POPULARITY
Kutana na Mwamini Sebororo mmoja wa mamilioni ya raia wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC waliopoteza makazi yao na kila kitu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki ya taifa hilo huku mgogoro ukiendelea kufurusha watu zaidi. Kuendelea kuzorota kwa hali ya kibinadamu imekuwa mtihani mkubwa kwa wakimbizi wa ndani na jamii zinazowahifadhi. Kupitia video ya shirika la umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR Flora Nducha anafafanua zaidi katika Makala hii.
Utunzaji wa bustani ya nyumbani, ni mbinu mpya ya kilimo inayolenga kutimiza malengo matatu kwa wakati mmoja: kuongeza mapato ya kilimo, kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na kuimarisha ustahimilivu, halkadhalika kupunguza uzalishaji wa gesi chafuzi. Bustani ya Nyumbani, kwa kawaida huwa karibu na jikoni au pia kwenye roshani. Bustani hii ambayo mara nyingi hutumia mbolea asilia husaidia kupambana na mabadiliko ya tabianchi kwa kupunguza uzalishaji wa gesi chafu na pia kutunza udongo.Bustani hii hutumika kwa kilimo cha mboga, viungo vya upishi kama vitunguu, matunda, au mimea ya kitiba kwa matumizi.
Kutana na mkimbizi Masimango Mango kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, ambaye kwa sasa anaishi kwenye makazi ya wakimbizi wa ndani ya Lushagara Goma jimboni Kivu Kaskazini Mashariki mwa DRC, anasema kwa hakika vita imemchosha na anacholilia ni amani ili arejee nyumbani na familiia yake. Flora Nducha na taarifa zaidi.
Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya Kilimo, IFAD kwa kushirikiana na wadau na kupitia msaada wa Muungano wa Ulaya unasaidia raia wa Mali wanaoishi ughaibuni kuwekeza kwa ufanisi nyumbani Mali.Wamefanya hivyo kwa kuwasaidia kuanzisha Ciwara Capital, kampuni ya uwekezaji inayomilikiwa na raia wa Mali na sasa wanasaidia wakulima wa mpunga nchini Mali kuimarisha na kuongeza uzalishaji wa mpunga, ikiwemo eneo la Mopti ambalo limekuwa likikabiliwa na ukosefu wa usalama na hivyo wakulima kugubikwa na umaskini.Mfumo huu unadhihirisha kuwa badala ya waafrika kutuma dola bilioni 55 kila mwaka nyumbani kusaidia familia, fedha hizo zinaweza kuwekezwa kwenye miradi endelevu. Je ni kwa vipi, Assumpta Massoi anafafanua kwenye makala hii iliyoandaliwa na IFAD.
Kupitia mradi wa Pamoja wa Kigoma, KJP, awamu ya Pili, Shule ya Msingi Buhigwe, iliyoko wilayani Buhigwe, mkoa wa Kigoma, ilipatiwa mafunzo kupitia Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), likishirikiana na asasi isiyo ya kiserikali RECODA. Mafunzo haya yalilenga mbinu bora za kilimo ambapo wanafunzi waliweza kuanzisha bustani za mboga kupitia somo la Elimu ya Kujitegemea. Mradi umeanza kutekelezwa na matunda yanaanza kuonekana kama asimuliavyo Assumpta Massoi kwenye makala hii.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Kwa wakimbizi, kurudi nyumbani ni jambo moja na kuanza upya ni jambo lingine. Wengi wao hawana chaguo lingine isipokuwa kuanza maisha yao upya. Mkoani Makamba, nchini Burundi, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa kushirikiana na Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) wanawawezesha wakimbizi kujenga upya na kuanza maisha yenye tija. Mmoja wa wakimbizi hao ni KABURA Emelyne, ambaye sasa anamiliki nyumba na ni mfanyabiashara. Bosco Cosmas anatupa habari kamili…Tangu mwaka 2017, takriban wakimbizi 250,000 wa Burundi wamepewa msaada wa kurejea nyumbani kutoka nchi jirani ya Tanzania. Wengi kama Emelyne hawakuwa na chaguo jingine ila kuanza maisha upya. Lakini kwa ufadhili wa (UNHCR) kwa ushirikiano na (KOICA) sasa wanaishi kwa tija.Emelyne anasema, “nilifurahi sana kuvuka mpaka wa Manyovu na kurejea nchini mwangu Burundi. Ninapoona maendeleo mapya na miji inayostawi, najihisi nimeridhika. Nilikimbilia Tanzania mwaka 2015 na nikarejea mwaka 2021.”Sasa Emelyne ameanza kujishughulisha na kilimo na kuuza mihogo, kutengeneza mafuta ya mawese, na kufuga sungura kwa ajili ya nyama na mbolea. “Najisikia furaha ninapowalisha sungura wangu kwa sababu wananiwezesha kupata mbolea. Nashukuru kwamba kupitia mauzo ya sungura nilikodi kipande cha ardhi kwa ajili ya kulima na nikapata fedha za kuanzisha biashara yangu ya mihogo na mafuta ya mawese.”Msaada kutoka Shirika la Ushirikiano wa Kimataifa la Korea (KOICA) unawawezesha waliorejea kujenga upya na kuanza maisha mapya. Kwa mujibu wa Emelyne, "UNHCR walitukaribisha na kutusaidia. Kwa msaada wa kifedha tuliopewa, tulinunua ardhi hii, tukatengeneza matofali na kujenga kuta za nyumba yetu. Kisha tukapokea mabati, nguzo, madirisha, na milango ili kukamilisha nyumba. Kama ningalikuwa bado kwenye kambi, nisingeweza kupiga hatua kubwa kiasi hiki.”
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Katika Epsodi hii DR. BOAZ ameeleza mambo yanayosababisha mtu kupata magonjwa ya mmeng'enyo wa chakula na jinsi ya kujitibu kuptia jiko lako. . Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi, bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994 . Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. upashanaji habari siku hizi.
Wapenzi wa Bwana twenenda Sayuni, Toa muda wako kwa Mungu
Wapenzi wa Bwana twenenda Sayuni, Toa muda wako kwa Mungu
Nimeacha Mambo ya Dunia narudi kwa Mungu, Mungu ndiye mlinzi wetu tusiogope
Nimeacha Mambo ya Dunia narudi kwa Mungu, Mungu ndiye mlinzi wetu tusiogope
Nyumbani, Majibu ya Mungu kwa Maombi yetu
Nyumbani, Majibu ya Mungu kwa Maombi yetu
KARIBU NYUMBANI, 12min,. UK Directed by Matthew Williams-Ellis “Karibu Nyumbani” translates as “Welcome to my Home” in Swahili. Guides in the Maasai Mara have a deep-rooted pride, knowledge, and love for wildlife. This film encapsulates that passion from the perspective of George Osono, a guide in Mara North Conservancy, who completely embodies this spirit of caring for nature. https://www.matthewwilliams-ellis.com/karibu-nyumbani Get to know the filmmaker: I had a month in Kenya and knew I wanted to produce a film in that time, but arrived with no specific narrative in mind. After speaking to the guides (and George in particular), I was struck by their genuine love, knowledge and passion for wildlife. Their desire to protect and conserve the animals that call the Maasai Mara home deserves recognition and I think often goes under appreciated. They are the ones who see the animals everyday and are often the first to alert charities if for example lions are found having been speared by humans. They are at the forefront of and are true ambassadors of conservation. You can sign up for the 7 day free trial at www.wildsound.ca (available on your streaming services and APPS). There is a DAILY film festival to watch, plus a selection of award winning films on the platform. Then it's only $3.99 per month. Subscribe to the podcast: https://twitter.com/wildsoundpod https://www.instagram.com/wildsoundpod/ https://www.facebook.com/wildsoundpod
Zaidi ya wafungwa dazeni tatu wa Kipalestina warejea nyumbani
Wakenya wanaendelea kuwasili nchini Australia kwa viza mbali mbali, baadhi yao wakija kama wahamiaji na wengine kama wanafunzi wakimataifa.
