Podcasts about hukumu

  • 25PODCASTS
  • 75EPISODES
  • 37mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Nov 14, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about hukumu

Latest podcast episodes about hukumu

Radio Maria Tanzania
Je, kuna hukumu baada ya kifo?

Radio Maria Tanzania

Play Episode Listen Later Nov 14, 2024 30:02


Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, tukiungana na Frater Daudi Fungameza kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu la Songea, akijibu swali hili,  Kadiri ya waraka Waebrania 9:27 “Mwanadamu baada ya kufa anapewa hukumu”  Je, Hukumu hiyo ni ipi? L'articolo Je, kuna hukumu baada ya kifo? proviene da Radio Maria.

SBS Swahili - SBS Swahili
Harris au Trump? wamarekani watoa hukumu yao

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Nov 5, 2024 9:34


Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.

Jioni - Voice of America
Mahakama ya DRC imetoa hukumu ya kifo kwa washtakiwa 26 wanaoshutumiwa kuwa kundi la waasi la M23 - Agosti 09, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 9, 2024 59:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Alfajiri - Voice of America
Mwendesha mashtaka nchini DRC awaombea hukumu ya kifo watu 25 wanaotuhumiwa kuwa wafuasi wa M23 - Julai 30, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 30, 2024 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Alfajiri - Voice of America
Mahakama ya kijeshi DRC yatoa hukumu kwa walio husika na mauaji ya waandamanaji mjini Goma - Oktoba 03, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 3, 2023 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Ushoga sasa waweza gharimu hukumu ya kifo Uganda

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 3, 2023 9:52


Uganda imepitisha sheria kali dhidi ya kundi la watu wanao jitambua kama LGBTIQ+, hatua ambayo imevutia ukosoaji mkali kutoka mataifa ya magharibi pamoja wana harakati barani Africa.

Kwa Undani - Voice of America
Familia moja ya Kenya yajiandaa kuelekea DRC kutokana na hukumu ya kifo inayomkabili mtoto wao - Mei 24, 2023

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later May 24, 2023 29:59


Familia moja ya Kenya inajiandaa kuelekea katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kukata rufaa dhidi ya hukumu ya kifo inayomkabili mtoto aliyekutwa na hatia ya kumwua mwanajeshi wa Congo mwaka uliopita.

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Maandamano ya upinzani nchini Kenya yashika kasi, Uganda yatuma wanajeshi wake DRC

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Apr 1, 2023 20:07


Kubwa katika makala hii ni kuhusu maandamano ya upinzani nchini Kenya, ziara ya makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris nchini Tanzania, wiki hii wanajeshi wa Uganda waliwasili kwenye mji wa Bunagana mashariki mwa DRC, lakini pia muswada wa sharia unaohusu uraia kwa mtu anayetakiwa kuwa kwenye wadhifa wa rais  kuzua hisia mseto. Hukumu dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini Senegal; Ziara ya mfalme Charles wa 3 wa Uingereza huko Ujerumani, na mambo mengine...

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kazi unayoifanya italetwa hukumuni

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Kazi unayoifanya italetwa hukumuni

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kazi unayoifanya italetwa hukumuni

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Kazi unayoifanya italetwa hukumuni

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Hukumu katika mahakama kuu ya Mungu atahukumu kila tendo kwa haki

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Hukumu katika mahakama kuu ya Mungu atahukumu kila tendo kwa haki

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Wakili wetu yupo tayari kututetea

AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Wakili wetu yupo tayari kututetea

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer
Taji la maua badala ya majivu 2

Kufurahia Maisha ya Kila Siku na Joyce Meyer

Play Episode Listen Later Aug 22, 2022 25:51


Mungu anataka kutufanyia mengi kuliko kutuzuia kuenda kuzimu. Anataka tuishi maisha yanayotimiza upendo na huduma ndani yake.

