
Maadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Wa Kufanya Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama, Mhamasishaji wa Lishe Bora. Unaweza kumfolo Phenty kwa akaunti yake ya Twitter na Instagram Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya Mauaji Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya mazingira ya soka la Tanzania na soka la Misri, nini kifanyike kukwamua soka la Tanzania, na ushauri wake hasa kwa vijana akiwa kama role model wao - kwa vijana wanaotaka "kutoka" kupitia soka, na ushauri kwa vijana wengine wote katika sekta mbalimbali. Himid ni mmoja wa mabalozi wetu wanaosaidia sana kuitangaza Tanzania yetu kimataifa. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mahojiano na Rahma Bajun, ambaye pamoja na shughuli nyingine, ni mwandishi, anaeleza kuhusu maradhi ya kipandauso, aliyopata akiwa na miaka 12, na yamedumu kwa miaka 21. Na sasa amechapisha kitabu maalum kuhusu safari yake kimaisha akiwa anasumbuliwa na maradhi hayo. Kitabu kinaitwa "The Wave." Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Katika mahojiano haya, Dokta Zakayo Mmbaga anaeleza kuhusu

Katika mahojiano haya, mwanasiasa mkongwe wa Chadema na upinzani kwa ujumla, Ally Bananga, anaeleza kwa kifupi

Mwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, Anakaribishwa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Tuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Jasusi anafanya mahojiano na mbunifu mavazi wa kimataifa SHERIA NGOWI. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Jasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

January Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Tathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Ripoti Ya Kijasusi: Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutenguliwa Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti kwa mfano Benki Kuu, Bandari, nk Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Wanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mijadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Sintofahamu Yaendelea: Samia Aungana Na "Wabaya Wake," Dhahabu Yachotwa BoT Kulipia Matibabu Hewa Hewa. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Taarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Rais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Jiwe mzima au kavuta? Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Exclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mara kadhaa nimekuwa nikitumia msemo "paka mwenye roho tisa" (a cat with nine lives). Je msemo huo una maana gani? Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Kuna wanaosema maisha hayana kanuni. Lakini pia kuna wanaosema kanuni za maisha zipo zaidi ya mia, ilhali wengine wakidai zipo elfu na kitu. Yote katika yote, suala la muhimu sio kanuni hizo zipo ngapi bali ufanisi wake katika kukufanya uwe mtu bora. Hizi 10 katika episode hii zaweza kuwa na msaada mkubwa kwako. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Katika maadhimisho ya #SikuYaKitabuDuniani, Jasusi wako anakupatia ushauri wa bure kuhusu jinsi ya kuandika kitabu. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mbinu husika inahusiana na falsafa ya Stoicism, ambayo nayo nitaitafutia muda maalum wa kuieleza kwa upana. Na katika Stoicism kuna kitu kinachofahamika kama "Premeditatio Malorum," kwa kimombo "the premeditation of the evils and troubles that might lie ahead." Kwa tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili ni ile hali ya kuwa na utambuzi wa mambo mabaya yanayoweza kutokea huko mbeleni. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Dunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni. Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Tarehe 25.02.2018, siku kama ya leo, miaka mitatu iliyopita, mbwa wa Magufuli, haramia Musiba, alinituhumu jasusi wako na watu wengine kadhaa kuwa ni WATU HATARI kwa usalama wa taifa, na kudai tulikuwa tukitumiwa na FBI kutaka kumpindua Magufuli Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Mtandao wa kijamii wa Twitter unatarajia kuanzisha features mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kulipia twiti za watu maalum Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana Februari 23, 2021 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Exclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae Barakoa Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Shirika La Afya Duniani Lamjia Juu Magufuli, Lamtaka Aache Kuficha Taarifa Za Korona. Pia Lasema Tanzania Sasa Inasambaza Korona Nchi Nyingine Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Uchambuzi Wa Kijasusi: Legacy Ya Maalim Seif, Impact Yake Kwenye Mustakabali Wa Siasa Za Zanzibar, Na Kwenye Suala La KORONA Tanzania Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Stori Kubwa Za Kijasusi Wiki Hii Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Stori Kubwa Za Kijasusi Wiki Hii Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Stori Kubwa Za Kijasusi Zilizovuma Mwaka 2020 Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe

Afisa Usalama Wa Taifa Ni Mtu Wa Aina Gani, Anafanya Nini? Sehemu Ya Nne Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe