POPULARITY
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina leo ikiwa ni siku ya kimataifa ya lugha ya Kiswahili nampisha John Kibego wa redio washirika, Kazi Njema Redio nchini Uganda, kukueleza kuhusu harakati za kukuza lugha hiyo barani Afrika wakati huu ambapo UNESCO imeshaitangaza miaka mitano iliyopita kuwa lugha ya kimataifa.John, anamulika mpango wa ujenzi wa makao makuu ya kamisheni ya Kiswhaili ya Mungano wa Afrika. Pia tunakuletea muhtasari wa habari.Ikiwa leo ni maadhimisho ya tano ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiswahili chini ya Kaulimbiu "Kiswahili kwa Amani, Mshikamano na Diplomasia ya Uchumi wa Dunia" Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Togolani Mavura anafafanua ni kwa namna gani lugha ya Kiswahili inaweza kuyafanikisha hayo.Ugonjwa wa Ebola umeendelea kusambaa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na idadi ya vifo vya watu imevuka 500 limesema leo Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO. Mwakilishi wa WHO nchini humo, Dkt. Anne Ancia akizungumza kwa njia ya video kutoka Bunia, mji mkuu wa Jimbo la Ituri mashariki mwa DRC ambako ni kitovu cha mlipuko huu, amewaambia waandishi wa habari mjini Geneva, Uswisi kwamba kufikia tarehe 4 mwezi huu, serikali ya nchi hiyo ilikuwa imerekodi wagonjwa 1,561, vikiwemo vifo 506. Taarifa njema ni kuwa…“Jaribio la kitabibu lilianza tarehe 2 Julai kwa lengo la kubaini tiba madhubuti dhidi ya ugonjwa huo unaosababishwa na virusi vya Bundibugyo.”Na asubuhi hii kwa saa za New York Marekani, kwa mara ya 34 tangu mwaka 1992, Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limekaa ili kujadili umuhimu wa kumaliza vikwazo vya kiuchumi na kibiashara vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Cuba tangu mwaka 1960. Katika barua ya mwaliko ambayo Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock amewapelekea wajumbe wa Baraza anasema, “ninayo heshima kukujulisha kwamba nimepokea barua iliyoambatanishwa ya tarehe 16 Juni 2026 kutoka kwa Mhe. Bwana Ernesto Soberón Guzmán, Mwakilishi wa Kudumu wa Cuba katika Umoja wa Mataifa, akiomba kuitishwa kwa kikao cha Baraza Kuu ili kujadili ajenda namba 38 yenye kichwa: “Umuhimu wa kukomeshwa kwa vikwazo vya kiuchumi, kibiashara na kifedha vilivyowekwa na Marekani dhidi ya Cuba.”Mwenyeji wako ni Feissal Kirwa, karibu!
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetahadharisha umma kuhusu kuenea kwa kasi kwa ugonjwa wa Ebola.
Imethibitishwa kuwa abiria mwingine aliyekuwa kwenye meli ya kitalii iliyohusishwa na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Hanta au Hantavirus ameambukizwa ugonjwa huo, ugonjwa ambao tayari umeua watu watatu waliokuwa ndani ya meli na kusababisha tahadhari ya kimataifa iliyoratibiwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) la Umoja wa Mataifa. Assumpta Massoi na taarifa zaidi.
Pata ufahamu sahihi kuhusu chanzo, dalili, matibabu pamoja na kinga ya ugonjwa wa Seli Mundu (Sickle Cell) na Dkt. Catherine Mhando wa Hospitali ya Benjamin Mkapa, Dodoma.Support the showIdara ya Habari MAELEZO
Serikali ya Tanzania na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo UNDP kupitia Ushirikiano wa Upatikanaji na Ufikishaji wa Huduma (ADP), inaendesha mpango wa majaribio wa kihistoria katika mikoa ya Simiyu, Mwanza, na Kigoma ili kutoa matibabu ya kwanza ya ugonjwa wa kichocho yaliyoandaliwa mahususi kwa ajili ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Rashid Malekela na taarifa zaidi.
