TAMKO ambalo kila mmoja atapokea kama IJARA ya mambo aliyotenda akiwa duniani, kwa kadiri alivyotenda, kwamba ni MEMA au MABAYA(2Wakorintho5:10). HIYO siku hakutakuwa na nafasi ya kujitetea. Hakuna kusema nilikuwa sijui, kwasababu kila mwenye pumzi lazima aisikie INJILI, ni yeye mwenyewe kuamua kuamini au kutoamini. Hiyo siku hakutakuwa na KUKATA RUFAA. Hukumu ikitoka imetoka. Wala pesa hazitafanya kazi kwako. Hakutakuwa na rushwa. Wala hakutakuwa na MATABAKA, kwamba huyu alikuwa raisi, waziri, celebrity, bongo movie maarufu, huyu alikuwa na followers milioni 8, huyu alikuwa miss Tanzania, huyu alikuwa na tuzo lukuki, huyu alikuwa mfanya biashara maarufu. Hakutakuwa na “wakili msomi” wa kukutetea, kwasababu hata yeye atasimama kwenye kiti cha hukumu ahukumiwe, kama alidhurumu watu basi hiyo siku itajulikana. Hapo ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno. “Ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia; malaika watatokea, watawatenga waovu mbali na wenye haki, na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno” (Mathayo 13:49-50) MUNGU ANASISITIZA KUGEUKA kwa wanadamu na kusisitiza juu ya NYAKATI za mwisho. Na kila mmoja AKAIONE neema ya MUNGU na UPENDO WAKE ili asiangamie siku ya mwisho. ENDELEA KWENYE POST INAYOFUATA --- Send in a voice message: https://anchor.fm/siri-za-biblia/message
Nchini Tanzania kesho Jumatano kunatolewa tuzo na nishani za kimataifa za lugha ya Kiswahili za Shaaban Robert. Tukio hilo litafanyika kwenye mji mkuu wa taifa hilo la Afrika Mashariki, Dodoma, ambapo tukio linaleta pamoja washiriki na manguli na wabobezi wa lugha ya Kiswahili kutoka maeneo mbalimbali duniani, na litahusisha pia viongozi waandamizi wa serikali na mashirika ya kitaifa na kimataifa. Lakini tuzo hizo zilianzia wapi? Na ni nini mantiki yake?
Mnamo mwaka 1995, maelfu ya wanawake kutoka kote duniani walikutana mjini Beijing China katika mkutano waliotumia kujadili changamoto zinazowakabili na wakatoa mapendekezo ya jinsi ya kuzikabili. Tukio hilo linatazamwa kote duniani kuwa chachu ya mabadiliko makubwa yanayoonekana katika dunia ya leo kwa upande wa haki za mwanamke. Miaka 25 baadaye, aliyekuwa kiongozi wa mkutano huo, Getrude Mongela, kwa ufupi kupitia mahojiano haya yaliyofanywa na Stella Vuzo wa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa, UNIC Tanzania, anaeleza hali ilivyokuwa kabla na baada ya mkutano huo wa Beijing.
Detta avsnittet gästas av Ibrahim aka Bunduki! Vi diskuterar Bundukis intressanta resa och hur hans företag Tukio kom till. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limelaani vikali mauaji ya watu wapatao 18 katika kambi ya muda ya kuhifadhi wakimbizi wa ndani nchini Cameroon. Taarifa zaidi na John Kibego .
I vårt sjunde avsnitt gästas vi av Ibrahim Handulleh och Nino El Khoury från bolaget Tukio där vi pratar om den svenska musikbranschen och varför de startade deras bokningsbolag.Podcasten görs av Pato Pooh & Daniel Tobar från NBL NationTukio.sePato Pooh Instragram: @patopoohEmail: pato@nblsound.comDaniel Tobar Instagram: @danieltobarEmail: daniel@nblsound.comwww.nblsound.com www.nerubel.com See acast.com/privacy for privacy and opt-out information.
Mwaka 2019 unafikia ukingoni leo Disemba 31 na tunakupa fursa msikilizaji kutoa maoni yako kuhusu matukio muhimu yaliyotokea katika jamii yako. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya.