Jeshi la Afrika Kusini lilisema Jumapili kuwa limewaamuru kurudi nyumbani wanajeshi wanane wanaotuhumiwa kwa utovu wa nidhamu unaohusiana na unyanyasaji wa kingono katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, hadi uchunguzi ufanyike.
Kwa mara nyingine kongamano la wanawake wa jumuiya yawa Afrika wanao ishi jimboni NSW, lili ongeza idadi ya walio lihudhuria katika kitongoji cha Wollongong.
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine amesema siku ya Alhamisi amewekwa katika kizuizi cha nyumbani, baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama alipokuwa akirejea nyumbani akitokea nje ya nchi.
“City Lights” host Lois Reitzes speaks with photographer Chelsea Mukenya, this year's Atlanta Celebrates Photography 2023 Emerging Artist honoree. Her solo exhibition “Nyumbani” opens at MINT Gallery Sept. 30. Plus, a conversation with Rep. Malcom Kenyatta and director Tim Harris about their documentary “Kenyatta: Do Not Wait Your Turn.” The film is screening at the Out on Film Festival on Sept. 30. And we hear from the hosts of “How You Do Atlanta” about this weekend's events. See Privacy Policy at https://art19.com/privacy and California Privacy Notice at https://art19.com/privacy#do-not-sell-my-info.
Karama za roho na huduma
Karama za roho na huduma
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Ikiwa leo ni Siku ya Wakimbizi Duniani tutawasikia wakimbizi wa ndani DRC wanavyozungumzia harakati za Umoja wa Mataifa katika kutekeleza Kauli mbiu ya mwaka huu:"Matumaini Mbali na Nyumbani.".Pia utasikia habari kwa ufupi zikiangazia ujumbe wa katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kwa siku hii ya wakimbizi duniani akihimiza mshikamano na ushirikiano na wakimbizi. Naye kamishna wa wakimbizi Filippo Grandi ameadhimisha siku hii akiwa katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyoko nchini kenya ambapo ametoa wito kwa wadau kuunga mkono wakimbizi lakini pia kuzisaidia nchi zinazopokea na kuwahifadhi wakimbizi kama Kenya.
Nilikuwa mdhambi sasa nimetubu dhambi zangu, Kisa cha Eliya na fundisho kwetu
Nilikuwa mdhambi sasa nimetubu dhambi zangu, Kisa cha Eliya na fundisho kwetu
Nyumbani ni sehemu ambako tuna hisi starehe zaidi.
Narudi Nyumbani mambo ya Dunia ni ubatili, Kisa cha nabii Eliya
Narudi Nyumbani mambo ya Dunia ni ubatili, Kisa cha nabii Eliya
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linaendelea na hatua zake za kuhakikisha wakimbizi waliorejea nyumbani wanaishi maisha ya utu na ustawi, ambapo pamoja na kuwapatia wakimbizi hao huduma bora pia linazidi kuomba wahisani waoneshe ukarimu zaidi.Tuungane na Edouige Emuresenge wa Televisheni washirika, Mashariki TV nchini Burundi katika makala hii iliyoandaliwa na UNHCR.
