POPULARITY
Hii leo jaridani tunaangazia magonjwa ya mfumo wa kupumua vikiwemo virusi vya metapneumovirus, na watoto waathirika wa vita Gaza. Makala inatupeleka nchini Mali na mashinani nchini Tanzania, kulikoni?Huku kukiwa na ripoti za kuongezeka kwa maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa kupumua vikiwemo virusi vya metapneumovirus (HMPV) wakati huu wa msimu wa baridi nchini China na kuleta hofu ulimwenguni kuhusu uwezekano wa kutokea kwa janga jingine la ugonjwa kama ilivyokuwa Covid-19, mamlaka ya afya nchini humo inasema kiwango na nguvu za ugonjwa huo viko chini ikilinganishwa na wakati kama huu mwaka jana, ameeleza Hans Kluge, Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni kanda ya Ulaya akisisitiza ulimwengu kupata taarifa sahihi.Baada ya miezi 14 ya vita Gaza maelfu ya watu wakiwemo watoto wamesalia na ulemavu wa maisha kwa kulazimika kukatwa viungo kutokana na kujeruhiwa katika vita inayoendelea kwa miezi 15 akiwemo mtoto wa umri wa miaka 7 Mahmmoud ambaye sasa amepooza baada ya kupigwa risasi mgongoni na anahitaji huduma za haraka za afya ili akatibiwe limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA.Katika makala Assumpta Massoi anakupeleka Magharibi mwa Afrika kusikia jinsi raia wa taifa la Mali walioko ughaibuni wanavyoleta nuru kwa wakulima wa mpunga nchini mwao.Mashinani fursa ni yake Hilda, Mama mwenye umri wa miaka 31 ambaye ni mkimbizi kutoka Burundi anayeishi katika makazi ya wakimbizi nchini Tanzania, anashukuru mfuko wa msaada wa marekani wa kitengo cha Idadi ya watu, wakimbizi na uhamiaji, PRM (Population, Refugees, and Migration Bureau, PRM) kwa huduma za afya ya watoto na kinamama wajawazitito kupitia Shirika la Umoja wa Mataifa ya kughudumia wakimbizi UNHCR.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!
Huku kukiwa na ripoti za kuongezeka kwa maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa kupumua vikiwemo virusi vya metapneumovirus (HMPV) wakati huu wa msimu wa baridi nchini China na kuleta hofu ulimwenguni kuhusu uwezekano wa kutokea kwa janga jingine la ugonjwa kama ilivyokuwa Covid-19, mamlaka ya afya nchini humo inasema kiwango na nguvu za ugonjwa huo viko chini ikilinganishwa na wakati kama huu mwaka jana, ameeleza Hans Kluge, Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni kanda ya Ulaya akisisitiza ulimwengu kupata taarifa sahihi. Anold Kayanda na taarifa zaidi.
Mataifa mbalimbali duniani wakiwemo raia wa ukanda wa Afrika Mashariki, wamesherehekea mwaka mpya wa 2025 kwa kila aina ya mbwembwe na shamrashamra, kukiwa na hisia mseto za matumaini tofauti na mwaka uliopita.Tulimuuliza mskilizaji atueleze aliukaribisha mwaka mpya vipi na akiwa wapi,vile vile angependa kuona kipi kinabadilika kwenye nchi yake.

Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Majadiliano ya mkutano wa 29 wa nchi wanachama wa mkataba wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya tabianchi COP29 yamekumbwa na mkwamo huko Baku Azerbaijana muafaka haujapatikana. Majadiliano hayo yaliyotarajiwa kukunja jamvi leo sasa yanaendelea kwa kuwekwa mezani mapendekezo mapya kuhusu ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi hasa kwa matifa yanayoendelea. Hakika vuta nikuvute bado inaendelea hata sasa washiriki wako mezani kwakikuna vichwa na kujadili mapendekezo mapya. Mkwamo huo umetokana na kushindwa kuafikiana katika masuala kadhaa kubwa likiwa ufadhili wa mabadiliko ya tabianchi na hususasn kuhusu ni kiasi gani cha fedha nchi zinazoendelea zinapaswa kupokea kila mwaka hadi ifikapo mwaka 2030 na wapi fedha hizo za ufadhili zitatoka.Nchi zinazoendelea zinataka kulipwa dola trilioni 1.3 kwa mwaka lakini hilo halijaafikiwa na mapendekezo mapya yaliyowasilishwa na raia wa mkataba huo wa UNFCCC yanaonyesha tofauti kubwa na safari ndefu ya kufikia muafaka.Kwa mujibu wa mapendekezo hayo mapya yaliyowasilishwa leo mezani na Rais wa COP29 Mukhtar Babayev yanataka nchi zinazoendelea kupokea dola bilioni 250 kwa mwaka hadi kufikia mwaka 2035 kwa ajili ya kuchukua hatua didi ya mabadiliko ya tabianchi.Na maesema “Fedha hizi zitatoka katika vyanzo mbalimbali ikiwemo sekta za umma na za binafsi, na kitaifa na kimataiifa ikiwemo vyanzo mbadala”.Wakati pia COP29 ikitoa wito wa kufikia lengo la ufadhili wa dola trilioni 1.3 ifikapo mwaka 2035 pia imezikaribisha nchi zinazoendelea kutoa michango ya ziada.Kiwango kilichopendekezwa cha ufadhili kinatarajiwa kuzusha vuta ni kuvute katika majadiliano hayo kwa siku nzima ya leo huenda hadi kesho ingawa mkutano huo unahisi ahuweni kwamba kuna kiwango kilichowasilishwa na unataka hitimisho la mkutano haraka iwezekanavyo. Je nchi zinazoendelea zitapokea vipi pendekezo hili jawabu bado halijulikani. Wapenzi wa UN News Kiswahili endeleeni kufuatilia kwenye kurasa zetu kufahamu hatma ya mkutano huo.
Tuliyoyazungumzia ni pamoja na upekee wa klabu ya voliboli nchini Kenya ya Trailblazers, uchaguzi wa FKF nchini Kenya umeanza, mabadiliko ya makocha klabuni Yanga, timu ya taifa ya Kenya ya walemavu ya soka yamaliza nafasi ya nne Kombe la Dunia, uchambuzi wa michuano ya kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2025 na pigano la Jake Paul dhidi ya Mike Tyson
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
A FULL FREE EPISODE. Nicole Eggert star of Baywatch and Charles in Charge as well as many iconic movies from the 80 and 90s just produced After Baywatch: Moment in the Sun docuseries on Hulu. She and I get together to do a show for both of podcasts and we spill secrets about Baywatch not in the special as well as discuss our Playboy mansion party experiences. I give her some juicy stories and we discuss the mansion and she recipricates. We move on to what I was told about Scott Baio and she spills some of her grooming on Charles in Charge. Also her experience on Botched with Terry Dubrow. I tell Nicole what I think happened really to Pam Anderson's sex tape and Nicole drops a literal bomb about this. Nicole and I have some overlaps. Kyle Richard's donated money to help Nicole with her cancer bills, I ask her about this. Nicole was engaged to Corey Haim so I ask her to set the record straight on what she heard about Charlie Sheen and Haim. She tells me who she thinks was the predator that destroyed 80s A lister Corey Haim's spirit. Botox in the neck and best plastic face surgery in Beverly Hills. We discuss her cancer in a no bullshit way. She askes me to explain reality reckoning and I give my thoughts on this and tell her what this really is. I also tell her some secrets about the 25,000 glasses...did you know? I tell her what I wish was different about my time on the RHOBH and tell some things people don't know about that time. We wrap it up with Nicole rushing off to hospital to find out if she is cleared for the next step in her treatment. Don't miss this one or you will regret it.To join my super fun gossip community about every secret know to man join: https://www.patreon.com/DishingDramaWithDanaWilkeySupport the showDana is on Cameo!Support me in buying my merch, you can buy anything on this website and if you type in "dana" in coupon code you get free shipping and I get 50% of proceeds. https://shop.blingisthenewblack.com/collections/danawilkeyFollow Dana: @Wilkey_Dana$25,000 Song - Apple Music$25,000 Song - SpotifyTo support the show and listen to full episodes, become a member on PatreonTo learn more about sponsorships, email DDDWpodcast@gmail.comDana's YouTube Channel
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Travel along with Laura to Tikal. As one of the most significant Mayan sites, this should definitely be on your lifetime bucket list. Tucked into the jungles of Guatemala, these striking temples rise magnificently above the trees. The forest is crawling with wildlife as we explore this incredible and expansive place at sunset.Musical credits:Track: "Rain Drops" and "Mirrored Heart", by HUKU provided by https://slip.streamSun is Calling by DJ Petition x Fachhochschule Dortmund is licensed under a Attribution 4.0 International License.Support the Show.