Mamlaka jijini Nairobi zimefanya operesheni kudhibiti ongezeko la mbwa mtaa katika mkakati wa kupambana na ugonjwa wa mbwa kichaa Mbwa japo anasemekana kuwa rafiki wa karibu na mwaminifu unapomfuga ,matunzo yasiyofaa au kuwatelekeza unaweza kukuweka karibu na ugonjwa wa mbwa kichaa Ukiwa utamfuga mbwa ,sharti kuzingatia usafi na chanjo ya kila mwaka dhidi ya ugonjwa wa mbwa kichaa
Sudan Kusini kando na kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa wa Kisukari ,upatikanaji wa matibabu bado ni changamoto kubwa Watalaam nchini humo wanahoji mabadiliko ya mtindo wa maisha kama chanzo cha ongezeko la visa hivi.
Tarehe 14 Novemba kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kisukari na mwaka huu kauli mbiu ni “Kisukari katika hatua mbalimbali za maisha.” Je wafahamu ugonjwa huu unampata mtu gani na unawezaje kujikinga usiugue? Leah Mushi anatujuza zaidi.
Watu wengi hudhani kuwa Pneumonia husababishwa na baridi kuingia kwenye kifua lakini watalaam wanasema chanzo cha Pneumonia ni vimelea kushambulia mapafu na mfumo wa kupumulia Watalaam wa afya wanasema ndani ya wiki moja, mtu aliye na Pneumonia hugundulika kwa kuwa anapata ugumu wa kupumua au hata kukosa hewa.
Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.
Kuna aina nyingi ya magonjwa yanayo athiri akili, baadhi yanaweza tibiwa na mengine hayana tiba.
Wananchi wa Jamhuri ya Congo, au Congo-Brazaville, ni mashuhuda wa jinsi shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni, WHO limewasaidia kukabiliana na ugonjwa wa macho na ngozi unaosababishwa na nzi mweusi wanaozaliana kwenye mito na vijito, ugonjwa ambao uliathiri shughuli zao za kijamii na kiuchumi kutokana na muwasho wa kila mara na upofu. Assumpta Massoi na taarifa kamili.
Guinea itakuwa ni taifa la nane la Afrika kuthibitishwa kuangamiza ugonjwa wa malale Guinea imekuwa ilishiriki katika majaribio ya matibabu ya ugonjwa wa malale ambayo yalifanyiwa utafiti mara ya kwanza nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya CongoTimu ya madaktari kutoka DRC na Guinea walishirikishwa kwenye majaribio hayo na kwenye makala haya tumezungumza na Dkt Chirac Bulanga kutoka DRC
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
DRC imeripoti maambukizi ya Ukoma mwisho wa mwaka jana na pia mwaka huu Ukoma ni ugonjwa unaoathiri sana ngozi na unaweza kuharibu baadhi ya viungo kama vile mikono ,miguu na hufanya mtu kutengwa na jamii
VOA Express pia inafuatilia kwa karibu sana maswala yanayovuma katika mitandao ya kijamii kama sehemu moja muhimu ya upashanaji habari siku hizi.
Ungana nami Mtangazaji wako Judith Mpalanzi, katika Kipindi cha Ijue Afya yako Kutoka Studio za Radio Maria Tanzania Leo tupo na Juma Kupewa, Mshauri Kutoka Idara ya Moyo na Mapafu ya Hospitali ya Rufaa ya Mtakatifu Francis Ifakara akielezea Ugonjwa wa Sonona. L'articolo Fahamu Dalili za Ugonjwa wa Sonona. proviene da Radio Maria.
Kwa kitaalam mtindio wa ubongo unaitwa Cerebral Palsy kwa kifupi CP..ugonjwa huu unatokana na jereha kwenye ubongo ambao huwa linafanya mtoto kushindwa kudhibiti misuli ya mwili wake hali inayoweza kusababisha viungo vya mtoto kulegea au kukamaa muda wote. Mtoto anaweza kupata majeraha kwenye ubongo akiwa bado yuko tumboni, wakati wa kuzaliwa au baadae maishani.CP husababisha ulemavu wa kudumu katika maisha yote ya mtoto.
Huku kukiwa na ripoti za kuongezeka kwa maambukizi ya magonjwa ya mfumo wa kupumua vikiwemo virusi vya metapneumovirus (HMPV) wakati huu wa msimu wa baridi nchini China na kuleta hofu ulimwenguni kuhusu uwezekano wa kutokea kwa janga jingine la ugonjwa kama ilivyokuwa Covid-19, mamlaka ya afya nchini humo inasema kiwango na nguvu za ugonjwa huo viko chini ikilinganishwa na wakati kama huu mwaka jana, ameeleza Hans Kluge, Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni kanda ya Ulaya akisisitiza ulimwengu kupata taarifa sahihi. Anold Kayanda na taarifa zaidi.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. . Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi, bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994. Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.
Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. . Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi, bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994. Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/
Karibu sana NSAMBO HEALTHCARE kupata huduma za matibabu kwa magonjwa ya lishe ikiwemo Ugumba, mvurugiko wa Homoni na ukosefu wa hisia za tendo la ndoa, kisukari, shinikizo la damu, kitambi na uzito mkubwa n.k. . Karibu kupata bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN za sayansi ya mapishi, bidhaa hizi zinamfaa mtu yoyote mwenye magonjwa ya lishe na yule anayependa kula kiafya. Agiza bidhaa za DR. BOAZ KITCHEN kwa kupiga simu namba 0787 999 994. Huduma zaetu NSAMBO HEALTHCARE ni kuazia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja jioni au weka miasi ya kuonana na daktari kwa kupiga simu namba 0767 030 160. Jiunge na programu ya kupunguza kitambi na uzito mkubwa ya NHC WAEIGHTLOSS BOOT CAMP Fuata Taratibu hizi za Malipo ili kujiunga. TIGO PESA LIPA NO: 7780779 MPESA LIPA NO: 5567920 JINA: HEALTHY EATING COMPANY LIMITED Ukisha Lipia Nitumie SMS, EMAIL na MAJINA YAKO kwenye meseji Moja usajili Uanze Leo na Masomo Utumiwe Leo Leo. Namba ya Whatsapp Ya Kutuma Taarifa zako: 0767 030 160 AU WASILIANA NASI SIMU: +255767 074 124 +225787 999 994 Usisahahu KUSUBCRIBE kwa elimu zaidi kuhusu magonjwa ya lishe kama vile KISUKARI KITAMBI NA UZITO MKUBWA SHINIKIZO LA DAMU (PRESHA) MVURUGIKO WA HOMONI UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME TEZI DUME MAGONJWA YA GOITA Tufuatilie katika mitandao ya kijamii INSTAGRAM https://www.instagram.com/sayansiyama... https://www.instagram.com/nsambohealt... FACEBOOK https://www.facebook.com/drboazmkumboMD BLOG https://blog.heaprogram.co.tz/ WEBSITE https://heaprogram.co.tz/ http://nsambohealthcare.tilda.ws/
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Ukisikia makovu yasiyofutika ni ya simulizi hii utakayoisikia kuhusu familia moja huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC kupoteza watoto wanne kutokana na ugonjwa wa homa ya nyani au mpox huku mustakabali wao ukisalia mashakani kwani bado hawafahamu hali itakuwa vipi kwenye familia yao, baba na mama wakipambana na ugonjwa huo. Video ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF iliyochapishwa kwenye mtandao wa Instagram unatupeleka Mbandaka, mji ulioko jimboni Equateur, kaskazini-magharibi mwa DRC.Dkt. Douglas Noble Mkurugenzi Mshiriki, UNICEF ndiye mwenyeji wetu hapa kwani ametembelea kituo cha matibabu ya mpox hapa Mbandaka.“Tuko hapa Mbandaka, ambapo kuna idadi kubwa zaidi ya wagonjwa wa mpox. Tumetembelea kituo cha matibabu, na ni huzuni kusikia hadithi ya familia moja yenye watoto sita, ambapo wanne walifariki dunia kwa mpox. Watoto wawili wako vizuri kwenye kituo cha watoto. Baba na mama bado wako kituo cha matibabu”"Ni kwa kuzingatia madhara ya ugonjwa wa mpox kwa watoto na jamii nchini DRC ndio maana Dkt. Noble anasema..“Simulizi kama hizi zinatufanya tutambue uzito wa ugonjwa huu kwa watoto na jinsi unavyoathiri jamii. Wito wetu ni kuwahamasisha watu na kujenga uwezo wao ili waweze kudhibiti hali hii.”Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC inatajwa kubeba asilimia 90 ya wagonjwa wote 18,815 walioripotiwa duniani kote.