Podcasts about Bonde

  • 505PODCASTS
  • 876EPISODES
  • 38mAVG DURATION
  • 1WEEKLY EPISODE
  • May 30, 2025LATEST
Bonde

POPULARITY

20172018201920202021202220232024

Categories



Best podcasts about Bonde

Latest podcast episodes about Bonde

Habari za UN
30 MEI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 30, 2025 9:58


Hii leo jaridani tunaangazia hali ya elimu kwa watoto mashariki mwa DRC na Mkutano wa pili wa Baraza Kuu la Makazi la shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi Duniani UNHABITAT unaofunga pazia leo jijini Nairobi Kenya. Makala inaturejesha nchini DRC na mashinani inatupeleka katika bonde la Ziwa Victoria, kulikoni?Wakati ghasia zinazoendelea huko Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC zinaripotiwa kusababisha zaidi ya watoto milioni 1.8 kutokuweko shuleni, shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF nchini humo linajitahidi kwa udi na uvumba kuhakikisha watoto wanapata elimu kwani ni haki yao ya msingi.Mkutano wa pili wa siku mbili wa Baraza Kuu la Makazi la shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi Duniani UNHABITAT leo unafunga pazia jijini Nairobi Kenya. Baraza hilo linalofanyika kila baada ya miaka minne ni chombo cha juu kabisa duniani cha kufanya maamuzi kuhusu maendeleo ya miji endelevu na limewaleta pamoja wawakilishi kutoka nchi zote 193 wanachama wa Umoja wa Mataifa pamoja na wadau mbalimbali wa amendeleo ya miji.Makala inakupeleka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC hususan jimboni Kivu Kaskazini katika kitongoji cha Mavivi kuwasikia walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania,kikosi cha 11, TANZBATT11, wanaohudumu katika ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO wakielezea sio tu majukumu yao, bali pia wanajivunia kile wanachofanya kwa kuzingatia Mei 29 imeadhimishwa siku ya kimataifa ya walinda amani.Na katika fursa ni yake Mhandisi Coletha Ruhamya, Naibu Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria, Mradi unaofanikishwa na Benki ya Dunia ambao unakabiliana na masuala ya usafi wa mazingira katika ziwa hilo. Anaeleza umuhimu wa usimamizi endelevu wa bonde hilo kote nchini Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda na Burundi chini ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!

Habari za UN
29 MEI 2025

Habari za UN

Play Episode Listen Later May 29, 2025 9:58


Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina inayoangazia Walinda Amani wa Umoja wa Mataifa ikitupeleka nchini DRC, Sierra Leone na Ghana. Pia tunakuletea muhtasari wa habari na maana ya neno "MISHEMISHE.”Leo ni Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani ambayo mwaka huu inajikita na maudhui ya “mustakabali wa ulinzi wa amani.”Katika ujumbe wake wa siku hii Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema walinda amani wa Umoja wa Matafa wako katika changamoto kubwa “Leo hii, walinda amani wanakabiliwa na hali zinazozidi kuwa ngumu katika dunia inayozidi kuwa na changamoto, ikiwemo uugawanyika na kutofautiana kwa mitazamo duniani kunazidi kuongezeka, operesheni za ulinzi wa amani zinakabiliwa, hatari zaidi kutokana na wingi wa vitisho kama vile ugaidi na walinda amani kulengwa kwa makusudi kupitia taarifa potofu zenye madhara makubwa na changamoto zinazovuka mipaka kuanzia janga la mabadiliko ya tabianchi hadi uhalifu wa kimataifa.Kikosi cha 11 cha Tanzania kinachohudumu chini ya mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO kimeungana na walinda amani wengine kuadhimisha Siku ya Walinda Amani Duniani. Maadhimisho hayo yamefanyika Mavivi, yakiongozwa na Brigedia Jenerali Diamond Meshack Madie, Mnadhimu Mkuu wa Vikosi vya MONUSCO.Shirika la Umja wa Mataifa la Mazingira UNEP limezindua mpango mpya wa dola milioni 15 kusaidia uwekezaji endelevu katika Bonde la Kongo – moja ya mifumo muhimu zaidi ya ikolojia duniani. Mpango huu unalenga kufungua fursa za biashara rafiki kwa mazingira kwa wajasiriamali wadogo na wa kati katika sekta za kijani. Msitu wa mvua wa Bonde la Kongo ni moja ya vyanzo vikubwa vya kaboni duniani na ni makazi ya watu zaidi ya milioni 75, wakiwemo jamii za asili.Na katika kujifunza lugha ya Kiswahili mtaalam wetu leo ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi  Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana ya neno "MISHEMISHE.”Mwenyeji wako ni Anold Kayanda, karibu!

Trading Takes
How to Find Your Edge with Pradeep Bonde (Stockbee)

Trading Takes

Play Episode Listen Later May 10, 2025 60:36


In this episode of Trading Takes, hosts Sam and Chris are joined by Pradeep Bonde, better known as Stockbee – one of the most insightful minds in trading education. Pradeep dives deep into market breadth, momentum bursts, episodic pivots, and how traders can build sustainable careers by marrying process with creativity. Learn why "Are breakouts likely to work today?" is the single most important question to ask each morning, how to track volume thresholds and institutional behavior, and how to avoid edge erosion by developing new setups before you need to. This conversation is a masterclass in long-term trading success, packed with mental models, tactical strategies, and wisdom from decades of experience.

Fronteiras no Tempo
Fronteiras no Tempo #90 História do Cinema Brasileiro 2

Fronteiras no Tempo

Play Episode Listen Later May 7, 2025 91:47


No episódio 90 do Fronteiras no Tempo, os historiadores C. A., Marcelo Beraba e o Estagiário Rodolfo recebem o convidado especial Renan Fileto para um mergulho na História do Cinema Brasileiro entre as décadas de 50 e 70. Neste papo o quarteto debate sobre a ascensão do Cinema Novo e suas propostas revolucionárias à explosão da Pornochanchada dos anos 60 e 70, passando pelo impacto da censura durante os anos de ditadura militar. Se você é apaixonado por história, cinema e as formas como a arte se entrelaça com os grandes acontecimentos do passado, esse episódio é um prato cheio! Dá o play e vem com a gente nessa jornada cinematográfica!

