Podcasts about kundi

  • 49PODCASTS
  • 166EPISODES
  • 21mAVG DURATION
  • 1WEEKLY EPISODE
  • Mar 5, 2025LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kundi

Latest podcast episodes about kundi

Habari za UN
Hali ya usalama ikidorora DRC, hofu sasa ni mustakabali wa watetezi wa haki za binadamu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 5, 2025 1:57


Hali ya kibinadamu ikiendelea kuzorota mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mtaalamu Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na hali ya watetezi wa haki za binadamu, Mary Lawlor leo ametoa wito wa msaada wa dharura na wa vitendo kwa watetezi wa haki za binadamu katika eneo hilo. Anold Kayanda na taarifa zaidi. (Taarifa ya Anold Kayanda)Mary Lawlor akizungumza leo jijini Geneva-Uswisi amesema, "watetezi wa haki za binadamu mashariki mwa DRC wako hatarini sana kulengwa na kulipiziwa kisasi kwa kazi yao ya kutetea haki za binadamu. Wanahitaji msaada sasa, ikiwa ni pamoja na usaidizi wa kuhamishwa kwa muda pamoja na familia zao.”Kundi la waasi la M23, limeendelea kusonga mbele katika eneo hilo la mashariki mwa DRC tangu lilipoanza mashambulizi yake mapema mwaka huu, na wale waliorekodi na kufichua ukiukwaji wa haki zao wamekuwa wakilengwa moja kwa moja, amesisitiza Bi. Lawlor."Katika wiki za hivi karibuni nimepokea taarifa nyingi za tahadhari zinazohitaji msaada na nimezungumza moja kwa moja na watetezi walioko mashinani," amesema Lawlor na kuongeza kuwa watu hao wanaishi kwa hofu na hatari ni halisi na kwama hivi karibuni, mtetezi mmoja alimpa taarifa kuwa waasi wa M23 wameandaa orodha ya watetezi wa haki za binadamu watakaokamatwa katika maeneo waliyoyadhibiti.Mtaalamu huyo  amesema amepokea ripoti za kuaminika za watetezi wa haki za binadamu kushikiliwa bila mawasiliano, kutoweshwa kwa nguvu, na kuteswa huko Rutshuru na Masisi, Kivu Kaskazini, huku takribani watetezi sita wa haki za binadamu wakiripotiwa kutoweka baada ya kujaribu kutoroka Goma baada ya jiji hilo kuchukuliwa na M23."Baadhi ya watetezi wa haki za binadamu hawakuwa na chaguo jingine ila kukimbia makazi yao. Wale wanaofanikisha kufika katika miji mingine wanakosa rasilimali za kupata malazi au kukidhi mahitaji yao ya kila siku," amesema na kwamba, "wengine wamebaki katika maeneo yanayodhibitiwa na waasi lakini wana hofu kubwa kuhusu usalama wao. Mtetezi mmoja alimuuliza jinsi wanavyoweza kuendelea kujificha huku M23 ikianza kufanya ukaguzi huko Goma.Tangu magereza yalipovunjwa  huko Goma, Kalehe, Bukavu, na Uvira, maelfu ya wafungwa, wakiwemo wahalifu wakatili na viongozi wa makundi yenye silaha waliohukumiwa kwa ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofikia uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu, walitoroka na kuingia mitaani. Baadhi yao wanawatishia watetezi wa haki za binadamu waliotoa msaada wa matibabu, kisaikolojia na msaada wa kisheria kwa waathiriwa na mashahidi waliotoa ushahidi wakati wa kesi hizo. Na wakati huo huo watetezi wa haki za binadamu wakikabiliwa na vitisho na hofu ya kulipiziwa kisasi, waathiriwa hawana wa kuwategemea, ameeleza mtaalamu huyo.Katika mazingira ambayo tayari ni magumu kwa watetezi wa haki za binadamu, Mtaalamu huyo maalumu wa Umoja wa Mataifa anasisitiza hatari kubwa ya ukatili wa kingono inayowakabili watetezi wa haki wa kike."Tunajua kuwa ukatili wa kingono unaohusiana na migogoro mashariki mwa DRC ni wa kiwango cha juu, na kwamba wanawake wanaopinga ukiukwaji wa haki za binadamu katika muktadha huu, na wanaojitokeza kwa kazi yao, mara nyingi ndio wanaoathirika zaidi," Lawlor amesema akiongeza kuwa ni jambo la kusikitisha kufikiria kwamba miaka 25 tangu kupitishwa kwa azimio la kihistoria la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu wanawake, amani na usalama, matukio haya yanatokea mbele ya ulimwengu unaoonekana kutokuwa na msimamo thabiti.Mtaalamu huyo pia ameelekeza umakini kwa hatari wanazokabiliana nazo watetezi wa haki za binadamu katika maeneo ya vijijini na yaliyojitenga, ikiwa ni pamoja na mauaji, kutoweshwa kwa nguvu, na utekaji nyara, na akaangazia athari za kisaikolojia zinazowakumba wale walioko mashinani."Watetezi tayari walikuwa wakikabiliwa na vitisho katika eneo hilo – kutoka kwa serikali na makundi yenye silaha  lakini kama alivyonieleza mtetezi mmoja wa haki za binadamu wa…

Kwa Undani - Voice of America
Uganda imetuma wanajeshi Ituri, DRC kupambana na kundi la waasi la CODECO - Machi 04, 2025

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 4, 2025 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Alfajiri - Voice of America
Kundi la RSF pamoja na washirika wake watia saini mkataba wa kuunda serikali sambamba Sudan. - Februari 24, 2025

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 24, 2025 29:58


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

VOA Express - Voice of America
Vijana katika mji wa Bukavu nchini DRC wanaelezea changamoto za ghafla wanazopitia baada ya kundi la M23 kuingia kwenye mji huo. - Februari 17, 2025

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 17, 2025 29:58


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

SBS Swahili - SBS Swahili
Taarifa ya Habari 11 Februari 2025

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Feb 11, 2025 17:53


Kundi maarufu la madaktari limezindua mpango mpya kabla ya uchaguzi mkuu, kundi hilo limesema lita hakikisha upatikanaji kwa huduma yama GP kwa bei nafuu kwa kila mtu nchini Australia.