Mchakato wa kuwaajiri wanajeshi waanza Uganda huku kukiwa na malalamiko ya dosari katika baadhi ya maeneo
Maelfu waukimbia mji wa Rafah huku mapigano kati ya Israel na Hamas yakizidi kuwa mabaya
Watu zaidi 70 wafariki Kenya baada ya bwawa kuvunja kingo huku mafuriko yakiendelea kuzua taharuki
karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 . Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikwa kwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 . Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/
karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. Huduma zetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160 . Karibu kuagiza chakula ambacho kimepikwa kwa kuzingatia muongozo wa sayansi ya mapishi, chakula hiki kinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza chakula kwa kupiga simu namba 0787 999 994 . Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza. Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Umoja wa Mataifa umeanza kuwaondowa wafanyakazi wake wasio na majukumu muhimu nchini Haiti kutokana na kuongezeka kwa ghasia na ukosefu wa usalama katika taifa hilo la Caribean.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Kura za endelea kuhesabiwa Iowa huku Trump akirajiwa kushinda uchaguzi wa mchujo wa chama chake cha Republican kama ilivyobashiriwa na kura za maoni.
Marekani yaadhimisha sikukuu ya Martin Luther King Jr huku uchaguzi wa awali ukianza katika jimbo la Iowa
ashabiki wa mpira wa miguu waangazia Michuano ya AFCON itakayoanza Jumamosi wiki hii huku timu 24 zikiwa na matumaini ya kuibuka mabingwa wa bara la Afrika
Sherehe za Krismasi zafutwa Betlehemu huku Papa Francis akitoa wito wa amani kati ya Isaeli na Hamas
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Mapigano yameendelea kuripotiwa kati ya jeshi la Mali, wapiganaji wa Tuareg na makundi mengine ya waasi kaskazini mwa taifa hilo wakati huu vikosi vya UN vinapoendelea kuondoka katika eneo hilo. Unadhani kuondoka kwa vikosi hivyo kumechangia kuongezeka kwa mapigano?

Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Rais wa Misri Abdel Fattah al Sisi Jumamosi ameonya dhidi ya kuendelezwa kwa vita vya Gaza, akisema kwamba huenda vikahatarisha usalama wa kikanda.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Tshisekedi na Fayulu kupambana tena katika uchaguzi wa rais wa DRC hapo Disemba 20, 2023 huku Dkt Dennis Mukwege akijitosa uwanjani
