Road to success podcast is here to educate, inspire and transform you.
Get started here before you ask for huge levels of success
Unique selling proposition. Unique selling point. Competitive advantage
Nini KILITOKEA kuhusu zile ndoto za utotoni?? Ukiamini kwamba huwezi basi hautoweza. Lakini ukiamini kwamba naweza, ufahamu wako utatengeneza njia za kuweza.
Ukijifunza kuona bila macho utaweza kuona makubwa zaidi. Sikiliza mpaka mwisho.
Jinsi ya kuanza Mwaka Kwa nguvu. Fanya yafuatayo. Sikiliza hii Kabla January kuisha
Muongozo wa kutimiza malengo. Goal ACHIEVEMENT WORKBOOK
November MEETING. Jiunge na na SPEAKERS MENTORBOX leo 0782877970
NETWORKING is one of the skills that you must attain if you want to win in life.
The Speakers Mentorbox is the right place for you.
MC NDIMBO Akimalizia mafunzo ya KIPAJI KUWA BIASHARA kwenye Darasa la 12 WEEKS la Roadtosuccesstz
Jifunze Mbinu 3 za kuongeza thamani yako uweze kulipwa zaidi. Anafundisha @Rodricknabe mwanzilishi wa ROADTOSUCCESSTZ
ZUNGUMZA MBELE YA KADAMNASI. Jifunze mbinu hizi. Hata kama wewe ni mjasiriamali, mwanafunzi au mwajiriwa
10 insights from the book.
Jinsi ya kuchagua marafiki sahihi 2021. Tafuta watu wanaokuinua.
Kama wewe ni mjasiriamali au mzungumzaji basi hutakiwi kukosa hii. Kutana na Eric Shigongo, Anthony Luvanda, Aunt Sadaka, Rodrick Nabe na wengine wengi. Jifunze kwa waliofanikiwa.
Katika karne hii ya 21, hakikisha unajifunza aina hizi 6 za ujuzi kama unataka kufanikisha malengo yako kwa kiwango kikubwa.
Jinsi ya kuchagua wabia(business partners)
Hata kama mambo ni magumu, ilimradi bado una pumzi, usikate tamaa. II Rodricknabe
Chochote unachokifanya kwa ajili yako, ukiondoka unaondoka nacho. Chochote unachokifanya kwa ajili ya wengine, ukiondoka kinabaki kama LEGACY
Audio ya wiki hii inagusia kitabu hadimu cha OUTWITTING THE DEVIL cha Napoleon Hill
Unahitaji mambo matatu katika kuuza- COMPETENCE, LIKABILITY & LUCK (Arch Lustberg)
Kama una shauku ya kuandika kitabu lakini hujui unzie wapi, basi hii podcast ni kwa ajili yako. Utajifunza hatua 7 za kuandika kitabu chako.
Sikiliza audio ya Njia 12 za kupata Mtaji. Jifunze zaidi.
Kongamano kubwa la wazungumzaji (Public speakers) na Wajasiriamali (Entreprenuers)
Katika podcast hii utajifunza sayansi ya tabia. Jinsi ya kutengeneza tabia za kimafanikio na jinsi ya kuvunja tabia mbaya.
Jifunze kufanya hizi biashara katika kipindi cha covid-19 au pandemic yoyote.
Hii ni hatua ya kujiuzuru. Lazima utoke kwenye ajira yako na uanze kufanya mambo yako. Hiki ni kitendo cha imani. Lazima uwe na imani kwamba maiaha yatakuwa mazuri bila mshahara. Wewe sio wa kwanza kuacha ajira. Mwanzoni mambo yatakuwa magumu lakini ukiwa mkomavu, milango mipya itafunguka.
Katika hatua hii, anza kutumia muda wako wa ziada kujenga taaluma yako mpya au biashara yako mpya. Utahitajika kuwekeza zaidi ya masaa 10 kwa siku.
Anza kutengeneza uzoefu mpya na pia tengeneza mtandao wa marafiki nje ya ajira yako. Soma vitabu, sikiliza jumbe za hamasa na angalia video zenye hamasa na maarifa sahihi.
Hatua ya tatu ni kuanza mchakato wa kuweka akiba. Utakapoacha ajira, akiba yako ndiyo hazina yako. Ongeza kiwango cha kuweka akiba.
Katika hatua ya pili, lazima uandike tarehe ya kuacha kazi. Lengo bila mipaka ya muda linakosa msukumo. Pia tafuta DIARY ambapo utakuwa unaonyesha mikakati yako ya kila siku.
Inawezekana ndoto zako umezikalia muda mrefu kwa sababu upo kwenye ajira. Hii ni hatua ya kwanza ya kuacha kazi ili uweze kujiajiri. Usisahau kufuatilia hatua zinazofuata.
Haya mambo matatu yatakufanya uwe mtu wa thamani katika jamii. Waliofanikiwa wanayafanya haya, kwanini usifuate alama hizi za mafanikio.
Any graduates dream of getting a job of their choice. These 8 tips will help. If you are a parent, share these tips with your children. If you are a student of graduate, take action.
Jifunze tabia 10 ambazo zitabeba mafanikio yako. Kumbuka kwamba una uwezo wa kujifunza tabia mpya. Ni maamuzi tu.