Podcasts about kiongozi

  • 29PODCASTS
  • 182EPISODES
  • 19mAVG DURATION
  • 1WEEKLY EPISODE
  • May 28, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kiongozi

Latest podcast episodes about kiongozi

Wimbi la Siasa
DR Congo: Kabila aondolewa kinga ya kutoshtakiwa, aripotiwa kufikia Goma

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later May 28, 2025 10:09


Maseneta nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, wamemwondolea kinga ya kutoshtakiwa  rais wa zamani Joseph Kabila , ambaye ripoti zinasema alirejea Goma usiku wa Mei 25.Kiongozi huyo wa zamani, ameishtumu serikali ya rais Felix Tshisekedi na kuuita ya  Kidikteta. Hata hivyo, serikali ambayo inamtuhumu kiongozi huyo wa zamani kwa kushirikiana na waasi wa M23.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 22 Mei 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 22, 2025 5:38


Kiongozi wa New South Wales, Chris Minns, amesema rasilimali za ziada zinatolewa kwa jumuiya ambazo zime athiriwa kwa mafuriko, katika eneo la kati ya pwaZaidi ya idadi ya watu elfu 48,000 kwa sasa wame tengwa kwa sababu ya maji ya mafuriko.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 16 Mei 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 16, 2025 15:11


Kiongozi wa Upinzani wa Shirikisho Sussan Ley, amesema kuungana tenana wanawake itakuwa kipaumbele chake kama kiongozi wa Upinzani wa shirikisho.

Habari RFI-Ki
Uteuzi wa Papa Leo XIV kama kiongozi mpya wa kanisa katoliki duniani

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later May 15, 2025 9:46


Habari RFI-Ki
Mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa kanisa katoliki duniani

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Apr 28, 2025 10:02


Kwa sasa macho yakiwamulika makadinali 135 watakaochagua papa mpya ndani ya siku chache zijazo, mjadala kuhusu Papa kutoka Afrika ukishamiri.Mchakato wa kumchagua p

Habari RFI-Ki
Mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa kanisa katoliki duniani

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Apr 28, 2025 10:02


Kwa sasa macho yakiwamulika makadinali 135 watakaochagua papa mpya ndani ya siku chache zijazo, mjadala kuhusu Papa kutoka Afrika ukishamiri.Mchakato wa kumchagua p

Habari za UN
22 APRILI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 22, 2025 9:56


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambayo inatupeleka Msasani nchini Tanzania kusikia namna vijana na serikali wanavyolinda Mama Dunia. Pia tunakuletea muhtasari wa habari ujumbe wa Katibu Mkuu, watoto kulinda mazingira DRC, na kifo cha Papa Francis.Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya Mama Dunia, ikilenga kuchagiza hatua ya kuhifadhi sayari dunia, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ametumia neno ‘homa' kuwa inakumba dunia hivi sasa kutokana na viwango vya joto vinavyoongezeka kila mwaka. Hata hivyo amesema majawabu ya kutibu homa hiyo yapo ikiwemo kutumia nishati rejelezi ambayo ni rahisi, ina afya na salama kuliko nishati kisukuku.Huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kando ya mapigano yanayotikisa eneo la mashariki mwa nchi, watoto wamechukua hatua kulinda sayari dunia kwa kuhifadhi misitu kwenye taifa hilo ambako ukataji miti kiholela umefurutu ada.Kufuatia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis hapo jana Jumatatu, ambaye maziko yake yamepangwa kufanyika Jumamosi wiki hii, mashirika ya Umoja wa Mataifa yameendelea kukumbuka mchango wake wa kutetea walio taabuni. Mathalani shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia wakimbizi, UNHCR limekumbuka wito wake wa kutaka kila mtu kukaribisha, kusindikiza na kujumuisha wale wote wanaobisha hodi kwenye milango yao.Na mashinani  kupitia video iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, FAO fursa ni yake Meena Poudel kutoka nchini Nepal, Kusini mwa Asia ambaye ni Katibu wa kikundi cha wanawake watumiaji wa msitu ambacho kinabadilisha takataka za misitu kuwa mbolea rafiki kwa mazingira huku pia wakijipatia kipato."Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!  

