Podcasts about disemba

  • 16PODCASTS
  • 86EPISODES
  • 15mAVG DURATION
  • 1WEEKLY EPISODE
  • Dec 27, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about disemba

Latest podcast episodes about disemba

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 26 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 27, 2024 6:59


Mamlaka wa Urusi na Australia wachunguza ripoti kuwa, raia wa Australia amekamatwa akipigania Ukraine.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 27 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 27, 2024 16:40


Mabadiliko mazuri ya hali ya hewa yame saidia juhudi za wazima moto wanao kabiliana na moto ambao haukuwa ukidhibitika katika maeneo ya Grampians jimboni Victoria, baada ya hali mbaya zaidi ya hali ya hewa kwa moto wa vichaka tangu tukio la Black Summer la 2019.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 24 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 24, 2024 19:55


Waziri Mkuu Anthony Albanese ametupilia mbali tathmini ya upinzani kuwa amefeli kwa swala la uhamiaji, wakati ripoti za mihadarati kama heroin, methamphetamine na fentanyl kuingia katika vizuizi vya uhamiaji vya Australia.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 20 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 20, 2024 18:38


Eneo la kusini mashariki Queensland, lina jiandaa kukaribisha afueni ya hali ya hewa baada ya dhoruba kusababisha barabara kufungwa, umeme kupotea na mafuriko.

SBS Swahili - SBS Swahili
Bw Chumba "tukishikana mikono itatupa urahisi kufanya vitu vikubwa pamoja"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 20, 2024 8:32


Viongozi wa Jumuiya yawa Kalenjin wanao ishi New South Wales wanajiandaa kuwasilisha vyeti vya usajili wa Jumuiya kwa wanachama wao jioni ya Ijumaa 20 Disemba 2024.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 17 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 17, 2024 20:29


Mawaziri wa kigeni na ulinzi wa Uingereza na Australia wamefanya mkutano wao wa kila mwaka ((AUKMIN)) mjini London ambako amekubali kuimarisha zaidi ushirikiano kwa ulinzi, biashara na sera yakigeni.

australia habari uingereza disemba
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 13 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 13, 2024 22:50


Serikali ya Albanese imetangaza mfumo mpya waku lazimisha mitandao yakidigitali yakufidia vyombo vya utangazaji vya Australia kwa matumizi ya habari zao.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 10 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 10, 2024 16:55


Waziri wa Huduma za Serikali Bill Shorten ametangaza kuwa shirika la Services Australia, lime tekeleza karibu nusu ya mapendekezo yote kutoka Tume yakifalme kwa mfumo usio halali wa Robodebt.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Wataalam wa mazingira: Kuchakata plastiki sio suluhu ikiwa nchi zinazalisha zaidi

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Dec 10, 2024 10:00


Mkutano wa kukabiliana na uchafuzi wa plastiki ulikamilika mwanzoni mwa Disemba 2024 bila mwafaka kufikiwa, wataalam wa mazingira wakisema pendekezo la kuchakata plastiki wakati nchi nyingine zikiendelea kuzalisha sio suluhu la tatizo hilo. Kwenye makala hii leo tunaangazia athari za plastiki kwa afya na mazingira, suluhu zinazopendekezwa lakini pia kupata ufafanuzi zaidi kilichokwamisha kupatikana kwa mkataba wa kumaliza tatizo linalosababishwa na uchafuzi wa plastiki.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 6, 2024 21:50


Kura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 3 Disemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 3, 2024 19:28


Umoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.

VOA Express - Voice of America
Program tofauti zinafanyika katika nchi nyingi za Afrika katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia hadi Disemba 10. - Novemba 26, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 26, 2024 30:00


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

SBS Swahili - SBS Swahili
Prof Chacha "kuendelea kuahirisha uchaguzi hakuta leta amani au mafanikio Sudan Kusini"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 20, 2024 7:56


Kwa mara nyingine uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini ume ahirishwa hadi Disemba 2026.

prof cha cha kwa uchaguzi disemba sudan kusini
Alfajiri - Voice of America
Tume ya uchaguzi nchini DRC yakemea ripoti ya Kanisa Katoliki kuhusu uchaguzi wa Disemba 2023 - Juni 18, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 18, 2024 29:59


tume kanisa uchaguzi ripoti disemba
Wimbi la Siasa
Serikali ya Sudan Kusini na makundi ya waasi yaanza mazungumzo jijini Nairobi

