Hii ni Podcast ambayo inakufundisha namna ya kumasta mtandao wa internet na kutengeneza pesa
WHATSAPP GROUP DARASA BURE
*FREEDOM PROJECTS ACADEMY* - My name is KHALIFA, the co-founder and CEO of FREEDOM ACADEMY. - FREEDOM ACADEMY is the Network of professionals who have come together with solid Aim of ultimate membership to grow Financially, Mentally through the positive structured program training and mentoring platform. - This platform also focuses on helping Forward thinking, Highly ambitious, serious minded Dream driven, interested and qualified individuals, have access to opportunity that allows them to end salary for life, have access to their own business, rise capital for new business have access to cash to finance the system projects, retire early, travel the world, increase cash flow and create multiple streams of income without investing a huge amount of money and yet be able to get an extra income. - Achieve their purpose in life and leave legacy for their generation upon. - Thousands of those who are participating in this program are already having their testimony. Are you ready to learning more in our office? WhatsApp number 0785168759 to get the best deals.
1.JE UNA WAZO LA BIASHARA ?
1.JE UNA WAZO LA BIASHARA ?
1.JE UNA WAZO LA BIASHARA ?
Jifunze kutoka katika mafunzo ya asubuhi kama ulikosa
Namna ya kutengeneza uhitaji wa mteja kuchukua bidhaa yako ONLINE
Baada ya Kupata *SIGN up TISA KWA SIKU MBILI PEKEE, kiongozi Abigail ameshare nasi siri ya mafanikio yake.* *MSIKILIZE HAPA*
Ukweli kuhusu Prospect wako uliye kutana nae kabra ya kufanyia seminar ya biashara.. top 16 earner
The beginner's guide PROGRAM ni PROJECT inayo wasaidia wajasiriamali binafsi wa biashara ya mtandao kumasta skills na internet kutoka kwa matop earner wa biashara ya mtandao na kuweza jifunza kwao kisha kufanikiwa ndani ya biashara yako. Hii ni Episode ya kwanza inayo kufundisha Jinsi gani unavyo weza ku CONNECT na mteja wa bidhaa yako ama mteja anaye weza kuwa ndani ya team yako. Mafunzo haya unajifunza kwa kijana ambaye ni mkenya aliye weza kufanya biashara ya mtandao kwa muda wa miaka 3 na amekuwa top 3 distibuter ndani ya kampuni na mwaka wa tatu amekuwa top 4 distributor ndani ya kampuni n nchini mwaka
Sikiliza
Jifunze.
JIFUNZE KISHA FANYIA KAZI
Jifunze sikiliza hapa.
Jifunze
#Breakthrough2020 mwishoni mwa mwezi malengo uliweka je mangapi umetimiza leo ama kupiga hatua? Kama bado tambua wewe ni muhanga sijuwi ukitakacho ndani ya biashara yako jifunze
Jifunze kwa walio bobea
Epuka tamaa ya pesa, kuwa na njaa ya mafanikio, tambua kipaji chako ndani ya biashara yako, ishi ndani ya kipaji hiko kuelekea mafanikio yako. Sikiliza mwanzo mpaka mwisho
Mjasiliamali na kijana fanya haya kila siku kukuza biashara yako ama kipato chako.
Timeless formula
Jifunza sikiliza hapa
Maswali tisa ya ajabu yanayo ongeza mauzo na sign up nyingi kutoka ONLINE
Tengeneza jukwaa(group) ndani ya WhatsApp business na toa suruhisho la tatizo la mteja wako mtalajiwa na sio kubandika matangazo ya bidhaa na kisha weka sharia ya kuwa mtu asiweke matangazo ndani ya jukwaa(group) nawe pia usiweke matangazo ndani ya group kisha toa elimu BURE ili wakuje wakupende, wakuamini kisha ndio utoe offers za products sales, ama marketing plan. Sikiliza ✊
Ukiweza tambua kipaji chako peesa utaweza kuziqtengeneza katika biashara yetu. Sikiliza hapa.
Sikiliza kisha jifunze hapa kupata madini
PROGRAM ya Facebook page, WhatsApp business group PROJECT MONEY
Jifunze leo hapa
Elewa haya kiongozi
Tenga muda wako vyema akikisha unasikiliza na kuchukua hatua
Jifunze namna sahihi ya kutengeneza tangazo kukuza biashara yako via internet. ✊
Tumia formula hii leo kuweza NASA wateja wako wote ndani ya mtandao wa internet kukuza biashara yako ✊
Zingatia haya mambo 3 kila siku kuweza kuongeza uzalishaji ndani ya biashara yako kwa kutumia internet
Zingatia mambo 6 haya kukuza biashara yako katika internet.