Podcasts about kuomba

  • 30PODCASTS
  • 41EPISODES
  • 30mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • May 15, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kuomba

Latest podcast episodes about kuomba

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi ya kuomba kazi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 15, 2024 11:08


Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.

APGCITV Anchor.fm from Lancaster Pennsylvania state in America

Radio Public APGCITV-USA FM Danieli(Daniel) 9 Maombi Ya Danieli 1 ⓩ Katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake Dario mwana wa Ahusuero (mzaliwa wa Umedi) ambaye alifanywa mtawala juu ya ufalme wa Babeli, 1 In the first year of Darius the son of Ahasuerus, of the seed of the Medes, which was made king over the realm of the Chaldeans; 2 ⓐ katika mwaka wa kwanza wa kutawala kwake, mimi Danieli, nilielewa kutokana na Maandiko, kulingana na neno la BWANA alilopewa nabii Yeremia, kwamba ukiwa wa Yerusalemu ungetimizwa kwa miaka sabini. 2 In the first year of his reign I Daniel understood by books the number of the years, whereof the word of the LORD came to Jeremiah the prophet, that he would accomplish seventy years in the desolations of Jerusalem. 3 ⓑ Kwa hiyo nikamgeukia BWANA Mungu na kumsihi katika maombi na dua, katika kufunga, kuvaa nguo ya gunia na kujipaka majivu. 3 And I set my face unto the Lord God, to seek by prayer and supplications, with fasting, and sackcloth, and ashes: 4 ⓒ Nikamwomba BWANA Mungu wangu na kutubu: “Ee Bwana, Mungu mkuu na unayetisha, anayeshika Agano lake la upendo kwao wanaompenda na kutii maagizo yake, 4 And I prayed unto the LORD my God, and made my confession, and said, O Lord, the great and dreadful God, keeping the covenant and mercy to them that love him, and to them that keep his commandments; 5 ⓓ tumetenda dhambi na kufanya mabaya. Tumekuwa waovu na tumeasi, tumegeuka mbali na maagizo yako na sheria zako. 5 We have sinned, and have committed iniquity, and have done wickedly, and have rebelled, even by departing from thy precepts and from thy judgments: 6 ⓔ Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, wakuu wetu, baba zetu na watu wote wa nchi. 6 Neither have we hearkened unto thy servants the prophets, which spake in thy name to our kings, our princes, and our fathers, and to all the people of the land. 7 ⓕ “Bwana, wewe ni mwenye haki, lakini siku hii ya leo tumefunikwa na aibu, wanaume wa Yuda na watu wa Yerusalemu nayo Israeli yote, wote walio karibu na walio mbali, katika nchi zote ulikotutawanya kwa sababu ya sisi kukosa uaminifu kwako. 7 O Lord, righteousness belongeth unto thee, but unto us confusion of faces, as at this day; to the men of Judah, and to the inhabitants of Jerusalem, and unto all Israel, that are near, and that are far off, through all the countries whither thou hast driven them, because of their trespass that they have trespassed against thee. 8 ⓖ Ee BWANA, sisi na wafalme wetu, wakuu wetu na baba zetu tumefunikwa na aibu kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako. 8 O Lord, to us belongeth confusion of face, to our kings, to our princes, and to our fathers, because we have sinned against thee. 9 ⓗ BWANA Mungu wetu ni mwenye rehema na anayesamehe, hata ingawa tumefanya uasi dhidi yake, 9 To the Lord our God belong mercies and forgivenesses, though we have rebelled against him; 10 ⓘ hatukumtii BWANA Mungu wetu wala kuzishika sheria alizotupa kupitia kwa watumishi wake manabii. 10 Neither have we obeyed the voice of the LORD our God, to walk in his laws, which he set before us by his servants the prophets. 11 ⓙ Israeli yote imekosea sheria yako na kugeuka mbali, nao wamekataa kukutii. “Kwa hiyo laana na viapo vya hukumu vilivyoandikwa katika Sheria ya Mose, mtumishi wa Mungu, vimemiminwa juu yetu, kwa sababu tumefanya dhambi dhidi yako. 11 Yea, all Israel have transgressed thy law, even by departing, that they might not obey thy voice; therefore the curse is poured upon us, and the oath that is written in the law of Moses the servant of God, because we have sinned against him. 12 ⓚ Umetimiza maneno uliyosema dhidi yetu na dhidi ya watawala wetu kwa kuleta maafa makubwa juu yetu. Chini ya mbingu yote kamwe hapajatendeka kitu kama kile kilichotendeka katika Yerusalemu. 12 And he hath confirmed his words, which he spake against us, and against our judges that judged us, by bringing upon us a great evil: for under --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/apostolicpowerofgod/support