Podcast – Fronteiras no Tempo
Fronteiras no Tempo #90 História do Cinema Brasileiro 2

Podcast – Fronteiras no Tempo

Play Episode Listen Later May 7, 2025 91:47


No episódio 90 do Fronteiras no Tempo, os historiadores C. A., Marcelo Beraba e o Estagiário Rodolfo recebem o convidado especial Renan Fileto para um mergulho na História do Cinema Brasileiro entre as décadas de 50 e 70. Neste papo o quarteto debate sobre a ascensão do Cinema Novo e suas propostas revolucionárias à explosão da Pornochanchada dos anos 60 e 70, passando pelo impacto da censura durante os anos de ditadura militar. Se você é apaixonado por história, cinema e as formas como a arte se entrelaça com os grandes acontecimentos do passado, esse episódio é um prato cheio! Dá o play e vem com a gente nessa jornada cinematográfica!

Wissen | rbbKultur
DBU-Generalsekretär Alexander Bonde zum neuen Meeresnaturschutzfonds

Wissen | rbbKultur

Play Episode Listen Later May 6, 2025 6:06


Derzeit findet in Berlin die „Nationale Meereskonferenz 2025“ statt. Vielfältige Probleme werden hier beleuchtet, mit denen die See zu kämpfen hat. Von Klimawandel über Verschmutzung bis hin zu (Über-)Nutzung durch Fischerei, aber auch neue „blaue“ Wirtschaftsformen wie Offshore-Windenergie. Gleichzeitig gibt es ermutigende Signale wie das Ziel, weltweit 30 Prozent der Fläche in den Meeren unter Schutz zu stellen. Im Rahmen der Konferenz stellt die Deutsche Bundesstiftung Umwelt (DBU) ihren neuen „DBU-Meeresnaturschutzfonds“ vor. Was es damit auf sich hat - dazu sprechen wir in unserem Radio3-Klimagespräch heute mit dem DBU-Generalsekretär, Alexander Bonde.

DIÁRIO DE BORDO
#1372 - Esse bonde partiu pro Gagacabana e Giro de Aleatoriedades

DIÁRIO DE BORDO

Play Episode Listen Later May 2, 2025 22:12


Siga a gente emhttp://youtube.com/@diariodebordopod

BURNING ISSUES
Birds For “Nkoko Nketenkete” Project Will Be Free - Kwasi Etu-Bonde

BURNING ISSUES

Play Episode Listen Later Apr 14, 2025 105:10


Listen for an insightful political discussion on the future of agriculture with special guest Etu Bonde. In this episode, we'll explore the challenges and opportunities facing the agricultural sector, the impact of policy decisions, and what lies ahead for the industry. Don't miss this important conversation about the future of farming and food security

Almost Amerikan
121. Michelle ska bli bonde och Hanna släpper västkusten

Almost Amerikan

Play Episode Listen Later Apr 5, 2025 50:57


En sömnig öppning men en desto flummigare podd! Michelle har firat fem år med Andrew och varit på en farm. Hanna har en svensk identitetskris. Om ni vill melja oss med frågor, dilemman, tips på ämnen eller bara för att säga hej så kan ni nå oss på AlmostAmerikan@gmail.comFölj oss behind the mic på instagram @almostamerikanMusik gjord av: Fannie HertzbergOm du gillar avsnittet glöm inte att lämna 5 stjärnor ❤️ Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Go Tur Hjem
#215 Christian Bonde | Kendt for at lave noget sammen med hende fra X Factor

Go Tur Hjem

Play Episode Listen Later Mar 30, 2025 68:32


Christian Bonde er radio- og podcastvært, og så er han den ene halvdel af makkerparret Fantino & Bonde. I dag gæster han podcasten for at snakke om sin rolle, som en del af panelet i TV2s Spillet, og hvordan det har været at være på den side af programmet. Du kan også glæde dig til at høre om Christians karriere, hvorfor han elsker at lave radio, men hader at lave tv, og hvorfor hans første tanke altid er at sige nej til ting.Go' lytter!Hop ind og find billetter og meget mere på: https://oliverstanescu.dk/Vært: Oliver StanescuKlip: Martin Riise Nielsen Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Trópico utópico
Trópico utópico - Trem batucada - 11/03/25

Trópico utópico

Play Episode Listen Later Mar 11, 2025 60:06


Anexos al abecé de la música popular de Brasil en forma de compilaciones. Intervienen: Antonio Carlos & Jocafi, Os Reis do Batuque, A Coisona, Batutunha, Bonde do Gorila, De Falla, Trio Nordestino, Elza Soares, Jair Rodrigues, Jorge Ben, Bebeto, Os Originais do Samba, Abílio Manoel, Trio Ternura, Tony Bizarro, Tim Maia y Marcelo D2.Escuchar audio

Canada Agora
#121 - O Bonde da Tarifa

Canada Agora

Play Episode Listen Later Mar 8, 2025 78:28


Saudações humanos!E o homem laranja resolveu impor novamente tarifas sobre o Canadá mas acabou com uma retaliação em massa. China e Rússia podem usar IA para influenciar eleitores, o veterano mais velho da Segunda Guerra morre aos 110 anos e muito mais.As controvérsias, desafios e acontecimentos intrigantes nesta edição. Sintonize para análises aprofundadas e informações essenciais de Mar a Mar! Canadá Agora", seu podcast de atualidades do país.

Frokostshowet på P5
Landssviker Baarli & Bonde-Joner

Frokostshowet på P5

Play Episode Listen Later Mar 3, 2025 44:43


Niklas har hisset på seg Norges befolkning, og Alexandra drømmer om å gjøre som Jon Almaas Episoden kan inneholde målrettet reklame, basert på din IP-adresse, enhet og posisjon. Se smartpod.no/personvern for informasjon og dine valg om deling av data.

