Podcasts about njia

  • 54PODCASTS
  • 168EPISODES
  • 31mAVG DURATION
  • 1EPISODE EVERY OTHER WEEK
  • May 21, 2026LATEST

POPULARITY

20192020202120222023202420252026


Best podcasts about njia

Latest podcast episodes about njia

SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Examines:Nini inaweza fanywa kusimamisha kupandisha bei ya mafuta kwa njia ya unyonyaji?

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 21, 2026 12:47


Serikali ya Australia imeanzisha hatua kadhaa za kusaidia kupunguza shinikizo la usambazaji wa mafuta linalo endelea.Hatua hizo zinajumuisha kupunguzwa kwa muda kwa ushuru wa mafuta, na mamlaka zaidi kwa ACCC kupambana na kupandisha bei kwa njia ya unyonyaji.Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi

australia nini accc njia hatua serikali
SBS Swahili - SBS Swahili
What can be done to stop price gouging during the fuel crisis? - SBS Examines:Nini inaweza fanywa kusimamisha kupandisha bei ya mafuta kwa njia ya unyonyaji?

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 21, 2026 12:32


Fuel prices have spiked, and so have concerns and complaints about alleged price gouging. Are retailers cashing in on the crisis? - Bei za mafuta zimepanda, na wasiwasi pamoja na malalamiko kuhusu madai ya kupandisha bei kwa njia ya unyonyaji nao pia ume ongezeka. Je, wauzaji wa rejareja wanafaidika kupitia mgogoro huu?

Habari za UN
UNDPTanzania yajengea uwezo wasaidizi wa kisheria 126 kisiwani Pemba, ili kutatua migogoro kwa njia mbadala

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 13, 2026 2:48


Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) nchini Tanzania, limetoa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wa kutatua migogoro kwa njia mbadala (ADR), wasaidizi wa kisheria 126 kutoka kisiwani Pemba, Zanzibar ili kusogeza huduma za kisheria karibu na jamii na kupunguza mrundikano wa kesi mahakamani. Rashid Malekela na taarifa zaidi.

Radio Maria Tanzania
Hii ndiyo njia ya utoaji ripoti juu ya unyanyasaji wa watoto

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 8, 2026 56:59


Karibu usikilize Kipindi cha Walinde watoto Wawezeshaji ni Sista Mariselina John na Sista Patricia Kijuu Mada ni Utoaji ripoti juu ya unyanyasaji wa watoto Mtangazaji Elizabeth Masanja Tarehe 01 Machi 2026 L'articolo Hii ndiyo njia ya utoaji ripoti juu ya unyanyasaji wa watoto proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Kituo cha Kumi na nne, Fahamu dhamiri ya Nickodem juu ya Kristu .

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 7, 2026 50:45


Karibu usikilize Kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi ambacho hukujia kila siku za Jumatatu hadi Alhamisi Saa 2 asubuhi hapa Radio Maria Tanzania. Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania. ambaye amefafanua kuhusu “Njia ya msalaba kituo cha 14 ikiwa niwakatika wa ukimya” na leo tutamuangalia Nickodem na Dhamiri yake juu […] L'articolo Kituo cha Kumi na nne, Fahamu dhamiri ya Nickodem juu ya Kristu . proviene da Radio Maria.

pp kumi radio maria karibu njia kipindi fahamu mkurugenzi
SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari: Vituo na Wasambazaji kupewa faini ya milioni $100 wakiongeza bei ya mafuta kwa njia bandia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Mar 27, 2026 14:18


Vituo vya mafuta na wasambazaji watakaopatikana wakiongeza bei kutokana na vita vya Mashariki ya Kati watakabiliwa na adhabu mpya kali.

milioni habari njia mashariki
Detroit is Different
Everybody Needs That Bridge: Mama Njia Kai on Legacy, Love, and Detroit Culture