SBS Swahili - SBS Swahili
Ni wakati gani unapaswa fikiria kuomba mkopo wakibinafsi

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Nov 3, 2023 12:24


Wakati kuna ongezeko la hitaji lakusimamia vizuri gharama zetu za maisha, kuna ongezeko ya idadi ya watu wanao rejea katika mfumo wa mikopo binafsi.

Habari RFI-Ki
Kenya : Mfalme Charles III akosa kuomba msamaha licha ya matarajio

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 2, 2023 9:55


Katika makala haya tunajadili  hatua ya mfalme wa Uingereza Charlers wa III, kujutia vitendo vya kikoloni vilivyotekelezwa nchini Kenya bila kuomba radhi kama alivyotarajiwa, huku rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, akikiri makosa ya kikoloni yaliofanyika nchini Tanzania, na kuomba msamaha Unazungumziaje matamshi ya viongozi hawa wawili ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

kenya tanzania haya katika kuomba mfalme uingereza ujerumani
Habari RFI-Ki
Kenya : Mfalme Charles III akosa kuomba msamaha licha ya matarajio

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 2, 2023 9:55


Katika makala haya tunajadili  hatua ya mfalme wa Uingereza Charlers wa III, kujutia vitendo vya kikoloni vilivyotekelezwa nchini Kenya bila kuomba radhi kama alivyotarajiwa, huku rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, akikiri makosa ya kikoloni yaliofanyika nchini Tanzania, na kuomba msamaha Unazungumziaje matamshi ya viongozi hawa wawili ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.

kenya tanzania haya katika kuomba mfalme uingereza ujerumani
SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakuomba nyongeza ya mshahara nchini Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 25, 2023 11:58


Kuomba uongezewe mshamahara kunaweza kuwa vigumu kwa wafanyakazi wengi ila si lazima iwe hivyo.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kuomba msamaha kwa wanandoa

ndoa kuomba
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Kuomba msamaha kwa wanandoa

ndoa kuomba
Jioni - Voice of America
Madaktari wa DRC waandamana kuomba nyongeza ya mishahara - Septemba 22, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 22, 2022 29:59


Mamia ya madaktari wa hospitali za umma nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, wameandamana mjini Kinshasa na miji mingine ya mashariki mwa nchi, kwa lengo la kuishinikiza serikali kuboresha mazingira yao ya kazi na kuongezewa mshahara.

congo kinshasa kuomba septemba
VOA Express - Voice of America
Shirikisho la soka Kenya limeiandikia barua shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuomba kuondolewa marufuku iliyowekewa Kenya kushiriki FIFA - Septemba 09, 2022

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 9, 2022 29:59


VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.

kenya fifa soka barua kuomba septemba
Le Livre du Prophète Kacou Philippe Version audio)
KACOU 48: BWANA TUFUNDISHE KUOMBA

Le Livre du Prophète Kacou Philippe Version audio)

Play Episode Listen Later Aug 21, 2022 19:45


KACOU 48: BWANA TUFUNDISHE KUOMBA by Prophète Kacou Philippe

proph bwana kuomba kacou
Habari za UN
Asante ILO sasa naweza kuomba zabuni serikalini- Florence