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Ugonjwa wa homa ya nyani au mpox ukisalia kuwa dharura ya afya ya umma duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linasaka zaidi ya dola milioni 21 zitakazotumika hadi mwishoni mwa mwaka huu kuongeza harakati dhidi ya ugonjwa huo miongoni mwa wakimbizi katika nchi zilizokumbwa na dharura ya ugonjwa huo, hususan Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC. Assumpta Massoi anafafanua zaidi.UNHCR imetangaza ombi hilo leo la dola milioni 21.4, fedha zinazolenga kusaidia watu milioni 9.9 waliolazimika kukimbia makwao kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo vita. Watu hao wako kwenye nchi 35 barani Afrika.Hatua hii ya UNHCR inakuja baada ya wagonjwa 88 wa mpox kuwa ni wakimbizi na kati yao hao 68 wako DR Congo, taifa ambalo limeripoti idadi kubwa zaidi ya wagonjwa wa mpox duniani. Wagonjwa pia wameripotiwa Jamhuri ya Congo au Congo-Brazaville na vile vile Rwanda.Taarifa ya UNHCR kutoka Geneva, USwisi inasema, ingawa mpox ni ugonjwa wa muda mrefu barani Afrika, ongezeko la wagojwa hasa wenye mnyumbuliko mpya wa mpox yaani Clade 1b umefanya shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO kutangaza tarehe 14 mwezi Agosti kuwa mpox ni dharura ya afya ya umma duniani. Na tangu wakati huo watu 20,000 barani Afrika wameshukiwa kuwa na ugonjwa huo.Allen Maina, Mkuu wa Afya ya Umma UNHCR anasema kwa mazingira ya sasa walio hatarini kuambukizwa zaidi ni wakimbizi wanaoishi kwenye mazingira magumu bila maji, wala sabuni na lishe bora.Sasa wanahitaji kusaidia serikali na wadau katika hatua dhidi ya mpox kuhakikisha hakuna anayeachwa nyuma. Hivyo fedha zitaimarisha mifumo ya afya, maji na huduma za kujisafi na kuhakikisha wakimbizi wanajengewa mnepo sasa na siku za usoni.UNHCR inatoa wito kwa wahisani kuonesha ukarimu wao kwa kuwa fedha hizo zitawezesha ujumuishaji wa wakimbizi kwenye mipango ya serikali katika nchi husika ya kujiandaa na kujikinga dhidi ya mpox kwa mujibu wa Mpango wa Afrika dhidi ya mpox ulioandaliwa na kituo cha Afrika cha kudhibiti na kuzuia magonjwa, CDC na WHO.
Hii leo jaridani tunaangazia ugonjwa wa homa ya nyani au mpox barani Afrika na kufufuliwa kwa kituo chao cha Redio na Televisheni ya Taifa, RTNC huko Beni nchini DRC. Makala tanakupeleka nchini Tanzania na mashinani nchini Kenya, kulikoni?Ugonjwa wa homa ya nyani au mpox ukisalia kuwa dharura ya afya ya umma duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR linasaka zaidi ya dola milioni 21 zitakazotumika hadi mwishoni mwa mwaka huu kuongeza harakati dhidi ya ugonjwa huo miongoni mwa wakimbizi katika nchi zilizokumbwa na dharura ya ugonjwa huo, hususan Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC.Wakazi wa mji wa Beni, jimboni Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC wana furaha tele baada ya kufufuliwa kwa kituo chao cha Redio na Televisheni ya Taifa, RTNC. Kupitia msaada wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo, MONUSCO, wakazi hao sasa wanaweza kusikiliza na kutazama vipindi vyao wanavyovipenda, waandishi wa habari nao, hawafanyi tena kazi chini ya mti.Makala inatupeleka mkoani Kigoma kaskazini magharibi mwa Tanzania kusikia manufaa ya mradi wa Kilimo Tija Kigoma (KiTiKi) unaoendeshwa na shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kwa ufadhili wa Watu wa Jamhuri ya Korea.Na mashinani kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa chakula duniani kanda ya Afrika, tunamsikia Shane Prigge mkuu wa mnyororo wa usambazaji, WFP Kenya akieleza jinsi UNHAS ambalo ni shirika la ndege la Umoja wa Mataifa la huduma za kibinadamu linavyowezesha mashirika ya kibinadamu kufanya kazi zao.Mwenyeji wako ni Flora Nducha, karibu!