Detroit is Different

Play Episode Listen Later Mar 19, 2026 69:05


“Everybody needs that bridge.” In this Detroit is Different conversation, Njia Kai—Mama Njia of NKSK Events and Productions—pulls up with the kind of wisdom that only comes from building culture for decades. She celebrates the next wave of Detroit creators, saying she loves seeing “a continuum… the foundations aren't totally forgotten,” and laughs at how our kids swear they'll never be like us—until “what you nurtured… shows up in their lives later.” Khary and Mama Njia talk village economics in real time: pulling cables, finding last-minute food, and the “mutual support and reciprocation” that keeps Black Detroit experiences alive. With tenderness, she reflects on the loss of her daughter Indica and how community showed up—“this feels like home… this is how they used to do it”—drummers, chairs, food, altar, love. She drops game on legacy: teach the “root” so young people can innovate, balance “the intellect and the intuition,” and remember elders as “wisdom keepers… the baba tree.” From travel myths to mentoring, she reminds us: “All things are possible,” so stay curious, stay present, discern who's “born to serve,” and keep building what comes next for Legacy Black Culture because Detroit's future depends on memory turned into motion—together, always. Detroit is Different is a podcast hosted by Khary Frazier covering people adding to the culture of an American Classic city. Visit www.detroitisdifferent.com to hear, see and experience more of what makes Detroit different. Follow, like, share, and subscribe to the Podcast on iTunes, Google Play, and Sticher. Comment, suggest and connect with the podcast by emailing info@detroitisdifferent.com Find out more at https://detroit-is-different.pinecast.co

Habari za UN
Olukemi Ibikunle kutoka Nigeria atwaa tuzo ya Umoja wa Mataifa ya Muonesha Njia 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 8, 2025 3:25


Mwaka huu, Tunzo ya Umoja wa Mataifa ya “Muonesha njia” au kwa kiingereza Trailblazer imekwenda kwa Olukemi Ibikunle, afisa wa magereza kutoka Nigeria anayehudumu katika ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO. Tunzo hii inatambua mchango wake mkubwa katika kazi za haki na magereza kwenye operesheni za kulinda amani, pamoja na ujasiri wake wa kuvunja vizingiti vya kijinsia katika maeneo yanayoongozwa na wanaume. Flora Nducha na taarifa zaidi

nigeria trailblazer umoja mwaka njia jamhuri mataifa kidemokrasia
SBS Swahili - SBS Swahili
SBS Learn Eng Ep 22 Njia Rasmi na isiyo rasmi ya kualika watu

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 12, 2025 14:52


Je, unajua jinsi ya kuwapa watu mwaliko rasmi na usio rasmi?

watu njia
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
UN: Ni asilimia 35 pekee ya malengo ya maendeleo endelevu ndio yako katika njia sahihi kufikiwa

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Aug 11, 2025 9:49


Ripoti ya malengo ya maendeleo endelevu mwaka 2025, ikiwa ni miaka kumi tangu mataifa kuanza kufanyia kazi malengo hayo. Katika ripoti hiyo, UN inasema dunia bado iko nyuma katika kuhakikisha malengo hayo 17 yanaafikiwa kikamilifu kufikia mwaka wa 2030.

afrika yako katika njia maendeleo ripoti mazingira
Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu Ishara ya njia ya msalaba ilifundishwa na nani?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Aug 5, 2025 30:04


Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, swali linahoji hivi; Sala ya Baba yetu ilifundishwa na Bwana wetu Yesu Kristo, Je, ishara ya njia ya msalaba katika Kanisa ilifundishwa na nani? Swali limeulizwa na Laurent Michael kutoka Jimbo Katoliki la Sumbawanga Na limejibiwa na Frateri Daudi Fungameza kutoka Parokia ya ya Songwe Jimbo Kuu Katoliki […] L'articolo Je, unafahamu Ishara ya njia ya msalaba ilifundishwa na nani? proviene da Radio Maria.

SBS Swahili - SBS Swahili
Australia Yafafanuliwa: pengo la elimu yawa Australia wa Asili na njia ya mbele

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 25, 2025 16:44


Elimu ni njia yakupata fursa ila, kwa muda mrefu wanafunzi wa Asili nchini Australia, wame kabiliana na vizuizi vya kupata mafanikio.

australia asili njia pengo yawa elimu
Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu njia bora ya kuchagua viongozi wa Kanisa?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jul 4, 2025 49:29


karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Utume wa Walei, leo tutakuwa na mwezeshaji wetu, Gordon Rwenyagira, Mjumbe wa Kamati ya Uinjilishaji Jimbo Kuu la Dar es Salaam, akitufundisha namna ya kupata kiongozi wa Kanisa. L'articolo Je, unafahamu njia bora ya kuchagua viongozi wa Kanisa? proviene da Radio Maria.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Je dunia iko katika njia sahihi kutimiza lengo la kumaliza njaa kufikia 2030?

