A Swahili Entertainment and Social Sports Talks Podcast, #LetsTalk | Hosted by Aucland Mudu, We Talk a lot concern Entertainment and social affairs with Sports Matters.
Makala fupi kwaajili ya kutoa heshima kwa Henock Inonga Baca "Varane", beki wa kati wa Simba SC, kwa makubwa mazuri anayoendelea kuyafanya uwanjani. - Imeandikwa na kusimuliwa na: Aucland Mudu. #AuclandMudu #HenockInonga #AckySportGazette . Nifatie Instagram
Karibu kusikiliza dakika 04 zakipekee na heshima kubwa kwaajili ya Nguli wa mpira wa miguu ulimwenguni raia wa Nchini Cameroon
Sikiliza Chambuzi mbalimbali nikiwepo pia "Mlimani Radio 106.5", nikifanya na wadau mbalimbali akiwemo muongozaji wa kipindi hicho ndg. Robert MIHAYO, Kila siku ya J3-Ijum. Saa 3:30 - 4:00 Asubuhi.... Siku hii Tulikua na Suzan Richard. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Kupitia Funny Talks With Football Fans ni Kuelekea kilele cha Siku ya Mwananchi, Tazama na Sikiliza mdau wa Yanga SC namna anaongelea siku hiyo pamoja na Jezi zao ambazo wamekwisha kuzitambulisha. . #AuclandMudu #YangaSC #AckySportGazette Nifatie Instagram
Sikiliza Chambuzi mbalimbali nikiwepo pia "Mlimani Radio 106.5", nikifanya na wadau mbalimbali akiwemo muongozaji wa kipindi hicho ndg. Robert MIHAYO, Kila siku ya J3-Ijum. Saa 3:30 - 4:00 Asubuhi. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza namna ambavyo (Sky) anachambua kuelekea mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii nchini Uingereza kati ya mabingwa wa FA EMIRATES, Leicester City na mabingwa wa Premier league, Manchester City. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza namna shabiki wa Yanga maarufu kama (Agrey) anavojitapa mbele ya Express, adai Yanga itashinda 3-0 na kumaliza nafasi ya 1 kwenye kundi, Vipi kuhusu kusua sua kwa Yanga kwenye michuano hii ya Kagame? Sikiliza mpaka mwisho. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza Chambuzi mbalimbali nikiwepo pia "Mlimani Radio 106.5", nikifanya na wadau mbalimbali akiwemo muongozaji wa kipindi hicho ndg. MIHAYO, Kila siku ya J3-Ijum. Saa 3:30 - 4:00 Asubuhi. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi Simba SC ndg. Mohammed Dewji ametimiza mpango wake wa Transformation baada ya kukamilisha uwekezaji wake wa kununua hisa ya asilimia 49 ndani ya klabu hiyo kwa dau la Bilioni 20 za Kitanzania, Aidha Mo Dewji ameweka wazi mipango na mikakati mingi aliokua nayo pamoja na mapenzi yake makubwa kwa klabu hiyo... Imeandaliwa na Mlimani Tv (Habari) Ikiripotiwa na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Kupitia "Funny Talks With Football Fans", tunapata wasaa wa kuzungumza na mashabiki, wadau na wanamichezo mbalimbali ambao wanapenda na kufuatilia mpira wa miguu Ulimwenguni, Hapa tumezungumza na MOJA YA SHABIKI MKUBWA WA YANGA, na tumezungumzia zaidi juu ya: 1. Kifupi wanaYanga wanamuongeleaje Niyonzima na nini umekua mchango wake mkubwa Yanga pamoja na mafanikio yake akiwa na Yanga? 2. Je, pia kwa upande wa Mashabiki wa Yanga imekua Ni sahihi kwa (Yanga) kuachana na Niyonzima kwasasa? 3. Na Vipi kuhusu safari ya Niyonzima wanaionaje huko mbeleni, na kama wadau wa Yanga wanamtakia nini Niyonzima mbeleni? Wewe pia kama mdau wa kandanda una mchango mkubwa juu ya hili tuachie ujumbe wako kwenye sehemu ya Ujumbe (Comments) ENJOY! #AuclandMudu #Niyonzima #YangaSC #FTWFF TUFUATIE INSTAGRAM
