POPULARITY
Katika jamii inayomtazama mwanaume kama mhimili wa familia na mtafutaji mkuu wa riziki, changamoto za kiuchumi zimewasukuma wengi kutafuta njia mbadala za kujikimu. Moja ya njia hizo ni kamari.Lakini je, kamari ni suluhisho la kweli kwa changamoto za kiuchumi, au ni mtego mwingine unaozidi kudidimiza maisha ya wanaume wengi?Katika episode hii, tunachambua kwa kina ongezeko la michezo ya kubahatisha miongoni mwa wanaume wa Kitanzania. Tunaangazia sababu, athari, na uhalisia wa maisha yao baada ya kuingia katika mzunguko wa kamari.Tupo na Tumaini Maligana, mshauri wa michezo ya kubahatisha mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10, ambaye anatuongoza katika mjadala huu kwa maarifa, ushuhuda, na maonyo yenye msingi wa uhalisia wa maisha. Karibu usikilize, tafakari, na shiriki. #MenMenMenPodcast #KamariNaMaisha #ChangamotoZaMwanaume #UkweliWaKamari
Kila siku ya ijumaa ni mada huru ambapo Tunampa nafasi msikilizaji kujadili suala lolote ambalo limetokea nchini mwake wiki hii au kile ambacho amekisikiliza kwenye habari zetu juma hili.
Kila siku ya ijumaa ni mada huru ambapo Tunampa nafasi msikilizaji kujadili suala lolote ambalo limetokea nchini mwake wiki hii au kile ambacho amekisikiliza kwenye habari zetu juma hili.
Tunaangazia kuendelea kwa vita Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kati ya jeshi la serikali FARDC wanaoshirikiana na wapiganaji wa Wazalendo dhidi ya waasi wa M 23 wanaoungwa mkono na Rwanda. Watu zaidi ya 100, 000 wameyakimbia makaazi yao katika wilaya ya Masisi tangu kuanza kwa mwaka 2025 kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa.Nini suluhu ya mzozo huu ?
Katika video hii, tunachambua tafsiri mpya ya neno 'Artificial Intelligence' katika lugha ya Kiswahili ambapo sasa inajulikana kama 'akili unde'. Tunaangazia maana ya neno hili jipya pamoja na kuelezea tofauti yake na tafsiri zingine zilizokuwa zinatumika awali kama vile akili bandia, akili mnemba au akili tarakilishi. Pia, tunasisitiza umuhimu wa kufuatilia maendeleo ya istilahi za akili unde kutokana na ukuaji wa kasi wa teknolojia hii.
Tunaangazia ikiwa tunaweza kuwa na mazingira tulivu bila kelele chafuzi katika maeneo tunayoishi lakini pia sehemu tunazofanya kazi. Tunaangazia ikiwa tunaweza kuwa na mazingira tulivu bila kelele chafuzi katika maeneo tunayoishi lakini pia sehemu tunazofanya kazi.
Tunaangazia hatua ya mahakama nchini Zimbabwe kuidhinisha marafuku kuanzishwa kwa kampeni iliyopangwa kufanywa na chama kikuu cha upinzani wakati huu pia kiongozi wake mkuu Nelson Chamisa akikabiliwa na vikwazo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Karibu katika makala wimbi la siasa. Tunaangazia swala la mhubiria Paul Mackenzie Nthenge ambaye aliwashawishi wafuasi wa kanisa lake wafunge bila kula ili wakutane na Mungu katika kijiji cha Shakahola karibu na mji wa Malindi, Pwani ya Kenya. Nchini Kenya, idadi ya watu wanaohusishwa na imani potofu ya kutokula chakula hadi kufa ili kumwona Mungu, imeongezeka na kufikia 98 baada ya miili mingine kufukuliwa katika kijiji cha Shakahola karibu na mji wa Pwani, Malindi.Tukio hilo limezua hasira miongoni mwa viongozi, wananchi na wenyeji huku mchungaji anayedaiwa kuwashawishi wauamini wake kufunga mpaka kufa Paul Mackenzie Nthenge akiendelea kuzuiwa.Kuzungumzia swala hili naungana studioni na Askofu mkuu wa kanisa la anglikana nchini Kenya Jackson Ole Sapit pamoja na afisa wa sheria katika shirika la kutetea haki za binadamu nchini Kenya Haki Afrika Walid Seketi.
