Podcasts about tayari

American writer (born 1970)

  • 60PODCASTS
  • 105EPISODES
  • 24mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Aug 25, 2025LATEST
tayari

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about tayari

Latest podcast episodes about tayari

Desi Hain Hum
Hartalika teej tayari

Desi Hain Hum

Play Episode Listen Later Aug 25, 2025 4:37


Checklist of teej poojan

SBS Swahili - SBS Swahili
Kenya, Uganda na Tanzania tayari kwa sherehe ya soka

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Aug 4, 2025 5:39


Wapenzi wa soka barani Afrika wana elekea Kenya, Uganda na Tanzania kuhudhuria michuano ya Afrika iliyo ahirishwa mwaka jana.

Men. Men. Men. - The Podcast -
Bro, Upo Tayari kuwaunga Mkono Wanawake?

Men. Men. Men. - The Podcast -

Play Episode Listen Later Jul 1, 2025 40:26


In this powerful live episode of Men Men Men – The Podcast, recorded in front of an audience in Dodoma, host Michael Baruti and co-host Nadia Ahmed (Psychologist) lead an honest and eye-opening conversation on how men and boys can actively support the journey toward gender equality in Tanzania.Joined by a dynamic all-male panel Faraja Mazengo, a Social Worker, Hussein Hussein, an Educator, and Frank Mika, a Financial Literacy Expert—the discussion explores the roots of gender inequality, the role of Tanzanian culture, the power dynamics at play in homes and communities, and the practical steps men can take to be better allies.From confronting personal bias to reshaping how boys are raised, this episode challenges men to move from awareness to action—and gives the audience real tools to help build a more equal society for all.Highlights include:How male privilege shows up in everyday lifeWhy gender equality is not a women's issue—it's a societal issueWays men can support girls' education and women's financial empowermentThe importance of emotionally intelligent fatherhood and brotherhoodHonest reflections from men working in education, finance, and social workThis is not just a conversation, it's a movement.Tune in, reflect, and join the journey toward equality.

Habari za UN
Vita Sudan yamsababishia Walaa tatizo la afya ya akili

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 3:46


Tarehe 15 mwezi April imwaka 2023 wananchi wa Sudan hususan mji mkuu Khartoum waliamshwa na mapigano kati ya jeshi la serikali SAF na wanamgambo wa kikosi cha msaada wa haraka RSF. Hadi leo hii mapigano hayo yanazidi kushika kasi na raia wanafurushwa makwao. Miongoni mwao ni watoto ambao zahma wanayokutana nayo sio tu kufurushwa bali pia changamoto ya afya ya akili. Tayari shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limeona shida hiyo na limeanza kuchukua hatua kama anavyosimulia Assumpta Massoi kwenye makala hii. 

Habari za UN
Mtoto aliyebakwa na kutiwa ujauzito DRC asema "siko tayari kuwa mama"

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 11, 2025 1:58


Mtoto mmoja alibakwa katika kila nusu saa huko Mashariki mwa Jamhuri ya ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wakati mapigano yaliposhika kasi mwanzoni mwa mwaka huu kati ya jeshi la serikali FARDC na waasi wa M23, katikati ya ufadhili finyu wa kifedha, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF. Anold Kayanda na maelezo zaidi.

Bible Bard
swahili_BB-79 Kibiblia Wageni Tayari Wapo Hapa

Bible Bard

Play Episode Listen Later Mar 18, 2025 29:05


swahili_BB-79 Kibiblia Wageni Tayari Wapo Hapa

Mufti Tariq Masood
Amad E Ramzan Aur Uski Tayari|Mufti Tariq Masood Speeches

Mufti Tariq Masood

Play Episode Listen Later Feb 28, 2025 85:22


(0:00) Intro(0:57) Qur'ani Aayat, Hadis(1:21) Ramadan 2023(1:32) Ramazan K Rozy Kab Farz Huay?(2:53) Roza: Jism ki Zakaat(3:10) Roza: Rooh ki Zakaat(4:10) Khahishat ki Bhook (Neend, Khana Peena, Jinsi Khahish, Luxury Life)(8:20) Jismani Bhook ka Ehsas(11:07) Chai, Coffee, Cigarette Addiction(14:00) Mufti sb Ny Jab Cigarette Piya?(14:46) Drugs Addiction Se Mind Fresh Hota Hai?(16:47) Ramazan ki Pabndiyon Se Faida(19:39) Kamyabi: Islam ki Pabndiyon mn(22:56) Who is Depressed?(24:15) Ziddi Bachy?(25:39) Mtm's Relative Saying (Oopr Tly Bachon k Msail)(28:38) Bachon ki Nafsiyat(30:03) Khany mn Bachon k Nakhron ka Ilaj(33:03) Is Clip ki Wzahat (Bachon ko Cheeni Khilana)(35:34) Khahishat ka Barrier(37:03) Rooh ki Khushi Kis mn Hai? (Halal ki Barkat)(43:09) Musalmano mn Khud Kushi Na Hony ki Wja(45:47) Mehngai K Bavjood

ISLAMIC HUB.
Ramadan Ki Sabse Badi Tayari Molana Tariq Jameel Latest Bayan

ISLAMIC HUB.

Play Episode Listen Later Feb 27, 2025 12:06


Ramadan Ki Sabse Badi Tayari Molana Tariq Jameel Latest Bayan--------------------------

Alfajiri - Voice of America
Rais wa Uturuki Reccep Tayip Erdogan asema kwamba yupo tayari kuongoza mazungumzo ya amani ya Sudan - Desemba 18, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 18, 2024 29:58


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Alfajiri - Voice of America
Zaidi wa wamarekani milioni 15 tayari wamepiga kura za mapema wiki mbilli kabla ya siku ya uchaguzi kufika. - Oktoba 23, 2024

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Oct 23, 2024 29:57


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Jioni - Voice of America
Waalimu wa KUPPET nchini Kenya wamesitisha mgomo wao ulioanza Jumatatu wiki iliyopita na wapo tayari kufanya mazungumzo mapana na serikali. - Septemba 02, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Sep 2, 2024 29:58


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Habari RFI-Ki
Sudan : Kiongozi wa kijeshi asema yuko tayari kwa vita na hatashiriki mazungumzo ya amani

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 26, 2024 9:44


Katika makala haya tunajadili  hatua ya kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, kusema hataki mazungumzo yoyote yatayohusisha wapiganaji wa RSF, akisema jeshi liko tayari kupigana hata kwa miaka 100. Matamshi yake yamekuja wakati huu Marekani ikiongoza juhudi za kupata mwafaka wa mani kati yake na vikosi vya RSF.