Kupitia "Funny Talks With Football Fans", tunapata wasaa wa kuzungumza na mashabiki, wadau na wanamichezo mbalimbali ambao wanapenda na kufuatilia mpira wa miguu Ulimwenguni, Hapa tumezungumza juu ya: 1. General kifupi tu Niyonzima unamuongeleaje na mchango wake? 2. Ni sahihi Yanga kuachana na Niyonzima kwasasa? 3. Vipi kuhusu safari ya Niyonzima unaionaje mbeleni, huko aendako? Wewe pia kama mdau wa kandanda una mchango mkubwa juu ya hili tuachie ujumbe wako kwenye sehemu ya Ujumbe (Comments) ENJOY! #AuclandMudu #Niyonzima #YangaSC #FTWFF TUFUATIE INSTAGRAM
Sikiliza mahojiano Exclusive kabisa nikiwa nimepata nafasi ya kuzungumza na Moja kati ya Waigizaji na waongozaji pamoja na wazalishaji wakubwa wa filamu Tanzania, Steven Mshihiri, Sikiliza mpaka mwisho utajifunza mengi kupitia hii EPISODE, Enjoy! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Simba inashuka kuumana vikali nchini South Africa dhidi ya klabu ya Kaizer Chiefs katika hatua ya Robo fainali ya michuano hiyo, mchezo wa kwanza wakiwa ugenini... Leicester City dhidi ya Chelsea ndani ya fainali ya Kombe la EMIRATES FA CUP nchini Uingereza. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza Alichokiandaa Aucland Mudu kuelekea mchezo wa Fainali ya michuano ya Klabu bingwa ulaya (UEFA) kati ya Manchester City vs Chelsea, mchezo utakaopigwa tar. 29 May 2021, una nafasi pia ya kutuachia ujumbe wako, hata kwa njia ya voice pia Karibu! --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Makala fupi na maalum kumhusu mchezaji kinda ambae anatikisa ulimwengu wa soccer kwasasa kwa mambo yake makubwa ayafanyayo akiwa dimbani. Imeandikwa na Kusomwa na : AUCLAND MUDU. BACK TO BACK - AckySportGazette⚽️ . #PhilFoden #AuclandMudu #AckySportGazette --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza Makala hii fupi na tamu ya kumhusu Kiungo mshambuliaji aliyewahi kujitokeza na baadae kutunukiwa jina la Mpikaji mipira ya usaidizi (Assist) akiwa dimbani na wenzie, fahamu mwanzo wake, alikotokea, maisha yake ya familia nje ya soccer, upole wake pamoja na mafanikio yake yote aliyoyapata hasa akiwa katika vilabu vya Real Madrid, Arsenal na timu yake ya Taifa ya Ujerumani. IMEANDIKWA NA: Said Kawage na KUSOMWA NA: Aucland Mudu, Enjoy
Sikiliza japo kwakifupi, Baadhi ya Sifa muhimu ambazo anazo mnyama TWIGA, Imeandikwa na Oscar Utalii na kusomwa na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza makala tamu na yakusisimua yakumhusu Mshambuliaji na kipenzi cha wanaSimba Meddie Kagere MK14 THE BULL STRIKER.! Juu ya mwenendo wa mahusiano yake yeye na kipenzi chake nyavu
Nimekusogezea ratiba ya michuano kadhaa ndani ya league kadhaa na kubwa duniani weekend hii. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Klabu ya Simba SC Imeanza vyema michuano ya klabu bingwa Africa hatua ya makundi baada ya kushinda mchezo wao wa kwanza wakiwa ugenini dhidi ya AS Vita Club ya nchini DR Congo. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza makala fupi ya Historia ya aliyekuwa kocha maarufu duniani wa klabu ya mashetani wekundu, Manchester United, ambaye alijizolea sifa nyingi kwa umaarufu na ubora wake wakati akiifundisha klabu hiyo, skills zake, idadi ya vikombe kwa MUN, mataji binafsi, style yake ya kutafuna bazoka uwanjani, familia, career yake ya kucheza kabla ya kuwa mwl. Wa soccer na mengine mengi mpaka kustaafu kwake. IMEANDIKWA na SAID KAWAGE, na KUTIWA SAUTI na AUCLAND MUDU. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza sajili nyingine kubwa 05 ambazo Simba wanatarajia kuzikamilisha katika dirisha la usajili. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza wachambuzi hodari wakikuchambulia Sajili ambazo zimefanywa na klabu ya Simba na Yanga kwenye dirisha dogo la usajili mwezi January. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Baada ya makocha zaidi ya 65 kutuma CV zao Simba wakiomba nafasi ya kuinoa klabu hiyo baada ya kuondoka kwa Sven, sikiliza mstakabali wa Simba na maamuzi juu ya kumpata kocha wao mpya. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Wakikutana Manchester United na Liverpool mambo hua yamoto sana, sikiliza mambo kadhaa ambayo hujitokeza wakati vilabu hivi viwili vikikutana. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Mambo ni bull bull huko jangwani, baada ya wenyewe pia kukamilisha usajili wa mshambuliaji Fiston ABDOULRAZAK ambaye amemwagiwa sifa kibao, sikiliza mpaka mwisho kuyajua mengi juu ya mchezaji huyo aliyesajiliwa na Yanga. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Rasmi, Simba imefanikisha mpango wa kukamilisha usajili wa aliyekua mshambuliaji wa FC PLATINUM ya nchini Zimbabwe, ambaye alimtungua Manura. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Baada ya ukimya mfupi, sasa sakata la Yanga juu ya MORRISON limeibuliwa upya tena na limekuja na taswira mpya, sikiliza mpaka mwisho ili kuyafahamu mengi. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza yaliyojiri katika mchezo wa fainali ya MAPINDUZI mpaka Yanga kutangazwa kua mabingwa wa mashindano hayo, huko Zanzibar. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Tumekuwekea uchambuzi kuelekea Mtanange wa fainali ya MAPINDUZI kati ya Simba na Yanga, sikiliza mpaka mwisho kuyasikia mengi na hata utabiri wa bingwa wa michuano hiyo. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Kilichokua kinasubiriwa kwa hamu kimetokea, sasa rasmi Yanga na Simba kukutana fainali ya MAPINDUZI Cup, huko Zanzibar unajua yapi yaliyojiri? Sikiliza mpaka mwisho. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza mazawadi aliyomwagiwa Aggrey MORRIS wakati akiagwa kwa heshima baada ya kutangaza kustaafu kuburuza soccer, wakati wa mchezo wa Stars. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Baada ya kupisha michuano mbalimbali ikiwemo ile ya klabu bingwa Africa pamoja na michuano ya MAPINDUZI CUP hatua ya mtoano, sikiliza Sajili zilizofanyika Bongo pamoja na ratiba ya kurejea kwa league kuu Tanzania bara. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sakata la Chama lafika ukingoni baada ya kufikia maamuzi ya kuongeza mkataba mpya akiwa na klabu yake ya Simba, sasa zile kelele za kuhamia upande wa pili zimekwisha, sikiliza hadi mwisho ufahamu mengine mengi juu ya hatma ya aliyekua kocha wao SVEN. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza yaliyojiri Baada ya Simba SC Kuitupilia mbali klabu ya FC Platinum kwa Aggregate ya 4-1 na kufuzu hatua ya makundi ya Klabu Bingwa Africa --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Nilipata wasaa wa kupiga story kuelekea mchezo wa Simba SC dhidi ya FC Platinum kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya Klabu Bingwa Africa. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Tumepata wasaa wa kuandaa makala ya 1 ya wakongwe na mchezaji maarufu Ulimwenguni kuwahi kujitokeza, Raia wa Brazil, aliyewahi kukipiga katika klabu ya Barcelona na mwenye mafanikio makubwa ya binafsi katika soccer mfano ile tuzo yake ya Ballon D'OR na mchezaji bora wa FIFA, na ile ya Kitimu mfano kuisaidia timu yake ya Brazil kubeba Kombe la Dunia, Kopa America na mengine mengi. Sikiliza makala hii fupi ikiandaliwa//andikwa na Said Kawage na kusomwa na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza historia nzima ya kusisimua ya kumhusu mwanamichezo mkongwe na maarufu wa mpira wa miguu, Diego Armando Maradona. Raia wa Nchini Argentina aliyejipatia umaarufu mkubwa baada ya kufunga bao kwa mkono katika kombe la dunia mwaka 1986 huko Mexico dhidi ya England, goal hilo likipewa jina la "Hand of God" na baadae akifunga tena goli la karne "The Goal of Century". Sikiliza Historia yake, maisha yake ya utukutu, kuhusishwa na madawa ya kulevya, kuwa kocha wa Argentina, vikombe na mataji yake, maisha yake ya kawaida na mengine mengi, mpaka kufariki kwake 25 Nov. 2020. Imeandikwa na Saidi Kawage na kusomwa na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza Jinsi sakata la usajili wa Dirisha dogo Bongo lilivyopamba moto kwa vilabu vya Yanga na Simba, wakiendelea kuchukuliana Wachezaji, Yanga wanamtaka Chama, Simba wanamtaka Mukoko. Na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza mchongo mzima kuhusu klabu ya Simba Sc (Tanzania) kushiriki michuano ya klabu Bingwa Africa kwa mwaka 2020/21 na ratiba yake akipangiwa kucheza hatua ya kwanza ya mtoano dhidi ya klabu ya Plateau United (Nigeria) mwezi November na December 2020 na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza historia nzima ya kumhusu mchezaji maarufu duniani aliyetikisa Na kuvutia wanamichezo wengi kwenye soccer CHRISTIANO RONALDO Maarufu kama CR7 MNYAMA / THE GOAL MACHINE toka kuzaliwa kwake na historia yake nzima ya Soccer na maisha nje ya Soccer. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza Historia nzima ya ligi kuu nchini Uingereza toka kuanzishwa kwake miaka ya 1888. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza Historia ya mwamuzi wa kati wa mchezo wa mpira wa miguu ulaya maarufu kama WEBB, Aliyejizolea sifa nyingi kipindi cha uchezeshaji wake, na ni mwamuzi aliyewahi chezesha fainali 2 kubwa ya michuano ya FIFA WORLD CUP & UEFA yote kwa pamoja ndani ya mwaka mmoja. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza habari, matukio na Updates mbalimbali za michezo na Aucland Mudu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza habari, matukio na Updates mbalimbali za michezo na Aucland Mudu --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza makala fupi ya Historia ya Siku ya kimataifa ya wanawake Duniani, Fahamu ilianzia wapi, nani waanzilishi wake na nini malengo yake makuu. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Sikiliza makala hii fupi sana ya kuhusu jiwe la kihistoria linalozungumza, ambalo linapatikana mkoani Iringa - Tanzania. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Tumepata wasaa wa kuzungumza na moja ya wasanii wa kizazi kipya na Bongo Flava kutokea Tanzania, utayafahamu mengi juu yake lakini pia kupitia yeye utapata kujifunza na kuongeza kitu pamoja na burudani pia. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message
Tumepata wasaa wakuzungumza na moja kati ya Ma-Director na waandaaji wa Filamu Tanzania, utapata nafasi ya kujifunza mengi na kuburudika pia, kupitia hii tasnia. --- Send in a voice message: https://anchor.fm/aucland-mudu/message