Jukwaa la Michezo
AFCON 2025: Uganda, Tanzania kundi moja katika mashindano ya mwezi Disemba

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Feb 1, 2025 23:57


Hii leo tumeangazia yaliyozungumziwa kwenye mkutano mkuu wa jinsia wa Afrika Mashariki jijini Nairobi, shirikisho la kimataifa la mchezo wa baiskeli yapinga madai kuwa Rwanda itapokonywa haki za kuandaa mashindano ya chipukizi ya dunia mwezi Septemba kufuatia mzozo unaoendelea DRC, uchambuzi wa droo ya AFCON 2025, maandalizi ya CHAN 2024 tarehe mpya zatajwa na uchaguzi wa CAF mwaka huu. Pia tumechabua hatua ya mchujo mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya na tetesi za uhamisho ulaya.

Jioni - Voice of America
Hali ya wasi wasi yaripotiwa mashariki mwa DRC baada ya kundi la M23 kuendelea kusonga mbele - Januari 24, 2025

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 24, 2025 59:59


Hali ya wasi wasi yaripotiwa mashariki mwa DRC baada ya kundi la M23 kuendelea kusonga mbele

Alfajiri - Voice of America
Trump alitaja kundi la Wahouthi wa Yemen kuwa kundi la kigaidi la kigeni - Januari 23, 2025

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 23, 2025 29:59


Jukwaa la Michezo
Droo ya CHAN 2024: Kenya yapangwa kundi gumu zaidi, mashindano ya Agosti 2025

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Jan 18, 2025 23:53


Kipindi cha leo kimeangazia pakubwa droo ya mashindano ya CHAN 2024; adhari ya kuahirishwa kwa kipute na uchambuzi wa makundi. Pia tumetupia jicho raundi ya sita hatua ya makundi mechi za klabu bingwa Afrika, fainali ya mashindano mapya ya wasichana U17, Shujaa yataja kikosi chake cha mkondo wa Perth 7s, Kipchoge akilenga taji la tano la London Marathon, Tyson Fury astaafu ndondi kwa mara ya pili pamoja na mashindano ya tenisi ya Australian Open yakiingia hatua ya robo fainali. Kulingana na droo iliyofanyika Jumatano usiku katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Kenyatta (KICC) jijini Nairobi nchini Kenya, Harambee Stars imepangwa katika 'kundi la kifo' ambapo itamenyana na mabingwa mara mbili Morocco (2018 na 2020) na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (2009 na 2016)."Tuko kwenye kundi la kifo," Mariga alikiri, akibainisha uimara wa wapinzani wao."Hizo ni timu kubwa na inamaanisha lazima tuweke juhudi zaidi katika maandalizi."“Wapinzani wetu ni wagumu, tutashiriki mashindano haya kwa mara ya kwanza lakini haijalishi. Tuna wachezaji wazuri ambao wanaweza kutoa changamoto,” alijibu Kenneth Muguna, mmoja wa wachezaji muhimu katika kikosi cha sasa cha Harambee Stars.Pia katika Kundi A kuna Zambia na Angola. Kenya itakuwa mwenyeji wa mashindano haya yanayofanyika kila baada ya miaka miwili kwa wachezaji wa nyumbani pamoja na Tanzania na Uganda.Wenyeji wenza Tanzania wako katika Kundi B ambapo watamenyana na Madagascar, Mauritania, Burkina Faso na Jamhuri ya Afrika ya Kati.“Tusichukulie kundi hili kama jepesi, sisi kama wenyeji lazima tujitayarishe vyema ili tupite awamu ya makundi na hata kushinda kombe, “ alisema rais wa shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) Wallace Karia.Uganda wataongoza Kundi C ambapo watamenyana na Niger na nchi mbili ambazo zitatinga hatua ya mwisho ya mchujo. Mabingwa watetezi Senegal wataanzisha tena uhasama na Nigeria katika kundi D, ambayo pia ina Sudan na Kongo.“Tumecheza dhidi ya Guinea na Niger mara kadhaa, tunajua wanavyocheza. Tumefuzu mara ya nane mashindano haya, na hatujawahi kuaga mashindano kwenye makundi,” alieleza kwa msisimko Moses Magogo, rais wa shirikisho la soka (FUFA) nchini Uganda. Michuano hiyo yenye timu 19 ambayo awali ilipangwa kufanyika Februari 1 hadi 28, iliahirishwa hadi Agosti mwaka huu. Wasaidizi wa droo hiyo walikuwa wachezaji wa zamani - McDonald Mariga wa Kenya, Mrisho Ngasa wa Tanzania na Hassan Wasswa wa Uganda huku mkurugenzi wa mashindano wa CAF, Samson Adamu akisimamia mchakato wa droo.Katika ujumbe wake wa video kabla ya droo hiyo, rais wa CAF Patrice Motsepe alitoa shukrani zake kwa marais William Ruto (Kenya), Samia Suluhu Hassan (Tanzania) na Yoweri Museveni (Uganda) kwa ushirikiano wao kuhakikisha mashindano hayo yanafanyika kwa mafanikio."Ukarabati wa viwanja, viwanja vya kufanyia mazoezi, miundombinu, hoteli na hospitali katika nchi hizo tatu unaonyesha maendeleo makubwa na motisha, iliyodhihirika wakati wa ziara yangu," ujumbe wake Motsepe ulibainisha."Lengo lilikuwa kuunganisha mataifa matatu ya Afrika Mashariki, pamoja na mengine kutoka sehemu mbalimbali za Afrika."Waziri wa Michezo nchini Kenya Salim Mvurya alipamba hafla hiyo pamoja na wenzake kutoka Uganda na Tanzania, Peter Ogwang na profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko.Droo KamiliKundi A: Kenya, Morocco, Angola, DR Kongo, ZambiaKundi B: Tanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso, Jamhuri ya Afrika ya KatiKundi C: Uganda, Niger, Guinea, Q2, Q1Kundi D: Senegal, Kongo, Sudan, Nigeria