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Kiongozi wa Chama cha upinzani Tanzania Chadema ashikiliwa kwa uhaini, hali ya DRC

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Apr 12, 2025 20:16


Matukio ya wiki: kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama cha upinzani cha Chadema nchini Tanzania, Tundu Lisu, maadhimisho ya miaka 31 ya mauaji ya kimbari ya nchini Rwanda mwaka 1994, mafuriko jijini Kinshasa huko DRC, hali ya sudan Kusini kutokana na kukamatwa na kuzuiwa nyumbani kwa makamu wa kwanza wa rais Riek Machar, uchaguzi wa Gabon, na pia mzozo wa kibiashara kati ya Marekani na mataifa mengine ulimwenguni ni miongoni mwa Habari kuu za dunia zilizojiri kwa juma hili.

SBS Swahili - SBS Swahili
Uchaguzi Mkuu 2025: Dutton afuta sera yakumaliza mpangilio wakufanyia kazi nyumbani

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 8, 2025 9:19


Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton, ame tupa nje mpango wake waku walazimisha wafanyakazi wa umma kurejea ofisini aki kiri sera hiyo ilikuwa kosa.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 4 Aprili 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 4, 2025 15:34


Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amerudia sera yake muhimu ya uchaguzi yaku wasilisha matibabu ya meno bure kwa mfumo wa Medicare, akisema wa Australia wanalipa hela nyingi sana kwa huduma muhimu ya afya.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
kukamatwa kwa makamu wa kwanza wa rais Sudan Kusini, waasi wa M23 waalikwa Doha

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Mar 31, 2025 20:09


Ni juma ambalo limeshuhudia kukamatwa kwa makamu wa kwanza wa rais wa sudan Kusini Riek Machar na kuzuiwa nyumbani kwake, rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye wiki hii aliishutumu Rwanda kwa kupanga kuishambulia nchi yake, waasi wa M23 kukutana na Kiongozi wa Qatar kule Doha,afisa wa polisi ya Kenya kule Haiti kutoweka, utawala wa kijeshi kule Niger kuzindua kipindi cha mpito cha miaka mitano, pia mashambulio ya Israeli kule Lebanon na mkutano wa Ulaya kuhusu Ukraine

