POPULARITY
I denne episoden møter programleder Ivar Brakstad forsker Tore Witsø Rafoss fra KIFO for en spennende samtale om hans nye bok Rosetogenes paradokser. Sammen går de i dybden på hvordan 22. juli skapte et spontant fellesskap, og hvilken rolle nasjonalromantikk, roser og fortellinger spilte i denne prosessen. Hvorfor søkte nordmenn trøst i fellesskapet etter sjokket? Hva sier dette om oss som samfunn? Til slutt ser de på hvordan sosiologiske klassikere fortsatt kan gi oss verdifulle innsikter i dag. Link til boken: Fagbokforlaget
Is Gengetone back? DJ Joe Mfalme Presents: The Double Trouble Volume 99: New Year, New mix ! #KifoChaMende a special mixtape featuring some of the biggest hits charting the airwaves in Kenya! Filmed by Actionpac Media at the iconic Sk8City located at Diamond Plaza II 12th Floor. This mixtape is a celebration of new songs from your favorite artists and new artist. Hit play, turn up the volume, and let's begin the year with a Bang! Don't forget to like, share, and subscribe for more epic mixes from DJ Joe Mfalme. You can listen to any of my other mixes here
Is Gengetone back? DJ Joe Mfalme Presents: The Double Trouble Volume 99: New Year, New mix ! #KifoChaMende a special mixtape featuring some of the biggest hits charting the airwaves in Kenya! Filmed by Actionpac Media at the iconic Sk8City located at Diamond Plaza II 12th Floor. This mixtape is a celebration of new songs from your favorite artists and new artist. Hit play, turn up the volume, and let's begin the year with a Bang! Don't forget to like, share, and subscribe for more epic mixes from DJ Joe Mfalme. You can listen to any of my other mixes here
Starten på Donald Trumps andre presidentperioder ble preget av mye forbønn, mange religiøse referanser og en omdiskutert preken. Hva forteller det om dagens USA og om oss? Vi snakker også om ferske tall fra KIFO om status for kristen tro i Norge og om en fersk doktorgrad om kristne skoler. Sofie Braut er med som gjest. Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Habari kuu wiki hii ni pamoja na mkutano kati ya rais wa Marekani anayejiandaa kuondoka madarakani Joe Biden na viongozi wa Afrika huko Lobito Angola, mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini kuanza tena baada ya miezi minne, maafisa 20 wa Kenya waliopelekwa Haiti wajiuzulu, rais wa DRC Felix Tshisekedi kukutana na rais wa Rwanda Paul Kagame desemba 15, yaliyojiri Sudan uchaguzi nchini Ghana, na wabunge wa Ufaransa walivyoiangusha serikali ya Michel Barnier lakini pia kanisa kubwa la Notre Dame lafunguliwa jijini Paris Ufaransa, Israel yaendeleza mashambulizi Gaza
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, ukiwa nami Frateri Cassian Lebba, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea nikijibu swali la Msikilizaji Linalosema Kwanini tunakiita kifo cha Yesu kuwa ni sadaka Takatifu wakati Maandiko Matakatifu yanasema amelaaniwa Mtu aliyeangikwa mtini L'articolo Kwanini tunakiita kifo cha Yesu kuwa ni sadaka Takatifu ? proviene da Radio Maria.
Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO, amesema amestushwa na kusikitishwa na kifo cha aliyetarajiwa kushika wadhifa wa mkurugenzi mkuu wa WHO Kanda y Afrika Dkt. Faustine Engelbert Ndungulile kutoka nchini Tanzania. Flora Nducha na taarifa zaidi.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tukiungana na Frater Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, akijibu swali hili, Kadiri ya waraka Waebrania 9:27 “Mwanadamu baada ya kufa anapewa hukumu” Je, Hukumu hiyo ni ipi? L'articolo Je, kuna hukumu baada ya kifo? proviene da Radio Maria.
