Maisha ya kumpendeza Kristo katika ulimwengu huu ulioharibika hasa kwa binti aliye 'singo' si kitu rahisi. Karibu katika Binti wa Yesu, mahali pa kupeana moyo, kuzizungumza changamoto katika maisha ya binti aliyeokoka, kutambua thamani yako kama binti, kuwa na mahusiano yanayompendeza Mungu na kuyai…
Welcome to the Living Fully Podcast
If you are in a for a story infused with lessons, some reflection, and a good laugh; today's episode is for you. From childhood trauma, depending on men for emotional security and validation, hurting, forgiveness and an unending journey of healing, growing and maturing through Jesus Christ. Happy listening and I pray you are encouraged
It's unfortunate that many Christian single women don't handle with discretion the interest they get from men. Whether they like the guy back or they don't share the interest, these women just can't seem to be wise and mysterious about the information. In this episode, I share two ways to handle and approach the interest from a man and why you should do so. Happy Listening ❤️ --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/uplevelwithupendo/message
Today, I'm answering a question one of my followers asked regarding how one can tell and speak to a man about his seriousness regarding the future (marriage). --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/uplevelwithupendo/message
Neno DATING limekuwa linatumika sana hivi karibuni miongoni mwa vijana. Kwa bahati mbaya si kila mtu amekuwa akilitumia ipasavyo. For some, dating ni kuwa na mahusiano na mtu, wengine ni kuingia katika zinaa na wengine hawaelewi ila wanalitumia tu. Kupitia episode hii, nitakujuza maana halisi ya dhana ya ku-date na mtu. Ikiwa una maswali zaidi, wasiliana nami kupitia WhatsApp #0628-704781. Happy listening
Do you ever feel deep down that there is more to your life than where you are currently? Well, you're not alone. I pray this short audio sparks an interest in you; to go after the fulfilling you desire according to His will for your life. Please share this with someone and Happy listening ☺️ --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/uplevelwithupendo/message
Ni kwa kiasi gani unaruhusu au kutoa nafasi kwa mambo au watu fulani kuathiri maisha yako? Je, una mipaka katika maisha yako? Ni katika maeneo gani? Ili kujifunza kuhusu mipaka, tafadhali sikiliza episode hii hadi mwisho. Yours in maximizing the single season, Upendo Masenga. --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message
Mrembo, ni kwa namna gani unapima ubora wa hali unazoruhusu katika maisha yako, au ni ubora upi unazingatia juu ya aina ya watu unaowapa nafasi (access) katika maisha yako kwa ukaribu? Je, unazingatia viwango vya ubora wanaobeba watu hawa au bora liende? Je, unatafakari juu ya athari/matokeo ya kuvumilia/kuruhusu hali (experiences) hizo au watu hao katika maisha yako? Unajua kwanini unahitaji kuwa na viwango kama mrembo wa Kristo? Sikiliza episode hii kujua. Happy listening
Maisha yako yanaongozwa na vitu gani? Ni vitu gani unazingatia ili kufanya uchaguzi au maamuzi? Kupitia episode hii nitakujuza juu ya nini kinaweza kukusaidia katika kufanya maamuzi yako ikiwemo uamuzi wa muhimu kama nani unayeingia katika mahusiano naye na kumchagua kuwa mume au la. Happy Listening
As a human being tunapitia maumivu ya aina mbalimbali ikiwamo yale ya kihisia & kiakili. Kupitia episode hii, nitakujuza kwanini ni muhimu kupona maumivu haya na unaweza kuchukua hatua ya kupona. Pia ninayo ofa maalum kwaajili yako mrembo wa Kristo
Kujua KUSUDI lako ndio mwanzo wa kuishi. Kuishi maisha ya KUSUDI ni kuleta maana katika maisha yako. Happy listening
Utambulisho wako kama mrembo wa Kristo unatokana na nini? Je, ni uzuri na urembo wako? Ni ujuzi wako? Ni familia uliyozaliwa? Ni hadhi ya kielimu, kifedha? Sikiliza episode hii kujua hasa UTAMBULISHO wako unatokana na nini na kwanini ni muhimu ukafahamu chanzo cha UTAMBULISHO wako. Happy Listening ☺️ --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message
In this episode, I want to help you understand what I believe is the singleness season about. And on the other hand what it's not. I hope you enjoy and be blessed too as you listen