Jioni - Voice of America
Watu zaidi ya 27 wamefariki na wengine wametekwa na watu wanaodhaniwa kutoka kundi la ADF huko mashariki mwa DRC. - Januari 16, 2025

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 16, 2025 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Habari za UN
Vyombo vya habari vyawezasongesha agenda 2030 na kukuza haki za binadamu ni muhimu - Faraja Kihongole

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 15, 2025 3:59


Kundi la waandishi wa habari 15 wanawake kutoka nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania mwaka jana wa 2024 walitumia siku tano jijini Geneva, Uswisi kushiriki programu ya kushirikisha waandishi wa habari ili wapate uelewa wa kazi za Baraza la Umoja wa Mataifa la haki za Binadamu. Ufadhili wao ulikuwa kupitia mashirika mawili ya kiraia, Universal Rights Group (URG) na Friedrich Naumann Foundation. Wakiwa Geneva, walipata fursa ya kuzungumza mabalozi wanaowakilisha nchi zao kwenye Baraza hilo, wataalamu wa haki za binadamu, mashirika ya kiraia na waandishi wa habari ambao kituo chao cha kazi ni Baraza la Haki za Binadamu. Miongoni mwao ni Faraja Kihongole kutoka Africa Media Group Tanzania Limited. Alihojiwa na Pascal Sim, Afisa wa Mawasiliano katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu jijini Geneva kuhusu masuala kadhaa ikiwemo alichojifunza na anachoondoka nacho. Matokeo ya mahojiano hayo ndio makala ya leo inayoletwa kwako na Assumpta Massoi.

Kwa Undani - Voice of America
Indonesia imekuwa mwanachama kamili katika kundi la BRICS la muungano wa uchumi unaoendelea duniani. - Januari 07, 2025

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 7, 2025 29:55


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Alfajiri - Voice of America
Kiongozi wa Al-Shabab auwawa na kundi hilo ladhibitisha - Desemba 27, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 27, 2024 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

VOA Express - Voice of America
Vijana nchini Kenya wanaaswa kutambua na kujilinda na maambukizi ya HIV ambayo yanaongezeka kwenye kundi la miaka 15 hadi 24. - Desemba 02, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 2, 2024 30:00


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Alfajiri - Voice of America
Kundi jipya la wanamgambo kwa jina Lakurawas, laibuka kaskazini magharibi mwa Nigeria - Novemba 22, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 22, 2024 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Alfajiri - Voice of America
Nigeria yatishiwa na kundi jipya la wenye silaha - Novemba 11, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 11, 2024 29:55


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

VOA Express - Voice of America
Wanawake 15,000 katika kundi la UMWC nchini Uganda wamefaidika na msaada wa shilingi bilioni mbili kutoka kwa Rais Yoweri Museveni. - Oktoba 29, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 29, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Nyumba ya Sanaa
Tanzania: Tunazungumza na kundi la wasani la viongozi generation

Nyumba ya Sanaa

Play Episode Listen Later Sep 14, 2024 20:08


Mwandishi wetu Steven Mumbi amezungumza na kundi la wasani la viongozi generation.

Alfajiri - Voice of America
Kundi la Islamic State nchini Somalia limekuwa na ushawishi muhimu wa kifedha kwa ajili ya ugaidi. - Septemba 13, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 13, 2024 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Nyumba ya Sanaa
Tanzania: Wiki hii tunaliangazia kundi la Muziki la The Mafiki

Nyumba ya Sanaa

Play Episode Listen Later Aug 24, 2024 20:12


The Mafiki  ni kundi la Muziki lililovuma kwa vionjo vya Muziki wa sasa, sasa wamekuja upya mara baada ya kusambaratika, Ungana na Steven Mumbi akizungumza na wasanii wa kundi hilo.

VOA Express - Voice of America
Vijana wa YALI 2024 wakiwa mjini Washington wanaelezea ushawishi uliopo kwa kundi la vijana maarufu Gen Z nchini Kenya. - Agosti 15, 2024

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 15, 2024 29:59


VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Matumizi ya taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming)

Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Play Episode Listen Later Aug 12, 2024 9:45


Kundi la vijana la Vision Bearers la mtaani Mathare, jijini Nairobi linavyotumia taka za chupa za plastiki kuendeleza kilimo bila mchanga(Hydroponic farming)

Jioni - Voice of America
Mahakama ya DRC imetoa hukumu ya kifo kwa washtakiwa 26 wanaoshutumiwa kuwa kundi la waasi la M23 - Agosti 09, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 9, 2024 59:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

SBS Swahili - SBS Swahili
H_art the Band kuhusu tamasha ya Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 2, 2024 13:47


Kundi la H_art the Band kutoka Kenya, lili kuwa mjini Sydney kwa tamasha yao ya miji 5 mikuu ya Australia.