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later May 10, 2024 10:05


Mazungumzo ya amani yanayohusisha makundi ya waasi nchini Sudan Kusini na serikali yameanza rasmi jijini Nairobi, wakati huu taifa hilo likijiandaa kwa uchaguzi wa mwezi Disemba. Makundi haya ni yale yaliosusia mkataba wa amani wa mwaka 2018, wakati rais Salva Kiiri na hasimu wa wake wa kisiasa ambaye sasa ni makamo rais wa Kwanza Reik Machar walisaini mkataba wa amani.Soma piaKenya kuisaidia Sudan Kusini kupata suluhu ya utovu wa usalama wa miaka mingiKatika makala haya Benson Wakoli na wachambuzi wa kisiasa Fracis Wambete, ambaye na mhadhiri wa chuo kikuu cha Makerere nchini Uganda, pamoja na Abdulkarim Atiki, mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka nchini Tanzania wanajaribu kuangazia kufaulu kwa mazungumzo haya, skiza.

SBS Swahili - SBS Swahili
Maandamano ya upizani DRC yatishia kuapishwa kwa Rais Tshisekedi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jan 19, 2024 7:32


Wawili kati ya wagombea wakuu wa upinzani kwenye uchaguzi wa Disemba mwaka jana nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wameitisha maandamano Jumamosi wakati wa kuapishwa kwa Rais Felix Tshisekedi kuongoza muhala wa pili.

congo rais tshisekedi jamhuri kidemokrasia disemba
SBS Swahili - SBS Swahili
Wanafunzi wakimataifa walengwa wakuu wa mageuzi ya uhamiaji nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jan 12, 2024 10:26


Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa kwa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba 2023.

Wimbi la Siasa
Utendakazi wa CENI na mrengo wa upinzani katika uchaguzi wa Disemba 20

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Jan 5, 2024 10:01


Maandamano yaliotishwa na upinzani kupinga utendakazi wa CENI yalizimwa na polisi nchini DRC

drc ceni katika uchaguzi disemba
Wimbi la Siasa
Tume ya uchaguzi nchini DRC kumtangaza rais Felix Tshisekedi mshindi uchaguzi wa Disemba 20 2023.

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Jan 3, 2024 9:54


SBS Swahili - SBS Swahili
Krismasi huwaje nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 23, 2023 8:33


Kama huwa hau sherehekei Krismasi, unaweza shangaa kuona mtu anaye vaa mavazi ya Santa akitereza juu ya maji katika mwezi wa Disemba.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 22 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 22, 2023 16:59


Msaada wa kifedha wa ziada una tumwa kwa watu walio athiriwa kwa marufiko, wakati juhudi kubwa ya usafi ina anza katika ukanda wa Kaskazini Queensland.

habari disemba
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 19 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 19, 2023 18:40


Mvua kubwa na kali ambayo imegonga eneo la Kaskazini Queensland ina anza kupungua ukali ila, ofisi ya utabiri wa hewa imesema onyo za mafuriko bado zina endelea kutumika.

habari disemba
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 18, 2023 7:04


Baadhi ya wakaaji katika eneo la Kaskazini Queensland wamelazimika kupanda juu ya paa za nyumba zao, wakisubiri kuokolewa, wakati mvua nzito iliyo sababishwa na kimbunga chaki tropiki Jasper inasababisha mafuriko katika kanda hiyo.

Jioni - Voice of America
Human Rights Watch inasema Demokrasia katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imekuwa ikirudi nyuma kuelekea uchaguzi mkuu wa Disemba 20. - Desemba 16, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 16, 2023 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 15 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 15, 2023 22:07


Bunge la Marekani lime idhinisha rasmi, mkataba muhimu wa AUKUS na Australia.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 12 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 12, 2023 17:54


Serikali ya Labor ina tetea mkakati wayo mpya wa uhamiaji, ikisema uta hakikisha raia wa Australia wanapewa kipaumbele kupata kazi.

SBS Swahili - SBS Swahili
Mageuzi makubwa ya uhamiaji wa Australia yawalenga wanafunzi wakimataifa

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 12, 2023 10:16


Serikali ya shirikisho imewasilisha mageuzi kadhaa viza za wanafunzi wakimataifa, kama sehemu ya mageuzi makubwa ya uhamiaji yaliyo tangazwa Jumatatu 11 Disemba.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 11 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 11, 2023 7:58


Waziri wa mambo ya ndani Clare O'Neil amesema, kupunguzwa kwa mapokezi ya wahamiaji kuta unda sehemu ya mkakati mpya wa uhamiaji wa serikali.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 7 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 8, 2023 6:33


Naibu kiongozi wa chama cha Liberal Sussan Ley ameomba serikali ya Albanese, iwaombe wa Australia msamaha wakati serikali ya Labor inazingatia kuwakamata tena watu ambao si raia walio achiwa hivi karibuni kutoka vizuizi vya uhamiaji, ambao huenda wakawa tisho kwa usalama wa jamii.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 8 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 8, 2023 19:27