Habari za UN
Wanawake wamefanya mengi lakini hayajarekodiwa - Dkt. Reuben CSW69

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 24, 2025 3:50


Rekodi ni chache sana ya vitu ambavyo wanawake wamefanya hapa duniani, anasema Dkt. Rose Reuben, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania anapozungumza na Anold Kayanda wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa wakati wa Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake, CSW69, jijini New York, Marekani.Mkutano huu muhimu kuhusu wanawake umefanyika kuanzia tarehe 10 hadi 21Machi 2025 na kuhudhuriwa na maelfu ya wanawake kutoka kote duniani naye Dkt. Rose Reuben akiwa mmoja wao.Kiongozi huyu wa waandishi wa habari nchini Tanzania anaona kwamba kuna hatua nyingi zimepigwa  katika kipindi cha miaka 30 tangu kuwekwa kwa Azimio la Beijing ili kumkomboa mwanamke lakini bado kuna kazi kubwa ya kufanya.“Na hii kazi sipendi kujilaumu sana kwamba je, hakuna kitu ambacho kimefanyika?! Mambo yamefanyika mengi lakini masuala ya kijamii hayamaliziki kwa usiku mmoja kwasababu kila unapoamka jamii inabadilika kwa namna nyingine. Kwa hiyo tukitazama kwa mtazamo huo tunaona kwamba kuna kazi imefanyika.” Anasema Mkrugenzi huyo Mtendaji wa TAMWA.Kwake, mwandishi wa habari nguli, anaona moja ya maeneo ambayo ni muhimu yafanyiwe kazi ni kuzipa nafasi taarifa zinazohusu shughuli kubwa zinazofanywa na wanawake katika jamii kote duniani kwani licha ya wanawake kuwa na michango mikubwa katika mustakabali wa ulimwengu, taarifa zao hazipewi kipaumbele cha kutosha.“Mimi kwa mtazamo wangu naona wanawake wamefanya kazi nyingi lakini hazijarekodiwa. Rekodi ni chache sana.” Anasisitiza na kuongeza, “kwa hiyo tunatakiwa kuanza kurekodi vile vitu ambavyo vilifanywa na wanawake wale wa miaka 30 iliyopita lakini hata na hawa wanaokuja kizazi kipya.”Dkt. Rose Reuben anahamasisha pia vyombo vya habari kuangazia masuala mengine ambayo kwa namna moja amba nyingine yanaigusa jamii moja kwa moja na hiyo ni kusema yanamgusa mwanamke moja kwa moja kama vile mabadiliko ya tabianchi, tekonolojia, “na vitu vingine ambavyo vinaweza kuathiri usawa wa kijinsia na hali ya mwanamke duniani.”Aidha kiongozi huyo wa TAMWA anatoa wito kwa wanawake popote walipo kutumia nyenzo zinazopatikana katika jamii yao kuhakikisha wanapata taarifa, wanasambaza taarifa na kujipatia maarifa.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Muungano wa Rais wa Kenya W. Ruto na Raila Odinga, hali mbaya ya kibinadamu DRC

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Mar 8, 2025 20:15


Rais wa Kenya William Ruto na aliyekuwa kiongozi wa upinzani Raila Odinga wameungana kisiasa rasmi, hali ya mzozo wa mashariki mwa DRC Kuchukua sura mpya, vikwazo vya kiuchumi kuikumba nchi ya Rwanda kufuatia uungwaji mkono wake kwa kundi la waasi la M23, Kiongozi wa kijeshi wa Gabon jenerali Oligui Nguema kuwania urais mwezi ujao, mzozo wa kibiashara kati ya Marekani nchi mataifa kadhaa, lakini pia mzozo wa Ukraine na Urusi.

Wimbi la Siasa
Je, Raila ataegemea upande gani wa kisiasa ?

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Mar 5, 2025 9:52


Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga , yupo kwenye harakati za mashauriano ya kisiasa na wafuasi wake, kabla ya kutangaza mustakabali wake wa kisiasa baada ya kukosa uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika. Je, Raila ataegemea upande gani ? Tunachambua.

Alfajiri - Voice of America
Kiongozi wa kijeshi wa Gabon atangaza kuwania urais mwezi Aprili - Machi 04, 2025

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 4, 2025 29:59


SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 28 Februari 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 27, 2025 6:40


Kiongozi wa upinzani ame mkosoa waziri mkuu kwa kufeli kuwa wazi kuhusu wakati jeshi la ulinzi lili pewa taarifa kuhusu mazoezi ya China katika Bahari la Tasman.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 17 Februari 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 17, 2025 8:19


Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na wabunge huru, kama vyama viwili vikubwa nchini havita weza unda serikali ya wengi.

Jioni - Voice of America
Waendesha mashtaka wa jeshi la Uganda wameongeza mashtaka ya usaliti kwa kiongozi mkongwe wa upinzani nchini humo Kiiza Besigye na mwenzake. - Januari 13, 2025

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 13, 2025 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Lissu "hatuwezi tegemea kipya kutoka kiongozi ambaye ameongoza kwa miaka 21"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jan 10, 2025 7:14


Mgombea wa wadhifa wa uongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA nchini Tanzania, amefunguka kuhusu sababu zake zaku wania wadhifa huo.

