POPULARITY
Back In the Days Ayeee
Hii leo jaridani tunaanza na sarafu za kidijitali au Cryptocurrency kwa kiingereza ambapo Umoja wa Mataifa unatoa kuwa inatishia utulivu wa kifedha kutokana na ukosefu wa será za udhibiti na usimamizi. Sasa kupitia UNCTAD, UN inatoa miongozo ya kisera. Kisha tunakwenda Kenya huko ambako shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO limepatia watu 62 cheti cha kuhitimu mafunzo ya stadi ambazo walikuwa wamebobea bila mafunzo rasmi, sasa wanakwambia “sisi juakali tunaweza kuomba zabuni hata serikalini.” Mashinani tunasalia Garissa nchini Kenya kwenye mradi wa maji na makala tunakwenda Uganda kwa wakimbizi wanufaika wa miradi ya kuwapatia kipato badala ya kusubiri misaada. Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi. Karibu!
Shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO nchini Kenya, kwa kushirikiana na wadau wengine, hivi karibuni wamewaidhinisha na kuwakabidhi watu 62 vyeti vya kwanza kabisa vya RPL ambao ni mfumo wa kutambua, kutathmini na kuthibitisha maarifa na ujuzi au stadi za mtu bila kujali kwamba mtu huyo hakupita kwenye mfumo rasmi wa elimu. Taarifa ya Anold Kayanda inaeleza zaidi. “Mimi nilikuwa ninaogopa. Unajua watu ambao hawajasoma unaogopa mtihani,” akiwa amembeba mtoto wake mgongoni mbele ya umati uliofika kushiriki tukio hili, ni Florence Wambui mmoja wa waliohitimu kupitia mfumo huu wa RPL ambapo mtu aliye na ujuzi na uzoefu mkubwa kuhusu kazi fulani lakini hana vyeti, anatambuliwa na kupewa cheti. “Niliona ni muhimu kufanya RPL kwa sababu huko kwa Juakali hakuna vyeti, bali ni kufanya mambo kiujuakali tu (bila mfumo rasmi). Sasa nikaona ni muhimu kwenda kufanya mtihani nipate cheti. Unaona?!. Ndio hivyo hicho cheti kinaweza kunisaidia kupata tenda za serikali na pia kuinua kujiamini kwangu.” Naam na pia kuinua kujiamini kwake. Mwingine aliyetambuliwa ni Swaleh Rashid, mfanyakazi wa kampuni ya Base Titanium inayojihusisha na uchimbaji wa mchanga wa madini chuma nchini Kenya. Swaleh anahusika na masuala ya mitambo anasema, “nilikuja (hapa Base Titanium) nikiwa na ujuzi wangu ambapo nilikuwa nimechukua ufundi wa ngazi ya pili. Nilipoingia hapa, ikaja programu ya RPL ambayo niliipokea kwa mikono miwili kwa sababu niliona ina umuhimu kwangu. Nikachukua na nikakabidhiwa RPL kama fundi ngazi ya kwanza. Naninashukuru sana kwa maana naona hiyo ndio itanisaidia katika maisha yangu.” Dkt. Juma Kuhwama ni Mkurugenzi Mkuu wa KNQA ambayo ni Mamlaka nchini Kenya inayosimamia ubora wa mafunzo yote na sifa za kielimu zinazotolewa nchini Kenya anaeleza zaidi kuhusu utaratibu wa vyeti vya RPL yaani Recognition of Prior Learning akisema, “wengi wetu hatuna vyeti lakini tuna stadi au ujuzi. Tumejifunza kutoka kwa wazazi wetu, tumejifunza kutoka katika maeneo yetu ya kazi. Kwa hiyo wazo nyuma ya mfumo huu ni kuhakikisha kwamba tunakutathmini, tunakupa cheti ili kama unataka kuendelea na kazi yako, karatasi inaweza kukuruhusu kupata mikataba na serikali za kaunti, serikali kuu au kampuni ili uweze kuboresha maisha yako na pia unaweza kupata vyeti hivi na ukaendeleza elimu yako hadi ngazi ya uzamivu, PhD bila kupitia mfumo wa elimu ya sekondari. Hivyo ndivyo sheria inavyosema. Kwa hiyo ni mfumo muhimu sana. Lakini pia ambcho mfumo huu unatufanyia kimsingi ni kutambua ujuzi ambao mtu anao.”
