POPULARITY
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoturejesha hapa makao makuu ambako Idhaa hii Dokta Willis Ochieng kutoka Kenya aliyehudhuria ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na masuala ya kilimo na maendeleo. Pia tunakuletea muhtasari wa habari, na mashinani tunakwenda Ghana.Ukuaji wa maendeleo ya binadamu – yanayopimwa kwa uhuru na ustawi wa watu – umeendelea kuwa wa kasi ndogo tangu mshtuko mkubwa wa janga la COVID-19 lakini kuna matumaini makubwa kwamba Akili Mnemba au AI, ikiwa itatumika kwa njia sahihi, inaweza kuwa chombo chenye nguvu cha kuboresha maisha ya mamilioni ya watu. Hii ni kwa mujibu wa Ripoti ya kila mwaka ya Maendeleo ya Binadamu iliyotolewa leo na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo duniani, UNDP.Kulengwa kwa hospitali ya Médecins Sans Frontières nchini Sudan Kusini kunaweza kuwa uhalifu wa kivita imeeleza leo Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu Sudan Kusini kufuatia mashambulizi ya angani yaliyotekelezwa dhidi ya hospitali ya Médecins Sans Frontières (MSF) huko Old Fangak, Jimbo la Jonglei mapema majuzi asubuhi ya Jumamosi na kusababisha vifo vya takribani raia saba na kujeruhi wengine. Shambulio hilo lilifanyika baada ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Sudan Kusini (SSPDF) kutoa onyo la kufanya shambulizi iwapo dai lao la kuachiliwa meli zao zilizotekwa halitatekelezwa.Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO, iliyotolewa leo imeonesha jinsi mahali mtu anakozaliwa kulivyo na mchango katika maisha yake. Ripoti inasema, “mahali mtu anakozaliwa huweza kuamua kama ataishi zaidi ya miongo mitatu kuliko mtu mwingine aliyezaliwa katika nchi yenye hali duni za makazi, elimu na fursa za ajira.”Na mashinani leo nampa fursa Dorcas Awortwe, Naibu Mkurugenzi wa Tume ya Maendeleo ya Kanda ya Kati kutoka Ghana, aliyeshiriki kwenye mkutano wa jukwaa la watu wa asili hapa Makao Makuu wiki iliyopita anazungumzia changamoto zinazowakabili watu wa asili katika jamii yake na ombi lake kwa Umoja wa Mataifa.Mwenyeji wako ni Leah Mushi, karibu!
Vita ya sasa ya Sudan ikielekea kuingia mwaka wa tatu, Tume Huru ya Umoja wa Mataifa ya kusaka ukweli kuhusu Sudan imelaani vikali mauaji ya watu zaidi ya 100 yaliyotokea wikiendi hii katika kambi za wakimbizi wa ndani Darfur, ikionya kwamba hali inaweza kuwa mbaya zaidi. Anold Kayanda na taarifa zaidi.(Taarifa ya Anold Kayanda)Shukrani LeahTangu kuanza kwa vita kati ya Jeshi la Sudan (SAF) na kikosi cha waasi cha RSF mnamo tarehe 15 Aprili mwaka 2023, maelfu ya watu wamepoteza maisha, huku mamilioni wakikumbwa na njaa, ubakaji, na ufurushwaji. Kambi kama ya Zamzam, yenye wakazi zaidi ya laki saba – nusu yao wakiwa watoto – zinaripotiwa kuzingirwa, wakazi wake wakikosa chakula, dawa, na maji, imeeleza Tume Huru ya Umoja wa Mataifa ya kusaka ukweli kuhusu Sudan.Mwenyekiti wa tume hiyo, Mohamed Chande Othman, ananukuliwa akisema, “Dunia imeshuhudia miaka miwili ya mzozo usio na huruma ambao umewanasa mamilioni ya raia katika mazingira ya kutisha, wakiwekwa katika hali ya ukatili bila matumaini ya mwisho.”Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, Catherine Russell kuhusu tukio hili la hivi karibuni ni kwamba watoto takriban 23 na wahudumu 9 wa misaada wameripotiwa kuuawa katika mfululizo wa mashambulizi katika eneo la Darfur Kaskazini, katika kipindi cha siku tatu zilizopita.Jana Jumapili, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesisitiza kuwa mashambulizi yanayolenga raia ni marufuku kabisa chini ya sheria ya kimataifa ya kibinadamu. Wafanyakazi wa misaada ya kibinadamu na wafanyakazi wa afya wanapaswa kuheshimiwa na kulindwa,anasema.Kesho Jumanne huko London Uingereza, mataifa takriban 20 yanatarajiwa kujadili hali ya kibinadamu nchini Sudan. Umoja wa Mataifa unatoa wito wa hatua za haraka kulinda raia, kusitisha uungwaji mkono kwa pande zinazopigana, na kuhakikisha haki na uwajibikaji kwa uhalifu wa kivita.