Habari RFI-Ki
Sudan : Kiongozi wa kijeshi asema yuko tayari kwa vita na hatashiriki mazungumzo ya amani

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 26, 2024 9:44


Katika makala haya tunajadili  hatua ya kiongozi wa kijeshi nchini Sudan, kusema hataki mazungumzo yoyote yatayohusisha wapiganaji wa RSF, akisema jeshi liko tayari kupigana hata kwa miaka 100. Matamshi yake yamekuja wakati huu Marekani ikiongoza juhudi za kupata mwafaka wa mani kati yake na vikosi vya RSF.

Jukwaa la Michezo
Timu ya Kenya yaanza kuwasili Miramas, Ufaransa tayari kwa Olimpiki

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Jul 13, 2024 23:54


Tuliyokuandalia ni pamoja na droo ya hatua ya awali kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika msimu ujao, matokeo ya Monaco Diamond League, Team Kenya yaanza kuwasili Ufaransa tayari kwa Olimpiki, matokeo ya CECAFA Kagame Cup na tetes iza uhamisho pamoja na uchambuzi wa fainali ya EURO, Copa America na fainali za tenisi kwenye Wimbledon.

Jioni - Voice of America
Serikali ya Kenya yasema ipo tayari kufanya maandamano na waandamanaji. - Juni 23, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 23, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Kwa Undani - Voice of America
Mazungumzo kati ya Israel na wanamgambo wa Hamas hayana mwelekeo mwafaka. SADC tayari kupambana vilivyo na M23 - Mei 06, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later May 6, 2024 29:59


Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.

Sepetuko
Je, Nairobi Iko Tayari Kukabiliana na Mvua Kubwa?

Sepetuko

Play Episode Listen Later Mar 26, 2024 4:34


Mvua iliyonyesha usiku wa Jumapili imesababisha mauti na uharibifu mkubwa jijini Nairobi. Mvua hiyo imeonesha wazi jinsi miundomsingi iliyopo haina uwezo wa kustahimili mvua kubwa, hivyo kuna haja ya uekezaji wa kumaanisha katika miundomsingi ya ukusanyaji maji taka (drainage) ili kuwaepushia wakazi madhara.

Sumersingh Show
Shaadi ki Tayari ( Whats Going On Series )

Sumersingh Show

Play Episode Listen Later Mar 15, 2024 10:03


Shaadi ki Tayari ( Whats Going On Series ) --- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/sumersingh/support

Mufti Tariq Masood
Amad E Ramzan Aur Uski Tayari|Mufti Tariq Masood Speeches

Mufti Tariq Masood

Play Episode Listen Later Mar 7, 2024 85:22


Amad E Ramzan Aur Uski Tayari|Mufti Tariq Masood Speeches

Kwa Undani - Voice of America
Wachambuzi watoa maoni kuhusu kauli ya Rais Samia kulitaka jeshi kuwa tayari kwa kusimamia usalama wakati wa uchaguzi - Januari 23, 2024

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Jan 23, 2024 29:59


Gubbaare
# 245 Sir Walter Ki Tayari

Gubbaare

Play Episode Listen Later Dec 1, 2023 10:15


An inspirational story of precision, patience  and meticulous planning in life.

Jioni - Voice of America
Rais Ruto asema yuko tayari kutekeleza mapendekezo ya ripoti ya maridhiano ya kisiasa kati yake na Odinga - Novemba 27, 2023

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 27, 2023 29:59


Kwa Undani - Voice of America
Maoni ya mchambuzi baada ya Rais Ruto kusema serikali yake iko tayari kubinafsisha kampuni 35 za serikali - Novemba 23, 2023

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Nov 23, 2023 29:58


Hindustan Daily News Wrap
Bharat ko laga bada jhakta, Asia Cup ke pahle do match nahi khelenge KL Rahul | Sham ki Khabrein

Hindustan Daily News Wrap

Play Episode Listen Later Aug 29, 2023 4:37


Is episode me suniye, Bharat ko laga bada jhakta, Asia Cup ke pahle do match nahi khelenge KL Rahul, Chedkhani ke virodh par dasvi ke chatr ki peeth peeth kar hatya, school se ghar laut rahe the bhai bahen, LPG Cylinder 200 rupye sasta karne ki tayari, kabhi bhi ho sakta hai elaan

Hindustan Daily News Wrap
Karnataka me BJP ko lagegein aur jhatke, kai vidhayakon ko todne ki tayari me Congress | Sham ki Khabrein

Hindustan Daily News Wrap

Play Episode Listen Later Aug 18, 2023 14:46


Is episode me suniye, Karnataka me BJP ko lagegein aur jhatke, kai vidhayakon ko todne ki tayari me Congress, Seema Haider par kyun bhadk gai Sachin ko lappu jhingur kehne wali mahila, UP me do din hongi musladhar barish, Bihar ke liye bhi Alert

Kwa Undani - Voice of America
Viongozi wa mapinduzi nchini Niger hawako tayari kulegeza msimamo wao, asema mchambuzi - Agosti 08, 2023

Kwa Undani - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 8, 2023 29:59


Habari za UN
Je unafahamu kuwa kuna fursa ya ufadhili katika nishati safi na salama Tanzania?

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jul 31, 2023 0:05


Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la mfuko wa maendeleo ya mitaji UNCDF wakizingatia Utafiti wa Bajeti ya Kaya Tanzania Bara (2017/18), upatikanaji wa nishati safi na teknolojia ya kupikia ni asilimia 17.1 tu ya wakazi wa mijini na asilimia 2 ya wakazi wa vijijini. Kuongezeka kwa mahitaji ya nishati ya kuni kunatokana na ukuaji wa haraka wa miji, bei ya juu, na upatikanaji mdogo wa nishati mbadala. Ili kuondokana na changamoto hizi, Programu ya CookFund ambayo inatekelezwa chini ya UNCDF kwa kushirikiana na Wizara ya Nishati nchini Tanzania, ina nia kuongeza idadi ya watu kwa kutumia suluhu endelevu za nishati safi ya kupikia katika maeneo ya mijini. Tayari awamu ya kwanza ya ufadhili imeenda kwa makampuni 16 kama anavyosimulia Anold Kayanda katika makala hii. 