Le Livre du Prophète Kacou Philippe Version audio)
KACOU 151: Hukumu juu ya mataifa

Le Livre du Prophète Kacou Philippe Version audio)

Play Episode Listen Later Jul 31, 2022 53:47


KACOU 151: Hukumu juu ya mataifa by Prophète Kacou Philippe

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Hukumu ya Mungu

mungu hukumu redio mahubiri
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Hukumu ya Mungu

mungu hukumu redio mahubiri
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Kazi unayoifanya italetwa Hukumuni

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kazi unayoifanya italetwa Hukumuni

SIRI ZA BIBLIA
SIRI ZA BIBLIA: SABABU 7 KWANINI UMEOKOKA

SIRI ZA BIBLIA

Play Episode Listen Later Jun 25, 2021 11:35


Kuokoka ni jambo la lazima sana kwa kila anayehitaji uzima wa milele. Kuokoka kuanza na kumpokea YESU KRISTO kama Mwokozi kisha unaishi ukilitii Neno la MUNGU. Kwanini ni muhimu sana kuokoka? Biblia inasema baada ya kifo hukumu. Waebrania 9:27 ''Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;'' Anayetenda dhambi akifa na dhambi zake anaenda kuzimu. Mteule wa KRISTO mtakatifu akifa anaenda mbinguni. Wanadamu wengi wakionywa kwamba waache dhambi husema wanahukumiwa na hutoa sababu kwamba anayeweza kuwahukumu ni MUNGU tu. Hukumu ni Siku ya mwisho tu ila sasa ni maonyo tu na maonyo hayo yanaletwa na Neno la MUNGU kupitia watumishi, hivyo watumishi wakati mwingine huonekana kama wanahukumu kumbe wanawasaidia watu. Hakuna mwanadamu anayetakiwa kumhukumu mwanadamu mwenzeke. Nikisema acha uzinzi na usaliti wa ndoa maana ni dhambi sio nakuhukumu Bali nakuambia kweli ya MUNGU. Nikisema acha dhambi na okoka sasa ni kwa lengo la kukusaidia wewe. Ni mhimu sana kumpokea YESU na kuanza kuishi katika kusudi la MUNGU la wokovu. Baada ya kuokoka naomba utambue kwamba wewe umekuwa mtumishi wa MUNGU wa kuwasaidia na wengine ili waje kwenye wokovu. Biblia inasema kuhusu aliyeokoka kwamba; ''Kwa maana MMEOKOLEWA kwa neema, kwa njia ya imani; ambayo hiyo haikutokana na nafsi zenu, ni kipawa cha MUNGU;-Waefeso 2:8'' Biblia inasema tuliompokea YESU kama Mwokozi tumeokolewa. Kuna watu hudai hakuna kuokoka duniani lakini Neno la MUNGU ndio kweli na kweli hiyo inasema kawmba tuliompokea YESU tumeokolewa na sio tutaokolewa bali tumeokolewa tayari. Kama hujaokolewa basi nakusihi okolewa leo kwa kumpokea YESU KRISTO kama Mwokozi wako na kuanza kuishi maisha matakatifu ya wokovu wa KRISTO ulio wa thamani sana. Baada ya kuokolewa naomba ujue mambo 7 muhimu haya yafuatayo. Hiki ndicho kiini cha somo langu la Leo kwamba ''Tumeokoka ili?'' @siri za biblia www.sirizabiblia.com +255 758 708 804 --- Send in a voice message: https://anchor.fm/siri-za-biblia/message

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Una maoni gani kuhusu hukumu ya kifo

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later May 17, 2021 9:52


Mwishoni mwa juma lililopita mahakama nchini DRC imewahukumu kunyongwa hadi kufa watu 29 waliodaiwa kuhusika katika vurugu za ibada ya kumalizika kwa mwezi mtukufu wa ramadhani, ambapo polisi mmoja aliuawa na watu wengine kadhaa kujeruhiwa. Ni hukumu iliyoibua maswali na hisia mseto nchini humo. Wewe una mtazamo gani kuhusu hukumu hii? haya hapa baadhi ya maoni yako.

SBS Swahili - SBS Swahili
Je! umeridhishwa na hukumu aliyopewa Dominic Ongwen?

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later May 11, 2021 7:12


Kamanda wa zamani wa kundi la waasi wa Lords Resistance Army nchini Uganda, LRA Dominic Ongwen amekutwa na hatia ya uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinaadamu.