Mvutano unazidi kuongezeka kati ya utawala mpya wa kijeshi wa Niger na jumuiya ya ukanda wa Afrika Magharibi ambayo imeamuru kutumwa kwa wanajeshi kurejesha demokrasia nchini humo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR, leo limetoa mwongozo mpya juu ya ulinzi wa watu wanaokimbia Burkina Faso, na wito wa haraka kwa mataifa yote kuacha kuwarudisha kwa nguvu watu wote wanaotoka katika ukanda huo ulioathiriwa zaidi na mgogoro unaoendelea nchini humo na badala yake kuwaruhusu raia wanaokimbia Burkina Faso kuingia katika mipaka yao. Huku hali ya usalama nchini Burkina Faso ikiendelea kuzorota, UNHCR imesema ina wasiwasi mkubwa kutokana na kuenea kwa hali ya ukosefu wa usalama na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia.Ukwiukwaji huo ni pamoja na mauaji, kutoweshwa kwa lazima, mateso na utekaji nyara. Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva uswis hii leo Elizabeth Tan, mkurugenzi wa ulinzi wa kimataifa wa UNHCR amesema: “Katika matukio kadhaa, raia wamekuwa wakilengwa na kuuawa, na hivyo kusababisha vifo vingi vya raia na watu kutawanywa. Watoto pia wanakabiliwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, kama vile kuajiriwa kwa nguvu vitani na makundi yenye silaha, ajira ya watoto, pamoja na aina nyingine za unyanyasaji, ukatili, unyonyaji na unyanyasaji wa kijinsia."Ameongeza kuwa asilimia kubwa ya watu wanaotawanywa ni watoto, shule nyingi zimelazimika kufungwa na takriban asilimia 82 ya wasichana wanakabiliwa na ukatili wa kijinsia, lakini pia mamilioni wanahitaji msaada.Anasema "Takriban watu milioni 4.7 kote nchini wanahitaji msaada wa kibinadamu, na ikiwa ni zaidi ya asilimia 20 ya wakazi wote wa nchi hiyo."Kwa mujibu wa UNHCR vita na machafuko pia vimesambaratisha mioundombinu na kuathiri huduma za serikali na taasisi ikiwemo katika maeneo yaliyoathirika na vita na hali ni mbayá zaidi kwa watu wanaoishi katika miji ambayo makundi yenye itikadi Kali yanazuia watu ikiwemo idadi kubwa ya wakimbizi wa ndani.Hadi kufikia Juni mwaka huu wa 2023, zaidi ya watu 67,000 kutoka Burkina Faso wamesaka hifadhi katika nchi jirani kama vile Mali, Niger, Ivory Coast, Togo, Benin na Ghana, huku zaidi ya watu milioni 2 wakiwa wakimbizi wa ndani katika nchi yao, na kuufanya mzozo huo kuwa moja ya mizozo mibaya zaidi yawakimbizi wa ndani katika bara la Afrika.
Wanajeshi waasi waliomuondoa madarakani rais wa Niger walimtangaza Jenerali Abdourahmane Tchiani, kiongozi wa mapinduzi Ijumaa, saa chache baada ya jenerali huyo kutetea unyakuzi huo wa mamlaka na kuomba kuungwa mkono na taifa na washirika wa kimataifa.
Huku rais wa Russia Vladmir Putin akikiri hadharani kwamba serikali yake imekuwa ikifadhili kundi la Wagner, mumluki wanaoongozwa na Yevgeny Prigozhinwanaendela na shughuli zao katika baadhi ya nchi za Afrika huku maswali yakiendelea kuibuka.
Trump aliwasili mjini Miami, jimbo la Florida, Jumatatu, tayari kusomewa mashtaka yanayomkabili, ya kuhifadhi nyaraka za siri, kinyume cha sheria, katika changamoto ya kisheria inayoelezwa na wachambuzi, kama kubwa zaidi , kuwahi kumkumba mwanasiasa huyo. Trump atasomewa mashtaka Jumanne alasiri.