Majimbo kadhaa yame wekwa katika tahadhari ya juu ya moto wa vichaka, mazingira ya joto kali yakitabiriwa wikendi hii.

habari disemba
Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA ALIPOFANYA ZIARA WILAYA YA HANANG ,MKOANI MANYARA KUWAJULIA HALI MAJERUHI NA KUWAFARIJI WAFIWA KATIKA MAAFA YA MAFURIKO KATESH ,HANANG ,DISEMBA 07,2023

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 7, 2023 19:04


Ikulu Tanzania
HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA ALIPOFANYA ZIARA WILAYA YA HANANG ,MKOANI MANYARA KUWAJULIA HALI MAJERUHI NA KUWAFARIJI WAFIWA KATIKA MAAFA YA MAFURIKO KATESH ,HANANG ,DISEMBA 07,2023

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 7, 2023 19:04


SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 4 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 5, 2023 6:36


Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amelaani anacho elezea kuwa ongezeko la mashambulizi dhidi ya wayahudi nchini Australia, tangu mwanzo wa mapigano mapya kati ya Israel na Hamas.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 5 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 5, 2023 14:28


Serikali ya shirikisho inatarajiwa kuwasilisha mageuzi ya muswada wiki hii, kwa ajili yaku kabiliana na utata ambao ume ibuka baada ya uamuzi wa mahakama kuu ambayo ili toa hukumu kuwa kifungo ndani ya vizuizi vya uhamiaji ni kinyume ya sheria.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 1 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 1, 2023 18:20


Viongozi wakisiasa wame waomba wa Australia waungane na waoneshe huruma hapa nyumbani, wakati mivutano inaendelea kuongezeka kwa sababu ya hali inayo endelea katika ukanda wa mashariki ya kati.

Ikulu Tanzania
MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI (COP28) - DUBAI ,UAE TAREHE 01 DISEMBA,2023

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 1, 2023 2:52


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi duniani ,COP28 unaofanyika Dubai katika falme za kiarabu (UAE) tarehe 01 disemba ,2023

Ikulu Tanzania
MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI (COP28) - DUBAI ,UAE TAREHE 01 DISEMBA,2023

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 1, 2023 2:52


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi duniani ,COP28 unaofanyika Dubai katika falme za kiarabu (UAE) tarehe 01 disemba ,2023

Habari RFI-Ki
Kinyanganyiro cha urais DRC chapamba moto

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 3, 2023 9:53


Nchini DRC   muungano wa kisiasa wa chama tawala Sacred Union umemteua rais Felix Tshisekedi , kuwania tena kiti cha urais kwenye uchaguzi wa mwezi Disemba, ambapo atapambana tena  na  mpinzani Martin Fayulu, Moise Katumbi na mshindi wa tunzo ya mani ya Nobele  daktari Denis Mukwege miongoni mwa wagombea wengine. Unazungumziaje hatua Denis Mukwege kuwania Urais.Je unafikiri DRC imejitarisha vilivyo kwa uchaguzi huu ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Habari RFI-Ki
Kinyanganyiro cha urais DRC chapamba moto

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Oct 3, 2023 9:53


Nchini DRC   muungano wa kisiasa wa chama tawala Sacred Union umemteua rais Felix Tshisekedi , kuwania tena kiti cha urais kwenye uchaguzi wa mwezi Disemba, ambapo atapambana tena  na  mpinzani Martin Fayulu, Moise Katumbi na mshindi wa tunzo ya mani ya Nobele  daktari Denis Mukwege miongoni mwa wagombea wengine. Unazungumziaje hatua Denis Mukwege kuwania Urais.Je unafikiri DRC imejitarisha vilivyo kwa uchaguzi huu ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Alfajiri - Voice of America
Rais Felix Tshisekedi wa DRC, ameteuliwa kuwa mgombea wa mungano unaotawala wa Union Sacre katika uchaguzi wa rais wa Disemba 20, 2023. - Oktoba 02, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 2, 2023 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Kwa Undani - Voice of America
DRC: Dkt Dennis Mukwege ajitosa uwanjani kuwania urais huku wagombea wengine wakiteuliwa na vyama vyao - Oktoba 02, 2023

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 2, 2023 29:59


Tshisekedi na Fayulu kupambana tena katika uchaguzi wa rais wa DRC hapo Disemba 20, 2023 huku Dkt Dennis Mukwege akijitosa uwanjani