Nchini Burundi wakimbizi waliokimbia ghasia, wanaendelea kurejea nyumbani kutokana na hali ya amani kuzidi kuimarika, na hivi karibuni zaidi wakimbizi wamerejea kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC wakiwa na matumaini kutokana na kile wanachoshuhudia.Video ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR ikianza kwa kuonesha msafara wa magari uliobeba wakimbizi wa Burundi ukiingia kwenye lango kuu la mpaka wa taifa hilo, huko Bujumbura, ukitokea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Baada ya kuingia mpakani, mmoja baada ya mwingine wakaanza kuteremka wakiwemo wanawake na watoto. Wamevalia barakoa zao, kujikinga na ugonjwa wa COVID-19. Kisha kwenye ukumbi wa eneo la mapokezi wakisubiri kusajiliwa na miongoni mwao ni Aline Niagara, mama huyu akiwa na watoto wake wanne, na anaelezea sababu ya kurejea nyumbani Burundi kutoka ukimbizi DRC, “Sasa ni mwaka mmoja na miezi miwili, tangu nimeanza kusikia kutoka kwa wale waliorejea hapa nyumbani mapema. Wametuambia kuwa njooni, hakuna tatizo lolote nchini kwetu. Hakuna tatizo na majirani. Mkisaidiwa na UNHCR mje nyumbani, na ndio maana tumeamua kurejea na tayari tuko hapa.” Maafisa wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR wamejipanga hapa ambapo wanajaza nyaraka za waliorejea pamoja na kuchukua alama za vidole. Aline anazidi kufunguka juu ya kile anachokiona nchini mwake, “Moyo wangu uko na amani. Tulipovuka mpaka kupitia pale kwa maafisa wa forodha na kuingia hapa, nimeweza kuona watu wanatembea kwa uhuru. Tangu nimefika hapa, sijasikia mlio wowote wa risasi. Sijaona watu wakikimbia. Naona watu wako na amani.”
Utata kuhusu unasaba umekuwa ndiyo sababu ya watu wengi kutaka kufanya vipimo vya DNA ambavyo huwa ghali na kuhitaji umakini mkubwa. Ugunduzi wa vifaa vya kupimia vipimo vya vinasaba au DNA nyumbani umeendelea kuibua mjadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu maswala ya uhalisia wa vipimo hivyo na pia maadili ya kuzingatiwa katika vipimo hivyo.Daktari Yusuf Mahat anayehudumu katika hopsitali ya rufaa ya Nakura,nchini Kenya,anaeleza yote unayohitaji kufahamu kuhusu vipimo hivyo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Akiwa katika ziara yake ya kwanza nchini Burundi hivi karibuni, Naibu Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi duniani, UNHCR Kelly Clements ameihi jamii ya kimataifa iongeze msaada kwa maeneo na jamii ambako wakimbizi wa Burundi wameamua kurejea nyumbani kwa hiari. Tangu mwaka 2017, zaidi ya wakimbizi 200,000 wa Burundi wamerejea nyumbani kutoka nchi jirani kama vile Tanzania. Tayari UNHCR imekuwa ikisihi hatua zaidi zifanyike ili kuboresha mazingira kwenye maeneo ambako wakimbizi wanarejea Burundi ili urejeaji wao uwe endelevu. Ni katika ziara yake Bi.Clements ameshuhudia wakimbizi zaidi wakirejea kutoka Tanzania na kuzungumza nao, huku wale waliorejea siku nyingi nao wakitoa wito wao na wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC nao wakipaza sauti zao. Kwa kina fuatana na Assumpta Massoi kwenye Makala hii kutoka UNHCR.