Huko Zanzibar Tanzania, shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani, WHO kanda ya AFrika, linashirikiana na serikali kukabili ugonjwa wa matende ambao ni miongoni mwa magonjwa ya kitropiki yaliyopuuzwa au NTDs. Bosco Cosmas na maelezo zaidi.(Taarifa ya Bosco Cosmas)Video ya WHO kanda ya Afrika inatupeleka Zanzibar, Tanzania nyumbani kwa Hamis Njani akitembea kwa shida, miguu imevimba. Alipata ugonjwa wa matende akiwa na umri wa miaka 18 lakini sasa WHO imempatia matumaini.(Sauti ya Hamis Njani)“Inaweza kukupata homa siku mbili kwa wiki, kwa hiyo nikashindwa kwenda shuleni. Wakati mwingine nashindwa kuhudhuria shule kwa miezi hata mitatu. Ninapokwenda kule hospitali, ninapata huduma na mafunzo ya jinsi ya kuishi na haya maradhi kama vile kusafisha, kutumia dawa na mengine yote.”Ugonjwa huu huenezwa na mbu. Husababisha miguu au korodani kujaa maji .Tangu mwaka 2010 Zanzibar imeendesha kampeni 20 za mgao wa dawa na WHO imetoa dawa kutibu watu milioni 1.5 kila mwaka. Asha Makame ni Mgawaji wa dawa kwenye jamii.(Sauti ya Asha Makame)“Mwanzo ulikuwa mgumu kwa sababu watu walikuwa hawaelewi. Kwa sasa hivi mwitikio ni mzuri kwa sababu kile kitu watu wamekitumia na wanajua faida yake.WHO imefundisha pia madaktari katika kila hospitali ya wilaya kufanya upasuaji wa kisasa wa mabusha kwa wagonjwa 500. Dkt. Shali Ahmed ni Meneja Mradi wa NTDs, Wizara ya Afya, Zanzibar.(Sauti ya Dkt. Shali Ahmed - Meneja wa mradi)“Ninaamini kufikia mwaka 2030, hata kabla ya hapo tutakuwa tumekomesha ugonjwa wa matende. Kwa hiyo tunawashukuru sana WHO kwa ushirikiano tunaoupata kwa kupata dawa, mara nyingi tunapata dawa kwa wakati na za kutosha kwa ajili ya nchi nzima.”
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Wiki ya tarehe 26 Feb hadi 3 Machi, ni wiki yakutoa uelewa wa ugonjwa wa moyo na kifaa kinacho tumiwa kusafirisha hewa au damu moyoni.
Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Ugonjwa wa afya ya akili una endelea kuwa kero kwa watu na jumuiya nyingi kote duniani.
Serikali kwa sasa inazingatia mawasilisho kwa uchunguzi wa shirikisho, kuhusu ugonjwa wa kisukari, hali ambayo inazidi kuongezeka kote nchini Australia.
Kuanza kupeleka mtoto katika huduma ya malezi ya watoto mapema, inaweza kuwa suluhisho la vitendo kwa kusawazisha matarajio ya kazi na wajibu wa uzazi.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO limesema takriban nusu ya idadi ya watu ulimwenguni hivi sasa wapo hatarini kuungua ugonjwa wa Dengue huku ikikadiriwa kila mwaka watu kati ya milioni 100 mpaka 400 wanapata maambukizi. Dengue ni ugonjwa unaoenezwa na mbu aina ya Aedes. Ugonjwa huo hutokea zaidi katika nchi zenye hali ya hewa ya kitropiki na ya joto. Mkuu wa Kitengo kinachohusika na magonjwa ya Kitropiki yasiyopewa kipaumbele ambaye pia ni mratibu wa mpango wa magonjwa ya Dengue na Arbovirus katika shirika la Afya ulimwenguni WHO Dkt. Raman Velayudhan, akizungumza na waandishi wa habari hii leo jijini Geneva Uswisi amesema ugonjwa huu wa Dengue “Umeongezeka kwa kasi duniani kote katika miongo ya hivi karibuni, huku idadi ya wagonjwa wanaoripotiwa WHO wakiongezeka kutoka nusu milioni mwaka 2000 hadi zaidi ya milioni 4.2 mwaka 2022. Hiyo ni takriban mara 8 zaidi katika miongo miwili.”Ugonjwa wa Dengue, ambao pia huitwa homa ya mfupa, ni maambukizi ya kawaida ya virusi ambayo huenea kutoka kwa mbu hadi kwa binadamu. Watu wengi walio na ugonjwa huu hawana dalili na hupata nafuu baada ya wiki 1 mpaka 2. Hata hivyo Dkt. Velayudhan amesema “Kwa wengine hupata dalili za kawaida ikiwemo homa kali, maumivu ya kichwa, maumivu ya mwili, kichefuchefu na vipele. Iwapo mtu ataugua na kupona na kisha kuugua kwa mara ya pili ana uwezekano mkubwa kupata dalili za dengue kali.”Watu ambao hupata Dengue kali wanahitaji kupatiwa matibabu hospitalini kwani wakichelewa wanaweza kupoteza maisha.Ingawa hakuna matibabu kamili ya ugonjwa huu mpaka sasa , wale wanaogundulika hupatiwa dawa za kupunguza joto na maumivu ya mwili. Watu wanaweza kupunguza hatari ya kupata dengue kwa kuepuka kuumwa na mbu, hasa mchana.Wakati takriban asilimia 70 ya wagonjwa wengi wakiripotiwa kutoka Barani Asia, Ukanda wq Jangwa la Sahara idadi kubwa ya wagonjwa wameripotiwa kutoka nchini Sudan ambapo kulikuwa na wagonjwa 8239 na vifo 45 tangu Julai 2022. Katika wiki za hivi karibuni WHO imepokea ripoti za uwepo wa wagonjwa wa dengue nchini Misri.WHO imezitaka wizara za Afya kuchukua hatua kwani wakati kuna milipuko, dengue inaweza kuchukua rasilimali za thamani kutoka kwenye mfumo wa afya, na kuongeza mzigo zaidi kwa taifa.