Nchini Chad, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limeanza kazi ya kusajili wakimbizi walioingia nchini humo kutoka Sudan kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la serikali na wanamgambo wa RSF kwenye mji mkuu wa taifa hilo Khartoum. Wakimbizi sasa pamoja na kusajiliwa wanapatiwa mahitaji muhimu. Ving'ora! purukushani za hapa na pale! Wanawake wanaume na watoto wakipita huku na kule! Ni harakati zenye ahueni miongoni mwa wakimbizi 30,000 kutoka Sudan ambao wameona nuru baada ya kufika hapa Midjilita, jimbo la OUADDAÏ nchini Chad. Wakimbizi hawa wako hoi na miongoni mwao ni Raouda Abdallah Jaffar akiwa amebeba mtoto mmoja huku wengine wakiambatana naye! Wanajongea kwenye dawati la usajili lililoandaliwa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR. Baada ya usajili, Raoud anasema, “ nimesajiliwa leo na UNHCR. Nahitaji sasa matandiko, blanketi, chakula na mahitaji mengine.” Usajili ukikamilika, wakimbizi wanaelekea sehemu ya kupatiwa vifaa muhimu kama alivyosema Raoud. Mmoja baada ya mwingine anapatiwa matandiko, vifaa vya jikoni na kadha wa kadha. Huku wakimbizi wakisajiliwa na kupatiwa vifaa vya msaada, kwingineko hapa ujenzi unaendelea wa makazi ya wakimbizi sambamba na vyoo ili kuhakikisha huduma za kujisafi na usafi zinapatikana. Jerome Sebastien Naibu Mwakilishi wa UNHCR nchini Chad anasema iwapo mzozo Sudan utaendelea kuna uwezekano wa Chad kupokea hadi wakimbizi 100,000 (Laki Moja) na mahitaji ya fedha kwa ajili ya kufanikisha operesheni za usaidizi yanaweza kufikia dola milioni 130. Hivyo ametoa ombi kwa jamii ya kimataifa kusaidia Chad na mashirika ya kiutu yanayoshiriki katika harakati za kusaidia wakimbizi. Amesema “ni wakati huu tunahitaji uhamasishaji wa fedha ili tuweze kuwahamishia wakimbizi hawa maeneo ya ndani zaidi kwa ajili ya usalama na pia wapate usaidizi makini.”
Watoto milioni 10 nchini Burkina Faso, Mali na Niger wana uhitaji mkubwa wa misaada ya kibinadamu, idadi ambayo ni maradufu ikilinganishwa na mwaka 2020, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto duniani, UNICEF hii leo, chanzo kikiwa ni mizozo inayoshamiri kila uchao na kwamba Watoto wengine million 4 nchi Jirani wako hatarini Zaidi kwani mapigano kati ya makundi yaliyojihami na majeshi ya serikali yanavuka mipaka.Tuko Benin na sauti ni ya Abasse, Dahani, mtoto mkimbizi mwenye umri wa miaka 8 kutoka Burkina Faso anasema tulikuja hapa Tanguieta Benin kwa mguu. Tulikimbia nyumbani kwa sababu tulifukuzwa.Abasse anawakilisha mamilioni ya watoto wanaokimbia makwao ukanda wa Sahel kwani Mkurugenzi wa UNICEF kanda ya Afrika Magharibi na Kati Marie – Pierre Poirier anasema “watoto wanazidi kukumbwa kwenye mapigano kama waathirika wa mapigano au walengwa kutoka vikundi vilivyojihami ambavyo si vya kiserikali.”Afisa huyo anatolea mfano Burkina Faso akisema watoto waliothibitishwa kuuawa katika miezi tisa ya mwanzo yam waka 2022 walikuwa mara tatu zaidi kuliko mwaka 2021.Wengi wa watoto hao walikufa kutokanana majerara ya risasi, vijiji vyao kushambuliwa au kulipuka kwa vilipuzi vya kutengeneza au masalia ya mabomu yatumikayo vitani. Bi. Poirier amesema mwaka 2022 ulikuwa wa kikatili Zaidi kwa Watoto Sahel ya Kati na hivyo pande zote kwenye mzozo lazima zikomeshe mashambulizi kwa Watoto, shule zao, vituo vya afya na makazi yao.UNICEF inasema mapigano yanazidi kuwa ya kikatili ambapo baadhi ya vikundi vilivyojihami vinaendesha operesheni zao katika maeneo ya Mali, Burkina Faso na Niger ambako