Extrainsatt avsnitt med anledning av hur mycket bra musik som släpptes fredagen den tolfte maj 2018. Var det en historisk dag? Petter pratar med Ibrahim Handulleh från TUKIO om de senaste släppen från Aden & Asme, Ozzy, Cherrie, Dree Low och Dani M & Z.e. Vilken tid att vara vid liv!Låtar i avsnittet:Aden & Asme - LevereratAden & Asme - OnlineOzzy - PanterCherrie - Det slår mig iblandDree Low - ÖvervakadDani M & Z.e - Inte meningenFölj TUKIO på insta, facebook och på tukio.se
Hata baada ya kutatizika sana, hatimaye Philipp anafaulu kurudi salama kutoka Schwarzwald na anajitosa kwenye raha ya Karnivali. Paula wala havutiwi na mila hiyo ya Karnivali. Philipp anafurahia sherehe za Karnivali. Paula anaziona sherehe hizo kuwa fujo tupu. Inambidi kumtafuta Philipp na gari lake lililoibwa. Anafanyiwa mizaha na hivyo kutatizika kutimiza lengo lake. Hata Ayhan anamchezea Paula. Matumizi ya kitenzi "sein" (kuwa) ni tofauti kama yalivyo tofauti mavazi yatumiwayo kwenye Karnivali. Katika tukio hili utaangazia vijalizo vya vitenzi tofauti.
Waandishi wote wawili wanashangazwa na kisa cha tanzia cha Ikarus, shujaa wa visaasili vya Kigiriki. Paula na Philipp wanaeleza kisa chake. Paula na Philipp wanapomwona mvulana mdogo amevaa vazi la Icarus wanaingiwa na fikra: Wanaamua kukizungumzia kisa hicho cha Kigiriki kwenye mmoja wapo wa michezo yao ya redio. Kisa chenyewe ni kumhusu kijana ambaye hakufuata nasaha ya baba yake Daedalus na anaanguka anapojaribu kupaa angani. Amezidiwa na tamaa ya kulikaribia jua lakini anapolikaribia nta iliyo kwenye mbawa zake inaanza kuyeyuka. "Usipae juu sana, na usishuke chini sana," Daedalus anamwambia mwanawe Ikarus. Kitenzi cha amri, kilichoshughulikiwa katika tukio hili, kinaweza kutumiwa, kuomba, kuamuru, kuonya au kuagiza. Lau Ikarus alimsikiliza baba yake, pengine hangeanguka.
Hali ya huzuni imetanda katika afisi za Radio D. Ayhan anawaaga wenzake na anarudi nchini Uturuki. Ingawa wafanyikazi wenzake wamemwandalia hafla ya kumuaga, hawana la kuchangamkia. Paula anafika kazini asubuhi na kuwapata watu wote wakijitayarisha kwa sherehe. Hafurahii sherehe hizo kamwe: Ayhan anaondoka Radio D kurudi zake Uturuki kumsaidia baba yake. Katika harakati za kumuaga Ayhan, wafanyi kazi wenzake wameandaa hotuba fupi na zawadi ya kumbukumbu ya rafiki yake Eulalia. Kutokana na hafla hiyo ya kumuaga Ayhan, mwalimu hajishughulishi na sarufi. Hata hivyo anazungumzia maneno machache kuhusu nomino ambatani.
Waandishi habari hao wanajitahidi kuelewa kauli "getürkt" na wanazuru bandari isiyo ya kawaida ambako kila meli hukaribishwa kwa namna ya kipekee. Katika Bandari ya Willkomm-Höft kila meli hukaribishwa kwa wimbo wa taifa la nchi inakotoka. Kwenye mchezo wao wa redio, Paula na Philipp wanachunguza asili ya mila hii-ambayo yumkini inahusiana na maana ya neno "getürkt." Wakati huo huo, Ayhan anatumia muda wake afisini kusoma vitabu kuhusu bundi. Kwa kuwa Eulalia hajui kusoma, Ayhan anamsomea. Tukio hili linashughulikia zaidi viambishi-awali vya vitenzi na jinsi ambavyo maana ya kitenzi hubadilika pale kiambishi-awali kinapobadilishwa.