EUVC
EUVC | E421 | Oxx's Ingrid Bonde Åkerlind on leveraging the ICP bow tie framework to back high-growth European B2B SaaS

EUVC

Play Episode Listen Later Feb 28, 2025 47:30


In today's episode of the EUVC podcast, Andreas talks with Ingrid Bonde Åkerlind, a seasoned investor at Oxx, a venture capital firm focusing on B2B SaaS companies that operate from London and Stockholm. Backed by a $190 million second fund and a boutique, high-conviction approach, Oxx targets late Series A and Series B companies that have not only passed the product-market fit gauntlet but are now ready to scale. Ingrid's unique blend of hands-on operational experience and investment insight helps her spot startups that truly understand their market dynamics.Drawing on her journey from building growth teams to steering venture investments, Ingrid explores the power of a well-defined Ideal Customer Profile (ICP). She explains how transitioning from an experimental phase to a focused customer strategy can align sales, marketing, and product teams for sustained success. In this conversation, she shares practical insights on refining go-to-market strategies and leveraging data-driven customer segmentation to drive operational efficiency and venture-scale returns.Go to eu.vc for our core learnings and the full video interview

Perler for Svin
Reprise! Kosmetikkrevolusjonen (1977)

Perler for Svin

Play Episode Listen Later Feb 17, 2025 68:03


Den som venter på noe godt… Venter på en reprise? Benjamin her, når man er syk, men har drektiggjort sin samboerske med sine alt for mektige gener, så hun ikke kan gjøre noe som helst, så er det ingen kjære mor(sic), så man må da likevel fortsette å gjøre alt i hustanden. Da er det ikke mye igjen til å gjøre det lille som skal til for å publisere en episode. Beklager det. Blind gudinne-pause, for vi trenger å roe ned litt. Vi drar tilbake til kamerat Evy og gjensyn (førstesyn?) med Ivar Nørve og hans penis Perler For Svin er en norsk podcast om norsk film! Du finner oss på https://www.instagram.com/perlerforsvin_norskfilmpodcast/ https://twitter.com/Perler_For_Svin, https://www.facebook.com/perlerforsvinpod eller www.PerlerForSvin.no ! Kassett kan kjøpes ved å vippse 140 kroner til Benjamin på 416 53 144, legg ved adresse! Med lydklipp hentet fra åpne kilder på nett og benyttet i henhold til god skikk for sitering. Disse inkluderer klipp fra Kosmetikkrevolusjonen (1977), Balladen om Lucy Ferner (Benny Borg), Balladen om Morgan Kane (Benny Borg), NRK nyhetene (10.02.2017), Karsten og Petra (2013), Bonde ifra bygda (Arne Bendiksen), Fredrikssons fabrikk (1990), Olsenbanden Siste Skrik (2022), Uno (2004), Lasse og Geir (1976), Flåklypa Grand Prix (1975), Mot i Brøstet (1993), Fort Boyard (1990), Snake Eater (Norihiko Hibino), Døden på Oslo S (1990) og Filmmagasinet (1961).

La Bière Hopcast
DIBRE | DIBRANDO A NOVA MPB DE BH | Balcão 360 EP.17

La Bière Hopcast

Play Episode Listen Later Feb 13, 2025 85:57


Gleison Silveira recebe a vibrante banda Dibre para um papo descontraído sobre a efervescente cena musical de Belo Horizonte. Composta por Dinho (vocal e guitarra), Guga Neves (guitarra), Diogo Veloso (bateria) e Skeeter (baixo), a Dibre mistura ritmos que vão do pop ao rock, trazendo uma sonoridade única e envolvente. Dinho e Guga compartilham suas influências, os desafios da música autoral na capital mineira e a importância dos festivais locais na promoção de novos talentos. A conversa ainda aborda a evolução de ritmos como o funk, samba, a nova MPB e a liberdade criativa que permeia suas composições.Além disso, mergulhamos nas emoções que a música provoca, as colaborações no cenário musical e a influência do funk na resignificação de canções. A Dibre também fala sobre os desafios enfrentados por bandas independentes, desde lançamentos até produção de clipes, destacando a criatividade no audiovisual. Não perca este bate-papo inspirador que celebra a diversidade e a riqueza da música autoral de BH!Capítulos00:00 Introdução e Contexto do Podcast02:59 Apresentação dos Convidados e a Banda Dibre05:54 Cenário Musical de Belo Horizonte09:11 A Identidade Musical da Dibre11:59 A Nova MPB e a Diversidade Musical14:52 Desafios da Música Autoral em BH18:05 A Influência dos Festivais na Música Autoral21:01 Versões vs Covers: A Abordagem da Dibre26:02 Música: Medley Pato Fu + Charlie Brown Jr31:10 A Identidade Musical da Dibre36:01 A Evolução do Carnaval e suas Influências39:44 Misturas Musicais e Influências Diversificadas41:54 Música: Deixa O Tempo Pra Depois50:00 A Liberdade Criativa na Música52:05 Referências e Inspirações na Música Brasileira57:21 Música: Delírios (FBC)59:55 A Emoção da Música e Colaborações01:00:00 Bonde do Brunão + Se Tá Solteira 01:02:40 A Influência do Funk e Resignificação Musical01:06:54 Desafios e Lançamentos de Bandas Independentes01:08:43 Música: Minha Saudade01:12:02 Gravação de Clipe e Criatividade no Audiovisual01:18:52 Encerramento e Agradecimentos Finais01:19:54 Música: Você (Dead Fish)01:23:50 Música: Sonho Médio Pós-Crédito (Dead Fish)Explore os ritmos da música, os sabores da cerveja e as frequências da comunicação no Balcão 360 - seu ponto de encontro para um estilo de vida vibrante e inspirador! Aperte o play e mergulhe nessa jornada sensorial única.Apoie nosso podcast em https://www.apoia.se/balcao360Nos siga no Instagram: https://www.instagram.com/balcao360Balcão 360Produção e Apresentação: Gleison Silveira @koeh.gleisinPatrocínio Pedrosa Craft - Conheça o Kit de IPAshttps://loja.pedrosacraft.com.br/kit-ipas

Skumma Kultur
Onsdag 12.02 - Mikkel blir bonde

Skumma Kultur

Play Episode Listen Later Feb 12, 2025 36:29


Hei, hå og en flaske med rom! Hva skal man bruke penga på, når det kommer til spill i år? Stian har to solide tips. NRK lager serie inspirert av Sophie Elise, Ida forteller oss alt vi trenger å vite om Rekviem for Selina. Mikkel er dritt lei norsk kjendis-TV!Alt dette og mer får du høre om i dagens sending av Skumma Kultur.En stor takk til Ima på teknikk.