Syed Sarfraz Ahmad Shah
Book 05 Arzang-e-Faqeer - Session 05 - Rohani Kaifiyat Aur Bunyadon Ki Tayari

Syed Sarfraz Ahmad Shah

Play Episode Listen Later Jul 16, 2023 36:17


Book 05 Arzang-e-Faqeer - Session 05 - Rohani Kaifiyat Aur Bunyadon Ki Tayari

Habari za UN
Watu wanaoikimbia Sudan kuingia Sudan Kusini waendelea kupata msaada wa kibinadamu: WFP

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 5, 2023 0:02


Maelfu ya watu wamevuka na kuingia Sudan Kusini wakikimbia mzozo unaoendelea nchini Sudan. Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) liko linawasaidia wanaowasili lakini mzigo huu wa ziada unaweka shinikizo katika shughuli za shirika hilo ambazo tayari ziko katika hali mbaya ya ufadhili.Video iliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) inatupeleka katika Kaunti ya Renk iliyoko kaskazinimashariki mwa nchi ya Sudan Kusini inakopakana na Sudan.  Hapa ni kila mtu anajaribu kukumbatia kile alichofanikiwa kutoroka nacho akikwepa mabaya ambayo yangemkumba ikiwa angesalia Sudan ambako tangu tarehe 15 mwezi jana Aprili kunafukuta mapigano makali. Wanaobahatika wanabebwa na magari ya Umoja wa Mataifa, wengine punda na wengine wametembea mwendo mrefu kufika hapa.  Kwa mujibu wa WFP, zaidi ya watu 30,000 hadi sasa wamevuka mpaka kutoka Sudan na kuingia Sudan Kusini. Wengi wao ni waliorejea kwani walikimbia madhila hapa Sudan Kusini lakini nako ugenini Sudan kumechafuka, wamerejea.  Naimat Khamis, ni mmoja wa waliorejea anasema, "Tulilazimika kuja hapa kwa sababu ya mapigano ya Khartoum…tulilazimika kukimbia haraka iwezekanavyo kwa sababu ya vita…ilikuwa safari ngumu…tunataka kubaki na jamaa zetu hapa kwa sababu tumeteseka sana.” Hassan Abdallaziz, kijana mwenye umri wa miaka 17 huyu yeye ni raia wa Sudan kwa hiyo kwa Sudan Kusini yuko ukimbizi anasema, “Hali ya nchi ilinilazimu kuja hapa. Hakuna kitu kizuri kilichobaki nchini, hakuna kazi, ni machafuko. Mtu yeyote anaweza kupora mali yako, ni kama msitu." WFP tayari inawasaidia waliowasili na wanaowasili ikiwa ni pamoja na kuwapa chakula, kuwapima watoto, wajawazito na wanaonyonyesha, lakini mzigo huu wa ziada unaongeza chumvi kwenye kidonda. Mary-Ellen McGroarty ni Mkurugenzi wa WFP nchini Sudan Kusini akiwa mjini Juba anasema,  "Mgogoro huu umekuja katika wakati mbaya zaidi. Unajua nchini Sudan Kusini tunaingia katika msimu wa muambo na msimu wa mvua. Tayari tuna watu milioni 7.4 wanaohitaji msaada wa chakula. Hatuwezi kuwafikia wote kwa sababu ya changamoto za rasilimali. Tumelazimika kupunguza programu zetu kwa sababu ya vikwazo vikali vya ufadhili. Na sasa tena tunalazimika kuweka vipaumbele upya kati ya watu wenye njaa, hawa wapya wanaowasili, ambao wako hatarini sana.”  

Habari za UN
Jukwaa la vijana limetukutanisha na watunga sera za mataifa mbalimbali

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 26, 2023 0:03


Tayari tangu jana Aprili 25, Jukwaa la Vijana la Baraza la Umoja wa Mataifa la Kiuchumi na Kijamii (ECOSOC) la mwaka 2023 limeng'oa nanga ambapo maelfu ya viongozi vijana kutoka duniani kote wanakusanyika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York kujadili pamoja na mambo mengine, masuala yanayolenga kuharakisha kujikwamua kutoka janga la COVID-19 na utekelezaji kamili wa Ajenda ya 2030 ya Malengo ya Maendeleo Endelevu. Jukwaa la Vijana ndilo jukwaa kuu la vijana kuchangia mijadala ya sera katika Umoja wa Mataifa, ambapo wanaweza kutoa maoni yao, wasiwasi wao, na kuzingatia suluhu zao za kibunifu ili kukabiliana na changamoto zinazokabili ulimwengu.Mmoja wa vijana wanaohudhuria Jukwaa hili ni Gibson Kawago anayechakata betri chakavu za kompyuta na kuzirejesha katika matumizi mengine ya uzalishaji nishati. Flora Nducha wa Idhaa hii ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa amezungumza na kijana huyu.  .

Habari za UN
Mada kwa kina: Chanjo dhidi ya Kipindupindu yaendelea Kivu Kaskazini, DRC