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoturejesha kwenye mkutano wa hivi majuzi wa CSW69 kufuatilia harakati za Mfuko wa CRDB za kujengea uwezo na kuinua wanawake nchini Tanzania. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na uchambuzi wa neno “MHARUMA.”Mashirika ya Umoja wa Mataifa na wadau wa misaada ya kibinadamu leo wamesema wanaendelea kuwasaidia watu wa Muyanmar na mahitaji ya msingi baada ya tetemeko kubwa la ardhi la Ijuma iliyopita ambapo idadi ya waliopoteza maisha sasa ni zaidi ya 2,800, maelfu wamejerihiwa na mamia bado hawajulikani wako.Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, amesema leo kwamba ameshtushwa na ripoti za mauaji ya raia bila kufuata utaratibu wa kisheria yaliyoenea mjini Khartoum baada ya kurejeshwa kwa mji huo chini ya udhibiti wa Jeshi la Sudan (SAF) tarehe 26 Machi.Na majadiliano ya siku mbili ya kila mwaka ya será kuhusu maendeleo endelevu yaliyoandaliwa na Club De Madrid yameanza leo Nairobi Kenya mwaka huu yakijikita na ufadhili wa maendeleo. shududa wetu huko ni Stella Vuzo kutoka kitengo cha habari cha Umoja wa Mataifa UNIS Nairobi.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno MHARUMA”Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina ambapo Umoja wa Mataifa kupitia miradi mbalimbali ikiwemo mradi wa Pamoja wa Kigoma, KJP nchini Tanzania, unaolenga kuhakikisha wanawake na wasichana wanajumuishwa kwenye mipango ya kuhimili na kukabili mabadiliko ya tabianchi, kwa kuwajengea uwezo.Kuelekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake Machi 8, tathmini mpya ya Umoja wa Mataifa iliyowekwa wazi leo ikiangazia haki za wanawake miaka 30 baada ya Azimio la Beijing inaonesha uwepo wa maendeleo katika usawa wa kijinsia, kama vile sheria dhidi ya ubaguzi na sera jumuishi za kijinsia. Hata hivyo, ripoti hiyo inaeleza uwepo bado wa ubaguzi wa kijinsia uliojikita katika jamii, ukiendelea kuwazuia wanawake na wasichana kupata fursa.Ripoti nyingine ya Umoja wa Mataifa iliyochapishwa leo ikiangazia Sudan imefichua vitendo vya watu kukamatwa kiholela, mateso, na unyanyasaji huko Khartoum vinavyotekelezwa na Vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF) na pia Jeshi la Serikali ya Sudan (SAF). Ripoti hiyo imearifu pia kuwa makumi ya maelfu ya watu wamewekwa katika mazingira duni tangu Aprili 2023.Kutokana na kupungua kwa ufadhili wa misaada ya kibinadamu duniani, Umoja wa Mataifa leo jijini Geneva, Uswisi kutenga dola milioni 110 ili kusaidia majanga yaliyopuuzwa katika nchi 10 barani Afrika, Asia, na Amerika Kusini, zikiwemo Niger, Somalia, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Zambia.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili, mchambuzi wetu Dkt. Josephat Gitonga, kutoka Kenya ambaye ni mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwenye kitivo cha tafsiri na ukalimani anatufafanulia maana ya methali “MCHAWI AKIFICHUA MIRIMO YA WACHAWI HU UAWA”.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!
Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Tanzania (TPTC) kilichoko chini ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ/TPDF) kinavyotumia sanaa ya muziki kuelimisha walinda amani kuhusu ukatili wa kijinsia na unyanyasaji wa kingono. Makala hii iliyokusanywa na Florean Kiiza wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa Tanzania kwa kushirikiana na Kapteni Mwijage Francis Inyoma wa JWTZ imechakatwa na Anold Kayanda na inasimuliwa na Flora Nducha.
Full show: https://kNOwBETTERHIPHOP.com Artist Played: Beautiful Chorus, India Arie, conshus, Table For Three, Rachel Bobbitt, Sum, Jimetta Rose, Meshell N'Degeocello, Yukimi, Lianne La Havas, Emma Lee M.C., Roccwell, Bahamadia, Retrogott, Maribou State, Holly Walker, J.PERIOD, De La Soul, MF Doom, Dilla, Chaos In The CBD, Nathan Haines, Andromeda, Errol Eats Everything, Eddie Chacon, John Carroll Kirby, Mark Ski, Jake Palumbo, Jorok, Kristen Warren, Nolan The Tadpole Warren, Jeshi, Fredwave, Louis Culture, J.Caesar, Bathe, Phill Most Chill, A.C. The Program Director, Screechy Peach / Whild Peach, OutKast, GOODie MOb, IMAKEMADBEATS
Full show: https://kNOwBETTERHIPHOP.com Artist Played: E-Turn, conshus, IMAKEMADBEATS, Butta Verses, Allen Stone, Jeshi, Leilah, Fusilier, Danny Miles, Shad, Saukrates, DJ Ess, Ora The Molecule, Hiromi, Sonicwonder, Okito, MeccaGodZilla, Ebba Asman, Dumi Right, Poem-Cees, C-Doc, MoZaic, Okito, ADST Music, Inn Kroud Zola, Killa Cal, Priest Da Nomad, NuChoyce, Yukimi, Phill Most Chill, A.C. The Program Director, OutKast, GOODie MOb, IMAKEMADBEATS
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo Felix Tshisekedi, amewarai vijana kujiunga kwa wingi na jeshi la taifa kusaidia kupambana na waasi wa M23 wanaojaribu kukamata maeneo makubwa zaidi mashariki mwa nchi hiyo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Nouveau cahier musique mis au point par Tsugi dans Libération. Découvrez le sommaire et la playlist avec : Pamela, Station 44, Camelia Jordana, Lisa Ducasse et Jeshi
Pour l'interlude oldie ça sera du Puccini revisité par Malcom McLaren !Hal & Oates - She's GoneAnnie & The Caldwells - Cant Lose My (Soul) - WrongLarry June, 2 Chainz, The Alchemist - Bad ChoicesPrefab Sprout - AppetiteFKA twigs - EusexuaFKA twigs feat. North West - Childlike ThingsBlasé - I Need It (From You) (feat. Cola Boyy)Kompromat - GOD IS ON MY SIDEDj Koze, Ada - UnbelievableMalcolm Mclaren - Madam ButterflyINNER LIFE I'm Caught Up (In a One Night Love Affair)Ale Hop & Titi Bakorta - Así Baila el SintetizadorBoldy James - Single File LineBoldy James - Permanent InkSaya Gray - Lie DownJeshi - YOU SNOOZE YOU LOSEJeshi - SCUMBAGCentral Cee x 21 Savage - GBPPlastikman - Konception (2024 Remastered)Mean Bacharach - No DoubtBurt Bacharach - Something BigMalcolm McLaren - First Couple OutMalcolm McLaren And The World's Famous Supreme Team Show - World's Famous (Radio I.D.)