Habari za UN
Papua New Guinea: Tuhuma za uchawi dhidi ya wanawake zapatiwa  ‘muarobaini'

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 3, 2025 2:08


Kila mwaka, mamia ya wanawake nchini Papua New Guinea, taifa la visiwani katika bahari ya Pasifiki, hushutumiwa kimakosa kuwa ni wachawi. Matokeo yake hukumbwa na ukatili miongoni mwa wanajamii. Hata hivyo Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la Mpango wa Maendeleo duniani, UNDP nchini humo, limechukua hatua.Kiongozi mkubwa wa Kijiji chetu alifariki dunia, na tulipoenda kwenye maziko, ambapo kila mtu alisema sisi ni wachawi na tulikula moyo wake. Ni kauli ya Annabele, jina lake halisi limehifadhiwa kwa ajili ya usalama wake akielezea tuhuma zilizowakabili kwenye jamii yao ya jimbo la Enga nchini Papua New Guinea, hadi kushambuliwa kwa nondo za moto na nyumba zao kuteketezwa kwa moto. Video ya UNDP inamnukuu akisema kuwa walikuwa 9, ambapo wanne walifariki dunia na watano akiwemo Annabele, walinusurika, “kesho yake asubuhi Askofu na wenzake walifika, halikadhalika jeshi na polisi, na ndio walituokoa.” Askofu huyo Justine Soongie Dayosisi ya Wabag jimboni Enga anasema walipowachukua waliambiwa wahakikishe hawarudi kijijini, “sababu kubwa ya mtu kutuhumiwa ni jamii kukosa uelewa kuhusu chanzo cha kifo. Watu wengi hawafahamu kuwa mtu anaweza kufa kutokana na kiharusi. Watu wetu wa Enga watauliza ni nani amesababisha?” Annabelle baada ya kuokolewa alipelekwa hospitali na kupatiwa matibabu ambayo hata hivyo bado ana kovu na maumivu. Kisha walipelekwa nyumba salama zinazoendeshwa na Kanisa Katoliki kwa ufadhili wa UNDP, ambako waliishi kwa miezi takribani mitano wakipatiwa mavazi, malazi na chakula. Askofu Justine Soongie anasema,“baada ya miezi kadhaa hospitalini, tunarudi kwa familia na jamii na kuzungumza nao mara kadhaa. Tunawaelimisha kuwa ni kosa kumtuhumu mtu uchawi, kuna sheria, na hana pahala pengine pa kwenda, hivyo atarudi.” Jamii ilieleweshwa na Annabelle kwenye video anaonekana tayari yuko kijijini na sasa analima shamba na hata anasema hata mazao anayolima akivuna, anapika na wanajamii wanakula pamoja naye. 

Alfajiri - Voice of America
Kiongozi wa Al-Shabab auwawa na kundi hilo ladhibitisha - Desemba 27, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 27, 2024 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Jioni - Voice of America
Kiongozi mpya wa Syria amteua waziri wa mambo ya nje - Desemba 21, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 21, 2024 29:59


SBS Swahili - SBS Swahili
Kiongozi wa Queensland atetea mabadiliko ya haki ya vijana yenye misimamo mikali

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 6, 2024 6:38


Kiongozi wa Queensland na Mwanasheria Mkuu wame tetea mageuzi ya haki ya vijana yenye utata ya jimbo hilo, licha ya ukosoaji kutoka wadau na Umoja wa Mataifa.