Baadhi ya wakaaji wa jiji la Shepperton wanaendelea kupokea huduma katika vituo vya msaada, baada yamafuriko kuwalazimisha kukimbia nyumba zao.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM limesema wananchi wengi wa Tunisia hivi sasa wanakabiliwa na machaguo magumu ya kubaki ndani ya nchi yao na kukabiliwa na hali ngumu ya maisha na uhaba wa chakula au kukimbia nje ya nchi yao na kutojua nini kitatokea huko waendako. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Leah Mushi. Katika soko la Kairouan nchini Tunisia mwanamke anaonekana akiwa sokoni akinunua nyanya na anasema….. "Naweza kusema nini? Bei zinapanda! Watu maskini hawawezi tena kumudu chochote. Ni kama dunia inawaka moto.” Mwingine naye anasema... “Hakuna sukari, inamaana nilazima nichukue teksi ini niende mbali sana kununua kilo moja ya sukari." Wakati wananchi wakilalamikia bei juu na kukosa bidhaa, wamiliki wa maduka ya jumla nao wanasema nao hawana bidhaa za kutosha kwa ajili ya wateja wao. Samia Zwabi ni mmiliki wa duka la vyakula na anasema .... “Hatuwezi kufanya kazi. Tunafanya kazi kwa nusu ya uwezo wetu. Mteja anapokuja, hawezi kupata mahitaji yote ya msingi. Wateja wanaomba kitu ambacho sina. Sio kwa uchaguzi wetu hata sisi tunahitaji kuwa na uwezo wa kufanya kazi ili kuweza kulisha watoto wetu.” Wananchi wengi wa Tunisia kwa sasa wanakabiliwa na uhaba wa vyakula muhimu, mafuta na bidhaa muhimu za kilimo na hii yote unaelezwa kusababishwa zaidi na vita nchini Ukraine. Msemaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji Safa Msehli anasema kwa sasa majaribu yamewafika shingoni wananchi na wengine wameamua kukimbia. “Nadhani kile ambacho mzozo wa Ukraine umeibua tena, ni maamuzi magumu ambayo watu wanapaswa kufanya kila siku, kwa sababu watu wanaolazimika kukimbia makazi yao, watu wanaolazimika kukimbia nchi yao, hawachukui uamuzi huo kirahisi.” Kupitia Mpango wa Nafaka wa Bahari Nyeusi Umoja wa Mataifa umekuwa ukijitahidi kufikisha mahitaji ya chakula kwenye maeneo ya uhitaji zaidi, na miezi miwili tu baada ya kuanza kwake zaidi ya tani 85,000 za ngano kutoka Ukraine zimewasili katika bandari za Tunisia. Kiujumla wananchi wengi katika nchi mbalimbali wanakabiliwa na changamoto kama za Tunisia kutokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa, mafuta na huku changamoto nyingine za mabadiliko ya tabianchi zikififisha kabisa uwezo wao wa kujikimu hata kwa kilimo.
Kijana Gibson Kawago kutoka Tanzania ambaye ni miongoni mwa vijana 17 walioteuliwa na Umoja wa Mataifa kuwa viongozi vijana wa kusongesha malengo ya maendeleo endelevu, SDGs amesema atatumia kipindi cha miaka miwili cha nafasi hiyo kusongesha hatua kwa tabianchi ikiwemo kutumia ugunduzi wake kuchakata betri chakavu za kompyuta kutengeneza betri za kuzalisha umeme katika kulinda na kuhifadhi mazingira. Nina furaha sana kuteuliwa na nitakuwa balozi mwema Akihojiwa na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa akiwa Dar es salaam nchini Tanzania, Gibson amesema