Jioni - Voice of America
Zaidi wa watu 30 wadaiwa kuuwawa na kundi la kijeshi lenye silaha la RSF nchini Sudan - Julai 27, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 27, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Alfajiri - Voice of America
Kundi la kigaidi lashambulia Msikiti wa Washia Oman na kuua watu 6 - Julai 17, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jul 17, 2024 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

SBS Filipino - SBS Filipino
'We aim to attract not only tourists but also billionaire investors': Philippines boosts efforts to encourage foreign business ventures - 'Hindi lang turista kundi mga bilyonaryong investors ang dapat maakit': Paghikayat sa mga dayuhan na magnegosyo s

SBS Filipino - SBS Filipino

Play Episode Listen Later Jul 16, 2024 19:52


Aside from tourism, the private and public sectors are also working to attract more foreign investors to the Philippines. Learn about the different business opportunities available and how to begin investing in an interview with Mon Abrea, Chief Tax Advisor of the Asian Consulting Group. - Maliban sa turismo, isinusulong din ng pribado at pampublikong sektor ang pag-akit ng mas maraming foreign investors sa Pilipinas. Alamin ang iba't ibang oportunidad sa pagnenegosyo sa bansa at paano magsisimulang mamuhunan sa panayam kay Mon Abrea, ang Chief Tax Advisor ng Asian Consulting Group.

Jioni - Voice of America
Kundi la Hamas lakubali azimio la Umoja wa Mataifa linalounga mkono sitisho la mapigano. - Juni 11, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 11, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

PAULINES ONLINE RADIO
Mabuting Balita l Mayo 14, 2024 – Martes

PAULINES ONLINE RADIO

Play Episode Listen Later May 13, 2024 4:31


Mabuting Balita l Mayo 14, 2024 – Martes Ikapitong Linggo ng Pasko ng Pagkabuhay Ebanghelyo: Juan 15, 9-17 Sinabi ni Hesus sa kanyang mga alagad: “Katulad ng pagmamahal sa akin ng Ama, gayundin naman ang pagmamahal ko sa inyo. Manatili kayo sa pagmamahal ko. Kung tutuparin ninyo ang aking mga utos, mananatili kayo sa pagmamahal ko katulad ng pagtupad ko sa mga utos ng aking Ama at ng pananatili ko sa kanyang pagmamahal. Sinabi ko sa inyo ang mga ito upang mapasainyo ang kagalakan ko, at maging ganap ang galak ninyo. Ito ang utos ko: Magmahalan kayo gaya ng pagmamahal ko sa inyo. Wala nang pagmamahal na hihigit pa kaysa pag-aalay ng sariling buhay alang-alang sa mga kaibigan niya. Mga kaibigan ko kayo kung ginagawa ninyo ang iniuutos ko sa inyo. Hindi ko na kayo itinuturing na mga utusan sapagkat hindi alam ng utusan kung ano ang ginagawa ng kanyang panginoon. Itinuring ko naman kayong mga kaibigan sapagkat ipinaalam ko sa inyo ang lahat ng narinig ko mula sa aking Ama. Hindi kayo ang humirang sa akin Kundi ako ang humirang sa inyo at itinalaga ko kayo para matagpuang namumunga, at manatili ang bunga ninyo. At ipagkakaloob sa inyo ng Ama anuman ang hilingin ninyo sa kanya sa Ngalan ko. Iniuutos ko nga sa inyo na magmahalan kayo.” Pagninilay: "Hindi kayo ang humirang sa akin kundi ako ang humirang sa inyo, at itinalaga ko kayo para matagpuang namumunga, at manatili ang bunga ninyo." Katulad ng labindalawang apostol na nauna sa kanya, pinili din at hinirang ng Diyos si San Matias na maging malapit na tagasunod ni Kristo. Sa apostolic exhortation ni Pope Francis na pinamagatang Gaudete et Exsultate (Magsaya at Magalak) sinabi niya, na hindi kailangang maging obispo, pari o madre para maging banal. Madalas kasi, iniisip natin na ang kabanalan ay para lang sa mga taong lumalayo sa mundo para magdasal nang buong araw. Hindi po! Tinatawag tayong maging banal sa pamamagitan ng pamumuhay na punung-puno ng pagmamahal, at sa pagpatotoo sa mga aral ni Kristo saan man tayo naroroon.  May asawa ka ba? Maging banal ka sa pagmamahal at pag-aaruga sa iyong asawa gaya ng pagmamahal ni Kristo sa simbahan. Nagtatrabaho ka ba? Maging banal ka sa pagsisikap na magawa ang trabaho mo nang may katapatan at buong galing, bilang serbisyo mo sa buong mundo. Isa ka bang magulang? Maging banal ka sa pagmamahal mo at pagtuturo sa mga anak mo kung paano sumunod kay Jesus. Nasa posisyon ka ba ng kapangyarihan? Maging banal ka sa pagtataguyod ng ikabubuti ng mas nakararami, at sa pagtalikod sa anumang bagay na makasarili. Digital creator ka ba o social media user? Gamitin mo ang kakayahan mo sa pag-spread ng katotohanan at pag-asa, hindi ng tsismis at puro nega.  Sundan natin ang halimbawa ni San Matias na nagpalaganap ng salita ni Kristo hanggang sa maging martir siya para sa Panginoon. San Matias, ipanalangin mo kami.