SBS Swahili - SBS Swahili
Hatimae Martin Fayulu atangaza atawania Urais DRC

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 1, 2023 8:24


Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mapinduzi Gabon, moto Afrika Kusini, siasa na usalama DRC na masaibu ya Trump

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Sep 2, 2023 20:00


Mambo ambayo yamegonga vichwa vya habari ni pamoja na mapinduzi ya Gabon na kiongozi kuteuliwa amabye anatarajiwa kuapishwa Jumatatu ya Septemba 4, pia tuaangalia mapinduzi katika nchi jirani ya Niger, vilevile kisa cha kusikitisha cha moto nchini Afrika Kusini uliogharimu maisha ya zaidi ya watu 70. Kadhalika tutaangalia kuteuliwa kwa rais wa DRC Felix Tschisekedi kupeperusha bendera ya cha UPDS katika uchaguzi wa Disemba na tunavuka Tanzania ambapo rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko katika baraza lake na kusema kuwa hatua hiyo si adhabu.

Habari RFI-Ki
Marekani yapendekeza vikosi vya MONUSCO kuondolewa kwa mpangilio

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jun 29, 2023 9:59


Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu iwapo ni muda wa kuondoa vikosi vya kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia,MONUSCO Serikali ya Kinshasa imependekeza MONUSCO kuondolewa baada ya uchaguzi wa Disemba

Habari RFI-Ki
Marekani yapendekeza vikosi vya MONUSCO kuondolewa kwa mpangilio

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jun 29, 2023 9:59


Kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu iwapo ni muda wa kuondoa vikosi vya kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia,MONUSCO Serikali ya Kinshasa imependekeza MONUSCO kuondolewa baada ya uchaguzi wa Disemba

Habari za UN
09 FEBRUARI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 9, 2023 0:10


Ni Alhamisi ya tarehe 09 mwezi Februari mwaka 2023 na ni siku ya kukuletea mada kwa kina na inatupeleka Mashariki mwa Burundi katika kambi ya wakimbizi ya Nyankanda, kukutana na muoka mikate aliyebadili maisha yake na jamii iliyompokea. Pia tunakuletea habari kwa ufupi kuhusu afya, wakimbizi na kilimo. Na katika jifunze Kiswahili tuko Baraza la Kiswahili la Taifa Tanzania BAKITA kupata ufafanuzi wa msemo "KUFANYA AJIZI".Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO nchini Malawi linatoa wito wa hatua thabiti zaidi za kukabili mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini huko ulioanza mwezi Machi mwaka jana na kutangazwa kuwa dharura ya afya ya umma mwezi Disemba mwaka huo huo wa 2022 kutokana na kuendelea kusambaa hata wakati wa msimu wa kiangazi.Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za watetezi wa haki za binadamu, Mary Lawlor hii leo amelaani kitendo cha kuharamisha na kukandamizi watetezi wa haki za binadamu wa shirika la kiraia la Kusaka na Kuokoa wahamiaji wanaokumbwa na zahma nchini Italia, ikiwa ni kuelekea kesi ya wafanyakazi wa meli ya shirika la kiraia la kuokoa wahamiaji huko Sicily, Italia.Na nchini Tanzania faida za wakulima kuchanganya mikunde na mazao mengine kama mahindi zimeanza kudhihirika na hii ni kutokana na mafunzo kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo, FAO kama anavyoelezea Hadija Alisido mkulima wa kata ya Muhange mkoani Kigoma, mnufaika wa mradi wa Pamoja wa Kigoma, KJP.Na katika jifunze Kiswahili leo mtaalam wetu  Onni Sigalla Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa  nchini Tanzania , anat ufafanulia maana ya msemo "KUFANYA AJIZI".Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!

Ikulu Tanzania
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WATANZANIA - TAREHE 31 DISEMBA 2022

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 31, 2022 6:28


SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WATANZANIA - TAREHE 31 DISEMBA 2022

Ikulu Tanzania
SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WATANZANIA - TAREHE 31 DISEMBA 2022

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 31, 2022 6:28


SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, KWA WATANZANIA - TAREHE 31 DISEMBA 2022

Wimbi la Siasa
Siku mia moja za rais wa Kenya William Ruto ofisini na ahadi alizoahidi kutimiza ndani ya siku hizo

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Dec 30, 2022 10:00


Disemba 22, rais wa Kenya William Ruto alitamatisha siku 100 ofisini, huku baadhi ya watu wakihoji kuhusu ahadi alizotoa kwa wakenya wakati wa kipindi cha kampeni na hata siku ya kuapishwa kwake. Moja ya aahdi alizotoa inayomgusa mwananchi wa kawaida moja kwa moja, ni kupunguza gharama ya maisha kutokana na kupanda kwa bei ya vyakula.

