Podcast appearances and mentions of fredrick nwaka

  • 4PODCASTS
  • 26EPISODES
  • 11mAVG DURATION
  • ?INFREQUENT EPISODES
  • Feb 18, 2020LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about fredrick nwaka

Latest podcast episodes about fredrick nwaka

Jukwaa la Michezo
Jukwaa la Michezo - Tuhuma za ukosefu wa maadili zalikumba shirikisho la soka Afrika, CAF

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Feb 18, 2020 24:32


Karibui miaka mitatu tangu Ahmad Ahmad kuchaguliwa kuwa rais wa shirikisho la kandanda barani Afrika, CAF, shirikisho hilo linakabiliwa na mshororo wa tuhuma za rushwa na matumizi mabaya ya fedha. Tunajadili katika makala ya Jukwaa la Michezo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa soka Juma Mudimi na Bonface Osano

afrika soka ungana ahmad ahmad michezo jukwaa tunajadili fredrick nwaka
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Rwanda na Uganda zabadilishana wafungwa zikilenga kutafuta suluhu ya mzozo wa kidiplomasia baina yao

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Feb 4, 2020 9:55


Nchi za Rwanda na Uganda zimekubaliana kubadilishana wafungwa huku viongozi wa mataifa hayo wakitarajia kukutana katika mpaka wa Gatuna, ikiwa na hatua ya karibuni zaidi ya kutafuta suluhu ya mzozo wa kidiplomasia baina ya mataifa hayo. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu.

Jukwaa la Michezo
Jukwaa la Michezo - Rais wa Fifa apendekeza fainali za Afrika kuchezwa baada ya miaka minne

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Feb 4, 2020 16:39


Rais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa Gian Infantino amependekeza fainali za mataifa ya Afrika kuchezw akila baada ya miaka minne badala ya miaka miwili ya sasa. Tunajadili kwa kina katika jukwaa la michezo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa soka Mustapha Mtupa, Samwel John na Bonface Osano

fifa afrika rais baada miaka ungana michezo jukwaa tunajadili fredrick nwaka
Jukwaa la Michezo
Jukwaa la Michezo - TP Mazembe, Mamelody Sundowns zafuzu robo fainali ya klabu bingwa Afrika

Jukwaa la Michezo

Play Episode Listen Later Jan 27, 2020 15:16


Michuano ya klabu bingwa barani Afrika hatua ya makundi imeendelea kurindima ambapo klabu za TP Mazembe, Mamelody Sundowns, Zamalek ni miongoni mwa klabu zilizofuzu hatua ya robo fainali. Je msisimko wa michuano hiyo umepungua msimu huu? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa soka Mohammed Simbaulanga na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina.  

afrika robo sundowns tp mazembe michezo jukwaa fredrick nwaka
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Hatua ya Uganda kuachilia wanyarwanda tisa inaweza kupunguza joto la uhasama baina ya mataifa hayo mawili?

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 10, 2020 9:18


Serikali ya Uganda imetangaza kuwaachilia huru raia tisa wa Rwanda waliokuwa wakishikiliwa katika kambi za kijeshi nchini humo. Je hatua hii inaweza kupunguza joto la mvutano uliopo baina ya Kampala na Kigali. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Ni tukio gani unalikumbuka kwa mwaka 2019

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jan 1, 2020 10:09


Mwaka 2019 unafikia ukingoni leo Disemba 31 na tunakupa fursa msikilizaji kutoa maoni yako kuhusu matukio muhimu yaliyotokea katika jamii yako. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya.

gani habari mwaka ungana tukio disemba fredrick nwaka
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Umoja wa Mataifa washutumu serikali ya Sudani Kusini kwa kuajiri wapiganaji katika vyombo vya usalama na ujasusi

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 30, 2019 10:20


Umoja wa mataifa umelaani vikali hatua ya serikali ya rais Salva Kiir kuajiri wapiganaji katika vyombo vya usalama huku pia ukinyooshea kidole Kenya na Uganda kwa kushindwa kusaidia mchakato wa amani nchini Sudani Kusini. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Jumuiya ya Afrika Mashariki yatimiza miaka 20 tangu ilipoasisiwa kwa mara ya pili

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 30, 2019 10:27


Jumuiya ya Afrika mashariki imetimiza miaka 20 tangu ilipoasisiwa kwa mara ya pili mwaka 1999. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza  na wasikilizaji ikiwa jumuiya hiyo imetimiza malengo yake au imesalia kuwa jumuiya ya viongozi.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Watu wenye ulemavu wa ngozi katika mataifa jirani na Tanzania bado wanakabiliwa na hatari ikiwemo mauaji