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 10, 2022 3:22


Shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO nchini Kenya, kwa kushirikiana na wadau wengine, hivi karibuni wamewaidhinisha na kuwakabidhi watu 62 vyeti vya kwanza kabisa vya RPL ambao ni mfumo wa kutambua, kutathmini na kuthibitisha maarifa na ujuzi au stadi za mtu bila kujali kwamba mtu huyo hakupita kwenye mfumo rasmi wa elimu. Taarifa ya Anold Kayanda inaeleza zaidi.   “Mimi nilikuwa ninaogopa. Unajua watu ambao hawajasoma unaogopa mtihani,” akiwa amembeba mtoto wake mgongoni mbele ya umati uliofika kushiriki tukio hili, ni Florence Wambui mmoja wa waliohitimu kupitia mfumo huu wa RPL ambapo mtu aliye na ujuzi na uzoefu mkubwa kuhusu kazi fulani lakini hana vyeti, anatambuliwa na kupewa cheti.  “Niliona ni muhimu kufanya RPL kwa sababu huko kwa Juakali hakuna vyeti, bali ni kufanya mambo kiujuakali tu (bila mfumo rasmi). Sasa nikaona ni muhimu kwenda kufanya mtihani nipate cheti. Unaona?!. Ndio hivyo hicho cheti kinaweza kunisaidia kupata tenda za serikali na pia kuinua kujiamini kwangu.”  Naam na pia kuinua kujiamini kwake. Mwingine aliyetambuliwa ni Swaleh Rashid, mfanyakazi wa kampuni ya Base Titanium inayojihusisha na uchimbaji wa mchanga wa madini chuma nchini Kenya. Swaleh anahusika na masuala ya mitambo anasema, “nilikuja (hapa Base Titanium) nikiwa na ujuzi wangu ambapo nilikuwa nimechukua ufundi wa ngazi ya pili. Nilipoingia hapa, ikaja programu ya RPL ambayo niliipokea kwa mikono miwili kwa sababu niliona ina umuhimu kwangu. Nikachukua na nikakabidhiwa RPL kama fundi ngazi ya kwanza. Naninashukuru sana kwa maana naona hiyo ndio itanisaidia katika maisha yangu.”  Dkt. Juma Kuhwama ni Mkurugenzi Mkuu wa KNQA ambayo ni Mamlaka nchini Kenya inayosimamia ubora wa mafunzo yote na sifa za kielimu zinazotolewa nchini Kenya anaeleza zaidi kuhusu utaratibu wa vyeti vya RPL yaani Recognition of Prior Learning akisema, “wengi wetu hatuna vyeti lakini tuna stadi au ujuzi. Tumejifunza kutoka kwa wazazi wetu, tumejifunza kutoka katika maeneo yetu ya kazi. Kwa hiyo wazo nyuma ya mfumo huu ni kuhakikisha kwamba tunakutathmini, tunakupa cheti ili kama unataka kuendelea na kazi yako, karatasi inaweza kukuruhusu kupata mikataba na serikali za kaunti, serikali kuu au kampuni ili uweze kuboresha maisha yako na pia unaweza kupata vyeti hivi na ukaendeleza elimu yako hadi ngazi ya uzamivu, PhD bila kupitia mfumo wa elimu ya sekondari. Hivyo ndivyo sheria inavyosema. Kwa hiyo ni mfumo muhimu sana. Lakini pia ambcho mfumo huu unatufanyia kimsingi ni kutambua ujuzi ambao mtu anao.” 