Leo ni siku ya kifua kikuu duniani maudhui yakiwa “ndio inawezekana kuitokomeza TB.” Takwimu za shirika la afya la Umoja wa Mataifa duniani WHO zinaonyesha kuwa tangu mwaka 2000 watu milioni 74 wamesalimika baada ya Kupona kifua kikuu na ni kwasababu ya harakati za ulimwengu za kupambana na ugonjwa huo hatari. Kifua kikuu husababishwa na bakteria wanaosambaa kupitia kukohoa, kucheua, kuimba na hata kucheka. Kifua kikuu ni ugonjwa hatari unaosababishwa na bakteria. Dalili za ugonjwa huo ni pamoja na kikohozi ambacho kinaweza kutoka na damu, kupungua uzito wa mwili, joto mwilini hasa wakati wa usiku na maumivu ya viungo.Kulingana na WHO, watu milioni 10 waliambukizwa kifua kikuu mwaka 2021. Geoffrey Murage aliugua kifua kikuu mwaka 2015 na ishara za kikohozi kisichokwisha pamoja na kuishiwa nguvu ndivyo vilivyomsukuma kusaka vipimo.Murage anasema, "nilianza kukohoa na kusikia mwili uko na uchovu.Nilifikiria kwenda kwa madaktari kuangaliwa na nikapimwa magonjwa tofauti tofauti ndipo wakaiona TB.Baada ya hapo ndio nikapewa dawa za wiki moja na kuagizwa kwenda kwenye hospitali iliyokuwa karibu ya Kayole kuchukua nyengine.Nilipewa maagizo ya kumeza dawa na nikichelewa itabidi nirudie kwahiyo nilitii.Nilikuwa napewa za mwezi mmoja kisha narejea kuongezea hadi ikatimia miezi sita.” anasimulia.Janga la covid 19 lilimulika matatizo yanayowakabili wakaazi wa mataifa masikini ukizingatia mifumo ya afya na utoaji huduma.Wagonjwa wa kifua kikuu ni baadhi ya wanaohitaji huduma mujarab za afya na matibabu kwani vikwazo ni vingi.Kwa Kenya, dawa za kifua kikuu hutolewa bure kwenye hospitali za umma. Hilo lilimuwezesha Geoffrey Murage kujipa moyo kwenye safari ya matibabu.Tathmini imebaini kuwa kifua kikuu kinawaathiri zaidi wanaume ikilinganishwa na wanawake kwani mienendo na tabia ina mchango mkubwa kwani, "kuepuka TB kitu cha kwanza ni usafi. Cha pili mambo ya kuombana sigara na pombe ni muhimu kuachana na hayo kwani mimi nahisi huko ndiko nilikookota TB.Hii ni kwasababu hivyo vikombe wanavyotumia havioshwi vizuri na vinatumiwa na kila mtu,” anafafanua.Mada kuu ya siku ya Kifua kikuu mwaka huu ni Ndio! Tunaweza kuitokomeza TB!.Dhamira ya siku hii ni kuwatia imani viongozi na kuwatia shime kuimarisha uwekezaji kwenye sekta ya afya kwenye vita dhidi ya Kifua Kikuu. Geoffrey Murage ana imani TB inaweza kutokomezwa kwani yeye ni mfano mzuri.Kwa mtazamo wake, "TB ni kama homa ukitii.Ukitii mawaidha ya daktari utapona kwani ni kama homa. Ukikosa kutii utakufa tu.Ukinywa dawa mara kadhaa mwili unazowea. Ni lazima unywe hizo dawa. Ukiacha kuzitumia utaumia.Maisha sio ya daktari, ni yako tu.” anasisitiza.Mwaka wa 2023 una umuhimu mkubwa katika vita dhidi ya Kifua Kikuu na Umoja wa Mataifa uko mstari wa mbele kwenye harakati hizo. Kongamano la pili la Kifua kikuu la ngazi ya juu limepangwa kufanyika tarehe 22 mwezi wa Septemba mwaka huu. Ajenda kuu ni manufaa ya sayansi, teknolojia na uwekezaji kupambana na TB. Takwimu za shirika la Afya la Umoja wa Mataifa,WHO, zinaashiria kuwa Kenya ni moja ya mataifa 22 yanayochangia 80% ya wagonjwa wa Kifua kikuu ulimwenguni.Kwa mantiki hii, Kenya ni ya 15 katika orodha hiyo ya mataifa 22 yanayozongwa naTB. …