wanatumia mbinu kama vile kuweka vizuizi mijini na vijijini na hata kuharibu mitandao yam aji.Kama hiyo haitoshi, UNICEF inasema kutokana na mashabulizi hayo zaidi ya watu 20,000 kwenye maeneo ya mpaka baina ya Burkina Faso, Mali na Niger watakuwa na kiwango cha kutisha cha ukosefu wa chakula ifikapo mwezi Juni mwaka huu.Vikundi vilivyojihami ambavyo vinapinga elimu inayotolewa na serikali vinatia moto majengo ya shule na kupora mali, vinaweka vitisho, vinateka nyara au kuua walimu.Zaidi ya shule 8,300 zimefungwa katika shule zote kwa sababu zilishambuliwa moja kwa moja na walimu kukimbia au kwa sababu wazazi walikimbia au wanahofia kupeleka watoto wao shuleni.Sasa Abasse na familia yake wako Benin na akiwa darasani akiandika anasema “kwa kuwa sasa naenda shuleni, nimepata marafiki. Napenda kifaransa, nazungumza kidogo. Na mwalimu wangu ni mzuri.”UNICEF inasema janga la Sahel ya Kati bado halijapata ufadhili wa kutosha kuweza kufanikisha operesheni zake kwani mwaka 2022 ilipokea theluthi moja tu ya dol amilioni 391 na kwamba mwaka huu imeomba dola milioni 473 kufanikisha operesheni za kiutu Sahel ya Kati na nchi Jirani. TAGS: Usaidizi wa kibinadamuAdditional: Usaidizi wa kibinadamuNews: Sahel ya KatiRegion: AfrikaUN/Tags: UNICEF
Kimbunga Freddy moja ya vimbunga vilivyodumu kwa muda mrefu na kusababisha athari kubwa sehemu mbalimbali sasa kimeondoka Madagascar na kubisha hidi Msumbiji ambako kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO kinaleta tishio kubwa kwa sababu ya kiwango cha mvua kinachoambatana nacho.WMO inasema kimbunga Freddy kimeshika kasi kwenye mkondo wa Msumbiji kikitokea Madagascar huku kikiambatana na upepo mkali na mvua na kinatarajiwa kupiga kikamilifu Msumbiji mchana wa leo Ijumaa Machi 24 na uwezekano mkubwa ni katika maeneo kati ya Beira na Inhambane. Hata hivyo shirika hilo la utabiri wa hali ya hewa limesema tahadhari za mapema na hatua zilizochukuliwa mapema zimesaidia kudhibiti idadi ya vifo hasa Madagascar na sasa Msumbiji hali ambayo inadhihirisha umuhimu wa kampeni inayoendelea kote duniani ya kuhakikisha tahadhari ya mapema inatolewa kwa wote. Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kuratibu masuala ya kibinadamu na misaada ya dharura OCHA imeonya kwamba “tishio la kimbunga hicho litasababisha janga kubwa la kibinadamu nchini Msumbiji.” Taasisi ya kitaifa ya kudhibiti majanga Msumbiji inakadiria kwamba mafuriko makubwa katikati na Kusini mwa Msumbiji kutokana na kimbunga hicho yanaweza kuathiri hadi watu milioni 1.75. Hatari kubwa ya kimbunga Freddy Msumbiji imeelezwa kuwa uwezekano mkubwa wa mvua kubwa inayopaswa kunyeksha kwa muda wa mwezi mmoja kunyesha kwa siku kadhaa na hivyo kusababisha mafuriko katika taifa ambalo tayari udongo wake umejaa maji na mito imefurika kutokana na msimu wa mvua usiotarajiwa. WMO inasema kimbunga Freddy ni cha aina yake kwa sababu ya umbali kinachoweza kusafiri na muda kinachoweza kudumu. Kilianza Februari 6 kwenye mwambao wa Kaskazini Magharibi mwa Australia na kuathiri mataifa kadfhaa ya visiwani ikiwemo Mauritius na Réunion, wakati wa safari yake ndefu kupitia Kusini mwa bahari ya Hindi nah ii ni nadra sana linasema shirika hilo kwani kimbunga cha karibuni cha aina hiyo kilichorekodiwa ni Leon-Eline na Huda vyote vilitokea mwaka 2000.
Leo katika VOA Mitaani mwandishi wetu Salma Mohamed amezungumza na wakazi Mombasa kupata hisia zao kuhusu kiwango cha soka Afrika Mashariki wakati michuano ya FIFA U17 kwa wanawake ikiendelea kule India.