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Der SRF 3 Musikabend zum Wochenendstart mit den Hinhörern aus den heute erschienenen neuen Alben (The Weather Station! Ela Minus!), einem Zückerchen aus der Schweiz (Aino Salto!), einer neuen Tocotronic-Single(!) UND unserer ersten «Eurosonic»-Entdeckung. +++ PLAYLIST +++ · 21:55 – UNBELIEVABLE von DJ KOZE & ADA · 21:49 – DEMOLITION von MARIE DAVIDSON · 21:46 – QQQQ von ELA MINUS · 21:42 – IDOLS von ELA MINUS · 21:40 – CUNTOLOGY 101 von LAMBRINI GIRLS · 21:37 – SCHWARZE MAGIE von DIE HEITERKEIT · 21:34 – NEVER TEAR US APART von INXS · 21:31 – ADORE von YES I'M VERY TIRED NOW FEAT. NATASHA WATERS · 21:27 – STAND UP TALL von DIZZEE RASCAL · 21:24 – SCUMBAG von JESHI · 21:21 – UNLEASH ME von BUSTA RHYMES · 21:16 – FUNNY PAPERS von MAC MILLER · 21:13 – LLORANDO (CRYING) von REBEKAH DEL RIO · 21:07 – IN DREAMS von ROY ORBISON · 21:04 – LIKE CLEOPATRA von BABE RAINBOW · 20:55 – HOW DO YOU WANT TO BE LOVED? von SOPHIE JAMIESON · 20:50 – CAMERA von SOPHIE JAMIESON · 20:45 – POWERLINES von AINO SALTO · 20:41 – WE MUST HAVE BEEN ASLEEP von AINO SALTO · 20:37 – AIN'T THAT ENOUGH von TEENAGE FANCLUB · 20:33 – SNOWFLAKES von DROPKICK · 20:30 – DOLLY von GEOWULF · 20:26 – KEEP ME SATISFIED von JUNGLE · 20:24 – IGNORED von BOKO YOUT · 20:19 – RUSTLE von HUTCH · 20:16 – YOU'VE GOT THE LOVE von FLORENCE + THE MACHINE · 20:13 – RIBBON von THE WEATHER STATION · 20:07 – NEON SIGNS von THE WEATHER STATION · 20:03 – BLEIB AM LEBEN von TOCOTRONIC
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
We discuss our most anticipated music projects for 2025, reflecting on the impact of 2024's releases including J. Cole's 'The Fall Off', Yasin Bey, The Alchemist, Baby Keem, Jay Rock, and Joey Badass as well as UK artists like Skepta, Jeshi, Central Cee, Krept and Konan.We also talk about the potential shifts in music trends for 2025.
Jeshi la polisi Kenya limekanusha kuhusika na visa vya karibuni vya utekaji unaowalenga wakosoaji wa serikali. Watu 74 walitekwa tangu maandamano ya kuipinga serikali, huku 26 wakiwa bado hawajulikani waliko.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Ungana nami Martin Joseph, Katika Kipindi cha Usalama Barabarani Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania leo tupo na Afande Michael Deleli, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani, ikiwa mada ni endesha salama ufike salama. L'articolo Je, wafahamu njia salama ya kuendesha Gari Barabarani? proviene da Radio Maria.