The TraderLion Podcast
Final Video - Pradeep Bonde

The TraderLion Podcast

Play Episode Listen Later Nov 23, 2024 76:27


--- Support this podcast: https://podcasters.spotify.com/pod/show/traderlion/support

Upon Further Review
1111 Feature (UFR): Cole Bonde, Lenox FB

Upon Further Review

Play Episode Listen Later Nov 11, 2024 5:01


O Antagonista
Toffoli rejeita pedido de Cunha para entrar no ‘bonde do Dirceu'

O Antagonista

Play Episode Listen Later Nov 7, 2024 3:27


O ministro do STF Dias Toffoli rejeitou pedido do ex-deputado Eduardo Cunha para anular todos os atos processuais instaurados contra ele por integrantes da Operação Lava Jato.Assim como José Dirceu – que teve o benefício concedido por Gilmar Mendes – e João Vaccari Neto, o ex-deputado argumentou que houve parcialidade do ex-juiz Sergio Moro em duas ações penais que tramitaram na 13ª Vara Federal de Curitiba.Meio-dia em Brasília traz as principais informações da manhã e os debates que vão agitar o dia na capital federal e do mundo. Apresentação Wilson Lima.    Apoie o jornalismo Vigilante: 10% de desconto para audiência do Meio-Dia em Brasília     https://bit.ly/meiodiaoa    Siga O Antagonista no X, nos ajude a chegar nos 2 milhões de seguidores!     https://x.com/o_antagonista    Acompanhe O Antagonista no canal do WhatsApp.   Boletins diários, conteúdos exclusivos em vídeo e muito mais.     https://whatsapp.com/channel/0029Va2S...    Ouça O Antagonista | Crusoé quando quiser nos principais aplicativos de podcast.    Leia mais em www.oantagonista.com.br | www.crusoe.com.br  

Upon Further Review
Week 10 (UFR): Cole Bonde, Lenox Football

Upon Further Review

Play Episode Listen Later Oct 31, 2024 3:59


High on Cars - podcast
Christian Bonde gæster High on Cars - Podcast!

High on Cars - podcast

Play Episode Listen Later Oct 29, 2024 70:33


Vi har haft fint besøg i studiet af Christian Bonde fra ‘Fantino&Bonde' til en snak om drømmebiler, road-rage og ikke mindst Christians deltagelse i den seneste video hos High on Cars! Podcasten indeholder reklame. Tak til episode-sponsor: AutoMester Tak til vores samarbejdspartnere: OK Oktan 100. OK Ladepakke. Airtox. Engel Workwear Scania Danmark. Aros Forsikring.

Upon Further Review
Talking With Tom Week 8 (UFR): Michael Nardini & Cole Bonde, Lenox FB

Upon Further Review

Play Episode Listen Later Oct 18, 2024 8:05


Småt Brændbart
Småt Solbrændt: Nina Palesa Bonde

Småt Brændbart

Play Episode Listen Later Oct 18, 2024 72:58


Dommerfuldmægtig og debattør gæster denne uges Småt Solbrændt. Nina er kendt i den brede offentlighed som en ihærdig debattør, der om nogen hæger om retsstaten og ytringsfriheden. Det har vi fået en god snak med Nina om. Vi kommer omkring alt fra Ninas mors opvækst i Lesotho, Koranloven, ytringsfrihed og meget meget mere. Martin Martensen-LarsenAnna Thygesen

Upon Further Review
Week 7 (UFR): Cole Bonde, Lenox FB

Upon Further Review

Play Episode Listen Later Oct 9, 2024 6:08


The Preconstruction Podcast - Commercial Construction.
E:111 Kyle Bonde, Preconstruction Reimagined discusses LIVE from APC 2024 in Denver, CO

The Preconstruction Podcast - Commercial Construction.

Play Episode Listen Later Sep 30, 2024 28:36


The Preconstruction Mastermind that is Kyle Bond sat down with our host Gareth McGlynn to discuss his vision of what Preconstruction should look like. Enjoy and feel free to connect with Kyle via his LinkedIn: https://www.linkedin.com/in/kyle-bonde-809b6566/

Värvet
KORTVERSION #646:1 Johnossi / Ossi Bonde

Värvet

Play Episode Listen Later Sep 30, 2024 22:30


Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

Värvet
#646:1 Johnossi/Ossi Bonde

Värvet

Play Episode Listen Later Sep 30, 2024 41:28


VEM: Ossi Bonde.YRKE: Musiker.AVSNITT: 646:1OM: Att sälja CBD-drycker som side hustle, hur man delar upp ekonomin i ett band, att förstöra lederna genom att trumma i 148 bpm, huruvida Kristoffer ska investera i Johnossis nya album, att muta barnen så de tycker om ens musik och givetvis en hel del om El-Berra som brände upp grillkorvar i skolan. SAMTALSLEDARE: Kristoffer TriumfPRODUCENT: Ninni WestinDISTRIBUTION: Acast KONTAKT: MAIL och INSTAGRAM Hosted on Acast. See acast.com/privacy for more information.

The Friendly Bear
Pradeep "Stockbee" Bonde - How to Make Millions Swing Trading, Momentum Burst Strategy, etc.

The Friendly Bear

Play Episode Listen Later Sep 19, 2024 59:39


Episode 462: Pradeep Bonde aka Stockbee joins David Capablanca on The Friendly Bear Podcast to discuss various trading topics surrounding Pradeep's 24+ year trading career. Social MediaConscious Trading AcademyInstagram: conscioustradingacademyLinkedIn: Conscious Trading Academywww.conscioustradingacademy.com Send us a text Conscious Trading AcademyTransform Your Mind. Master Your Trades - Memberships & Courses now available.Friendly Bear DiscordJoin The Friendly Bear Discord (message a mod for trade floor channel access):David's InstagramSubscribe for behind the scenes trading related contentZimtraSign up for Zimtra through the link provided for the best possible dealCobra TradingClick the link and get 33% off commissions for life as well as one month of free DAS Trader PlatformDilution TrackerClick the link and get 10% off of Dilution TrackerEdgeToTradeUse coupon code FRIENDLYBEAR15 for 15% off EdgeToTrade, the financial research platform for traders.TraderSyncUse coupon code FRNLYBR for 15% off monthly, 55% off yearly for TraderSync trading journal software TradeIdeasUse coupon code FRIENDLYBEAR for 15% off TradeIdeas real-time data stock scannerFlashSECClick the link and get 15% off 12 months of FlashSECTC2000Click the link to get $25 off TC2000 servicesOrtexORTEX brings you the most timely and accurate Short interest data available.Flash ResearchUse coupon code FB15 for 15% off Premium. Find your edge with the best stock analyzer. AskEdgarThe new standard for researching SEC filings for traders.KinfoUse coupon code FRIENDLYB106728 for 10% off Kinfo PRODisclaimer: This post contains affiliate links. If you make a purchase, I may receive a commission at no extra cost to you.Support the show