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later May 26, 2025 9:39


Jumatano ya Mei 28 2025, dunia itaadhimisha siku ya njaa ulimwenguni, siku hii ikilenga kutoa hamasa na kuchochea hatua kuchukuliwa ili kumaliza njaa duniani. Kulingana na ripoti ya kimtaifa ya 2025 kuhusu migogoro ya Chakula, zaidi ya watu milioni 295.3 katika nchi 53 wanakabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa usalama wa chakula.

dunia katika njia lengo mazingira
Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu njia za kuponya uraibu katika Familia?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later May 23, 2025 52:17


Karibu uungane nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Uraibu, Mwezeshaji ni Padre Richard Matanda Tesha kutoka Jimbo Katoliki la Moshi, akifundisha njia za Familia kupata uponyaji wa uraibu.  L'articolo Je, unafahamu njia za kuponya uraibu katika Familia? proviene da Radio Maria.

Habari RFI-Ki
News Zealand kudhibiti mitandao ya kijamii kwa watoto

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later May 7, 2025 9:55


 Shaba ya makala haya inalenga news Zealand ambapo serikali inapendekeza marufuku ya matumizi ya mitandao kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 16, lengo likiwa kuwakinga dhidi ya athari za mitandao. Njia gani wazazi wa kiafrika wanaweza kuwalinda watoto na mitandao ya kijamii? Ndilo swali tumeuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako, skiza makala haya.

Habari RFI-Ki
News Zealand kudhibiti mitandao ya kijamii kwa watoto

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later May 7, 2025 9:55


 Shaba ya makala haya inalenga news Zealand ambapo serikali inapendekeza marufuku ya matumizi ya mitandao kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 16, lengo likiwa kuwakinga dhidi ya athari za mitandao. Njia gani wazazi wa kiafrika wanaweza kuwalinda watoto na mitandao ya kijamii? Ndilo swali tumeuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako, skiza makala haya.

Radio Maria Tanzania
Ifahamu njia ya kutambua hazina ya neno kipindi cha Kwaresima.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 15, 2025 53:09


Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S,Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akiendelea kutufundisha juu ya Kwaresima njia ya kutambua hazina ya Neno. L'articolo Ifahamu njia ya kutambua hazina ya neno kipindi cha Kwaresima. proviene da Radio Maria.

pp neno radio maria njia kipindi ungana mkurugenzi
Radio Maria Tanzania
Je, unatambua njia msingi ya kuishi na kutambua hazina ya neno?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 53:59


Ungana nami Happiness Mlewa katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akizungumzia juu ya njia ya kuishi na kutambua hazina ya neno. L'articolo Je, unatambua njia msingi ya kuishi na kutambua hazina ya neno? proviene da Radio Maria.

pp neno radio maria njia kuishi ungana mkurugenzi
Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu Kwaresima ni njia ya kutambua neno la Mungu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 9, 2025 54:34


Karibu uungane nami Esther Magai Hangu katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi, Mwezeshaji ni Padre Dominic Mavula C.PP.S, Mkurugenzi wa Matangazo Radio Maria Tanzania, akitufundisha juu ya Kwaresima njia ya kutambua hazina ya Neno. L'articolo Je, unafahamu Kwaresima ni njia ya kutambua neno la Mungu? proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Ni kwa namna gani vituo vya njia ya Msalaba vimeshiriki katika kutetea Uhai wa Binadamu.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Apr 2, 2025 53:44


Karibu uungane nami Elizabeth Masanja katika kipindi cha Pro-Life, leo Studio niko na wawezeshaji kutoka Pro Life Tanzania, wakitufundisha juu ya Kwaresma na Uhai wa Binadamu.  L'articolo Ni kwa namna gani vituo vya njia ya Msalaba vimeshiriki katika kutetea Uhai wa Binadamu. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Fahamu njia za kumtangaza mtu kufikia Utakatifu

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Feb 12, 2025 56:41


Ungana na Padre Titus Amigu, Mtaalamu wa Maandiko Matakatifu kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT), Jimbo Kuu Katoliki Mwanza katika kipindi cha Ujumbe wa Biblia, leo anaeleza juu ya L'articolo Fahamu njia za kumtangaza mtu kufikia Utakatifu proviene da Radio Maria.

biblia radio maria njia fahamu ungana ujumbe chuo kikuu
Habari RFI-Ki
Athari za Donald Trump kusitisha misaada kwa Afrika na njia mbadala kujitegemea