kenya hizo moja rais ruto siku kenya william ruto disemba
Jioni - Voice of America
Utafiti wa Infotrak unaonesha Rais Ruto amepata matokeo duni ya ahadi za kiuchumi baada ya serikali yake kuondoa ruzuku kwa bidhaa msingi - Desemba 27, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 27, 2022 29:59


Utafiti huo uliofanywa kati ya Disemba 21 na Disemba 22 mwaka huu unaonesha katika kipindi cha siku 100 madarakani Rais wa Kenya, William Ruto ameshindwa kufanya bei ya chakula kuwa nafuu na kupatikana kwa urahisi kwa raia wa Kenya

Jioni - Voice of America
Krismas ni nini kwa dhehebu la wakristo na biblia inasemaje kuhusu siku hii? - Desemba 23, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 23, 2022 59:58


Kanisa Katoliki na makanisa mengine ya Kikristo yanaendelea kusherehekea Krismasi hapo Disemba 25 kama siku ya kuzaliwa kwa Yesu. Siku hii pia ni kama fursa ya kushiriki na familia, marafiki na jamaa kwa kupeana zawadi pamoja na vyakula tofauti

biblia nini yesu siku desemba disemba
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 20 Disemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 20, 2022 19:02


Waziri wamaswala yakigeni Penny Wong ame ondoka mjini Canberra, akienda kukutana na mshiriki wake wa China Wang Yi kwa majadiliano baina ya nchi hizo mbili.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 18 Disemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 18, 2022 16:48


Moto wa vichaka waendelea kutisha maisha na mali zawakaaji katika maeneo kadhaa ya Magharibi Australia, mamlaka wakiendeleza juhudi zaku udhibiti.

moto habari disemba
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 13 Disemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 13, 2022 19:03


Muungano wa ujuzi wa madini na nishati wa Australia, (AUSMESA) utaongoza njia kushughulikia uhaba wa ujuzi katika sekta mhimu za rasilimali namagari.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 11 Disemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 11, 2022 22:17


Waziri wa nishati wa shirikisho Chris Bowen ametupilia mbali dokezo zozote kuwa mpango wa nishati wa serikali unaweza chochea ongezeko la mfumuko wa bei.

Radio Maria Tanzania
Taarifa ya habari leo Disemba 09, 2022

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 9, 2022 11:43


habari disemba
Kwa Undani - Voice of America
EU imemuwekea vikwazo mfanyabiashara wa dhahabu wa Ubelgiji, wakuu wa waasi na jeshi la Congo kwa ukiukwaji wa haki za binadamu DRC - Desemba 09, 2022

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 9, 2022 29:59


Watu hao 17 yakiwemo makundi ya ADF, CODECO, Mai Mai Yakatumba, M23, FDLR sasa wanakabiliwa na hatua za kuzuiwa EU hadi Disemba 2023 inajumuisha marufuku ya kusafiri na kuzuia mali Baraza la Umoja wa Ulaya (EU) limesema katika taarifa kwa vyombo vya habari

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 6 Disemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 6, 2022 15:46


Waziri mkuu atupilia mbali madai kuwa haja toa taarifa, kwa washirika wake kwa mpango wakupunguza bei ya nishati.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 4 Disemba 2022

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 4, 2022 20:26


Serikali ya Albanese yatarajiwa kuwasilisha mipango kwa serikali zamajimbo na mikoa kwa lengo laku punguza bili za nishati kwa kuweka kikomo kwa bei ya makaa yamawe yanayo uzwa nchini.

Habari za UN
Serikali zafikia makubaliano kuhusu mabadiliko ya tabianchi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 27, 2022 0:59


Zaidi ya nchi 190 zimefikia makubaliano juu ya mazungumzo ya mabadiliko ya tabianchi. Makubaliano hayo yamefikiwa baada ya siku saba ya mazungumzo nchini Uswisi, katika utaratibu wa maandalizi ya kongamano kubwa litakalofanyika mjini Paris, Disemba mwaka huu. Christiana Figueres, Katibu Mtendaji wa mkataba wa kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi, UNFCCC, ametangaza hayo alipozungumza na waandishi wa habari leo mjini Geneva. “ Ni lazima makubaliano ya Paris yaende sambamba na sayansi. Inamaanisha vitu viwili, kwanza tutatengeneza takwimu za awali, na pia tutaanzisha utaratibu wa muda mrefu kwa msingi wa kutorudi nyuma, na kuendelea kuchukua hatua zaidi hadi nusu ya pili ya karne hii” Akizungumzia nafasi ya nchi zinazoendelea katika mkutano huo mwakilishi wa Tanzania katika ofisi za Umoja wa Matifa mjini Geneva Modest Mero anasema. (SAUTI ya Mero)