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 31, 2023 0:05


Kampeni ya utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu  iliyoanza tarehe 25 mwezi huu huko Kivu Kaskazini nchini jamhuri ya Kidemokraia ya Congo, DRC imekunja jamvi jana Jumanne ya tarehe 30 mwezi hu uwa Januari ambapo shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO lilizindua kampeni hiyo ya chanjo kwa wakimbizi wa ndani katika kambi ya wakimbizi hao ya Kanyaruchinya wilayani nyiragongo katika mji wa Goma jimboni Kivu Kaskazini.Mwandishi wetu wa DRC Byobe Malenga ambaye ameshuhudia uzinduzi huo amesema uliongozwa na Gavana wa jimbo la Kivu Kaskazini Jenerali Ndima Constant, na Mwakilishi wa shirika WHO nchini DRC kwa lengo la kuokoa mamia ya familia hususan za wakimbizi wa ndani ambao tayari makumi kwa makumi wameripotiwa kupata ugonjwa huo na wengine wamefariki dunia.Jean Bruno, ni Mkuu wa Ofisi ya WHO Kivu Kaskazini na anasema ameridhishwa na shauku ya siku ya kwanza na zaidi ya yote amesema,« Tumewalenga watu 364,127 ambao ni wakimbizi wa ndani, pamoja na familia zinazowapokea. Tayari tumepokea dozi 364,150 ambazo zipo na zitatumika. chanjo itafanyika kwa awamu ya dozi moja na tutafanya hivyo kupitia kampeni ya nyumba kwa nyumba kwenye maeneo haya . Tumeridhika na ukweli ni kwamba kumekuwa na dhamira muhimu kwa upande wa serikali kwenye ngazi ya taifa na mkoa, lakini pia tumekuwa na hakikisho kutoka kwa jamii ya watu na wakimbizi wa ndani ambayo imekubali chanjo hiyo ambayo itafanyika kwa wakati».Eneo la Nyiragongo lilipokea idadi kubwa ya watu waliokimbia makazi yao kutokana na mashambulizi yanayofanywa na waaasi wa M23 huku watu 233 elfu waliokimbia makazi yao, zaidi ya 95% yao wamelundikana kwenye makanisa, shule, viwanja vya michezo na maeneo yasio salama kwa afya yao.Gavana wa Kivu Kaskazini, Jenerali Ndima Constant, anakiri kwamba janga la kipindupindu linaathiri sana eneo la Nyiragongo akisema kwamba hadi Jumanne ya Januari 24  wagonjwa 3706 wa kipindupindu walisajiliwa huku kukiwa na vifo 16 na ili kupunguza mlolongo wa maambukizi amewasihi raia kupata chanjo akishukuru WHO kwa msaada wao.« Madhumuni ya kampeni hii  ya chanjo ni kulinda idadi ya watu dhidi ya kipindupindu katika jimbo la Kivu Kaskazini na hasa katika maeneo ya watu waliofurushwa ili kupunguza vifo. Mabibi na mabwana, wageni mashuhuri, ili kufunga maoni yangu, ningependa kuwakumbusha kuwa pamoja na chanjo utakayopokea, kufuata hatua za kuzuia maambukizi ni muhimu..”Ametaja njia za kujikunga kuwa ni pamoja na kunawa mikono mara kwa mara kwa maji safi na sabuni au majivu, kunywa maji yaliyotakasishwa tu au yaliyochemshwa. Kupika na kufunika milo yetu, matumizi sahihi ya vyoo huku tukiwa wasafi na kuweka usafi kwenye maeneo yetu ya makazi  kila wakati.Waliokimbia makazi yao wanafahamu tishio hilo kwa sababu janga hilo limeathiri zaidi ya 89% ya waliokimbia makazi katika miezi ya hivi karibuni na chanjo inatekelezwa nyumba kwa nyumba.Watu waliohamishwa wanasubiri dozi zao nyumbani. Damaseni Butera ni miongoni mwa watu wa kwanza kupata dozi moja dhidi ya kipindupindu na anashukuru mpango huu wa WHO na anasema, «chanjo ni muhimu sana katika mapambano dhidi ya magonjwa kama kipindupindu, malaria na mengine.Tumejifunza habari kuhusu chanjo hiyo, tumefurahi sana kwa sababu tutakuwa na kinga, asante sana kwa shirika la WHO ambalo lilitufikiria. Asante sana»Kando na hilo, Mweze Shemba, aliyekimbia kutoka kijiji cha Kiwanja, pia alinufaika na chanjo hii. Licha ya njaa,yeye anapendelea kujilinda pamoja na familia yake dhidi ya janga hili akisema, «kilichonifanya nipate chanjo ya leo hapa katika kambi ya wakimbizi ni kwa sababu tunapatwa na magonjwa ya taabu. kama vile kuharana kutapika hasa tunapokunywa maji machafu. Lakini wakati tunapata hii chanjo tunaona kama vile ni kinga kwetu tunashukuru sana »Katika juhudi za kuepusha msongamano wa wagonjwa wa janga hili , WHO ilijenga vitalu 3 kama kitengo cha matibabu ya wagonjwa wa Kipindupindu (UTC) katika eneo la Bushagara na…

Habari za UN
Wafugaji wa Somaliland wanufaika na mradi wa kuvuna maji ya mvua

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 11, 2023 0:02


Katika kusaidia jamii hususan za vijijini kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO nchini Somalia linatekeleza mradi wa kisasa wa kuvuna na kuhifadhi maji ili kuweza kuwasaidia wananchi wa vijiji vitatu ambao wanajishughulisha na kilimo na ufugaji.wakulima na wafugaliKatika kusaidia jamii hususan za vijijini kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO nchini Somalia linatekeleza mradi wa kisasa wa kuvuna na kuhifadhi maji ili uweza kuwasaidia wananchi wa vijiji vitatu ambao wanajishughulisha na kilimo na ufugaji.Wakulima na wafugaji wa maeneo ya Qardho, Puntland na Xabaale huko Somaliland kwa miaka mingi walikuwa wakitegemea maji kutoka visimaji ili kuweza kuendeleza shughuli za kilimo na ufugaji lakini gharama kubwa za kuvuta maji kisimani kwakutumia jenereta ziliwawia vigumu kuendesha shughuli zao za kuwapatia kipato hususan wakati wa kiangazi.Ni kutokana na changamoto hiyo, FAO nchini Somalia chini ya ufadhili wa Muungano wa Ulaya ikaanzisha programu ya usimamizi wa maji na ardhi ijulikanayo kama SWALIM- yani Somalia Water and Land Management ambapo kwa kushirikiana na viongozi wa maeneo hayo matatu, watunga será na wadau wa taasisi nyingine wakaanzisha mradi wa kuvuna maji ya mvua na kuyahifadhi katika mabwawa madogo yaliyochimba pamoja na matanki ya maji na ili kupunguza gharama, utuaji wa maji hayo sasa utafanyika kwa nishati ya jua, yani umeme wa Sola. FAO pia imetoa mafunzo ya ukulima bora unaozingatia mabadiliko ya tabianchi na matumizi bora ya maji kwa wana jamii na kisha kutoa vifaa vya umwagiliaji kwa kaya 4700 ambazo sasa zipo tayari kuboresha maisha yao kama anavyoeleza Nasma Baadri Aw Mohamed, mkulima huko XabaaleNasma Baadri Aw Mohamed- Mkulima wa Xabaale anasema, “Tunasubiria kwa hamu mradi huo wa kuvuna maji ukamilike. Tutaweza kumwagilia mashamba yetu, kupanda mboga za majani katika mashamba yetu na pia maji yakiwa yanapatikana katika maeneo yetu mifugo yetu itapata maji ya kutosha, kitu ambacho walikuwa wanakosa hapo awali”Mbali na kuwawezesha wananchi, Afisa rasiliamli ardhi wa FAO Ali Ismail Ibrahim anasema Ali Ismail Ibrahim, Afisa rasiliamli ardhi wa FAO anasema, “Malengo ya mradi huu ni kuwajengea uwezo watendaji wa serikali kwenye maeneo ya ardhi na maji na pia tumeanzisha kituo cha usimamizi wa taarifa”Tayari vituo viwili vimeanzishwa huko Puntland na Somaliland na vina wafanyakazi wa kujitolea waliopewa mafunzo na FAO ili kusaidia usimamizi bora wa rasilimali za ardhi na maji.Mkurugenzi wa kituo cha Puntland Abdinur Ali Jama anasema …Abdinur Ali Jama, Mkurugenzi wa kituo cha Puntland anasema, “Kituoni hapa tunatoa taarifa zihusianazo na utabiri wa mvua, ukame na usimamiz wa taarifa za ukame katika eneo hili“.