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 30, 2025 10:01


Uamuzi wa Rais wa Marekani #DonaldTrump, kuagiza kusitishwa kwa muda utowaji wa misaada yote ya kigeni umeibua mjadala na sintofahamu hasa kwa nchi za Afrika, ambazo sekta muhimu ikiwemo afya zinategemea msaada wa Marekani.Tulimuuliwa msikilizaji anazungumziaje hatua hii ya Marekani na Nchi za Afrika zifanye nini kuacha kutegemea misaada ya nchi za Kigeni?

donald trump afrika rais njia nchi marekani
Habari RFI-Ki
Athari za Donald Trump kusitisha misaada kwa Afrika na njia mbadala kujitegemea

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 30, 2025 10:01


Uamuzi wa Rais wa Marekani #DonaldTrump, kuagiza kusitishwa kwa muda utowaji wa misaada yote ya kigeni umeibua mjadala na sintofahamu hasa kwa nchi za Afrika, ambazo sekta muhimu ikiwemo afya zinategemea msaada wa Marekani.Tulimuuliwa msikilizaji anazungumziaje hatua hii ya Marekani na Nchi za Afrika zifanye nini kuacha kutegemea misaada ya nchi za Kigeni?

donald trump afrika rais njia nchi marekani
Radio Maria Tanzania
Fahamu mambo muhimu ya kumlea kijana katika njia bora.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 21, 2025 51:57


Ungana nami Martin Joseph, katika Kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu  Wawezeshaji ni Wakufunzi kutoka Familia bora katika Nyumba Aminifu, wakiendelea kutufundisha  Changamoto za Malezi  ya Watoto na Vijana katika Ulimwengu wa leo. L'articolo Fahamu mambo muhimu ya kumlea kijana katika njia bora. proviene da Radio Maria.

familia bora mambo radio maria katika watoto njia vijana kijana kipindi fahamu ungana ulimwengu
Radio Maria Tanzania
Je, ni njia gani zinazotumika kudumisha virutubisho katika chakula?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Jan 20, 2025 60:12


Karibu uungane nami Joyce Jonatus, katika kipindi cha Chakula na Lishe Mwezeshaji Bi. Fatma Juma na Bi. Nusura Salumu, Maafisa Lishe Watafiti  kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe (TFNS)  mada ni Namna bora ya uuandaji wa chakula ili kutunza Virutubishi L'articolo Je, ni njia gani zinazotumika kudumisha virutubisho katika chakula? proviene da Radio Maria.

Wimbi la Siasa
Tanzania: Mbowe na Lissu wakiweka CHADEMA njia panda

Wimbi la Siasa

Play Episode Listen Later Jan 8, 2025 10:11


Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kitawachagua vongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho, Januari tarehe 21. Kibarua kigumu kipo kwenye ushindani wa nafasi ya Mwenyekiti.Freeman Mbowe ambaye amekuwa akiongoza chama hicho kwa zaidi ya miaka 20 na Makamu wake Tundu Lissu, ni miongoni mwa watia nia waliojitosa kupambania nafasi hiyo.Wawili hao wameendelea kutupiana maneno makali, na kuzua hofu kuhusu hatima ya chama hicho baada ya uchaguzi huo. Thomas Kibwana ni mchambuzi wa siasa za Tanzania, akiwa jijini Dar es salaam, anachambua kwa kina.

Siha Njema
Kupanga uzazi kwa kutumia njia za homoni na ile ya Kitanzi -Matatizo ya Afya kwa Wanawake

Siha Njema

Play Episode Listen Later Dec 24, 2024 10:03


Kwenye awamu yetu ya Kwanza tuliangazia njia za asilia walizokuwa wanatumia nyanya zetu kabla ya sayansi kuingia.Tukataja njia ya Kalenda,mipira ya kondomu na kumwaga mbegu za kiume nje ya njia ya uzazi almaarufu Withdrawal.Hivyo basi kwenye sehemu hii ya pili tutaangazia njia za homoni na zisizo za homoni na  ambazo asilimia kubwa ya wanawake wanatumia.Kama vile vidonge, vipandikizi ,sindano, na IUD.

Radio Maria Tanzania
Kwanini Sala ni njia ya kuboresha Maisha ya Familia?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Dec 17, 2024 50:58


Karibu uungane nami John Samky katika kipindi cha Familia Bora na Nyumba Aminifu, Wawezeshaji ni Federika Bayaga, Paschal Maziku, Melania Maziku, Benedict Kessy, Benjamini Wasonga, Liliani Wasonga na Katekista Castory Matimla, wakitufundisha juu ya kumalizia nyumba kwa kujenga Familia Bora na Nyumba Aminifu. L'articolo Kwanini Sala ni njia ya kuboresha Maisha ya Familia? proviene da Radio Maria.