Kwa Undani - Voice of America
Meza ya waandishi inamulika kuanguka kwa jengo huko Kariakoo nchini Tanzania, na kukamatwa Kizza Besigye kiongozi wa upinzani huko Uganda. - Novemba 22, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 22, 2024 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Kwa Undani - Voice of America
Kiongozi wa upinzani wa Somaliland Abdirahman Mohamed Abdullahi kutoka chama cha waddani ameshinda uchaguzi wa urais. - Novemba 19, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 19, 2024 30:00


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Habari za UN
Esneda kutoka jamii ya Yukpa asema haogopi vitisho kutetea eneo la jamii yao ya asili nchini Colombia

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 15, 2024 3:39


Jamii ya asili ya Yukpa nchini Colombia imevumilia miongo kadhaa ya migogoro na watu kutawanywa inayosababishwa sio tu na mabadiliko ya tabianchi mila kandamizi bali pia kupotea kwa viumbe hai na hivyo kutishia maisha yao. Esneda Saveedra, Kiongozi wa jamii ya asili ya Yukpa nchini Colombia akiwa anazungumza akiketi ndani ya msitu na kando ya mto Maracas., anasema hana hofu ya kutetea ardhi hii.Ardhi anayozungumzia ni eneo hilo la mto Maracas anayotetea dhidi ya vitisho kutoka kwa waharibifu wa mazingira kufuatia yale yaliyojadiliwa katika mkutano wa 16 wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa bayonuai, COP16 uliomalizika Ijumaa iliyopita huko mjini Cali nchini Colombia."Sina hofu ya kutetea ardhi hii. Yale niliyopitia kama mtoto, changamoto zote hizo, yalinipa nguvu, yalinipa ujasiri, na yakaondoa hofu yangu."Video ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR inatupatia taswira ya juu ya eneo la makazi ya jamii ya Yukpa, msitu mnene na kisha kwenye mto Maracas, shughuli zinaendelea, wengine wakiogelea, wengine wakivua samaki, mama mmoja akisafisha kuku aliyemaliza kumchuna.Esneda anaeleza umuhimu wa mto huu kwa maisha ya jamii yake na anaendelea kujitahidi ili kulinda mazingira hayo."Huu ni mto Maracas, ambapo watu wetu, mababu zangu, walivua samaki kwa ajili ya chakula kila siku. Waliharibu mazingira kwa kukata miti yote, na matokeo yake, mto ulianza kukauka. Leo, mto Maracas hauna mtiririko wa maji kama ulivyokuwa zaidi ya miaka 20 iliyopita."Katika juhudi zake, Esneda ameanzisha mazungumzo na maafisa wa serikali katika manispaa ya Becerril, akijaribu kuleta mabadiliko na uelewa juu ya umuhimu wa kuhifadhi ardhi na utamaduni wa watu wa Yukpa."Kumekuwa na uratibu, kazi ya pamoja, na jambo muhimu zaidi kwangu kama mwanamke wa Yukpa imekuwa kuleta ufahamu kuhusu watu wa Yukpa na ardhi yetu. Mabadiliko ya tabianchi yametufikisha kwenye tatizo kubwa zaidi, ambalo ni upotevu wa mazao na ukosefu wa chakula. Leo hatuna chakula cha kutosha katika jamii zetu. Tunaendelea kupambana, lakini pia tuko hapa kusaidia dunia nzima kuendelea kupambana na kulinda mazingira, ardhi, na hewa. Na kusema: 'Tupo hapa kuchangia kwa ajili ya ubinadamu, kwa ulimwengu mzima.'"Harakati zake zimekumbwa na vitisho.“Walinitishia hapa kwa kuzungumza, na kwa kusema ukweli. Mama yangu alikuwa kiongozi thabiti—na bado ni kiongozi thabiti. Na nilipokuwa mdogo, nilimsindikiza kwenye michakato yake yote ya harakati, mipango na uongozi. Niliendeleza njia hiyo ya uongozi kwa sababu niliona ni muhimu. Ilikuwa ni wajibu wangu. Nilijiambia, ‘mimi ni mwanamke ambaye nimezaliwa kutetea eneo hili.”Kwa Esneda, kulinda ardhi ya Yukpa ni zaidi ya wajibu; ni dhamira ya kuhifadhi urithi wa mababu zake. Katika changamoto za kila siku, Esneda anabaki imara kwa matumaini kuwa jamii yake na mchango wao katika kuhifadhi mazingira utatambuliwa ulimwenguni.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 5 Novemba 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Nov 5, 2024 19:35


Wanaharakati wa Mataifa ya Kwanza wana muhamasisha Kiongozi wa Queensland David Crisafulli, abatilishe uamuzi wake wakufuta uchunguzi wakusema ukweli na uponyaji.