Radio Maria Tanzania
Je! Yesu Kristo Alizaliwa 25 Disemba?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 4, 2022 26:26


kristo yesu disemba
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 26 Disemba 21

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 27, 2021 11:29


Simanzi yatawala kifo cha Askofu Mkuu Desmond Tutu aliyefariki akiwa na umri wa miaka 90.  Rais Cyril Ramaphosa asema, "Kufariki kwa Askofu huyo ni sura nyingine ya msiba katika kuaga taifa la kizazi cha watu mashuhuri wa Afrika Kusini ambao wamewaachia urithi wa nchi hiyo uliokombolewa," 

habari disemba
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 7 Disemba 2021

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 7, 2021 14:11


Walimu wa shule za umma pamoja na walimu wakuu wame andamana kote jimboni NSW, dhidi ya mishahara midogo pamoja na kazi nyingi.

nsw habari walimu disemba
Habari za UN
06 Disemba 2021

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 6, 2021 10:33


Karibu kusikiliza jarida ambapo kuelekea siku ya haki za binadamu ambayo huadhimishwa kila tarehe 10 ya mwezi wa 12, tunakuletea vipindi mbalimbali vinavyoeleza umuhimu wa kutekeleza haki za binadamu. Leo tunaangazia haki ya kuishi na kutokubaguliwa ya watu wenye ulemavu. Assumpta Massoi anatupeleka nchini Tanzania katika mkoa wa Mwanza ulioko kandokando mwa Ziwa Victoria, kaskazini magharibi mwa nchi kuona juhudi zinazofanywa na jamii kupambana na imani potofu zinazosababisha watu wenye ualbino kuishi kwa mashaka.  

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 5 Disemba 2021

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 5, 2021 14:04


Chama cha shirikisho cha Labor kime ahidi kutoa nafasi 465,000 katika TAFE bure, pamoja nakuwekeza nafasi katika vyuo, chama hicho kikishinda uchaguzi mkuu ujao.

Habari za UN
Dkt. Tedros azikumbusha nchi za Afrika kutomsahau Mungu pamoja na kupata chanjo ya COVID19

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 25, 2021


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO Dkt. Tedros Ghebreyesus amewaambia mawaziri wa Afya wa Afrika wakati wanaendelea na utoaji wa chanjo ya COVID-19 wasiache kumuomba Mungu na kutumia njia za kijamii, kulikoni? Leah Mushi na undani zaidi. Taarifa ya Leah Mushi. (Pause) Dokta Tedros Ghebreyesus Mkurugenzi mkuu wa WHO akifungua rasmi mkutano wa 71 wa mawaziri wa Afya wa bara la Afrika. “Uzoefu wa mwaka jana umetuonesha hakuna nchi inayoweza kumuacha Mungu wake, nilazima tuendelee kuwa macho na WHO inahimiza matumizi ya njia zote za kupambana ikiwemo zile za kijamii zijumishwe Pamoja na utoaji chanjo” Usambazaji unaendeleaje?? “Usambazaji wa chanjo umekuwa si wa haki kwa kiasi kikubwa, na hata jana nimesema, sote tumekatishwa tamaa na udhalimu huu. Ulimwenguni kote chanjo zilizotolewa ni zaidi ya Bilioni 4.8, lakini barani Afrika ni chanjo milioni 87 tuu kati ya hizo, hii ni chini ya asilimia 2.” Dkt Tedros akaenda mbali zaidi na kutoa takwimu za nchi. “Ulimwenguni, nchi 140 angalau zimechanja wanawanchi wake kwa asilimia 10. Lakini kati ya nchi hizo, za kutoka Afrika ni nchi 4 pekee ndio zimeweza kufikia kiwango hicho cha asilimia 10 ya wananchi wake wote, na utofauti huu ni kutokana na kukosa chanjo”. WHO mnafanya nini kutokana na hili ? “Tunatarajia kuona ongezeko la kasi ya utoaji chanjo, mwezi Julai chanjo zimesambazwa kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na miezi mitano iliyopita. Malengo yetu ni kufikia chanjo milioni 475 ifikapo mwezi Disemba mwaka huu 2021.” Naye Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika Dkt. Matshidiso Moeti, amesema sekretarieti yake imejipanga vyema. “kwa miaka ijayo tunategemea kuimarisha namna ya kukabiliana na COVID-19 hususan kwenye chanjo ambayo ndio itakuwa sehemu muhimu ya kazi yetu lakini hii itaenda pamoja na kuimarisha mifumo yetu ya afya”. Mkutano huo wa kamati ya mawaziri wa Afya barani Afrika unaofanyika kwa siku tatu, umeandaliwa na kufunguliwa na Rais wa Togo Faure Gnassingbé.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 29 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 29, 2020 11:23