MOM DOES IT ALL | Motherhood | Motivation | Self-love | Self-care | Mompreneurship | Energy | Mental Health | Fitness | Nutri
The Power of Neurodivergent Identity: Story of Giftedness and Growth with Meghan Bonde

MOM DOES IT ALL | Motherhood | Motivation | Self-love | Self-care | Mompreneurship | Energy | Mental Health | Fitness | Nutri

Play Episode Listen Later Sep 13, 2024 25:32


Join us as we sit down with Meghan Bonde, a passionate advocate for neurodivergent individuals, to explore her remarkable journey from childhood entrepreneurship to becoming a speech language pathologist. Meghan opens up about her personal experiences of discovering her own neurodivergence and that of her children, shedding light on the crucial need for inclusive learning environments. She provides valuable insights into recognizing early signs of neurodivergence in children, including emotional, sensory, imaginational, psychomotor, and intellectual intensities. This conversation emphasizes the growing awareness and precision in identifying neurodivergence, setting the stage for understanding the unique challenges faced by neurodivergent entrepreneurs. Listen in as we discuss the importance of language and perspective in embracing neurodiversity and identity. Meghan shares her inspiring TEDx journey, discussing the vulnerabilities of presenting an authentic talk about giftedness and its misconceptions. She reveals how claiming a neurodivergent identity has been empowering, likening it to having a "rainforest mind." Meghan also delves into her work with clients, offering executive function support and inclusive services through neurodivergent accountability partnerships and a six-month program designed to create transformational learning experiences. Engage with these resources to better understand and support neurodivergent individuals, and gain valuable strategies for working with neurodivergent clients and learners.   Connect with Meghan:Website: www.teachtochange.com / www.intensityhub.com LinkedIn: Team Neurodivergent   Let's keep the conversation going!Website: martaspirk.com Instagram: @martaspirk Facebook: Marta Spirk Want to be my next guest on The Empowered Woman Podcast Apply here: www.martaspirk.com/podcastguest  Watch my TEDx talk: http://bit.ly/martatedx  Get ready to take notes and elevate your business's presence as we share over 30 visibility-boosting ideas (access it here: www.martaspirk.com/visibility) and introduce a mastermind program designed to keep you accountable and support your entrepreneurial journey. Get a 30-day free trial of my membership! freegiftfrommarta.com MORE VISIBILITY MASTERMIND application:https://forms.gle/jegEmwzYsTPrH4oP8   Today's episode is brought to you by Success Magnified and the Biz Bestie Getaway, where empowered women entrepreneurs turn challenges into opportunities in a weekend filled with connection and fun. Join us in Colorado this October to rejuvenate your business spirit, make lasting friendships, and learn new strategies for success. Visit us at https://retreat.successmagnified.com/retreat-biz-besties-getaway to secure your spot now!  

The Wall Street Coach with Kim Ann Curtin
EP 98: Trading Mastery: Uncovering Success with Pradeep Bonde

The Wall Street Coach with Kim Ann Curtin

Play Episode Listen Later Sep 13, 2024 50:07


In this episode of The Wall Street Coach Podcast, Kim Ann Curtin sits down with veteran trader and Stockbee founder, Pradeep Bonde, to dive deep into the art of mastering the markets. The post EP 98: Trading Mastery: Uncovering Success with Pradeep Bonde appeared first on .

The AlphaMind Podcast
#134 Predeep Bonde (StockBee): Deep Trader Wisdom

The AlphaMind Podcast

Play Episode Listen Later Sep 3, 2024 60:42


In this week's episode of the AlphaMind Podcast, we welcome Pradeep Bonde of StockBee, a highly regarded trader in the retail trading community. Pradeep entered the trading world later in his career after a successful tenure as the head of marketing for DHL and FedEx in India. His passion for trading was ignited when he spent time alongside a colleague who actively traded the markets. Captivated by his colleague's approach, Pradeep embarked on a love affair with trading, but the journey to success was anything but smooth.In the early stages of his trading career, Pradeep experienced the classic rollercoaster ride that many new traders face, marked by significant wins followed by devastating losses. Although he had a strong appetite for risk, the emotional toll of this tumultuous trading style began to negatively impact his mental well-being. Recognizing the need for a change, Pradeep drew on his robust background in business and logistics to restructure his trading approach. He developed favoured setups and adopted a strategy of taking partial profits, and hitting singles, which involves compounding multiple small wins. In this insightful episode, Pradeep shares his journey and the wisdom he's gained along the way. He discusses the classic mistakes that many traders make, such as failing to establish a clear trading process and falling victim to the ‘island mentality' whereby they focus on getting rich quickly with dreams of an island home and luxury cars, instead of mastering the more mundane yet essential art of consistently making money.Join us for this enlightening discussion filled with valuable lessons from Pradeep Bonde, as he offers practical advice to help traders navigate their own journeys in the ever-evolving trading landscape.To know more about Pradeep and Stockbee, visit: https://stockbee.biz/You can also follow Pradeep on X at @PradeepBondeAlphaMind: Powering Performance in Global MarketsAlphaMind brings powerful change, growth and development to people and businesses within global markets.Driven by a deep understanding of how markets work, and how people and businesses function within them, we partner with clients to create personal performance improvements that elevate returns across their trading activities.Go to the AlphaMind website to know more.