Habari za UN
22 OKTOBA 2024

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 22, 2024 9:57


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini DRC kufuatilia kazi za kituo cha Taifa cha Redio na Televisheni, RTNC huko Beni jimboni Kivu Kaskazini za kakabiliana na habari potofu. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na mashinani.Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo mjini Cairo, Misri, imebainisha kwamba athari za vita zimerudisha nyuma maendeleo huko Gaza kwa takriban miaka 69. Ripoti hiyo iliyoratibiwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo UNDP na  Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya Kiuchumi na Kijamii kwa Asia Magharibi imeonya kwamba bila kuondoa vikwazo vya kiuchumi na kuwekeza katika maendeleo, uchumi wa Palestina unaweza kushindwa kurejesha viwango vya kabla ya vita na kusonga mbele kwa kutegemea misaada ya kibinadamu pekee.Kiongozi wa timu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) ya kupambana na mlipuko wa ugonjwa wa Marburg Dkt. Janet Diaz ameeleza kwamba uongozi thabiti wa serikali ya Rwanda umewezesha kufanya uamuzi wa haraka na kuchukua hatua kuanzisha mwitikio wa sekta mbalimbali dhidi ya mlipuko wa sasa wa ugonjwa huo wa Marburg nchini humo.Na uongozi wa Kikosi cha Muda cha Umoja wa Mataifa nchini Lebanon (UNIFIL) umeendelea kusisitiza kwamba pamoja na changamoto zilizopo, walinda amani wa UNIFIL wanaendelea kufanya kazi kwa karibu na jamii za kusini mwa Lebanon ili kuwezesha utoaji wa misaada ya kibinadamu kwa wenye uhitaji. Hivi karibuni kumekuwa na mashambulizi dhidi ya walinda amani hao wa Umoja wa Mataifa yanayotekelezwa na majeshi ya Israeli.Mashinani kupitia video ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya Kibinadamu na misaada ya dharura OCHA tunamuangazia mmoja wa watu waliokimbia makazi yao akiwa katika shule ya Al Rimal, akielezea changamoto wanazokutana nazo katika kukabiliana na hali ngumu inayowakabili raia wa Gaza.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu! 

SBS Swahili - SBS Swahili
Steve "Na amini naweza kuwa kiongozi bora"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 22, 2024 12:55


Wanafunzi wa chuo cha ECU mjini Perth wana ingia debeni kuwachagua viongozi wao wapya.

Habari za UN
Guterres: Ili kutokuwa na ghasia duniani nchi zibadilishe ahadi kuwa uhalisia