Bundi Eulalia anawasaidia Paula na Philipp kupata mwelekeo. Wanagundua kuwa wafanyikazi wenzao wa gazeti la Hamburg wanahusika kwenye ulaghai huo. Paula, Philipp na Eulalia wanagundua kuwa wafanyikazi wa gazeti la Hamburg walitunga njama yote ya kuweko papa katika bandari ili wapate kuuza nakala zaidi za gazeti. Baadaye, Philipp na Paula wanazozana kuhusu matumizi ya neno fulani. Philipp anatumai kwamba Paula atatulia pindi akimwalika katika Bandari ya Willkomm-Höft. Lau Philipp angezingatia zaidi maneno aliyotumia, Paula hangeudhika. Kiambishi-awali cha kitenzi kinaweza kuwa kifupi lakini kinaweza kubadilisha maana ya neno. Baadhi ya viambishi vya vitenzi hutenganishwa na kitenzi-jina.
Paula na Philipp wanategua kitendawili cha mahali pa kwenda kumwangalia papa na kwa mara nyingine tena wanagundua ulaghai uliohusika. Hata hivyo mwanzoni sababu za tukio hilo si dhahiri moja kwa moja. Wakiwa katika harakati za kumtafuta mwanamichezo wa kuteleza baharini aliyetoweka, Paula na Philipp wanakutana na mpiga mbizi na hapo wanapata fununu. Mpiga mbizi alikuwa amewahangaisha nusu ya wakazi wa Hamburg kwa kujifunga pezi la papa mgongoni mwake. Wakati huo huo Eulalia amefika Hamburg tayari kusaidia. Pia naye amegundua kitu fulani. Eulalia amepata fununu ambayo huenda ikawasaidia Paula na Philipp- fursa nzuri ya kutumia wakati timilifu. Zingatia zaidi jinsi ya kutumia wakati uliopita hali ya kwendelea.
Philipp na Paula wanafuata dalili za papa na kugundua jambo la kushangaza. Wanaingiwa na hamu zaidi wanapopata bao la kuteleza kwenye mawimbi ya bahari bila mwenyewe na pia makala ya gazeti inayowachanganya. Wanapoepukana na zogo la umati wa watu, waandishi habari hao wawili wanachunguza mahali papa alipopatikana. Wanapoona bao lililovunjika la kuteleza kwenye mawimbi ya bahari, wanaingiwa na wasiwasi. Kisha, kwenye gazeti moja la Hamburg wanaona picha ya papa—na wafanyikazi wenzao Laura na Paul ambao wanaonekana kuwa na wasiwasi. Lakini yote hayo yanahusiana vipi? Tukio hili linasisitiza viwakilishi-nafsi "sie" na "er," vinavyotumika pia kuelezea majina ya jinsia ya kike na ya kiume, ambavyo tayari vimezungumziwa.
Katika afisi ya Radio D hali ya joto imezidi mno. Paula na Philipp wanafurahi pale wanapopewa kazi ya kwenda pwani ambako papa ameonekana bandarini. Paula, Philipp na Ayhan wanatatizika kwa kiasi kikubwa. Joto limezidi afisini wala hawana kiyoyozi. Paula anatamani kwenda baharini, na Compu anamsaidia kufanya hivyo. Waandishi habari hao wanakwenda Hamburg kwasababu inasemekana papa ameonekana bandarini. Paula na Philipp wanashindwa kupita kutokana na umati wa watu ambao tayari wamefurika kwa nia ya kumwona samaki huyo mkubwa. Mambo pia si rahisi kwa mwalimu ambaye anashughulikia viambishi mwisho vya uhusika wa moja kwa moja wa vidhihirisho vya jinsia ya kiume. Neno la kukanusha "kein" linafuata mtindo sawa wa viambishi vya mwisho.
Paula na Philipp wanawataka wasikilizaji kutoa maoni yao. Mada ya kipindi ni, "Je kusema uongo ni dhambi?" Wasikilizaji wanaweza kutoa maoni yao kuhusu maduara bandia ya mimea na tabia ya wakulima. "Je kusema uongo ni dhambi?" Paula na Philipp wanawauliza wasikilizaji. Swali hilo limetokana na matukio kwenye shamba la mahindi ambayo waandishi habari hao waliyatangaza. Je wakulima walaumiwe kwa vitendo vyao au watalii wanapaswa kujilaumu wenyewe kwa ujinga wao? Wasikilizaji wanaeleza mambo kinagaubaga. Tofauti na waandishi habari ambao wanauliza wasikilizaji maswali ya kujibu "ndiyo" au "la", mwalimu anatoa jukumu lenye uwezekano wa kushughulikiwa kwa jinsi tatu. Nomino za kijerumani zimo katika jinsia tatu: jinsia ya kiume, jinsia ya kike au bila jinsia. Haya yameelezwa katika tukio hilo pamoja na matumizi ya vidhihirisho "der," "die" na "das."