Ken and Robin Talk About Stuff
Episode 614: Elves Falling in Love with Guitarists

Ken and Robin Talk About Stuff

Play Episode Listen Later Aug 30, 2024 71:15


At the behest of beloved Patreon backer Ian Carlsen, the Gaming Hut looks at ways to prepare for a technothriller game. The moment we learned of an increasingly ascendant Brazilian narco gang called the Bonde da Kabbalah, you know it was time to reach for the Crime Blotter. A three-part Horror Hut mini-series on reality […]

MÅNDAG
379. Bonde söker binda i ansiktet

MÅNDAG

Play Episode Listen Later Jul 29, 2024 74:16


Det är MÅNDAG! Armann är (inte så) orolig över det senaste årets ökning av bajsvatten-utsläpp, Viktor Carlsson rapporterar från OS och tipsar Sverige om bra fusk, och Jofi har ett förslag för hur Tollarp ska hantera den senaste tidens deppiga händelser. Allt detta, en lada gjord av pannkakor, och lite annat smått och gott i veckans avsnitt av bästa podden. STÖTTA MÅNDAG PÅ PATREON: http://patreon.com/mandag Gå på MALMÖ - EN STÅUPPTURNÉ med Johannes Finnlaugsson på Rex Pizzeria, Stormgatan Taproom by Hyllie Bryggeri, Blå båten eller Grand Circus Hotel: http://underjord.nu/malmo

Super Feed
Área de Trabalho - 109: O Último Bonde da Aliexpress

Super Feed

Play Episode Listen Later Jul 24, 2024 72:21


A Bia leu sobre Minimalismo Digital, e o Marcus concordou... em partes.

Spoiler Alert Radio
Svend Rothmann Bonde - Danish Animator - Song Of The Sea, The Breadwinner, Wolfwalkers, My Father's Dragon, Robot Dreams, Light Of The World

Spoiler Alert Radio

Play Episode Listen Later Jul 19, 2024 29:01


Svend's feature film work includes: Song Of The Sea, Wolfwalkers, The Breadwinner, My Father's Dragon, and more recently the Oscar nominated, Robot Dreams. Svend's television work includes: Pandaerne, Big Hero 6: The Series, and Angry Bird Toons. Svend's most recent project is the feature film, Light Of The World, for Epipheo Studios.  

Wine Road: The Wine, When, and Where of Northern Sonoma County.
Katarina Bonde, Owner and Winemaker at West Wines

Wine Road: The Wine, When, and Where of Northern Sonoma County.

Play Episode Listen Later Jul 11, 2024 35:39


Episode 205 Sponsored by: River Road Family Vineyards and Winery   Today we are joined by Katarina Bonde, the owner and winemaker of West Wines. She reveals how she transitioned from a background in music and software to winemaking and shares unique experiences like harvest walks and library tastings at West Wines, fostering a sense of community in Dry Creek Valley. Two(!) wines of the day: West Wines Crest Cuveé & West Wines 2022 Viognier Fast Five: Richard's Summer Dessert! -Peaches -Butter (or plant milk works too) -Brown sugar -Cinnamon -Salted Pistachios Cut peaches in half, take out pit Whisk butter, cinnamon and sugar into a paste.  Roughly chop pistachios Dredge the peaches in the paste Place on  hot grill, flat side down first, char for about a minute and a half  Flip them over, put the rest of the paste on the charred half, cook for another minute and a half  Once plated, sprinkle with salted pistachios Potential sixth ingredient: Vanilla ice cream! Or coconut bliss ice cream :)    Links: https://westwines.com/ Sponsor: River Road Family Vineyards and Winery Credits: The Wine Road podcast is mixed and mastered at
 Threshold Studios Sebastopol, CA. http://thresholdstudios.info/

Trading Takes
The Mentor to $100 Million Traders | Pradeep Bonde (Stockbee)

Trading Takes

Play Episode Listen Later Jul 3, 2024 59:15


In this episode, Pradeep Bonde joins Chris and Judah from the Trading Takes team to discuss a range of trading topics across news-based catalysts, episodic pivots to procedural memory and much more. Pradeep Bonde, aka Stockbee, has mentored some of the best traders in the world. In this episode, we go deep into every component of Pradeep's strategy - from position sizing to trade setups to entry and exit strategies and more. 

Du kender typen
TEASER: Anna-Caroline Bonde Fosmark

Du kender typen

Play Episode Listen Later Jun 25, 2024 0:55


Typen, der var med i "Alene i Vildmarken", bor i et telt, skralder sin mad og blaffer eller cykler til sine aftaler. Glæd dig til dagens episode, som du nu kan høre i DR Lyd.

JORNAL DA RECORD
06/06/2024 | Edição Exclusiva: Acidente com bonde deixa um morto e mais de cem feridos na Rússia

JORNAL DA RECORD

Play Episode Listen Later Jun 6, 2024 3:44


Veja nesta edição do JR 24 Horas: Acidente com bonde deixa um morto e mais de cem feridos na Rússia. E também: maio de 2024 foi o mês mais quente da história.

O Antagonista
Cortes do Papo - Barroso vai no bonde de Gilmar

O Antagonista

Play Episode Listen Later May 31, 2024 6:26


O STF, que costuma realizar sessões em plenário às quartas e quintas-feiras, irá antecipar um de seus encontros para que os ministros da Corte, incluindo o presidente do Supremo, Luís Roberto Barroso, possam participar do 12º Fórum Jurídico de Lisboa.O evento é organizado pelo Instituto Brasileiro de Ensino, Desenvolvimento e Pesquisa (IDP), de Gilmar Mendes. Como o fórum, também conhecido como 'Gilmarpalooza', está previsto para acontecer em 26, 27 e 28 de junho, o Supremo fará seus julgamentos presenciais na terça, 25, e na quarta, 26.Felipe Moura Brasil e Carlos Graieb comentam:Ser Antagonista é fiscalizar o poder. Apoie o jornalismo Vigilante:  https://bit.ly/planosdeassinatura   Acompanhe O Antagonista no canal do WhatsApp.  Boletins diários, conteúdos exclusivos em vídeo e muito mais.   https://whatsapp.com/channel/0029Va2S...   Ouça O Antagonista | Crusoé quando quiser nos principais aplicativos de podcast.  Leia mais em www.oantagonista.com.br | www.crusoe.com.br 

YES, BRAND with Hersh Rephun
Neurodiversity in Education and Organizations with Meghan Bonde

YES, BRAND with Hersh Rephun

Play Episode Listen Later May 9, 2024 27:27


If you are a team leader who understands that attracting and leveraging untapped Neurodivergent talent is the best approach to accelerating their success and navigating their challenges, you should sit down with Meghan Bonde, whose current focus is training and onboarding “for all kinds of minds.”