PAULINES ONLINE RADIO
Mabuting Balita l Mayo 7, 2024 – Martes

PAULINES ONLINE RADIO

Play Episode Listen Later May 6, 2024 3:31


Mabuting Balita l Mayo 7, 2024 – Martes Ikaanim na Linggo ng Pasko ng Pagkabuhay Ebanghelyo: Juan 16: 5-11 Sinabi ni Hesus sa kanyang mga alagad “Ngayon nama'y papunta ako sa nagpadala sa akin at wala sa inyong nagtatanong sa akin kung saan ako papunta. Kundi tigib ng lungkot ang iyong puso sa pag sasabi ko nito sa inyo. Ngunit sinasabi ko ang katotohanan. Makabubuti sa inyo'y ako'y umalis, sapagkat kong hindi ako aalis hindi makararating sa inyo ang tagapag tanggol. Kung aalis naman ako, ipadadala ko sa inyo at pagdating niya, hihiyain niya ang mundo sa pag lalantad sa kasal-anan sa daan ng pagkamatuwid at sa paghatol. Ito ang kasal-anan, hindi sila naniniwala sa akin. Ito ang daan ng pagka matuwid. Sa Ama ako papunta, samantalang hindi n'yo na ako makikita at hinatulad na ang pinuno ng mundong ito. Ito ang pag hatol.”     Pagninilay: Bilang bunsong anak sa aming pamilya, malapít ako sa aking mga magulang, lalo na sa aking ina. Sa katunayan, tuwing umaalis siya dati para pumasok sa trabaho, minsan ay iniiyakan ko ang kanyang pag-alis, kahit na alam ko na babalik siya sa hapon. Ang mabilisang magpapatahan sa akin ay ang pangako ng pasalubong mula sa aking paboritong fastfood chain at mga yakap at halik pag-uwi. Ang pait ng minsang paglisan ang siya palang nagpapatamis ng muling pagkikita. Sa tagpo ng Mabuting Balita ngayon, halatang-halatang nagpapaalam na si Hesus sa kanyang mga alagad. Sa katunayan, ilang araw na lang ay ipagdiriwang natin ang pag-akyat niya sa langit. Pinapapanatag tayo ni Hesus na may kaunting pait man ang sandalling paglisan, mananatili Siya sa ating piling sa pamamagitan ng Espiritu Santo. Ang Espiritu Santo ang siyang papatnubay sa atin upang muli nating makadaupang-palad si Hesus na muling nabuhay sa mga karaniwang kaganapan ng ating buhay. Mga kapanalig, kapatid, marahil ay nasanay tayong makatagpo si Hesus sa mga kakaibang kaganapan, katulad ng mga alagad. Hilingin natin ang kanyang Espiritu upang mas madali natin siyang makita sa mga “mumunting milagro” ng araw-araw. Sa ganitong paraan, muling mag-aalab ang ating mga puso upang mapag-alab ang puso ng ating kapwang uhaw sa pag-ibig ng Diyos.  Ang Espiritu Santo ang siyang papatnubay sa atin upang muli nating makadaupang-palad si Hesus na muling nabuhay sa mga karaniwang kaganapan ng ating buhay.

PAULINES ONLINE RADIO
Mabuting Balita l Abril 24, 2024 - Miyerkules

PAULINES ONLINE RADIO

Play Episode Listen Later Apr 23, 2024 4:23


Mabuting Balita l Abril 24, 2024 - Miyerkules sa Ika-4 na Linggo ng Pasko ng Pagkabuhay     Ebanghelyo: Jn 12:44-50 Malakas na sinabi ni Hesus: “Ang naniniwala sa akin ay hindi sa akin naniniwala Kundi sa nagsugo sa akin. Ang nakakasaksi sa akin ay nakakasaksi sa nagsugo sa akin. “Dumating ako sa mundo bilang liwanag upang hindi sa dilim manatili ang bawat naniniwala sa akin. Kung may nakakarinig sa aking mga salita at hindi ito iingatan, hindi ako ang humahatol sa kanya, sapagkat hindi ako dumating upang hukuman ang mundo kundi upang iligtas ang mundo. “May huhukom sa bumabalewala sa akin at hindi tumatanggap sa aking mga salita. Ang salitang binigkas ko ang huhukom sa kanya sa huling araw. Sapagkat hindi ako nangusap sa ganang sarili; ang nagsugo sa akin, ang Ama, siya mismo ang nag-utos sa akin kung ano ang sasabihin ko at paano ako magsasalita. Alam ko na buhay na walang hanggan ang utos niya. Kaya lahat ng binibigkas ko'y binibigkas ko gaya ng sinabi sa akin ng Ama.”   Pagninilay: Isinulat ni Sr. Gemmaria Dela Cruz ng Daughters of St. Paul ang pagninilay sa ebanghelyo.  Si Hesus Maestro ang ilaw ng sanlibutan at hindi mananatili sa kadiliman ang nananalig sa Kanya. Isa sa mga tanda ng Liwanag na dulot ng ating Hesus Maestro ay ang ating “conscience” o budhi.  Ang konsensya, handog ni Lord sa atin. Siya ang kislap ng inner voice na nag-uudyok sa atin na gumawa ng mabuti at maiwasan ang masama by all means.  Kapag sinabi natin na “it is against my conscience.”  Para na rin nating sinasabi na “Hindi ko ito kayang gawin sa harap ng Liwanag ng aking Tagapaglikha.” Kung tutuusin, ang sinumang hindi nakikinig sa sariling budhi, lumalabag sa dignidad natin bilang tao at bilang anak ng Diyos. Kaya't nararapat lang na hulmahin ang ating budhi at kamalayan. Sa tulong ng liwanag ng ating Hesus Maestro, i-wewelcome niya tayo sa School of Conscience. Ito ang magbibigay ng direksyon sa ating buhay. Una, ang self-criticism, pansinin at aminin kung namamali na ang ating iniisip, sinasabi at ginagawa, at ibalik sa tama. Gawin nating reference ang Liwanag ng Salita ng Diyos at ang Liwanag ng mga Turo ng ating Simbahan. Ikalawa ay ang reorientation.  Kung ano ang narinig, natutuhan at nakasanayan natin mula nang bata pa tayo, ito ang basehan ng ating mga decisions at actions. Kung hindi naging tama ang orientation sa atin, kaya pa nating i-restore. Kaya't lagi tayong magbabad sa liwanag ng ating Banal na Tagapagturo. Sa self-criticism at reorientation, liliwanag din tayo sa loob at labas ng ating pagkatao.       