Ugonjwa katika njia ya mkojo, kujiajiri binafsi
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la la Afya Duniani (WHO) iliyotolewa leo Jumatatu Januari 23, 2023 imebainisha kuwa watu bilioni tano duniani hawajalindwa dhidi ya viambato hatari vya mafuta vilivyoko katika bidhaa za vyakula vinazozalishwa viwandani na hivyo kuongeza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na kifo.Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani WHO linasema tangu mwaka 2018 lilipotoa wito wa kuondolewa kimataifa kwa viambato vya mafuta vinavyozalishwa viwandani, ufikiaji wa watu wa sera za matumizi bora umeongezeka karibu mara sita na kwamba nchi 43 sasa zimetekeleza sera za hatua bora kukabiliana na mafuta katika chakula, huku watu bilioni 2.8 wakiwa wamelindwa duniani kote.Hata hivyo utafiti wa WHO umebaini kuwa hatua hii iliyofikiwa bado inaacha hatarini watu bilioni 5 duniani kote kutokana na athari mbaya za afya za viambato vya mafuta vinavyozalishwa viwandani na lengo la kimataifa la kutokomeza kabisa viambato hivyo hatari katika vyakula kufikia mwaka huu wa 2023 likisalia kuwa haliwezi kufikiwa kwa wakati huu, unaeleza utafiti wa WHO.WHO inabainisha kuwa viambato vya mafuta vilivyozalishwa viwandani (pia huitwa asidi ya mafuta yanayozalishwa viwandani) hupatikana kwa wingi katika vyakula vilivyofungashwa mathalani kwenye makopo au mifuko, bidhaa zilizookwa na mafuta ya kupikia. Viambato hivyo huwekwa, pamoja na sababu nyingine ili bidhaa hizo ziwe na ladha nzuri na kudumu kwa muda mrefu. WHO inathibitisha kuwa ulaji wa viambato vya mafuta kila mwaka kote duniani husababisha hadi vifo 500,000 vya mapema kutokana na ugonjwa wa moyo.Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus amesisitiza akisema, "viambato vya mafuta havina faida yoyote inayojulikana, na ni hatari kubwa za kiafya ambazo huleta gharama kubwa kwa mifumo ya afya. Kinyume chake, kuondoa viambato vya mafuta katika bidhaa kuna gharama nafuu na kuna faida kubwa kwa afya. Kwa urahisi, viambato vya mafuta katika vyakula ni kemikali yenye sumu ambayo inaua, na haipaswi kuwa na nafasi katika chakula. Ni wakati wa kuiondoa mara moja na kwa wote."Ripoti hiyo, inayoitwa "Hesabu kuelekea mwaka 2023 - Ripoti ya WHO kuhusu uondoaji wa viambato vya mafuta duniani 2022", ni ripoti ya kila mwaka ya hali ilivyo iliyochapishwa na WHO kwa ushirikiano na shirika la Resolve to Save Lives, kufuatilia maendeleo kuelekea lengo la kuondoa viambato vya mafuta katika bidhaa za viwandani kufikia mwaka huu wa 2023.