Habari za UN
Yametimia kwa Ongwen wa LRA, afungwa jela miaka 25

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 6, 2021 2:37


Mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai, ICC imemhukumu kifungo cha miaka 25 jela kamanda wa zamani wa kikundi cha waasi cha Lord’s Resistance Army, LRA nchini Uganda, Dominic Ongwen. Hukumu hiyo imetolewa leo huko The Hague Uholanzi kufuatia kamanda huyo wa zamani kupatikana na hatia ya makosa 61tarehe 4 mwezi Februari mwaka huu. Flora Nducha na maelezo zaidi. 

SIRI ZA BIBLIA
Je uko tayari? Tambua wakati na kusudi la maisha yako

SIRI ZA BIBLIA

Play Episode Listen Later Feb 9, 2021 5:58


Kila kitu kwenye maisha ya mwanadamu kimebebwa na WAKATI. KUSUDI la wewe kuwa duniani limebebwa na WAKATI. Ni TIMELINE ya maisha yako mpaka siku ya mwisho. Timeline maana yake ni MUDA => TUKIO. 1965 => KUZALIWA 2007 => KUFA KUZALIWA na KUFA, hayo ni MATUKIO mawili makubwa yaliyopo kwenye timeline ya kila mwenye PUMZI. KATIKATI hapo kuna matukio mengine, yaliyoambatana na muda kulingana na KUSUDI na mapenzi ya MUNGU kwenye maisha yako. Kama vile ambavyo matukio mbalimbali yametokea na kubadilika kwenye maisha yako, yani ulizaliwa, ukakua na sasa uko hivyo jinsi ulivyo; hiyo ni timeline yako inazidi kusogea, sasa hatujui kama timeline yako na ya MUNGU juu yako zinafanana au uliamua kutengeneza ya kwako, sasa hilo ni somo la siku nyingine. BASI uwe na UHAKIKA kabisa kuna MWISHO wa WEWE kuwa hapa duniani. Baada ya MWISHO au KIFO hakuna kingine kinachofuata bali ni HUKUMU (Waebrania 9:27) HUKUMU ni TAMKO ambalo kila mmoja atapokea kama IJARA ya mambo aliyotenda akiwa duniani, kwa kadiri alivyotenda, kwamba ni MEMA au MABAYA(2Wakorintho5:10). HIYO siku hakutakuwa na nafasi ya kujitetea. Hakuna kusema nilikuwa sijui, kwasababu kila mwenye pumzi lazima aisikie INJILI, ni yeye mwenyewe kuamua kuamini au kutoamini. Hiyo siku hakutakuwa na KUKATA RUFAA. Hukumu ikitoka imetoka. Wala pesa hazitafanya kazi kwako. Hakutakuwa na rushwa. Wala hakutakuwa na MATABAKA, kwamba huyu alikuwa raisi, waziri, celebrity, bongo movie maarufu, huyu alikuwa na followers milioni 8, huyu alikuwa miss Tanzania, huyu alikuwa na tuzo lukuki, huyu alikuwa mfanya biashara maarufu. Hakutakuwa na “wakili msomi” wa kukutetea, kwasababu hata yeye atasimama kwenye kiti cha hukumu ahukumiwe, kama alidhurumu watu basi hiyo siku itajulikana. Hapo ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno. “Ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia; malaika watatokea, watawatenga waovu mbali na wenye haki, na kuwatupa katika tanuru ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno” (Mathayo 13:49-50) MUNGU ANASISITIZA KUGEUKA kwa wanadamu na kusisitiza juu ya NYAKATI za mwisho. Na kila mmoja AKAIONE neema ya MUNGU na UPENDO WAKE ili asiangamie siku ya mwisho. ENDELEA KWENYE POST INAYOFUATA --- Send in a voice message: https://anchor.fm/siri-za-biblia/message

Radio Uhai Broadcast
Baada ya Maisha Kuna Hukumu (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Feb 8, 2021 60:00


Radio Uhai Broadcast
Baada ya maisha kuna hukumu (Swahili)