amepokea kwa furaha kubwa uteuzi huu akisema, “nina furaha kubwa sana kuweza kuteuliwa na Umoja wa Mataifa kwa kutambua mchango wangu kwenye kutatua matatizo katika jamii hii ninayotoka. Kijana huyu mwenye umri wa miaka 27 ambaye sasa anamiliki kampuni ya WAGA inayotengeneza betri hizo amesema anaamini kilichomfanya ateuliwe ni kazi yake ya kulinda mazingira na kubuni mbinu za nishati salama. “Sisi tunajihusisha kuchakata betri za kompyuta mpakato, sasa hivi watu wakibadilisha betri kwenye kompyuta zao wanazitupa na zinachafua mazingira, na mara nyingi zikiingia kwenye udongo huleta madhara kwa afya ya binadamu,” amesema Gibson. Betri hizo zikiisha umeme huchajiwa kwa sola Wanachofanya WAGA ni kuchakata hizo betri na kutengeneza kasha la betri ambalo hutumiwa na wananchi wa vijijini kutumia kupata nishati mbadala na wanachaji kwa sola. Betri hiyo hutumika katika kuwasha taa na hata kuwasha televisheni. Kifuatacho ni nini? Gibson amesema kipindi cha miaka miwili cha nafasi hiyo ya kijana kiongozi wa kusongesha SDGS, atajitahidi kuwa balozi mzuri kuhakikisha vijana wenzake wanafahamu jinsi gani ya kutunza mazingira na wanajua ni jinsi gani watatafuta fursa tofauti kutatua matatizo katika jamii zao na kuhakikisha wanatunza mazingira yao. Kifo cha bibi yangu kilinichochea kutafuta jawabu la nishati Gibson anasema chanzo cha yeye kujikuta kwenye ubunifu huo ni kifo cha bibi yake. “Kuna siku nikiwa kijijini nilikuwa natumia simu yangu kumuonesha bibi picha za harusi. Katikati betri ikaisha na hatukuwa na umeme. Kesho yake nikasafiri umbali mrefu hadi mjini kupata betri.” Anasema hata hivyo aliporejea nyumbani alikuta bibi yake amefariki dunia kwa kuwa hali yake ya kiafya haikuwa nzuri. “Kwa hiyo wakati napata maumivu yale na kuwaza ni watu wangapi wanapata matatizo hayo nje nilipofika Dar es salaam wakati nasoma Chuo Kikuu cha Teknolojia ya Ufundi, DIT nikaanza kutafiti ni kwa vipi naweza kutengeneza betri inayohifadhi umeme,” amesema Gibson. Amesema alisaka mafunzo kwenye mtandao na hatimaye akaweza kutambua jinsi ya kuchakata betri chakavu za kompyuta mpakato ili kuzalisha umeme. Sasa betri zinawasha televisheni na taa vijijini Kwa mujibu wa Gibson, anatengeneza makasha ya betri kutokana na betri chakavu za Lithium na Ion, na betri. “Nimeweza kutengeneza betri kubwa ambazo inawezesha mtu wa kijijini kuweza kuwasha televisheni, kuwasha taa zake na kuweza kutumia na ikiisha anaweza kuchaji kwa nishati ya jua au sola.
Shirika la Umoja wa mataifa linalohudumia wakimbizi linasema mpango kwa ajili ya wakimbizi wa Congo wanaotaka kurejea nyumbani kwa hiari kutoka Angola umeanza tena baada ya kusimama kwa miaka miwili kutokana na janga la Covid 19. Kundi la kwanza la wakimbizi 88 linatarajiwa kuwasili DRC leo.
Wizara ya kazi ya Kenya imeamua kutoa mafunzo kwa wafanyakazi hao baada ya ripoti za unyanyasaji, ubakaji na vipigo dhidi yao. Wafanyakazi 23 walifariki tangu mwezi Novemba mwaka jana, vifo vingi vikiwa vilitokea Saudi Arabia.