Habari za UN
WFP na GEP kwa kufanikisha mlo shuleni Burundi tayari inaonesha matokeo – UNICEF

Habari za UN

Play Episode Listen Later Jan 6, 2023 0:01


Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF linaripoti kuwa huduma ya chakula katika baadhi ya shule za msingi nchini Burundi tayari inaonesha matokeo chanya kuanzia mahudhurio shuleni na katika upande wa taaluma.Burundi, nchi yenye udongo mzuri wenye rutuba ambayo kama si mabadiliko ya tabianchi kuathiri baadhi ya maeneo, changamoto ya kukosekana kwa chakula ingekuwa simulizi tu za kufikirika.Lakini kama anavyoeleza Leandre Nkuzimana ambaye ni Mkurugenzi wa elimu katika eneo la Kirundo ni kuwa mabadiliko ya tabianchi ni kitu halisi na mfano halisi ni athari kwa mavuno ya eneo la Kirundo na hivyo kufanya wakati mwingine watoto kutoenda shule na wengine wakienda kufanya kazi za vibarua katika maeneo mengine ya mbali yenye mavuno.UNICEF inatoa shukrani kwa msaada wa Ubia wa Kimataifa kwa ajili ya Elimu (GEP) kwa kushirikiana na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani (WFP) wamefanikisha mlo katika baadhi ya shule nchini Burundi na watoto zaidi ya elfu thelathini katika shule takribani 40 wamefaidika na mradi huu wa mlo shuleni.Fabrice Ntirandekura ni mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi Kibonde ni shuhuda, “Tunapata chakula katika kantini ya shule. Hii inatufanya tuwe na ari ya kwenda shule kwa sababu bila chakula wanafunzi wengi wanaacha shule na wanasalia watoto wachache sana.”

Habari za UN
Lengo la ujumuishi kwenye elimu na kutomwacha mtu yeyote nyuma ladhihirika Tanzania

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 19, 2022 0:05


Umoja wa Mataifa unatambua kuwa elimu ina uwezo mkubwa wa kumuinua mtu kiuchumi na kijamii, kwa maana ya kwamba ni silaha mujarabu ya kuondokana na umaskini. Kupitai malengo ya maendeleo endelevu, SDGs, hususan lengo namba 4, Umoja wa Mataifa unataka elimu bora tena isiyomwacha mtu yeyote nyuma, kwa misingi ya rangi, eneo aliko au hali ya mwili wake. Tayari nchi na mashirika ya kimataifa na yasiyo ya kiserikali yanafanikisha lengo hilo, mfano humo nchini Tanzania katika mkoa wa Morogoro ulioko mashariki mwa taifa hilo la Afrika. Shirika moja kutoka Korea Kusini  kwa ushirikiano na shirika la SAWA Tanzania wamefanikisha uwekaji wa vifaa kwenye maktaba ya mtandao au eLibray katika shule ya awali na msingi ambayo ni jumuishi na sasa walimu, wazazi na wanafunzi wameona nuru. Nini kimefanyika? Basi shuhuda wetu ni Hamad Rashid wa Radio WAshirika MVIWATA FM kutoka Morogoro nchini Tanzania. 

Habari za UN
Changamoto la uhaba wa maji Turkana nchini Kenya laanza kupatiwa majawabu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Dec 9, 2022 0:04


Janga litokanalo na mabadiliko ya tabianchi ni janga pia la haki za watoto, linasema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto duniani, UNICEF. Shirika hilo linasema mabadiliko ya tabianchi yanajidhihirisha kwenye ukame, vimbunga, mikondo joto, mafuriko na magonjwa Vyote hivyo vinaathiri zaidi watoto. Tayari nchini Kenya, katika kaunti ya Turkana, UNICEF na wadau wametambua changamoto hiyo na wamechukua hatua kurejesha tabasamu si tu kwa watoto bali pia kwa familia zao kupitia miradi mbalimbali, huku shirika hilo likitoa wito kwa serikali ya Kenya kuendelea kupatia kipaumbele huduma za nishati ya kufanikisha huduma za maji, nishati kama vle ya jua na upepo. Thelma Mwadzaya anamulika kwa kina kilichofanyika katika Makala hii iliyoandaliwa na UNICEF. 

Habari za UN
Mradi wa vyoo unaofadhiliwa na UNICEF wasaidia kupunguza kipindupindu

Habari za UN

Play Episode Listen Later Nov 21, 2022 0:02


Nchini Kenya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya watoto UNICEF kwakushirikiana na wadau wake wameanzisha mradi wakujenga vyoo uitwao Fresh Life lengo ni kusaidia kuhakikisha wananchi wanapata ufikiaji wa vyoo safi, salama pamoja na usafi wa mazingira na matokeo yake ni kupunguza ugonjwa wa Kipindipindu kwa kiingereza Cholera.Tayari mradi huo umewanufaisha zaidi wa wakazi 120,000 wa mijini akiwemo mama huyu mwenye nyumba yenye wapangaji zaidi ya 32 ambaye ameishi bila choo kwa zaidi ya miaka 10. Anaanza kwa kijitambulisha.....

