This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi duniani ,COP28 unaofanyika Dubai katika falme za kiarabu (UAE) tarehe 01 disemba ,2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 katika ukumbi wa Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Vifaa vya Uchimbaji Madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na Wachimbaji Wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo tarehe 21 Oktoba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wakati wa kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru wilaya ya Babati mkoani Manyara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.
Kipindi maalum kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya katika mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 15 - 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutanoi Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 , jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakizungumza na vyombo vya habari Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Kikao Kazi kwa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC Jijini Arusha tarehe 19 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuwaapisha MabalozI wateule Ikulu Chamwino tarehe 16 Agosti, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa la Anglikana Tanzania mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo katika Sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za Nanenane jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa tamasha la Simba Day katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkuu wa Wakuu wa Nchi za Afrika tarehe 26 Julai, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akifungua Jukwaa la Demokrasia Afrika uliohusisha viongozi wakuu wastaafu wa nchi mbalimbali baraki Afrika uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Gran Melia jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPAMBANA NA RUSHWA TAREHE 10 JULAI, 2O23- AICC ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za kulevya Duniani tarehe 25 Juni, 2023 yaliyofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WATANZANIA - TAREHE 31 DISEMBA 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kupokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Chuo cha Ufundi Stadi na Huduma (VETA) kilichopo Bukoba Mkoani Kagera Tarehe 13 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi na Waumini wa dini ya Kiislam katika baraza la Maulid liliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam tarehe 09 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) tarehe 09 Septemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kizimkazi yaliyofanyika katika uwanja wa Dimbani, Kusini Unguja tarehe 05 Septemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akifungua Kikao Kazi cha Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Makao Makuu, Makamanda wa Polisi wa Mikoa/ Vikosi katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi tarehe 30 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kumuapisha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza (CGP) Mzee Ramadhani Nyamka pamoja na Majaji 21 wa Mahakama Kuu, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi kuhusu siku ya Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika kitaifa tarehe 23 Agosti, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na vyombo vya habari tarehe 02 Agosti, 2022 Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa Zaiara ya Rais wa Jamhuri ya Zambia nchini Mhe. Haikande Hichilema .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa tarehe 01 Agosti, 2022 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia baada ya kumuapisha Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Camillus Mongoso Wambura tarehe 21 Julai, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Maaskofu kutoka nchi mbalimbali Barani Afrika pamoja na baadhi ya viongozi katika maadhimisho ya mkutano wa 20 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) uliofanyika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Julai, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya utiaji saini Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa kwa kipande cha nne Tabora - Isaka tarehe 04 Julai, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Miaka 25 (Silver Jubilee) ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC).
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) tarehe 19 Juni, 2022 Katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.