Podcasts about kupiga

  • 18PODCASTS
  • 28EPISODES
  • 22mAVG DURATION
  • 1MONTHLY NEW EPISODE
  • Jul 31, 2024LATEST

POPULARITY

20172018201920202021202220232024


Best podcasts about kupiga

Latest podcast episodes about kupiga

Habari RFI-Ki
Siku ya kimataifa ya kupiga vita biashara haramu ya binadamu

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 31, 2024 9:54


Wataalamu wanasema biashara hii haramu imekuja na mfumo mpya wa watu kusafirishwa kutafutiwa ajira katika mataifa ya kigeni.

Habari RFI-Ki
Siku ya kimataifa ya kupiga vita biashara haramu ya binadamu

Habari RFI-Ki

Play Episode Listen Later Jul 31, 2024 9:54


Wataalamu wanasema biashara hii haramu imekuja na mfumo mpya wa watu kusafirishwa kutafutiwa ajira katika mataifa ya kigeni.

Jioni - Voice of America
Raia wa Senegal wasubiri kwa hamu matokeo ya uchaguzi wa Rais, baada ya kupiga kura Jumapili. - Machi 25, 2024

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Mar 25, 2024 29:59


Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.

Alfajiri - Voice of America
Kampeni za uchaguzi DRC zimemalizika rasmi na sasa raia wanasubiri saa chache kabla ya vituo vya kupiga kura kufunguliwa rasmi nchini humo. - Desemba 19, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 19, 2023 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

humo kura sasa raia kabla uchaguzi kupiga chache kampeni desemba
Alfajiri - Voice of America
Vituo vya kupiga kura nchini Misri vilifungwa Jumanne baada ya uchaguzi wa siku tatu unaotarajiwa kumrejesha rais aliyeko madarakani al-Sisi - Desemba 13, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 13, 2023 29:59


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

Alfajiri - Voice of America
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa linatarajiwa kupiga kura leo Ijumaa kuondoa vikwazo vya mwisho vya kupeleka silaha nchini Somalia - Desemba 01, 2023

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 1, 2023 30:00


Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

SBS Swahili - SBS Swahili
Kupiga kura ya Voice: Kile ambacho unaweza na hauwezi fanya katika kituo chakupiga kura

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Oct 13, 2023 8:03


Maafisa wa uchaguzi nchini Australia wame toa taarifa ya kina kuhusu utaratibu utakao fuatwa, kwa kura ya maoni ya sauti yawa Australia wa kwanza bungeni itakayo fanywa Jumamosi.

AWR Swahili / Kiswahili / لغة سواحلية

Kupiga mbio kutafuta Wokovu

mungu kanisa wokovu kupiga
AWR - Jarida la redio ya Waadvenista Ulimwenguni

Kupiga mbio kutafuta Wokovu

mungu kanisa wokovu kupiga
Ikulu Tanzania
MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Jun 27, 2023 39:04


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za kulevya Duniani tarehe 25 Juni, 2023 yaliyofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha

Ikulu Tanzania
MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI

Ikulu Tanzania

Play Episode Listen Later Jun 27, 2023 39:04


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za kulevya Duniani tarehe 25 Juni, 2023 yaliyofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha

Gurudumu la Uchumi
Madeni yanavyoendelea kuzikwamisha nchi masikini kupiga hatua

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Feb 24, 2023 9:31


Athari wa Uviko19 na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, zimesababisha mataifa mengi ya Afrika kushindwa kulipa madeni yake kwa wakati, ambapo hadi kufikia sasa nchi zenye kipato cha chini karibu 22 tayari zinashindwa kulipa madeni yake au zinaelekea kushindwa. Kwa mujibu wa IMF na benki ya dunia, Afrika inadaiwa karibu dola za Marekani bilioni 726 na wakopeshaji wa nje, huku sekta binafsi kutoka China ikiwa sehemu ya wakopeshaji wakubwa kwasasa barani Afrika.Hali hii imezifanya nchi nyingi, kuomba kusamehewa baadhi ya madeni au kufanyika upya kwa utaratibu wa ulipaji.Lakin je Madeni haya ni kwakiasi gani yataendelea kuzikwamisha nchi masikini kupiga hatua?Hili ndilo tunalokwenda kulitazama hivi leo kwenye Makala ya Gurudumu la uchumi na  Emmanuel Makundi.Kujadili hili kwenye line ya simu tutakuwa na Johnson Denge, mchambuzi na mtaalamu wa uchumi akiwa Kenya, lakini kabla ya kumsikia, tusikie kile katibu mkuu wa umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, alikisema wakati wa viongozi wa umoja wa Afrika juma lililopita.