Ingawa maduara ya mimea yalitengezwa na Wakulima, Eulalia bado anaamini kuna madude yanayoanguka kutoka angani. Katika kuchunguza ulaghai huo, Philipp na Paula wanakwenda baa ya mahali ambako wanazungumza na wanakijiji. Paula na Philipp wametengua kitendawili cha maduara ya mimea lakini bado wana shaka kuhusu kuweko kwa madude yanayoanguka kutoka angani. Madude hayo ni nini? Eulalia anasisitiza amewahi kuliona moja. Hatimaye waandishi habari hao wanawauliza wateja kwenye baa maoni yao kuhusu maduara bandia ya mimea. Ziara ya baa ni fursa nzuri ya kutanguliza wakati uliopita, hasa kitenzi kisichotabirika "sein" (kuwa). Kitenzi cha utaratibu "können" (kuweza) pia kimeangaziwa katika tukio hili. Zingatia jinsi irabu zinavyobadilika wakati wa kunyambua kitenzi.
Paula na Philipp wanataka kujua mbivu na mbichi kuhusu maumbo ya duara ya mimea na wanakwenda usiku kuchunguza. Lakini wanachokumbana nacho hakihusu viumbe kutoka angani. Mwenye shamba lenye maumbo ya duara yasiyoeleweka anawatoza watalii ada ya Yuro 5 kila mmoja ili wapige picha maumbo hayo. Wakati huo huo Philip na Paula wamepiga kambi mwituni kusubiri madude yanayoanguka kutoka angani. Badala yake, wanaume wawili wanajitokeza wakiwa na mtambo. Je wao ndio waliotayarisha hayo maduara ya mimea kuwavutia watalii? Hatimaye, dude kutoka angani linaonekana na hivyo kuzidisha kizungumkuti. Kitenzi "machen" kinaeleweka kwa urahisi. Katika tukio hili mwalimu anakufunza namna tofauti za kutumia neno hili.
Endapo kuna jambo usilolijua, ni bora kuuliza. Mwalimu anajibu maswali yaliyoletwa na wasikilizaji wa Radio D kuhusu matukio yaliyopita. Wasikilizaji wanauliza na mwalimu anajibu kila swali kwa kina. Hii ni fursa nzuri kwa wasikilizaji kutafakari taarifa, kupanua ufahamu wao au kuuliza lolote ambalo tangu hapo walinuia kuuliza. Sikiliza maswali haya ya wasikilizaji na majibu ya mwalimu kwa kila swali. Je kiwakilishi gani kinafaa kutumika na kitumike katika hali gani? Wakati gani nitatumia "du" au "Sie"? Wakati gani ninapaswa kutumia jina la kuzaliwa au jina la ukoo? Nini maana ya vishirikishi kama vile "denn", "doch", na "eigentlich"? Nini tofauti kati ya "nicht" na "nichts"?
Si watu wote wanaofurahia Karnivali. Kazi ya Compu inasababisha waandishi habari hao wawili kwenda Schwarzwald ambako Karnivali inachangamkiwa zaidi. Katika baadhi ya maeneo ya Ujerumani watu wanasherehekea Karnivali kwa furaha kubwa. Katika afisi ya Radio D kuna sintofahamu kati ya wahudumu kuhusu sherehe hizo. Paula haoni la kumvutia hata aungane na Philipp kufurahia. Kwake yeye vazi la kichawi alilovaa Philipp ni kichekesho kikubwa. Philipp anafurahia uchunguzi wao unapowaelekeza Schwarzwald ambako watu waliovaa mavazi ya kichawi wanaiba magari katika zaazaa linaloendelea la Karnivali. Waandishi habari hao wanajaribu kuwa na kipindi cha moja kwa moja cha redio lakini wanashindwa. Wachawi wanamteka nyara Philipp baada ya kumburura kutoka kwenye gari. Mpangilio wa maneno katika Kijerumani si jambo la kuchanganya sana. Tukio hili linalenga nafasi ya kiima na kiarifu.