Habari za UN
20 OKTOBA 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Oct 20, 2022 0:11


Hii leo katika Jarida la Umoja wa Mataifa tuna Mada kwa Kina ikimulika harakati za kutokomeza ujinga wa kutokujua kusoma na kuandika kupitia elimu ya watu wazima au ngumbaru huko nchini  Kenya. Tayari wanufaika wameanza kuona matunda. Thelma Mwadzaya anakupitisha katika mtaa wa mabanda wa Kiambiu, huko Eastleigh jijini Nairobi. Habari kwa ufupi inamulika usaidizi wa WFP kwa Somalia, ziara ya Priyanka Chopra-Jonas, balozi mwema wa UNICEF huko Turkana nchini Kenya, halikadhalika ziara ya Katibu Mkuu wa UN nchini India, Antonio Guterres alikozindua mtindo bora wa maisha wa kuwezesha kuhifadhi sayari dunia. Na leo kujifunza kiswahili tunakuletea methali isemayo,  Paka hakubali kulala chali, mchambuzi ni Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa BAKIZA, Zanzibar nchini Tanzania. Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!

Song Exploder
Book Exploder: Tayari Jones - An American Marriage

Song Exploder

Play Episode Listen Later Sep 28, 2022 18:26


Tayari Jones is the author of four novels. She won the 2019 Women's Prize for Fiction, and received a Lifetime Achievement Award in Fine Arts from the Congressional Black Caucus. Her novel An American Marriage was an Oprah's Book Club Selection, and was longlisted for the National Book Award. She won the NAACP Image Award for Outstanding Literary Work in Fiction. An American Marriage tells the story of Celestial and Roy, a Black middle-class couple living in Atlanta. Their lives are torn apart after Roy is wrongfully convicted of a crime he did not commit, and the middle of the book takes the form of letters they send each other while he's in prison. In her discussion with Susan, Tayari discusses the letter Celestial sends to Roy to tell him she is leaving him. For more, visit bookexploder.com/episodes/tayari-jones.

SBS Swahili - SBS Swahili
Wafanyakazi wako tayari kuwasili Australia kujaza mapengo ya ajira

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Sep 4, 2022 7:57


Serikali ya shirikisho imesema ita harakisha ujio wa wafanyakazi kutoka visiwa vya Pasifiki nchini Australia, kwa ajili yaku shughulikia uhaba mkubwa wa wafanyakazi katika sekta ya kilimo.

Habari za UN
Shehena ya nafaka kutoka Ukraine yawasili Djibouti

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 31, 2022 2:08


Hatimaye meli iliyokodiwa na Umoja wa Mataifa iliyokuwa imepakia tani 23,000 za ngano kutoka Ukraine inayopeleka kwa mamilioni ya watu wenye uhitaji wa chakula nchini Ethiopia ilitia nanga katika nchi jirani ya Djibouti. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Leah Mushi Ukame mkali kwa zaidi ya misimu minne mfululizo umewaacha watu milioni 22 kutoka nchi za pembe ya Afrika ambazo ni Ethiopia, Kenya na Somalia katika uhitaji mkubwa wa misaada ya kibinadamu.  Vita ya Ukraine na Urusi ilifanya hali kuwa mbaya zaidi kwa mataifa haya kwakuwa wanategemea nafaka kutoka Ukraine kwa ajili ya msaada wa chakula. Lakini sasa Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa chakula duniani WFP kanda ya Afrika Mashariki Mike Dunford anasema meli yenye shehena ya tani 23,000 za ngano imetia nanga katika bandari ya nchi jirani ya Djibouti tayari kusafirishwa kuingia Ethiopia. Dunford anasema “Chakula kilicholetwa na meli hii ya kamanda shujaa kitalisha watu milioni 1.5 kwa mwezi mmoja nchini Ethiopia. Hii italeta utofauti mkubwa sana kwa watu ambao kwa sasa hawana chochote. Na sasa WFP itaweza kuwapatia mahitaji yao ya kimsingi.” Tangu Umoja wa Mataifa kufanikisha kusainiwa makubaliano ya Mpango wa Nafaka wa Bahari Nyeusi ulioruhusu meli ya Ukraine kusafirisha nafaka, tayari meli takriban 114 zilizobeba shehena ya tani milioni 1.2 za chakula zimesafirishwa katika soko la kimataifa na maeneo ya misaada kama hii ilitoleta nafaka Ethiopia na Mkuu huyo wa Kanda wa WFP anasema...  "Tayari tumeona bei ya ngano imepungua kwa asilimia 15 duniani kote tangu mpango wa Bahari Nyeusi kuanza. Tunachotaka kuona ni chakula kinatiririka zaidi. Tunahitaji, kwa mtazamo wa WFP, mamilioni ya tani katika eneo hili. Nchini Ethiopia pekee, robo tatu ya kila kitu tulichokuwa tukisambaza kilitoka Ukraine na Urusi.”

Habari za UN
Wakimbizi wa Burundi wapewa vyeti vya kuzaliwa Tanzania

Habari za UN

Play Episode Listen Later Aug 29, 2022 2:01


Asante Tanzania mwanangu sasa atajulikana alipozaliwa :Mkimbizi Evangeline  Familia za wakimbizi wa Burundi wanaoishi kwenye kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma nchini Tanzania wameishuru serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki kwa kuwapatia nyaraka muhimu za watoto wao, vyeti vya kuzaliwa wakati wa ziara ya Kamisha Mkuu wa wakimbizi Filippo Grandi iliyokamilika mwishoni mwa wiki. Happiness PPalangyo na taarifa zaidi (TAARIFA YA HAPINESS PALANGYO) Katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu Kigoma familia hizi za wakimbizi zinafurahia kitu ambacho wengi wanakiona cha kawaida kabisa na hawakitilii maanani, vyeti vya kuzaliwa . Miongoni mwa waliokabidhiwa vyeti hivyo na kamishina mkuu wa wakimbizi Filippo Grandi wakati wa ziara yake Kigoma ni Evangeline mkimbizi kutoka Burundi ambaye anasema   “Nyaraka hizi zitanisaidia kuonyesha wapi watoto wangu walipozaliwa na pia zitawasaidia kupata msaada”  Wakati wa ziara yake kambini hapo Grandi na wazazi hao wamekaribisha hatua hiyo ya Tanzania ya kuwasaidia kupata nyaraka muhimu ili waweze kupata huduma za msingi nchini humo, na siku moja watakaporejea nyumbani . Angelene anasema hadi sasa  “Tayari nimeshapokea vyeti viwili vya kuzaliwa vya watoto wangu na nasubiri cha mtoto wa tatu.”  Kwa upande wake Grandi amesisitiza kuwa “Kwa watoto wanaozaliwa ukimbizini kutokuwa na cheti cha kuzaliwa kunaweza kuwatumbukiza katika janga la kutokuwa na utaifa wakikua. Pia katika hali ya kusafirishwa hiki ni kitu kimoja muhimu. Ni muhimu sana wao kurejea nyumbani na kuwa na kitu kinachothibitisha utambulisho wao.”  Tanzania imekuwa ikikaribisha na kukikirimu wakimbizi kwa miongo mingi na hivi sasa inahifadhi zaidi ya wakimbizi na waomba hifadhi 240,000 wengi wakiwa ni kutoka Burundi na Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo DRC. 