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 24, 2019 10:10


Shirika la Under The Same Sun lenye makao yake makuu nchini Canada linasema Tanzania imepiga hatua katika kukabiliana na madhila yanayowapata watu wenye ulemavu wa ngozi huku likisema mataifa jirani na Tanzania bado watu wenye ulemavu wa ngozi wanakabiliwa visa ikiwemo mauaji. Fredrick Nwaka ameandaa makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji. Ungana naye.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Ufaransa na Umoja wa Ulaya utaweza kukomesha mauaji mashariki mwa DRC?

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 22, 2019 9:55


Daktari Dennis Mukwege ametoa wito kwa Ufaransa na umoja wa Ulaya kuingilia kijeshi nchini DRC ili kupambana na magaidi wa ADF wanaoendesha mauajio ya raia wilayani Beni na mashariki mwa nchi hiyo. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.

beni drc adf umoja habari ufaransa mashariki fredrick nwaka
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Rais Paul Kagame aonya nchi yoyote itakayochezea amani na usalama wa taifa lake

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 17, 2019 10:15


Rais Paul Kagame wa Rwanda ametoa onyo kali kwa taifa lolote litakalochezea amani na usalam wa Rwanda, onyo linalokuja baada ya kuahirishwa kwa mazungumza baina ya Kigali na Kampala yanayolenga kumaliza mvutano uliopo baina ya mataifa hayo mawili. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Ulimwengu waadhimisha siku ya kisukari huku idadi ya watu wanaougua maradhi hayo ikiongezeka

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Nov 17, 2019 10:00


Ulimwengu unaadhimisha siku ya kisukari duniani huku idadi ya watu wanaougua maradhi hayo ikiongezeka kutoka milioni 108 mwaka 1980 hadi milioni 420 mwaka 2014. Mtindo wa maisha unatajwa kuwa mojawapo ya sababu. Je kubadili mtindo wa maisha kunaweza kusaidia kukabiliana na maradhi haya? Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji.

hayo siku watu habari huku ungana ulimwengu fredrick nwaka
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Umoja wa Mataifa wasema kuna hali ya hofu nchini Burundi

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Sep 6, 2019 10:11


Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi imebaini katika ripoti yake kwamba "hali ya hofu" inatawala katika nchi hiyo, ikiwa imesalia miezi minane kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2020. Katika ripoti yake, Tume ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kuhusu Burundi, iliyoundwa na Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa mnamo mwaka 2016, inaelezea jinsi mamlaka nchini humo na vijana wa chama tawala, Imbonerakure, wanaendelea kuwafanyia vitisho raia kwa kuwalazimisha kujiunga, kuunga mkono au kuchangia chama tawala, CNDD-FDD. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Serikali mpya yaundwa DRC, miezi saba baada ya kuapishwa kwa Felix Tshisekedi na mkutano wa pamoja baina ya Afrika na Japan watamatika huko Yokohama

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Aug 31, 2019 20:46


Machache kati ya tuliyoyafumbata katika makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii ni pamoja DRC yapata serikali mpya miezi saba baada ya kuapishwa kwa rais Felix Tshisekedi na katika uga wa kimataifa mkutano wa pamoja baina ya viongozi wa Afrika na Japan watia nanga huko Yakohama. Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Wiki ya unyonyeshaji yaadhimishwa duniani kote

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Aug 7, 2019 9:37


Dunia inaadhimisha wiki ya unyonyeshaji huku shirika la umoja wa mataifa la watoto UNICEF likitoa wito kwa familia, jamii na serikali duniani kote kuandaa mazingira wezeshi kwa akina mama kunyonyesha watoto katika mazingira ya kazi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Nini kifanyike ili kuzuia biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu?