Dick Harrison svarar
Varför pratar vi inte om kung Bonde?

Dick Harrison svarar

Play Episode Listen Later May 3, 2024 6:00


Karl Knutsson Bonde gjorde allt som Gustav Vasa gjorde, i kubik, men ändå är han bortglömd. Varför minns vi inte medeltidskungen bättre? Lyssna på alla avsnitt i Sveriges Radio Play.

SimpliFinance with Shane White
Ep. #234 - Troy Bonde & Winston Alfieri (SAUZ) [YOUR NEW FAVORITE PASTA SAUCE]

SimpliFinance with Shane White

Play Episode Listen Later Apr 25, 2024 57:07


Troy and Winston are the cofounders of SAUZ - your NEW FAVORITE PASTA SAUCE! https://getsauz.com/pages/our-story @tbonde@winstonalfieri --- The Shane White Show is now proudly brought you by ROUTINE! Head over to yourroutine.com and try their newest product "Morning Routine". Use code "ShaneWhite30" at checkout for 30% off your first order! Today's episode is brought to you by NeuRoast - Mushroom Coffee! Use Code "ShaneWhite" for 30% off your order from Neuroast.com Sponsor Links: Routine - http://yourroutine.com NeuRoast - https://www.neuroast.com/ ---------- Helpful Links: Instagram:  @shane.m.white Tik Tok: @shane.m.white NoBul Partners: https://nobulpartners.com/ --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/shanewhiteshow/message

The SaaSiest Podcast
136. Ingrid Bonde Åkerlind, Principal, Oxx - You have Product-Market-Fit, now what?

The SaaSiest Podcast

Play Episode Listen Later Apr 11, 2024 59:32


In this episode, we speak with Ingrid Bonde Akerlind, Principal, Oxx, a specialist SaaS investor, who provides each entrepreneur with a support system of unique specialist expertise and network, and a culture of unfaltering partnership and absolute conviction. The firm's strategy is built around the concept of “Go-To-Market Fit” (GTMF), developing a structure for thinking about how to build a repeatable, sustainable growth engine that accelerates and propels the growth of SaaS companies. We talked with Ingrid about what happens after you find Product-Market-Fit (PMF)! In particular, what are some of the key decisions to get right at this point and common pitfalls to avoid: - What is the difference between PMF vs GTMF? - Which metrics matter at this point and why? How do you know if your commercial initiatives will bring you closer to your target unit economics? - What decisions are key to make regarding your organization and team structure at this phase? - How can you leverage go-to-market experiments, and what are they anyway? - What are the signs that your SaaS has truly achieved Go-To-Market fit? These are some of the many questions we address with Ingrid. Please tune in to hear when Ingrid untangles what happens after you graduate from the “seed stage” and need to figure out how to (re)organize your efforts as you grow.

Thoroughbred Racing Radio Network
Tuesday AmWager ATR from Santa Anita Park w/ Hammer-Part 1: Andy Serling, Jeff Bonde

Thoroughbred Racing Radio Network

Play Episode Listen Later Apr 2, 2024


The Unfiltered by G'Ade
Neurodiversity: Leveraging Neurodivergent Strengths for Business Advantage with Guest: Meghan Bonde

The Unfiltered by G'Ade

Play Episode Listen Later Apr 2, 2024 25:13


Meghan is a STEM organizational neurodiversity specialist, TEDx speaker, Educational Leader, Gifted teacher, Parent, Writer, Activist, Keynote speaker, Lifelong learner, dancer, and Neurodivergent executive coach and consultant. Today, we speak on what neurodiversity is, what it encompasses, misconceptions, strengths and skills, and so much more. To connect with Meghan: https://www.growtoptalent.com/ G'Ade's book: https://www.amazon.com/s?k=Mrs+Gloria+Ade-Gold+Lawrence&i=stripbooks&crid=U0O7Q3CTO4PQ&refresh=1&sprefix=mrs+gloria+ade-gold+lawrence%2Cstripbooks%2C283&ref=glow_cls

RightOffTrack Entrepreneurs with Purpose
How to Challenge Neurodiversity Stigma and Turn It Into a Superpower - Meghan Bonde is RightOffTrack

RightOffTrack Entrepreneurs with Purpose

Play Episode Listen Later Mar 4, 2024 43:30


In this episode, host Anya Smith explores the cutting edge of inclusive work environments with special guest Meghan Bonde. They discuss the concept of neurodiversity and its importance in today's workplace. Meghan shares practical steps that organizations can take to account for neurodiversity, including the use of universal design and the Grow Interview Protocol. They also discuss the creation of systems for reasonable and meaningful accommodations and overcoming fear in inclusive conversations. Meghan emphasizes the growing presence of neurodivergence in society and the importance of self-identification and embracing neurodivergent identities. She shares her journey from education to entrepreneurship and offers resources and services for creating inclusive workplaces. The episode concludes with a discussion on common misconceptions about neurodivergent individuals, leaders who embody inclusivity, and the positive side of going off track.   Takeaways Neurodiversity is essential for creating thriving and flourishing work environments. Organizations can start by implementing practical steps such as universal design and the Grow Interview Protocol to account for neurodiversity. Creating systems for reasonable and meaningful accommodations is crucial for supporting neurodivergent individuals. Overcoming fear and building trust in inclusive conversations is important for fostering an inclusive workplace culture. Self-identification and embracing neurodivergent identities can lead to empowerment and self-advocacy. Inclusive learning and development systems can transform organizations and support the growth and success of all employees. Creating neurodiversity affinity groups and empowering children are important steps towards inclusivity. Embracing individual strengths and advocating for needs is key to creating an inclusive work environment. There are resources and services available to support organizations in creating inclusive workplaces. Common misconceptions about neurodivergent individuals can hinder inclusivity in the workplace. Leaders who embody inclusivity in the workplace can inspire and drive positive change. Chapters: 00:00 Preview 01:14 Introduction to Neurodiversity and its Importance in the Workplace 04:14 Practical Steps for Organizations to Account for Neurodiversity 07:19 Applying Universal Design and the Grow Interview Protocol 10:50 Creating Systems for Reasonable and Meaningful Accommodations 13:00 Overcoming Fear and Building Trust in Inclusive Conversations 16:46 The Growing Presence of Neurodivergence in Society 19:36 Self-Identification and Embracing Neurodivergent Identities 22:52 The Journey from Education to Entrepreneurship 24:31 Creating a Structure for Success as an Entrepreneur 27:29 Transforming Organizations through Inclusive Learning and Development 30:58 The Power of Belief Change and Normalizing Neurodiversity 33:49 Creating Neurodiversity Affinity Groups and Empowering Children 36:17 Embracing Individual Strengths and Advocating for Needs 39:50 Resources and Services for Inclusive Workplaces 40:58 Common Misconceptions about Neurodivergent Individuals 42:09 Leaders Who Embody Inclusivity in the Workplace 43:19 Wrap Up  