Jioni - Voice of America
IEBC yasema ipo tayari kwa uchaguzi wa Kenya - Agosti 01, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 1, 2022 29:59


Tume ya uchaguzi ya Kenya, imesema kwamba maandalizi ya uchaguzi mkuu wa wiki ijayo yamekamilika. UN yataka uchunguzi kufanyika wa mauaji ya walinda amani wa MONUSCO, Kivu Kaskazini. Tanzania yaunda kamati kuchunguza utoaji wa mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu.

Alfajiri - Voice of America
China inasema iko tayari kuzisaidia nchi za eneo la Pembe ya Afrika kupata amani na kuondokana na kile ilichokiita uingiliaji wa nje - Juni 21, 2022

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 21, 2022 29:59


Mjumbe maalum wa China kwa Pembe ya Afrika Xue Bing alitoa maoni kwenye mkutano wa kwanza wa China juu ya utawala na maendeleo katika pembe ya Afrika unaofanyika nchini Ethiopia kwamba machafuko, mgawanyiko wa kikanda unaongezeka huku amani na maendeleo yanakabiliwa na upinzani

Well-Read Black Girl with Glory Edim
Tayari Jones Writes to Heal Her Readers

Well-Read Black Girl with Glory Edim

Play Episode Listen Later May 17, 2022 37:03


Glory speaks with author Tayari Jones about her award-winning novel An American Marriage. In this episode, the women talk about the healing power of Tayari's work, her long writing process, and the value of sisterhood in her life. Glory also talks about a heartfelt memento she received from the author that she keeps close by on her own writing desk.  See omnystudio.com/listener for privacy information.

Habari za UN
27 Aprili 2022

Habari za UN

Play Episode Listen Later Apr 27, 2022 13:57


Jaridani Aprili 27, 2022 na Leah Mushi kwanza ni habari kwa ufupi- Takriban dola bilioni 1.4 zimeahidiwa na wafadhili kwa ajili ya kusaidia nchi zilizoko katika pembe ya Afrika zinazokabiliwa na ukame mkali kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 40. Ahadi hizo zimetolewa jijini Geneva, Uswisi katika mkutano wa ngazi za juu ulioandaliwa na Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Misaada ya dharura -OCHA na Shirika la Muungano wa Ulaya la Ulinzi la Kiraia na Operesheni za Misaada ya Kibinadamu -ECHO, na kuhudhuriwa na wawakilishi wa serikali wa nchi zilizoathiriwa na ukame za Somalia, Kenya na Ethiopia. Ahadi hizo za fedha zitasaidia mashirika ya kibinadamu kutoa chakula cha dharura, lishe, fedha taslimu na usaidizi wa kiafya, pamoja na malisho na dawa ili kuweka mifugo hai. Tayari watu milioni 1 wameyakimbia makazi yao kutokana na ukosefu wa maji au malisho, na mifugo isiyopungua milioni 3 imekufa.   =====================================  Leo Aprili  27, Uingereza imetarifu Shirika la afya la Umoja wa Mataifa, WHO kuhusu kundi la wagonjwa wenye maambukizi ya Salmonella Typhimurium. Uchunguzi ulihusisha mlipuko huo na chokoleti inayotengenezwa nchini Ubelgiji, ambayo imesambazwa kwa angalau nchi 113. Tahadhari ya kimataifa ilitolewa na INFOSAN tarehe 10 Aprili, na kuanzisha mkakati wa kimataifa wa kurejeshwa kwa bidhaa. Kufikia sasa, jumla ya wagonjwa 151 wanaohusishwa na genetiki zinazoshukiwa kuhusishwa na ulaji wa bidhaa za chokoleti husika wameripotiwa  kutoka nchi 11. Hatari ya kuenea katika kanda ya Ulaya ya WHO na kimataifa inatathminiwa kuwa ya wastani hadi taarifa zipatikane juu ya urejeshaji kamili wa bidhaa hizo.    ============================= Na Binti mfalme Basma bint Ali wa Jordan leo ameteuliwa kuwa balozi mwema wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na kilimo, FAO kwa Mashariki ya Karibu na Kaskazini mwa Afrika.  Katika jukumu lake jipya Binti mfalme atasaidia FAO kuongeza ufahamu kuhusu umuhimu wa kubadilisha mifumo ya kilimo cha chakula duniani, ili kuondokana na changamoto za kuendelea na kukua kwa njaa.  Mkurugenzi Mkuu wa FAO QU Dongyu amesema kuwa Binti Mfalme amekuwa muungaji mkono wa muda mrefu wa FAO na mtetezi na mjuzi wa uhifadhi wa bayoanuai duniani kote na kusema, "Ufalme wake umeongeza ufahamu kwa watu wa Jordan na watu wote wa Mashariki ya Karibu. na Afrika Kaskazini  kuhusu umuhimu wa kuhifadhi mimea asilia na mifumo ikolojia na kukuza utafiti wa bayoanuai na ujifunzaji wa mazingira, ambayo ni msingi wa kuhakikisha mifumo endelevu ya chakula cha kilimo na kuboresha uhakika wa chakula.  Katika mada kwa kina  tutapata ujumbe kutoka kwa washiriki kutoka Burundi kwenye mkutano wa jukwaa la kudumu la watu wa asili ulioanza wiki hii. Na katika mashinani ni ujumbe wa rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu ufunguzi wa jukwaa la kudumu la watu wa asili.

Truth Lies Shenanigans™
Ep 29: Dr. Tayari Kuanda. Plus, Patrick Lyoya, Cam Newton, and Ukraine.

