POPULARITY
Karibu katika kipindi cha Maswali Yahusuyo Imani, leo tunaungana na Shemasi Cassian Lebba kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, akijibu swali lililoulizwa Msikilizaji wetu akihoji, kwanini Kanisa Katoliki halishabikii sana Injili ya mafanikio na uponyaji? L'articolo Je, wafahamu kwanini Kanisa Katoliki halishabikii Injili ya mafanikio na uponyaji? proviene da Radio Maria.
Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi
Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi
Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi
Nguvu ya Injili Katika Uvunaji wa Nafsi
karibu katika kipindi cha Tafakari Nasi, Mwezeshaji ni Padre John Bosco kutoka Jimbo Kuu la Dar es salaam, leo anatutafakarisha juu ya Injili ya Luka 19:1-10. L'articolo Sikiliza tafakari ya Injili ilivyoandikwa na Luka 19:1-10. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani kutoka Seminari Kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea, ambapo Frateri Kamfupili anajibu swali lililoulizwa hivi: Je, Mwinjili Yohane aliyeandika Injili ni yule alieyekabidhiwa na Yesu Kristo pale Msalabani kwa Mama Bikira Maria? L'articolo Mfahamu Mwinjili Yohane na alivyofanya utume wake. proviene da Radio Maria.
Karibu katika kipindi cha Maswali yahusuyo Imani ukiw nami Frateri Principius Gabriel Katabazi, kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho, Jimbo Kuu Katoliki Songea nikijibu swali la Msikilizaji linalosema Injili ni vitabu vilivyotokana na nukuu za maneno ya Yesu mwenyewe, mbona tuna Injili nne tu katika biblia? Je, mitume wengine hawakuweza kuandika nukuu ya Injili […] L'articolo Ni, kwanini Injili ziko nne tu katika Biblia Takatifu ? proviene da Radio Maria.
Mahubiri haya yanaangazia onyo la Mtume Paulo dhidi ya walimu wa uongo katika 2 Kor. 11. Paulo anashangazwa na jinsi Wakorintho wanavyoondoka haraka kutoka kwa ibada ya kweli kwa Kristo, wakivutwa na mitume wa uongo wanaomuubiri Yesu mwingine, injili nyingine, na roho mwingine. Katika mahubiri hayo, Danson Ottawa anaangazia hatari ya sasa ya udanganyifu na kumtia moyo msikilizaji kufuatilia utambuzi wa Biblia. Anasema, “Waumini waliowekwa msingi katika kweli, na kukua katika neema, wataweza kuilinda Injili”.
Nadharia ya Muziki, Jinsi ya kuzuia hasira
Nadharia ya Muziki, Jinsi ya kuzuia hasira
Karibu ungane nami Mtangazaji wako Patrick Tibanga, katika kipindi cha Historia ya Kanisa ambapo leo tupo naye Mhashamu Method Kilaini, Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki Bukoba ikiwa leo tunajikita zaidi kujibu Maswali mbalimbali yanayoulizwa na wasikilizaji. L'articolo Ni, kwanini Watawa hawahubiri Injili Madhabahuni? proviene da Radio Maria.
Mtukuzeni Mungu wa Mbinguni, Kuishi kwa hofu siyo mpango wa Mungu
Mtukuzeni Mungu wa Mbinguni, Kuishi kwa hofu siyo mpango wa Mungu
Msani huyo amesema kuwa alitunga vibao kama bora kushukuru kutokana na changamoto za kimaisha alizokuwa anakabiliwa nazo kipindi fulani katika maisha yake.