Mabadiliko ya tabia nchi yameendelea kufifiza usalama wa chakula chenye lishe,kupunguza uwezo wa akina mama wanaotegemea kilimo asili kulisha familia zao na kuongeza idadi ya magonjwa yasiyoambukizwa Kwenye makala haya tunaangazia kilimo cha wimbi ambacho japo ni cha asili,ni chakula chenye lishe na kinachohitajika kwa sasa kwa ajili ya wagonjwa wa kisukari.Kupungua kwa uzalishaji wa wimbi kutokana na ukame,gharama ya juu ya mbegu na mashamba yanayotumika kwa mara ya kwanza ,yamechangia akina mama wengi hawawezi kuwalisha familia zao kwa kuwa wimbi ni kipato cha wanawake,inatumika kuwalisha watoto na watu wenye umri uliokwenda wengi wao wakiwa wanauguza ugonjwa wa kisukari.Tunaangazia vile vile kilimo cha sasa cha wimbi ambacho wanawake katika kaunti ya Bomet ,kusini mwa bonde la ufa ,nchini Kenya wamebidi kukumbatia ili kuendelea na kilimo cha wimbi wakati huu ulimwengu unapokumbwa na athari haasi ya mabadiliko ya tabia nchi.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Bingwa wa mbio za mita ya 100 Mkenya Ferdinard Omanyala, ndio bingwa wa michezo ya Jumuiya ya Madola. Tunaangazia michezo hayo na mengine mengi yanayotokea viwanjani.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Hii leo jaridani tunamulika siku ya kimataifa ya Nelson Mandela kwa kukutelea ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kuhusu nafasi ya hayati Mandela katika maendeleo na amani. Tunaangazia pia tamko la mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu uamuzi wa Mahakama ya Haki ya Afrika wa kuamuru Kenya ilipe fidia jamii ya asili ya Ogiek kwenye msitu wa Mau. Makala ni mchezo wa kuigiza wa kushawishi wajawazito kwenda kliniki wakiwa na waume zao na Leah Mushi anakupeleka nchini Malawi. Mashinani tunaye Catherine Shembilu aliyeko hapa Marekani kuhudhuria mafunzo ya uongozi kupitia Programu ya Mandela. Karibu na mwenyeji wako ni Assumpta Massoi.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Jumuiya ya Afrika mashariki kupeleka jeshi DRC kupambana na makundi ya waasi. Tunaangazia pia mateso wanayopitia wakimbizi wa DRC wakati dunia inaadhimisha siku ya wakimbizi.
Tunaangazia mwaka Mmoja wake waziri Mkuu wa DRC Jean Michel Sama Lukonde, Aliunda serikali ya Warriors: na kuthibitisha nia ya kuandaa uchaguzi ndani ya muda uliopangwa pamoja na kurejesha Hali ya Usalama mashariki ya DRC. Unazungumziaje mwaka mmoja wa Sama Lukonde Je? amefanya kazi kulingana na Matarajio yako? Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi
Tunaangazia mwaka Mmoja wake waziri Mkuu wa DRC Jean Michel Sama Lukonde, Aliunda serikali ya Warriors: na kuthibitisha nia ya kuandaa uchaguzi ndani ya muda uliopangwa pamoja na kurejesha Hali ya Usalama mashariki ya DRC. Unazungumziaje mwaka mmoja wa Sama Lukonde Je? amefanya kazi kulingana na Matarajio yako? Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi
Tunaangazia tatizo la Usonji au Autism wakati Dunia ikiwa imeadhimisha siku ya usonji (Autism) ,tarehe mlbili mwezi Aprili. Takwimu za WHO zinasema kati ya watoto mia moja duniani mmoja ana tatizo hilo.
Tunaangazia ufahamu ya matumizi ya kondomu, aina mbali mbali za kondomu na namna zinatumika na watu wa mbali mbali.
Tunaangazia sababu za kuwepo mwitiko mdogo wa matumizi ya kondomu nchini Kenye licha ya kupendekezwa kuwa mpango ambao unamlinda mtu kutokana na hatari ya kupata virusi vya HIV na magonjwa ya zinaa.