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina mada kwa kina inayotupeleka Zanzibar nchini Tanzania kupata ufafanuzi wa jukumu la “Zanzibar Maisha Bora Foundation” akitueleza Bi. Mariam Mwinyi ambaye pia ni Mke wa Rais wa Zanzibar, wakati wa ziara yake hapa Umoja wa Mataifa hivi karibuni. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na ufafanuzi wa neno HEREREZA.Kwa mujibu wa ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo na mashirika yake lile la mpango wa chakula (WFP) na la chakula na kilimo (FAO), uhaba mkubwa wa chakula unatarajiwa kuongezeka kwa ukubwa na ukali katika nchi na maeneo 22 duniani. Ripoti hiyo inaonya kwamba kuenea kwa migogoro, hasa katika Mashariki ya Kati inasukuma mamilioni ya watu ukingoni.Mratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine, Matthias Schmale, amelaani vikali shambulio la jana usiku lililotekelezwa na Jeshi la Urusi ambapo jengo la makazi la ghorofa nyingi lilipigwa katika mji wa Kharkiv, wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine.Na ikiwa leo ni Siku ya Kimataifa ya majiji, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amewapigia chepuo vijana akitaka sauti zao na mawazo yao kupewa nafasi kwani kuanzia harakati za chinichini hadi maabara za uvumbuzi, vijana wanasukuma hatua kabambe kukabiliana na tabianchi, wanaunga mkono ujumuishaji wa nishati mbadala, kazi zisizozalisha hewa chafuzi na usafiri safi wa umma, ambayo ni mambo yanayochangia kuunda miji endelevu ambapo kila mtu anaweza kustawi.Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno HEREREZA!Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayotupeleka nchini Kenya kuwasikia vijna ambao wanashiriki kongamano la vijana, wakieleza kuhusu mkataba wa zama zijazo na mchango wao katika kuutekeleza mashinani mwao. Pia tunakuletea muhtasari wa habar iza Sudan, Kura ya Knesset kuhusu UNRWA, na Siku ya kimataifa ya huduma, na mashinani.Baada ya Bunge la Israel hapo jana Oktoba 28 kupiga kura ya kuizuia Shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) kufanya shughuli zake katika maeneo yote yaliyoko chini ya Israel, viongozi wa Umoja wa Mataifa kuanzia Katibu Mkuu Antonio Guterres wameendelea kupaza sauti kwamba kuizuia UNRWA ni ukiukwaji wa sheria za kimataifa na italeta zahma kwa maisha ya watu katika eneo hilo la Mashariki ya Kati. Katibu Mkuu Guterres amesema analileta suala hili kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na atahakikisha Baraza hilo muda wote linakuwa na taarifa kwa kadri hali inavyoendelea.Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa kutafuta ukweli nchini Sudan umesema katika ripoti yake mpya ya kina leo kwamba Vikosi vya wanamgambo wa RSF, ambavyo vimekuwa vikipigana na Jeshi la Sudan (SAF) katika mzozo unaoendelea nchini humo, vinahusika na kufanya ukatili wa kingono kwa kiasi kikubwa katika maeneo yaliyo chini ya udhibiti wao, ikiwa ni pamoja na ubakaji wa makundi na kuwateka nyara na kuwaweka kizuizini waathiriwa katika hali ambayo ni sawa na utumwa wa ngono.Na leo ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya Usaidizi na Matunzo, makadirio mapya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kazi (ILO), yaliyotolewa leo yanaonesha takribani wanawake milioni 708 duniani kote wako nje ya nguvu kazi zenye ujira kwa sababu ya majukumu ya kutoa usaidizi au matunzo bila malipo. Utafiti huo umefanywa katika nchi 125.Mashinani leo tutakwenda katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya Al Matar huko Kassala, Sudan, kusikiliza ujumbe kutoka kwa Ted Chaiban, Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF, aliyefanya ziara kambini humo.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hatowania urais ila Uganda itaendelea kuongozwa na polisi au jeshi baada ya rais Museveni Juma lililopita mtoto wa Rais wa #Uganda pia mkuu wa majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa nchi hiyo itaongozwa na mwanajeshi au polisi baada ya baba yake kuondoka madarakani.
Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amesema hatowania urais ila Uganda itaendelea kuongozwa na polisi au jeshi baada ya rais Museveni Juma lililopita mtoto wa Rais wa #Uganda pia mkuu wa majeshi Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kuwa nchi hiyo itaongozwa na mwanajeshi au polisi baada ya baba yake kuondoka madarakani.