Habari za UN
Mchakato wa kuomba makazi katika nchi ya tatu ukirejea tutafurahi sana - Wakimbizi Kyangwali Uganda 

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 19, 2022 3:48


Mlipuko wa COVID-19 ulififiza mambo mengi ikiwemo mchakato wa wakimbizi kuomba hifadhi katika nchi ya tatu ambapo huwa na matarajio makubwa kama maisha kuwa bora na upatikanaji wa kazi. Wakimbizi huwa na matarajio mengi kuhusu kupatiwa hifadhi katika nchi ya pili ya ukimbizi kutokana na simulizi wanazosikia kutoka wenzao waliowatangulia kwenda ng'ambo. Hata hivyo ndoto zao ziikuwa zimetiwa mashakani na mlipuko wa COVID-19 ambapo mchakato wa kuomba hifadhi ulisitishwa. Wakimbizi akiwemo Madivan Ndayambaze aliyeko katika makazi ya wakimbizi ya Kyangwali nchini Uganda anasema hajavunjika moyo hasa wakati huu uchumi umeanza kufunguliwa. Maelezo zaidi yako katika mahojiano haya ya John Kibego na wakimbizi hao. 

Radio Uhai Broadcast
Njinsi Ya Kuomba (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Nov 12, 2021 54:00


swahili kuomba
Radio Uhai Broadcast
Tunamwitaji Roho Kutusaidia Kuomba Ipasavyo (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Jul 22, 2021 60:00


Radio Uhai Broadcast
Watu Wengi Hawajui Kuomba (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Jul 22, 2021 60:00


Radio Uhai Broadcast
Namna Ya Kuomba (Swahili

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Apr 19, 2021 54:00


swahili kuomba
Radio Uhai Broadcast
Ukisema Pombe Sio Mbaya, Kwanini Mnakunywa Bila Kuomba Kama Vyakula Vingine? (Swahili

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Mar 16, 2021 25:00


swahili bila kama kuomba vyakula
SIRI ZA BIBLIA
MATHAYO 9:KUFUNGA NA KUOMBA

SIRI ZA BIBLIA

Play Episode Listen Later Mar 15, 2021 4:55


Kisha wanafunzi wa Yohane Mbatizaji walimwendea Yesu, wakamwuliza, “Sisi na Mafarisayo hufunga mara nyingi; mbona wanafunzi wako hawafungi?” 15Yesu akawajibu, “Je, walioalikwa harusini hutakiwa kuomboleza wakati bwana arusi yupo pamoja nao? La, hasha! Lakini wakati utafika ambapo bwana arusi ataondolewa kati yao; wakati huo ndipo watakapofunga. 16“Watu hawatii kiraka cha nguo mpya katika vazi kuukuu. Maana kiraka hicho kitararua hilo vazi kuukuu, na pale palipokuwa pameraruka pataongezeka. 17Wala watu hawaweki divai mpya katika viriba vikuukuu. Wakifanya hivyo, viriba hupasuka na divai ikamwagika, navyo viriba vikaharibika. Ila, watu huweka divai mpya katika viriba vipya, na vyote viwili, viriba na divai, vikahifadhiwa salama.” --- Send in a voice message: https://anchor.fm/siri-za-biblia/message

Radio Uhai Broadcast
Unakutana Na Rais Jpm Unaanza Kuomba Pipi Kweli!/omba Mambo Makubwa (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Jan 23, 2021 20:00


Radio Uhai Broadcast
Kuomba kibali (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Jan 14, 2021 56:00


swahili kuomba
Radio Uhai Broadcast
Unashindwa Nini Kuomba Msamaha (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Sep 22, 2020 20:00


FATA BIBILIA ikuongoze
Kuomba Katika Roho Part 1

FATA BIBILIA ikuongoze

Play Episode Listen Later Jun 24, 2020 30:06


Pastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.

FATA BIBILIA ikuongoze
Kuomba Katika Roho Part 2

FATA BIBILIA ikuongoze

Play Episode Listen Later Jun 24, 2020 27:20


Pastor Apalale Ause, akifundisha katika kipindi cha Fuata Biblia Ikuongoze kuhusu: Kuomba katika Roho. Katika kitabo cha 1Wakorintho 14:15.