In this episode, the hostess is in conversation with the owner and founder of Adolophine, Adolophine Lukabu Sheeley. They discuss her upbringing and how she became an entrepreneur and created her brand. CONNECT WITH ME! INSTAGRAM: @muyumbakalubi, @tcrlrcpodcastofficial FACEBOOK: The Congo Report EMAIL: thecongoreport@gmail.com WEBSITE: https://www.patreon.com/thecongoreport?fan_landing=true FOLLOW THE GUEST! INSTAGRAM: @adolophine, @princessetshibata WEBSITE: https://www.adolophine.com/ --- This episode is sponsored by · Anchor: The easiest way to make a podcast. https://anchor.fm/app --- Send in a voice message: https://anchor.fm/thecongoreport/message
Ni wiki mbili sasa tangu Urusi ianzishe mashambulizi yake nchini Ukraine, kitendo hicho kimesambaratisha familia ikiwemo wanaume kulazimika kusalia Ukraine ili kupigana vitani huku familia zao zikilazimika kukimbia maeneo mengine ya taifa hilo au hata nje ya Ukraine. Hali hiyo imeleta upweke kama anavyofafanua Assumpta Massoi kwenye taarifa ifuatayo. Nimeandika hapa kwa rangi, Baba! Kwa kutumia kalamu za risasi na za rangi! Ndivyo asemavyo Milana, mtoto huyu wa kike mwenye umri wa miaka 6 huku akionesha karatasi aliyochora nyumba na mwanaume! Akiwa kwenye chumba chao walichopatiwa kujihifadhi katika Chuo Kikuu cha Mukachevo kilicho jimbo la Zakarppatia magharibi mwa Ukraine, Milana anatumai kuwa wataugana na baba yake siku chache zijazo! Oleksandra, mama mzazi wa milaña aliwasili hapa na mwanae mwingine pia, Polina na mama yake mzazi, Natalia, mashambulizi yalipoanza tarehe 24 mwezi uliopita wa Februari. Walikimbia nyumba yao huko Donetsk, walipoamka tu na kusikia makombora. Milana anasema walisafiri katika magari mawili na hata walichukua mbwa wao, Mumewe Oleksandra baada ya kuhakikisha familia yake imefika salama hapa, alirejea nyumbani na sasa hapa wana wasiwasi kuhusu hatma yake. Serikali ya Ukraine ilitaka wanaume wote wenye umri wa miaka 18 hadi 60 wasalie nchini humo kwa ajili ya kuingia jeshini na kukomboa nchi yao. Alipoulizwa picha amemchorea nani? Milana akasema nimemchorea baba yangu, namkumbuka sana! Pamoja na yote, Umoja wa Mataifa kupitia shirika lake la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linashirikiana na mamlaka za mji huu kupanua huduma za kupokea wakimbizi, sambamba na kubainisha majengo ya kukarabatiwa ili yatumike kama malazi kwa wakimbizi wa ndani. Kwa kushirikiana pia na shirika la kiaia la NEEKA, UNHCR inapatia kituo hiki nguo za joto, maji, chakula, na vifaa vinavyohitajika zaidi vya jikoni kama vile majokofu na majiko ya kupashia vyakula. Milana ana matumaini ya kurejea nyumbani akisema, “nitakaporejea, nitaenda kumtembelea bibi yangu. Nina bibi wawili na pia niña babu na baba yangu Yevgenii.”
The Double Trouble Mixxtape 2018 Volume 25 Nyumbani Edition
The Double Trouble Mixxtape 2018 Volume 25 Nyumbani Edition
Not only is she a gospel music hit maker, but Kambua Manundu is also a philanthropist and force to reckon with in the Kenyan music industry. She is fully dedicated to her ministry and talent. #ThePlayHouse Support us to continue making podcasts - http://bit.ly/donatecta MPESA Till (Buy Goods) 5236949 Send Wave (+254) 701-000-777
Intro (00:00)(01:45) The African proverb for this week's podcast is:"When you follow in the path of your father, you learn to walk like him" ~ African Proverb from GhanaWord of the Episode (2:11) Nyumbani means home in SwahiliThe Grown Folks Section: (02:30)Lacey Grim is a homeschooling mom of 4, homesteader, author, holistic health coach and generally curious individual. She lives in NC with her husband on their small farm teaching others how to live their most self-sufficient and satisfied lives!Connect with Lacey and the School House Life PodcastWebsite: https://www.schoolhouseoils.comLacey and Drew Grim founded the SchoolHouseLife Podcast, please check it out because the information that they share is insightful about sustainability, homeschooling, natural wellness, and self-sufficiency. Join their Facebook Group: The Schoolhouse Life with Lacey + DrewReader ParticipationDid you know that the Cleverly Changing Podcast has merchandise. Yes, we sell t-shirts and accessories to help keep this podcast going and cover some of the associated costs. Please check out our merchandise and support. Thank you in advance!CleverlyChanging.Threadless.comThere are hoodies, t-shirts, sweatshirts, pillows, and more.★ Support this podcast on Patreon ★