Michuano ya klabu bingwa barani Afrika, inaendelea kushika kasi kumtafuta bingwa mpya. Tunaangazia hili na mengine mengi.
Ni msimu mwingine wa sherehe ya siku ya wapendanao tarehe 14 Februari. Siku hiyo hutumiwa na wapenzi wengi kuoneshana upendo. Baadhi hununuliana zawadi na hata kujitengea muda wa kufurahia mapenzi yao. Hata hivyo kwa wengine ni siku ya kawaida tu. Tunaangazia umuhimu wa siku hii na iwapo kuna ulazima wa kumpa zawadi umpendaye.
Tunaangazia harakati za chama kikuu cha upinzani nchini Kenya Orange Democratic Movement (ODM), kutafuta uongozi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, baada ya uchaguzi Mkuu mwezi Agosti. Raila Odinga, kiongozi wa chama hicho kilichoundwa mwaka 2005, ameshatangaza nia ya kuwania nafasi hiyo chini ya vuguvugu la kisiasa la Azimio la Umoja. Je, chama hiki kimejiandaa vipi, kuelekea Uchaguzi wa Agosti 9, 2022 ? Mgeni wetu leo, ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Edwin Sifuna.
Tunaangazia juu ya kituo cha wagonjwa wa ukoma na vikongwe kilichoko Kolandoto, mkoani Shinyanga, Tanzania. RFI imefika kituo cha Kolandoto ambapo kituo hicho kilichojengwa mwaka 1914 maalumu kwa wagonjwa wa Ukoma, leo hii kituo hicho kimegeuka kimbilio la vikongwe wanaotuhumiwa kwa uchawi ili wasiuawe na jamii inayowazunguka.
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa-UNEP linaadhimisha miaka 50 tangu kuundwa kwake. Tunaangazia mafanikio na changamoto.
Tunaangazia joto la kisiasa, linaloendelea kupanda nchini Kenya, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka huu. Wakenya watamchagua rais wao wa tano, baada ya Uhuru Kenyatta ambaye anaondoka madarakani. Kinyanganyiro kinatarajiwa kuwa kati ya kiongozi wa muda mrefu wa upinzani na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na naibu rais William Ruto.
Tunaangazia faida za kiafya za wanaume kupashwa tohara .Kenya mwaka 2008 ilizindua kampeni ya kuwatahiri kwa khiari wanaume kuanzia umri wa miaka 15 hii ikiwa ni njia mojawapo ya kukabiliana na msambao wa virusi vya Hiv katika jamii ambazo huwa hawatahiri. Nchini Rwanda pia ambapo raia wengi hawakuunga mkono tohara ,imeanza kupata mwitikio mkubwa wa wanaume kutahiriwa.
Tunaangazia afya ya mwanaume ,kukikita hasa katika tatizo la tezi dume kupanuka au kuvimba .
Tunaangazia malezi ya Kangaroo ,kwa watoto hao ambao wanazaliwa kama muda wao ambao wengi wao wana uzani mdogo na ambao wako kwenye hatari ya kuaga dunia na hivyo kuhitaji matunzo ya kipekee.
Tunaangazia hatua ya kujizulu kwa Waziri Mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok wiki hii. Kujiuzulu kwa Hamdok kumekuja muda mfupi baada ya kurejeshwa kwenye nafasi hiyo, baada ya kuafikiana na uongozi wa kijeshi chini ya Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, aliyemwondoa madarakani mwezi Oktoba mwaka 2020.
Tunaangazia sehemu tu ya baadhi ya makala zilizoletwa kwako mwaka huu wa 2021. Baadhi yake ni pamoja na uhusiano baina ya jamii ya wakimbizi na wenyeji Tanzania, Uhusiano baina ya wenyeji na raia wa Burundi na Tanzania, wasomi wa Afrika ya Mashariki kusaka ajira nje ya nchi zao, pamoja na Rushwa nchini Burundi.