Gurudumu la Uchumi
Madeni yanavyoendelea kuzikwamisha nchi masikini kupiga hatua

Gurudumu la Uchumi

Play Episode Listen Later Feb 24, 2023 9:31


Athari wa Uviko19 na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine, zimesababisha mataifa mengi ya Afrika kushindwa kulipa madeni yake kwa wakati, ambapo hadi kufikia sasa nchi zenye kipato cha chini karibu 22 tayari zinashindwa kulipa madeni yake au zinaelekea kushindwa. Kwa mujibu wa IMF na benki ya dunia, Afrika inadaiwa karibu dola za Marekani bilioni 726 na wakopeshaji wa nje, huku sekta binafsi kutoka China ikiwa sehemu ya wakopeshaji wakubwa kwasasa barani Afrika.Hali hii imezifanya nchi nyingi, kuomba kusamehewa baadhi ya madeni au kufanyika upya kwa utaratibu wa ulipaji.Lakin je Madeni haya ni kwakiasi gani yataendelea kuzikwamisha nchi masikini kupiga hatua?Hili ndilo tunalokwenda kulitazama hivi leo kwenye Makala ya Gurudumu la uchumi na  Emmanuel Makundi.Kujadili hili kwenye line ya simu tutakuwa na Johnson Denge, mchambuzi na mtaalamu wa uchumi akiwa Kenya, lakini kabla ya kumsikia, tusikie kile katibu mkuu wa umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, alikisema wakati wa viongozi wa umoja wa Afrika juma lililopita.

Jioni - Voice of America
Wananchi wa Tunisia wamejitokeza kwa kiasi kidogo kupiga kura Jumamosi katika uchaguzi wa bunge - Desemba 17, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Dec 17, 2022 29:59


Wananchi wa Tunisia wamejitokeza kwa kiasi kidogo kupiga kura Jumamosi katika uchaguzi wa bunge

tunisia kura bunge katika uchaguzi wananchi kupiga desemba
Jioni - Voice of America
Wakenya wasubiri matokeo siku ya tano baada ya kupiga kura - Agosti 13, 2022

Jioni - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 13, 2022 29:59


Baadhi ya Wakenya walalamikia kasi ya kuhakiki na kujumulisha kura inayoendelea katika ukumbi wa Bomas of Kenya siku tano baada ya kupiga kura Jumanne wiki hii huku mwenyekiti wa tume ya uchaguzi IEBC akitangaza mabadiliko ya kimkakati katika mchakato huo.

Alfajiri - Voice of America
Wakenya waendelea kusubiri mshindi wa urais baada ya kupiga kura wakati ushindani ukiendelea kubaki mkali. - Agosti 11, 2022

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 11, 2022 29:59


Aliyekuwa waziri mkuu Raila Odinda na naibu rais William Ruto wanaonekana kuwa kwenye ushindani mkali , wakati baadhi ya washindi wa viti vingine vya ubunge na kaunti tayari wakianza kusherehekea

Alfajiri - Voice of America
Wakenya wajitokeza wa wingi ili kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu. - Agosti 09, 2022

Alfajiri - Voice of America

Play Episode Listen Later Aug 9, 2022 29:59


Abdushakur Aboud wa VOA ambaye yuko Nairobi aelezea hali ilivyokuwa asubuhi na mapema , wakati wapiga kura wakianza kumininika, pamoja na waangalizi wa kimataifa waliopo nchini humo.

nairobi kura voa agosti mkuu kupiga uchaguzi mkuu
VOA Express - Voice of America
Idadi ya vijana waliojiandikisha kupiga kura Kenya yashuka - Juni 21, 2022

VOA Express - Voice of America

Play Episode Listen Later Jun 21, 2022 30:00


Tume ya uchaguzi na mipaka ya Kenya, IEBC, imesema kwamba idadi ya vijana waliojiandikisha kama wapiga kura kwelekea kwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu imepungua sana ikilinganishwa na mwaka wa 20017.