Paula na Philipp wanakwenda kuchunguza wakati maumbo ya duara yanapogunduliwa kwenye shamba la mahindi. Je kuna dude lililoanguka kutoka angani au kuna mtu anawacheza watu shere? Wakati Ayhna anapowasili katika afisi ya Radio D, nao Paula na Philipp wamo njiani kutoka afisini. Maumbo ya duara yamegunduliwa katika shamba la mahindi na hakuna anayeweza kueleza jinsi yalivyojitokeza. Si waandishi habari hao wawili pekee walio na hamu ya kushuhudia jambo hilo; watalii wengi wanakuja kushuhudia pia. Wakazi wa kijiji hicho wanapata namna ya kujifaidi kutokana na tukio hilo la ajabu. Katika zogo hilo, watu wenye nia tofauti wanajumuika. Watalii wana hamu ya kujionea wenyewe, waandishi habari wanataka kuagua kitendawili hicho na wakulima wanataka kufaidika kifedha. Zingatia vitenzi vya utaratibu katika tukio hili.
Paula na Philipp wanatangaza mara nyingine tena kuhusu Karnivali kutokea barabarani. Wanatambua mavazi tofauti na pia wanajifunza lahaja chache za Kijerumani katika harakati za kazi yao. Afisini Paula analipiza kisasi dhidi ya Ayhan- kwa kutumia taratibu za Karnivali. Kisha kwenye vifijo na nderemo zilizopo barabarani, Philipp na Paula wanatoa taarifa kuhusu mavazi ya asili wanayoyashuhudia. Wanapambana na Papageno kutoka kwenye opera ya Mozart "The Magic Flute" – "Zumari ya Kichawi", na Ikarus, shujaa wa visaasili vya Kigiriki. Philipp na Paula wanakutana na watu wa maeneo mbali mbali ya Ujarumani, wanaozungumza kwa lahaja za kienyeji. Fungua kiungo kilicho chini upate mwongozo wa DW-WORLD.DE wa lahaja.
Philipp anaelekea Berlin. Hali ya hewa inamtatiza sana. Akiwa safarini, Philipp anajuana na watu kadhaa. Philipp anasafiri kwa gari kwenda Munich anakotumai kupanda ndege ya kuelekea Berlin. Safari yake inachukua muda mrefu zaidi kutoka na mvua kubwa. Katika tukio hili, wafanyi kazi wa Radio D, Philipp na mama yake wanajitambulisha kwa ufasaha zaidi. Utasikia wakijitambulisha kwa njia rasmi na njia isiyo rasmi.
Wafanyikazi wa kitengo cha uhariri cha Radio D wanamsubiri Philipp. Paula na Ayhan, watakaofanya kazi na Philipp, wanajifurahisha. Philipp haonekani na simu hazifanyi kazi. Philipp amechelewa sana kwa sababu ya hali mbaya ya hewa. Anajaribu kumpigia simu Paula ili amjulishe, lakini hampati. Philipp anatatizika zaidi kwa sababu ya simu anayopokea kutoka kwa mama yake. Philipp anaomba radhi kwa kuchelewa kwake. Katika tukio hili, utasikia misemo tofauti ya kuomba radhi na kutoa udhuru.
Je jina Eulalia linatoka wapi? Compu, Ayhan na Josefine wanachunguza maana ya jina hilo na kupata maana tofauti. Mfanyi kazi mwenzao mhispania ndiye anayewasaidia. Bundi Eulalia anataka kujua maana ya jina lake. Wahudumu wa afisi ya Radio D wanashughulika kuchunguza na wanagundua asili ya jina hilo ni Ugiriki. Carlos wa idara ya kihispania ana taarifa ya kuvutia kuhusu mada hiyo: Anajua mtakatifu aliye na jina kama hilo. Hata hivyo kundi hilo lina maswali mengi ya kushughulikia. Katika tukio hili utasikia maswali yakiulizwa kwa au bila kutumia maneno ya kuulizia maswali. Kiimbo ni muhimu zaidi.