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 2, 2024 2:12


Ikiwa leo ni Siku ya Kimataifa ya Kutotumia vurugu, Katibu Mkuu wa Umoja Mataifa António Guterres amezitaka nchi kubadilisha kuwa ukweli ahadi za kuleta amani duniani walizojiwekea katika Mkutano wa Zama zijazo uliokamilika hivi majuzi hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani.Ni kupitia kwenye ujumbe wake mahususi kwa ajili ya kuadhimisha Siku hii ya kimataifa ya kutotumia vurugu ambayo huadhimishwa kila tarehe pili ya mwezi Oktoba tarehe ya kuzaliwa Mahatma Gandhi, kiongozi wa vuguvugu la uhuru wa India na mwanzilishi wa falsafa na mkakati wa kutotumia vurugu kama njia ya kufanikisha mabadiliko katika jamii, Bwana Guterres amekumbushia namna ambavyo siku chache zilizopita katika Mkutano wa Zama Zijazo nchi zilikuja pamoja ili kuweka msingi wa umoja mpya wa ushirikiano wa kimataifa, ulio na nyenzo za kusaidia amani katika ulimwengu unaobadilika.Kiongozi huyo wa Umoja wa Mataifa anataja kwamba moja ya ahadi walizojiwekea viongozi wa ulimwengu ni kuangalia upya sababu za msingi za migogoro kuanzia kwa ukosefu wa usawa hadi umaskini na mgawanyiko na kwa hivyo sasa “tunahitaji nchi kubadilisha ahadi hizo kuwa uhalisia.” Akasisitiza.Bwana Guterres anaeleza kwamba siku hii ya kimataifa ya kutotumia vurugu inathibitisha tena maadili ambayo Mahatma Gandhi alijitolea maisha yake yaani usawa, heshima, amani na haki.Gandhi aliamini kutotumia vurugu ndio nguvu kuu zaidi inayopatikana kwa wanadamu yenye nguvu zaidi kuliko silaha yoyote. Na hivyo Guterres akazitaka nchi kwa pamoja, zijenge taasisi za kuunga mkono dira hiyo adhimu.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 20 Agosti 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 20, 2024 19:44


Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amesema utafiti mpya ulio agizwa na chama chake una onesha kuwa wa Australia wanao fanya kazi za kawaida hawa wezi mudu kununua nyumba zao wenyewe.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 16 Agosti 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 16, 2024 16:26


Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ame shtumiwa kwa ubaguzi na kuchochea mgawanyiko na baadhi ya wabunge ambao wame kosoa wito waku wazuia wa Palestina ambao wame kwama Gaza kuingia Australia.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 9 Agosti 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 9, 2024 19:02


Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema chama chake kina endelea ku unga mkono makubaliano ya AUKUS, yaliyo tiwa saini chini ya serikali ya Morrison ila, ana hoji kwa nini serikali ya Albanese ina pinga nishati ya nyuklia.

Alfajiri - Voice of America
Israel yaapa kumuangamiza kiongozi mpya wa Hamas - Agosti 08, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 8, 2024 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Alfajiri - Voice of America
Katibu mkuu wa UN aonya juu ya kuongezeka kwa taharuki Mashariki ya Kati kufuatia kifo cha kiongozi wa Hamas - Agosti 01, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 1, 2024 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Jioni - Voice of America
Kiongozi wa kijeshi wa Sudan Abdel-Fattah Burhan anusurika shambulizi lililouwa watu watano. - Julai 31, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 31, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Jioni - Voice of America
Kiongozi wa upinzani Kenya asema kuwa haki inahitajika kabla ya mazungumzo na serikali - Julai 21, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 21, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Alfajiri - Voice of America
Kiongozi wa mji wa Uvira nchini DRC apiga marufuku usafirishaji wa mafuta kuelekea nchi jirani ya Burundi - Julai 09, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 9, 2024 30:00


SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 12 Aprili 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 12, 2024 16:56


Kiongozi wa upinzani Peter Dutton ametetea kauli yake, yakufananisha umuhimu kwa jamii maandamano yanayo unga mkono wapalestina katika jengo la Sydney Opera House na mauaji ya halaiki ya Port Arthur.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 8 Aprili 2024

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 8, 2024 8:16


Kiongozi wa chama cha Nationals David Littleproud amesema anaunga mkono adhabu kwa tabia mbaya za maduka makubwa ila, ameongezea kuwa mabadiliko hayo hayata jiri haraka yakutosha kwa watumiaji.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 4 Disemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Dec 5, 2023 6:36


Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amelaani anacho elezea kuwa ongezeko la mashambulizi dhidi ya wayahudi nchini Australia, tangu mwanzo wa mapigano mapya kati ya Israel na Hamas.