Siha Njema
Uzazi wa mpango kwa njia asilia

Siha Njema

Play Episode Listen Later Dec 17, 2024 9:42


Makala  haya yanaangazia upangaji kupanga uzazi, na jinsi linavyohusiana na afya ya mwanamke. Kupanga uzazi ni sehemu muhimu ya afya, kwani husaidia wanawake kudhibiti idadi ya watoto wanapokuwa nayo, na pia ina athari kubwa katika afya yao ya kimwili na kihisia.

Radio Maria Tanzania
Fahamu njia rahisi ya kujisajili na mfuko wa bima ya Taifa (NHIF) kwa Wanafunzi.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 21, 2024 51:05


Karibu uungane nami Martin Joseph katika kipindi cha Elimu Jamii, Mwezeshaji ni Dkt. Raphael Malaba, Meneja wa Mfuko wa Bima ya Taifa (NHIF) Mkoa wa Kinondoni, akitufundisha juu ya matumizi ya mifumo katika usajili wa Wanafunzi. L'articolo Fahamu njia rahisi ya kujisajili na mfuko wa bima ya Taifa (NHIF) kwa Wanafunzi. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu njia salama ya kuendesha Gari Barabarani?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 11, 2024 57:59


Ungana nami Martin Joseph, Katika Kipindi cha Usalama Barabarani Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania leo tupo na Afande Michael Deleli, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, ikiwa mada ni endesha salama ufike salama. L'articolo Je, wafahamu njia salama ya kuendesha Gari Barabarani? proviene da Radio Maria.

salama gari radio maria njia jeshi ungana
Radio Maria Tanzania
Je, unafahamu Utakatifu kwa njia ya toba na msamaha?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Oct 24, 2024 54:25


Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Fahamu wito wako, Mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi kutoka Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Jimbo Kuu la Dar es salaam, akitufundisha juu ya Utakatifu na msamaha. L'articolo Je, unafahamu Utakatifu kwa njia ya toba na msamaha? proviene da Radio Maria.

Alfajiri - Voice of America
Zaidi ya wahamjiaji 900 waingia Uingereza kwa siku moja wakitokea Ufaransa kwa njia ya bahari. - Oktoba 07, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 7, 2024 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

moja zaidi bahari siku njia oktoba ufaransa uingereza
Radio Maria Tanzania
Je, Kanisa linapendekeza njia gani sahihi za kuleta mapatano ulimwenguni?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Sep 26, 2024 24:52


Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani, tukiungana na Frateri Emilian Samson Mahinya, kutoka Parokia ya Mtakatifu Petro Mtume Ndaga, Jimbo Kuu la Mbeya, akijibu swali hili Je, Kanisa linapendekeza njia gani sahihi zenye kuweza kuleta mapatano kwani kumekuwa na ongezeko kubwa la vita ulimwenguni, lakini pia katika Familia na Jamii zetu kumekuwa na maugomvi, […] L'articolo Je, Kanisa linapendekeza njia gani sahihi za kuleta mapatano ulimwenguni? proviene da Radio Maria.

familia gani radio maria karibu jamii njia kanisa mbeya maswali
Habari za UN
Viongozi wajadili ongezeko la kina cha baharí; UNEP Tanzania yaonesha njia

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 25, 2024 1:53


Viongozi wa dunia wakiendelea kuhutubia kwenye Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa hapa New York, Marekani, kandoni kunafanyika Mkutano wa Ngazi ya Juu  ukimulika madhara ya ongezeko la kina baharí  kutokana na kina cha baharí. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akihutubia viongozi wa dunia amewataka wachukue hatua za kijasiri kunusuru maisha na mbinu za kujipatia vipato kwa watu zaidi ya milioni 900 wanaoishi uwanda wa chini wa pwani ulio hatarini kuzama kutokana na kina cha baharí kuongezeka.Kwa Tanzania Umoja wa Mataifa umeanza kuchukua hatua kama unavyosikia kutoka kwa Clara Makenya, Mwakilishi wa shirika la UN la Mataifa la Mazingira, UNEP nchini humo huku tukipata ufafanuzi wa madhara ya ongezeko la kina cha baharí kwenye eneo lao kutoka kwa Segule Segule, Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Maji Pangani 

new york tanzania kina bahar unep bodi umoja njia mataifa marekani juu mkutano mazingira mkurugenzi
Radio Maria Tanzania
Fahamu Wito wa Utakatifu kwa njia ya Toba na Msamaha.