Ujumbe Huru wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa kutafuta ukweli nchini Sudan, leo Septemba 6 jijini Geneva, Uswisi, wametoa wito wa kuwekwa vikwazo vya silaha kote nchini Sudan kutokana na kukithiri kwa vitendo vya kikatili kama vile mashambulizi ya kutisha ya kingono. Ni mbobevu wa sheria duniani, Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Ujumbe huo Huru wa Kimataifa wa Umoja wa Mataifa wa Mataifa wa kutafuta ukweli kuhusu yanayoendelea Sudan akiwaeleza waaandishi wa habari leo kwamba, "tangu katikati ya Aprili mwaka 2023, mzozo wa Sudan umeenea hadi majimbo 14 kati ya 18 na kuathiri nchi nzima na ukanda huo, na kuwafanya Wasudan milioni nane kuwa wakimbizi wa ndani kutokana na mzozo huo, na milioni mbili - zaidi ya milioni mbili – kulazimishwa kukimbilia nchi jirani.”Katika ripoti yao hii ya kwanza tangu Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa lilipounda jopo hilo mwaka jana 2023, wajumbe hawa wamesisitiza kwamba pande zote mbili zinazohasimiana yaani wanajeshi wa Jeshi la Sudan (SAF) na Vikosi vya wanamgambo wa Rapid Support Forces (RSF), pamoja na washirika wao, wanahusika na mashambulizi makubwa, ya kiholela na ya moja kwa moja yaliyohusisha mashambulizi ya anga na makombora dhidi ya raia, shule, hospitali, mitandao ya mawasiliano na miundombinu mingine muhimu ya maji na umeme ikionesha kutozingatia kabisa ulinzi wa wasio wapiganaji.Joy Ngozi Ezeilo, mmoja wa wajumbe wa jopo hilo la wataalamu huru anaeleza kwamba, waathirika walisimulia kushambuliwa wakiwa kwenye nyumba zao na kutishiwa kifo au kuumizwa kwa ndugu au watoto wao kabla ya kubakwa na zaidi ya mtu mmoja.”Wachunguzi hao licha ya kupendekeza uwekaji zaidi wa vikwazo vya silaha kwa Sudan, pia wamehimiza kuanzishwa kwa kikosi cha kimataifa cha kulinda amani na ama kiwe chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa au mamlaka nyingine ya kikanda.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Full show: https://kNOwBETTERHIPHOP.com Artist Played: unselftitled, Yasiin Bey, Mos Def, conshus, Mugs and Pockets, Yellow House, Paavo, Busfoot, Kairos Creature Club, REKS, Chill Ill, Tiffany Paige, Hakushi Hasegawa, Jeshi, Bench Playazz, Okito, Dolo76, LImperatrice, Erick the Architect, TSHA, Rose Gray, Paradox, DJ Sean P, Eternia, Butta Verses, Ezra Collective, Yazmin Lacey, Previous Industries, Quelle Chris, M Slago, Homeboy Sandman, Aesop Rock, OutKast, GOODie MOb, IMAKEMADBEAT
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Jeshi la Kenya Alhamisi lilifanya operesheni kuwaokoa wahanga wa mvua kubwa iliyosababisha vifo