Maelfu yawa Australia ambao hawana ajira, wanajiandaa kupoteza sehemu ya mapato yao siku chache kabla ya mwaka mpya.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 27 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 27, 2020 12:42


Jimbo la NSW limerekodi visa vipya saba vya COVID-19, wakati amri yakubaki nyumbani imerejeshwa kwa wakazi wa maeneo ya fukwe ya kaskazini ya Sydney, baada yakupewa msamaha mfupi wakati wa krismasi.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 20 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 22, 2020 16:27


Chama cha Nation chaomboleza kuondokewa na kiongozi wake wa zamani Doug Anthony

SBS Swahili - SBS Swahili
Duru la Michezo 20 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 22, 2020 8:57


Fainali za michuano ya Afrika NSW zamalizika kwa kishindo

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 22 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 22, 2020 13:38


Waziri wa Afya wa Victoria Martin Foley atangaza kuwa mpaka sasa wa jimbo hilo umefungwa rasmi.Aonya, kwa mtu yoyte anayejaribu kuingia Victoria kutoka NSW asifanye hivyo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 13 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 16, 2020 9:47


Chanjo za COVID-19 kuwa kwenye maduka ya dawa huko Marekani hivi karibuni

SBS Swahili - SBS Swahili
Duru la Michezo 15 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 16, 2020 13:35


Mchakato wa mitanange ya klabu bingwa UEFA na ligi ya Ulaya umekamilika, Je timu za Uingereza zitafua dafu?

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 15 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 16, 2020 18:52


Wakazi katika jimbo la New South Wales kitongoji cha Murwillumbah wameamriwa kuhama baada ya Mto Tweed kupasuka kingo zake.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 8 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 8, 2020 13:25


Ufanisi wa pendekezo la muswada wa serikali ya shirikisho, kubadili mfumo wa baadhi za kazi wahojiwa.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 6 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 6, 2020 16:12


Jeshi la polisi la New South Wales lakubali wajibu, baada yakuwaruhusu wasafiri kukwepa kimakosa karantini.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya habari 1 Disemba 2020

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 1, 2020 13:49


Mvutano wakisiasa kati ya Australia na China waendelea kutokota, huku viongozi wajamii wakikutana na viongozi wa serikali ya shirikisho.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Ni tukio gani unalikumbuka kwa mwaka 2019

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 1, 2020 10:09


Mwaka 2019 unafikia ukingoni leo Disemba 31 na tunakupa fursa msikilizaji kutoa maoni yako kuhusu matukio muhimu yaliyotokea katika jamii yako. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya.

gani habari mwaka ungana disemba tukio fredrick nwaka
SBS Swahili - SBS Swahili
School mate of Billionaire opens up - Aliyesoma na Bilionea afunguka

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 15, 2019 14:38


Ali Mufuruki (1959 ) was a Tanzanian businessman, author, founder and board member of several organisations. He was e founder of Infotech Investment Group, founding chairman of CEO Roundtable of Tanzania and Africa Leadership Initiative (ALI) East Africa, board chairman of Vodacom Tanzania and Wananchi Group Holdings, trustee of the Mandela Institute for Development Studies (MINDS) and co-author of the book Tanzania's Industrialization Journey, 2016–2056.He died on 7 December 2019 Saturday at the Morningside Hospital in Johannesburg, South Africa.SBS spoke to one of his colleague and he had this to say. - Ali Mufuruki (1959 ) alikuwa ni mfanyabiashara wa Tanzania, mtunzi, mwanzilishi na mwanachama wa bodi za mashirika mbalimbali. Alikuwa ni mwanzilishi wa kampuni ya uwekezaji Infotech, mkurugenzi mtendaji wa muungano wa Wakurugenzi Tanzania na Africa Leadership Initiative (ALI) Africa Mashariki, mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya simu Tanzania Vodacom Tanzania na Wananchi Group Holdings, mdhamini wa Taasisi ya Mandela ya tafiti za maendeleo (MINDS) na Mtunzi Msaidizi wa kitabu cha Tanzania's Industrialization Journey, 2016–2056.Alifariki tarehe 7 Disemba 2019 Jumamosi katika hospitali ya Morningside mjini Johannesburg, Afrika Kusini.SBS Swahili iliongea na mmoja wa waliyesoma naye na alikuwa na haya ya kusema.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Mkutano baina ya Rais Paul Kagame na Felix Tshisekedi unaweza kuimarisha uhusiano baina ya Kigali na Kinshasa?