Philipp anakutana na mwigizaji anayeigiza nafasi ya Mfalme Ludwig katika onyesho la muziki na kumtaka afanye mahojiano naye. Ghafla anatambua sauti yake. Wakati huo huo mgeni asiyetarajiwa atembelea afisi ya Radio D. Katika Kasri la Neuschwanstein, Philipp bila ya msaada wa Paula anafanikiwa kumtambua mtu huyo anayejidai ufalme: ni mwigizaji wa onyesho la muziki la Mfame Ludwig. Philipp anatumia fursa hiyo kumhoji mwanamume huyo. Anaporudi katika afisi ya Radio D mjini Berlin, anashangaa kumpata bundi anayeongea. Tukio hili linaashiria maastajabu anayokumbana nayo Philipp. Utamsikia mara kadha akisema "Das glaube ich nicht" (Hilo siliamini) na "Das weiß ich nicht" (Hilo silijui). Hii ni fursa ya kuzingatia zaidi neno la kukanushia "nicht".
Philipp pia anapata fununu ya kumtambua mgeni. Anaona tangazo gazetini la onyesho la muziki kumhusu Mfalme Ludwig. Akiwa njiani kwenda kwenye ukumbi, anawahoji watalii wanaozuru kutoka maeneo yote ulimwenguni. Huku Paula akiwa afisini mwake Berlin, Philipp naye anahangaika huku na huko mjini Munich. Hana habari yoyote kuhusu jambo aliloligundua Paula, lakini hata hivyo naye anaendelea vyema na uchunguzi wake. Kwenye basi anapoelekea ukumbini anazungumza na watalii kuhusu wanalotarajia kutokana na onyesho la muziki. Fanya mazoezi ya ufahamu wa kusikiliza katika tukio hili. Kwenye basi utasikia lugha nyingi zikizungumzwa. Jitahidi kutambua maneno ya Kijerumani. Utafahamishwa kuhusu neno la kukanushia "nichts" na mahali pake baada ya kitenzi.
Kwenye Kasri la Neuschwanstein, Paula na Philipp wanamhoji mtu anayedai kuwa Mfalme Ludwig. Paula anagundua jambo linalompa fununu ya kumtambua mgeni huyo asiyeeleweka. Waandishi habari hao wawili wanamrai mtu huyo anayedai kuwa Mfalme Ludwig kukubali mahojiano ya moja kwa moja redioni. Hata hivyo asili ya mtu huyo inabaki kuwa kitendawili. Paula anaporejea afisini, anaona tangazo la biashara la runinga linalompa fununu. Sauti ya tangazo hilo si ngeni kwake. Huwezi kuzungumzia vitu unavyohiari bila kusema nini au nani unayempenda. Kitenzi “lieben” huandamana na shambirisho la uhusiano wa moja kwa moja. Katika tukio hili utaelezwa kuhusu uhusika wa moja kwa moja.
Paula na Philipp wanamtambulisha Mfalme Ludwig kwa wasikilizaji kwenye mchezo wao wa redio. Kuteleza thelujini usiku, hafla kubwa na uvumbuzi wa ajabu ni mambo ya mwanzo Ludwig aliyoyafanya katika wakati wake. Waandishi habari hao wawili wanawarejesha wasikilizaji hadi katika karne ya 19. Wanapata habari za Mfalme Ludwig, jinsi alivyokuwa akipenda mandhari asilia, muziki wa Richard Wagner na pia uhusiano wake na binamu yake, Malikia Sissi. Kila mtu anashangazwa na meza ambayo Ludwig aliiunda mwenyewe. Tukio hili linahusu vitu ambavyo Mfalme Ludwig anavihiari, na hivyo inabidi kujifunza kitenzi "lieben" (kupenda). Viambishi-tamati hivyo vinatumika kwa kitenzi "kommen" (kuja), ambacho utakisikia baadaye.
Katika Kasri la Neuschwanstein, Paula na Philipp wanakutana na mgeni wasiyemwelewa ambaye amevaa joho la Mfalme Ludwig. Wanafanya uchunguzi kuhusu utata unaogubika kifo cha Ludwig. Mwanamume aliyejitanda mabegani mwake joho la Mfalme Ludwig anajaribu kuwasadikisha Paula na Philipp kwamba yeye ni marehemu mfalme. Je Ludwig alifariki vipi? Waandishi hao wawili wa habari wanatayarisha mchezo wa redio kuwaeleza wasikiliza wao kuhusu nadharia kadha wa kadha za kifo cha Mfalme Ludwig katika Ziwa la Starnberg. Hakuna anayejua kwa uhakika ikiwa aliuliwa au alijiua. Mkutano na mtu huyo asiyeeleweka ni fursa nzuri ya kusikia tofauti za kawaida zilizopo kati ya kuzungumza na rafiki au mgeni. Sikiliza kiwakilisha rasmi "Sie" na kiwakilishi kisicho rasmi "du." Kitenzi-jina cha kitenzi "kuwa" – "sein" ni.