Mwalimu Huruma Gadi
B6: MWENYE HAKI ATAISHI KWA AMANI

Mwalimu Huruma Gadi

Play Episode Listen Later Nov 16, 2019 29:14


Yakobo 5: 16 inasema"...... Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii" Kwanini maombi ya mwenye haki yanafaa sana na si maombi ya mtu asiye haki. Ungana na Mwalimu Huruma Gadi katika sehemu hii ya somo.

haki kuomba ungana
Iconoclast of Things
Episode 5 -The Distance Between You and Me Part 1

Iconoclast of Things

Play Episode Listen Later Mar 20, 2017 33:15


This is the first episode telling the stories of some musicians who’ve come to America as refugees. It’s a creation odyssey. The creation of Kuomba Ministries. Like any odyssey, this one involves death, new life, near-death, and some inexplicable, supernatural forces inserting themselves in human events from one side of the planet to another. Today’s thing is this building, the Wesley Heights Methodist Church in Northeast Kansas City. This episode is “The Distance Between You and Me. Part 1”

Adabu Za Kuomba Dua 05
Adabu Za Kuomba Dua 05

Adabu Za Kuomba Dua 05

Play Episode Listen Later Jul 30, 2014 51:08


Adabu Za Kuomba Dua 05

kuomba adabu adabu za kuomba dua
Adabu Za Kuomba Dua 04
Adabu Za Kuomba Dua 04

Adabu Za Kuomba Dua 04

Play Episode Listen Later Jul 29, 2014 51:08


Adabu Za Kuomba Dua 04

kuomba adabu adabu za kuomba dua
Adabu Za Kuomba Dua 03
Adabu Za Kuomba Dua 03

Adabu Za Kuomba Dua 03

Play Episode Listen Later Jul 23, 2014 51:08


Adabu Za Kuomba Dua 03

kuomba adabu adabu za kuomba dua
Adabu Za Kuomba Dua 02
Adabu Za Kuomba Dua 02

Adabu Za Kuomba Dua 02

Play Episode Listen Later Jul 23, 2014 51:08


Adabu Za Kuomba Dua 02

kuomba adabu adabu za kuomba dua
Adabu Za Kuomba Dua 01
Adabu Za Kuomba Dua 01

Adabu Za Kuomba Dua 01

Play Episode Listen Later Jul 23, 2014 51:08


Adabu Za Kuomba Dua 01

kuomba adabu adabu za kuomba dua
Kikagulu Biblia - Kikagulu Bible
Wakolosai 4 - Colossians 4

Kikagulu Biblia - Kikagulu Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:44


Kuomba kwa ajili ya kufungua milango - Pray for open doors.

Kinyaturu Biblia - Kinyaturu Bible
Wakolosai 4 - Colossians 4

Kinyaturu Biblia - Kinyaturu Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 3:36


Kuomba kwa ajili ya kufungua milango - Pray for open doors.

Kinyiramba Bible
Wakolosai 4 - Colossians 4

Kinyiramba Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 2:56


Kuomba kwa ajili ya kufungua milango - Pray for open doors.

Kishambala Biblia (iliyotiwa)
Wakolosai 4 - Colossians 4

Kishambala Biblia (iliyotiwa)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 3:10


Kuomba kwa ajili ya kufungua milango - Pray for open doors.

Kishambala Biblia (non iliyotiwa)
Wakolosai 4 - Colossians 4

Kishambala Biblia (non iliyotiwa)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 3:10


Kuomba kwa ajili ya kufungua milango - Pray for open doors.

Kutu Bible (Dramatized)
Wakolosai 4 - Colossians 4

Kutu Bible (Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 3:38


Kuomba kwa ajili ya kufungua milango - Pray for open doors.

Kutu Bible (Non-Dramatized)
Wakolosai 4 - Colossians 4

Kutu Bible (Non-Dramatized)

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 3:38


Kuomba kwa ajili ya kufungua milango - Pray for open doors.

Kiiraqw Biblia -  Kiiraqw Bible
Wakolosai 4 - Colossians 4

Kiiraqw Biblia - Kiiraqw Bible

Play Episode Listen Later Dec 30, 2009 3:06


Kuomba kwa ajili ya kufungua milango - Pray for open doors.