Do not be afraid just start and do not give up - Juakali MBA by Capital FM
Download link - http://bit.ly/mochivated12 **Tracklist** 1. Fire - EABC 2. Swing Swing - Kleptomaniax 3. Piga Makofi - Longombas 4. Get down - Madtraxx 5. Skamaress - Madtraxx 6. Hey DJ - Historians 7. Banjuka - D.N.A 8. Leo ni leo - Redsan 9. Dabotap - The Kansoul 10. Make a choice 11. Tuendelee - Kleptomaniacs 12. Wasee (Githurai mix) - Ogopa 13. Dondosa - Longombas 14. Boomba Train - Esir ft Nameless 15. Tuende tukawake - Krupt 16. Mamanzi - Esir 17. Moss Moss - Esir 18. Gyal - Shaffie & Slice 19. Dumbala Remix - Jay A 20. Combination - EABC 21. Karibia - Nameless 22. Saree - E-Sir 23. Monalisa - Deux Vultures 24. Juju - Nameless 25. Data - Proff 26. Little Star - Ousmane 27. Unbwogable - Maji Maji 28. Nikuskize - Jaguar 29. Kipepeo - Jaguar 30. Bidii Yangu - Jua cali 31. Kwaheri - Juakali ft Stella 32. Tatizo - Nameless ft Juakali,Doobeez, 33. Nina Morale - Pilipili 34. Taking it back - STL 35. Under 18 - Jimwat 36. Kadhaa - Nonini 37. Kushoto Kulia - Nonini 38. How high (Why lie) - Big Pin 39. Landlord - Mejja 40. Furahi Day - Nonini 41. Shika More - Longombas 42. Kinyaunyau - Deux Vultures 43. Adhiambo - Deux Vultures 44. Ninanoki - Nameless 45. Big Shot - Madtraxx 46. Vuta Pumz - Longombas
This week on the Finding Impact Podcast, we are kicking off a new series on hardware entrepreneurs, this one with William Maluki of Gearbox about creating tools for manufacturing in Africa. This is the first episode in a 3-part series on invention-based entrepreneurs that aims to provide unique insights into some of the challenges and workarounds faced by entrepreneurs creating hardware products in emerging markets. On this podcast, you will learn: Why and how William invented a marvellous machine called KunjaBot that is an automatic pipe bender specifically designed for people in the Juakali (informal manufacturing) sector in Kenya. The KunjaBot provides the Juakali sector with access to mass manufacturing capabilities at affordable costs while improving quality and profit margins and allowing them to compete against imported products. About the pay-as-you-bend (akin to a pay-as-you-go) business model of the KunjaBot that enables the Juakali to avoid expensive purchasing costs of manufacturing equipment and absolves them of the costs for operating and maintaining the equipment. How William has dealt with barriers while building the KunjaBot such as customer demand, lack of awareness among the Juakali, business model changes, manufacturing challenges, commitment and lead times from suppliers and contractors, as well engineering and accounting skills to get his project off the ground, etc. About the Gearbox initiative in Kenya and how it enables and provides incredible support to hardware entrepreneurs and inventors to design and build their products through capacity building, maker spaces and engineering and technology support. Finally, you will learn about the new the actionable playbook for invention-based entrepreneurs based on interviews and discussions with leaders in the field, delving into the challenges of bringing physical products into the market. The playbook prepared by Finding Impact will provide actionable content around issues such as workarounds, hiring teams, raising funds, creating minimum viable products and launch strategies, to help entrepreneurs on their invention journey. Links to Resources: Gearbox Kasp3r Technologies (William's venture for the KunjaBot – website to be launched soon) One Man, His Machine, and a Mission to Take Kenya's Manufacturing Jobs to the Next Level Modern technology for "Juakali", the informal sector Sign-up Page - Playbook for Invention-based Entrepreneurs Connect with William: LinkedIn Twitter
01 - Spectre - The Grind (feat. Sensational) 02 - Pinch - Trauma (feat. Juakali) 03 - Dryft - Crash 04 - Kaltesglas - Water and Stone 05 - DJ Spooky vs Scanner - Journey 06 - S.U.N. Project - Deeper And Deeper 07 - Deepchild - Chocolate Dub 08 - Burial - Raver 09 - The Cinematic Orchestra - Channel 1 Suite 10 - Monk & Canatella - This Time It's Different 11 - Aes Dana - Morphologies
01 - Spectre - The Grind (feat. Sensational) 02 - Pinch - Trauma (feat. Juakali) 03 - Dryft - Crash 04 - Kaltesglas - Water and Stone 05 - DJ Spooky vs Scanner - Journey 06 - S.U.N. Project - Deeper And Deeper 07 - Deepchild - Chocolate Dub 08 - Burial - Raver 09 - The Cinematic Orchestra - Channel 1 Suite 10 - Monk & Canatella - This Time It's Different 11 - Aes Dana - Morphologies