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Injili Ya Ufalme Wa Mungu
Makala za muziki wa Injili, Jitamkie maneno mazuri
Muziki wa Injili, Neno la tumaini
Makala ya Muziki wa Injili, Sabato ni desturi ya Mungu
Makala ya nyimbo za Injili, Majeraha ya moyo
Kazi ya utume na Muziki, jiandae yesu anakuja
Muziki wa Injili katika kumtukuza Mungu , epuka Madeni
Umuhimu wa Muziki wa Injili, tenda matendo ya huruma kwa wengine kwa kutoa msaada
Muziki wa Injili na umuhimu wake, Mariam alionyesha upendo wa dhati kwa Yesu
Mguso katika Muziki wa Injili, Omba Mungu akupe nguvu ya kutibu majeraha ya moyo
Katika binadamu ambao walinipa wakati mgumu na kusubiri kwingi kabla ya kuja kukaa kwenye meza yetu ya kigae na kiti chakavu basi mmoja wao ni Rose huyu wa Muhando. Upatikanaji wake ni kama ukitaka kumuona SIMBA mbugani, lazima uamke asubuhi na mapema au uwe na bahati ya mtende kama ambayo sisi tumepata. Ingawa tulisubiri kwa masiku tele na miezi tele katikati ya mwaka huu tuliweza kumpata na kukaa nae chini ili tuweze kuzungumza nae. Rose ni wa moto sana, kalenda yake imejaa safari tele za nje na ndani ya nchi, anazunguka mara kwa mara kwaajili ya kutoa elimu na burudani kwa watu wengi ambao nao pia wamekua wakimgojea kwa hamu na kwa masiku tele. Kipaji chake cha kipekee ndicho ambacho kimemfanya awe maalum miungoni mwa wasanii wanaofanya muziki wa Injili na uzuri wake mwengine ni kwamba amekua akitoa huduma hiyo kwa miaka mingi bila ya ‘kuchuja'. Sasa nini hasa siri ya mafanikio hayo?! Ukiachana na panda shuka tele ambazo Rose amepitia toka akiwa na umri wa miaka 6, kukata tamaa ni jambo ambalo halipo kabisa katika mambo ambayo huwa anayawaza. Pengine kujiuliza kwanini na anatokaje kwenye hilo zito alilo nalo linaweza likawa ndo swali, ila kusema kwamba hatoweza au haiwezekani hilo jambo kwenye kitabu chake au kichwani chake huwa halipo kabisa. Ukiskiliza kwa makini maneno ambayo yanatoka katika mdomo wake utagundua Rose ni mmoja kati ya wanawake jasiri sana ambao wamewahi kutokea katika kiwanda hiki cha Sanaa hapa Tanzania. Ukimuangalia macho yake, mikono yake ambayo imejaa makovu na nna uhakika pia kuna sehemu nyengine kwenye mwili wake pia zimejaa makovu lakini hatukuweza kuona unaweza ukapata tu idea ya makubwa na mazito ambayo amepitia na ambayo yameacha makovu makubwa tu si mwilini mwake tu bali hata kwenye moyo wake. Ananihadithia kwenye episode hii jinsi ambavyo watu walikua wanamuadhibu ki mwili na ki akili ikiwa ni pamoja na kupigwa, kuchomwa moto, kukatwa na kunyang'anywa mali zote ambazo amewahi kutengeneza tokea wakati anaanza muziki ila hayo yote hayajawahi kumkatisha tamaa wala kumrudisha nyuma. Rose anaamini na aliamini kwamba ana uwezo wa kuvipata vyote ambavyo watu walimdhulumu kwenye kipindi flani kwenye maisha yake, aliamini hakuna ambaye anaweza kumnyang'anya kipaji ambacho Mwenyezi Mungu amempatia na kwa kupitia hiko kipaji na akiwa hai na mzima basi vyote ambavyo aliwahi kuwa navyo na vikapotea basi alikua na uwezo wa kuvirudisha na ni kweli, kuvirudisha ameweza na vimekuja maradufu yake. Simulizi zake za safari yake toka siku ya kwanza alipokua mdogo nyumbani kwa Baba na Mama yake huko kwao Morogoro wakati anaumwa ni moja ya vitu vya kufikirisha sana ambavyo nimewahi kuvisikia toka tumeanza kukalia kiti chakavu, na yangu matumaini maongezi haya kwa kiasi kikubwa yatakupa ile vibe ambayo huwa naizungumzia kwenye intro ya kipindi chetu hiki. Tafadhali enjoy. Love, Salama. --- Support this podcast: https://anchor.fm/yahstonetown/support
Hii leo jaridani Leah Mushi anamulika: Hofu na shaka inayotawala kwa familia zilizoko ukimbizini ndani ya Ukraine huku waume au baba zao wakisalia kwenye mapigano; Wito wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kwa serikali Myanmar izuie vikosi vyake vya usalama kushambulia raia; Walinda amani wanawake wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania wakihudumu Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR wapaza sauti wanavyojisikia kuhudumu chini ya bendera ya UN na mchango wao kwenye amani; Makala anabisha hodi kwenye kongamano la kimataifa la lugha ya kiswahili linaloendelea jijini Arusha nchini Tanzania na leo Mkurugenzi wa Radio Sauti ya Injili kutoka Goma, DRC anazungumza. Na kisha mashinani anabisha hodi Moldova kumulika harakati za Umoja wa Mataifa kufikisha misaada ya kiutu kwa wanawake na wasichana, karibu!
katika kukuza lugha ya Kiswahili duniani Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania BAKITA limeandaa kongamano la wiki moja la Idhaa za Kiswahili duniani na kuwakutanisha wadau kutoka nchi mbalimbali zinazozungumza lugha ya Kiswahili jijini Arusha nchini humo. Stella Vuzo wa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIC Dar es Salaam, Tanzania anashiriki Kongamano hilo na amefanya mahojiano na Mkurugenzi wa Redio sauti ya Injili iliyoko Goma jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo -DRC Mchungaji Ezra Kasereka Makoma anayeanza kwa kueleza namna redio yao inavyofundisha lugha ya Kiswahili wananchi wa DRC na nchi jirani ya Rwanda.