BBC Introducing in Oxford
Lilypads + Manpreet Kundi

BBC Introducing in Oxford

Play Episode Listen Later Apr 18, 2024 120:06


Hello from BBC Introducing in Oxfordshire and Berkshire! This week, Dave catches up with nostalgic duo Lilypads and Alex meets South Asian singer-songwriter Manpreet Kundi at Asian Tones. Noice.Here's this week's tracklist: • BeNNs - Velocity Tendertwin - Asking m4x - Summer Dress Tilly Valentine - What You Go Through BlckHry - Let The Sun Shine Michy Tree - Noise The August List - God Is In A Wire Jonny Bombay - Sometimes I Worry Zoe Badman - Power dg - stay Leopard Boy - Colour Blind Meredith Baker - Alchemy Lilypads - Too Many Times Marisa And The Moths - Just Like Me Sandrelli - Chase Me Charlie Manpreet Kundi - Unresolved Annie Dog - Double Cherry Franz Siren - Mind Games Freddie Bailey - Want You To Want Me Steve Daniels - Long Goodbye Cities In Dust - The Mother Bevendene - Artwork On The Floor The Manacles Of Acid - Well I Was Cool Henry Taylour - Ghosts • If you're making music in Oxfordshire and Berkshire, send us your tunes with the BBC Introducing Uploader: https://www.bbc.co.uk/introducing/uploader

Alfajiri - Voice of America
Umoja wa Mataifa waomba kushirikishwa kwenye harakati za kurejesha usalama mashariki mwa Congo, na hasa dhidi ya kundi la M23 - Februari 06, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 6, 2024 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Jioni - Voice of America
Mahakama nchini Kenya imemfungulia mashtaka kiongozi wa kundi la kidini anayeshukiwa kusababisha vifo vya watoto takribani 200 - Februari 06, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Feb 6, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Jioni - Voice of America
Takriban watu 20 wadaiwa kuuwawa na kundi la waasi la RED-Tabara nchini Burundi. - Desemba 23, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 23, 2023 30:00


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Alfajiri - Voice of America
Kundi la ukombozi wa Oromo na Ethiopia zashindwa kuafikiana - Novemba 22, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 22, 2023 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Alfajiri - Voice of America
Kundi la Viongozi Busara linamtaka Rais Biden kutumia wakati huu wa kihistoria kutangaza mpango wa amani kati ya Waisrael na Wapalestina - Novemba 17, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 17, 2023 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Jioni - Voice of America
Kundi la M23 linalopigana na wanajeshi wa DRC linadai kuwakamata wanajeshi wa Burundi likiwatuhumu kuwasaidia DRC kinyume na makubaliano - Novemba 06, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 6, 2023 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Jioni - Voice of America
Kundi la kwanza la raia wa kigeni waliokwama Gaza kufuatia vita kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wameanza kuondoka leo kuelekea Misri - Novemba 01, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 1, 2023 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Fr. Jade Shares
Fr. Jade Shares #565: Hindi kung sino sila kundi kung sino ka.

Fr. Jade Shares

Play Episode Listen Later Oct 11, 2023 10:23


Jesus was asked the neighbors whom to love, he answered by asking who axted as neighbor to the victim in the parable of the good samaritan. Jesus is saying to first become a good neighbor. Hindi kung sino ang bibigyan kundi maging taong mapagbigay. Hindi kung sino ang dapat mahalin kundi maging taong mapagmahal. [Luke 10:25-37, Monday of the 27th Week in the Ordinary Time]

SBS Filipino - SBS Filipino
‘Di lang para kumita kundi serbisyo sa komunidad:' Ang hamon at tagumpay ng isang Filipino shop sa Melbourne

SBS Filipino - SBS Filipino

Play Episode Listen Later Oct 10, 2023 14:02


Sa episode na ito ng #MayPERAan, ibinahagi ng negosyanteng si Joy Bernardo ang mga diskarte at hamon bilang may-ari ng Inang's Asiamart sa tatlong dekada.

Jioni - Voice of America
Kiongozi wa kundi la kijeshi lililofanya mapinduzi ya Niger atoa hotuba kwa mara ya kwanza - Agosti 03, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 3, 2023 30:00


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Cyber Insurance Leaders
Ep 24 - Changing the Insurance Narrative: How BOXX Is Predicting and Preventing Claims for Families and Small Businesses - with Vishal Kundi

Cyber Insurance Leaders

Play Episode Listen Later Jun 1, 2023 32:45


The cyber insurance industry has the power to redefine the meaning of 'insurance'—and that's exactly what Canada-based cyber insurtech company BOXX plans to do.In this episode, Vishal Kundi, CEO and Co-Founder of BOXX, chats with Anthony Hess about how his company is working closely with families and small businesses to not only compensate clients after an attack, but also debunk myths, reduce risk profiles, and predict vulnerabilities to prevent claims entirely. Vishal also offers advice to the future generation of insurance entrepreneurs and shares his thoughts on cyber underwriting and unlockable opportunities in emerging markets.In this episode, you'll learn:1. How BOXX is overcoming the big myths in cyber insurance today 2. Vishal's thoughts on risk selection at BOXX:  “The rhino factor”3. The novel opportunities BOXX is seeing around the world4. An Inside scoop on what led Vishal to create BOXX5. Advice for young professionals in the cyber industry_________About Vishal:Vishal is the CEO and Co-Founder of rapidly growing Cyber Insurtech, BOXX Insurance. Originally from London, Vishal's career has included roles in Hong Kong, Santiago, London, Dublin and Toronto. He launched BOXX in 2018 with a vision to make the world a digitally safer place and today works with a proven team of business builders, underwriting minds and product innovators._________About BOXX Insurance:BOXX Insurance Inc. helps businesses, individuals, and families insure and defend against cyber threats. Privately held with headquarters in Toronto, Canada, BOXX has global offices in Miami, Zurich, Dubai, and Mumbai. BOXX Insurance is an award-winning global cyber protection and insurance provider.They're serious about making the world a digitally safer place; creating real, positive changes for our clients and partners, and building a lasting legacy, from what they create, inside the BOXX. Every day they're improving the digital health of businesses, families, and individuals around the world who rely on BOXX's solutions and services to predict, prevent and insure them against cyber threats.Website: https://boxxinsurance.com/Industry: Cyber Security, Financial Services, Risk Management, Service IndustryCompany size: 11-50Headquarters: Toronto, Ontario, CanadaFounded: 2018_________About the host, Anthony:Anthony is passionate about cyber insurance. He is the CEO of Asceris, a company that enables its clients to respond to cyber incidents quickly and effectively. Anthony is originally from the US but now lives in Europe with his wife and two children. Get in touch with Anthony on LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/anthonyhess/ or email: ahess@asceris.comThis podcast is produced by our friends at SAWOO 