Paula na Ayhan wanamkaribisha mfanyikazi mwenzao mpya katika Radio D. Tayari wana jukumu muhimu la kutekeleza. Marehemu Mfalme Ludwig wa Bavaria anasemekana angali hai na kundi hilo linataka kuchunguza kadhia hiyo. Philipp anakutana na wafanyikazi wenzake wapya Paula na Ayhan, na pia Josefine ambaye anasimamia taratibu za afisini. Hapana muda wa kupoteza maana Philipp na Ayhan tayari wanajua habari yao ya kwanza. Kuna tetesi kwamba mfalme maarufu Ludwig wa Pili wa Bavaria angali hai, ingawa alisemekana alifariki kwa njia isiyoeleweka mwaka 1886. Waandishi habari hao wawili wanaelekea katika Kasri la Neuschwanstein kuchunguza na kujifahamisha. Mambo yasiyoeleweka yanazua maswali mengi. Katika tukio hili unaweza kufahamu zaidi maneno ya kuulizia maswali na majibu.
Philipp, ambaye ni kijana, anasafiri kwa gari kwenda mashambani kumtembelea mama yake Hanne. Anatumai kupunga hewa lakini punde anagundua kuwa mashambani pia kuna vitimbi vyake. "Mandhari asilia, raha iliyoje!" Philipp anasema punde anapowasili nyumbani kwa mama yake mashambani, ambako anataka kujipumzisha. Huko kuna zaidi ya paka na ng'ombe. Philipp anapokunywa kikombe chake cha kahawa kwenye bustani, hapati amani aliyoitaraji kwani wadudu wanamsumbua si haba—kisha mambo yanamharibikia Philipp. Hata kama huna msamiati wa kutosha bado, unaweza kufahamu tukio hili. Sauti zinasosikika chini kwa chini zinaashiria mahali Philipp alipo. Katika tukio hili, utajifunza maamkizi na kauli za kuagana.
Philipp hajapata amani yoyote wala utulivu. Baada ya kusumbuliwa na wadudu, inambidi kukabiliana na majirani wasioisha kelele. Anapopigiwa simu asiyoitarajia kutoka Berlin, anaondoka haraka. Usumbufu aliopata kutokana na wadudu si lolote si chochote! Maji yanamfika shingoni Philipp anapokabiliana na kelele za msumeno wa umeme pamoja na mpiga tarumbeta limbukeni. Paula kutoka Radio D mjini Berlin anapompigia simu, Philipp anapata kisingizio cha kukatiza ziara yake. Mama yake Philipp anasikitika sana pale Philipp anapomuaga na kuelekea mji mkuu wa Ujerumani. Hata kama huna msamiati wa kutosha bado, unaweza kufahamu tukio hili. Maneno ya kimataifa na kiimbo vitakuwezesha kufahamu mtiririko wa tukio na pia kufanya mazoezi ya ufahamu kwa kusikiliza.
Mission Europe - Mission Berlin | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
Anna bado hajapata ufumbuzi wa kitendawili chake. Tukio gani la kihistoria RATAVA inataka kuzuia? Mchezaji anamwambia kurejea mwaka 2006 na kisha kurudi tena mwaka 1989. Je harakati hizo zina hatari kiasi gani? Kabla ya Anna kurejea mwaka 2006, anataka kuagana vizuri na Paul. Ana muda wa dakika 35 kukamilisha jukumu lake na inambidi kuchunguza ajue tukio ambalo kundi la RATAVA linataka kusimamisha. Anna na mchezaji wanagundua kuwa kundi la RATAVA halizingatii ujenzi wa ukuta bali kuanguka kwake. Mchezaji anamwambia kwanza arudi mwaka 2006 kisha aende mwaka 1989 wakati ukuta ulipoanguka.