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Sep 24, 2024 56:36


Karibu uungane nami Judith Mpalanzi katika kipindi cha Fahamu Wito wako, Mwezeshaji ni Padre Innocent Bahati Mushi OFMCap, kutoka Jimbo Kuu la Arusha, akiendelea kutufundisha juu ya Wito wa Utakatifu kupitia Toba na Msamaha. L'articolo Fahamu Wito wa Utakatifu kwa njia ya Toba na Msamaha. proviene da Radio Maria.

Radio Maria Tanzania
Je, wafahamu njia ya Msalaba kwa Ekaristi Takatifu?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Aug 29, 2024 55:52


Karibu ungane nami Esther Magai Hangu, katika kipindi cha Katekisimu Katoliki Shirikishi  leo tupo na Padre Deodatus Katunzi Mkurugenzi wa Radio Mbiu sauti ya Faraja kutoka Jimbo katoliki Bukoba, akiendelea kutufundisha juu ya Ekaristi Takatifu na kama maandalizi ya Kongamano la Kitaifa Hija ya Ekarisiti Takaifu . L'articolo Je, wafahamu njia ya Msalaba kwa Ekaristi Takatifu? proviene da Radio Maria.

Alfajiri - Voice of America
White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria - Mei 07, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later May 7, 2024 30:00


White House yatathmini njia za kutoa hadhi ya muda na vibali kwa wahamiaji wanaoishi kinyume cha sheria

Alfajiri - Voice of America
Israel yafungua njia zaidi za misaada kwa Wapalestina muda mfupi baada ya mazungumzo ya simu kati ya Biden na Netanyahu - Aprili 05, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Apr 5, 2024 29:59


Jioni - Voice of America
Wananchi wa Chad wafanya kura ya maoni kuhusu marekebisho ya katiba, kama njia ya kupunguza taharuki za kisiasa. - Desemba 17, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 17, 2023 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

kama kura njia katiba afrika mashariki desemba wananchi
Jioni - Voice of America
Ujumbe wa ECOWAS wawasili Niger kujaribu kumaliza mzozo kwa njia ya amani - Agosti 19, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 19, 2023 29:59


Alfajiri - Voice of America
Upinzani nchini Kenya unasema Rais William Ruto ametumia njia za nguvu kupitia wabunge wake kupitisha mswada wa fedha wa 2023 wenye utata - Juni 23, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 23, 2023 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

wake kenya rais ruto njia nguvu fedha
Habari za UN
Kuna haja ya kusaka amani kwa njia ya majadiliano, lasema Baraza la usalama la UN wakiwa ziarani nchini DRC

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 10, 2023 0:02


Ujumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa umewasili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC , ikiwa ni sehemu ya ziara ya kikazi ya kutathmini hali ya usalama na utekelezaji wa majukumu ya vikosi vya umoja wa mataifa vya kulinda mamani nchini humo MONUSCO. Mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Kinshasa, bwana Nicolas de Rivière, Balozi wa kudumu wa Ufaransa kwenye Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa makundi yenye silaha, vyovyote vile yalivyo, lazima yasitishe operesheni zao ili kushiriki katika mchakato wa amani, “Ni wakati muhimu wakuchukua hatua na kwamba vikundi vyote vyenye silaha, kwa hali yao lazima visitishe shughuli zao na washiriki katika mchakato wa kisiasa. Naomba makundi ya kigeni yajiondoe na makundi yanayoungwa mkono na mataifa ya kigeni pia yajiondoe ili hatimaye amani irejee katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo”.Ujumbe huo umekuja nchini DRC wakati kukitarajiwa kuwa na uchaguzi mkuu wa raisi pamoja na wabunge mwezi decembe mwaka huu huku bwana Michel Xavier Biang Balozi wa Gabon kwenye Umoja wa Mataifa akisisitiza lazima uchaguzi huo uwe wa haki, wa uwazi na salama, “ Tuko katika mwaka ambao utakuwa mwaka wa uchaguzi, ujumbe wetu ni wakuhimiza wanasiasa wa pande zote kushiriki katika mchakato wa uchaguzi ambao ni wa uwazi, na wa kuaminika kwa mujibu wa Katiba ya DRC na sheria ya uchaguzi. Tuko hapa kuunga mkono hatua ya MONUSCO na kukumbusha kwamba MONUSCO ni sehemu ya fursa ya suluhu”.Wajumbe hao watakutana na watu kutoka tabaka mbali mbali ikiwemo mashirika ya kiraia na Rais wa DRC Félix Tshisekedi jijini Kinshasa na baadae watakwenda mjini Goma jimboni Kivu Kaskazini, ambako mapigano yamezidi kurindima kwa miezi kadhaa sasa kati ya jeshi la serikali na kundi la wanamkambo wa M23. 