Habari za UN
15 MACHI 2023

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 15, 2023 0:13


Hii leo jaridani tunakuletea tunaangazia vurugu nchini Syria ambapo ni miaka 12 kamili tangu machafuko yalipozuka; na ripoti ya ILO inayosihi nchi zote duniani ziboreshe mazingira ya kazi ya watendaji hao. Makala tutaelekea nchini Bahrain na mashinani nchini Geneva, kulikoni?.Leo ni miaka 12 kamili tangu machafuko yalipozuka Syria na kusababisha vita inayoendelea tangu mwaka 2011 iliyosambaratisha nchi hiyo na mamilioni ya raia wake. Maelfu wamepoteza maisha, mamilioni wamekuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi yao na majanga mengine ya kila uchao yanazidi kuwaondelea matumaini raia wa taifa hilo la Mashariki ya Kati.Baada ya janga la COVID-19 kufichua ni kwa kiasi gani jamii ilikuwa haipatii wafanyakazi muhimu thamani wanayotakiwa ikiwemo malipo ya kutosha na mazingira bora ya kazi, hii leo shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani, ILO limetoa ripoti inayosihi nchi zote duniani ziboreshe mazingira ya kazi ya watendaji hao.Makala tunakupeleka nchini Bahrain katika mji mkuu wa nchi hiyo, Manama ambako mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani ulioanza tarehe 11 mwezi huu wa Machi umehitimishwa leo tarehe 15. Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ambaye ni Rais wa Kundi la Kijiografia na Kisiasa la Mabunge ya Afrika amezungumza na Anold Kayanda wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa kuhusu mambo kadhaa ikiwemo waliyoyajadili katika Mkutano huo.Na mashinani tunakupeleka Geneva, Uswisi kwa Neema Lugangira mshindi wa tuzo ya Umoja wa Mataifa ya mradi bingwa wa kutumia TEHAMA kuboresha afya na lishe miongoni mwa wazee.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!

Habari za UN
Tumejadili mambo mengi katika Mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani - Spika wa Bunge la Tanzania Dkt Tulia Ackson.

Habari za UN

Play Episode Listen Later Mar 15, 2023 0:04


Mkutano wa 146 wa Umoja wa Mabunge Duniani ulioanza tarehe 11 mwezi huu wa Machi na kujumuisha Mabunge ya Nchi Wanachama, Waangalizi wa Kimataifa na Majukwaa mbalimbali ya Kibunge ili kuchagiza Amani na kujenga Jamii Jumuishi na Kuvumiliana umehitimishwa leo tarehe 15 Machi 2023. Katika Mkutano huu Mabunge yameeleza namna ambavyo yameweza kufikia ushirikishwaji wa Vijana, Wanawake na Jamii kwa ujumla katika kulinda amani sambamba na kusisitiza kuheshimu mipaka ya kila mmoja wao. Dhima hii ni msisitizo wa malengo ya Maendeleo Endelevu hususani lengo namba 16 la Umoja wa Mataifa. Zaidi kuhusu yaliyojadiliwa Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ambaye ni Rais wa Kundi la Kijiografia na Kisiasa la Mabunge ya Afrika anatueleza yale waliyoyajadili katika Mkutano huo halikadhalika mtazamo wake kuhusu ripoti ya hivi karibuni ya IPU kuhusu idadi ya wabunge wanawake duniani. 

Habari za UN
Ujumuishi wa kifedha Tanzania unaimarika, lakini hatua zaidi zahitajika- Malkia Maxima