Radio Uhai Broadcast

Play Episode Listen Later Jan 14, 2021 60:00


NoticiAudio
NoticiAudio Kimuane 08.01.2021

NoticiAudio

Play Episode Listen Later Jan 9, 2021 9:18


Salama jamah mussikiliza noticiAudio. Karibuni habar za lelo kamba ezi: ▪️Watchaputo wali kutendeka vita mu Próvincia Cabo Delgado, wenguila Palma na walazimisha empresa total iwalavye wakazi. ▪️Comandante wa kazi za mapulicia mu próvincia ya Niassa beleza acamba iwapo tahazari kuhussu kwenguezeka ka uchaputhu Ku fica kule. ▪️Provincia ya Cabo Delgado: Ufalume utangaza uluere was cólera wa cólera muito distrito ya Montepuez. ▪️Hukumu ya kiyongozi wa mida ingali ikitikinissa próvincia ya Inhambane. ▪️Mariano Nhongo keleza kwimissa bunduqui ili apakanile na serikali. Landikisse uzuji wa Podcast (https://podcasts.google.com/?feed=aHR0cHM6Ly9hbmNob3IuZm0vcy83ODBmYTUwL3BvZGNhc3QvcnNz) ema ukurassa wa Telegram (https://t.me/noticiaudiokw) na WhatsApp (https://chat.whatsapp.com/Im9QVJsgk7LGijoGZE5dMq) pamodja na ukurassa wa Facebook (https://www.facebook.com/NoticiAudio/) wa NoticiAudio ili uphathe habazi za mana za inty ya Moçambiqui, kwa Kila sumana. Leia o script em Português aqui (https://telegra.ph/NoticiAudio-8-Janeiro-2021-01-07) Assante Sana, mphaka nafassi Nhenguine!

Le Livre du Prophète Kacou Philippe Version audio)

KACOU 2: Tamka hukumu ! by Prophète Kacou Philippe

Hukumu Ya Muziki
Hukumu Ya Muziki

Hukumu Ya Muziki

Play Episode Listen Later Nov 18, 2014 51:08


Hukumu Ya Muziki

Hukumu Za Kula Daku
Hukumu Za Kula Daku 2

Hukumu Za Kula Daku

Play Episode Listen Later Jul 29, 2014 51:08


Hukumu Za Kula Daku 2

Hukumu Za Kula Daku
Hukumu Za Kula Daku 1

Hukumu Za Kula Daku

Play Episode Listen Later Jul 29, 2014 51:08


Hukumu Za Kula Daku 1

Hukumu Za Zakatul Fitwir
Hukumu Za Zakatul Fitwir

Hukumu Za Zakatul Fitwir

Play Episode Listen Later Jul 26, 2014 51:08


Hukumu Za Zakatul Fitwir

Hukumu Ya Kulipa Swaumu Ya Ramadhan
Hukumu Ya Kulipa Swaumu Ya Ramadhan

Hukumu Ya Kulipa Swaumu Ya Ramadhan

Play Episode Listen Later Jul 21, 2014 51:08


Hukumu Ya Kulipa Swaumu Ya Ramadhan

Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala
Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala

Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala

Play Episode Listen Later Apr 27, 2014 51:08


Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala

katika hukumu miongoni swala
Hukumu Za Talaka Katika Uislam
Hukumu Za Talaka Katika Uislam

Hukumu Za Talaka Katika Uislam

Play Episode Listen Later Mar 29, 2014 51:08


Hukumu Za Talaka Katika Uislam

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 06

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 06

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 08

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 08

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 07

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 07

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 01

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 01

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 02

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 02

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 03

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 03

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 04

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 04

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri
Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 05

Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri

Play Episode Listen Later Oct 30, 2013 51:08


Hukumu Ya Kuishi Katika Miji Ya Makafiri 05

Iddi Ya Kuchinja Na Hukumu Zake
Iddi Ya Kuchinja Na Hukumu Zake

Iddi Ya Kuchinja Na Hukumu Zake

Play Episode Listen Later Oct 29, 2013 51:08


Iddi Ya Kuchinja Na Hukumu Zake

Hukumu Za Zakatul Fitri
Hukumu Za Zakatul Fitri

Hukumu Za Zakatul Fitri

Play Episode Listen Later Oct 28, 2013 51:08


Hukumu Za Zakatul Fitri

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [02]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [02]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [01]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [01]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [08]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [08]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [03]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [03]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [04]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [04]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [05]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [05]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [06]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [06]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [07]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [07]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [09]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [09]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [10]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [10]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [12]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [12]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [13]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [13]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [14]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [14]

Hukumu Za Jeneza
Hukumu Za Jeneza [11]

Hukumu Za Jeneza

Play Episode Listen Later Oct 22, 2013 51:08


Hukumu Za Jeneza [11]