The Follow-Up Question
Ep 122: Meghan Bonde | Neurodiversity, the 5 intensities, and communicating to meet social-emotional needs

The Follow-Up Question

Play Episode Listen Later Feb 19, 2024 51:57


If you're anything like me, you've noticed over the past decade or so the emergence — or at least the increased use of — the word neurodivergent.   And if you're anything like me, you heard the term and made some assumptions about what it meant, what and who it described, and why it started showing up in more places and in more conversations…perhaps without really understanding or knowing much of the backstory or origins.   My guest in this episode is Meghan Bonde, a neurodiversity specialist and a former educator, and even she acknowledges the recent increase in usage of the phrase neurodivergent, despite the fact that it's been around longer than perhaps you and certainly I realized.   But Meghan brings a perspective beyond just the usage of the word, as well as some terms and descriptions that might be new to you, as they were to me.   As you'll hear Meghan explain, neurodivergent individuals have a different way of perceiving the world, and she emphasizes the importance of understanding these differences from a strength-based perspective, rather than how she believes they've been treated for so long — as dividing labels.   Check out Supporting Emotional Needs of the Gifted at https://www.sengifted.org/ or Meghan's work at https://www.teamneurodivergent.com/.   Connect with Meghan at https://www.linkedin.com/in/meghan-bonde-connect/. 

Tom Nikkola Audio Articles
Fuzzy Brain Symptoms: Causes and Solutions

Tom Nikkola Audio Articles

Play Episode Listen Later Feb 15, 2024 19:49


As an adult, there's a good chance you've experienced moments when your brain feels foggy or you struggle to concentrate. This phenomenon, commonly known as "fuzzy brain" or "brain fog," can be frustrating and impact your daily life. But what causes these symptoms, and are there solutions to combat them? In this article, we will delve into the causes of fuzzy brain symptoms and explore solutions to enhance your clarity and cognitive function. So, if you have ever wondered why your brain always feels foggy, keep reading to gain a better understanding of this condition and how to address it. What is Fuzzy Brain or Brain Fog? "Fuzzy brain," commonly referred to as "brain fog," is not a medical condition in itself but a term used to describe a set of symptoms affecting cognitive abilities. People experiencing brain fog may feel confused, disorganized, and have difficulty focusing, putting thoughts into words, or remembering things. This cognitive dysfunction is characterized by memory problems, lack of mental clarity, poor concentration, and an inability to focus, often described as mental fatigue. Common Signs and Symptoms Brain fog, often described as "fuzzy brain," is characterized by a constellation of symptoms related to cognitive dysfunction, including confusion, memory problems, lack of mental clarity, poor concentration, and the inability to focus. While the term "brain fog" is not always used explicitly in scientific literature, the symptoms it encompasses are well-documented in studies related to cognitive function and mental health. Below are the most common symptoms: Cognitive Impairment and Memory Problems: Cognitive dysfunction, including memory lapses and difficulties with recall, is a hallmark of brain fog. A study by Banks, S. et al. (2020) on sleep deprivation highlights how lack of sleep—a common contributor to brain fog—can impair memory and cognitive performance, simulating the symptoms of brain fog.Banks, S., Van Dongen, H. P. A., Maislin, G., & Dinges, D. F. (2010). Neurobehavioral dynamics following chronic sleep restriction: Dose-response effects of one night for recovery. Sleep, 33(8), 1013–1026. Lack of Mental Clarity and Poor Concentration: People experiencing brain fog often report a lack of mental clarity and difficulty concentrating.Gavelin, H. M., Neumann, S., Kovacs, A. H., Malmberg, F., Malmberg, J., Bonde, A. H., ... & Wicksell, R. K. (2021). Cognitive impairments in individuals with long COVID: A 6-month follow-up study. EClinicalMedicine, 41, 101159. Feeling of Mental Fatigue: Mental fatigue is another symptom frequently associated with brain fog. This encompasses a subjective sense of tiredness and a lack of energy for mental tasks.Marcora, S. M., Staiano, W., & Manning, V. (2009). Mental fatigue impairs physical performance in humans. Journal of Applied Physiology, 106(3), 857–864. Difficulty Stringing Thoughts Together: People with brain fog often describe a sensation of struggling to string thoughts together, leading to difficulties with speech or articulating ideas. This symptom points towards an impairment in executive function, which is crucial for planning, decision-making, and verbal fluency.Diamond, A. (2013). Executive functions. Annual Review of Psychology, 64, 135–168. Disrupted Executive Function: Executive dysfunction, including difficulty planning, organizing, and multitasking, is often reported in the context of brain fog. Such symptoms can stem from various conditions, including chronic stress and poor sleep. Stress can alter executive functions, leading to decreased cognitive flexibility and increased rigidity in thoughts and actions.Arnsten, A. F. T. (2009). Stress signalling pathways that impair prefrontal cortex structure and function. Nature Reviews Neuroscience, 10(6), 410–422. These symptoms collectively contribute to the subjective experience of brain fog, making daily cognitive tasks more challenging and impacting ove...