SBS Swahili - SBS Swahili
Jinsi yakujiandikisha kupiga kura

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 5, 2022 10:53


Uchaguzi mkuu unatarajiwa kuwa mwisho wa Mei, kuna hatua lazima uchukue kabla upige kura yako kwa mara ya kwanza.

kura jinsi uchaguzi kupiga
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
DRC na Uganda zakubaliana kupiga vita waasi wa ADF, Raila Odinga kuwania urais Kenya

Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Play Episode Listen Later Dec 11, 2021 20:14


Makala hii imeangazia makubaliano kati ya Uganda na DRC kupambana na waasi wa ADF mashariki ya DRC, huko Kenya waziri mkuu wa zamani na kiongozi wa ODM Raila Odinga atangaza kuwania kiti cha rais katika uchaguzi wa mwakani, na matukio mengine mengi ya juma hili kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati pia kwengineko duniani.

Habari za UN
Kupiga makasia na kula samaki mwarobaini wa unene uliopiliza nchini Tonga

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 30, 2021 2:27


Nchini Tonga, moja ya mataifa ya visiwa vidogo lililoko katika bahari ya Pasifiki, vijana wanafundishwa stadi ya utengenezaji mitumbwi kama njia mojawapo ya kujipatia kipato, kulinda mazingira na kupunguza unene uliopitiliza au utipwatipwa. Kwa vipi?  (Taarifa ya Leah Mushi) Katika karakana ya utengenezaji wa mitumbwi nchini Tonga, taifa lenye visiwa vidogo 170 na ambako chakula si mazao yalimwayo nchini humo bali kwa kiasi kikubwa vilivyosindikwa na hivyo kusababisha kuwa moja ya nchi yenye watu wengi tipwatipwa duniani. Tawfiq El-Zabri ni Mkurugenzi Mkazi wa Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa maendeleo ya kilimo, IFAD na anafafanua.  "Tonga inakabiliwa na viwango vya juu kabisa vya lishe duni na magonjwa yasiyo ya kuambukiza kama unene kupita kiasi na mengi ambayo yanahusiana na ukosefu wa lishe bora. Eneo la ardhi ni dogo na limeathiriwa na maji ya chumvi, mabadiliko ya tabianchi na ongezeko la idadi ya watu na kwa hivyo ni muhimu watu hapa kupata nafasi ya kwenda baharini kuvua samaki. " Ili kunusuru vijana wa Tonga, IFAD ikaamua kuanzisha mradi kwa kushirikiana na serikali pamoja na taasisi ya MORDI TONGA ili kutoa mafunzo stadi ya kutengeneza mitumbwi, wakufunzi wakiwa ni wazee. Kupitia mafunzo mosi, vijana wanapata nyenzo za uvuvi, pili stadi za kupiga makasia zitawaweka kwenye afya njema kwani ni mazoezi, na tatu samaki watakaovua baharini watawasaidia si tu kupata kipato bali lishe bora kama anavyoeleza Alipate Sailosi mkufunzi na kiongozi wa jamii ya Eua. “Kwa sasa watu lazima walipe fedha ili waweze kwenda baharini kwa kutumia boti. Lakini ukiwa na mtumbwi, kisha ukapata kifungua kinywa kizuri, hapo kijana atapata nguvu ya kutosha kupiga makasia siku nzima ” Vijana walioanza kunufaika na mradi huu wa IFAD wanashukuru kama anavyosema Okusi Lama “Nimejifunza vitu vingi wakati wa mafunzo. Ningependa kuwahimiza vijana wahudhurie kwa sababu hii inaweza kuwa njia ya kuwanufaisha sio tu kama wavuvi, bali pia kama mafundi. ” Mradi huo pia unakusudia kuwa hakikisho la upatikanaji wa chakula na kuwa chanzo cha kipato cha ziada kwa familia za Tonga.