SBS Swahili - SBS Swahili
Bobi Wine awekwa katika kizuizi cha nyumbani muda mfupi baada yakuwasili Uganda

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 6, 2023 7:56


Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amesema siku ya Alhamisi amewekwa katika kizuizi cha nyumbani, baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama alipokuwa akirejea nyumbani akitokea nje ya nchi.

SBS Swahili - SBS Swahili
Hatimae Martin Fayulu atangaza atawania Urais DRC

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 1, 2023 8:24


Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Martin Fayulu, Jumamosi alithibitisha kugombea urais kwenye uchaguzi wa tarehe 20 Disemba 2023.

SBS Swahili - SBS Swahili
Wimbo maarufu wa John Farnham watumiwa katika kampeni ya kura ya Ndio

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 5, 2023 7:01


Kiongozi wa upinzani wa shirikisho Peter Dutton amesema atafanya kura nyingine ya maoni, kama kura yakuweka sauti yawa Australia wa kwanza bungeni ndani ya katiba inafeli.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 3 Septemba 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 3, 2023 16:44


Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amesema uamuzi wa serikali ya Labor kukataa ombi la shirika la ndege la Qatar, kuongeza huduma zaidi nchini Australia kuta wadhuru wa Australia.

Habari za UN
CAR: Walinda amani wa UN kutoka Tanzania na Senegal wafanya mazoezi ya pamoja

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 23, 2023 0:02


Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wa kikosi cha 6 kutoka Tanzania (TANBAT 6) na wenzao kutoka kikosi cha polisi kinachotoka Senegal wote wakihudumu chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamuhuri wa Afrika ya Kati (MINUSCA), kwa wiki nzima wamefanya mazoezi ya pamoja ya ulinzi wa amani na kutuliza ghasia hususani wakati nchi hiyo ikijiandaa na uchaguzi wa ngazi mbalimbali ikiwemo kura ya maoni kuhusu katiba.Wakiwa wamevalia mavazi maalumu na vifaa vingine vya kujikinga, walinda amani wako katika uwanja wa wazi wanajikumbusha nini kinatakiwa kufanyika pale ambapo watu wenye nia ovu wanapowafanyia vurugu wananchi kwa kuziba barabara na hivyo kukwamisha shughuli za kijamii.  Kiongozi wa zoezi hilo Kapteni Boniface Issack ambaye ni  Afisa wa mafunzo wa TANBAT 06 anaeleza lengo la zoezi hilo,   Naye Mkuu wa uangalizi kwa wanajeshi walioko chini ya MINUSCA Kanali Mussa Abdalla anafafanua zaidi akisema, "Zoezi hili linaonesha kunapokuwa na tatizo wakati wa uchaguzi waandamanaji wanapokuja kwa lengo la kuharibu, kuzuia mchakato wa uchaguzi na kama wana nguvu sana, kikosi cha kuchua hatua za haraka cha Tanzania na Senegal wanaitwa kufanya kazi na kuwaondosha waandamanaji kwenye eneo na uchaguzi kufanyika sawasawa.”   Nikiripoti kutoka Beriberati, Mambere Kadei nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, mimi ni Kapteni Mwijage Inyoma, TANBAT 6. TAGS: TANZABAT 06, Jamhuri ya Afrika ya Kati 

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 18 Juni 2023

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 18, 2023 15:33


Kiongozi wa chama cha Nationals ndani ya Seneti Bridget McKenzie, ame elezea hatua ambazo zimechukuliwa dhidi ya Seneta David Van baada ya madai ya matendo yasiyo faa kuwa yalikuwa ni uamuzi thabiti.

SBS Swahili - SBS Swahili
Kiongozi wa upinzani adai mpango wa uhamiaji katika bajeti utaongeza mzozo wa makazi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 16, 2023 10:08


Kiongozi wa upinzani Peter Dutton amekosoa bajeti ya serikali ya Labor ya 2023, akisema haifanyi chochote kusaidia Australia ya kati.