Tunaangazia namna Mamlaka inayotunza misitu nchini Kenya inavyozihusisha jamii katika kulinda na kuhifadhi misitu kupitia mradi wa maendeleo wa Green Zones awamu ya pili unaofadhiliwa na Benki ya maendeleo ya Afrika katika kaunti 15 kupitia mradi unaoruhusu ukulima wa miti na mimea kwa wakati mmoja (PELIS) .
Tunaangazia juu ya uhifadhi na utunzaji mazingira nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee, RFI imetembelea kiwanda cha kutengeneza mkaa mbadala tofauti na uchomaji miti. Shirika lisilo la kiserikali ya REDESO (relief for development society) ndio linajishughulisha na upatikanaji wa nishati mbadala kwa ajili ya kuhudumia wakimbizi wasio jiweza kambini Nyarugusu, mkoani Kigoma,
Tunaangazia juu ya changamoto za ujasiriamali kwenye vikundi vya walemavu nchini Tanzania. Kwa namna ya pekee tutawasikia baadhi ya walemavu na wadau wengine wanaohusika kuhakikisha mlemavu anajiwezesha kiuchumi huko mjini Bukoba, mkoani Kagera, Magharibi mwa Tanzania.
Tunaangazia juu ya hatua ya Serikali ya Burundi kupitia upya mikataba ya madini lengo ikiwa ni madini ya nchi hiyo kunufaisha pande zote yaani Burundi na muwekezaji. KWa mjibu wa serikali ya Burundi, kwa sasa taifa hilo linanufaika na pato la madini aslimia 10% -15% na Burundi ingependa kiwango zaidi.
Tunaangazia matibabu ya nyumbani au Homecare Services miongoni mwa wagonjwa wa Covid 19 ,hii ikiwa mkakati wa kukabiliana na ;uhaba wa vitanda kwenye hospitali ,vyumba vya ICU au hewa ya Oxygen pia kupunguza Gharama ya juu na unyanyapaa unaohusishwa na Corona.
Italia ndio mabingwa soka barani Ulaya. Mserbia Novak Djokovic ashinda taji la Wimbeledon katika mchezo wa Tennis nchini Uingereza. Tunaangazia hili na mengine mengi yanayotokea barani Afrika.
Tunaangazia juu ya Mkoa wa Kigoma, nchini Tanzania. Mkoa wa Kigoma uko magharibi mwa Tanzania, kwenye mwambao wa ziwa Tanganyika, ambapo Tanzania inapakana nan chi za Burundi, Jamhuri yakidemokrasia ya Congo, na Zambia.
Tunaangazia juu ya vipaji kwa vijana nchini Tanzania. RFI imefika tarafani Rulenge, Wilayani Ngara, mkoani Kagera magharibi mwa Tanzania na kuongea na baadhi tu ya vijana walioamua kuunda kukindi cha ‘JM Group' kuendeleza vipaji vyao, na shughuli zao za vipaji kuwa ajiri, kuwaimarisha kiafya na kudumisha mila na tamaduni.
Tunaangazia changamoto za mataifa yanayoendelea hasa barani Afrika kuweka sera zao pamoja na kuwa na miundo mbinu za kupambana na janga la Covid 19.
Tunaangazia juu ya mfuko wa kusaidia watu wasiojiweza kiuchumi nchini ujulukanao kama TASAF nchini Tanzania. Kumekuwepo na manung’uniko ya hapa na pale kuhusu wanufaikaji ambapo baadhi ya malalamiko yanataja baadhi ya watu au hata viongozi wanaojiorodheshakama wasiojiweza ili wafaidi mfuko huo.
Wengi wamehusishwa kurithi ufalme wa Lionel Messi na Christiano Ronaldo lakini hawakuweza kufikia kiwango chao. Je, Kylian Mbappé na Erling Braut Haaland wataweza kufikia kiwango cha Messi na Ronaldo? Clifford Sangai anaungana na Prosper Bartalomew kujadili namna makinda hawa wanavyotengeneza ulimwengu wao wa soka. Tunaangazia zaidi takwimu za mchezo na namna wanavyosaidia timu zao kuweza kupata matokeo. Tufuate katika mtandao wa Instagram: https://instagram.com/sportscasttz?igshid=1s7jr9p0pao5 Twitter: https://twitter.com/SportsCastTz?s=09