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Jeshi la polisi la New South Wales lime anza uchunguzi kwa shambulizi la kisu, lililo wauwa watu sita ndani ya soko kubwa katika vitongoji vya mashariki ya Sydney.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Full show: https://kNOwBETTERHIPHOP.com Artist Played: Mugs and Pockets, conshus, Jazzy Soto, DJ Medmessiah, Miss A, H20 Klann, TORRES, The Jazz Defenders, Doc Brown, Nathalie Joachim, Butcher Brown, Logic1000, DJ Plead, MJ Nebrada, Barry Cant Swim, ElementalzMusic, Mister J, PnerOnlyUs, Ant Rants, Jeshi, Jawnino, Jayda G, Dumi Right, Chubb Rock, YZ, Chuck D, unselftitled, Ol Dirty Bastard, Kelis, Jay Prince, Jordan Mackampa, K-Rec, Kurious, Birdapres, OutKast, GOODie MOb, IMAKEMADBEATS
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Full show: https://kNOwBETTERHIPHOP.com Crescendo, SoyIsReal, conshus, TzariZM, Jeshi, Madison McFerrin, Paradime, DJ Los, Lady Wray, Surprise Chef, Elzhi, Oh No, Chiare, Sly5thAve, Jonathan Mones, Knaladeus, Flightschool, Homeboy Sandman, Mono En Stereo, Girl Ray, Erick the Architect, WordChemist, Shinobi Stalin, Cut Beetlez, Godfather Don, Roosevelt, King Kashmere, Snoop Dogg and Lil' Wayne, OutKast, GOODie MOb, IMAKEMADBEATS
David Blot réactualise ta playlist avec les dernières sorties musicales.TRACKLISTYoung marble Giants - Brand - New - LifeObongjayar - Who Let Him In Lil Yachty - THE SECRET RECIPE (ft. J. Cole) Chloé Caillet, Kassav', Jean Claude Naimro - En Balaté (rework) Motor City Drum Ensemble - Raw Cuts #3Sofia Kourtesis - How Music Makes You Feel Better Logic1000 - Grown On Me Cleo Sol - Self Cleo Sol - Reason Hall & Oates - I Can't Go For That (No Can Do) Jeshi - Air RaidEartheater - Crushing Eartheater - Face In The Moon Héctor Lavoe & Willie Colón - Qué Lío Kamaal Williams & Miguel Atwood-Ferguson - The Last Symphony Kamaal Williams - Dogtown Soda Stereo - En La Ciudad de la Furia Saya Gray - Annie, I Sing ForYoung Marble Giants - Choci Loni Hébergé par Acast. Visitez acast.com/privacy pour plus d'informations.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo FAO, limetahadharisha kuwa viwavijeshi ambavyo vimeripotiwa kuonekana kwenye mbuga na hifadhi za wanyama nchini Kenya vimerejea.Wadudu hao pia wameonekana kwenye mataifaJirani ya Eritrea, Sudan Kusini,Ethiopia, Somalia na Uganda. Ifahamike kuwa mwaka 2016 viwavijeshi vilionekana kwenye mataifa 6 pekee barani Afrika.Viwavijeshi vina uwezo wa kuvamia na kukomba mazao ya mahindi, ngano, mtama, shayiri na nyasi. Kwa undani zaidi wa juhudi hizo ungana na mwandishi wetu wa Kenya Thelma Mwadzaya katika Makala hii.
Walinda amani wa Umoja wa Mataifa Kikosi cha 6 cha kutoka Tanzania TANBAT 06 wanaohudumu chini ya ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) wamepokea ugeni na salamu kutoka Jeshi la Ulinzi wa Wananchi Tanzania (JWTZ) kupitia ujumbe uliongozwa na Brigedia Jenerali George Mwita Itang'are aliyewakilisha salamu za Mkuu wa Majeshi ya Tanzania kutokana na sifa nzuri anazozipokea kutoka MINUSCA kuhusu kikosi hicho. Afisa Habari wa TANBAT 06 Kapteni Mwijage Inyoma ameshiriki na kutuandalia makala hii..