congo gabon drc kinshasa goma rais haja kuna m23 umoja congo drc tshisekedi monusco baraza njia tuko jamhuri mataifa katiba ufaransa ujumbe kusaka kidemokrasia uchaguzi mkuu
Habari za UN
Matumizi ya maji kwa njia endelevu yahitajika

Habari za UN

Play Episode Listen Later Feb 22, 2023 0:01


Ni wakati kufikiria upya jinsi ya kutumia maji kwa njia endelevu na yenye uwiano huku ubunifu katika kilimo ukiwa kitovu cha mipango yote,  amesema Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo, FAO limesema  Qu Dongyu hii leo wakati akizungumza na viongozi na wataalamu wa Afrika kwenye warsha ya kwanza ya kikanda kuhusu mwelekeo wa matumizi ya maji barani Afrika, warsha inayofanyika nchini Zimbabwe.Mkutano huo ni wa siku tatu na leo ikiwa ni ufunguzi ulioleta viongozi wa ngazi ya juu, Bwana Qu amesema Mikakati ya Kitaifa kuhusu mwelekeo wa matumizi yam aji itasaidia kuimarisha mbinu za usimamizi wa maji ambazo ni muhimu katika kutatua changamoto nyingi zinazozingira kwenye matumizi ya maji, na hivyo kusaidia kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu ifikapo mwaka 2030. Amesema maji ni moja ya rasilimali adhimu duniani na ni kitovu cha mafanikio ya ajenda 2030 kwa sababu “maij ni chakula, chakula ni maji, chakula ni uhai. Zaidi ya asilimia 95 ya chakula tunachokula kinazalishwa kutoka ardhini, kutoka kwenye udongo na maji. Lakini bado tunakabiliwa na changamoto kubwa za maji: ukame na uhaba wa maji, mafuriko na uchafuzi wa vyanzo vya maji.” Ametanabaisha kuwa ni dhahiri janga la tabianchi linaongeza ukali wa ukame na mafuriko ambavyo vyote vina madhara kwenye uzalishaji wa chakula. Mkurugenzi Mkuu huyo amesema kilimo kikitumia asilimia 70 ya maji duniani ni lazima sasa kutumia ubunifu kusaka mbinu za matumizi ya maji kwa tija kwa kuwa uzalishaji zaidi unahitaij maji zaidi. Majawabu kama vile usimamizi endelevu wa matumizi ya udongo, kuzuia mvurugano wa matumizi ya maji na pia kuhifadhi tabianchi. 

africa zimbabwe afrika fao zaidi umoja maji lakini njia mataifa shirika mkutano matumizi
Habari za UN
Hatua zahitajika kunusuru wakimbizi watokanao na madhara ya tabianchi.