--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/bintiwayesu/message
Katika wimbi hili la mwaka mpya, mambo mapya ni muhimu ukachukua hatua 3 zilizoelezwa kwe episode hii ya kwanza kwa mwaka huu 2023. Happy Listening
Baada ya muda kidogo sasa, nadhani nahitaji ku-pause kidogo ili kujipanga upya, kufanya maboresho ya podcast na bila kusahau kupumzika kidogo. Ahsante sana kwa kusikiliza episodes zangu, Mungu akubariki sana, stay tuned kwa mambo mazuri zaidi. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Mwezi uliopita (September) nilipata fursa ya kwenda redioni Upendo FM na kuzungumza na vijana. Katika yote niliyoyazungumza, natamani uondoke na hiki nilichozungumza katika episode hii. Happy Listening
A little encouragement kwaajili yako mrembo, the single season can be tough sometimes but I got you sis. I pray, your heart is encouraged kupitia hii episode. Happy Listening
Kupitia episode hii tutaangalia mambo kadhaa kutoka kwa malkia Esther ambayo yatatusaidia kama warembo wa Kristo na wake watarajiwa hapo baadae. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Wiki hii tunajifunza jinsi ya kuwa mwanamke mwenye thamani ya juu kupitia Ruth. Karibu tujifunze mambo 4 ya msingi kutoka kwake na namna gani kama warembo wa Kristo tunaweza kuongeza thamani katika maisha yetu kama wake watarajiwa.Lakini pia tutaona sifa mbili za mwanaume ambaye Mungu amekuandalia kupitia Boaz. Happy Listening
Ikiwa ni mwendelezo wa episode ya wiki iliyopita, tutaangalia sifa za mwanamke wa Mithali 31 na nini tunaweza kujifunza kwake. Happy Listening
Kupitia episode hii, tutajifunza mambo 7 kutoka kwa Mwanamke wa Mithali 31, ikiwa ni mwanzo wa mfululizo wa namna ya kuwa mwanamke mwenye thamani ya juu. Jiandae kujifunza na kufurahi pia. Happy Listening
Since there's a whole movement about becoming "a high value woman", I figured nilizungumzie hilo kwako mrembo wa Kristo especially since mtazamo wa kidunia uko twisted. Kupitia episode hii, utajifunza kweli/sifa tatu kuhusu kuwa a high value Christian woman. Happy Listening
Ikiwa ni sehemu ya pili ya episode iliyopita, kupitia episode hii nimeeleza "taa nyekundu" (deal breakers) 7 za kukusaidia kukwepa kupoteza muda au maumivu yasiyo ya lazima linapokuja suala la mwanaume sahihi wa kuingia naye katika mahusiano yanayolenga ndoa. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Kuwa na standards ni sawasawa na kuchagua ubora kuliko wingi. Standards zitakulinda dhidi ya experiences mbovu na ambazo zingekutoa nje ya reli. Leo tutaangalia kama mrembo wa Kristo, kiwango namba moja kitakachokuweja salama katika suala zima la mahusiano. Happy Listening
Pamoja na kwamba wanadamu tunapenda kupendwa, bado ni muhimu kujipenda kwanza hasa ukiwa mrembo wa Kristo. Sikiliza mpaka mwisho kujua umuhimu wa kujipenda (self-love). Happy Listening
Mafanikio ya ndoa yako hayaanzii pale tu utakapoolewa bali tangu ukiwa single, utakapoingia kwenye mahusiano yenye lengo la ndoa na hata utakapochumbiwa. Work on yourself sasa hivi kuepusha majuto baadae ukiwa mke wa mtu na utakapokuwa huna nafasi na uhuru wa kujirekebisha. Singleness ni fursa, you just have to see it in a positive attitude. Ubarikiwe na Happy Listening
Kuna imani kubwa juu ya wanawake kuchukiana, kushindwa kushirikiana na hata kutokuwa na uhusiano wa kirafiki mzuri, mwema na wenye afya. Episode ni maalumu kwaajili yako mrembo wa Kristo ambaye kwa muda mrefu umetamani rafiki mwema ambaye ataongeza thamani kwenye maisha yako. Nikutie moyo, Mungu anaweza kukupa rafiki mwema ukimuomba. Omba na uamini na Mungu atakupa rafiki mwema. Ubarikiwe & Happy Listening
Inawezekana unatamani sana kukitambua ulicho nacho lakini unaona kama ni kazi kweli kukijua, niko hapa kukurahisishia hilo. Pengine unaamini wewe huna kipawa chochote, hilo si kweli, unacho kipawa ndani yako kama mwanadamu mwingine yeyote yule. Ukiweza kujibu maswali 8 niliyokuuliza katika episode hii, huo utakuwa mwanzo mzuri wa kukitambua na mwanga wa safari ya kutumia kipawa chako. Happy Listening
Najua kuna nyakati za kuchoka na kukata tamaa kama mrembo wa Kristo, episode ni maalumu kwaajili ya kukutia moyo kumtazama Yeye aliye Baba yako huku ukimwamini kwamba atakutana na haja zako. Happy listening