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 30, 2019 10:02


Siku ya kimataifa ya kupinga biashara haramu usafirishaji wa binadamu ambayo huadhimishwa duniani kote ifikapo julai 3o kila mwaka. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Kauli ya Donald Trump ilivyoleta hisia tofauti duniani

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 17, 2019 10:22


Donald Trump, rais wa Marekani ametoa kauli kali ya kuwataka wabunge wanne wa Democrats kurudi waliokotoka, matamshi ambayo yamezua hofu huku wabunge hao wakimshutumu Trump kwa matamshi ya ubaguzi na kumtaka aombe radhi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Nchi za Afrika mashariki zinachukua tahadhari baada ya mlipuko wa ebola nchini Uganda

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jun 13, 2019 10:39


Ugonjwa wa ebola umeripotiwa kuingia nchini Uganda katika wilaya ya Kasese, Je mataifa ya Afrika mashariki yanachukua hatua zipi? Fredrick Nwaka amekuandalia makala ya habari rafiki kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Kampeni ya waandamanaji kutotii sheria nchini Sudan italazimisha jeshi kukabidhi mamlaka kwa raia?

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jun 10, 2019 9:57


Waandamanaji nchini Sudan wameingia siku ya pili ya maandamano ya kutotii sheria ili kushinikiza jeshi kukabidhi madaraka kwa raia. Je hatua hiyo itafanikiwa? Ungana na Fredrick Nwaka aliyekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu.

sudan raia sheria habari ungana kampeni fredrick nwaka
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Moise Katumbi atafanikiwa kuviunganisha vyama vya upinzani nchini DRC?

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later May 27, 2019 10:33


Mwanasiasa wa upinzani nchini DRC, Moise Katumbi ametangaza kufanya ziara katika majimbo yote nchini humo kwa kile anasema ni kuunganisha vyama vya upinzani. Je atafanikiwa? Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu

drc habari moise katumbi fredrick nwaka
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii - Moise Katumbi arejea DRC baada ya kuishi uhamishoni kwa miaka mitatu

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later May 25, 2019 20:24


Ungana na Fredrick Nwaka wiki hii akikuletea makala ya Mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii na baadhi ya habari muhimu ni Rais wa DRC kumteua Sylivester Ilunga Ilukamba kuwa waziri mkuu wa taifa hilo, Cyril Ramaphosa aapishwa kuwa rais wa Afrika Kusini na Narendra Modi achaguliwa tena kuwa waziri mkuu wa India

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Siku ya kimataifa ya wafanyakazi yaadhimishwa duniani kote

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later May 1, 2019 10:10


Ulimwengu leo unaadhimisha siku ya wafanyakazi huku wafanyakazi wakikabiliwa na changamoto mbalimbali. Je serikali za Afrika zinatia juhudi katika kutafuta majawabu ya changamoto zinazowakabili wafanyakazi. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na wasikilizaji wetu.

afrika kote siku habari kimataifa ulimwengu fredrick nwaka
Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Dunia ikiadhimisha siku ya wanawake, kundi hilo lina mchango katika kuibadilisha jamii?

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Mar 9, 2019 10:02


Machi 8 kila mwaka ulimwngu unaadhimisha siku ya wanawake. Je kuna mchango wa kundi hili katika kuibadili jamii? Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu ili kupata maoni yao.

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Mzozo baina ya Rwanda na Uganda waathiri shughuli za kiuchumi

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Mar 2, 2019 9:55


Mgogoro wa kidilpomasia baina ya Rwanda na Uganda umechukua sura mpya baada ya wafanyabiashara na wananchi wa Uganda kulalama kuzuiwa na maofisa wa Uganda kutumia mpaka wa Gatuna kwa shughuli za usafirishaji. Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji ili kupata maoni yao

Habari RFI-Ki
Habari RFI-Ki - Kwanini raia wa Sudan Kusini wanakimbia nchi yao licha ya kuripotiwa kuimarika kwa usalama?

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Feb 19, 2019 10:01


Raia zaidi ya elfu kumi wa Sudan Kusini wamekimbilia nchini DRC kwa kile wanasema ukosefu wa usalama na kuapa kutorejea nchini mwao. Haya yanajiri  katika wakati ambao kunaripotiwa kuimarika kwa hali ya usalama na amani. Fredrick Nwaka amekuandalia makala haya kwa kuzungumza na  wasikilizaji wetu

haya drc raia habari nchi sudan kusini fredrick nwaka
Gurudumu la Uchumi
Gurudumu la Uchumi - Kwanini wananchi wengi hawawezi kupanga bajeti mwishoni mwa mwaka?

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Dec 26, 2018 10:01


Makala haya ya Gurudumu la Uchumi inaangazia changamoto za raia kushindwa kupanga bajeti hususani mwishoni mwa mwaka na kujikuta wakiwa na changamoto za kiuchumi mwanzoni mwa mwaka. Ungana na Fredrick Nwaka, aliyekuandalia makala haya.

makala mwaka ungana wananchi fredrick nwaka