Men. Men. Men. - The Podcast -
Ep - 26 - Kupiga Chabo & Mental Health

Men. Men. Men. - The Podcast -

Play Episode Listen Later Nov 20, 2020 54:33


Kupiga chabo, kula deo, kupiga kideo, kuchungulia.(Voyeurism). Kama ni mtoto wa kiume ambae umekua hapa hapa nchini Tanzania, basi haya si maneno mageni na wengi sana wamekua wakiona hili ni jambo la kawaida la kufanya kwenye jamiio. Si jambo jema, si jambo la kujivunia LAKINI pia si jambo ambalo watu wanaliongelea. Je unafahamu kua kuna uhusiano wa afya ya akili na tabia hii? Unafahamu kua kuna urahibu (Addiction) ambayo inaweza kutokana na hiki kitendo? Nini chanzo chake? Kinaweza kuathiri vipi afya yako ya akili? Michael na Nadia wanajadili hili kwenye “episode” hii ya 26: Kupiga Chabo & Mental Health

Habari za UN
Mwanahabari ajikwamua kupitia ufugaji wa sungura Uganda

Habari za UN

Play Episode Listen Later Sep 2, 2020 3:54


Kupiga vita umaskini ni jukumu la kila mtu kujipigania kwa kusaka vyanzo mbadala vya mapato. Vijana wengi nwanakabiliwa na changamoto ya pato duni na mara nyingine hata kufikia kuandamana wakitaka nyongeza ya mishahara kwa wale waliobahatika kupata kazi.

uganda kupiga ufugaji
Africa & Beyond
Kupiga Kelele pt. 1

Africa & Beyond

Play Episode Listen Later Jul 21, 2019 25:55


Kupiga kelele huangusha ukuta za maisha yetu.

kupiga
Africa & Beyond
Kupiga Kelele pt. 2

Africa & Beyond

Play Episode Listen Later Jul 21, 2019 22:14


Kupiga kelele huangusha ukuta za maisha yetu.

kupiga
SBS Swahili - SBS Swahili
Settlement Guide: How to vote in Australia - Mwongozo wa makazi: Jinsi ya kupiga kura Australia

SBS Swahili - SBS Swahili

Play Episode Listen Later Apr 23, 2019 10:41


Australians go to the polls to vote in the federal election on ... - Waustralia wanaelekea kwenye uchaguzi ili kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa shirikisho ...

Mjadala wa Wiki
Mjadala wa Wiki - Wananchi wa DRC kupiga kura siku ya Jumapili

Mjadala wa Wiki

Play Episode Listen Later Dec 19, 2018 14:01


Wananchi wa DRC watapiga kura siku ya Jumapili, kumchagua rais mpya. Kampeni zinamalizika wiki hii kuelekea Uchaguzi huo wa kihistoria. Ushindani mkali ni kati ya wagombea watatu, Emmanuel Shadary kutoka chama tawala, Martin Fayulu kutoka muungano wa upinzani wa Lamuka, na Felix Tshisekedi. Tume ya Uchaguzi CENI inasema iko tayari kwa uchaguzi huu licha ya kukabiliana na changamoto mbalimbali ikiweko kuteketea moto vya baadhi ya vifaa vya kupigia kura.

wiki drc kura siku felix tshisekedi tume martin fayulu uchaguzi wananchi jumapili kupiga kampeni
Ya’akobi Radio
e2: Kupiga Mateso

Ya’akobi Radio

Play Episode Listen Later Apr 13, 2018 13:07


"Kupiga mateso" is Swahili for "Beating the Torture". In this episode we're covering Matthew 10:5-42 - Christ send us out into the world - Persecution Will Come - Have No Fear - Not Peace, but a Sword - Rewards May the words of these verses bless your spirit and help give you constant thought of the Most High. Glory to God, love y'all! Any questions, comments or wanna add some thoughts to the show? Email: Dylanfoster21@gmail.com