Huna haja ya ku-pause maisha yako kwa kigezo cha kwamba hujaolewa, unaweza kuyafurahia maisha katika u-singo wako pia. Enjoy the season! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Japokuwa nilishawahi kuzungumzia suala hili hapo awali katika episode ya 10 (ikiwezekana tafadhali kaisikilize episode hii), leo najaribu kueleza ni kwanini siamini katika 'missionary dating' na nini ambacho mrembo wa Kristo anapaswa kufanya iwapo atakutana na kijana ambaye anataka kuanzisha mahusiano na yeye lakini si muamini (hajaokoka). Karibu☺ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Kupitia episode hii, tutaona namna mbalimbali ambavyo tumekuwa tukijilinganisha. Pressure zinazopelekea kujilinganisha na hatimaye hasara zitokanazo na kujilinganisha na nini ufanye ili kuondokana na tabia ya kujilinganisha. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Kwa muda mrefu nimesikia habari za watu kuota au kupata maono kwa habari ya Unyakuo, nami kwa neema ya Mungu nilipata experience hiyo kupitia ndoto mwaka jana. Episode hii itazungumzia juu ya experience hiyo, karibu usikilize. Shalom
Kupitia episode hii fupi kabisa nitakwambia kwanini nimekuwa kimya kwa karibia miezi mitatu na nini utarajie kutoka kwa Binti wa Yesu Podcast kuanzia sasa. Karibu tena
Kutoka moyoni, ninapenda kutoa shukrani zangu za dhati kwako msikilizaji wangu mpenzi wa podcast. Ahsante kwa kuwa msikilizaji mwaminifu na ahsante kwa ku-share na wengine maudhui za podcast yangu. Ninakutakia heri ya Mwaka Mpya 2022 ❤️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Katika episode hii nashare na wewe nini maana ya missionary dating, kwanini haina faida kwako kama mrembo wa Kristo na nini ufanye badala yake. Karibu ❤️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Kupitia episode hii utajifunza namna ambavyo Mungu hutumia vitu vinyonge ili kuviaibisha vyenye nguvu. Namna ambavyo Yeye hufanya kazi na watu wasiodhaniwa katika jamii kwaajili ya utukufu wake. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Ndani ya episode hii utapata ufahamu juu ya mitazamo/dhana/imani potofu zinazoizunguka jamii si tu mataifa bali waamini pia kuhusu suala zima la kujizuia zinaa (celibacy). Karibu ❤️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Kupitia episode hii utafahamu ni kwanini msimu wa singleness ni fursa na namna unavyoweza kuitumia hiyo fursa. Karibu ❤️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Katika episode hii utafahamu mambo matatu ya msingi kwa mrembo wa Kristo kuyajua ambayo ni nguzo katika kipindi cha singleness. Sambamba na mambo hayo utazifahamu sifa za kusudi la Mungu maishani mwako. Karibu❤️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Baada ya kutambua kusudi la Mungu maishani mwako ni muhimu kuijua misingi ya kusudi hilo ili uweze kuliishi vilivyo. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Kupitia episode hii utafahamu ni jinsi gani wewe kama mrembo wa Kristo unaweza ku-enyoy singleness na kuwa na mtazamo chanya juu ya singleness kwa ujumla wake. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Ndani ya episode hii utakutana na ushuhuda wa namna nilivyopokea wokovu kupitia Kristo Yesu, jinsi alivyoniokoa na dhambi zilizonitesa hasa zinaa. Mwisho kabisa ninalo neno la kutia moyo kwaajili yako binti uliyeokoka katika ulimwengu huu ulioanguka. Shalom❤️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Bila kujali wewe ni nani, historia yako, ulikotoka, hali yako ya kiuchumi, kiwango chako cha elimu, hali ya kimahusiano, unajulikana ama hujulikani, nk wewe ni wa thamani. Usikubali kuambiwa au kuaminishwa vinginevyo. Kupitia episode hii, utafahamu hasa kwanini wewe unayo thamani. Karibu❤️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Katika episode yetu ya kwanza tutaangalia kwanini muda hautusubiri na hasa nini hutuzuia katika kuyatekeleza yale ambayo Mungu husema nasi. Mungu akubariki kwa kusikiliza. Shalom❤️ --- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
--- Send in a voice message: https://anchor.fm/bintiwayesu/message
Episode ya kwanza kabisa ya Binti wa Yesu podcast, inayolenga kukupa utambulisho wa podcast yetu na nini sababu ya kuanzishwa kwake. Karibu sana!