Ripoti nyingine mpya ya tathimini ya uchunguzi wa hali na mazingira ya kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1961 Dag Hammarskjöld imetolewa leo ikiwa na vipengele vinne vipya vikiongeza uwezekano kwamba kifo hicho cha ajali ya ndege kilikuwa ni hila. Asante Anold kwanza ikumbukwe kuwa hii sio ripoti ya kwanza na huenda isiwe ya mwisho ya kutathimini hali na mazingira yliyochangia ajali ya ndege iliyokatili maisha ya Dag Hammarskjöld tarehe 17 Septemba 1961 akiwa njia kuelekea Congo ambayo sasa ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Cngo DRC, kujadili usitishwaji wa uhasama ila ni ripoti ya karibuni zaidiRipoti inasema mwenyekiti wa jopo la tathimini ya uchunguzi jaji mkuu wa zamani wa Tanzania Mohamed Chande Othman amepokea taarifa mpya muhimu kutoka kwa nchi wanachama ambazo zinajumuisha maeneo haya Mosi: uingiliaji unaowezekana wa Nchi Wanachama wa mawasiliano husika.Pili: Uwezo wa wanajeshi wa Katanga, au wengine, wa kufanya shambulio linalowezekana kwenye ndege ya SE-BDY,Tatu: kuwepo kwa askari wa kigeni na wafanyakazi wa kijasusi katika eneo hilo la tukioNa nne: Taarifa zaidi mpya zinazohusiana na muktadha na matukio yanayozunguka kifo hicho mwaka 1961.Jaji Othman amemkabidi Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ripoti hii ya tathimini ambaye naye ameiwasilisha kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.Na kufuatiia tathimini hii Guterres amesema anaizingatia ingawa kihistoria kumekuwa na nadharia nyingi zilizotolewa kama sababu inayowezekana ya ajali hiyo, na anazichukulia nadharia hizo nyingi kuwa zisizo na uthibitisho.Hata hivyo mwenyekiti wa jopo la tathimini anasema nadharia nyingine ambayo inabaki na inakubalika ni kwamba shambulio la nje au tishio lilikuwa sababu ya ajali.Pia amesema kuwa dhana mbadala zinazoonekana kuwepo ni kwamba ajali hiyo ilitokana na hujuma, au makosa ya kibinadamu yasiyokusudiwa.Katibu mkuu amekaribisha ushirikiano uliotolewa na baadhi ya nchi wanachama katika tathimini hiyo lakini bado jopo la tathimini linaaminikuna baadhi ya nchi wanachama wana taarifa muhimu ambazo hawajataka kuzitoa.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateri Maurus Msigwa, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea, Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema Mwanadamu hufa, je kifo ni adhabu?na je mbona mtu akitambua makosa yake akaona anastahili kufa, kwanini huwa hafi? L'articolo Je, Kifo ni adhabu? proviene da Radio Maria.
Pakistan imetangaza siku moja ya maombolezo, nayo Lebanon imetangaza siku tatu za maombolezo, huku serikali kadhaa zikitoa salamu za rambirambi kwa Iran baada ya kifo cha Rais Ebrahim Raisi na waziri wa mambo ya nje Hossein Amirabdollahian katika ajali ya helikopta.
Kweli ajali haina kinga. Hata hivyo tukio la Jenerali wa Jeshi la Nchi kufariki kwenye ajali ya ndege, akiwa ndani mwa nchi yake, ni jambo ambalo lazima lichunguzwe. Je, kunao waliolala kazini kiasi cha kuruhusu tukio hili kutokea au ni ajali tu kama ajali nyingine? Lazima pafanyike uchunguzi wa kina kubaini kilichojiri.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani na Frateli Caspary Nyiihwil, kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo kuu la Songea Swali la Msikilizaji linalojibiwa linasema Ni halali kufanya ibada ya wafu na Je marehemu akifanyiwa maombi anaweza kusamehewa dhambi zake pasipo yeye kutubu kabla ya kifo chake? L'articolo Je, Marehemu akifanyiwa maombi anaweza kusamehewa dhambi zake pasipo yeye kutubu kabla ya kifo chake? proviene da Radio Maria.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Nyota wa zamani wa Ligi ya Mpira wa Marekani NFL na mcheza filamu ambaye alifutiwa mashtaka ya mauaji ya mkewe na rafiki yake wa kiume katika kesi iliyoteka Marekani na dunia amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
Makala hii imeangazia hatua ya rais wa Uganda Yoweri Museveni ya kumteua mwanawe kuwa mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, mazishi ya mwanasiasa Cherubin Okende, yaliyojiri nchini Rwanda, lakini pia Sudan huko ambako wiki hii Marekani ilisema kuwa ina matumaini mazungumzo ya kumaliza mzozo wa nchi hiyo yatarejea hivi karibuni baada ya mfungo wa Ramadan, uchaguzi wa urais huko Senegal jumapili ya Marchi 24 tumeangazia yaliyojiri huko Israeli na kwengineko duniani. Ungana nami Reuben Lukumbuka
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambapo swali linalojibiwa linasema Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo? majibu ya swali hili yanatolewa na Fratel Felix Olindula. L'articolo Je, Mtu anaokoka akiwa duniani au baada ya kifo? proviene da Radio Maria.