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 16, 2022 0:02


Endapo uwekezaji wa haraka hautofanyika katika njia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi na kujenga mnepo katika nchi za Sahel, basi kuna hatari ya kuwa na miongo ya vita vya silaha na watu kuendelea kutawanywa vinavyochochewa na ongezeko la joto duniani , uhaba wa rasilimali na kutokuwa na uhakika wa chakula limeonya leo shirika la Umoja wa Mastaifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR kwa kushirikiana na mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya maendeleo. Flora Nducha na taarifa zaidi.Kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa leo, na kupewa jina "Kuhama kutoka kwenye hatua hadi vitendo: kutarajia maeneo yenye hatari Sahel", bila kudhibitiwa, dharura ya mabadiliko ya tabianchi itahatarisha zaidi jamii za watu wa Sahel kwani mafuriko makubwa, ukame, na mawimbi ya joto huathiri ufikiaji wa huduma muhimu kama maji, chakula na kujipatia riziki, na kuongeza hatari ya migogoro.  Na hii hatimaye itawalazimisha watu wengi zaidi kukimbia makazi yao. Mratibu maalum wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo katika ukanda wa Sahel Abdoulaye Mar Dieye amesema "Katika eneo la Sahel, mgogoro wa mabadiliko ya tabianchi unachanganyika na kuongezeka kwa ukosefu wa utulivu na kiwango cha chini cha uwekezaji wa maendeleo, na hivyo kuunda mchanganyiko hatari ambao unazitoza gharama kubwa sana  jamii za Saheli, pamoja na kuhatarisha kufikiwa kwa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs. Kuna suluhu, zinazojikita katika uharaka wa watu na uwekezaji kwa kiwango kikubwa, lakini zinahitaji kujizatiti na kujitolea kutoka kwa kila mtu, pamoja na takwimu sahihi na uchambuzi kujua nini kinakuja ili kutekeleza hatua za kisera haraka na zenye athari nzutri." Naye mshauri maalumu wa UNHCR wa hatua dhidi ya mabadiliko ya tabianchi Andrew Harper. Amesema "Ongezeko la joto na hali mbaya ya hewa katika ukanda wa Sahel vinazidisha vita vya silaha, ambavyo tayari vinaharibu maisha, vinaathiri uhakika wa chakula, na kusababisha watu kuyahama makazi yao. Njia pekee inayoweza kusaidia kukabiliana na hali hii na kupunguza matokeo ya sasa na ya siku za usoni ni juhudi za pamoja za kupambana na kujenga mnepo dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.” Ameongeza kuwa hata kukiwa na sera kabambe za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi hali ya joto katika ukanda wa Sahel inatabiriwa kupanda hadi kufikia nyuzi joto 2.5°C na ifikapo 2080  ikiwa hatua za haraka zitachelewa zaidi, basi joto linaweza kuongezeka hadi kufika nyuzi joto 4.3°C. Ripoti hiyo imezimulika nchi 10 za Afrika Magharibi na  Kati ambazo ni Burkina Faso, Cameroon, Chad, Gambia, Guniea, Mali, Mauritania, Niger, Nigeria na Senegal. 

Habari za UN
28 JULAI 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 28, 2022 14:02


Leo ni siku ya homa ya ini duniani! Hivyo tunakuletea jarida maalum linaloangazia kwa undani aina, maambukizi na vipi mtu anaweza kujikinga asipate homa ya ini ambayo shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO linasema zaidi ya wakazi milioni 91 barani Afrika wanaishi nao hususan aina B au C ambayo ni mbaya zaidi. WHO inasema iwapo homa ya ini haitagunduliwa mapema unaweza kupata saratani au kansa ya ini. Je kuna aina ngapi ya homa ya ini? Homa Kali ya ini ni ipi ambayo imegunduliwa sasa? Njia za maambukiz ini zipi? Na nini ufanye uweze kujikinga? Leah Mushi wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa, na Evarist Mapesa wa Radio washirika SAUT FM ya Mwanza Tanzania wanakuletea kwa kina. Shukrani ikiwa ni kwa kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa, UNIC Dar es Salaam nchini Tanzania kwa kuratibu mahojiano na maafisa kutoka Wizara ya Afya Tanzania na shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO nchini Tanzania. Karibu na mwenyeji wako ni Assumpta Massoi.

Authentically Detroit
Back to Black: The African World Festival Returns to Hart Plaza with Njia Kai

Authentically Detroit

Play Episode Listen Later Jul 13, 2022 61:43


Having a place that validates your existence is essential to community building. In order to prepare ourselves for a mutually beneficial future, we must come together and acknowledge the cyclical nature of our world.  That's the philosophy of art lover, public space activator, and event curator Njia Kai. On this episode Donna, Orlando, and Njia discuss Charles H. Wright African World Festival's return to Hart Plaza. Njia gives an in depth look at the festival's history and its significance to the Detroit community. The festival's 39th installment takes place from July 15th-17th. Hot Takes Links:Detroit urges calm in response to city's first monkeypox caseDetroit advocates call for more transparency around city's new water affordability plan

SBS Swahili - SBS Swahili
Kenya yaongoza njia kuhifadhi joto la chanjo

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 12, 2022 7:01


Moja ya matatizo makubwa yakupata chanjo ya UVIKO-19 katika maeneo ya vijiji, vya nchi zinazo endelea niku hifadhi chanjo hizo kwenye joto sahihi.

kenya moja njia joto
Habari za UN
Neno la Wiki-Njia panda ilimshinda fisi

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jun 16, 2022 1:13


Katika kujifunza Kiswahili, mchambuzi wetu Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia methali "NJIA PANDA ILIMSHINDA FISI”