Truth Lies Shenanigans™

Play Episode Listen Later Apr 19, 2022 63:39


Guest: Dr. Tayari Kuanda, Professor and Entrepreneur, will share his road to success and talk about some of his projects, including his efforts toward racial equality. Topics: The murder of Patrick Lyoya and the policing of minor violations, Cam Newton's misogynistic comments, and the war in Ukraine. -------------------------------------Find out more about Dr. Kuanda:  https://linktr.ee/DrKuanda-------------------------------------Follow your Hosts: Gianni Storm- https://www.instagram.com/giannistormmm/RobBRoK - https://www.youtube.com/channel/UCn9HEd6jqKwM9SZe4YEDajwLiz-E- https://www.facebook.com/lize.enders.3Nio Nyx - https://www.tiktok.com/nio_nyx------------------------------------Check Out the After Show: www.TLSfans.comSupport the show (https://www.paypal.com/donate?hosted_button_id=52QR3YKJZ4PAS)

Beauty Talk with Denise & Janice Tunnell
Beauty Talk with Barber Tayari "Groomcity" Edwards

Beauty Talk with Denise & Janice Tunnell

Play Episode Listen Later Mar 14, 2022 74:00


We are Excited about this Sunday night's show.  Join us LIVE at 9pm EDT/6pm PDT for Beauty Talk.  We are speaking with Tayari "GroomCity" Edwards, a Professional Barber perfecting the game! Tayari joins us to talk about his career as a Barber, What its like to groom some of Hollywood's finest, and his work on The Fresh Prince of Belair reboot, Bel-Air.  This is one that you are not going to want to miss. Please tell a friend and join us for Beauty Talk, the Hottest Beauty Conversation Online.  

Discussions with Devin Nash
Twitch's New BRAND RISK Score

Discussions with Devin Nash

Play Episode Listen Later Sep 15, 2021 35:39


The Twitch API was recently updated via Amazon's ad portal VAES for their automated ad system. Discovered via community members Tayari and Saysera, it was found that Twitch added several qualifiers to their ad targeting system including brand safety score, ban history, games played, automod enable, and manual ratings from Twitch staff. This sparked a popular Reddit thread where people surmised that Twitch was implementing a safety score for all its broadcasters. Of course the issue is more nuanced. In this video we discuss the Twitch ad system, how streamers make money, if Twitch can determine how much money you make, what CPMs are, and how Twitch interacts with CPMs. Is XQC a brand risk? Is TrainwrecksTV a brand risk? Are other streamers brand risks? Will a brand score effect how much money streamers get from ads? Many broadcasters believed this was the beginning of Twitch determining how much money streamers should make from advertising, but in reality this is a simple update to Twitch's ad system to better target.

RISE Urban Nation
Dr. William Tayari Howard - Award-winning Broadcast Journalist | Media Luminary | Philanthropist | Motivational Speaker | Author

RISE Urban Nation

Play Episode Listen Later Sep 13, 2021 60:24


Guest ProfileName: Dr. William Tayari HowardWhat They do:  Longtime radio personality William “Tayari” Howard has been sharing community stories on the air for the past 50 years. Tayari Howard is known to many in San Diego not only for his love of playing smooth jazz over the airwaves but also for his contributions to San Diego's nonprofit organizations and the city's under-served communities.Company: Legacy Media Publishing, Promotions, and Production, Inc.Noteworthy:  Dr. Howard has 50 years of telling San Diego's stories on the radio. He spent 16 years at XHRM-FM Magic 92.5, and 16 years at Smooth Jazz KIFM 98.1. He has supported causes targeting homelessness, poverty, the educational needs of Black children and military veterans.He also organized many events and festivals in southeastern San Diego. He collaborated with the Coast Guard to fly a Black Santa Claus in a helicopter to southeastern San Diego events for several years.He has raised about $1.8 million for more than 30 nonprofit organizations. You can read more about his accomplishments in the article from the San Diego Union Tribune: https://www.sandiegouniontribune.com/communities/san-diego/story/2020-11-29/after-50-years-of-telling-san-diegos-stories-on-the-radio-william-tayari-howard-retires-to-share-his-ownBioDr. William Tayari Howard is an award-winning broadcast journalist and media luminary. He has worked in radio, television and newsprint for the past fifty years. Accumulating over 50,000 hours on radio and television he has also spent a significant amount of time in the newsprint profession. Today, he specializes in Media Relations, Digital Internet Radio Programming, Public Relations, Special Event Promotions, Nonprofit Organizational Development, Authoring, STEM mentoring, and Public speaking.He is the second of three generations of his family spanning ninety-one years in the business of broadcasting. His mother is credited as one of the first black female radio personalities and producers in the United States. His father spent twenty-one years in radio and is credited for breaking such acts as James Brown and Diana Ross, He has two grown daughters that have also worked in the broadcast industry.Dr. Howard has received numerous awards including "William Tayari Howard Day" in the city of San Diego and acknowledgments by two US Presidents, George Bush, Jr., and a "Lifetime Achievement Award" for philanthropy and volunteerism from Barack Obama.The new corporation, Legacy Publishing, Promotions, and Production centers around his life and times in the business of broadcasting, his family's legacy, TedX Talks, other speaking engagements and the writing and production of movies made for prime tv and on-demand services.Connect with Dr. William Tayari Howard! Twitter: https://twitter.com/tayarihoward?lang=enLinkedIn: https://www.linkedin.com/in/tayarihoward/Facebook: https://www.facebook.com/williamtayarihoward/

LARB Radio Hour
"Would You Have Waited for Me?" Tayari Jones An American Marriage

LARB Radio Hour

Play Episode Listen Later Jun 22, 2018 40:56


Author Tayari Jones joins co-hosts Eric Newman and Medaya Ocher to talk about her latest novel, An American Marriage, that tells the story of an African-American couple that gets separated when the husband is falsely accused of a crime and receives a twelve year sentence. Tayari relates her inspiration. How she set out to research the impact of mass incarceration on families; but, fittingly, made no progress until she overheard an exchange from a couple at a mall. She realized that the key component for any novel to have a powerful political impact is having fully realized, fully human, central characters.  Also, Carmen Maria Machado, author of Her Body and Other Parties, returns to recommend Anne Rivers Siddons horror novel from the 1970s, The House Next Door.