Yaliyojiri wiki hii ni pamoja na kifo cha rais wa zamani wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi, na kauli za rais Felix Tshisekedi kuwa yuko tayari kwa mazungumzo na rais mwenza wa Rwanda Paul Kagame, ziara ya waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed nchini Tanzania na pia Kenya, maandamano ya chama cha upinzani cha Chadema nchini Tanzania kule Arusha, yaliyojiri nchini Rwanda, kwenye kanda ya Afrika magharibi lakini pia hali ya Israeli na kwengineko duniani.
Viongozi mbali mbali nchini Tanzania, wana endelea kutoma salamu za kwa jamaa na familia ya Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Alhamisi wiki hii.
Wiki imejaa matukio ya kutamausha kwanza; wanajeshi wawili wa Afrika kusini waliuawa mashariki mwa DRC, kinara wa upinzani wa nchini Kenya Raila Odinga kuwania uwenyekiti wa tume ya Umoja wa Afrika, maandamano ya wapinzani nchini Tanzania, yaliyojiri Sudani, pia Senegal huko Afrika magharibi, kifo cha mpinzani huko Urusi Alexei Navalyn, shinikizo za kimataifa dhidi ya Israeli ikubali kusitisha vita dhidi ya Hamas,na mengineyo
Akizungumza na waandishi wa habari, babake mwanariadha bingwa wa Marathon Kelvin Kiptum wa Kenya alieleza mashaka kuhusu ripoti ya jinsi ajali ya barabarani ilivyomuua mwanawe na akataka uchunguzi wa kina kubaini kilichosababisha ajali hiyo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Makala ya Yaliyojiri wiki hii,imeangazia kuenea kwa taarifa ya kifo cha mtu anayedaiwa kuwa kiongozi wa kundi la mamluki wa Wagner Yevgeny Prigozhin, mkutano wa Brics huko Johannesburg Afrika kusini, siasa za Kenya, DRC, matukio ya kule Uganda, uchaguzi wa Gabon, pia hali inavyoendelea Niger na kwengineko duniani
This week we watched Zoombies. We talk about killer Giraffes, butt monkeys, Kifo the fake gorilla, and birds nesting inside people! --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/matt-mike-john-bubba/support
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Kifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo kimezua majonzi na simanzi, katika jumuiya ya wakenya nchini Australia.
Uganda imepitisha sheria kali dhidi ya kundi la watu wanao jitambua kama LGBTIQ+, hatua ambayo imevutia ukosoaji mkali kutoka mataifa ya magharibi pamoja wana harakati barani Africa.
Taarifa kuhusu kifo cha Sharon J Kigen, ime waacha jamaa na marafiki wake na huzuni isiyo elezeka.
Jinsi mwanadamu atakavyofufuliwa Yesu atakaporudi tena kuwachukua walio wake
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Kifo cha Malkia Elizabeth II kili ibua hisia mseto kote duniani, haswa Tanzania ambako watu wa vizazi tofauti walipokea taarifa ya kifo chake katika hali tofauti.
Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa kati ya viongozi wa kwanza wa kimataifa kutuma risala za rambirambi kwa serikali na watu wa Uingereza kufuatia kifo cha Malkia wao, Elizabeth II kilichotokea Alhamisi akiwa na umri wa miaka 96
Uingereza na Ulimwengu wanaomboleza kifo cha Malkia Elizabeth wa pili ambaye alifariki dunia Alhamisi akiwa na umri wa miaka 96. Elizabeth atakumbukwa kama kiongozi aliyedumisha umoja na upendo kati ya raia wa Uingereza.
Udanganyifu juu ya Kifo
Katika Livetalk wiki hii tunaangazia wasifu wa rais wa zamani wa Kenya, Mwai Kibaki, aliyeaga dunia Ijumaa akiwa na umri wa miaka 90. Wanasiasa, wananchi na wachambuzi wanatazama mafanikio ya uongozi wake na dosari katika safari yake ya kisiasa.
Watu kote duniani wanaendelea kukabaliana na taarifa za kifo cha ghafla, cha gwiji wa mchezo wa cricket Shane Warne.