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 21, 2022 0:02


Mchechemuzi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia masuala ya ujumuishi wa kifedha kwa ajili ya Maendeleo UNSGSA Malkia Máxima Zorreguieta wa Uholanzi amefanya ziara ya siku tatu nchini Tanzania kujionea maendeleo ya nchi hiyo katika huduma za fedha kidijitali. Stella Vuzo ambaye ni Mkuu wa kitengo cha mawasiliano cha Umoja wa Mataifa nchini Tanzania aliambatana na Malkia Mexima katika ziara yake hiyo iliyoanza tarehe 17 mpaka 19 mwezi huu wa Oktoba na kutuandalia taarifa ifuatayo. Takwimu za Kundi la Benki ya Dunia zinaonyesha kuwa asilimia 52 ya watu wazima nchini Tanzania sasa wana akaunti ya benki.  Ilikinganishwa miaka ya 2011 na 2021, taasisi ya Takwimu ya Global Findex  inaonesha kuna tofauti ya asilimia 17 tu. Ongezeko hilo kwa kiasi fulani linaelezewa kutokana na sababu ya watu wengi kuwa na akaunti ya kidijitali.  Takwimu hizo pia zinaonesha uwepo wa pengo kati ya wanaume na wanawake wenye akaunti ambayo ni asilimia 13, hali inayoleta madhara kwa wanawake. Wakati wa ziara yake, Malkia Máxima alizungumza na wawakilishi wa serikali, mashirika ya maendeleo ya kimataifa, taasisi za fedha, mashirika ya teknolojia ya kifedha ama fintech na mashirika yasiyo ya kibiashara ambapo alizungumza na wahusika wakuu kuhusu kile kinachohitajika ili kuunganisha watu wasiojiweza zaidi na huduma za kifedha na kuwawezesha kushiriki katika uchumi jumuishi wa kidijitali. “Tunajua kupitia ziara yangu hii tutawaleta pamoja zaidi sekta binafsi na ya umma pamoja na serikali ili kuhakikisha wananchi wanatumia huduma za kifedha asilimia 100 na watu wengi wanaweza kuzifikia huduma hizo na kuwahakikishia kipato, mnepo na kuweka bima na akiba ili hata pale kunapotokea na msukosuko wa kiuchumi waweze kujikimu na kujiongezea fursa.” Alisema Malkia Maxima Katika ziara yake nchini Tanzania, Malkia Maxima alitembelea kijiji cha Uduru makoa kilichopo Wilaya ya Siha, mkoa wa Kilimanjaro ambapo alikutana na wakulima wanaonufaika na mradi wa acre fund unaowapa bima ya kilimo na ufugaji. Wakulima waliojiunga na mradi huo walimfahamisha Malkia kwamba waliweza kunufaika na fedha za kijikimu, kulipa ada za watoto na kupata fedha za kununua mbegu za msimu uliofuatia wa kilimo pamoja na kunufaika na matumizi ya mbegu bora zinazozalisha zaidi. Mwakilishi huyo Maalum wa Katibu Mkuu, alizungumza na waanzilishi pamoja na wakulima wa ndani kuhusu bidhaa za bima za ACRE Afrika. Shirika hili hutumia taarifa na takwimu za hali ya hewa kutoka kwenye satelaiti na vituo vya hali ya hewa vinavyojiendesha vyenyewe kukadiria hali ya shamba na uharibifu unaowezekana kwa mavuno. Wakulima, hao wanaomiliki mashamba yao binafsi, hupewa kadi maalum za kukwangua ambazo hujazwa kiwango cha kuweka bima ya mazao yao dhidi ya ukame au mafuriko  kulingana na bajeti na mahitaji yao. Baadae wao hupata malipo ya bima bila hata kudai. 

Machong Chismisan
Machong Chismisan S15E09: Tamis ng unang beses

Machong Chismisan

Play Episode Listen Later Sep 12, 2022 53:32


SBS Swahili - SBS Swahili
Djuma "maandalizi yetu kwa mashindano ya mwisho wa mwaka yana endelea vizuri"

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jul 20, 2022 4:11


Kundi la vijana kutoka jamii yenye asili ya Jamhuri yakidemokrasia ya Congo wanao ishi mjini Sydney, lina ongeza kasi ya maandalizi kwa mashindano ya mchezo wa mpira wa miguu ya mwisho wa mwaka.

The Wellness Entrepreneur Podcast
Expand Your Energetic Bandwidth with Zoe Swan

The Wellness Entrepreneur Podcast

Play Episode Listen Later Jul 18, 2022 77:17


Are you able to utilise your own wellness toolkit for yourself? Have you considered ways to fully integrate wellness into all aspects of your life?   Wellness can often be seen as something separate and not integrated within workspaces or even life more generally. We have wellness moments but it is not embedded culturally as something that can support us to grow our capacity to energetically deal with the stress of life.    In this episode of The Wellness Entrepreneur Podcast we speak with Zoe Swan about just this and we explore how the act of committing to embedding a wellness practice can have such a positive impact. Zoe shares with us how we can use self awareness to unlock the ongoing issues of chronic low level stress that so many of us experience, sometimes unknowingly.    Listen to the full episode, where we discuss: Zoe's journey from corporate law and lecturer to Kundalini yoga instructor What Kundalini yoga is and how it can benefit you The issues within the corporate world with a lack of self care and wellbeing being embedded How sobriety became a catalyst for change in Zoe's life and business The impact of chronic low level stress on people's lives The importance getting out of your head and being present within your body The amazing details of the Kundalini Yoga session at the Wellness Revolution Festival.   Zoe shares some ‘Kundi hacks' with us and supports us to think about how we can truly expand our energy and make both our life and business more fulfilled. With an elevated awareness of our vision Zoe truly encourages us that we can make it a reality.   Her depth of passion for us to experience what self awareness can bring to everyone will inspire you.    Are you truly embedding your own wellness practices to expand your energetic bandwidth? And do you realise the potential that lies within it?   Listen to this episode and then drop into my Insta DMs and let me know!   Find the FULL SHOW NOTES here. __________________________________________ DOORS TO THE COLLECTIVE ARE OPEN NOW - https://www.kirstykianifard.com/collective ___________________________________ Zoe Swan Instagram - https://www.instagram.com/zoe.swan/ Website -https://www.thepracticeofwellbeing.com/ _____________________________________________________ IF YOU ENJOYED THIS EPISODE, YOU MAY ALSO LIKE:  Cracking the Mindset Code with Lisa Denniss https://podcasts.apple.com/gb/podcast/cracking-the-mindset-code-with-lisa-denniss/id1455716065?i=1000530368922 Radical Self Love Secrets for Success with Sabi Kerr https://podcasts.apple.com/gb/podcast/radical-self-love-secrets-for-success-with-sabi-kerr/id1455716065?i=1000490050556 __________________________ Say hi to Kirsty Kianifard on social: Clubhouse: https://www.joinclubhouse.com/@kirstykianifard Facebook: https://www.facebook.com/kirstykianifard/ YouTube: https://www.youtube.com/user/KirstyKianifard Instagram: http://instagram.com/kirstykianifard  

SBS Swahili - SBS Swahili
Kundi la M23 lasababisha mvutano kati ya Rwanda na DR Congo

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Jun 1, 2022 5:51


Mitaa ya Kinshasa imeshuhudia maandamano baada ya tuhuma kuibuka za Rwanda kuunga mkono waasi wa M23.