Baada ya mfululizo wa mashauriano na wataalamu wa kimataifa, hatimaye shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO litaanza kutumia jina MPOX badala ya Monkeypox au homa ya Ndui ya Nyani kufuatia mapendekezo ya kubadilishwa kwa jina hilo kwa maelezo ya kwamba lilikuwa linasababisha mambo kadhaa ikiwemo unyanyapaa. Flora Nducha na maelezo zaidi.Kwa mujibu wa taarifa ya WHO iliyotolewa leo jijini Geneva, Uswisi, mabadiliko hayo yanaanza rasmi leo lakini majina hayo mawili MPOX na Monkeypox au Ndui ya Nyani, yatatumika kwa pamoja kwa kipindi cha mwaka mmoja na kisha Monkeypox au Ndui ya Nyani litaondolewa.WHO inasema ndui ya nyani ilipoibuka mapema mwaka huu na kusambaa katika maeneo ambayo awali ugonjwa huo haukuweko, lugha yenye misingi ya ubaguzi wa rangi nay a unyanyapaa ilienea mtandaoni na kwenye maeneo mengine na katika jamii, na kisha ripoti hizo kuwasilishwa WHO.Katika mikutano kadhaa, iwe ya uso kwa uso au mtandaoni, watu kadhaa binafsi na nchi waliwasilisha hofu yao na kuomba WHO ipendekeze njia ya kubadilisha jina.Kubadili au kupatia jina ugonjwa hufanyika kwa nadra sana kwa ugonjwa ambao tayari uko na ni wajibu wa WHO kwa mujibu wa Mfumo wa Kimataifa wa kupangia majina magonjwa, ICD na jukwaa la kimataifa la kupangia majina kupitia mchakato wa mashauriano unaojumuisha nchi wanachama wa WHO.Baada ya mchakaot huo uliomshirikisha pia Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt. Tedros Ghebreyesus, WHO ndio imepitisha mabadiliko hayo na ili kuondoa mkanganyiko wa jina katikati ya mlipuko, ndio maana yatatumika pamoja kwa mwaka mmoja na kisha Monkeypox kuondolewa.Kwa mujibu wa WHO, mchakato wa kubadiliha jina ugonjwa huchukua miaka kadhaa, lakini kwa Monkeypox mchakato umeharakishwa kwa kuzingatia kanuni zinazotakiwa,WHO inasema hoja ya matumizi ya jina lina MPOX katika lugha nyingine lilijadiliwa na iwapo kutatokea mkanganyiko wowote, hoja itajadiliwa kupitia mchakato ulioko kwa uratibu na mamlaka za serikali na vyama vya kitabibu.Shirika hilo limesema litatumia MPOX katika mawasiliano yake na limesihi watu wengine nao kufanya hivyo ili kupunguza athari hasi za matumizi ya Monkeypox na kupitishwa kwa jina jipya.
Leo tarehe 23 Mei 2022 ni Siku ya Kutokomeza Ugonjwa wa Fistula kauli mbiu yam waka huu ikiwa ni “Tokomeza Fistula, wekeza, imarisha ubora wa huduma za afya na wezesha jamii”. Ugonjwa wa Fistula ya uzazi huwapata wanawake wakati wa kujifungua hasa wale wanaojifungua wakiwa na umri mdogo pamoja na kukosa msaada stahiki wakati wa kujifungua, ambapo viungo kama kibovu cha mkojo na njia ya haja kubwa hujeruhiwa na kusababisha mwanamke ashindwe kujizuia haja ndogo au kubwa. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la afya duniani (WHO). inakadiriwa kuwa wanawake zaidi ya milioni mbili kutoka Afrika na asia wanaishi na ugonjwa huu, bila kupatiwa matibabu yoyote, kwa upande wa Tanzania wengi wamekua wakitafuta msaada kwa waganga wa jadi. Hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam Tanzania, kwa kutambua tatizo hili, inatoa huduma ya matibabu kwa wanawake wenye changamoto za ugonjwa wa Fistula. Mary Kabora wa Kituo cha habari cha Umoja wa Mataifa, UNIC Dar es Salaam Tanzania akiwa amemwangazia mwanamke ambaye anaendelea na matibabu ya ugonjwa wa fistula katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam.
Ikiwa leo ni siku ya ugonjwa wa Chaga, shirika la afya la Umoja wa Mataifa WHO linasema duniani kote inakadiriwa kuwa hadi watu milioni 7 wameambukizwa ugonjwa huu ambao mara nyingi hauna dalili lakini ni tishio kwa maisha ya binadamu endapo hautotibiwa.
Ugonjwa wa moyo ni sababu kubwa ya kifo nchini Australia.