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS umetoa wito wa kusitishwa mara moja kwa uhasama miongoni mwa wakimbizi wa ndani katika Kambi ya Umoja wa Mataifa ya Ulinzi wa Raia nchini humo kufuatia tukio la jana Alhamis ambapo watu kadhaa waliripotiwa kujeruhiwa na wengine kuuawa.Video iliyorekodiwa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) inaonesha gari la wagonjwa la Umoja wa Mataifa likisindikizwa na walinda amani likipita katika barabara ya vumbi katikati ya umati wa wakimbizi wa ndani katika eneo la Malakal nchini Sudan Kusini. Kila mmoja aliyefanikiwa kusalia na chochote katika anavyovimiliki, amekibebeba kichwani, mgongoni au mkononi. Jana muda wa mchana ghasia zilizuka kati ya jamii mbili za wakimbizi wa ndani ambazo zimehifadhiwa katika Kambi ya Umoja wa Mataifa ya Ulinzi wa Raia. UNMISS inasema vurugu hizo zilichochewa na tukio la kuchomana visu huku ripoti za awali zikitaja raia watatu kuuawa na wengine 20 kujeruhiwa hadi kufikia jana Alhamisi mchana. Kabla ya hapo, hiyo-hiyo jana Alhamis asubuhi, milio ya risasi ilitanda alfajiri katika mji mkuu wa jimbo la Upper Nile, Malakal, karibu na makazi ya UNMISS.Walinda amani wa UNMISS waliingia kazini haraka kwa kuwa hali ya wasiwasi imekuwa ikiendelea hapa tangu mwisho wa wiki iliyopita, wakati mzozo katika kituo cha maji uliongezeka haraka na kuwa mzozo kamili ambapo mtu mmoja mwenye umri wa miaka 32 aliuawa. Kwa kuwa kambi ya walinda amani iko karibu na kambi ya Umoja wa Mataifa ya ulinzi kwa raia, mara zote walinda amani wako chonjo kuchukua hatua ya haraka pindi tu wanapopokea taarifa ya vurugu. Wakati wa mapigano ya mwezi uliopita, wanajeshi na polisi walinda amani walitumwa mara moja ili kutuliza hali hiyo. Polisi na walinda amani wa kijeshi kwa sasa wanashika doria ndani ya eneo hilo na kuzunguka eneo la nje, kwa ushirikiano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Sudan Kusini ili kuondoa hofu miongoni mwa jamii iliyokimbia makazi yao. Zaidi ya hayo, walinda amani matabibu katika hospitali ya UNMISS wanatoa huduma ya dharura kwa baadhi ya waliojeruhiwa. Kwa mujibu wa usajili wa kibayometriki wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM), kufikia Desemba mwaka jana 2022, baadhi ya watu 37,032 waliokimbia makazi yao wanajihifadhi katika Eneo la Ulinzi la Umoja wa Mataifa la Malakal.
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya haki za binaadamu, OHCHR imeeleza kusikitishwa na athari mbaya za mapigano kwa raia zinazoendelea nchini Sudan ambapo mpaka hizi sasa wamepokea taarifa za kuuawa kwa raia ikiwemo watoto na wajawazito na ubakaji huku waandishi wa habari wakiwa katika hali mbaya kutokana na kauli za chuki hususani mitandaoni.Akizungumza na waandishi wa habari hii leo jijini Geneva Uswisi msemaji wa Ofisi hiyo ya Haki za Binadamu Jeremy Laurence amesema, “Kwa wiki hii pekee limetokea shambulio katika soko la mifugo lenye shughuli nyingi katika mji mkuu Khartoum lilisababisha vifo vya raia wanane, miongoni mwao takriban watatu wanatoka familia moja. Mashambulizi ya anga kwenye soko la Al-Muwaliyyah tarehe 7 Juni yalidaiwa kutekelezwa na Jeshi la Sudan.”Jeremy pia amezungumzia tukio la mtoto kuuawa akiwa nyumbani kwao na pia uwepo wa ripoti za unyanyasaji wa kingono.“Tangu mapigano yalipoanza, Ofisi yetu imepokea ripoti za kuaminika za matukio 12 ya unyanyasaji wa kingono yanayohusiana na mzozo huo, dhidi ya angalau wanawake 37, ingawa idadi inaweza kuwa kubwa zaidi. Katika angalau matukio matatu, waathirika walikuwa wasichana wadogo. Katika kisa kimoja, wanawake 18 hadi 20 waliripotiwa kubakwa.”Ripoti za watu kutoweka na waandishi wa habari kukabiliwa na ongezeko la matamshi ya chuki mitandaoni pia zimeripotiwa.