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Feb 13, 2019 10:05


Rais  mpya wa DRC Felix Tshisekedi aekutana kwa mazungumzo na mwenzake wa Rwanda Paul Kagamem, ambaye alitilia shaka kuchaguliwa kwake katika uchaguzi wa Disemba mwaka 2018. Je mkutano bvaina ya viongozi hawa unaweza kuimarisha uhusiano baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda? Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu

Changu Chako, Chako Changu
Changu Chako, Chako Changu - Etienne Tshisekedi Muasisi wa demokrasia DRC?

Changu Chako, Chako Changu

Play Episode Listen Later Feb 4, 2019 21:00


Katika makala hii tumeangazia maisha ya aliyekuwa muasisi wa demokrasia nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, Etienne Tshisekedi wa Mulumba, ambaye tangu alipozaliwa tarehe 14 mwezi Disemba mwaka 1932, aliendelea kuwa mpinzani wa serikali zoote zilivyofwatana kuanzia enzi za marehemu Mobutu Sese Seko, hadi kifo chake February 01 2017 huko Brussels Ubelgiji katika hospitali, Tshisekedi alikuwa kiongozi wa upinzani mwenye umri mkubwa.

SBS Swahili - SBS Swahili
Christmas is the time for reflection and giving thanks for our blessings - Krismasi niwakati wakutathmini nakutoa shukrani kwa baraka zetu

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 24, 2018 14:53


Every 25th December many people around the world mark Christmas celebrations with their families or with their friends. SBS Swahili visited Jesus Family Centre church, which is based in Cabramatta, NSW where members of the church shared their thoughts with us about Christmas. - Kila tarehe 25 Disemba watu wengu duniani kote, hujumuika katika sherehe za krismasi pamoja na familia na marafiki wao. SBS Swahili ilitembelea kanisa la Jesus Family Centre, ambalo liko katika kitongoji cha Cabramatta, NSW ambako baadhi ya waumini walichangia maoni yao nasi kuhusu krimasi.

SBS Swahili - SBS Swahili
Vote fraud suspicion increases in DR Congo postponed presidential election - Madai ya wizi wa kura yasambaa katika kampeni za uchaguzi wa urais ujao wa DR Congo

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 23, 2018 28:57


Voters and candidates campaigning for the postponed presidential election in DR Congo, have begun expressing their suspicion about the elections which will now be held on 30 December 2018. - Wapiga kura na wagombea wa uchaguzi wa urais wa DR Congo, wame anza kuelezea wasi wasi wao kuhusu usalama wa kura katika uchaguzi wa urais utakao fanywa tarehe 30 Disemba 2018.

Wimbi la Siasa
Wimbi la Siasa - Tume Huru ya Uchaguzi DRC, CENI yatangaza majina ya wagombea Urais

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Oct 3, 2018 10:04


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi CENI nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo DRC, Corneille Nangaa ametangaza majina ya wagombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Disemba 23 mwaka huu huku wanasiasa wa upinzani Jean Pierre Bemba na mwenzake Moise Katumbi wakikosa nafasi ya kugombea kutokana na sababu mbalimbali. Je unataka kujua nguvu ya upinzani inasimama katika nafasi gani? Ungana na Victor Robert Wile katika Makala haya ya Wimbi la Siasa.

ceni makala tume jamhuri urais uchaguzi ungana moise katumbi jean pierre bemba disemba majina
SBS Swahili - SBS Swahili
This week in Canberra 9 Feb 2018 - Wiki hii mjini Canberra 9 Feb 2018

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 8, 2018 6:33


Politicians returned to Parliament this week for the first time since their summer break began in December.SBS Swahili looks back at the week that was. - Wanasiasa walirejia bungeni wiki kwa mara ya kwanza, tokea walipo enda katika mapumziko ya majira ya joto mwanzo wa Disemba.SBS Swahili imefanya tathmini ya matukio ya wiki hii mjini Canberra.

Dandalin Siyasa
Dandalin Siyasa - Shirin Zabe a Ghana

Dandalin Siyasa

Play Episode Listen Later Oct 9, 2016 20:07


Shirin Dandalin Siyasa ya yi nazari kan shirin babban zaben kasar Ghana da za a gudanar a watan Disemba. Shirin kuma ya leka Najeriya game da batun fasa kwan da Hon Abdulmumin Jibril ke yi a Majalisar dokokin kasar.

ghana shirin najeriya disemba majalisar